OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA
MAARIFA YA JAMII
MUDA:1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEZO
1. Jaza taarifa zako muhimu katika karatasi ya kujibia uliyopewa
2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo ya kila sehemu
3. Zingatia unadhifu wa kazi yako
4. Katika swali la 1-40 andika herufi ya jibu sahihi
5. Kwa swali la 41-45 andika majibu katika nafasi iliyoachwa wazi
Katika swali la 1-40, chagua jibu sahihi kisha andika katika nafasi uliopewa
- Ni ktendo gani kinachangia kuharibu mazingira? (a) kupanda miti (b) kukata miti (c) kufuga mifugo (d) kurudishia miti
- Kipi sio chanzo cha maji? (a) bwawa (a) mto (c) bahari (d) jotoridi
- Lipi sio jiji hapa Tanzania? (a) Dar es salaam (b) Arusha (c) Simiyu (d) Mwanza
- Ni sikukuu gani ya kimataifa inasherehekewa kila tarehe moja mei? (a) nyerere (b) Karume (c) sikukuu ya wafanya kazi (d) Iddi
- Kipi akipatikani shuleni? (a) vitabu (b) walimu (c) wanafunzi (d) bunduki
- Kiongozi Haile Selassie was a leader of ? (a) Kenya (b) Uganda (c) Togo (d) Ethiopia
- Mwalimu Julius Nyerere alichaguliwa kuwa rais wa Tanganyika mwaka? (a) 1964 (b) 1961 (c) 1963 (d) 1999
- Sudan ya Kusini ilipata Uhuru wake mnamo mwaka? (a) 2010 (b) 2011 (c) 2007 (d) 2016
- Kati ya viongozi hawa nani hakuwa mwanzilishi wa umoja wa Afrika? (a) Kwame Nkrumah (b) Ahmed sekou (c) Nelson Mandela (D) Julius Nyerere
- Zifuatazo ni njia za uzalishaji mali isipokuwa? (a) kuabudu (b) biashara (c) uvuvi (d) utalii
- Chanzo kikukuu cha mwanga duniani ni; (a) upepo (b) Jenereta (c) Jua (d) Maji
- Rais wa awamu ya tano wa muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli alifariki mwaka? (a) 2015 (b) 2020 (c) 2000 (d) 2021
- Jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki ilivunjika mwaka? (a) 1967 (b) 1927 (c) 1947 (d) 1977
- Zao la kibiashara linaolimwa Unguja na Pemba ni? ( a) pareto (b) pamba (c) karafuu (d) mihogo
- Nani aliongoza waafrika kupinga uvamizi wa wakoloni kwa mara ya kwanza? (a) Kinjekitile (b) mkwawa (c) abushiri (d) isike
- Mreno wa kwanza kufika Pwani ya Afrika Mashariki alijulikana kwa jina la: (a) William Mackinnon (b) Charles Stokes (c) Vasco da Gama (d) Karl Peters
- Ili kuongeza kipato na kufaidi matunda ya ujasiriamali ni vyema: (a) Kufanya kazi kwa bidii (c) Kupumzika na kusubiri mapato (c) Kuomba msaada wa Mungu (d) Kutafuta watumiaji
- Watu wengi wanashidwa kuendelea kibiashara kwa sababu ya; (a) Kukosa ubunifu (b) Kutofanya kazi kwa bidii (c) Kuiga kazi za wengine (d) Yote hayo yanahusika
- Fursa ya ujasiriamali inayopatikana vijijini pamoja na (a) Ukulima (b) Ufugaji (c) Uchimbaji madini (d) Zote hizo
- Tabia hizi zinaweza kukwamisha biashara yako isipokuwa (a) Kujituma (b) Uvivu (c) Kuwa na visingizio (d) Kupoteza muda
- Faida ya ubunifu ni hizi isipokuwa; (a) Kuvutia wateja (b) Kukabiliana na ushindani (c) Kuiga kazi za wengine (d) Kuongeza faida
- Ipi kati ya fursa hizi za kibiashara haipatikani mijini? (a) Ufugaji (b) Kushona nguo (c) Usafirishaji (d) Kuuza vyakula
- Moja ya malengo ya elimu ya kikoloni ilikuwa: (a) kupambana na ujinga na umaskini (b) kupunguza uzalishaji wa mazao ya biashara (c) kupata watumishi wa ngazi za chini (d) kuongeza ajira kwa vijana (e) kupambana dhidi ya ubaguzi wa rangi
- Wajerumani walitawala Tanganyika baada ya ..... (a) Vita Kuu ya Kwanza. (b) Vita Kuuya Pili. (c) Mkutano wa Berlin. (d) Kuundwa kwa UNO. (e) Kushindwa kwa Wareno.
- Makoloni ya Ujerumani katika Afrika yalikuwa .. (a) Naijeria, Namibia na Togo. (b) Gambia, Togo na Namibia. (c) Kameruni, Togo na Namibia. (d) Namibia, Tanganyika na Naijeria.(e) Kameruni, Tanganyika na Senegal.
