JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
UPIMAJI WA KIDATO CHA KWANZA NUSU MUHULA
MACHI -2024
KISWAHILI
SEHEMU A: UFAHAMU
Alama 15
UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini. Upungufu huu wa kinga mwilini husababishwa na aina ya virusi vinavyo shambulia chembechembe hai nyaupe zilizomo ndai ya damu. Chembechembe hizo nyeupe za damu ndizo zinazojenga kinga ya mwili dhidi ya majonjwa. Uharubifu wa chembechembe hizo baadaye hufikia kiwango ambacho huufanya mwili upoteze kinga yake dhidi ya maradhi.
Virusi hivyo vinashambulia chembechembe nyeupe ndani ya damu vimepewa jina la Virusi vya UKIMWI, Kwa kifupi (VVU). Katika mwili wa binadamu virusi hivi huishi katika majimaji ya mwilini.
Virusi vya ukimwi sio UKIMWI, kuna tofauti kubwa kati ya mtu mwenye VVU na mgonjwa wa UKIMWI. Kama ilivyoelezwa VVU ni Virusi ambavyo hushambulia chembechembe hai nyeupe zinazojenga na kulinda mwili, lakini UKIMWI ni ile hali ya mtu kukosa kinga ya mwili kiasi kwamba akipata ugonjwa wowote, unamshambulia sana na haponi kwa haraka.
Baada ya kuambukizwa mtu anaeza kuishi na VVU hata miaka kumi bila kuonyesha dalili yoyote ya ugojwa wa UKIMWI. Hivyo huezi kujua kama mtu ana VVU kwa kumangalia kwa macho tu.
Maswali
SEHEMU B: SARUFI
Alama 30
2. Elezea maana ya maneno yafuatayo
3. Ainisha maneno yaliopigiwa mistari katika tungo zifuatazo.
4. Taja aina nne za sarufi
SEHEMU C: MAWASILIANO NA MATUMIZI YA LUGHA
Alama 30
5. Eleza madhara matano yatakayojitokeza endapo mtimiaji wa lugha hatatumia lugha fasaha
6. Kwa sentensi zifuatazo andika kweli au si kweli
7. Maneno yafuatayo yana maana zaidi ya mbili kwa kila neno. Taja maaana mbili lwa kila neno
8. Eleza faida nne za kutumia lugha fasaha
SEHEMU D: FASIHI KWA UJUMLA
Alama 10
9. Tegua Vitendawili vifuatavyo.
SEHEMU E: UANDISHI WA INSHA / UTUNGAJI
Alama 15
10. Mwandikie barua rafiki yako umwelezee hali halisi ya masomo ilivyo shuleni kwenu.
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 163
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 163
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA
KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
MUDA : SAA 2:00
MAELEKEZO.
SEHEMU A UFAHAMU (Alama 10)
Aaah! Maskini ya Rabiee! Hii ndiyo nchi tuliyomo sisi!. Nchi inayovuja jasho ,nchi masikini, nchi ambayo wanawake huvaa nguo _ _ _ _! Nchi ambayo wanawake huvaa nywele za maiti_ _ _Haya ndiyo maendeleo yetu_ _ _ _.
Haki na usawa katika nchi masikini ni ndoto. Wengi huamua kuwa mabubu mara tu deemokrasia inapopokonywa na watu wachache. Huu ni Unafiki mkubwa.Haki haipo nchini mwetu ila tu tumefumbwa macho, Tumekuwa Vipofu.
Mimi nimeamua kupambana, nitachukua panga_ _ _ nitachukua pinde _ _ _ nitachukua mishale _ _ _ nitapigana kufa na kupona. Nitapigania haki na usawa.Haki! Haki! Usawa Haki! Haki_ _ _ _ maana yake nini.
MASWALI
d) Haki na usawa vitapatikana kwa njia gani? ____________________________________________
e) Andika maana ya maneno yaliyopigiwa mstari.
(a) Inapopokonywa.
(b) Unafiki.
(c) Vipofu.
SEHEMU B (Alama 30)
UTUMIZI WA LUGHA.
(a) Kidahizo. (b) Kitomeo. (c) Kamusi.
(d) Lugha. (e) Sherehe.
Kwa mfano
Usahihi- Kiti kikubwa kimevunjika.
