OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MITIHANI YA MAZOEZI DARASA LA SITA
HISABATI
ANNUAL FOR 2022
JIBU MASWALI YOTE

- 78444
- 78334
- 77744
- 77734
- 78344
- 64.84
- 65.84
- 64.74
- 65.74
- 64.86
- 10200
25 =
- 3.021
- 3.031
- 2.921
- 2.021
- 2.931
- 25204
- 25494
- 25294
- 25194
- 26194
- 0.632
- 0.622
- 0.722
- 0.732
- 0.0732
- 13.78
53
- 0.216
- 0.206
- 0.026
- 0.0026
- 0.26
- Badili 62.5% kuwa sehemu rahisi.
- Badili 0.035 kuwa asilimia.
- 35%
- 0.35%
- 0.035%
- 0.0035%
- 3.5%
- Badili 0.0125 kuwa asilimia rahisi.
- Andika namba ya kirumi MMDXC katika namba ya kawaida.
- Namba tasa zilizopo kati ya 30 na 40 ni:
- 35, 37
- 31, 39
- 31, 37
- 33, 37
- 33, 39
- Kigawe kidogo cha Shirika (KDS) cha 12, 18 na 36 kikigawanywa kwa kigawo Kikubwa cha shirika (KKS) cha namba hizo, jawabu ni
- Andika saa 1815 katika mtindo wa saa 12.
- 12.15 jioni
- 8.15 usiku
- 6.15 alasiri
- 12.15 asubuhi
- 6.15 usiku
- Kilogram (kg) 41 gramu (gm) 360 zikigawanywa kwa 8 jibu lake ni
- Kg 5 gm 100
- Kg 5 gm 170
- Kg 5 gm 17
- Kg 51 gm 70
- Kg 5 gm 171
- Thamani ya Y katika mlinganyo ufuatao

- -3

- 3
- -5

- Rahisisha: m + n – m + m – n
- Tafuta kipeuo cha pili cha 2601
- Tafuta thamani ya m katika umbo lifuatalo:

- Thamani ya t katika umbo lifuatalo ni:

- Ikiwa mzigo wa mstatili ufuatao as m 120, tafuta thamani ya Q

- Sm 38
- Sm 44
- Sm 76
- Sm 98
- Sm 27
- Tafuta eneo la umbo lifuatalo

- Sm2 120
- Sm2 486
- Sm2 1620
- Sm2 810
- Sm2 972
- Tafuta eneo lililotiwa kivuli ndani ya mraba ufuatao wenye urefu was m 14

- Sm2 196
- Sm2 154
- Sm2 49
- Sm2 42
- Sm2 39
- Tafuta eneo la nyuso za umbo lifuatalo ambalo limefungwa pande zote.


- Sm2 77
- Sm2 440
- Sm2 517
- Sm2 880
- Sm2 479
- Tafuta ukubwa wa mche mstatili ufuatao

- m3 50400
- m3 504
- m3 5.04
- m3 0.0504
- m3 50.4
- Shule ya msingi Itera iliuza jumla ya magunia 720 ya machungwa, mtama, mahindi na mchele. Kwa kutumia grafu ifuatayo tafuta idadi ya magunia ya mtama yaliyouzwa.

- Thamani ya x katika umbo lifuatalo ni:

- Tafuta mzigo wa duara lifuatalo: (Tumia
)

- Sm 616
- Sm 176
- Sm 88
- Sm 44
- Sm 28
- Majira ya nukta E na F katika mchoro ufuatao ni
- E(-5, 1); F(2, -3)
- E(-5, -1); F(-2, -3)
- E(1, 5); F(-2, -3)
- E(1, -5); F(-3, 2)
- E(0, -5); F(-3, -2)
- Tafuta nusu kipenyo cha mcheduara ufuatao iwapo ujazo wake ni lita 15.4

- Sm 14
- Sm 7
- Sm 10
- Sm 7.5
- Sm 24.5
- Tafuta thamani ya x katika umbo lifuatalo

