?> SAYANSI STANDARD FIVE EXAMS SERIES
SAYANSI STANDARD FIVE EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA KWA SHULE ZA MSINGI

NUSU MUHULA WA PILI-AGOSTI-2023

SOMO: SAYANSI NA TEKNOLOJIA, DRS V

 


MAELEKEZO:

  1. Mtihani una sehemu A, B na C
  2. Jibu maswali yote.

 

   SEHEMU A: Chagua jibu sahihi

  1. Malaria huenezwa na mbu aina ya_________      A)  aides      B) kulex C)anofelensi   D)mbung’o
  2. Mdudu anaye sababisha uharibifu mkubwa katika mimea anapokuwa katika hatua ya_________ mabadiliko katika ukuaji wake.              A) yai              B) buu                C) lava                   D) mdudu kamili                            [              ]
  3. Jua hutoa mwanga wa asili. Kingine chenye mwanga wa asili ni _____ A) mwezi       B) zohari    C) nyota D) sayari                            [              ]
  4. Vitu vinavyoonekana vina sifa ya _____________   A) kung’aa B) kusharabu mwanga  C) kuaksi   D) kutoa mwanga                                          [              ]
  5. Katika mwili wa mwanamke, mayai ya uzazi hutengenezwa kwenye ________ A) folopia  B) ovary C) uterasi              D) uke              [              ]
  6. Ni kipi kati ya vifuatavyo ambacho si lazima katika kuota kwa mbegu? _____ A) maji          B) mwanga   C) hewa              D) joto                                          [              ]
  7. Wanyama wala nyama hutambuliwa kwa sehemu ifuatayo?  A) kucha       B)meno      C) mdomo   D) shingo                                                        [              ]
  8. Chakula cha mmea hutengenezwa wakati gani?_   A) usiku   B) mchana C) asubuhi D) jioni
  9. Mbegu zenye kotiledoni mbili huitwa? __________    A) ambriyo B) monokotiledoni      C) epekapi    D) daikotiledoni                                                        [              ]


  10. Mlishano wa SIMBA              SWALA          NYASi. huathiriwa na ______ A) chakula B) usafi wa maeneo C) mwanga wa jua              D) hali ya hewa                                                                      [              ]
  11. Sifa mojawapo ya viumbe hai ni ____________     A) husafri B) huzungumza       C) hawatoi uchafu               D) hukua                            [              ]
  12. Kupinda kwa mwanga hutokea wakati mwanga unapopita katika aina tofauti ya ____ [ ]  A) mbonyeo              B) lensi                   C) vifaa              D) media
  13. Joto la jua hutufikia kwa njia ya ______________    A) msafara B) mpitisho C) mnunurisho        D) kuota                                                        [              ]
  14. Ncha za sumaku zinazofanana zina tabia ya ____          A) kuvutana B) kusogeleana      C) kukwepana   D) kutoa unga wa sumaku                            [              ]

 

 

  1. Kichocheo cha mmea kuota kuekelea kwenye maji huitwa? ______ A) Jototropizimu    B) fotosinthesis      C) Haidropizimu         D) fototropizimu              [              ]
  2. Sehemu ya ua inayopokea poleni huitwa________  A) ovary      B) filament     C) stigima D) staili
  3. Elimu inayohusu viumbe hai na wasio hai ni? ____    A) ikolojia    B) biolojia    C) fisiolojia E)unajimu
  4. Ni aina gani ya vyakula vinalinda mwili dhidi ya maradhi? __________   A) vitamin B) protini    C) mafuta              D) wanga                            [              ]
  5. Moja ya magonjwa yafuatayo si ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya zinaa ___________    A) vikope B) Ukimwi                      C) kisonono     D) kaswende                                                        [              ]
  6. Kuna aina _______________ za sakiti za umeme.      A) 2 B) 1 C) 3 D) 4  [ ]
  7. Mbegu ya mhindi ina kotiledoni ngapi? _________   A) 2 B) 3 C) 4 D) 1  [ ]
  8. Kundi la wanyama wanaokula nyama tu huitwa?    A) omivorasi B) munivorasi       C) kanivorasi       D) habivorasi                                                        [              ]
  9. Wanyama gani wana damu moto? ____________   A) kasuku na mjusi     B) mjusi na chura                    C) mwewe na nyoka   D) popo na panya[              ]

 

SEHEMU B: Kuoanisha kifungu “A” na kifungu “B”

KIFUNGU A

KIFUNGU B

 

  1.  

 

  1. Unajimu
  2. Ovari
  3. Zaigoti
  4. Kiluwiluwi
  1. Elimu ya miamba (madini).
  2. Seli kavu
  3. Ndubwi
  4. Tunda
  5. Elimu ya nyoka (anga).
  6. Betri
  7. Jeli
  8. Gamete uke na ume kuungana.
  9. Huhusika na uzazi wa mwanaume.

 

 

 

 

 

 

SEHEMU C: Jaza nafasi wazi kwa kuandika jibu fupi kwa kutumia mchoro. Jibu swali la 29 – 33.  

  1. Herufi A ni _______________________________
  2. Sehemu gani huvutia wadudu _______________
  3. Andika kazi ya sehemu iliyooneshwa kwa herufi C____________________________
  4. Sehemu gani hubadilika kuwa tunda ____________________________
  5. Herufi D, E na F huunda ____________________

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

     

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FIVE EXAM SERIES 77

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TANO

SAYANSI NA TECHNOLOJIA

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEZO

1. Jaza taarifa zako muhimu katika karatasi ya kujibia uliyopewa

2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo ya kila sehemu

3. Zingatia unadhifu wa kazi yako

4. Katika swali la 1-40 andika herufi ya jibu sahihi

5. Kwa swali la 41-45 andika majibu katika nafasi iliyoachwa wazi

 

Chagua Jibu sahihi kuanzia swali la 1-40 kisha andika jibu katika nafasi uliyopewa.

