JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU
MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA IV TAREHE 23 NA 24 AGOST 2023
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MUDA: SAA 1:30 AGOST 2023
MAELEKEZO
1. Chagua jibu sahihi na ujaze kwenye viboma
i. Mazingira machafu yanavutia vya magonjwa
A: Vijidudu B: Ndege C: Watu D: Maji [ ]
ii. Kutupa taka ovyo, uchomaji wa taka ovyo ni vitendo vinavyosababisha uharibifu wa
A: Mashamba B: Udongo C: Mazingira D: Vyoo [ ]
iii. Jane ni kiongozi wa darasa na alitoa tangazo. Je, alitumia aina gani ya nishati?
A: Mwanga B: Jua C: Sauti D: Umeme [ ]
iv. Maji yanaweza kubadilika katika hali tatu za maada ambazo ni
A: Yabisi, gesi na jiwe
B: Yabisi, barafu na gesi C: Jiwe, hewa na kimiminika D: Yabisi, gesi na kimiminika [ ]
v. Kiwango cha jotoridi la 100°C au 212°F ni pale maji yanapofikia kuchemka. kitendo hicho huitwa
A: Kizingiti cha mgando wa maji B: Kizingiti cha mchemko wa maji
C: Kizingiti cha myeyuko wa maji D: Kizingiti cha mvuke wa maji [ ]
2. Oanisha maneno kutoka kifungo A na kifungo B ili kuakamilisha sentensi
KIFUNGU A | MAJIBU | KIFUNGU B |
i. Kipindupindu | A. Kufanya mazoezi | |
ii. Malaria | B. Kunawa mikono baada na kabla ya kula | |
iii. Taifodi | C. Kuchemsha maji ya kunywa, chakula kifunikwe vizuri | |
iv. Kifua kikuu | D. Kushiriki michezo | |
v. Ukimwi | E. Kupuliza dawa ya kuua wadudu na kuondoa maji yaliyotuama | |
F. Kutofanya ngono au kubaki na mmoja |
3.Tumia maneno yafuatayo yaliyo kwenye jedwali kujibu maswali yafuatayo
Kubainisha tatizo, cherehani, friza, vimeng'enyo, jokofu, chanjo,dhanio |
i. Kifaa kinachotunika kutunza chakula na vinywaji huitwa
ii. Hatua ya kwanza katika kufanya uchunguzi wa kisanyansi inaitwa?
iii. Kinga isiyo ya asili huitwa
iv. Kemikali zinazosaidia usagaji wa chakula tumboni huitwa?
v. ni mashine tata
4. Soma kifungu kifuatacho cha habari kisha jibu maswali yafuatayo.
Maji ni maada ya asili ipo katika hali ya kimiminika. Kikemia maji huundwa na hydrojeni na oksjeni. Maji huchukua 70% ya uso wa dunia ikiwemo mito, maziwa na bahari, ardhi huchukua sehemu ya asilimia inayobakia. Vyanzo vya asili vya maji ni mvua, chemichemi, visima na bahari. Maji ya asili hayawezi kuwa safi na salama kabisa.
Maji ni maada inayobadilika kwenda yabisi, gesi na kimiminika, tena kupitia njia mbalimbali. Maada yabisi ya maji ni barafu na mvuke ni maji katika hali ya gesi. Joto la maji likipanda husababisha mvukizo wa maji lakini joto likishuka husababisha maji kuganda.
MASWALI
i. Maji yakichemshwa huunda nini?
ii. Je, maji kikemia huundwa na nini?
iii. Je, ni kipi husababisha maji kubadilika kutoka maada moja kwenda nyingine?
iv. Taja chanzo kimojawpo cha asili cha maji kilichotajwa kwenye habari uliyoisoma
v. Ni asilimia ngapi ya uso wa dunia huchukua sehemu isiyo na maji?