(b) Andika athari tano za kutotumia lugha kwa ufasaha.
(b) Kamusi hugawanyika katika sehemu ngapi? Zitaje.
(c) Taja mambo mawili yanayopatikana katika utangulizi wa kamusi.
SEHEMU C: (Alama 20)
SARUFI
Mfano
- Amina alikuwa anakula chakula kitamu.
Ts T
(b) Ainisha maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi zifuatazo.
(b) Tunga sentensi zenye miundo ifuatayo:- kwa kupigia mstari sentensi hiyo kuonesha aina hizo
za maneno.
Mfano: N + T + E =
Mama anapika jikoni.
N T E
SEHEMU D: (Alama 30)
FASIHI
(b) Nakili kisha ukamilishe kielelezo kifuatacho.
(a)Fasihi ina dhima/kazi mbalimbali katika jamii. Taja tano (5) na uzieleze kwa ufupi.
(a) Taja vipengele vitano (5) vinavyounda Fani katika kazi ya fasihi.
(b) Taja vipengele vitano (5) vinavyounda Maudhui katika kazi ya fasihi.
SEHEMU E: (Alama 10)
UTUNGAJI.
10. Mwandikie barua rafiki yako umweleze kuhusu hali halisi ya masomo ilivyo shuleni kwenu.
zingatia taratibu za uandishi wa barua za kirafiki katika uandishi wako.
1
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 84
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 84
Nambari ya mtahiniwa...............................................
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MITIHANI YA KUJIPIMA KWA KIDATO CHA KWANZA
NUSU MUHULA WA KWANZA
2021-MACHI
MUDA SAA 2
Maelekezo.
SEHEMU A ( Alama 15)
Jibu maswali yote katika sehemu hii.
UFAHAMU
Watu wote walirudi makwao. Shida ilienea katika nchi ya Kufikirika. Watu walikuwa hawakufanya kazi kwa muda wa miaka sita mfululuzo kwa sababu wote walishughulika katika kutafuta tiba ya ugumba wa Mfalme na utasa wa Malkia. Hasara zilizotokea katika muda ule zilikuwa ni kubwa na nyingi; hata zilikuwa hazilingani na hasara zozote nyingine ambazo wato wa Kufikirika waliweza kukumbuka kuwa waliziona zamani katika nchi yao. Mashamba yalitupwa. Mitambo, vinu na viwanda vilikuwa havina watu. Mazizi na maghala yalikuwa tupu kabisa. Nusu ya sarafu na majohari katika hazina ilipotea. Kazi katika mashimo na nyingine zilifungwa. Waandishi walitupa chini kalamu zao na wanazuoni waliacha vitabu vyao wazi.
Nchi ambayo zamani ilikuwa ya shibe, utajiri, nguo, tafriji na neema zote sasa ilikuwa imegeuka nchi ya njaa; umasikini na uhitaji wa kila namna ulikuwa mbele ya watu. Maisha haya mapya yalisumbua watu sana hata yakawa hayavumiliki. Afya ya watu ilitishwa na maradhi. Vifo vilitokea kwa wingi mno. Shida hii ilipaswa kuzuiwa au Wafikirika wote wangalipanguswa katika uso wa ardhi, ilikuwa ni wajibu wa kila mtu kutenda awezavyo kujisaidia mwenyewe, watoto wake nan chi yake. Basi baada ya marejeo kila mtu alijitia katika kazi yake kwa bidii zote.
Isipokuwa watoto, Wafikirika wote walikuwa wana desturi ya kufanya kazi kwa muda mwingi kuliko watu wote katika mataifa mengine ya dunia. Muda wa kufanya kazi katika nchi yao ulikuwa ni saa kumi na mbili. Saa mbili zilitumiwa kwa maburudisho katika michezo saa mbili nyingine zilikuwa ni za mapumziko na saa nane ni za kulala katika kila saa ishirini nan ne au siku moja. Vitanda vilikuwa havina watu juu baada ya muda wa saa nane za kulala isipokuwa wagonjwa na watoto wadogo wadogo tu. Kama si kwa sababu ya faida ya afya hata saa nane za kulala zingalipunguzwa kuwa saa saba au sita tu. Shauri la kupunguza wakati wa kulala lilipelekwa mbele ya madiwani wan chi ya Kufikirika na wasimamizi wa kazi. Lilikubaliwa na halmshauri ndogo lakini halikufaulu katika halmashauri kuu kwa sababu ilidhaniwa kuwa hofu ya hatari juu ya maisha itakuwa kubwa sana. Kwa hivi halikupata idhini ya serikali. Wafikirika walikuwa na umoja madhubuti ambao ulisimama imara mbele ya machafuko yoyot. Shauri moja jema lilikubaliwa na kushangiliwa na wot na baya lilikataliwa na kila mtu.