  1. Kipi kati ya vimiminika vifuatavyo kianaweza kusababisha ajali ya kuungua moto?(a) Uji wa moto (b) Juisi (c) Asali (d) Soda
  2. Mtu aliyeungua moto hupewa huduma ya kwanza kabla ya kupelekwa…………… (a) Nyumbani (b) Shule (c) Kulala (d) Hospitalini
  3. Ipi sio faida ya huduma ya kwanza (a) Kupunguza maumivu (b) Kuponya mgonjwa (c) Kuokoa Maisha (d) Kumpa mgonjwa matumaini
  4. Mtu mwenye majeraha madogo madogo ya moto anapaswa (a) Kuweka barafu juu ya jeraha (b) Kupasua malengelenge yanayotokea (c) Kupaka mafuta (d) Kuhakikisha eneo lipo lisafi na salama
  5. Kipi hakipaswi kufanyiwa mtu aliyeungua kwa kimiminika cha moto? (a) Ondoa nguo zilizoloa maji (b) Mimina maji baridi kwenye jeraha ili kupunguza joto (c) Mpake mafuta mengi mwilini(d) Usitoboe malengelenge
  6. Kitu kipi kati ya hivi vifuatavyo kina umbo maalumu? (a) Soda (b) Karatasi (c) Gesi (d) maji
  7.  Maada huundwa na chembechembe ndogo zinazojulikana kama (a)  kizio  (b)  ambatani (c) elementi (d)  atomu  (e)  molekuli
  8. Joto husambaa katika kimiminika kwa njia ya . . . . . .  (a) msafara (b) mpitisho (c) mnururusho (d) mgandamizo
  9.  Maada inapatikana katika hail zifuatazo: (a) Vimiminika, maji na gesi  (b) Yabisi, vimiminika na hewa (c)Yabisi, vimiminika na gesi  (d) Mawe, yabisi na gesi (e) Yabisi, hewa na gesi.
  10. Mbinu rahisi ya kujua ukubwa wa vitu visivyo na maumbo halisi ni kutumia kitu chenyewe, kopo la eureka: (a) flaski ya mviringo na maji  (b) maji na chupa (c) glasi na maji  (d) silinda ya kupimia maji (e) mizani na maji
  11.  Ni mabadiliko gani yatatokea kama mtu akipumulia kwenye uso wa kioo? (a) Kuganda  (b) Kuyeyuka  (c) Kuvukishwa (d) Matonesho  (e) Kutanuka
  12.  Kinyonga hujibadili rangi yake ili: (a) kutafuta chakula         (b)  kupumua          (c) kuzaliana (d) kutafuta maadui                          (e) kujilinda dhidi ya maadui
  13.  Endapo mito na mabwawa yatakauka, ni viumbe hai Vipi kati ya vifuatavyo vitaathirika zaidi? (a) Vyura (b) Samaki  (c) Mamba (d) Mbu (e) Nyoka
  14.  Uhusiano uliopo kati ya viumbe hai na visivyo hai katika mazingira unaitwa (a) kutegemeana  (b) wando chakula  (c) ikolojia  (d) mlishano  (e) mizania asili.
  15.  Ingawa wanyama huvuta hewa ya oksijeni na kutoa hewa ya kabondayoksaidi, hewa hizi hazipungui wala kuongezeka kwenye mizazi kwa kuwa. (a) oksijeni ipo kwa wingi kwenye mizazi (b) kabondayoksaidi hubadilika kuwa oksijeni (c) mimea hutumia kabondayoksaidi na kutoa oksijeni (d) kabondayoksaidi huathiri tabaka la ozoni (e) oksijeni na kabondayoksaidi hurekebishwa na ozoni
  16.  Wanyama kama mamba, viboko, vyura wanaishi katika maskani gani? (a)Angani na ardhini(b) Ardhini na majini.  (c) Mazingira yoyote ilimradi chakula kiwepo (d) Ardhini na mapangoni  (e) Kwenye misitu.
  17. Wadudu wanapohama toka ua moja kwenda lingine wanafanya hivyo ili: (a) kuzalisha mimea (b) kuepuka maadui (c) kutafuta nekta  (d) kutafuta harufu  (e) kusambaza mbegu
  18. Kinyonga hujibadili rangi yake ili: (a) kutafuta chakula       (b)  kupumua          (c) kuzaliana (d) kutafuta maadui                          (e) kujilinda dhidi ya maadui
  19. Endapo mito na mabwawa yatakauka, ni viumbe hai Vipi kati ya vifuatavyo vitaathirika zaidi? (a) Vyura (b) Samaki  (c) Mamba (d) Mbu (e) Nyoka
  20. Wanyama wenye uwezo wa kuishi majini na nchi kavu ni wale wa kundi la (a) Ndege (b) Amfibia  (c) Reptilia (d) Samaki (e) Mamalia
  21. Wanyama kama mamba, viboko, vyura wanaishi katika maskani gani? (a) Angani na ardhini (b) Ardhini na majini. (c) Mazingira yoyote ilimradi chakula kiwepo (d) Ardhini na mapangoni  (e) Kwenye misitu.
  22. Ipi kati ya zifuatazo ni sifa ya kinyonga?............(a)  Hubadili mlio wa sauti yake  (b) Huchagua aina ya chakula (c) Hubadili rangi ya mwili  (d)  Hatoi taka mwili (e) Hubadili mwendo
  23. Kwa nini ni muhimu kuosha matunda kabla ya kula? (a) Kuondoa sumu  (b)  Kuondoa vimelea (c) Kuondoa utomvu (d)  Kuondoa harufu mbaya (e) Kuondoa chumvichumvi
  24. Moja ya magonjwa yafuatayo si ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya zinaa (a) UKIMWI  (b) Trikomona (c) Kaswende  (d) Klamedia (e)Trakoma
  25. Ugonjwa wa kifua kikuu husababishwa na bacteria gani? (a) Wote walioko hewani  (b) Basili (c) Plasimodiamu  (d) Fungi  (e) Amiha
  26. Ugonjwa wa surua huenezwa kwa njia ya: (a) inzi  (b) sindano  (c) kugusana (d) mbu (e) hewa
  27. Nini kati ya vifuatavyo husababisha chupa ya plastiki kusinyaa hewa inapoondoleua ndani? (a) Hewa ndani ya chupa kuwa na mgandamizo mkubwa zaidi ya hewa nje ya chupa (b) Hewa nje ya chupa kuwa na mgandamizo mkubwa kuliko hewa ndani ya chupa (c) Mgandamizo wa nje na ndani ya chupa kulingana (d) Mgandamizo wa hewa ndani ya chupa kuwa pungufu ya mngandamizo wa kutoa hewa nje ya chupa (e) Mgandamizo nje ya chupa kuwa sawa na ujazo wa hewa mdomoni
  28. Mojawapo ya hatua za kufuata unapoandaa jaribio la kisayansi ni: (a) uchunguzi (b) udadisi (c) utambuzi wa tatizo (d) utatuzi wa tatizo (e) kuandaa ripoti
  29. Hatua ya kwanza ya utafiti wa kisayansi ni (a) kuanza jaribio (b) kukusanya data (c) kutambua tatizo (d) kuchanganua data (e) kutafsiri matokeo
  30. Hatua ya tatu ya utafiti wa kisayansi ni ......... (a) kuchambua data (b) kutafsiri matokeo (c) kuandaa na kuanza jaribio (d) ukusanyaji wa data (e) kutambua tatizo
  31. Katika hali ya kawaida, kutu ni matokeo ya mjibizo wa athari za kikemikali kati ya: (a) shaba, maji na oksijeni (b) sodiamu, maji na oksijeni (c) kalsiamu, maji na oksijeni (d) chuma, oksijeni na maji (e) maji, oksijeni na potasiamu
  32. Kuna tofauti gani kati ya barafu na maji? (a) Maji ni mazito kuliko barafu. (b) Maji yana mshikamano mkubwa kuliko barafu. (c) Maji yana rangi hafifu kuliko barafu. (d) Maji yanachukua nafasi ilihali barafu haichukui nafasi. (e) Barafu ni laini kuliko maji.
  33. Katika uchunguzi wa kisayansi hatua ipi hutumika kukubali au kukataa dhanio? (a) Kukusanya data (b) Kufanya jaribio (c) Kuandika hitimisho (d) Kutafsiri data (e) Kudurusu majarida
  34. Sehemu za tarakilishi zisizoshikika huitwa; (a) Maunzi (b) Programu (c) Vitumi toleo (d) Program endeshi
  35. Ipi sio tahadhari ya kufuata unapotumia tarakilishi (a) Dhibiti umeme hili kulinda tarakilishi (b) Fuata taratibu wakati wa kuzima tarakilishi (c) Kufungua program nyingi kwa wakati mmoja (d) Kufuta vumbi kwa kitambaa kikavu
  36. Tarakilishi utumika katika maeneo haya isipokuwa (a) Vyuoni (b) Benki (c) Ofisini (d) Yote hapo juu
  37. Kazi ya pau la mwoneko ni: (a) Kuboresha kazi za uandishi (b) Kupanga mwonekano wa ukurasa (c) Kuona nyaraka katika sura mbalimbali (d) Kusahihisha makosa katika waraka
  38. Ipi sio kazi kuu za tarakilishi (a) Kuingiza data (b) Kupokea data (c) Kuchakata data (d) Kufundisha
  39. Kifaa cha kuhifadhi na kulinda vifaa vyote vya kieletroniki  huitwa? (a) Kibodi (b) Kichakato (c) Monita (d) Vitumi ingiza
  40. Ipi sio tahadhari ya kufuata unapotumia tarakilishi; (a) Dhibiti umeme hili kulinda tarakilishi (b) Fuata taratibu wakati wa kuzima tarakilishi (c) Kufungua program nyingi kwa wakati mmoja (d) Kufuta vumbi kwa kitambaa kikavu

Tumia picha ifuatayo kujibu maswali 41-45

Picha hapo juu inaonyesha sehemu za kompyuta. Andika majina ya sehemu zenye herufi;

  1. A.........................................................................................................................
  2. B...........................................................................................................................
  3. C...........................................................................................................................
  4. D...........................................................................................................................
  5. E............................................................................................................................
  6.  

