?>
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA NUSU MUHULA WA KWANZA 2024
SOMO: HISABATI DARASA: VI
2 (i) Umepewa namba 2, 4, 9, 6, na 0. Andika namba ndogo kutokana na tarakimu ulizopewa.
(ii) Nino wastani wa namba tasa zilizipo kati ya 6 na 24?
(iii) Shule ina jumla ya wanafunzi 720, ikiwa 12.5% ya wanafunzi wote ni wasichana. Tafuta idadi ya wavulana.
(iv) Fikiri namba, kisha toa tisa katika namba hiyo. Jibu lake ni sawa na robo ya namba hiyo. Je namba hiyo ni ipi?
(v) Umri wa mtoto ni 0.25 ya umri wa baba. Ikiwa umri wa baba ni miaka 40. Tafuta umri wa mtoto.
(vi) Mwalimu aliwapatia wasichana vitabu CMXCVIII na wavulana vitabu MCCVIII, kwa pamoja walipata vitabu vingapi?
3 (i) Kilogramu 25010 za mchele ziligawiwa kwa wazee 305 kwa idadi sawa. Je kila mzee alipata kilogramu ngapi?
(ii) Shamba la Musa lina jumla ya idadi ya miti 2847693 andika thamani ya nafasi ya tarakimu iliopigiwa mstari
(iii) Andika namba 6280050 kwa maneno.
4 (i) Namba ya siri ya kufungua tarakilishi ya Mwalimu ni 24162. Tumia tarakimu hizi kiinda namba ndogo zaidi.
(ii) Panga namba zifuatazo ili ziwe katika mpangilio sahihi kuanzia kubwa hadi ndogo. 7/10, 0.5, 60%, 0.01, 1/4,
(iii) Namba ya kiarabu inayotokana na namba ya kirumi CMXCIX ni ipi?
5 (i) Andika namba inayokosekana katika mfululizo huu. 1, 5, 10, ........., 23
(ii) Bei ya gauni ni Sh 80,000. Jane alipewa punguzo la 25%. Je atalipia kiasi gani cha fedha kwa gauni?
(iii) Neema alikula 2/7 ya muwa na dada yake Queen alikula 1/9 ya muwa. Tafuta sehemu ya Muwa iliyobaki.
6 (i) Tafuta KKS cha 6, 10, na 15.
(ii) Kadiria namba hii katika mamia yaliyo karibu 8769806
(iii) Kama 1/3 : 8 = 24: K. Tafuta thamani ya K.
7 SEHEMU C: TAKWIMU NA MAUMBO
8 (i) Umri wa Paulo ni miaka 11, umri wa Juma ni miaka 9, na umri wa Aisha ni miaka 7. Tafuta wastani wa umri wao.
(ii) Saumu alinunua trai tatu za mayai kwa shs.400 kila moja. Wakati akirudi nyumbani, 1/3 ya mayai katika trai moja yalipasuka. Aliuza mayai yaliyobaki kwa shilingi 400 kila moja. Tafuta faida au hasara aliyopata.
(iii). Shamba la maua lenye umbo la duara lina radius ya meta 28. Tafuta mzingo wa shamba hili.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 108
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MITIHANI YA MAZOEZI DARASA LA SITA
HISABATI
ANNUAL FOR 2022
JIBU MASWALI YOTE
Gauni jozi 2 @ shilingi 3,600/=;
Kanga doti 4@ shilingi 2,400/=;
Viatu jozi 2 @ shilingi 5,200/=;
Kofia ya shilingi 1,250 na miwani ya shilingi 5,250. Je alihitaji shilingi ngapi Zaidi ili aweze kulipia vitu hivyo?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 63
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA DARASA LA SITA
HISABATI
MUDA:1 :30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEZO
1. Jaza taarifa zako muhimu katika karatasi ya kujibia uliyopewa
2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo ya kila sehemu
3. Zingatia unadhifu wa kazi yako
4. Katika swali la 1-40 andika herufi ya jibu sahihi
5. Kwa swali la 41-45 andika majibu katika nafasi iliyoachwa wazi
Chagua jibu sahihi kutoka yale uliopewa
(a) sm2 154 (b) sm2 42(c) sm2 32 (d) sm2196
(a) 3 (b) 8 (c) 11 (d) 12
(a) sm2 144 (b) sm2 124 (c) sm2 120 (d) sm2 64
(a) sm3 192 (b) sm3 224 (c) sm3 128 (d) sm3 256 (e) sm3 64.
