STD IV KISWAHILI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2019

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

UPIMAJI DARASA LA NNE

KISWAHILI-2019

1.Sikiliza kwa makini sentensi zinazosomwa, kisha ziandike kwa usahihi katika nafasi zilizoachwa wazi.

  1. .......................................................
  2. Fungua Jibu


  3. ......................................................
  4. Fungua Jibu


  5. ......................................................
  6. Fungua Jibu


  7. ....................................................
  8. Fungua Jibu


  9. ....................................................
Fungua Jibu


SEHEMU B

2. Badili majina yafuatayo kuwa vitendo. Kipengele cha(i) kimetumika kama mfano

  1. Mchezo      Fungua Jibu


  2. Maombi.............................
  3. Fungua Jibu


  4. Pigo..................................
  5. Fungua Jibu


  6. Wimbo.............................
  7. Fungua Jibu


  8. Wazo...............................
  9. Fungua Jibu


  10. Kilimo.............................
Fungua Jibu


SEHEMU C

3. 

(i) Kamilisha methali ifuatayo: ‘jungu kuu.....................’

Fungua Jibu


(ii) Andika methali itakayotumika kumwonya mtu anayependa kuchagua sana vitu na hatimaye kupata kitu kibaya.

Fungua Jibu


(iii) Andika methali inayohimiza watu kufanya kazi kwa kushirikiana.

Fungua Jibu


(iv) "Msema kweli mpenzi wa Mungu". Methali hii inafundisha nini?

Fungua Jibu


(v) Tegua kitendawili kisemacho, "Bibi hatui mzigo wake."

Fungua Jibu


SEHEMU D

4. Kamilisha nafasi zilizo wazi kwenye barua kwa kuchagua majibu sahihi uliyopewa kwenye kisanduku.

MadhumuniS.L.P 100

Zawadi202113/11/2018

Shule ya Msingi Mwembe

(i).................

Songwe

(ii)............

Mpendwa mama, shikamoo.

Ni imani yangu kuwa unaendeleavizuri na shughuli za kilimo. Naaminipia ndugu zangu wengine hawajambohapo nyumbani

(iii)......ya barua hii ni kutakakukujulisha kuwa nimefaulu mtihaniwa Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nnetuliofanya mwishoni mwa mwakajana. Nimefurahi sana kwa kuwanimefaulu vizuri kwa kupata darajaA. Ni matumaini yangu hata mdogowangu Furaha atafaulu Upimaji wakewa Darasa la Nne wa mwaka (iv)....Ninakushukuru kwa kunihimizakusoma kwa bidii. Kufaulu kwangukumetokana na maneno yako yahamasa.

Kwa leo sina mengi zaidi.Ninaomba uwasalimie wadogo zanguwote.

Ni mimi mwanao (v).....

Fungua Jibu


5. Soma kwa makini shairi lifuatalo, kishajibu maswali yanayofuata.

Tusidharau wazazi, heshima kuwafanyia,

Wanafanya kubwa kazi, kutuzaa kutulea,

Wanatupa na mavazi, sisi tunachekelea,

Wazazi wetu ni nguzo, kwetu sisi wanawao.

Wanatutunza vizuri, kwa chakula na mavazi,

Wananunua sukari, chai pia na maandazi,

Wanapika na achari, wanatupa na malazi,

Wazazi wetu ni nguzo, kwetu sisi wanawao.

Vilevile zahanati, tunakwenda kutibiwa,

Twaenda kila wakati, ugonjwa tukizidiwa,

Hutupepea kwa dhoti, kwa joto tukizidiwa,

Wazazi wetu ni nguzo, kwetu sisi wanawao.

Maswali

  1. Shairi hili linahusu nini?
  2. Fungua Jibu


  3. Neno “malazi” lina maana gani kama lilivyotumika katika ubeti wa pili?
  4. Fungua Jibu


  5. mahali/sehemu ya kulala
  6. Fungua Jibu


  7. Je, mshairi anahitaji watoto wawafanyie nini wazazi wao?
  8. Fungua Jibu


  9. Katika ubeti wa tatu, mshairi anasema kuwa watu wakiugua hupelekwa wapi?
  10. Fungua Jibu


  11. Shairi hili linatoa funzo gani?
Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256