FORM TWO KISWAHILI ANNUAL EXAMS

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MTIHANI WA KUMALIZA MWAKA

KIDATO CHA PILI  

021 KISWAHILI

Time: 2:30 Hours. NOV 2022

Maelekezo

  1. Karatasi hii in sehemu A, B and C zenye jumla ya maswali kumi (10).
  2. Jibu maswali yote.
  3. Sehem A ina alama kumi na tano (15), sehemu B ina alama sabini (70) na sehemu C ina alama kumi na tano (15).
  4. Majibu yote yaandikwe kwenye nafasi ulizopewa.
  5. Majibu yote yaandikwe kwa kalamu yenye wino wa bluu au mweusi.
  6. Vifaa vyote vya mawasiliano visivyoruhusiwa havitakiwi kwenye chumba cha upimaji.
  7. Andika Namba yako ya Mtihani katika kila ukurasa sehemu ya juu upande wa kulia.

KWA MATUMIZI YA MPIMAJI TU

NAMBA YA SWALI

SAHIHI YA MPIMAJI

ALAMA

1

2

3

4

5

6

7

8

9

10

JUMLA

SAHIHI YA MHAKIKI

SEHEMU A (Alama 15)

Jibu maswali yote katika seheme hii.

  1. Chagua jibu sahihi katika maswali yafuatayo:
    1. Ni kiambishi kipi kinachodokeza ukanushi kati ya vifuatavyo:
      1. Wa-
      2. Sh-
      3. -a
      4. Si-
      5. Na-
    2. Neno lipi kati ya haya ni mofu huru?
      1. Uji
      2. Uzuri
      3. Uchache
      4. Ufa
      5. Upweke
    3. Unyumbulishaji katika lugha ya Kiswahili huhusisha uchapikaji wa viambishi.
      1. Kabla ya mzizi wa neno
      2. Katikati ya mzizi wa neno
      3. Baada ya mzizi wa neno
      4. Kabla na baada ya vitenzi
      5. Kabla, katikati na baada ya mzizi
    4. Neno lipi kati ya haya yafuatayo halitokani na utohoaji.
      1. Posta
      2. Kompyuta
      3. Polisi
      4. Boksi
      5. Achali
    5. Utokeji wa misimu katika jamii hutegemea na
      1. Uchaguzi wa viongozi
      2. Mabadiliko ya kijamii
      3. Shughuli itendekayo
      4. Utani uliopo miongoni mwa wanajamii
      5. Kutumika na kudumu kwa muda mrefu
    6. Nyenzo kuu za lugha ya mazungumzo ni
      1. Usimuliaji
      2. Mdomo
      3. Maandishi
      4. Vitendo
      5. Ishara

  1. Utoshelezi wa muwala ni vipengele vya
    1. Mtindo
    2. Matumizi ya lugha
    3. Muundo
    4. Ujumbe
    5. Falsafa

(viii).Neno lipi kati ya haya yafuatayo halihusiani na ushahiri

  1. Mshororo
  2. Kipande
  3. Bahari
  4. Dayalojia
  5. Muwala
  1. Vipi ni ubora wa njia ya kuhifadhi kazi ya fasihi simulizi kwa kichwa?
    1. Ni kongwe
    2. Ina uhai
    3. Ina gharama
    4. Hukutana chini ya mti
    5. Ni rahisi kubadilika
  2. Vipengele vifuatavyo hutumiwa katika uandishi wa barua rasmi na barua pepe isipokuwa
    1. Anuani ya mwandishi na mwandikiwa
    2. Lengo
    3. Mada na kichwa
    4. Saini
    5. Jina la mwandishi
  1. Onesha dhana zilizopo fungu A na mifano iliyopo fungu B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi.

FUNGU A

FUNGU B

  1. Mzizi
  2. Mofu huru
  3. Kiambishi awali
  4. Kiambishi cha kauli
  5. Kiambishi tamati
  1. mtu
  2. sasa
  3. - cham -
  4. - chok -
  5. - an -
  6. - ji.
  7. u -

SEHEMU B (Alama 70)

Jibu maswali yote katika seheme hii.