- Sm 2.56
- Sm 1.44
- Sm 2.0
- Sm 4.0
- Sm 1.92
- Wanafunzi 72 walihudhuria darasani na asilimia 20 hawakuhudhuria. Je darasa hilo lilikuwa na wanafunzi wangapi?
- Jonael aliendesha gari lake kutoka kijiji cha Mazoela kuelekea mashariki umbali wa km 40 na kisha kuelekea kusini kijiji cha Matabo umbali wa km 30. Tafuta umbali mfupi kutoka Mazoela hadi Matabo.
- Km 10
- Km 50
- Km 60
- Km 70
- Km 25
- Mapato ya Musa kwa mwezi ni shilingi 164,000. Iwapo hutumia
ya mapato kwa chakula,
ya mapato kwa mavazi,
kwa ada ya watoto na sehemu iliyobaki ni matumizi mengineyo. Je kwa kutumia grafu kwa duara ni nyuzi ngapi hutumika kwa matumizi mengineyo? - Mfanyabiashara alinunua ng’ombe kwa bei ya shilingi 120,000 na akamwuza kwa shilingi 84,000. Kokotoa asilimia ya hasara katika biashara hiyo.
- Jeni, Janeti na Juvita walipata fedha. Jeni alipata ¼ ya Janeti na Janeti alipata mara mbili ya Juvita. Je Juvita alipata kiasi gani cha fedha iwapo fedha yote ilikuwa shilingi kumi na nne elf utu?
- Furaha alipeleka simu ya kuandika yenye maneno 23. Alilipa shilingi 450 kwa maneno 10 ya mwanzo na kila neno lililoongezeka alilipa shilingi 3.70. tafuta gharama aliyotumia.
- Mzee kalilo alikwenda dukani akiwa na shilingi 25,500/= kwa lengo la kununua viatu vifuatavyo
Gauni jozi 2 @ shilingi 3,600/=;
Kanga doti 4@ shilingi 2,400/=;
Viatu jozi 2 @ shilingi 5,200/=;
Kofia ya shilingi 1,250 na miwani ya shilingi 5,250. Je alihitaji shilingi ngapi Zaidi ili aweze kulipia vitu hivyo?
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA DARASA LA SITA
HISABATI
MUDA:1 :30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEZO
1. Jaza taarifa zako muhimu katika karatasi ya kujibia uliyopewa
2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo ya kila sehemu
3. Zingatia unadhifu wa kazi yako
4. Katika swali la 1-40 andika herufi ya jibu sahihi
5. Kwa swali la 41-45 andika majibu katika nafasi iliyoachwa wazi
Chagua jibu sahihi kutoka yale uliopewa
- Ipi kati ya namba zifuatazo ni million nane mia tano themanini na saba mia tisa themanini na sita?(a) 8587986 (b) 80587986 (c) 85086989 (d) 8587989
- 902 653 +81152 = (a)893805 (b) 983805 (c) 890538 (d)993805
- 6500000 + 3267031 = (a) 9867030 (b) 9786528 (c) 9767031 (d) 9768031
- Bohari la elimu lina madaftari 5,256,423 na inatarajia kupokea madaftari mengine 2,491708. Je, bohari jumla litakuwa na madaftari mangapi? (a) 8748321 (b) 7748231 (c) 7848231 (d) 7749231
- Jumla ya gombe na mbuzi katika wilaya ni 2,139 500. Ikiwa ng’ombe ni 1,104,563, je wilaya hiyo ina mbuzi wangapi? (a) 2,034937 (b) 3244063 (c) 1033937 (d) 1034937
- 287 x 35 = (a) 9945 (b) 10,045 (c) 10,015 (d) 9045
- Ikiwa shule ya mramba inatumia lita 63,540 za maji kila mwezi. Je kwa mwaka mmoja shule itatumia lita ngapi? (a) 867865 (b) 675875 (c) 762480 (d) 897645
- 0.427 ÷0.07 = (a)6.1 (b) 61 (c) 0.61(d) 610
- Kigawo kikubwa cha shirika (K.K.S) Cha 8, 18 na 24 ni: (a) 2 (b) 3 (c) 4(d) 6
- Badili namba ya kirumi MCLXVI kuwa katika numerali za kiarabu (a) 1079 (B) 1576 (C) 1176 (d) 1276
- 255+ 59 + 3,772 = (a) 4,086 (b) 3,956 (c) 3, 946 (d) 4057
- 80,709- 5,987 = 75,822 (b) 74,722 (c) 74,812 (d) 75,922
- 7,590 ÷15 = (a) 616 (b) 56 (c) 516 (d) 506
- Tafuta zao la namba tasa zilizopo kati ya 1 na 10 (a) 384 (b) 210 (c) 945 (d) 1,890
- Rahisisha 3(m-n) + 5n – 7m (a) 4m -2n (b) -4m+2n (c) 2n-4m (d) 3m-3n
- Tafuta kigawo kikubwa cha shirika(K.K.S) 12, 24 na 36. (a) 6 (b) 12 (c) 24 ( d) 36
- Tafuta kigawo kidogo cha shirika (K.D.S) Cha 6, 9, na 12 (a) 3 (b) 36 (c) 12 (d) 72
- Kokotoa thamana ya; 12-(-24)+(-9) x4= (a) 0 (b) -48 (c) 72 (d) 108
- 33/5 + 12/3 = (a) 46/15 (b) 45/8 (c) 53/15 (d) 5 4/15
- Badili namba ya kirumi CMXCIX kuwa namba ya kawaida (a) 9,999 (b) 99 (c) 999 (d) 99,999
- Badili 17/20 kuwa asilimia (a) 65 (b) 95 (c) 85 (d) 75
- Badili 32% kuwa decimali (a) 3.2 (b) 32 (c) 0.32 (d) 0.032
- 0.456 + 270.975 = (a) 272.432 (b) 271.431 (c) 261.432 (d) 272.321
- 27.321 x 33 = (a) 90.15 (b) 901.593 (c) 901593 (d) 9015.93
- Ipi kati ya namba 43, 47,51, 53 na 59 sio namba tasa (a) 47 (b) 51 (c) 53 (d) 43
- Badili 21/2% kuwa desimali (a) 2.5 (b) 0.25 (c) 0.125 (d) 0.025
- Tafuta eneo la mstatili lifuatalo;