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FIVE EXAM SERIES 58

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA DARASA LA TANO

SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO:

  1. Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
  2. Kumbuka kuandika majina yako.
  3. Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.

SEHEMU A. CHAGUA JIBU LILILO SAHII

  1. Lipi kati ya makundi yafuatayo ni sifa zinazotumika kutambua wanyama wa kundi la reptilia?
  1. Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kuishi majini. 
  2. Kutaga mayai, kuishi majini na kuishi nchi kavu.
  3. Kutaga mayai, kuwa na damu ya joto na kuishi nchi kavu.
  4. image001Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kupumua kwa kutumia mapezi.
  5. Kutaga mayai, kupumua kwa kutumia ngozi na kuishi majini.
  1. Kundi lipi limeainisha wanyama wenye uti wa mgongo?
  1. Konokono, mjusi na kenge
  2. Papasi, panzi na mbungo 
  3. Chura, mamba na mchwa
  4. Kuku, popo na bata 
  5. Nyoka, panzi na mbuzi
  1. . …………..hutaga mayai majini hata kama yeye huishi nchi kavu
  1. Kobe
  2. Kasa
  3. Chura
  4. Mamba
  5. Nyangumi
  1. Ni Vipi kati ya viumbe hai vifuatavyo hujitengenezea chakula chao kwa kutumia klorofili?
  1. Wadudu
  2. Mimea 
  3. Wanyama 
  4. Virusi 
  5. Ndege
  1. Ipi kati ya zifuatazo siyo kazi ya mizizi katika mimea?..............
  1.  Kusharabu madini ya chumvi. 
  2.  Kusharabu maji
  3.  kushikilia mmea 
  4.  Kutengeneza chakula cha mmea
  5.  Kutunza chakula cha mmea
  1. Gesi ipi hupunguzwa angani na mimea?..................
  1.  Kabondioksaidi 
  2.  Oksijeni 
  3.  Haidrojeni
  4.  Kabonimonoksaidi 
  5.  Naitrojeni
  1. Ni mmea gani ya hizi hauifadhi chakula katika shina?
  1. Miwa
  2. Magimbi
  3. Viazi
  4. Karoti
  5. Tangawizi..
  1. Katika jani, umbijani hupatikana kwa wingi wapi?
  1. Epidamisi ya juu
  2. Epidamisi ya chini
  3. Seli linzi
  4. Stomata
  5. Selisafu za kati
  1. Ingawa wanyama huvuta hewa ya oksijeni na kutoa hewa ya kabondayoksaidi, hewa hizi hazipungui wala kuongezeka kwenye mizazi kwa kuwa.
  1. oksijeni ipo kwa wingi kwenye mizazi
  2. kabondayoksaidi hubadilika kuwa oksijeni
  3. mimea hutumia kabondayoksaidi na kutoa oksijeni
  4. kabondayoksaidi huathiri tabaka la ozoni
  5. oksijeni na kabondayoksaidi hurekebishwa na ozoni
  1. Ni lipi kati ya matendo yafuatayo siyo sababu ya uharibifu wa mazingira?
  1. Uchomaji wa karatasi
  2. Maendeleo ya viwanda
  3. Kuoga ziwani
  4. Kutumia mbolea ya samadi
  5. Kuoshea magari mtoni.
  1. Wanyama kama mamba, viboko, vyura wanaishi katika maskani gani?
  1. Angani na ardhini
  2. Ardhini na majini. 
  3. Mazingira yoyote ilimradi chakula kiwepo
  4. Ardhini na mapangoni 
  5. Kwenye misitu.

  1. Ili mimea iweze kuendelea kuishi katika mazingira yake inahitaji:
  1.  hewa na udongo 
  2.  hewa na maji
  3.  udongo na mbolea 
  4.  udongo na maji
  5.  jotoridi na hewa
  1. Wadudu wanapohama toka ua moja kwenda lingine wanafanya hivyo ili:
  1. kuzalisha mimea  
  2. kuepuka maadui
  3. kutafuta nekta 
  4. kutafuta harufu 
  5. kusambaza mbegu
  1. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...
  1.  joto na unyevu     
  2.  unyevu na mwanga
  3. upepo na mwanga wa jua               
  4.  mawingu na upepo
  5. unyevu na upepo
  1. Kinyonga hujibadili rangi yake ili:
  1.  kutafuta chakula         
  2.  kupumua          
  3.  kuzaliana
  4.  kutafuta maadui                          
  5.  kujilinda dhidi ya maadui

  1. Fototropizimu ni kitendo cha mmea kuota kuelekea kwenye:
  1. mwanga 
  2. kani ya mvutano 
  3. maji 
  4. giza
  5. kemikali.

  1. Endapo mito na mabwawa yatakauka, ni viumbe hai Vipi kati ya vifuatavyo vitaathirika zaidi?
  1. Vyura
  2. Samaki 
  3. Mamba
  4. Mbu
  5. Nyoka
  1. Uhusiano uliopo kati ya viumbe hai na visivyo hai katika mazingira unaitwa
  1. kutegemeana 
  2. wando chakula 
  3. ikolojia 
  4. mlishano 
  5. mizania asili.
  1. Kifaa kinachotumika kuangalia vitu kwenye vizuizi huitwa?
  1. Periskopu
  2. Dira
  3. Teleskopu
  4. Makroskopu
  1. Ipi sio sifa ya taswira ya kioo mbinuko?
  1. Taswira ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
  2. Hutokea ikiwa wima
  3. Hutokea nyuma ya kioo mbinuko
  4. Ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
  1. Moja ya hasara ya taswira ya kioo mbinuko ni;
  1. Taswira huwa kubwa
  2. Kinafaa kutumika katika kunyolea watu
  3. Taswira inakosa umbo lililo halisi
  4. Taswira yake huwa wima
  1. Kioo kinachofaa katika shughuli za ulinzi madukani na majengo makubwa ni
  1. Kioo mbonyeo
  2. Kioo bapa
  3. Kioo mbinuko
  4. Lenzi
  1. Lenzi inayokusanya miale ya mwanga huitwa;
  1. Lenzi bapa
  2. Lenzi mbinuko
  3. Lenzi mbonyeo
  4. Lenzi wima
  1. Yapi ni matumizi ya lenzi mbonyeo?
  1. Kutengeneza vioo vya gari
  2. Kutengeneza taa
  3. Kutengeneza miwani ya watu wasioona mbali
  4. Kutengeneza kamera
  1. Yapi sio matumizi ya lenzi mbinuko?
  1. Matumizi katika kamera
  2. Kutengeneza hadubini
  3. Kukuza umbo la vitu vilivyo mbali
  4. Kutengeneza vifaa vya darubini
  1. Nukta ambayo miale mtuo ya mwanga hukutana baada ya kuakisiwa huitwa?
  1. kiolwa
  2. Lenzi
  3. Taswira
  4. fokasi
  1. Lipi kati ya hay sio umuhimu wa huduma ya kwanza?
  1. Kuokoa Maisha (b) kupata faida (c) kupunguza maumivu (d) kuzuia kifo (e) kupunguza kupoteza kwa damu
  1. Ni aina gani ya chakula ambacho kusagwa kwake huanza mdomoni? (a) wanga (b) vitamini (c) proteini (d) madini (e) maji
  2. Zifuatazo ni mashine rahisi, isipokuwa? (a) tolori (b) mkasi (c) computa (d) ngazi € mbuzi
  3. Mimea husafirisha maji kutoka ardhini kwenda kwenye majani kwa kutumia? (a) vena (b) stomata (c) zailemu (d) floemu (e) kishipajani
  4. Sehemu y aua ambayo hutunza ovuli huitwa? (A) Stameni, (b) ovari (c) staili (d) petali (e) sepali
  5. Upi kati ya mimea hii hutumia chavusho pweke? (a) maharagwe, (b) Muembe (c) mpera (d) mhindi (e) boga
  6. Gameti ume utengenezwa na kuhifadhiwa katika sehemu inayoitwa? (a) ovari (a) mirija manii (c) korodani (d) uume (e) urethra
  7. Ipi sio hatua ya ukuaji wa panzi? (a) yai (b) panzi (c) tunutu (d) buu
  8. Hatua ya pili ya ukuaji wa chura ambayo huwa na mkia nah ana miguu huitwa? (a) lava (b) tunutu (c) kiwambo (d) ndubwi (e) nelichavua
  9. Kitu chochote yakinifu kinachooneka au kushikika na ni dhabiti kiumbo huitwa? (a) lenzi (b) maada (c) kiolwa (d) bapa (e) fokasi
  10. Mkondo wa umeme katika sakiti upimwa kwa kutumia? (a) ometa (b) amita (c) galvanomita (d) voltimita
  11. Aina kuu mbili za sakiti ni, (a) mfuatano na kikinza (b) sambamba na kipitishio (c) mfuatano na sambamba (d) sambamba na kihani
  12. Mtiririko wa umeme katika sakiti huitwa: (a) sakiti sambamba (b) mkondo wa umeme (c) sakiti mfuatano (d) kani ya msukumo wa umeme
  13. Zifuatazo ni sifa za wanyama walio katika kundi la amfibia, isipokuwa? (a) wana Ngozi yenye enyevu (b) joto la mwili hutegemea joto la mazingira (c) wanamatambua katika hatua ya awali ya ukuaji (d) hutaga mayai ndani yam aji