  1.    Tumia mofimu zifuatazo kuonesha thamani ilizopewa katika paradise Mfano Li- Kuonesha wakati uliopita (Aliondoka)
    1. ta - kuonesha wakati ujao                                             
    2. o - kuonesha mzizi wa neon -                                         
    3. ni - kuonesha kitenzi kishirikishi-                                       
    4. ku- kuonesha urejesho kwa mtendwa-                                    
    5. ki - kuonesha udurushaji -                                            
    6. me - kuonesha hali timilifu -                                           
    7. kwa - kuonesha mahali -                                         
    8. a - kuonesha nafsi -                                                
    9. ka - kuonesha kauli ya kutendeka -                                       
    10. ku - kuonesha wakati uliopita -                                         

  1.    (a) Maneno katika lugha yana dhima mbalimbali, bainisha aina ya vivumishi katika tungo zifuatazo: -
    1. Shamba la bibi limeota nyasi

  1. Gari lililoondoka limepata ajali

  1. Nyumba yetu ni nzuri sana

  1. Kile kiatu ni cha mtoto

  1. Wanafunzi wangapi wanapenda mayai?

  1. Badilisha nomino zifuatazo kuwa vitenzi?
    1. Wimbo                                                      
    2. Umbo                                                       
    3. Kilio                                                         
    4. Mtoro                                                       
    5. Mlo  

         Toa maana mbili kwa kila neno

  1. Mbuni

  1. Mto

  1.                  Ota

  1. Pepo

  1. Shuka

  1.    Sentensi zifuatazo zinabeba maana ya istilahi fulani. Zianishe istilahi hizo kwa kila sentensi. Mfano: Ni kipashio kidogo cha lugha chenye maana kisarufi Mofimu
    1. Ni aya ndogo kwenye kamusi ambayo huhusisha kidahizo na maelezo yake yote

  1. Ni sauti ambazo hutamkwa mara moja na kwa pamoja kama fungu moja la sauti

  1. Ni mtindo wa lugha wa watu Fulani katika kazi maalumu                        
  2. Ni maneno ambayo huonesha hisia za mtenda au mtendwa                       
  3. Kamusi huandikwa kwa lugha moja                                      

  1. Kila mhusika ana kazi yake katika kazi ya fasihi. Taja kazi moja moja ya wahusika wafuatao.
  1. Fanani

  1. Hadhira

  1. Wanyama

  1. Binadamu

  1. Mahali

  1. Katika kazi ya fasihi simulizi viungo vya mwili kama vile macho, mdomo, kichwa, miguu hata mikono husaidia kufanikisha kazi hiyo na kafikisha ujumbe kwa jamii. Taja na eleza kwa kifupi faida tano (5) za kutumia viungo hivyo vya mwili vilivyotajwa hapo juu katika kazi ya fasihi simulizi.

  1.    
  2.    
  3.    
  4.    
  5.    

  1. Kila kitu kina faida na hasara zake. Kwa kila kipengele kifuatacho eleza faida moja na hasara moja.

  1. Utani
    1. Faida:                                                        
    2. Hasara:                                                       
  2. Matambiko
    1. Faida:                                                        
    2. Hasara:                                                       
  3. Miviga
    1. Faida:                                                        
    2. Hasara:                                                       
  4. Michezo ya watoto
    1. Faida:                                                        
    2. Hasara:                                                        

  1. Michezo ya jukwaani
    1. Faida:                                                        
    2. Hasara:                                                       

SEHEMU C (Alama 15)

  1. Kwa hoja nne (4), fafanua hasara ambazo huweza kumkumba mtu yeyote asiyependa kushiriki mazoezi na michezo hasa kwa wanafunzi shuleni.

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

FORM TWO KISWAHILI EXAM SERIES 132  

FORM TWO KISWAHILI EXAM SERIES 132  

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MTIHANI WA KUMALIZA MWAKA

KIDATO CHA PILI  

021 KISWAHILI

Time: 2:30 Hours. Oktoba 2022

FORM TWO KISWAHILI EXAM SERIES 128  

FORM TWO KISWAHILI EXAM SERIES 128  

THE PRESIDENT’S OFFICE

MINISTRY OF EDUCATION, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT

COMPETENCE BASED  SECONDARY EXAMINATION SERIES

ANNUAL  EXAMINATION

FORM TWO

KISWAHILI

021                                                      

MUDA: SAA 2:30                                                       November, 2021

image

Maelekezo

1.Karatasi hii ina sehemu A, B, C, D na E.