- Watangulizi wa kwanza wa ukoloni kuwasili Zanzibar na Tanganyika walikuwa: (a) wafanya biashara (b) Wamisionari (c) Wapelelezi (d) Walowezi (e) Waarabu
- Kabla ya ukoloni majukumu ya kiongozi wa ukoo yalikuwa ni pamoja na: (a) kutatua migogoro (b) kusaini mikataba na wakoloni (c) kuongeza idadi ya mifugo (d) kujenga nyumba (e) kuanzisha vijiji vya ujamaa
- Mazao ya biashara yanayouzwa kwa wingi nchi za nje kutoka Tanzania ni: (a) Mpira, Kahawa na Mkonge. (b) Alizeti, Nyonyo na Ufuta. (c) Pamba, Pareto na Mkonge. (d) Kahawa, Pamba na Korosho. (e) Kahawa, Mkonge na Karafuu
- Ardhi, misitu, mito, bahari na madini kwa ujumla tunaviita (a) bidhaa muhimu (b) Dunia (c) uoto wa asili ( d) maliasili (e) mahitaji muhimu
- Zao kuu la biashara linalolimwa wilaya ya mbinga mkoani Ruvuma ni (a) Korosho (b) Karafuu (c) Chai (d) Kahawa (e) Pamba
- Nini maana ya biashara ya rejareja? (a) Kuuza bidhaa kidogo kidogo (b) Kingiza bidhaa za kutoka nje (c) Kuuza bidha ya aina moja tu. (d) Kuuza bidhaa bila kuwa mwangalifu. (e) Kuuza bidha za vitu vinavyotumika majumbani
- Ujasiriamali umegawanyika katika makundi manne, lipi kati ya haya sio mojawapo? (a) Ujasiriamali wa biashara mdogo mdogo (b) Ujasiriamali wa biashara kubwa (c) Ujasiriamali wa biashara ya kati (d) Ujasiriamali wa chini
- Ipi sio tabia ya mjasiriamali? (a) Kufanya kazi kwa bidii (b) Ubunifu (c) Kujiburudisha baada ya kazi (d) Kutokata tama
- Biashara ya ndani ni ile inayohusisha bidhaa ... (a) zinazotengenezwa nje ya nchi. (b) zinazotengenezwa na kuuzwa ndani ya nchi. (c) zinazozalishwa ndani ya nchi. (d) zinazotengenezwa na kuuzwa nje ya nchi. (e) zinazouzwa nje ya nchi.
- Ranchi ni eno lililotengwa kwa: (a) kilimo cha mazao (b) machinjio ya ngombe (c) ufugaji wa ngombe (d) josho la ngombe (e) kuotesha majani
- Uoto unaopatikana katika eneo la ikweta ni (a) uoto wa savanna (b) vichaka vyenye nyasi ndefu (c) misitu minene (d) misitu minene na nyasi fupi (e) vichaka na nyasi fupi. (d) Uvuvi usio endeleevu waweza kusababisha yafuatayo kasoro:
- vifo vya watu (a) vifo vya samaki (b) uchafuzi wa maji (c) umaskini(d)utajiri
- Vitu viwili vinavyopatikana katika mazingira ya nyumbani ni: (a) vitanda na madawati (b) madarasa na maktaba (c) vitanda na vyombo vya jikoni (d) mlingoti wa bendera na vitanda (e) viwanja vya michezo na madarasa
- Majira ya mwaka hutokea kutokana na ... (a) kupatwa kwa mwezi (b) mwezi kuizunguka dunia (c) dunia kulizunguka jua (d) kupatwa kwa jua (e) kuongezeka kwa joto.
- Jua la utosi katika mwezi Disemba huwa katika . (a) Kizio cha Kusini. (b) Tropiki ya Kansa. (c) Ikweta. (d) Kizio cha Kaskazini. (e) Tropiki ya Kaprikoni.
Tumia ramani ifuatayo kujibu swali la 41-45

- Alama A inawakilisha taifa gani? .................................................
- Alama B Inawakilisha taifa gani? ..................................................
- Kisiwa kinochooneshwa kwa alama C in maarufu kwa ukulima wa zao gani?....
- Ramani hii inawakilisha ukanda wa Afrika unaoitwa.....................
- Ziwa lenye herufi E ni ziwa...............................................................
LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD SIX EXAM SERIES 54
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA DARASA LA SITA
MAARIFA YA JAMII
MUDA:1: 30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEKEZO:
- Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
- Kumbuka kuandika majina yako.
- Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHIHI KUTOKA YALE ULIOPEWA
- Moja ya matatizo yanayovikabili viwanda na biashara Tanzania ni A. uhaba wa wateja wa bidhaa zinazozalishwa b. upungufu wa gharama kubwa ya nishati c. uhaba wa wafanyabiashara d. hali mbaya ya hewa e. uhaba wa wafanyakazi.
- Ardhi, misitu, mito, bahari na madini kwa ujumla tunaviita a. bidhaa muhimu b. Dunia c. uoto wa asili d. maliasili e. mahitaji muhimu
- Gesi asilia hupatikana katika eneo lipi kati ya yafuatayo? A. Kilwa. B. Madaba. C. Songosongo. D. Mchinga. E. Somanga
- Mazao ya biashara yanayouzwa kwa wingi nchi za nje kutoka Tanzania ni: a. Mpira, Kahawa na Mkonge. B. Alizeti, Nyonyo na Ufuta. C. Pamba, Pareto na Mkonge. D. Kahawa, Pamba na Korosho. E. Kahawa, Mkonge na Karafuu.
- Athari kuu za viwanda katika mazingira ni ..... a. kuchafua maji, hewa na harufu mbaya. B. kutoa moshi na matumizi makubwa ya nguvu ya nishati. C. uchafuzi wa hewa, udongo na harufu mbaya. D. kumwaga kemikali na kutoa moshi. E. uchafuzi wa hewa, maji na ardhi.
- Faida ya matumizi mrudio katika utunzaji wa mazingira ni ... a. kupanga kazimradi b. uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. C. kupunguza taka d. kutengeneza taka e. kuuza taka.
