URAIA STANDARD FOUR REGIONAL EXAMS (MOCK, PRE-NATIONAL, etc.)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU

MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA IV TAREHE 23 NA 24 AGOST 2023

URAIA NA MAADILI

MUDA: SAA 1:30 AGOST 2023

MAELEKEZO

  1. Mtihani huu una maswali sita yenye vipengele vya namba za kirumi
  2. Jibu maswali yote
  3. Andika majina yako kwa usahihi kwenye kila ukurasa

SEHEMU A (Alama 26)

1. Chagua herufi ya jibu sahihi

(i) Katika sarafu zifuatazo ipi ina picha ya Hayati Abeid Amani Karume?

A. Shilingi 5000 B. Shilingi 100 C. Shiling 1000 D. Shilingi 200 [     ]

(ii) Kiongozi mkuu wa serikali ya kijiji niimage

A. Mkurugenzi wa Wilaya B. Mwenyekiti wa Kijiji C. Diwani D. Mwenyekiti wa Kitongoji [     ]

(iii) Uoto wa asili kwenye bendera ya taifa huwakilishwa na rangi ya

A. Bluu B. Njano C. Nyeusi D. Kijani [     ]

(iv) Ni alama gani hupatikana katika ya bendera ya Rais?

A. Fedha ya taifa B. Bendera ya taifa C. Ngao ya taifa D. Sikukuu za taifa [     ]

(vv) Waziri mkuu wa Tanzania anaitwa nani?

A. Tulia Ackson. B. Ummy Mwalimu C. Dr. Philipo Mpango D. Majaliwa Kassim [     ]

2. Oanisha maneno kutoka Kifungu A na Kifungu B ili kuleta maana sahihi

KIFUNGU A

JIBU

KIFUNGU B

i. Demokrasia


A. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

B. Uhuru wa Tanganyika

C. Ni eneo la mjini

D. Ni haki ya watu kuchagua viongozi wao

E. Muungano wa Tanzania na Zanzibar

F. Kuzaliwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

ii. 1922


iii. 1964


iv. Serikali za mitaa


3. Jibu maswali yafuatayo kwa kuchagua jibu sahihi kutoka kwenye mabano

(i) imageKatibu wa vikao vya kamati ya shule huitwa (Mwalimu mkuu, Mtendaji wa kijiji, Diwani, Mzazi)

(ii) imageKitendo cha uvunjifu wa sheria za nchi huitwa. (uhalifu, uovu, katiba, haki)

(iii) imageMazao yanayopatikana katika nembo ya taifa ni ( karafuu na pamba, mtama na mahindi, ndizi)

(iv) Mambo ambayo mtu anastahili kuyapata yanaitwaimage (wajibu, sheria, malazi, haki)

SEHEMU B (Alama 24)

4. Jedwali hili linaonesha makabila mbalimbali na mikoa yanakopatikana Tanzania. Jaza nafasi zilizoachwa wazi.

KABILA

MKOA

i. image

Tabora

ii. image

Dodoma

Makonde

iii. image

iv. image

Singida

5. Soma picha ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo namba (i) – (iv)

image

MASWALI

(i) Jina la sehemu inayooneshwa kwenye picha inaitwaimage

(ii) Ni nembo ipi ya taifa inaonekana mbele ya wanafunzi?image

(iii)Kiongozi mkuu wa jamii inayooneshwa kwenye picha ni image

(iv) Kutokana na uelewa wako, ni muda gani bendera ya taifa hupandishwa? image

6. Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali yafuatayo

Ukatili wa watoto ni tabia ambayo hufanywa na watu wazima makusudi kuwaumiza watoto kwa njia ya ukatili na kuwafanyia vurugu. Ukatili wa watoto unahuusisha kuwapuuza watoto, ngono au unyanyasaji wakijinsia. Ukatili wa watoto pia hujulikana kama Ukiukwaji wa haki za watoto. Ni ukiukwaji kufanya kitendo ambacho kipo kinyume na haki za watoto. Ukiukwaji wa haki ni ukosefu wa haki na usawa. Ukiukwaji wa haki za watoto ni kutokuwatendea haki watoto. Ni uvunjifu wa haki za watoto.

Ukiukwaji wa haki za watoto ni kitendo cha kuwanyima haki zao watoto. Jamii inapaswa kufanya kila njia kulinda haki za watoto.