2.Jibu maswali yote.

3.Fuata maelekezo ya kila swali.

4.Majibu yaandikwe kwenye nafasi ulizopewa.

5.Majibu yote yaandikwe kwa wino wa bluu au mweusi

6.Simu za mkononi haziruhusiwi katika chumba cha mtihani.

7.Andika Namba yako ya Mtihani upande wa juu kulia wa kila ukurasa wa karatasi yako.

KWA MATUMIZI YA MTAHINI TU

NAMBA YA SWALI

ALAMA

SAINI YA MTAHINI

1

2

3

4

5

6

7

8

9

10

JUMLA

SAINI YA MHAKIKI

SEHEMU A: (Alama 15) UFAHAMU

1. Soma kwa makini shairi lifuatalo, kisha jibu maswali yanayofuata:

Shime basi waungwana, Umoja kutekeleza,

Mabibi hadi Mabwana, harambe nguvu kukoza,

Mpaka wetu vijana, tusije tukalegeza,

Nchi inayopendeza, ni watu kusikilizana.

Watu wakishikamana, hata amani huwepo,

Mambo kukubaliana, ndipo waendeleapo, Viongozi pia kutuna, kazi yao inyookapo, Nchi inayopendeza, ni watu kusikilizana.

Kaditama kwelezana, hapo basi nanyamaza,

La zaidi sina tena, ni hayo niloeleza, Basi shime kuungana, usawa kutekeleza,

Nchi inayopendeza, ni watu kusikilizana.

Maswali:

(i)Pendekeza kichwa cha habari kisichozidi maneno matano.

_____________________________________________________________________

(ii)Shairi hili linahusu nini? 

   ___________________________________________________________________________

(iii)Waungwana ni watu wa aina gani.

  ____________________________________________________________________

(iv)Nini maana ya kaditama?

   ____________________________________________________________________

(v)Kiitikio cha shiri hili ni kipi?

             ____________________________________________________________________

2. Fupisha shairi ulilosoma kwa maneno yasiyozidi arobaini (40).

________________________________________________________________________

________________________________________________________________________

________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________

________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________

________________________________________________________________________

SEHEMU B: (Alama 20)

SARUFI

3.(a) Tumia mzizi wa kitenzi – IMB – Kunyumbulisha maneno katika hali zifuatazo kwa  kupigia mstari kinyumbulishi hicho kinachoonesha kazi (hali) hiyo.

                (i)       Hali ya urejeshi  

_____________________________________________________________________ (ii) Njeo

_____________________________________________________________________

(iii)Hali ya ukanushi nafsi ya tatu umoja

_______________________________________________________________

(iv)Hali ya kutendwa

_______________________________________________________________

(v)Hali ya kutendeka

_______________________________________________________________

   (b)    Ainisha maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi zifuatazo:

(i)Samia anasoma vizuri   ____________________________________________

(ii)Vizuri vinaliwa na matajiri    _______________________________________

(iii)Vyombo vizuri vimenunuliwa  ______________________________________

(iv)Huyu ni mkorofi.  _______________________________________________

(v)Baba na mama wanapendana sana ___________________________________

4.  (a) (i)          Nini maana ya mofimu?

  ___________________________________________________________________________                  ___________________________________________________________________________ _______

(ii)       Ubainishaji wa mofimu huzingatia mambo kadhaa. Taja mambo manne (4) yanayomwezesha mtumiaji wa lugha kubainisha mofimu.

 _______________________________________________________________                         _______________________________________________________________

   _______________________________________________________________

  _______________________________________________________________

                                _______________________________________________________________

(b) Mzee Kimbo alinunua kamusi na kumpatia binti yake aitwaye Fatma. Binti yule alipoifungua ndani ile Kamusi aliona picha na michoro mingi katika sehemu mbalimbali ya ile Kamusi. Akamuuliza baba yake, ‘Kwani hizi picha na michoro ina kazi gani? Mbona kama zinajaza tu nafasi na kuifanya Kamusi iwe kubwa na nzito? Inanipa kazi kuibeba!! Msaidie Mzee Kimbo kujibu swali hilo kwa kutoa hoja tano za kumuelewesha binti yake.