SECTION B. ANSWER THE FOLLOWING QUESTIONS

  1. Taja vitu vinne vinavyohitajika na mimea hili kutengeneza chakula
  1. ………………………………………………………………………………………………………………..
  2. ………………………………………………………………………………………………………………….
  3. ……………………………………………………………………………………………………………….
  4. ………………………………………………………………………………………………………………….
  1. Kwanini rula inaonekana kupinda ikiwa sehemu moja imewekwa kwenye maji?

Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali

 

  1. Aina hii ya metamofosisi inaitwaje?
  2. Taja hatua za ukuaji zinazoonyeshwa na herufi a, b, c na d
  3. Malkia wa nyuki hutaga mayai katika sehemu inayoitwa……………..

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FIVE EXAM SERIES 47

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TANO

SAYANSI NA TECHNOLOJIA

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

CHAGUA JIBU SAHIHI

  1. Wakati unatoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto hairuhusiwi kupaka…………..kwenye jeraha.
  1. Maji
  2. Mafuta
  3. Asali
  4. Dawa
  1. Kipi kati ya vimiminika vifuatavyo kianaweza kusababisha ajali ya kuungua moto?
  1. Uji wa moto
  2. Juisi
  3. Asali
  4. Soda
  1. Mtu aliyeungua moto hupewa huduma ya kwanza kabla ya kupelekwa……………
  1. Nyumbani
  2. Shule
  3. Kulala
  4. Hospitalini
  1. Ipi sio faida ya huduma ya kwanza
  1. Kupunguza maumivu
  2. Kuponya mgonjwa
  3. Kuokoa Maisha
  4. Kumpa mgonjwa matumaini
  1. Kipi akipaswi kufanyiwa mtu aliyeungua moto?
  1. Kumwagilia maji
  2. Kumtoa kwenye chanzo cha moto
  3. Kumfunika na blanketi kama nguo zimeshika moto
  4. Kumpatia huduma ya kwanza
  1. Mtu mwenye majeraha madogo madogo ya moto anapaswa
  1. Kuweka barafu juu ya jeraha
  2. Kupasua malengelenge yanayotokea
  3. Kupaka mafuta
  4. Kuhakikisha eneo lipo lisafi na salama
  1. Tunapaswa kuchukua tahadhari hii tunaposaidia mtu aliyengua na moto isipokuwa;
  1. Kutokuondoa kipande chochote cha Ngozi kinacho ng’ang’ania
  2. Kumpatia vyakula vya maji
  3. Ondoa kitu chochote kilichoshikana na kugandana na Ngozi
  4. Usitoboe malengelenge
  1. Kani za mvutano kati ya molekyuli za maada huwa ni ndogo sana katika:
  1. Chumaa
  2. Maji
  3. Hewa
  4. jiwe
  1. Kitu kipi kati ya hivi vifuatavyo kina umbo maalumu?
  1. Soda
  2. Karatasi
  3. Gesi
  4. maji

10. Maada huundwa na chembechembe ndogo zinazojulikana kama

  1.              kizio 
  2.              ambatani
  3.              elementi
  4.              atomu 
  5.               molekuli

11. Maji huganda katika nyuzijoto

  1.             100 oC
  2.             36 oC
  3.             oC
  4.             36.9 oC

12. Joto husambaa katika kimiminika kwa njia ya . . . . . . 

  1.             msafara
  2.             mpitisho
  3.             mnururusho
  4.             mgandamizo

13. Badiliko la maada lisilokuwa na tofauti katika uzito linaitwaje?

  1.             Kikemikali 
  2.             Kiugumu
  3.             Kiumbo 
  4.             Kiurefu


14. Maada inapatikana katika hail zifuatazo:

  1.             Vimiminika, maji na gesi 
  2.             Yabisi, vimiminika na hewa
  3.             Yabisi, vimiminika na gesi 
  4.             Mawe, yabisi na gesi
  5.              Yabisi, hewa na gesi.


15. Maji magumu aushi yanaweza kubadilishwa kuwa maji laini kwa

  1.             kuyachemsha
  2.             kuyachuja 
  3.             kuyatonesha
  4.             kuyagandisha 
  5.              kuyapasha joto

16. Nini kitatokea iwapo idadi ya wanyama wanaokula nyama katika eneo ni kubwa kuliko idadi ya wanaokula majani?

  1.             Majani yatapungua
  2.             Majani yatabakia kama yalivyokuwa awali
  3.             Majani yatanyauka
  4.             Majani yataongezeka
  5.              Majani yataliwa

17 .Kitendo cha bakteria kuozesha kinyesi cha wanyama kwenye shimo pasipokuwa na hewa ya oksijeni husababisha:

  1.              joto kali 
  2.              gesivunde/biogesi
  3.              asidi kali               
  4.              alkali kali        
  5.               haidrojeni

18.  Kinyonga hujibadili rangi yake ili:

  1.              kutafuta chakula         
  2.              kupumua          
  3.              kuzaliana
  4.              kutafuta maadui                          
  5.               kujilinda dhidi ya maadui

19. Mlishano sahihi ni:

  1.             Mwewe img1572167455 Nyasi img1572167481 Chui img1572167455 mbuzi 
  2.              Nyasi img1572167455 Mwewe img1572167455 chui img1572167455 mbuzi
  3.              Chui img1572167455   Mwewe img1572167455 Nyasi img1572167455 mbuzi
  4.             Nyasi img1572167455 mbuzi img1572167455 chui img1572167455   mwewe
  5.              Mwewe img1572167455 chui img1572167455 mbuzi img1572167455 nyasi 

20. Endapo mito na mabwawa yatakauka, ni viumbe hai Vipi kati ya vifuatavyo vitaathirika zaidi?

  1.             Vyura
  2.             Samaki 
  3.             Mamba
  4.             Mbu
  5.              Nyoka

21.   image001Uhusiano uliopo kati ya viumbe hai na visivyo hai katika mazingira unaitwa

  1.             kutegemeana 
  2.             wando chakula 
  3.             ikolojia 
  4.             mlishano 
  5.              mizania asili.