5. Tumia mchoro huu wa simu kujibu maswali uliyopewa
i. Herufi A inawakilisha
ii. Herufi B inaonyesha
iii. Herufi C inaonyesha
iv. Kitufe cha kupiga na kupokea simu kinaonesha na herufi gani?
v. Kazi ya kifaa kilichoonyesha hapo ni
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 33
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 33
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
UPIMAJI WA UTAMILIFU DARASA LA NNE
MKOA WA NJOMBE
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Muda: Saa 1:30 Mwaka :2023
MAELEKEZO
KWA MATUMIZI YA UPIMAJI TU | ||
NAMBA YA SWALI | ALAMA | SAINI YA MPIMAJI |
1 | ||
2 | ||
3 | ||
4 | ||
5 | ||
JUMLA | ||
SAINI YA MHAKIKI |
SEHEMU A:-
Chagua herufi ya jibu sahihi
1. i. Mwili wa binadamu una viungo ambavyo hufanya kazi tofauti, kipi kati ya viungo vifuatavyo hufanya kazi ya kuhisi? _________________
ii. Viumbe hai wana sifa mbalimbali, kitendo cha kiumbe hai kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine huitwa_____________
iii. Babu alikuwa anaota moto ili kujihifadhi dhidi ya baridi. Je nishati ya joto ilimfikia babu kwa njia ya_______________________________
iv. Amina alipima urefu na upana wa darasa, ambapo alipata hatua sita urefu na upana hatua tatu. Ni aina ipi ya vipimo alitumia?_____
v. Mama aliweka maziwa kwenye jokofu jana jioni ili yagande lakini mpaka kufikia asubuhi yalikuwa hayajaganga. Ni sehemu ipi maziwa yaliwekwa kwenye jokofu _______
2. Oanisha fungu A na lile B ili lkuleta maana iliyo sahihi na uandike herufi ya jibu sahihi katika nafasi zilizoachwa wazi.
Fungu A | Fungu B |
i. Utumbo mwembamba | A. Betri |
ii. Utumbo mpana | B. Kusharabu chakula |
iii. Usanifishaji | C. Kusharabu kwa maji na madini |
iv. Asiyoona | D. Ukosefu wa vitamin |
v. | E. Kitendo cha mmea kujitengenezea chakula chake. |
Fungu A | (i) | (ii) | (iii) | (iv) | v |
Fungu B. |
SEHEMU B
Tumia maneno yaliyopo kwenye jedwali kujaza nafasi zilizo wazi
Jua, kabohaidreti, kucheka na kulia, Protini, mpitisho |
3. (i) Chakula cha kujenga na kukuza mwili____________________________
(ii) Binadamu hutoa sauti kwa njia ya_______________________________
(iii) Chanzo kikuu cha nishati duniani ni ______________________________
(iv) Joto husafiri katika waya na maada ngumu kwa njia ya______________
(v) Chakula cha kuupa mwili nguvu_________________________________
SEHEMU C
4. Soma kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata
Maji ni maada ya asili, ipo katika hali ya kimiminika. Kikemia maji huundwa na haidrojeni na oksijeni. Maji huchukua 75% ya uso wa dunia ikiwemo mito, maziwa na bahari, ardhi huchukua sehemu ya asilimia inayobakia. Vyanzo vya asili vya maji ni mvua, chemichemi, kisima na bahari. Maji ya asili hayawezi kuwa safi kabisa. Maji ni maada inayobadilka kwenda yabisi na gesi na kimiminika tena kupitia njia mbalimbali. Maada yabisi ya maji ni barafu na mvuke ni maji katika hali ya gesi. Joto la maji likipanda husababisha mvukizo wa maji lakini joto likishuka husababisha maji kuganda
MASWALI
i. Je, ni asilimia ngapi huchukua sehemu isio na maji?_________________
ii. Vyanzo vya asili vya maji ni __________________ na _______________
iii. Je, ni kipi husababisha maji kubadilika kutoka maada moja kwenye nyingine?___________________________________________________
iv. Maji kikemikali huundwa na_________________ na ________________
v. Maji yakichemka huunda_______________________________________
Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kujaza jibu sahihi
5. i. Jotoridi la maji likifikia kiwango cha nyuzi joti sentigredi 100 ni sawa na farenhaiti___________________________________________________
ii. Msaada unaotolewa kwa mtu aliyeumia au kuugua ghafla kabla ya kumpeleka hospitali huitwa_____________________________________
iii. Miale ya mwanga inapotoka midia moja kwenda midia nyingine angavu_____________________________________________________
iv. Kifaa kinachotumika kuhifadhi vitu mbalimbali katika hali ya ubaridi ili visiharibike huitwa____________________________________________
v. __________________________ni vipimo vinavyokubalika katika jamii na havitofautiani mahali popote vinapotumika________________________
SEHEMU D :
6. Chunguza mchoro ufuatao kisha jibu maswali yafuatayo
(i) A ni ______________________________________________________
(ii) B ni ______________________________________________________
(iii) C ni ______________________________________________________
(iv) D ni ______________________________________________________
(v) E ni ______________________________________________________
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 23
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 23
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI
MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA NNE
SAYANSI
SEHEMU A
1.Chagua herufi ya jibu sahihi kisha uandike katika kisanduku
(i)Sifa mojawapo ya kiumbe hai ni ……………
(A)Kujificha(B)Kukua (C)Kucheza(D)Kulia ( )
(ii)Kati ya wadudu wafuatao ni yupi ana sumu kali……………….