- Ni aina gani ya madini yaligunduliwa kwa wingi nchini Tanzania mwaka 2007? A. Dhahabu b. Uraniamu c. Almasi d. Shaba e. Chuma.
- Kipi kati ya vifuatavyo ni chanzo kikuu cha maji? A. Mito b. Maziwa c. Mabwawa d. Visima e. Mvua
- Pepo huvuma kutoka pande zipi jua liwapo upande wa kusini mwa dunia? A. Kusini b. Magharibi c. Mashariki d. Kaskazini e. Kaskazini-mashariki
- Jua linaonekana kubwa kuliko nyota zingine kwa sababu ... a. lina joto kali kuliko nyota zingine. B. lina mwanga mkali kuliko wa nyota zingine. C. linatupatia nguvu ya jua. D liko mbali sana na dunia. E. liko karibu zaidi na dunia.
- Kundi lipi linaonesha sayari? A. Zebaki, Mwezi na Zuhura b. Dunia, Nyota na Mihiri c. Zebaki, Serateni na Zohari d. Zuhura, Dunia na Kimondo e. Utaridi, Jua na Mwezi
- Angahewa lina sehemu kuu ngapi?................ a. Nne b. Nane c. Mbili d. Tatu e. Tano
- Yafuatao ni matumizi ya ramani isipokuwa a. Kuonyesha mahali vitu vilivyo c.Kuongoza meli au aeropleni d. Kuelezea maeneo ya tabianchi e. Kucheza mpira wa miguu
- Ramani inayoonesha idadi ya watu au vitu katika eneo fulani huitwa? A. Ramani dufu b. Ramani takwimu c. Ramani topografia d. Ramani kipimo e. ramani dufu
- Uwiano kati ya umbali uliopo katika ramani na umbali halisi kwenye ardhi huitwa a. Dira b. Kichwa c. Ufunguo d. Kipimio e. ramani
- Taifa la afrika ambalo liliwashinda wakoloni ni: a. Liberia b. Tanzania c. Ethiopia d. Misri e. Nigeria
- Sababu kuu ya wavamizi kuja Afrika ilikuwa; a. Kuwalinda waafrika b. Kuwastarabisha waafrika c. Kutafuta masoko d. Kutafuta malighafi e.kuburudika
- Ni kiongozi yupi afrika Mashariki alishiriki kupinga uvamizi kwa njia ya vita? A. Mkwawa b. Oloiboni c. Mangisina d. Mfalme Menelik e. mutesa II
- Kingozi aliyewaongoza waethiopia kushinda waitaliano alikuwa A. Mkwawa B. Mangisina C. Menelik D. Olkoyoti E. OLOIBON
- Sababu kuu ya kupinga uvamizi wa afrika ilikuwa; A. kulinda biashara zao B. kupinga unyonyaji C. kulinda uhuru D. kupinga kutozwa kodi E. Kupinga mila za kigeni
- Taifa la afrika ambalo liliwashinda wakoloni ni; a. Liberia b. Tanzania c. Ethiopia d. Misri e. afrika ya kusini
- Sababu kuu ya wavamizi kuja Afrika ilikuwa; a. Kuwalinda waafrika b. Kuwastarabisha waafrika c. Kutafuta masoko d. Kutafuta malighafi e. kuwaelimisha
- Michoro ya mapangoni iliyoko Kondoa Irangi inasadikiwa kuchorwa wakati wa zama za; a. mwanzo za mawe b. Kati za mawe c. Mwisho za mawe d. Chuma e. Ugunduzi wa moto
- Mtaalamu wa mambo wa kale aliyevumbua fuvu la binadamu wa kwanza Olduvai aliitwaa. A. Charles Darwin b. Zinjathropus c. Homo Habilis d. David Livingstone e. Louis Leakey
- Mojawapo wa faida ya utunzaji wa kumbukumbu kwa maandishi ni: a. Huduma kwa muda mfupi b. Taarifa hupotoshwa c. Huleta urahisi wa kupata taarifa d. Ni vigumu kutafsiri taarifa e. ni teknolojia ngumu
- Mojawapo ya changamoto za kumbukumbu kwa njia ya maandishi ni a. Huharibika haraka b. Unahitaji masharti magumu c. Uandishi huchukua muda mrefu d. Ni rahisi kufanyia marekebisho
- jotoridi hupimwa na kifaa kinachoitwa a. Stevenson b. Hygrometa c. Kipimajoto d. Kipima mvua e. jotoridi
- unyevunyevu wa anga hupimwa katika; a. Milimita b. Asilimia c. Sentimeta d. Desimali e. mita
- Mgandamizi wa hewa unapimwa kwa kutumia; a. Barometa b. Thamometa c. Hygrometa d. Kipima hewa e. kipima joto
- Lipi sio kundi la mawingu? A. Mawingu mepesi b. Mawingu ya juu c. Mawingu ya kati d. Mawingu ya chini e. mawingu mazito
- Ipi sio sifa ya mavazi ya jamii za kitanzania? A. Mavazi ya kustiri mwili b. Mavazi nadhifu c. Suti d. Mavazi yanaoendana na mazingira e. mavazi chakavu
- Kipi kati ya hizi sio vyakula vya kiafrika? A. Maziwa b. Chapati c. Ugali wa mtama d. Nyama
- Ipi kati ya hizi sio ngoma ya asili? A. Ngona b. Filimbi c. Manyanga d. Gitaa e. zote.