- Sm2 2(b) sm2 8 (c) sm2 36 (d) sm2 80
- Tafuta eneo lililotiwa kivuli iwapo duara lililochorwa ndani ya mraba lina usukipenyo cha sm 7. Tumia pai= 22/7

(a) sm2 154 (b) sm2 42(c) sm2 32 (d) sm2196
- Eneo la pembetatu fuatayo ni sm2 66. Tafuta thamani ya x.

(a) 3 (b) 8 (c) 11 (d) 12
- Tafuta eneo la umbo lifuatalo

(a) sm2 144 (b) sm2 124 (c) sm2 120 (d) sm2 64
- Tafuta ukubwa wa umbo lifuatalo

(a) sm3 192 (b) sm3 224 (c) sm3 128 (d) sm3 256 (e) sm3 64.
- Tafuta thamani ya x katika umbo lifuatalo:
(a) 10 0 (b) 15 0 (c) 20 0 (c) 30 0
- Tafuta thamani ya pembe x katika umbe lifuatalo:
(a) 10° (b) 20° (c) 22° (d) 24°
- Tafuta ujazo wa umbo lifuatalo (Tumia pai= 22/7)

(a) sm3 660 (b) sm31,320 (c) sm3 3,520 (b) sin 4,620
- Je, jina la umbo lifuatalo ni

(a) mstatili (b) mraba (c) pembe tatu (d)duara
- Shule ya Msingi Majengo Ina wanafunzi 690. Iwapo 2/3 ya wanafunzi walifaulu vyema katika Jaribio la Hisabati, ni wanafunzi wangapi ambao hawakufaulu?
(a) 230 (b) 330 (c) 450 (d) 460
- Mashine ya kutoa nakala inatoa nakala 20 za karatasi kwa sekunde 40. Je, itatoa nakala ngapi kwa saa? (a) 60 (b) 90 (c) 800 (d) 1,800
- Wanafunzi 72 walihudhuria darasa na asilimia 20 hawakuhudhuria. Je darasa hilo lina wanafunzi wangapi? (a) 72 (b) 80 (c) 85 (d) 90
- Bei ya pikipiki iliongezwa kutoka shs.3,000,000 hadi 4,500,000. Je ongezeko hilo ni asilimia ngapi? (a) 33.3% (b) 30% (c) 25% (d) 50%
- Andika saa 1815 katika mtindo wa saa 12 (a) 12.15 jioni (b) 8.15 usiku (c) 6.15 alasiri (d) 12.15 asubuhi.
Katika swali la 41-45 tafuta jibu sahihi
- Tafuta kizio ikiwa faida inayopatikana kwa mwaka mmoja ni sh 3,000 na kiasi cha riba kwa mwaka ni 5%
- Juma alikwenda na shs 7,000 akanunua vitu vifuatavyo;
- Nyama kg 21/2 @shs.800
- Viazi kg 5 @shs.600/=
- Pilipili hoho kg ½ @shs.480
- Ndizi 20 @shs50/-
Je alibakiwa na kiasi gani baada ya kununua vitu vyote hivyo?
- Uwiano wa Y na Z ni sawa na uwiano wa 17 na 19. Tafuta thamani ya Y iwapo Z =133
- Basi lilianza safari ya kwenda iringa saa 1630 na kufika kesho yake saa 0630. Je basi hilo lilitumia muda gani kwa safari nzima?
- Ujazo wa kopo ni lita 3.85. Tafuta nusu kipenyo chake iwapo kimo ni sm100?