(A)Kipepeo(B)Mende(C)Nge(D)Popo ( )
(iii)Kuna aina …………………….za mende
(A)Mbili(B)Tatu (C)Nne(D)Moja ( )
(iv)Kipi ni cahakula cha wanga kati ya hivi?
(A)Ugali(B)Mtindi(C)Mayai (D) Pilau ( )
(v)Sifa mojawapo ya mwanga ni………………………..
(A)Kuzimika(B)Kumilika(C)Kuasfiri katika mstari mnyoofu (D)Kuwaka ( )
2.Jibu vipengele(i ) hadi (v) kwa kuoanisha maelezo katika kifungu A na dhana katika kifungu B.Andika majibu sahihi kwenye sehemu ya majibu uliyopewa
| KIFUNGU A | JIBU | | KIFUNGU B |
i | Jua | | A | Umbo lenye giza linatokea baada ya mwanga kuzuiwa na kitu |
ii | Kivuli | | B | Chanzo cha asili cha mwanga |
iii | Mstari mnyoofu | | C | Matokeo ya mwanga kuakisiwa |
iv | Akisi | | D | Miale ya mwanga kurudishwa baada ya kutua kwenye uso unaong’aa |
v | Taswira | | E | Namna ambavyo miale ya mwanga inavyosafiri |
| | | F | Nyota na mwezi |
3.Jibu kipengele ( i) hadi (v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku ulichopewa na uliandike neno hilo kwenye nafasi husika
Uchafuzi wa hewa,utunzaji wa mazingira,nishati,tabia za mwanga,ujelezaji |
(i)Husafiri katika mstari mnyoofu,kuakisiwa na kupinda……………………………..
(ii)Mwanga,joto,umeme,na sauti ni………………………………………………………………
(iii)Hali ya kuchakata takataka ili kutengeneza vitu vingine huitwa ………………………………..
(iv)Kufanya usafi wa mazingira,kupanda miti na kutocchoma misitu moto ni……………………………….
(v)Moshi kutoka viwandani,magari,chakavu na mitambo ya viwandani husababisha…………………………
SEHEMU B
4.Soma kwa makini habari uliyopewa kisha jibu maswali yanayofuata
Mwezi uliopita tulitembelewa shuleni na mtaala wa kilimo kutoka wilayani.Mtaalamu huyu wa kilimo alitufundisha vitendo vinavyosababisha uharibifu wa udingo katika mazingira yanayotuzunguka.Mtaalamu huyu alitueleza kwamba uharibifu wa udongo unasababishwa na shughuli za binadamu za kila siku,shughuli hizo ni mfano wa takataka ambazo si rafiki kwa udongo ni kama vile mifuko ya plastiki,makopo,chupa za plastiki na misumari
Athari za utupaji takataka hovyo husababisha kuwepo kwa mazalia ya vijidudu vya magonjwa kama vile maralia,sambamba na hilo pia hupelelekea maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu na homa ya matumbo.
Hivyo basi ili kuondoa tatizo hilo la uchafuzi wa udongo hatuna budi kukusanya takataka na kuziweka kwenye pipa kisha kuzitupa sehemu mahali salama au kuzichoma kwenye tanuri maalumu lililombali na makazi ya watu ili kuepusha uchafuzi wa hewa.
MASWALI
5. Chunguza mchoro ufuatao kisha jibu maswali yanayofuata.
MASWALI.
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 11
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 11