?>
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA NUSU MUHULA WA KWANZA 2024
SOMO: HISABATI DARASA: V
(ii)Juma alikua na shilingi laki moja, mia moja na mbili. Andika kiasi hicho kwa tarakimu
(iii) Kengele tatu ziligongwa, ya kwanza baada ya dakika sita, ya pili baada ya dakika nane, na ya tatu baada ya dakika 12. Ikiwa alianza kugonga saa tatu kamili asubuhi, je ni saa ngapi zitagongwa kwa pamoja?
(iv) Zidisha 12x13=
(v) Panga namba 101, 98, 100.6, 104, 99, 103 kuanzia ndogo kwenda kubwa
(vi) Nini jumla ya 21/4 na 31/5 ?
(vii) Kutoka namba 2, 4, 9, 6, na 0 andika namba ndogo zaidi.
(ix) Andika 6827 kwa kutumia abakasi
(x) Andika namba tasa zilizopo kati ya 6 na 24
SEHEMU B: MAFUMBO.
(ii) Asilimia sitini ya wanafunzi katika shule ya Msingi Mnazi ni wasichana ikiwa idadi ya wanafunzi ni 720, Je shule hiii ina wavulana wangapi?
(iii) Mohamed hulipwa shilingi elfu tano kila siku zote saba. Tafuta kiasi alicholipwa Februari mwaka 2024.
(iv) Gari linatumia nusu lita ya Petroli kw kila kimomita. Ikiwa Merry aliendesha gari hilo kwa kilomita 164, Je alitimia lita ngapi za Petroli?
(v) Umri wa mtoto ni 1/4 ya umri wa baba. Ikiwa baba anamiaka ishirini; tafuta umri wa mtoto baada ya miaka nane.
(ii) Kata ya Mahida ina wanafunzi 54,163,. Wanafunzi 7892, wanahitimu mwaka huu. Tafuta idadi ya wanafunzi watakaobaki shuleni.
(iii) Sensa ya watu iliyofanyika mwaka 2012, kijiji cha Holili kilikua na Wanaume 1849, Wanawake 2112 na Watoto 2636. Tafuta jumla ya wakaz wa kijiji.
5. (i) Shule 10 zina mahitaji ya madaftari 175,038. Iwapo wafadhili walitoa madaftari 10,750, Je shule hizo zinaupugufu wa madaftari mangapi?
(ii)Tafuta KKS cha 6, 10 na 12
(iii) Andika namba inayokosekana katika mfululizo huu: 1, 5, 10, ...., 23
6. (i) Vitabu 99,000 viligawiwa katika shule 200 kwa idadi sawa. Je kila shule ilipata vitabu vingapi?
(ii) Tafuta namba inayofuata katika mfululizo huu: 2, -1, -4, -7, .......
(iii) Kadiria namba hii katika mamia yaliyokaribu 578406
7. (i) Tafuta eneo la pembetatu lenye kimo cha meta 16 na kitako cha meta 19.
(ii) Pembe tatu ina meta za eneo 195. Ikiwa kitako chake kina meta 26, Je urefu wa kimo chake ni meta ngapi?
(iii) Tafuta eneo la umbo PQR
R
8. (i) Tafuta wastani wa shilingi 28,000, shilingi 32,000 na shilingi 96,000.
(ii) Mahudhurio ya darasa la tano kwa wiki yalikua kama ifuatavyo.
siku | Jumatatu | Jumanne | Jumatano | Alhamisi | Ijumaa |
Wanafunzi waliohudhuria | 33 | 45 | 48 | 45 | 39 |
Tafuta wastani wa mahudhurio yao kwa siku.
(iii) Ikiwa mimi ni kipeo cha pili cha 13. Mimi ni namba gani?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 108
PRESIDENT’S OFFICE, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
PRIMARY EXAMINATION SERIES
NEW FORMAT BASED-STANDARD FIVE EXAMINATION
SUBJECT: MATHEMATICS
MID TERM -1 MARCH 2024
TIME: 1:40HR
Instructions:
SECTION A: ANSWER ALL QUESTIONS 10MARKS
Solve the following questions by showing the clear methods and providing correct answers in the answer sheets provided.
QUESTION No.1 (10 marks)
SECTION B: (30MARKS)
QUESTION No.2 (6 marks)
QUESTION No.3 (6 marks)
remain in the pond?
QUESTION No.4 (6 marks)
QUESTION No.5 (6 marks).
Neema got?
QUESTION No.6 (6 marks)
SECTION C: ANSWER ALL QUESTIONS 10MARKS
QUESTION No.7 (6 marks)
will he use to fill the tank?.
of each piece?
