HISABATI 2013
1. 7999
+ 2001
Fungua Jibu
2. 19678
- 796
Fungua Jibu
3. 593
x 18
Fungua Jibu
4.
Fungua Jibu
5. Andika 49 katika tarakimu za Kirumi.
Fungua Jibu
6. Kokotoa XI + IX = na uandike jibu katika numerali za kiarabu.
Fungua Jibu
7.
Fungua Jibu
8. Dotto alisoma 1/2 ya kitabu cha hadithi. Je, ni sehemu gani ya kitabu ambayo hakuwa ameisoma?
Fungua Jibu
9. Andika jina la mstari ufuatao
Fungua Jibu
10. Je kuna vipande vingapi vya mistari katika pembetatu?
Fungua Jibu
11. Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo
Fungua Jibu
12. Tafuta eneo la mraba ufuatao:
Fungua Jibu
13. Badili mm 20 kuwa sm.
Fungua Jibu
14. Umbali kati ya mtaa wa Ujamaa na Jitegemee ni km 45. Badili umbali huu uwe katika mita.
Fungua Jibu
15. Amani hutembea km 1 kila siku. Je Amani hutembea umbali wa mita ngapi kwa siku?
Fungua Jibu
16. Je, kuna lita ngapi za maziwa katika lita za maziwa?
Fungua Jibu
17. Ndoo ya maji ina ujazo wa lita 20. Je ndoo ngapi za ujazo huu zitahitajika kujaza Pipa la lita 600?
Fungua Jibu
18. gramu 4500 + gramu 1500 (Andika jibu katika kg)
Fungua Jibu
19. Kuna gramu ngapi katika kilogramu 18?
Fungua Jibu
20.
Fungua Jibu
21.
Fungua Jibu
22. Grafu ifuatayo inaonesha idadi ya watalii waliotembelea hifadhi fulani ya taifa kwa miezi Sita.
Kokotoa idadi ya watalii waliotembelea hifadhi mwezi Februari na Mei kwa pamoja?
Fungua Jibu
23. Sh. 10,000 - Sh. 350
Fungua Jibu
24.
Fungua Jibu
25. Pili alienda sokoni na kununua bidhaa zifuatazo:
Kabichi 2 @ sh. 200
Nyanya 3 @ sh. 200
Vitunguu 2 @ sh. 100
Maharagwe kilo 2 @ sh. 1200. Iwapo alikuwa na Sh. 5000/=; alirudishiwa chenchi kiasi gani?
Fungua Jibu