22. Ingawa wanyama huvuta hewa ya oksijeni na kutoa hewa ya kabondayoksaidi, hewa hizi hazipungui wala kuongezeka kwenye mizazi kwa kuwa.

  1.             oksijeni ipo kwa wingi kwenye mizazi
  2.             kabondayoksaidi hubadilika kuwa oksijeni
  3.             mimea hutumia kabondayoksaidi na kutoa oksijeni
  4.             kabondayoksaidi huathiri tabaka la ozoni
  5.              oksijeni na kabondayoksaidi hurekebishwa na ozoni

23. Ni lipi kati ya matendo yafuatayo siyo sababu ya uharibifu wa mazingira?

  1.             Uchomaji wa karatasi
  2.             Maendeleo ya viwanda
  3.             Kuoga ziwani
  4.             Kutumia mbolea ya samadi
  5.              Kuoshea magari mtoni.

24. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...

  1.              joto na unyevu     
  2.              unyevu na mwanga
  3.             upepo na mwanga wa jua               
  4.              mawingu na upepo
  5.              unyevu na upepo

25.  Kinyonga hujibadili rangi yake ili:

  1.              kutafuta chakula         
  2.              kupumua          
  3.              kuzaliana
  4.              kutafuta maadui                          
  5.               kujilinda dhidi ya maadui


26. Fototropizimu ni kitendo cha mmea kuota kuelekea kwenye:

  1.             mwanga 
  2.             kani ya mvutano 
  3.             maji 
  4.             giza
  5.              kemikali.
  1. Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na………………..
  1. Bakteria
  2. Virusi
  3. Viroboto wa nyani
  4. Ukosefu wa maji mwilini
  1. Dalili za ugonjwa wa ebola huanza kuonekana kwa mgonjwa ndani ya siku ……………baada ya maambukizi
  1. Nne hadi saba
  2. Tano
  3. Mbili hadi ishirini na moja
  4. Mbili hadi tano
  1. Zifuatazo ni njia ambazo ugonjwa wa ebola unaweza kuenezwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, isipokuwa………………
  1. Kugusana na mgonjwa wa ebola
  2. Kushika damu ya mtu mwenye virusi vya ebola
  3. Kugusa taka ngumu au maji taka yaliyotokana na kuhudumia mgonjwa wa ebola
  4. Kukaa mbali na mgonjwa wa ebola
  1. Zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa ebola, isipokuwa……………
  1. Kuvuja damu puani na sehemu zingine za mwili
  2. Maumivu ya tumbo na misuli
  3. Kutokwa na malengelenge ambayo hupasuka na kuisababishia Ngozi michubuko
  4. Maumivu ya koo
  1. Sehemu ipi katika nyenzo daraja la kwanza huwa katikati?
  1. Mzigo
  2. Jitihada
  3. Egemeo
  4. wembe
  1. Sehemu ipi katika nyenzo daraja la kwanza huwa katikati?
  1. Mzigo
  2. Jitihada
  3. Egemeo
  4. toroli
  1. Jozi ifuatayo ni mfano wa nyenzo daraja la pili
  1. Opena na toroli
  2. Sepeto na toroli
  3. Mizani na mlango
  4. Mlango na sepeto
  1. Mojawapo ya vifaa vifuatavyo ni mfano wa kabari:
  1. Mtange
  2. Toroli
  3. Patasi
  4. opena
  1. Ipi sio kazi kuu za tarakilishi
  1. Kuingiza data
  2. Kupokea data
  3. Kuchakata data
  4. Kufundisha
  1. Kifaa cha kuhifadhi na kulinda vifaa vyote vya kieletroniki  huitwa?
  1. Kibodi
  2. Kichakato
  3. Monita
  4. Vitumi ingiza
  1. Sehemu za tarakilishi zisizoshikika huitwa;
  1. Maunzi
  2. Programu
  3. Vitumi toleo
  4. Program endeshi
  1. Seti ya maelekezo ambayo hutumika katika tarakilishi ili kufanya shughuli mbalimbali huitwa
  1. Program
  2. Progamu endeshi
  3. Program tumizi
  4. Tarakilishi
  1. Ipi sio tahadhari ya kufuata unapotumia tarakilishi
  1. Dhibiti umeme hili kulinda tarakilishi
  2. Fuata taratibu wakati wa kuzima tarakilishi
  3. Kufungua program nyingi kwa wakati mmoja
  4. Kufuta vumbi kwa kitambaa kikavu
  1. Program ambayo hutumika kwa ajili ya uchapaji wa nyaraka za aina mbalimbali kama barua, ripoti na majarida huitwa?
  1. Program jedwali
  2. Program tendaji
  3. Program andishi
  4. Program teule
  1. Tarakilishi utumika katika maeneo haya isipokuwa
  1. Vyuoni
  2. Benki
  3. Ofisini
  4. Yote hapo juu
  1. Sehemu ambayo husaidia kuona ukurasa wa waraka na kufanya marekebisho katika mtindo au fonti huitwa;
  1. Faili
  2. Nyumbani
  3. Menu
  4. Sanifu
  1. Kioo bapa kinatumika katika saluni kwa sababu
  1. Hutoa picha kubwa
  2. Hutoa taswira pacha
  3. Huzalisha taswira nyingi
  4. Hutoa taswira safi
  1. Kifaa kinachotumika kuangalia vitu kwenye vizuizi huitwa?
  1. Periskopu
  2. Dira
  3. Teleskopu
  4. Makroskopu
  1. Ipi sio sifa ya taswira ya kioo mbinuko?
  1. Taswira ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
  2. Hutokea ikiwa wima
  3. Hutokea nyuma ya kioo mbinuko
  4. Ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
  1. Moja ya hasara ya taswira ya kioo mbinuko ni;
  1. Taswira huwa kubwa
  2. Kinafaa kutumika katika kunyolea watu
  3. Taswira inakosa umbo lililo halisi
  4. Taswira yake huwa wima
  1. Kioo kinachofaa katika shughuli za ulinzi madukani na majengo makubwa ni
  1. Kioo mbonyeo
  2. Kioo bapa
  3. Kioo mbinuko
  4. Lenzi
  1. Lenzi inayokusanya miale ya mwanga huitwa;
  1. Lenzi bapa
  2. Lenzi mbinuko
  3. Lenzi mbonyeo
  4. Lenzi wima
  1. Yapi ni matumizi ya lenzi mbonyeo?
  1. Kutengeneza vioo vya gari
  2. Kutengeneza taa
  3. Kutengeneza miwani ya watu wasioona mbali
  4. Kutengeneza kamera

50. Sumaku zinawekwa katika milango ya majokofu na baadhi ya makabati ili…………..

  1. Kufukuza joto
  2. Kufanya eneo la ndani liwe na joto
  3. Kufanya milango ibane vizuri
  4. Kuondoa asili ya chumu

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FIVE EXAM SERIES 44

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021

SAYANSI NA TECHNOLOGIA – DARASA LA TANO

FOMATI MPYA

MUDA 1:30 MASAA MACHI 2021

JINA …………………………... SHULE ………………………...

