HISABATI STANDARD FOUR REGIONAL EXAMS (MOCK, PRE-NATIONAL, etc.)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU

MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA IV TAREHE 23 NA 24 AGOST 2023

HISABATI

MUDA: SAA 1:30 AGOST 2023

MAELEKEZO:-

 1. Mtihani huu una jumla ya maswali matano
 2. Jibu maswali yote
 3. Andika majina yako yote kwa usahihi kwenye kila ukurasa.

NO

MASWALI

KAZI

JIBU

1.

i. Andika namba zifuatazo kwa tarakimu. Maelfu tisa mamia tatu, makumi mbili na mamoja sabaii. Andika namba ifuatayo kwa tarakimu. Ishirini na tano elfu mia tano hamsini na tisaiii. Andika namba ifuatayo kwa maneno 72020iv. Darasa la nne lina idadi ya mwanafunzi wasichana 39 na wavulana 20. Andika idadi ya wasichana kwa namba za kirumi.v. Andika thamani ya namba liyopigiwa mstari 829042.

i. Panga namba zifuatazo kuanzia ndogo kwenda kubwa 667, 707, 870, 977, 677
ii. Andika namba hizi kuanzaia namba kubwa kwenda ndogo 451, 378, 192, 705, 9876.
iii. Andika namba inayokosekana katika mpangilio ufatao 10, 13, image, 19, 22.
iv. 8195 + 1502 =
v. 9595 – 7484 =3.(i)
(ii)

(iii) 3 7 9 × 27 =

(iv)

(v) Mara ngapi unaweza kupata 9
katika 549?


4.(i) Mary alikula 3/7 ya muwa na Juma alikula 2/7 ya muwa huo. Je walikula sehemu gani ya muwa.

(ii) Sikitu hutembea mita 2000 kutoka nyumbani kwao mpaka shuleni, Je hutembea kilomita ngapi kutoka nyumbani hadi shuleni?

(iii) Uso wa saa ifuatayo unanyesha ni saa ngapi?


(iv) Kokotoa mzunguko wa mraba ufuatao


(v) Masanja aliuza viazi na kupata Tsh.3000 akanunua maandazi mawili kwa sh. 600. Je alibakiwa na shilingi ngapi?

5. Shule ya msingi Nyambilwa hutumia maboksi ya chaki kwa wiki kama inavyoonyesha kwenye grafu. Jibu maswali yafuatayo kwa kutumia grafu hii.i. Je maboksi mangapi yalitumika siku ya Jumanne?
ii. Tafuta tofauti ya maboksi ya chaki yaliyotumika siku ya Jumatatu na Jumanne
iii. Ni siku zipi zilitumia idadi sawa ya maboksi ya chaki katika wiki?
iv. Ni maboksi mangapi ya chaki yalitumika katika siku tano za wiki?
v. Ni siku ipi katika wiki ambayo ilitumia idadi chache ya maboksi ya chaki?STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 30  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 30  

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS  TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

UPIMAJI WA UTAMILIFU MKOA DARASA LA NNE

 MKOA WA NJOMBE

04 HISABATI

Muda: Saa 1:30 Mwaka :2023

MAELEKEZO

 1. Karatasi hii ina jumla ya maswali Matano (5).
 2. Jibu maswali yote.
 3. Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizotolewa katika kila swali.
 4. Andika majibu yote kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi.
 5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha upimaji.
 6. Andika Jina na Namba yako ya Upimaji katika sehemu ya juu kulia ya kila ukurasa.
KWA MATUMIZI YA UPIMAJI TU


 NAMBA YA SWALI   ALAMA   SAINI YA MPIMAJI
1

2

3

4

5

JUMLA

SAINI YA MHAKIKI


Katika swali 1-5, kokotoa swali ulilopewa na kisha andika jibu sahihi kwenye nafasi iliyotolewa

NA

SWALI

 KAZI

JIBU


1.

(i) Andika XLII kwa namba za kiarabu


(ii) Katika namba 54276 tarakimu ipi ipo katika makumi elfu


(iii) Fafanua namba 60052 kwa kuzingatia thamani ya namba


(iv) Noti 5 za sh. 1000 zina thamani ya shilingi ngapi?(v) Andika tendo la kihisabati lililotumika kupata mpangilio huu 1, 3, 9, 27, 81.


2.