_____________________________________________________________________

_____________________________________________________________________

_____________________________________________________________________

_____________________________________________________________________

_____________________________________________________________________

_____________________________________________________________________

_____________________________________________________________________

_____________________________________________________________________

SEHEMU C: (Alama 20)

MAWASILIANO NA MATUMIZI YA LUGHA

5.(a)      Nini maana ya lugha fasaha?

_________________________________________________________________

_________________________________________________________________

_________________________________________________________________

(b)      Onesha madhara manne (04) yanayoweza kutokea endapo mtumiaji wa lugha  hatatumia lugha fasaha.

__________________________________________________________________

__________________________________________________________________ __________________________________________________________________ __________________________________________________________________

__________________________________________________________________

6.Baini makosa katika sentensi zifuatazo kwa kupigia mstari, kisha ziandike vizuri         kuepuka makosa hayo.

(a)Duka la madawa limefungwa.

____________________________________________________________________

(b)Chai imeingia nzi.

____________________________________________________________________

(c)Sisi wote tulikusanyika uwanjani.

____________________________________________________________________

(d)Nyinyi mnapenda kula matunda?

____________________________________________________________________

(e)Hakuna mtu yoyote aliyechelewa kufika.

____________________________________________________________________

SEHEMU D: (Alama 30)

FASIHI KWA UJUMLA

7.Tungo zifuatazo zinafanana vipera mbalimbali vya tanzu za fasihi simulizi. Baini vipera hivyo katika kila tungo zifuatazo:

(a)Kuku wangu katagia mibani _____________________________________________

(b)Aso hili ana lile  _______________________________________________________

(c)Nitasikiliza nikusikie kukusikia nitasikia kwa kusikia sauti yako 

      ____________________________________________________________________

(d)Mchuma janga hula na wa kwao

___________________________________________________________________________

(e)Papai limevia nyumbani lakini siwezi kulila

____________________________________________________________________

8.Baadhi ya watu hudai kuwa utungaji wa majigambo ni mgumu sana lakini kutunga majigambo si jambo gumu asilani.

Thibitisha kauli hii kwa kuandika kanuni tano (5) za kuzingatia katika uandishi wa majigambo.

(i)____________________________________________________________________

___________________________________________________________________________ _______

(ii)__________________________________________________________________________

___________________________________________________________________________

(iii)__________________________________________________________________________

___________________________________________________________________________ ________

(iv) __________________________________________________________________________

___________________________________________________________________________

(v)____________________________________________________________________________

__________

_____________________________________________________________________________ ____

9.Wewe ni mwanafunzi wa Kidato cha Pili ambaye una rafiki wa Kidato cha kwanza. Rafiki yako amekuomba umfafanulie maana ya maneno yafuatayo ili aweze kuelewa zaidi, kwani darasani hakuelewa vizuri. Msaidie rafiki yako kwa kumfafanulia maneno yafuatayo:

(i)Vichekesho ___________________________________________________________

_______________________________________________________________________________ ________

(ii)Mtindo ______________________________________________________________

_______________________________________________________________________________ ________

(iii)Lakabu_______________________________________________________________ ______________________________________________________________________________

(iv)Soga ________________________________________________________________

_______________________________________________________________________________ ________

(v)Dhamira _____________________________________________________________

_______________________________________________________________________________ ________

SEHEMU E: (Alama 15) UANDISHI/UTUNGAJI

10. Wewe ni mwanafunzi wa kidato cha Pili, ukiwa likizo kijijini kwenu Mafyati kilichopo Wilaya ya Nachingwea S.L.P. 99 Nachingwea, serikali ya kijiji imeandaa sherehe ya makaribisho ya mwenge. Katika sherehe hiyo miongoni mwa wanaotarajiwa kualikwa ni pamoja na Mkuu wa Mkoa. Kwa niaba ya serikali ya kijiji, Andika barua ya kumualika kiongozi huyo katika sherehe hiyo. Anuani ya Mkuu wa Mkoa ni S.L.P. 602, Lindi. Jina lako liwe HALIM SAID au HALIMA SAID.

___________________________________________________________________________ ___________________________________________________________________________ ___________________________________________________________________________

___________________________________________________________________________

FORM TWO KISWAHILI EXAM SERIES 83  

FORM TWO KISWAHILI EXAM SERIES 83  

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256