(a) 10 0 (b) 15 0 (c) 20 0 (c) 30 0
(a) 10° (b) 20° (c) 22° (d) 24°
(a) sm3 660 (b) sm31,320 (c) sm3 3,520 (b) sin 4,620
(a) mstatili (b) mraba (c) pembe tatu (d)duara
(a) 230 (b) 330 (c) 450 (d) 460
Katika swali la 41-45 tafuta jibu sahihi
Je alibakiwa na kiasi gani baada ya kununua vitu vyote hivyo?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 55
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA
HISABATI
NO | SWALI | KAZI | JIBU |
| Jumulisha, 5698+ 1968 |
|
|
| Toa, 9875 kwa 12432 |
|
|
| Zidisha, 158 x 27 |
|
|
| Ikiwa machungwa 4832 yatagawanywa kwa watoto 24, kila mmoja atapata mangapi? |
|
|
| 35/6 + 21/2 |
|
|
| 81/3 – 21/2 |
|
|
| 3/5 x 33/10 |
|
|
| 33/5x10/27 |
|
|
| 102.14 + 11.76 = |
|
|
| 8.78 -12.5 = |
|
|
| 5.84 x 2.4 |
|
|
| badilisha 0.8 kuwa sehemu |
|
|
| Badilisha 4/25 kuwa asilimia |
|
|
| Andika 14/5 katika desimali |
|
|
| Tafuta K.D.S ya 36, 48, 60 |
|
|
| Tafuta K.K.S cha 24, 32, 48 |
|
|
| Rahisisha, +8+-3 kwa kutumia mstari nambari |
|
|
| Tafuta eneo |
|
|
| Tafuta y, 2y-7=5y-16 |
|
|
| Tafuta jumla ya namba tasa kati ya 81 na 98 |
|
|
| Andika 356 kwa kirumi |
|
|
| Tafuta jumla ya namba shufi kati ya 11 na 19 |
|
|
| Andika namba inayofuata 3,9,15,21,...... |
|
|
| Rahisisha, 6(2+a)+4(3+5a) |
|
|
| Jumlisha saa dakika sekunde 4 37 41 3 59 18 |
|
|
| 64x2y÷8x3y |
|
|
| +52+-21= |
|
|
| 10x + 28 = 48, tafuta dhamani ya x |
|
|
| Andika kwa maneno, 85,537 |
|
|
| 2y-7=5y-16 |
|
|
| 21/2p +3 =2 |
|
|
| Rahisisha, 3x-4 =11 |
|
|
| Tafuta mzingo wa umbo hili |
|
|
| Tafuta dhamana ya b |
|
|
| Tafuta mzingo wa umbo hili |
|
|
| Tafuta mzingo |
|
|
| Tafuta eneo |
|
|
| Tafuta eneo la mraba |
|
|
| Andika saa tano na dakika arobaini asubuhi katika mfumo wa saa ishirini na nne |
|
|
| Tafuta eneo la umbo lifuatalo |
|
|
| Tafuta eneo |
|
|
| Tafuta eneo, pai ni 22/7 |
|
|
| Tafuta kipeuo cha 25 |
|
|
| Tafuta eneo la umbo hili |
|
|
| Juma alinunua vitu vifuatavyo; Vifutio 72 @15/= Mita 3 za kitambaa kwa @600/= Pea sita za soksi kwa @175/= Suruari moja @3750/= Kama alikuwa na shilingi 8000/= je alibaki na kiasi gani? |
|
|
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 35