MAELEZO

  1. Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2. Sehemu ya A ina alama 40 na sehemu B ina alama 10
  3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4. Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHIHI KATI YA CHAGUZI ULIZOPEWA

1. Gesi ambayo mimea hutumia kusanisi chakula ni:-

  1. Oksijeni
  2. Kabonidayoksaidi
  3. Nitrogen
  4. Agoni.

2. Moto unahitaji gesi gani ili kuwaka? 

  1. Kabonidayoksaidi
  2. Agoni
  3. Oksijeni
  4. Nitrojeni

3. Gesi mojawapo kati ya hizi hutumia kusindika vinywaji 

  1. Nitrojeni
  2. Agoni
  3. Kabonidayoksaidi
  4. Oksijeni

4. Gesi ambayo inachangia asilimia 0.003 ya hewa kwenye angahewa ni:-

  1. Nitrojeni
  2. Kabonidayoksaidi
  3. Agoni
  4. Oksijeni

5. Ni lipi ambalo sio matumizi ya kabonidayoksaidi?

  1. Kuzima moto
  2. Kuhifadhi chakula
  3. Kuunguza
  4. Kusanisi chakula

6. Gesi hii hutumika kwenye taa za umeme

  1. Agoni
  2. Helium
  3. Krypton
  4. Oksijeni

7. Ni yapi sio matumizi ya Oksijeni?

  1. Kuwasha moto
  2. Kutengeneza kula
  3. Kuhifadhi chakula
  4. Hospitali kwa wagonjwa waliozidiwa

8. Gesi hii utumia kuunda mbolea.

  1. Agoni
  2. Nitrojeni
  3. Kabonidayoksaidi
  4. Amonia

9. Ipi sio sifa ya hewa

  1. Ina harufu
  2. Haina rangi
  3. Haionekani
  4. Inachukua nafasi

10 Ipi kati ya hizi sio sehemu ya hewa

  1. Oksijeni
  2. Hydrogeni
  3. Agoni
  4. Nitrojeni.

11. Ukuaji wa viumbe hai unahusu uongezekaji wa yafuatayo isiopokuwa;

  1. Kimo
  2. Uzani
  3. Unene
  4. Umbo la seli

12. Kipi sio mahitaji muhimu ya ukuaji wa mimea

  1. Gesi ya kabonidayoksaidi
  2. Maji
  3. Gesi ya Nitrojeni
  4. Mwanga na joto

13. Kazi ya umbijani ni:-

  1. Kutengeneza chakula
  2. Kunasa nishati ya jua
  3. Kuchanganya maji na nishati ya jua
  4. Kupatia mmea rangi ya kujani

14. Kitendo cha mimea kusanisi chakula kwa kutumia nishati ya mwanga wa jua huitwa

  1. Usanisi
  2. Fotosinthesis
  3. Usanisuru
  4. Husharabu

15. Shina la mmea likiwa jembamba, refu na majani kuwa na rangi ya manjano ni ukosefu wa:-

  1. Madini
  2. Maji
  3. Jua
  4. Hewa

16. Kipi kati ya hivi haviongezi hewa ya kabonidayoksaidi kwenye angahewa?

  1. Moshi wa magari
  2. Shughuli za viwandani
  3. Ukataji miti
  4. Gesi ya kupikia.

17. Ipi sio kazi ya maji katika mimea?

  1. Kuyeyusha virutubisho
  2. Kubeba kabohaidreti kutoka kwenye majani kwenda kwenye sehemu zingine.
  3. Kufanya mimea kuwa imara
  4. Husaidia mimea kutengeneza chakula

18. Mimea kudumaa na majani kukosa rangi yake husababishwa na:-

  1. Potasi
  2. Naitrojeni
  3. Kolisiama
  4. Fosiforasi

19. Tishu inayopitisha maji na virutubisho kutoka kwenye mizizi kwenda sehemu zote za mimea huitwa?

  1. Floemi
  2. Zailemu
  3. Vinyelezi
  4. Vinywele

20. ………….Huruka juu kwa mabawa yenye manyoya

  1. Ndege
  2. Popo
  3. Mbu
  4. Kipepeo

21. Lipi kati ya makundi yafuatayo ni sifa zinazotumika kutambua wanyama wa reptilia?

  1. Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kuishi majini.
  2. Kutaga mayai, kuishi majini na kuishi nchi kavu.
  3. Kutaga mayai, kuwa na damu ya joto na kuishi nchi kavu.
  4. Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kupumua kwa kutumia mapezi.

22. Kundi lipi limeainisha wanyama wenye uti wa mgongo?

  1. Konokono, mjusi na kenge
  2. Papasi, panzi na mbungo
  3. Chura, mamba na mchwa
  4. Kuku, popo na bata

23. …………..hutaga mayai majini hata kama yeye huishi nchi kavu

  1. Kobe
  2. Kasa
  3. Chura
  4. Mamba

24. …………………huishi majini lakini hutaga mayai yake nchi kavu

  1. Papa
  2. Kobe
  3. Mjusi
  4. Mamba

25. . . .… . . . . .ni mammalian lakini hana tezi za jasho

  1. Popo
  2. Nyangumi
  3. Mbwa
  4. Panya

26. . . . . . . . .hutoa mbegu lakini hautoi maua

  1. Mchungwa
  2. Mvinje
  3. Mwembe
  4. Mpera

27. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...

  1. joto na unyevu
  2. upepo na mwanga wa jua
  3. mawingu na upepo
  4. unyevu na upepo

28. Kukosekana kwa chanikiwiti katika mmea huweza kusababisha:

  1. mmea kukosa madini joto
  2. mmea kushindwa kusanisi chakula
  3. majani ya mmea kukauka
  4. maj ani ya mmea kupukutika.

29. Tendo Ia mimea kusafirisha maji kutoka kwenye mizizi hadi kwenye majani huitwa:

  1. osmosis
  2. difyusheni
  3. msukumo
  4. mgandamizo

30. Ni Vipi kati ya viumbe hai vifuatavyo hujitengenezea chakula chao kwa kutumia klorofili?

  1. Wadudu
  2. Mimea
  3. Wanyama
  4. Virusi

31. Ipi kati ya zifuatazo siyo kazi ya mizizi katika mimea?..............

  1. Kusharabu madini ya chumvi.
  2. Kusharabu maji
  3. kushikilia mmea
  4. Kutengeneza chakula cha mmea

32. Gesi ipi hupunguzwa angani na mimea?..................

  1. Kabondioksaidi
  2. Oksijeni
  3. Haidrojeni
  4. Kabonimonoksaidi

33. Ni mmea gani ya hizi hauifadhi chakula katika shina?

  1. Miwa
  2. Magimbi
  3. Viazi
  4. Tangawizi..

34. Katika jani, umbijani hupatikana kwa wingi wapi?

  1. Epidamisi ya juu
  2. Epidamisi ya chini
  3. Seli linzi
  4. Stomata

35. Ni sehemu gani ya jani yenye seli zenye kloroplasti?

  1. Kikonyo
  2. Lamina
  3. Kingo
  4. Kishipajani

36. Usanishaji chakula hufanyika katika sehemu gani kuu ya mimea?

  1. Mizizi
  2. Majani
  3. Shina
  4. Jani

37. Kani ya mvutano kati ya molekyuli za maada huwa ndogo sana katika;

  1. Chuma
  2. Maji
  3. Hewa
  4. Soda

38. Kitu kipi kati ya hivi vifuatavyo vina umbo maalum?

  1. Soda
  2. Gesi
  3. Karatasi
  4. Mafuta taa

39. Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na;

  1. Bakteria
  2. Virusi
  3. Viroboto vya nyani
  4. Ukosefu wa maji mwilini

40. Moja wa faida ya kutumia ARV ni;

  1. Kurudisha na kuongeza kinga mwilini
  2. Kuwez kuongeza usugu wa virusi
  3. Kuponya mgonjwa
  4. Kuongeza kasi ya kuzaliana kwa VVU mwilini

SEHEMU YA B.