- Mojawapo ya udhaifu wa Umoja wa Mataifa ni: a. kushindwa kuzuia kuenea kwa Utandawazi b. Waafrika hawajawahi kupata nafasi katika uongozi wa juu katika Umoja wa Mataifa c. baadhi ya watu tu ndio wenye kura ya turufu d. kushindwa kupitisha maazimio ya haki za binadamu e. kutokushirikishwa kwa Waafrika katika vikao vya baraza la usalama
- Makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) yapo: a. New York b. San Francisco c. San Diego d. Washington e. Los Angeles
- Moja ya faida ya uhusiano wa kibiashara kati ya Tanganyika na jamii nyingine ilikuwa a. kukua kwa miji ya pwani ya Afrika Mashariki kama Kilwa na Lagos b.kukua kwa dola za Afrika Mashariki kama vile Buganda na Songhai c. kupatikana kwa bidhaa zilizokuwa hazizalishwi nchini d. kuingizwa kwa silaha Tanganyika e. kukomeshwa kwa biashara ya utumwa
- Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Afrika lililoanzishwa Machi 2004 ni a. Dr. Salim Salim b. Dr. Emek Anyauko c. Mh. Getrude Mongela d. William Erek e. Peter Omu
- Kabla ya waingereza kuja Zanzibar ilitawaliwa na; a. chansela b. gavana c. malkia d. sultani e. chifu
- Mabaki ya zinjathropas yalipatikana wapi? A. kondoa irangi b, kalenga c. olduvai gorge d. ismila e. engaruka.
- Soko kuu la watumwa Afrika Mashariki lilipatikana? A. Zanzibar b, Mombasa c. Kilwa d. bagamoyo e. Nairobi.
SEHEMU B: JIBU MASWALI YOTE KWA UFASAHA.
- Taja nchi mbili za kiafrika zilizopata uhuru kwa njia ya vita…………………………………………….
- Chama kilichodai uhuru nchini Uganda kilikuwa ni…………………………………………………………
- Eleza mafanikio mawili ya jumuiya ya afrika mashariki…………………………………………………….
- Kazi ya ngariba ni nini?.........................................................................................................
- Taja vipengele sita vya hali ya hewa………………………………………………………………………………….
LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD SIX EXAM SERIES 40
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA
MAARIFA YA JAMII
MUDA:1: 30
JINA_____________________________________SHULE__________________
- ……..huonesha michoro na utamaduni wa watu wa kale.
- Sehemu zenye masalia ya kale
- Makumbusho ya Taifa
- Akiolojia
- Ofisi za Nyaraka
- ……….ni sehemu katika tanzania lilipovumbuliwa fuvu la binadamu wa kale.
- Isimila (Iringa)
- Kondoa (Dodoma)
- Kaole (Pwani)
- Bonde la Olduvai (Arusha)
- Waliovumbua fuvu la binadamu wa kwanza hapa Tanzania ni………na……….
- Dkt Mary George na Dkt George Lincolin
- Dkt Louis Leakey na Dkt Mary Leakey
- Dkt Gorge Louis na Dkt Mary Leakey
- Dkt Majid Said na Dkt Braghash Said
4. Michoro ya mapangoni iliyoko Kondoa Irangi inasadikiwa kuchorwa wakati wa zama za
- mwanzo za mawe
- Kati za mawe
- Mwisho za mawe
- Chuma
- Ugunduzi wa moto
- Tanzania ina makabila mangapi?
- 100
- 140
- 120
- 110
- Ipi sio utamaduni wa mtanzania?
- Kucheza ngoma za asili
- Vyakula vya asili
- Sherehe za jando
- Wanawake kuvaa suruari na sketi fupi
- Sherehe za mafunzo yanayotolewa kwa vijana wa kiume ili kuwa wanajamii bora huitwa?
- Tohara
- Unyago
- Jando
- Desturi
- Yapi sio mafunzo yatolewayo wakati wa sherehe za Jando?
- Kujitegemea
- Elimu stadi za Maisha
- Kupenda na kuthamini kazi
- Ibada za kanisani
- Ipi sio sifa ya mavazi ya jamii za kitanzania?
- Mavazi ya kustiri mwili
- Mavazi nadhifu
- Suti
- Mavazi yanaoendana na mazingira
- Kipi kati ya hizi sio vyakula vya kiafrika?
- Maziwa
- Chapati
- Ugali wa mtama
- Nyama
- Ipi kati ya hizi sio ngoma ya asili?
- Ngona
- Filimbi
- Manyanga
- Gitaa
- Kitendo cha nchi changa kulazimika kuzingatia matakwa na maslahi ya nchi za kibeberu huitwaje?
- ukoloni mkongwe
- ukoloni mamboleo
- ubepari
- umangimeza
- utandawazi
- Viongozi wafuatao walikuwa waanzilishi wa umoja wa Nchi za Mistari wa mbele katika ukombozi wa Kusini mwa Afrika isipokuwa
- Hayati Julius Nyerere
- Hayati Augustino Neto
- Hayati Samora M. Machel
- Mzee Kenneth Kaunda
- Hayati Laurent D.Kabila
- Lipi kati ya yafuatayo ni miongoni mwa madhara ya ukoloni?
- kuzorota kwa viwanda vya serikali
- kukua kwa utamaduni wa Kiafrika
- kukomeshwa kwa ubaguzi wa rangi
- kuwepo kwa demokrasi
- elimu ilitolewa bure
- Baadhi ya Maitafa yenye haki ya kura ya Veto katika Umoja wa Mataifa ni:
- Ufaransa, Uturuki na Marekani
- Marekani, Uingereza na China
- Marekani, China na India
- Brazili.Ufaransa na Italia
- Urusi, China na India
- Ni tabia gani inachangia kuuwa biashara?
- Kukopa benki
- Usimamizi mzuri
- Kuajiri ndugu
- Kutumia pesa kwa utaratibu uliopangwa
- Ipi sio tabia ya mjasiriamali?