MASWALI

(i) Ukatili wa watoto ni tabia ambayo image

(ii) Ukatili wa watoto kama ilivyoelezwa katika habari unahusisha ngono, ukatili wa kijinsia na image

(iii) Mwandishi amesema ukiukwaji wa haki ni kitendo kisichokubalika dhidi yaimage

(iv) Jina jingine la Ukiukwaji wa haki za watoto kutokana na habari uliyosoma niimage

STANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 36  

STANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 36  

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

UPIMAJI WA UTAMILIFU DARASA LA NNE

MKOA WA NJOMBE

06 URAIA NA MAADILI

Muda: Saa 1:30 Mwaka :2023

MAELEKEZO

  1. Karatasi hii ina sehemu A na B zenye jumla ya maswali Matano (5).
  2. Jibu maswali yote.
  3. Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizotolewa katika kila swali.
  4. Andika majibu yote kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi.
  5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha upimaji.
  6. Andika Jina na Namba yako ya Upimaji katika sehemu ya juu kulia ya kila ukurasa.
KWA MATUMIZI YA UPIMAJI TU
 NAMBA YA SWALI   ALAMA   SAINI YA MPIMAJI
1

2

3

4

5

JUMLA

SAINI YA MHAKIKI


SEHEMU : A Chagua herufi ya jibu sahihi

1. i. Kuwahi shuleni ni moja ya ____________________

  1. kumuogopa mwalimu mkuu
  2. kutii sheria
  3. kumtii mwalimu
  4. kuvunja sheria [       ]

ii. Baadhi ya matendo ya kujijali ni pamoja na_________________

  1. Kuvuta sigara
  2. Kula upendacho
  3. Kuwa msafi
  4. Kuwapenda wenzako [       ]

iii. Watoto waliokosa adabu wanaweza kuwa _________________

  1. msaada kwa wazazi wao
  2. uwajibikaji
  3. hatari katika familia
  4. wajinga [       ]

iv. Ni rangi gani katika bendera ya Taifa inawakilisha mali asili Tanzania? 

  1. Kijani
  2. Bluu
  3. Njano
  4. Nyeusi [       ]

v. Kufanya kazi kwa pamoja humaanisha ___________________

  1. ushirikiano
  2. utengano
  3. kutawanyika
  4. kunyanyaswa [       ]

2. Oanisha kifungu A na B:ili kupata maana sahihi.

Na

 Kifungu A 

 Kifungu B

Jawabu

i.

Kundi la watu wanaoishi katika eneo moja

A: Mazingira


ii.

Matendo ya uaminifu

B: Kufichua Uovu


iii.

Moja ya haki ya watoto

C: Kupata elimu bora


iv.

Ni jumla ya vitu vyote vinavyotuzunguka

D: Ukoo


v.

Kuhakikisha wanakijiji wanapata huduma za Kijamii kama vile maji, umeme na barabara

E: Kazi mojawapo ya serikali ya kijiji


SEHEMU : B

3. Andika neno HAKI au WAJIBU mbele ya kila sentensi.

i. Kujifunza kutokana na makosa__________________________________

ii. Kupata elimu bora____________________________________________

iii. Kuthamini watu wenye ulemavu_________________________________

iv. Mtoto kucheza_______________________________________________

v. Kusoma kwa bidii_____________________________________________

4. Jaza nafasi zilizo wazi

i. Makazi ya Rais huitwa ________________________________________

ii. Alama inayotambulisha shule au Taifa huitwa ______________________

iii. Mtu mwenye mapenzi na nchi yake huitwa________________________

iv. Bendera ya Taifa hupandishwa saa ngapi?_________________________

v. Katibu wa kamati ya shule anaitwa ______________________________

5. Soma kifungu cha habari kisha jibu maswali yanayofuata.

Maria na Tina ni wanafunzi wa darasa la IV katika shule ya msingi Chambalo. Marafiki hawa walifanya vibaya katika masomo yao.Walisoma kwa bidii lakini hawakufaulu mitihani yao.

Maria hakukata tamaa aliamini kuwa atafikia malengo aliyojiwekea ya kufaulu mitihani yake. Aliwashawishi wenzake kwenda kuunda kikundi cha kujisomea. Siku ya Jumamosi waliamka mapema kufanya shughuli za nyumbani na kila ilipotimu saa 5 asubuhi walikutana nyumbani na kujisomea. Baada ya Miezi sita tu. Maria alikuwa wa kwanza katika masomo, Maria aliongoza darasani.