Picha ifuatayo inaonyesha mumea wa mahindi. Itumie kujibu maswali yanayofuata.

image

41. Onyesha sehemu ya kike nay a kiume

42. Ushavushaji ufanyika katika sehemu yenye herufi?

43. Taja kazi kuu ya sehemu yenye herufi C

44. Ni aina gani ya ushavushaji unao onyeshwa na mmea huu?

45. Kazi ya sehemu A ni nini?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FIVE EXAM SERIES 31

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA TANO

MUDA: 1.30

MAELEKEZO

  1. Mtihani huu una sehemu tano na maswali 45
  2. Jibu maswali yote
  3. Andika majibu yako katika karatasi uliopewa.
  4. Hakikisha kazi yako ni safi

1. SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHII

(i) Kipi kati ya hizi sio mfano wa kiumbe hai?

  1. Virusi
  2. Wanyama
  3. Mimea
  4. Wadudu

(ii) Yafuatayo ni mazingira ya viumbe hai, isipokua,

  1. Udongo
  2. Maji  ya mito
  3. Maziwa
  4. Anga.

(iii) Ni ugonjwa upi ambao hausababishwi na maji machafu?

  1. Malaria
  2. Kichocho
  3. Homa ya matumbo
  4. Kipindupindu

(iv) Maporomoko ya mtera yanapatikana mkoa gani?

  1. Morogoro
  2. Iringa
  3. Mbeya
  4. Kilimanjaro

(v) Kipi kati ya hizi ni kinza nuru?

  1. Kioo
  2. Mbao
  3. Ukuta
  4. Kitabu.

(vi) Mahitaji muhimu ya mbegu ni…………………………..

  1. Maji, mbolea, udongo
  2. Udongo, joto, hewa
  3. Maji, hewa, joto
  4. Hewa, mbegu na maji

(vii) Mwili safi ni mwili ………………………………………

  1. Unaonuka
  2. Uliooshwa
  3. Ulionenepa
  4. Ulionawiri

(viii)Mlo kamili ni ule wenye…………..vinavyotakiwa mwilini..

  1. Vitamin
  2. Kabohaidrati
  3. Virutubisho vyote
  4. Viin

(ix) Tunatunza mazingira ili………………………..

  1. Tuepukane na magonjwa
  2. Tupate ajira
  3. Tupate mvua
  4. Kuepuka upepo.

(x) Udadisi ndiyo mwanzo wa………………

  1. Uchunguzi wakisayansi
  2. Kukusanya data
  3. Maswali
  4. Kuibua tatizo.

(xi) Sehemu kubwa ya miili yetu ni…………………..

  1. Mifupa
  2. Nyama
  3. Damu
  4. Maji.

(xii) Maji yalio katika hali ya yabisi huitwa…………………

  1. Mvuke
  2. Barafu
  3. Kimiminika
  4. Hewa

(xiii) Sehemu ipi katika nyenzo daraja la kwanza huwa katikati?

  1. Mzigo
  2. Jitihada
  3. Egemeo
  4. Sepeto

(xiv) Mojawapo wa vifaa vifuatavyo ni mfano wa kabari;

  1. Mtange
  2. Toroli
  3. Patasi
  4. Jembe

(xv) Kani za mvutano kati ya molekyulizamaada huwa ndogo sana katika;

  1. Chuma
  2. Maji
  3. Mvuke
  4. Hewa

(xvi) Kipi kati yahivi vifuatavyo kina umbo maalum?

  1. Soda
  2. Karatasi
  3. Gesi
  4. Maji

(xvii) Sumaku imeundwa kwa………………………………………

  1. Chuma
  2. Mbao
  3. Kioo
  4. Chuma na kioo

(xviii) Sumaku zinawekwa katika milango ya majokovu na baadhi ya makabati ili …… ………….

  1. Kufukuza joto
  2. Kufanya eneo la ndani liwe na joto
  3. Kufanya milango ibane vizuri
  4. Kuondoa asili ya chuma

(xix) Ukidondosha wembe ndani ya pipa lenye maji, njia bora ya kuchukua wembe ni ……………

  1. Kujitosa ndani ya pipa
  2. Kuingiza sumaku iliyofungwa kwenye kamba ndefu
  3. Kutoboa pipa
  4. Kuhamisha maji.

(xx) Mtiririko wa umeme katika sakiti huitwa?

  1. Sakiti sambamba
  2. Mkondo wa umeme
  3. Sakiti mfuatano
  4. Kani ya msukumo wa umeme.

SEHEMU B.

2. Andika kweli kwa sentensi ambayo ni sahihi au sii kweli kwa sentensi ambayo sii sahihi

  1. Amita ni kifaa kinachopima ukinzani wa umeme katika sakiti……………
  2. Voltimita ni kifaa kinachopimakani ya msukumo wa umeme katika sakiti……..
  3. Ukiondoa globu moja kwenye sakiti mfuatano iliyobaki itaendelea kuwaka…….
  4. Mkonge ni mfano wa mimea inayohifadhi kwenye majani …………… ……………….
  5. Jongoo hujikunja ili aweze kujikinga na maadui……………………
  6. Kobe hujificha kwenye jumba lake ili kujikinga na maadui…………………….
  7. Kinyonga ukabiliana na mazingira yake kwa kubadilisha rangi ……… …………..
  8. Ncha mbili za sumaku zinazofanana hukwepana…………………………..
  9. Ncha mbili za sumaku zisizofanana huvutana……………………
  10. Opena ni mfano wa nyenzo daraja la pili…………………

 SEHEMU C.

3. Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa neno sahihi.

  1. Joto husafiri katika vimimina kwa njia iitwayo……………………………
  2. Ugongjwa unaosababishwa na ukosefu wa protini na unawapata watoto chini ya miaka mine huitwa?...............................
  3. Mfano wa maada inayopitisha joto kwa haraka ni…………………………………….
  4. Ardhi, maji, wanyamapori na misitu hujulikana kama………………………….
  5. Ugonjwa wa UKIMWI hauna………………………wala………………………..
  6. Joto husafiri katika ombwe kwa njia ya………………………………
  7. Gesi itakayo na kinyesi cha wanyama huitwa…………………..
  8. Mwanga wa jua utupatia…………………………….
  9. Ngamia huhifadhi mafuta kwenye……………………………
  10. Stigma hupokea chavua kutoka…………………………

SECTION D.