- Kufanya kazi kwa bidii
- Ubunifu
- Kujiburudisha baada ya kazi
- Kutokata tamaa
- Serikali inaweza kusaidia wajasiriamali wanao chipukia kwa;
- Kuwapa mtaji
- Kuboresha mazingira ya kufanya biashara
- Kuwafungulia biashara
- Kuwazawadia wanaofanya vizuri
- Ipi kati ya hizi sentensi ipo sahihi?
- Kuwa mjasiriamali hauwitaji uwezo mkubwa wa kifedha
- Ujasiriamali ni kipaji cha kuzaliwa
- Wajasiriamali ni watu waliofeli mitihani
- Ili ufanye biashara vizuri lazima ufanye masomo ya biashara
- Ipi kati ya hayo sio jambo la muhimu la kufanya kabla ya kuanzisha biashara?
- Wazo la biashara
- Kufanya utafiti
- Kuandaa mpango biashara
- Kutafuta mtaji
- Baadhi ya viombo muhimu vinavyosaidia kuendesha Jumuiya ya Afrika Mashariki ni……….na………..
- Bunge na spika wa bunge
- Bunge na mahakama
- Mahakama na majaji
- Soko la Pamoja na ushuru wa forodha
- Kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuanzisha uhusiano na nchi husaidia nini?
- Kufahamu utajiri wa nchi inayohusika ili kufaidika
- Kubaini usalama wa nchi inayohusika na tahadhari za kuchukua
- Kusaidia wananchi wanaopata shida
- Kutekeleza makubaliano
- Nchi za kwanza kuanzisha uhusiano na Tanganyika wakati wa ukoloni ni……na……
- Kenya na Msumbiji
- Uganda na Rwanda
- China na Msumbiji
- Kenya na Uganda
- Umoja wa Afrika (AU) uliundwa mwaka gani?
- 1964
- 2012
- 2002
- 1963
- Wanachama waanzilishi wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) walikuwa:
- nchi huru za Afrika ya Kati
- nchi huru za Afrika
- nchi huru za Afrika ya Kaskazini
- nchi huru za Afrika ya Magharibi
- nchi huru kusini mwa Afrika.
26. Aina kuu mbili za biashara ni:
- biashara ya mkopo na ya malipo
- biashara ya mkopo na kubadilishana
- biashara ya mtaji na fedha
- Biashara ya hisa na ya mitaji
- biashara ya ndani na ya nje
27. Mikoko ni aina ya uoto upatikanao pembezoni mwa:
- mito
- maziwa
- bahari
- mabwawa
- visima
28. Biashara ya ndani ni ile inayohusisha bidhaa ...
- zinazotengenezwa nje ya nchi.
- zinazotengenezwa na kuuzwa ndani ya nchi.
- zinazozalishwa ndani ya nchi.
- zinazotengenezwa na kuuzwa nje ya nchi.
- zinazouzwa nje ya nchi.
29. Vitu viwili vinavyopatikana katika mazingira ya nyumbani ni:
- vitanda na madawati
- madarasa na maktaba
- vitanda na vyombo vya jikoni
- mlingoti wa bendera na vitanda
- viwanja vya michezo na madarasa
30. Watu wanaoishi kandokando mwa bahari na maziwa hujihusisha na shughuli za:
- kilimo
- uvuvi
- uvunaji magogo
- ufugaji
- usafirishaji
31. Mbuga za wanyama zinazopatikana Tanzania ni:
- Serengeti, Ruaha na Mikumi
- Tarangire, Katavi na Ngorongoro
- Serengeti, Manyara na Ngorongoro
- Selous, Serengeti na Mikumi
- Mkomazi, Selous na Ngorongoro
32. Uvuvi usio endeleevu waweza kusababisha yafuatayo kasoro:
- vifo vya watu
- vifo vya samaki
- uchafuzi wa maji
- umaskini
- utajiri
33. Kipimo kidogo cha ramani hutumika kuchorea
- maeneo madogo
- maeneo makubwa
- maeneo ya kati tu
- maeneo madogo na ya kati
- maeneo madogo na makubwa
34. Kitu muhimu katika ramani kinachotumika kuonesha uwiano wa umbali katika ramani na umbali halisi kwenye ardhi huitwa.
- Skeli
- Dira
- Ufunguo
- Fremu
- Jina la ramani
35. Kipi kati ya vipimo vya ramani vifuatavyo kinawakilisha eneo dogo?................
- 1:50
- 1:500,000
- 1:50,000
- 1:5,000
- 1:500
36. Jua la utosi katika mwezi Disemba huwa katika .
- Kizio cha Kusini.
- Tropiki ya Kansa.
- Ikweta.
- Kizio cha Kaskazini.
- Tropiki ya Kaprikoni.
37. Kundi lipi linaonesha sayari?
- Zebaki, Mwezi na Zuhura
- Dunia, Nyota na Mihiri
- Zebaki, Serateni na Zohari
- Zuhura, Dunia na Kimondo
- Utaridi, Jua na Mwezi
38. Majira ya mwaka hutokea kutokana na ...
- kupatwa kwa mwezi
- mwezi kuizunguka dunia
- dunia kulizunguka jua
- kupatwa kwa jua
- kuongezeka kwa joto.
39. Chanzo kikuu cha mnishati katika fumo wa jua ni:
- Dunia
- Sayari
- jua
- Mwezi
- Nyota
40. Ni sayari zipi kati ya zifuatazo zina miezi?
- Dunia, Kamsi, Mihiri na Zuhura.
