?> HISABATI STANDARD FIVE EXAMS SERIES
HISABATI STANDARD FIVE EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA

MTIHANI WA HISABATI DARASA LA V – 2022

Jibu namba hii kama ilivyotekelezwa

 1. Andika namba hii kwa maneno 19967
 2. 297950 andika katika abakasi
 3. CVI kwa kawaida
 4. Andika thamani ya 7 katika namba hii 987001
 5. Fananua namba hii 200049
 6. 237 + 112451 =

 

 1. 8704 – 7537 =

 

 1. Tafuta zao la 329 na 3

 

 1. 14496  3 =
 2. 96  3 =
 3. 50 + 4= Jibu liwe kwa kirumi
 4. Badili  kuwa desimali
 5. Tafuta K.K.S cha 30 na 40
 6. Tafuta K.D.S cha 3 na 12
 7. Andika vigawo tasa vya 15
 8. Andika namba shufwaa zote zilizopo kati ya 29 na 45
 9. =
 10. Andika vigawo vyote vya 7
 11. Jaza vigawo vinavyokosekana katika ngoe hii.

 

 

 

 

 

 

 1. Tafuta vigawo shirika vya 6 na 8
 2. =
 3. Ipi kubwa
 4. Namba ipi kati ya hizi ni namba shufwa 18, 33, 36, 37, 40, 58
 5. Andika namba ya desimali kwa maneno 68.31
 6. Badili  kuwa desimali

 

 

 1. Kilometa 1 ni sawa na mita ngapi?
 2. 31.1 x 4 =
 3. Chora uso was aa kuonyesha saa 8:30 mchana
 4. Siku moja ina saa ngapi?

 

KUANZIA SWALI LA 41 – 45 ONYESHA NJIA KWA KILA SWALI NA JIBU LAKE

 

 1. Namba tasa nini?
 2. Tafuta KDS cha 8 na 36 kwa njia ya pamoja
 3. Tafuta mzigo wa mstatili huu.

 

 1. Tafuta K.K.S cha 8 na 12 kwa njia ya ngoe

 1. Tafuta vigawe vya shirika vya 3 na 6

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 67

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA

HISABATI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

 

   NO 

  SWALI

 KAZI

   JIBU

 

ANDIKA KWA MANENO

 

 

 1.  

144,443

 

 

 1.  

44,444

 

 

 1.  

959,595

 

 

 1.  

723,456

 

 

 1.  

82,345

 

 

 

ANDIKA KWA TARAKIMU

 

 

 1.  

Laki mbili na elfu arobaini na moja, mia tatu sitini na moja

 

 

 1.  

Laki tatu na elfu sita, mia tatu na moja

 

 

 1.  

Laki mbili na moja

 

 

 1.  

Laki nne na kumi na sita

 

 

 1.  

Laki tano na sita, mia sita na sita

 

 

 

Ni sehemu ipi kubwa

 

 

 1.  

6/11 and 5/11

 

 

 1.  

4/5 and 3/5

 

 

 1.  

1/5 and 1/4

 

 

 1.  

4/7 and 4/9

 

 

 1.  

3/8 and 5/8

 

 

 

Badilisha kuwa sehemu nusu

 

 

 1.  

11/2

 

 

 1.  

72/5

 

 

 1.  

101/4

 

 

 1.  

23/7

 

 

 1.  

31/3

 

 

 

Badilisha kuwa sehemu kamili

 

 

 1.  

10/3

 

 

 1.  

17/7

 

 

 1.  

11/4

 

 

 1.  

25/3

 

 

 1.  

41/4

 

 

 

Badilisha saa kuwa dakika

 

 

 1.  

Masaa 7

 

 

 1.  

Masaa 13

 

 

 1.  

Masaa 6

 

 

 1.  

Masaa 9

 

 

 1.  

Masaa 3

 

 

 

Badilisha dakita kuwa masaa

 

 

 1.  

Dakika 849

 

 

 1.  

Dakika 1149

 

 

 1.  

Dakika 686

 

 

 1.  

Dakika 4593

 

 

 1.  

Dakika 328

 

 

 

Tafuta K.D.S YA NAMBA HIZI

 

 

 1.  

45 and 38

 

 

 1.  

28 and 44

 

 

 

Tafuta kigawo kikubwa cha shirika(KKS)

 

 

 1.  

68 and 38

 

 

 1.  

92 and 100

 

 

 1.  

69 and 39

 

 

 

Tafuta kipeuo na pili cha namba

 

 

 1.  

8100

 

 

 1.  

7225

 

 

 1.  

6400

 

 

 1.  

5625

 

 

 1.  

4900

 

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 41

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256