(i) 20103 – 48(ii) Panga namba hizi kuanzia kubwa kwenda ndogo 108, 848, 484, 248.(iii) Andika namba inayoanza kabla ya 10,000


(iv) Andika namba inayokosekana 109, ____, 111, 112.


(v) Andika kwa maneno ¾

3.

(i) Je, ni namba ipi ikizidishwa kwa 12 jibu ni 144?


(ii) 2432 -  = 1050
(iii) Jane hunywa ⅓ ya chupa moja ya maziwa kila siku. Je, atakunywa chupa ngapi kwa siku 12?
(iv) Tafuta mzingo wa chumba cha darasa chenye urefu wa mita 12 na upana wa mita 8.
(v) Saa 4 dk 45 – saa 3 dk 15.

4.

(i) Ng’ombe 102 wana miguu mingapi?


(ii) Badili gramu 5000 kuwa kilogramu


(iii) Baraka alitembea km 3 kwa miguu na km 8 kwa baiskeli. Je, alisafiri umbali gani jumla

(iv) Tafuta thamani ya “P”.
(v) Urefu wa uwanja wa mpira wa pete ni meta 80 na upana meta 40. Tafuta eneo la uwanja huo .
5.

Mchoro huu unaonesha idadi ya kuku wanaofugwa na mitaa mitano. Tumia picha hizi kujibu maswali.

(i) Jumla ya kuku wote ni
(ii) Mitaa ipi ina idadi kubwa ya kuku?


(iii) Mtaa upi una kuku 20?


(iv) Mtaa upi una idadi ndogo ya kuku?


(v) Tafuta tofauti ya kuku wa mtaa 3 na
mtaa wa 4.

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 20  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 20  

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

MTIHANI WA UPIMAJI WA DARSA LA NNE

SOMO LA HISABATI

1. JAZA JIBU SAHIHI

(i) Andika namba ifuatayo kwa maneno 6301 __________________________________________________________________________________________________________________________________________

(ii) Katika namba ifuatayo thamani ya namba iliyopigiwa mstari ni ngapi..? 9999 

___________________________________________

(iii) Andikanambailiyowakilishwakatikaabakasiifuatayo,.

___________________________________________

(iv) Andika elfu moja mia moja na moja kwa tarakimu

___________________________

(v) Andika XLIX kwa namba za kiarabu ______________________

2. Kokotoahesabuzifuatazo,

 1. Panga namba zifuatazo ukianzia kubwa mpaka ndogo kabisa

403, 203, 304, 302, 101 _____________________________________

 1. Andika namba inayo kosekana katika mfululizo huu,

14, 12, _____8, 6.

 1. Namba 2301 ina, Maelfu __________, mamia ______, makumi _______, namamoja _________
 2. Andikakwakifupinambahii, 9000 + 700+ 40 +4= ____________________
 3. Andika namba ya kirumi inayo fuata katika mfululizo huu X, XX, XX, __________
 1. Kokotoa
 1. Jumlisha sh. 599 na sh. 401, jumla yake ni shilingi ______________________


 1. Anna alikuwa na shilingi 80,800, aliitumia shilingi 20,000 kununulia sare za shule na shilingi 17,500, kununulia daftari. Anna alibakiwa na kiasi cha shilingi ngapi? 1. Kokotoa
 1. Andika sehemu ya umbo lifuatalo iliyowekwa kivuli


 1. Andika jina la umbo lifuatalo


 1. Badili kg 5250 kuwa gramu____________________
 2. Badili 2000 kuwa meta _____________________
 3. Galoni moja ina lita 10, je galoni kama hizo 3 zitakuwa na ujazo wa lita ngapi? ____________
 1. Soma takwimu zifuatazo kasha jibu maswali yanayofuata

MAUZO YA NAFAKA

MWEZI

MAUZO KATIKA KILOGRAM

JUNI

JULAI

AGOSTI

SEPTEMBA

OKTOBA

UFUNGUO

 = KILOGRAM 1000

 1. Ni mwezi gani uliuza nafaka chache zaidi ? ________________________________
 2. Kilogram ngapi ziliuzwa mwezi Agosti..?_______________________________
 3. Tafuta tofauti ya mauzo yanafaka kwa miezi ya Oktoba na Septemba?______________________
 4. Tafuta mzingo wa umbo hili.


 1. Tafuta mzingo wa mraba huu


STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 7  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 7  

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256