- Dunia, Zohari, Zuhura na Kamsi.
- Dunia, Sumbula, Sarateni na Kamsi.
- Sarateni, Zebaki, Dunia na Kamsi.
- Dunia, Sumbula, Sarateni na Zebaki.
41. Mkutano wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika:
- Berlin
- London
- Roma
- Paris
- New York
42. Rais wa kwanza wa nchi ya Msumbiji alikuwa:
- Edwardo do Santos
- Samora Machel
- Edward Mondlane
- Joachim Chissano
- Grace Machel
43. Sababu mojawapo ya kukomeshwa kwa biashara ya utumwa ilikuwa:
- Huruma ya wazungu juu ya mateso ya watumwa
- Waafrika kupigania uhuru wao
- Kupata masoko ya bidhaa za ulaya
- Wazungu kujali juu ya usawa wa watu wote
- Udhaifu wa watumwa kutoka Afrika.
44. Mkataba wa 1890 uliogawanya Afrika Mashiriki kwa Wajerumani na Waingereza.ulijulikana kama:
- Mkataba wa Hamerton
- Mkataba wa Haligoland
- Mkataba wa Moresby
- Mkataba wa Afrika Mashariki
- Mkataba wa Frere
Chunguza picha ifuatayo kisha jibu Maswali

- Taja mlima unaonekana kwenye picha
- Mbele yam lima huu kuna uoto asili, uoto asili ni nini?
- Eleza sifa za tabianchi katika picha inayoonekana hapo juu
- Kwanini ukanda wa juu katika mlima Kilimanjaro hakuna uoto?
- Taja manufaa ya mlima unaonekana katika picha
- Tunaweza kufanya nini kuhakikisha dheluji iliopo kwenye mlima haipotei?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD SIX EXAM SERIES 38
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Mtihanihuu una maswali 45
- Jibu maswali yote kwenyekaratasi uliyopewa
- Hakikisha kaziyako safi
SEHEMU A
Chagua Jibu sahihi.
1. Katibu kata anachaguliwa na:
- Wanachama wa chama tawala
- Mkutano mkuu wa kata
- Wananchi wa kata ile
- Mkutano wa kijiji wa mwaka
- Kamati ya kijiji
2. Kamati ya maendeleo ya kata inaundwa na wafuatao isipokuwa:
- Katibu kata
- Afisa mtendaji wa Kata
- Katibu Kata wa viti maalumu
- Afisa mtendaji wa Mkoa
- Kamanda wa Polisi wa Mkoa
3. Mwakilishi wa Rais katika ngazi ya mkoa ni:
- Katibu tawala wa Mkoa
- Mkurugenzi mtendaji wa manispaa
- Mkuu wa Mkoa
- Afisa mtendaji wa Mkoa
- kamanda wa Polisi wa mkoa
4. Kauli mbiu ya Tanzania iliyopo kwenye nembo ya taifa ni:
- uhuru na maendeleo
- uhuru na kazi
- uhuru na umoja
- uhuru na amani
- umoja na amani
5. Wimbo wa taifa una beti ngapi?
- Tatu
- Mbili
- Nne
- Tano
- Sita
6. Kazi ya kamati ya shule ni:
- Kusimamia maendeleo ya taaluma
- Kutoa ushauri juu ya maambukizi ya UKIMWI
- Kuidhinisha uteuzi wa waalimu
- Kusimamia nidhamu ya waalimu
- Kusimamia ujenzi na maendeleo ya shule.
8. Mkutano wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika:
- Berlin
- London
- Roma
- Paris
- New York
9. Mwanasayansi aliyeelezea kuhusu mabadiliko ya kimaumbile ya mwanadamu alikuwa
- Mary Leakey
- Charles Darwin
- Louis Leakey
- Richard Leakey
- John Speke
10. Sehemu ya muhimu ya ramani inayoelezea kuhusu alama zilizotumiwa katika ramani ni
- ufunguo
- fremu
- dira
- kipimio
- kichwa cha ramani
11. Ni rahisi sana kuthibitisha kuwa dunia ni duara kwakuangalia:
- umbo la tufe
- kupatwa kwa jua
- kupwa na kujaa kwa maji
- jua la utosini
- kupatwa kwa mwezi
12. Nchi ya Afrika iliyokuwa inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1980 ni .....
- Zimbabwe.
- Tanzania.
- Botswana.
- Ghana.
- Ethiopia.
13. Familia inaweza kujikwamua kiuchumi iwapo .
- mama atajishughulisha na kazi za ndani.
- baba ataajiriwa.
- watoto watajishughulisha na masomo.
- wanafamilia watatimiza wajibu wao.
- wanafamilia watasali pamoja.
14. Makoloni ya Ujerumani katika Afrika yalikuwa ..
- Naijeria, Namibia na Togo.
- Gambia, Togo na Namibia.
- Kameruni, Togo na Namibia.
- Namibia, Tanganyika na Naijeria.
- Kameruni, Tanganyika na Senegal.
15. Wajerumani walitawala Tanganyika baada ya .....
- Vita Kuu ya Kwanza.
- Vita Kuuya Pili.
- Mkutano wa Berlin.
- Kuundwa kwa UNO.
- Kushindwa kwa Wareno.
16 Jukumu la kutunza mazingira ni la;
- Waalimu
- Wanakijiji
- Serikali
- Raia wote
17. Ni kitendo kipi kinachangia kuharibu mazingira?
- Kulima
- Kukata miti
- Kupanda maua
- Ufugaji wa nyuki
18. Ni njia ipi ya kisasa ya kutunza kumbukumbu za matukio shuleni?
- Kabati
- Maktaba
- Dawati
- Computa
19. Mgandamizo wa hewa unapimwa kwa kutumia;
- Haigromita
- Anemomita
- Thamomita
- Baromita
20. Ipi ambayo sio dalili za mvua?
- Mawingu mazito
- Upepo mkali
- Ngurumo na radi
- Jua kali
SEHEMU B.