4. Oanisha fungu A na B ili kupata jibu sahihi kwa kuandika herufi yake pembeni ya namba ya swali.

FUNGU A

FUNGU B

  1. Themometa
  2. Mizazi
  3. Kichocho
  4. Malaria
  5. Periskopu.
  1. Dalili zake ni kuonadamu mwisho mwaaja ndogo
  2. Dalili zake ni kuumwa kichwa, kutapika na homa.
  3. Kipimo cha hali joto
  4. Tabaka la hewa linalozunguka dunia
  5. Darubini ya kuonea juu ya upeo wa macho
  6. Hutumika kuonea vitu vidogo sana
  7. Huambukizwa kwa maji machafu

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FIVE EXAM SERIES 14

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA TANO

APRIL-2020

MUDA:SAA 2:00  SAYANSI

MAELEZO KWA MTAHINIWA

  1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 50
  2. JIBU MASWALI YOTE
  3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
  4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. Wadudu wanapohama toka ua moja kwenda lingine wanfanya hivyo ili:

  1. kuzalisha mimea  
  2. kuepuka maadui
  3. kutafuta nekta 
  4. kutafuta harufu 
  5. kusambaza mbegu

2. Ili mbegu ichipue inahitaji: 

  1. Maji, udongo na hewa
  2. Mvua, hewa na udongo
  3. Unyevu, udongo na jotoridi
  4. Maji, hewa na jotoridi
  5. Maji, mwanga na upepo

3.  Mdudu yupi kati ya wafuatao huleta hasara kwa mkulima akiwa katika hatua ya pili ya ukuaji?

  1. Inzi                                                         
  2. Kipepeo
  3. Panzi                                                    
  4. Mbungo
  5. Mbu

4.  Mbegu za mimea uhifadhi chakula katika:

  1.  mizizi 
  2. majani      
  3. shina
  4. kotiledoni 
  5. tunda

5.  Lipi kati ya magonjwa yafuatayo husambazwa na inzi na mende? 

  1. Tetekuwanga   
  2. Kuhara        
  3. Kifaduro
  4. Utapia mlo 
  5. Homa ya matumbo

6. Mende hupitia hatua kuu .... katika ukuaji wake?

  1. mbili                                                                     
  2. tatu
  3. nne
  4. tano                                               
  5. sita

7 . Yupi kati ya wanyama wafuatao hana uti wa mgongo?

  1.  Buibui
  2.  Popo
  3.  Paka
  4.  Mwanadamu
  5.  Kuku

8. Hatua ya kwanza ya utafiti wa kisayansi ni 

  1.  kuanza jaribio 
  2. kukusanya data
  3.  kutambua tatizo   
  4.  kuchanganua data
  5.  kutafsiri matokeo

9. Hatua ya tatu ya utafiti wa kisayansi ni .........

  1. kuchambua data                           
  2. kutafsiri matokeo
  3. kuandaa na kuanza jaribio             
  4. ukusanyaji wa data
  5. kutambua tatizo

10. Lipi kati ya makundi yafuatayo linawakilisha sifa za viumbe hai?

  1. Kufa, kula na kuona
  2. Kufa, kuzaa na kubadilika rangi 
  3. Kupumua, kuishi na kusikia 
  4. Kupumua, kuzaa na kutembea.
  5. Kujongea, kupumua na kuzaa.

11. Lipi kati ya makundi yafuatayo ni sifa zinazotumika kutambua wanyama wa kundi               la reptilia?

  1. Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kuishi majini. 
  2. Kutaga mayai, kuishi majini na kuishi nchi kavu.
  3. Kutaga mayai, kuwa na damu ya joto na kuishi nchi kavu.
  4. Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kupumua kwa kutumia mapezi.
  5. Kutaga mayai, kupumua kwa kutumia ngozi na kuishi majini.

12. Kukosekana kwa chanikiwiti katika mmea huweza kusababisha:

  1. mmea kukosa madini joto
  2. mmea kushindwa kusanisi chakula
  3. majani ya mmea kukauka 
  4. majani ya mmea kuwa njano
  5. maj ani ya mmea kupukutika.

13. Sehemu ya kike ya ua inayohusika na uzazi ni:

  1. stameni 
  2. staili 
  3. ovari
  4. Petali
  5. Sepali

14. Tofauti kati ya tunda na mbegu ni: 

  1. Mbegu ina tunda.
  2. Tunda huota.
  3. Tunda lina kotiledoni mbili. 
  4. Mbegu huota. 
  5. Mbegu haziliwi.

15. Kundi lipi limeainisha wanyama wenye uti wa mgongo?

  1. Konokono, mjusi na kenge
  2. Papasi, panzi na mbungo 
  3. Chura, mamba na mchwa
  4. Kuku, popo na bata 
  5. Nyoka, panzi na mbuzi

16. Ni sehemu ipi ya ua hupokea mbegu za kiume?

  1. Stigma 
  2. Staili 
  3. Testa
  4. Ovyuli
  5. Petali

17. Ni Vipi kati ya viumbe hai vifuatavyo hujitengenezea chakula chao kwa kutumia klorofili?

  1. Wadudu
  2. Mimea 
  3. Wanyama 
  4. Virusi 
  5. Ndege

18. Wanyama wenye uwezo wa kuishi majini na nchi kavu ni wale wa kundi la

  1. Ndege
  2. Amfibia
  3. Reptilia
  4. Samaki
  5. Mamalia

19.  Wanyama kama mamba, viboko, vyura wanaishi katika maskani gani?

  1. Angani na ardhini
  2. Ardhini na majini. 
  3. Mazingira yoyote ilimradi chakula kiwepo
  4. Ardhini na mapangoni 
  5. Kwenye misitu.

20.  Kuna aina kuu mbili za mbegu za mimea ambazo ni:

  1. ghalambegu kuu na ghalambegu ndogo
  2.  monokotiledoni na daikotiledoni 
  3. daikotiledoni na kikonyo kikuu
  4. mbegu zenye mizizi na zisizo na mizizi.
  5. mbegu za asili na za porini.

SEHEMU B.

 ANDIKA NDIO AU HAPANA.

  1. Wanya aina ya ndege ndio pekee duniani wenye damu baridi………… …….
  2. Binadamu na panya wote wamo kwenye kundi moja…… …………………….
  3. Mamalia wote wanaishi nch kavu……… ……………………………………….
  4. Popo ni ndege kwa kuwa anaruka………… …………………………………………..
  5. Ndege wote wana manyoya………… …………………… …….
  6. Mamba yupo katika kundi la mammalian…… …… ………… ………
  7. Pistil inatunza ovuli zenye gamete uke…………… …………………………
  8. Staili inapokea chavua………… ………………………………………………………….
  9. Mmea wa mahindi unaonyesha mchavusho pweke……………………………………………………………..
  10. Mbegu za kiume uifadhiwa kwenye korodani………………………………………………………………………..

SEHEMU C.

ORODHA A

ORODHA B

  1. Mende
  2. Samaki
  3. Mbwa
  4. Ndege
  5. Mwerezi
  6. Poikilothemia
  7. Nyoka
  8. Amphibian
  9. Monokotiledoni
  10. daikotiledoni
  1. hulea kwa kunyonyesha watoto wao
  2. hali joto ya mwili ubadilika kulingana na halijoto ya mazingira.
  3. Mahindi na maharage
  4. Tembe
  5. Mbege zenye ghala moja
  6. Hutumia matamvua kwa ajili ya kupumua
  7. Mbegu yenye ghala mbili
  8. Mmoja kati ya wanyama wasio na uti wa mgongo
  9. Hupumua kwa ngozi yenye unyevu
  10. Kundi pekee la wanyama wenye manyoya
  11. Reptilian wasio na miguu
  12. Mmea usiotoa maua
  13. Kotiledoni tatu

SEHEMU D. 

Jaza nafasi zifuatazo.

  1. Mnyama anayetaga mayai hata kama yeye huishi nchi kavu… …………… ………………..
  2. Huishi majini lakini hutaga mayai yake nchi kavu… …… …………………… …………………..
  3. Taja mmea unaotoa mbegu lakini hautoi maua… … ……… … ……… ……………………
  4. Chura hutumia …………………………………………..kupumua
  5. Usafirisha maji na virutubisho kutoka kwenye mizizi kwenda kwenye majani………………….
  6. Sehemu ya seli yam mea yenye umbijani au klorofili…………… …………………..
  7. Sehemu ya kike ya ua……… …… …… …………………..
  8. Uunganisha ua na taji……… ………… ……… ………………………..
  9. Hatua za maabadiliko ya wadudu kutoka kuzaliwa hadi kufa huitwa?................................
  10. Matokeo ya utungishaji wa ua ni… …… ……… … ……….

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FIVE EXAM SERIES 4

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256