Maswali

i. Maria hakukata tamaa kwa kuwa aliamini _______________________________________

ii. Maria na rafiki yake waliweza kufanya vizuri baada ya kuamua kufanya nini? __________________________________________

iii. Siku ya Jumamosi Maria na rafiki zake waliamka ___________________ ili wafanye majukumu yao ya nyumbani.

iv. Baada ya miezi sita maria alikuwa wa_____________________________ katika masomo yake.

v. Maria aliwashawishi wenzake kuunda kikundi cha _________________________________________


STANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 26  

STANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 26  

 OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

MTIHANI WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE

URAIA NA MAADILI

SEHEMU A

1.Chagua   herufi ya jibu   sahihi   na kisha andika katika kisanduku

(i)Ni alama ipi kati ya zifuatazo inapatikana katikati ya bendera ya raisi wa Tanzania?

(A)Bendera ya taifa (B)Wimbo wa taifa (C)Nembo ya taifa(D)Katiba ya taifa (     )

( ii)Ni sarafu ipi kati ya zifuatazo ina picha ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

(A)Shilingi 100(B) Shilingi 50(C)Shilingi 200(D)Shilingi 500 (      )

(iii)Mojawapo ya vitu ambavyo vinaanza vinaonyesha upendo miongoni mwa wanajamii ni;

(A)Kusema uongo (B)Kupigana (C)Kuiba vitu vya wengine (D)Kuheshimiana (      )

(iv)Ni tarehe gani tunasherehekea muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar?

(A)9 disemba (B)12 Januari (C) 14 Oktoba (D) 26 Aprili (      )

(v)Wimbo wa Taifa unapoimbwa tunatakiwa

(A) Tulale (B) Tupige magoti (C)Tusimame wima (D) Tutembee (      )

SEHEMU B

Oanisha fungu A na Fungu B ili kupata maana kamili kutoka fingu A


FUNGU A

JIBU


FUNGU B

i

Rangi nyeusi katika bendera ya tanzania


A

Ardhi maji na mifugo

ii

Lugha,mavazi na chakula


B

Uaswa wa kijinsia

iii

Kutunga sheria


C

Utamadauni

iv

Mwanamke na mwanaume katika nembo ya Taifa


D

Watu wa Tanzania

v

Maliasili


E

Bunge

SEHEMU C 

 3.Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kuchagua kuchagua jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku 

Nne,Tano, Mazingira, J.K Nyerere, Kipaji, Utamaduni

i.Rais wa kwanza wa Tanzania …………………………………….

ii…………………….ni jumla ya vitu vyote vinavyomzunguka mwanadamu

iii.Uwezo wa kutenda jambo kwa ustadi ……………………………………………………………..

iv.Uchaguzi mkuu wa Tanzania hufanyika kila baada ya miaka …………………………

v.Bendera ya Taifa ina jumla ya rangi …………………………………………………………………

 4.Kamilisha kifungu cha hapo chini kwa kutumia maneno sahihi na uyaandike kwenye nafasi zilizoahwa wazi.Kipengere namba moja (i) imetolewa kama mfano

Tanganyika ilipata uhuru wake (i) 9 disemba 1961.Tarehe (ii)……………………………..ikawa jamhuri .Raisi wa kwanza wa Tanganyika alikuwa anaitwa (iii)………………………………….Alihudumu kama raisi wa Tanganyika kuanzia mwaka 1962 mpaka mwaka 1964 na amekuwa raisi wa jamhuri ya muungao wa Tanzania kuanzia mwaka 1964 mpaka (iv)……………………………Raisi wa awamu ya pili wa Tanzania alikuwa anaitwa(v)…………………………………………………….

5.Soma kifungu cha habari kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo

Mtu mtiifu mwaminifu na mkweli katika jamii yake kila wakati hufanya vitu kwa usahihi hata kama hakuna mtu anayemwongoza kuwa mtiifu.Inamaana unakuwa mkweli na mwaminifu hata kwako wewe mwenyewe. Kama mtu mtu akitaka kufanikiwa katika maisha yake anatakiwa awe mwaminifu na mkweli.

MASWALI

i………………ni mtu anayefanya vitu kwa usahihi wakati wote

ii.Kichwa cha habari chafaa kiwe ……………………………………………………….

iii.Umejfunza nini kutokana na habari hii…………………………………………..?

iv.Ili uweze kufanikiwa katika jamii unatakaiwa kuwa ………………………

v.Kuwa mtiifu inamaana unakuwa ……………………………………………………..


STANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 12  

STANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 12  

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256