HISABATI 2012
1. 9237
+ 662
Fungua Jibu
2. 253
x 72
Fungua Jibu
3. 4040
3592
Fungua Jibu
4.
Fungua Jibu
5. Andika 45 kwa tarakimu za Kirumi.
Fungua Jibu
6. Kokotoa na andika jawabu lako kwa tarakimu za kawaida. L - XLII
Fungua Jibu
7.
Fungua Jibu
8.
Fungua Jibu
9, Kuna mistari mingapi katika umbo hili?
Fungua Jibu
10. Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo:
Fungua Jibu
11. Tafuta eneo Ia mraba ufuatao:
Fungua Jibu
12. Mzingo wa mraba ni sm 36. Tafuta urefu wa upande mmoja.
Fungua Jibu
13. Badili kilometa 3 kuwa meta.
Fungua Jibu
14. sm3 + sm5 + sm 2 =
Fungua Jibu
15. Mita moja ni sawa na sentimeta ngapi?
Fungua Jibu
16. Kuna gramu ngapi katika kiligramu ?
Fungua Jibu
17. Ng'ombe hula nyasi kilogram kwa siku. Je, kwa Wiki moja atahitaji nyasi kilogramu ngapi?
Fungua Jibu
18. Kuna robo lita ngapi katika lita mbili na nusu?
Fungua Jibu
19. Bakari alinunua lita za maziwa na Anna akanunua nusu lita ya maziwa. Kwa pamoja walinunua maziwa lita ngapi?
Fungua Jibu
20.
Fungua Jibu
21. Soma na uandike wakati unaooneshwa katika uso wa saa ufuatao:
Fungua Jibu
22. Grafu ifuatayo inaonesha idadi ya watoro katika shule ya Mtulinga kwa Wiki moja.
Iwapo shule ina wanafunzi 50 je, idadi ya watoro siku ya Alhamisi ilikuwa kiasi gani?
Fungua Jibu
23.
Fungua Jibu
24.
Fungua Jibu
25. Muuza duka aliuza baiskeli moja kwa shilingi 35,000/=, chupa 10 za mafuta ya kupikia kwa shilingi 2,000/= kwa kila chupa na viatu pea moja kwa shilingi Je, alipata fedha kiasi gani?
Fungua Jibu