STD IV KISWAHILI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2018

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

UPIMAJI DARASA LA NNE

KISWAHILI-2018

  1. .Sikiliza kwa makini sentensi zinazosomwa, kisha ziandike kwausahihi katika nafasi zilizoachwa wazi.
  1. .......................................................
  2. Fungua Jibu


  3. ......................................................
  4. Fungua Jibu


  5. ......................................................
  6. Fungua Jibu


  7. ....................................................
  8. Fungua Jibu


  9. ....................................................
Fungua Jibu


SEHEMU B

  1. Andika umoja na wingi na wingi wa sentensi zinazofuata. Kipengele cha (i) kimetumika kama mfano.
  1. Umoja: Kiti chake kimevunjika.Fungua Jibu


  2. Umoja: Hiki ni kitabu changu.
    Wingi:.....
  3. Fungua Jibu


  4. Umoja:Kiatuchake cheupekimepotea.

Wingi:

Fungua Jibu


  1. Umoja:

Wingi: Wapishi wamepika chakulakitamu.

Fungua Jibu


  1. Umoja: Kalamu yako ilipoteadarasani.

Wingi:

Fungua Jibu


  1. Umoja:
    Wingi: Miti hii ilianguka juzi.
Fungua Jibu


SEHEMU B

  1. Kamilisha methali ulizopewa kwa kuandika jibu sahihi katika nafasizilizoachwa wazi.
  1. Fahali wawili
  2. Fungua Jibu


  3. Mvumilivu
Fungua Jibu


(b) Toa maana ya methali zifuatazo kwakuandika jibu sahihi katika nafasizilizoachwa wazi:

  1. Kidole kimoja hakivunji chawa
  2. Fungua Jibu


  3. Ahadi ni deni............
  4. Fungua Jibu


  5. Nahau "tia doa" ina maanagani?
Fungua Jibu


SEHEMU D

  1. Weka alama za uandishi katika sentensi zifuatazo kwa kuandika alama sahihikatika nafasi iliyoachwa wazi:
  1. Je............utafika saa ngapi......................
  2. Fungua Jibu


  3. Embe..............nanasi
  4. Fungua Jibu


  5. Loo.........kwani wewe ni nani.................
  6. Fungua Jibu


  7. Oyee...........nani amefunga goli...............
  8. Fungua Jibu


  9. Haba na haba..........hujaza kibaba..............
Fungua Jibu


SEHEMU E

  1. Soma kwa makini shairi lifuatalo, kisha jibu maswali yanayofuata.

Nchi yangu naipenda, hakika nawaeleza,

Ni nazi yenye matunda, huwezi kuyamaliza,

Na asali tunapenda, nchini yajitokeza,

Tanzania Tanzania, nchiyangu nakupenda.

Kuna mrefu mlima, Kilimanjaro twakwea,

Ardhi ya wakulima„ rutuba imeenea,

Pia mbuga za wanyama, 11/likumi nawaarnbia,

Tanzania Tanzania, nchiyangu nakupenda.

Tamati ninaishia, mengi nimewaeleza,

Kabla sijaishia, mita ninawaeleza,

Bahari pia sikia, na maziwa yapendeza,

Tanzania Tanzania, nchiyangu nakupenda.

Maswali

  1. Nini maana ya neno "Tamati" kamalilivyotumika katika ubeti wa tatu?
  2. Fungua Jibu


  3. Shairi hili linahusu nini?
  4. Fungua Jibu


  5. Taja mlima mrefu uliotajwa na mshairi.
  6. Fungua Jibu


  7. Taja mbuga ya wanyama iliyotajwa katikashairi hill.
  8. Fungua Jibu


  9. Taja vyanzo viwili vya maji vilivyotajwakatika shairi hili.
Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256