form.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 90
OFISI YA RAIS, TAWALA ZAMIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA PILI
DARASA LA TANO
NO | SWALI | NO | SWALI | ||||||||||
1. | Andika namba hii kwa upana 46578 | 16. | Tafuta jumlaa ya namba zifuatazo 4 3/8 and 2 1/2 | ||||||||||
2. | Andika thamani ya nambari iliyopigiwa mstari 56786 | ||||||||||||
3. | Pata jumla ya nambari mbili zinazofuata katika safu hapa chini 120, 114, 108, 102, 96, ________ | 17. | 1/32 zipo ngapi katika kitu kizima ? | ||||||||||
4. | Andika CMXCIX kwa namba za kawaida | 18. | Tafuta zao kati ya namba hizi 15⁄16 na 20⁄21 | ||||||||||
5. | Andika nambari inayokosekana katika mlolongo Ufuatao 25, 20, 15,______, 5 | 19. | Mwaka mwezi 1 45 X 9 | ||||||||||
6. | Tafuta namba mraba ya 676 | 20. | Andika namba hii kwa upama 900 | ||||||||||
7. | Kuna namba shufwa ngapi kati ya 10 na 2 | 21. | Zidisha 3km kwa 4.Toa jibu lako kwa sm | ||||||||||
8. | Tafuta kigawo kikubwa (K.K.S) cha 12 na 36 | 22. | Jumla ya nambari hizi mbili ni 100001. Ikiwa miongoni mwa namba hizo ni 9999, Tafuta namba ya pili | ||||||||||
9. | Kuna 1/3 ngapi katika kitu kizima | 23. | Tafuta thamani ya jumla ya namba hizi 42.92 na 31.57 | ||||||||||
10. | Tafuta tofauti ya namba mraba za namba hizi 324 na 256 | 24. | Tafuta wastani wa namba hizi 105, 125,145 na 135 | ||||||||||
11. | Andika katika takwimu "Laki moja, mia na tisa nukta tatu tano" | 25. | Kokotoa miezi 11 siku 12 kwa 3 | ||||||||||
12. | Tafuta urefu wa
| 26. | Tafuta zao la 25m na 1.46 m , kisha andika jibu katika sentimita | ||||||||||
13. | Umri wa pita ni miaka 6 zaidi ya umri wa George .Miaka 2 iliyopita jumla ya umri wao ulikuwa miaka 48.Tafuta umri wa sasa wa George | 27. | Tafuta upana wa mraba n ism 56 .Tafuta mzingo wake | ||||||||||
14. | Pipa la maji lilijazwa ndani ya masaa 4 wakati pipa dogo lilijaa maji kwa masaa 5 , Ikiwa mapipa yote yatafuniliwa na kujazwa maji kwa pamoja , Je muda gani mapipa hayo yatajaa ? | 28. | Shule ya Maendeleo walipanda miti 104 katika shamba la shule. Ikiwa 1⁄4 ya miti hiyo ilikauka Tafuta mimea iliyopona ? | ||||||||||
15. | Tafuta mzingo | 29. | Tupa alinunua redio kwa Tsh 540,000/= na kuuza kwa Tsh 345,000/= Je, kiasi gani cha fedha Tupa alipoteza ?. | ||||||||||
.30 | kokotoa, Kg g mg 21 168 73 5 721 21 + 43 32 3 | 36. | Sakafu katika ofisi ya mkuu wa shule ni mstatili kama iliyoonyeshwa hapa chini ikiwa mzingo wake ni sm 124 .Tafuta thamani ya X
| ||||||||||
31. | Tafuta thamani ya “t”
| 37. | Nini mzingo wa umbo hili?
| ||||||||||
32. | Tafuta sehemu ambayo haijatiwa kimvuli? | 38. | Jedwali hapa chini uonyesha idadi ya wanafunzi katika darasa la 5B.Ambao walifaulu somo la sayansi katika wiki nne . ikiwa wastani kwa wanafunzi hao waliofaulu mtuhani huo ni 70.Wangapi walifaulu katika wiki ya 3rd
| ||||||||||
33. | Tafuta mstari tuli hapo (saimentari)?
| 39. | Katika darasa la tano kila dawati limekaliwa na watoto watatu, ikiwa darasani kuna madawati 60. Je darasa la tano linawafunzi wangapi? | ||||||||||
34. | Tafuta upana wa mraba ikiwa mzingo wake ni 144 sm. | 40. | Shule ya mapinduzi inawanafunzi 860 . Ikiwa wavulana ni 432 .Tafuta idadi ya wasichana waliopo katika shule hiyo ? | ||||||||||
35 | Kapilima alinunua vitu vifuatavyo kwa mahemezi ya nyumbani Vikombe 6 @ sh. 2,500 Vipikio 3 @ sh. 4,500 Sahani 12 @ sh 7,500 Jozi mbili ya vijiko sh 800 kwa kijiko. Alimpa muuza duka noti 15 za Tsh10000/= arudishiwa chenchi kiasi gani? |
41. Tafuta namba inayofuata katika mfululizo unaofuata XVII, XXVII, XXXVII, . Andika jibu katika namba za kawaida (kiarabu) | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
3
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 76 OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA MTIHANI WA HISABATI DARASA LA V – 2022 Jibu namba hii kama ilivyotekelezwa KUANZIA SWALI LA 41 – 45 ONYESHA NJIA KWA KILA SWALI NA JIBU LAKE LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 67 OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA HISABATI MUDA:1: 30 JINA_____________________________________SHULE__________________ NO SWALI KAZI JIBU ANDIKA KWA MANENO 144,443 44,444 959,595 723,456 82,345 ANDIKA KWA TARAKIMU Laki mbili na elfu arobaini na moja, mia tatu sitini na moja Laki tatu na elfu sita, mia tatu na moja Laki mbili na moja Laki nne na kumi na sita Laki tano na sita, mia sita na sita Ni sehemu ipi kubwa 6/11 and 5/11 4/5 and 3/5 1/5 and 1/4 4/7 and 4/9 3/8 and 5/8 Badilisha kuwa sehemu nusu 11/2 72/5 101/4 23/7 31/3 Badilisha kuwa sehemu kamili 10/3 17/7 11/4 25/3 41/4 Badilisha saa kuwa dakika Masaa 7 Masaa 13 Masaa 6 Masaa 9 Masaa 3 Badilisha dakita kuwa masaa Dakika 849 Dakika 1149 Dakika 686 Dakika 4593 Dakika 328 Tafuta K.D.S YA NAMBA HIZI 45 and 38 28 and 44 Tafuta kigawo kikubwa cha shirika(KKS) 68 and 38 92 and 100 69 and 39 Tafuta kipeuo na pili cha namba 8100 7225 6400 5625 4900 LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 41 Hub App |