Wafikirika waliweza kufanya kazi bora na za kuajabisha mno wakati wa mataifa mengine walipokuwa wamo katika usingizi, uvivu, anasa au uzembe. Kutwa walikuwa katika kazi na katika fikira za kujistawisha. Mtu ambay hafanyi kazi kwa muda wa saa kumi na mbili alikuwa na aibu kwa mwenziwe; hasara kwa serikali na kwake mwenyewe. Kumwita mtu mvivu katika Kufikirika ilikuwa si dhihaka ya kusameheka ila hatia kubwa mno kwa sababu nchi hiyo haikuwa na mtu mvitu hata mmoja. Kwa sheria za Kufikirika uvivu ulikuwa una tafsiri ya wizi wa wakati. Mwizi wa wakati alipatilizwa kwa adhabu ngumu sawa na mwizi wa mali au kitu kingine. Kazi kubwa, ngumu na nzito kwa watu wa Kufikirika zilikuwa ni sawa sawa kabisa na mabandia ya mchezo kwa watoto wadogo. Ari ya kila mtu ilikuwa ni kutenda tendo kubwa na lililo bora kuliko mwingine. Hii ni desturi inayodumu hata sasa katika nchi ya Kufikirika
MASWALI;
MAJIBU
i | ii | iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
SEHEMU B (ALAMA 25)
Mfano:
Kosa. Anakaa
Kosa......................................................................

Kosa........................................................................
Kosa.......................................................................
Kosa..........................................................................
Kosa,........................................................................
(b)Taja nchi tano unazozifahamu zinatumia lugha ya Kiswahili;
(c) Ukioanisha Orodha A na orodha B utapata muunganiko ulio sahihi. Andika herufi inayoleta usahihi ikioanishwa Orodha A na Orodha B.
ORODHA A | ORODHA B |
|
|
MAJIBU
Orodha A | i | ii | iii | iv | v |
Orodha B |
(d) Kuna Irabu ngapi katika maneno yafuatayo;
Mfano
Irabu 2
Irabu ...........................................
Irabu............................................
Irabu.............................................
Irabu............................................
Irabu............................................
(e) Panga majina yafuatayo kwa mtiririko unaotakiwa;
Andika kwa mpangilio mzuri
SEHEMU C (ALAMA 15)
SARUFI
(b) Taja aina za vitenzi
(c) Tunga sentensi kwa kutumia
N + T
W +V + T + E
T
SEHEMU D (ALAMA 40)
FASIHI KWA UJUMLA
ORODHA A
ORODHA B
MAJIBU
Orodha A | i | ii | iii | iv | v |
Orodha B |
(b) Taja aina tano za wanyama zinazoweza kutumika katika kazi ya fasihi mara kwa mara zaidi kwenye hadithi.
(c) Katika habari ifuatayo taja methali tano (5) zilizotumika.
Wanadamu huwa kwenye mambo mengi magumu sana lakini wali deni mchuzi karadha na hivyo mafanikio yatakuwepo. Kadhalika Mungu hufufua mfu kitangani kwani bila yeye tusingeweza sisi wanadamu. Mungu ni mtoa hukumu, mauti ni faradhi, ni lazima wote tupite huko. Mkono mtupu haulambwi lakini kwa maneno hayo hayana nafasi katika utukufu wa Mungu. Tunapaswa kupambana na maisha na mwisho tufanikiwe na si kutoa lawama tu kwani mlevi si mnywa tembo hata mla mali hulewa. Tusiende mienendo isiyo mizuri.
(d) Taja nyenzo tano zinazotumika katika uchongoji
(e) Andika habari kuhusu historia ya maisha yako;
....................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................

1 | Page
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 52
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 52