Andika neno kweli au si kweli katika maswali yafuatayo.
21. Mwenyekiti wa baraza na madiwani na kamati ya mipango ni kurugenzi za halmashauri
22. Jukumu la Afisa elimu ni kupambana na magonjwa mfano ikimwi
23. Mkuu wa mkoa huteuliwa na Raisi
24. Mkuu wa Wilaya huapishwa na Mkuu wa Mkoa
25. Matibu tawala wa Wilaya ni mshauri mkuu wa Mkuu wa Wilaya
26. Ofisa tarafa ana jukumu la kusimamia maofisa watendaji wa Kata, Vijiji na Vitongoji.
27. Katibu tawala wa Mkoa ni mratibu shughuli zote za kiutawala kimkoa.
28. Mganga mfawidhi anasimamia manunuzi yote yanayofanywa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
29. Ofisa maliasili Wilaya anasimamia na kubuni miradi ya biashara katika Wilaya yake.
30. Mkuu wa Wilaya humsaidia Mkuu wa Mkoa katika kusimamia halmashauri zake.
SEHEMU C.
Weka alama ya () kwenye taka ngumu na alama ya (x) kwenye taka laini.
Taka | Alama |
31. Vipande vya chuma | |
32. Karatasi | |
33. Nyasi | |
34. Vipande vya chupa | |
35. Mabaki ya ugali | |
36. Barafu | |
37. Wembe | |
38. Pamba zilizotumika | |
39. Kinyesi cha binadamu | |
40. Maji taka | |
SEHEMU. D
JIBU MASWALI YAFUATAYO KWA KIFUPI.
41. Taja shughuli moja kuu ya uzalishaji ilianzisha nchini Tanzania baada ya Uhuru.
42. Taja njia zinazoiwezesha serikali kujipatia fedha kwa matumizi mbalimbali
43. Ili viwanda viweze kuzalisha bidhaa kwa wingi zaidi vinahitaji…….na……………..
44 Taja fursa za kibiashara zinazoweza kuwepo katika sehemu za wafugaji…..
45. Nini maana ya ujasiriamali?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD SIX EXAM SERIES 15
MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA
MTIHANI WA KUJIPIMA
SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHII
1. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huchaguliwa na:
- wananchi
- wabunge
- mawaziri
- madiwani
- Jaji Mkuu
2. Wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni:
- Marekani, Uingereza, Ufaransa, Urusi na China
- Marekani, Uingereza, Ujerumani, Urusi na China
- Marekani, Uingereza, Ufaransa, Urusi na Italia
- Marekani, Uingereza, Urusi, Kanada na Ujerumani
- Marekani, Uingereza, Urusi, Japani na Ujerumani
3. Uchoraji wa wanyama katika mapango ulianza kufanywa na binadamu katika:
- Zama za Chuma
- Zama za Mawe za Kati
- Zama za Mawe za Kale
- Zama za Mawe za Mwisho
- Zama za Mavve za Mwanzo
4. Ni bidhaa za aina gani zililetwa Afrika Mashariki na wafanyabiashara kutoka Indonesia na China karne ya 8?
- Chuma, maganda ya kobe, na dhahabu
- Nguo, shanga na vyombo vya nyumbani
- Baruti, shanga na dhahabu
- Shanga, bunduki na pembe za ndovu
- Baruti, nguo za kitani na ngozi za chui
5. Makabila matatu yaliyoshiriki katika biashara ya masafa marefu kabla ya ukoloni n:
- Wahehe, Wanyamwezi na Waturkana
- Wakaramajong, Wasukuma na Wapokoti
- Wamaasai, Wayao na Wasukuma
- Wayao, Wanyamwezi na Wahehe
- Wayao, Wanyamwezi na Wakamba
6. Kundi lipi la mawakala wa ukoloni lilikuwa la kwanza kuja Tanganyika?
- Wamisionari
- Wafanyabiashara
- Walowezi
- Wapelelezi
- Mabaharia
7.Jaji Mkuu waTanzania huteuliwa na:
- Bunge
- Waziri Mkuu
- Rais
- Makamu wa rais
- Mwanasheria Mkuu
8. Mkutano wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika:
- Berlin
- London
- Roma
- Paris
- New York
9. Mwanasayansi aliyeelezea kuhusu mabadiliko ya kimaumbile ya mwanadamu alikuwa
- Mary Leakey
- Charles Darwin
- Louis Leakey
- Richard Leakey
- John Speke
10. Sehemu ya muhimu ya ramani inayoelezea kuhusu alama zilizotumiwa katika ramani ni
- ufunguo
- fremu
- dira
- kipimio
- kichwa cha ramani
11. Ni rahisi sana kuthibitisha kuwa dunia ni duara kwakuangalia:
- umbo la tufe
- kupatwa kwa jua
- kupwa na kujaa kwa maji
- jua la utosini
- kupatwa kwa mwezi
12. Nchi ya Afrika iliyokuwa inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1980 ni .....
- Zimbabwe.
- Tanzania.
- Botswana.
- Ghana.
- Ethiopia.
13. Familia inaweza kujikwamua kiuchumi iwapo .
- mama atajishughulisha na kazi za ndani.
- baba ataajiriwa.
- watoto watajishughulisha na masomo.
