MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: MFUMO WA JUA

Chagua jibu sahii

  1. Dunia hulizunguka jua kwa muda wa:
  1. Saa 24
  2. Siku 3651/4 au 366
  3. Usiku na mchana
  4. Siku 300
Choose Answer


  1. Dunia hutumia muda wa dakika..............kujizungusha kati ya longitude moja hadi nyingine:
  1. 15
  2. 24
  3. 4
  4. 60
Choose Answer


  1. Mabadiliko ya maji kupwa na kujaa hutokea mara mbili.
  1. Kila siku
  2. Kwa wiki
  3. Kwa mwaka
  4. Baada ya mwezi mmoja
Choose Answer


  1. Sayari yenye viumbe hai ni:
  1. Sumbura
  2. Mihiri
  3. Zuhura
  4. Dunia
Choose Answer


5.Pepo huvuma kutoka pande zipi jua liwapo upande wa kusini mwa dunia?

  1. Kusini
  2. Magharibi
  3. Mashariki
  4. Kaskazini
  5. Kaskazini-mashariki
Choose Answer


6.Jua linaonekana kubwa kuliko nyota zingine kwa sababu ...

  1. lina joto kali kuliko nyota zingine.
  2. lina mwanga mkali kuliko wa nyota zingine.
  3. linatupatia nguvu ya jua.
  4. liko mbali sana na dunia.
  5. liko karibu zaidi na dunia.
Choose Answer


7.Kundi lipi linaonesha sayari?

  1. Zebaki, Mwezi na Zuhura
  2. Dunia, Nyota na Mihiri
  3. Zebaki, Serateni na Zohari
  4. Zuhura, Dunia na Kimondo
  5. Utaridi, Jua na Mwezi
Choose Answer



8.Angahewa lina sehemu kuu ngapi?................

  1. Nne
  2. Nane
  3. Mbili
  4. Tatu
  5. Tano
Choose Answer


9. Ipi sio matokeo ya dunia kulizunguka jua

  1. Majira ya mwaka
  2. Kupwa na kujaa maji
  3. Usiku na mchana
  4. Tofauti ya kimo cha jua la utosini
Choose Answer


10. Gani sio sifa ya sayari Dunia?

  1. Ndio sayari ambayo viumbe hai huishi
  2. Robo tatu imefunikwa na maji
  3. Ina hewa ya oksijeni na kabonidayoksaidi
  4. Inauwezo wa kutoa mwanga wake
Choose Answer


Andikandiyokwa sentensi sahihi auhapanakwa sentensi zisizo sahihi 6-9.

  1. Dunia ina mizunguko miwili...............
  2. View Answer


  3. Dunia inapolizunguka jua tunapata usiku na mchana.............
  4. View Answer


  5. Usiku na mchana huwa na urefu sawa kipindi chote cha mwaka...........
  6. View Answer


  7. Dunia inapolizunguka jua tunapata majira ya mwaka.............
View Answer


  1. Dunia hulizunguka jua
  2. View Answer


  3. Dunia hujizungusha kwenye mhimili wake kwa saa 24.
  4. View Answer


  5. Dunia hulizunguka jua kwa siku 3651/4
  6. View Answer


  7. dunia hulizunguka jua kwa saa 24.
  8. View Answer


  9. Usiku na mchana hutokana na jua kuizunguka dunia.
View Answer


  • Mzunguko wa dunia katika mhimili wake hausababishi usiku na mchana............
  • View Answer


  • Baadhi ya mazao yanayopatikana baharini ni kauri, koa, kombe na simbi...............
  • View Answer


  • Tofauti ya muda kati ya kila nyuzi 15 za longitude ni saa moja.............
  • View Answer


  • Kupwa na kujaa kwa maji husababishwa na nguvu ya mvutano kati ya mwezi na jua.........
  • View Answer


  • Dunia hujizungusha katika mhimili wake kutoka Mashariki kwenda Magharibi............
  • View Answer


    Download Learning
    Hub App

    For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256