- wanafamilia watatimiza wajibu wao.
- wanafamilia watasali pamoja.
14. Makoloni ya Ujerumani katika Afrika yalikuwa ..
- Naijeria, Namibia na Togo.
- Gambia, Togo na Namibia.
- Kameruni, Togo na Namibia.
- Namibia, Tanganyika na Naijeria.
- Kameruni, Tanganyika na Senegal.
15. Wajerumani walitawala Tanganyika baada ya .....
- Vita Kuu ya Kwanza.
- Vita Kuuya Pili.
- Mkutano wa Berlin.
- Kuundwa kwa UNO.
- Kushindwa kwa Wareno.
16. Bidhaa zilizoletwa Tanganyika kutoka Bara la Asia kuanzia karne ya nane zilikuwa ni pamoja na ....
- pembe za ndovu na dhahabu.
- Ngozi na bunduki
- Chumvi na shaba
- Nguo na ngano
- Nguo na watumwa
17. Biashara ya ndani ni ile inayohusisha bidhaa ...
- zinazotengenezwa nje ya nchi.
- zinazotengenezwa na kuuzwa ndani ya nchi.
- zinazozalishwa ndani ya nchi.
- zinazotengenezwa na kuuzwa nje ya nchi.
- zinazouzwa nje ya nchi
18. Jua la utosi katika mwezi Disemba huwa katika .
- Kizio cha Kusini.
- Tropiki ya Kansa.
- Ikweta.
- Kizio cha Kaskazini.
- Tropiki ya Kaprikoni.
19. Athari kuu za viwanda katika mazingira ni .....
- kuchafua maji, hewa na harufu mbaya.
- kutoa moshi na matumizi makubwa ya nguvu ya nishati.
- uchafuzi wa hewa, udongo na harufu mbaya.
- kumwaga kemikali na kutoa moshi.
- uchafuzi wa hewa, maji na ardhi.
20. Mambo muhimu katika ramani ni
- uoto, dira kipimio, mistari na jina la ramani.
- rangi, jina la ramani, kipimio, ufunguo na fremu.
- mistari, jina la ramani, dira, fremu na kipimio.
- jina la ramani, ufunguo, fremu, kipimio na dira.
- jina la ramani, ufunguo, kipimio, dira na mistari.
SEHEMU B.
Andika NDIYO kama sentensi ni sahii na HAPANA kama sentensi sii sahii.
- Mkutano wa Berlin Uliitishwa na Kansela wa kwanza wa ujerumani Otto von Bismark……………………………
- Kodi iliyotozwa na wajerumani Africa mashiriki ilikua kodi ya wanaume…..
- Patrice Lumumba alipigana na wavamizi katika cnhi ya Kongo…………
- Uvamizi mpya kutoka nchi za kigeni hutumia vita kuvamia bara la Africa……
- Misaada ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kutoka ulaya ni njia pekee za kujikomboa
- Mikataba mizuri ya biashara ni njia ya kuwasaidia waafrica kupambana na uvamizi… …..
- Nchi za Burundi, Rwanda na tanganyika zilipata uhuru mwaka 1962… ….
- Mashujaa wa Africa hufanya kazi ya kuwaelekeza wavamizi sehemu zenye rasilimali…… ……
- Wavamizi wanapokuja Africa, huwafundisha waafrica kutengeneza bidhaa mbalimbali……………
- Mzunguko wa dunia katika mhimili wake hausababishi usiku na mchana……….
SEHEMU C. Jaza nafasi zilizoachwa wazi.
- Aina mbili za mazao yanayolimwa na wawekezaji ni…… ……..na…… …..
- Bidhaa mbili zitokanazo na ususi ni… …….na……… ……….
- Shughuli moja kuu ya uzalishaji mali iliyoanzishwa nchini Tanzania baada ya uhuru ni… ……….
- Mashirika ya umma yana mashamba makubwa ya kufugia mifugo yanaitwa… ……… ..
- Taja mikoa miwili yenye ranchi za kitaifa.
- Faida moja ya utalii hapa nchini ni…… ……..
- Ramani hutambulishwa na…… …
- Sura ya nchi uonyeshwa katika ramani ya aina ya…… …
- Reli ya tanga hadi moshi ilianza kujengwa mwaka gani?
- Kiongozi mkuu wa mkutano wa Berlin aliitwa nani?........ ......
SEHEMU D.
Oanisha sentensi katika sehemu A na sentensi kutoka sehemu B ili kupata maana sahihi.
Sehemu A | Sehemu B |
- Mbuga za wanyama…
- Shughuli za uzalishaji mali…
- Wawekezaji…… …..
- Watalii kutoka nchi za nje…………
- Ranchi za taifa…… …….
- Sierra leone na Tanganyika zilipata uhuru mwaka ………
- Nchi ya Tanzania ni mfano bora katika…… ……
- Njia ya kupinga uvamizi afrika
- Mashujaa waliopinga uvamizi afrika …… ….
| - Feedha za kigeni
- Kwenga shuleni
- Hutoka ulaya marekani na sehemu nyingi duniani
- Serenget ,mikumi na katavi
- Watu wenge mitaji mikubwa
- Kilimo ,ufugaji ,uvuvi na shughuli za viwandaji
- Mashamba makubwa ya ufugia mifugo
- Nkrumah Lumumba Kenyata ,ngerere na Mandela
- Uvamizi mpya
- 1964
- Kupinga rushwa na ufisadi
- Kuondoa utegemezi kuimarisha mikataba kusitisha misaada na mikopa
- Somalia ,sudan na DRC Kongo
- 1961
|
LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD SIX EXAM SERIES 4