JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA- MACHI-2024
URAIA NA MAADILI DARASA LA NNE.
SEHEMU A:
1. Chagua swali sahii kutoka majibu uliopewa. Kisha andika katika kisanduku.
- Nembo za kitaifa zinajumuisha
- Bendera za kitaifa, mwenge wa uhuru, twiga
- Pamba, mahindi, mwanamke, mwanmume, nyundo
- Mwenge wa uhuru, wimbo wa shule, bendera ya taifa
- Hoe, wimbo wa taifa, fedha za taifa, mlima
- Dalili moja wapo ya ukosefu wa uongozi katika familia ni Pamoja na………
- Kuhusisha Watoto katika maamuzi ya familia
- Kuwapa Watoto mahitaji muhimu kama chakula, mavazi, nyumba
- Kuwafungulia Watoto biashara wafanye hili kuongeza kipato cha familia
- Kuwapenda na kuwalinda Watoto
- Nchi zipi ambazo sio wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki?
- Rwanda na Burundi
- Malawi na Mozambique
- Kenya na Uganda
- Tanzania na sudan ya kusini
- Njia mojawapo ya kulinda mazingira ni Pamoja na;
- Kutupa tata barabarani
- Kutoa uchafu kwenye vyoo baada ya kunyesha
- Kukuchoma taka nyumbani
- Kuacha vyanzo vya maji, ardhi na miti jinsi zilivyo
- Mtu ambaye yupo tayari kulinda na kupigania nchi yake huitwa?
- Raia mwema
- Jasiri
- Shujaa
- Msaliti
2. Chagua jibu sahihi kutoka safu B kwa kuandika herufi katika sehemu zilizo wazi safu A
SAFU A | SAFU B |
- Katiba
- Ajira kwa Watoto
- Amani
- Ideology
- uzalendo
| - kupenda nchi yako
- matendo yanayoonyesha kukiuka haki za Watoto
- sheria ambazo zinaonyesha jinsi nchi inavyotawaliwa
- hali ya utulivu bila migogoro
- sheria inayopitishwa na bunge la nchi Fulani ili kusimamia misingi fulani
|
3. Tumia maneno yaliyo katika kijisanduku kujibu maswali yafuatayo
- Nchi yetu inaitwa………………………………………………………
- Wachaga na wapare wako katika kundi la………………………………………….
- Jina la picha ya kiongozi anayepatikana katika sehemu ya mbele ya sarufu ya shilling mia tano ni………………………………………
- Anayesimamia shughuli zote za Kijiji huitwa………………………………
- Lugha ya Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha mbili ambazo ni …………………………na……………………..
SEHEMU B
Soma kifungu kifuatacho, kisha jibu maswali yanayofuata
Kijiji cha Itaga kipo mkoani Tabora. Miaka ya nyuma Kijiji hiki
kilikuwa na miti mingi. Ilikuwepo mito ya maji iliyotiririka kutokea milimani kwenda mabondeni. Pia, kulikuwepo na vyanzo vya maji vilivyofunikwa na misitu minene. Wakazi wake walipenda kukaa chini ya vivuli vya miti wakijipumzisha. Mvua za kutosha zilikuwa zinanyesha kila msimu. Walilima mashamba yao na kuvuna mazao ya kutosha. Walifuga na kulisha mifugo bila shida. Hata hivyo, baada ya miaka mingi kupita watu waliongezeka sana. Je, unajua nini kilitokea? Watu walikata miti ili kujenga nyumba zao. Walitengeneza samani na kujenga nyumba kwa kutumia mbao. Pia, wakachoma misitu ili kupata mkaa. Loh! Kijiji kilibadilika sana na maisha yalibadilika pia. Wakazi wa kijiji cha Itaga walikata miti sehemu za vyanzo vya maji. Hivyo, misitu ilipungua sana. Watu wanajisaidia kwenye mito na kutupa takataka kila mahali. Hall hii ilisababisha kuwepo kwa magonjwa kijijini hapo.
MASWALI
- Taja mambo ambayo yanaoonyesha uharibifu wa mazingira katika kisa hiki…………….
- Taja vitendo vingine vya uharibifu wa mazingira vinanyofanyika katika maeneo yako….
- Taja magonjwa yatokanayo na uchafuzi wa mazingira
- Taja adhari za uharibifu wa mazingira katika uvuvi na ufugaji……………………
- Taja njia mbili ambazo unaweza kutumia kuhifadhi mazingira…………
5. Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali
- Nembo hii ya Taifa huitwa?....................................................
- Nembo hii iliwekwa kileleni mwa mlima kilimanjaro mwaka gani?
- Taja umuhimu wa nembo hapo juu………………….
- Nembo hii ilitumika mara ya kwanza katika nchi gani?........................
- Taja jina na mtu aliyeweka nembo hiii katika kilele cha mlima kilimanjaro…………..
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 100
WIZARA YA ELIMU
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA PILI SEPT 2022
SOMO LA URAIA NA MAADILI.
DARASA LA NNE (IV)
SEHEMU A
1. Chagua herufi ya jibu sahihi
(i). Bendera ya taifa ina rangi ngapi? (a) 6 (b) 10 (c) 2 (d) 4
(ii). Taratibu na kanuni zinazotumika katika nchi Fulani huitwa ………………….
(a)sheria (b)malengo (c)mswaaada (d)kanuni
(iii).Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania aliitwa……………..
(a)mwalimu J.K. Nyerere (b)John pombe magufuli (c)Benjamin W. Mkapa (d)Ally Hassani Mwinyi
(iv).wimbo wa taifa unapoimbwa tunatakiwa…………………. (a)tulale chini (b)tupige magoti (c)tusimame wima (d)tutembee
(v). Mnyama ambaye hutumika kama kama alama ya taifa la Tanzania ni…………… (a) tembo (b)twiga (c)kifaru (d) samba
(vi). Fedha ya Tanzania inaitwa…………….. (a)sarafu (b)shilingi (c)noti (d)faranga
(vii). Moja ya maadili yasiyofaa katika jamii ni ……………… (a)kuheshimu kila mmoja (b)kuwahi shuleni (c)kuwa nadhifu (d)kutumia madawa ya kulevya
(viii). Utandawazi ni mfumo wa……………. Unaoziwezesha nchi nyingi duniani kuwasiliana na kushirikiana. (a) mtandao (b)mawasiliano (c)simu (d)kompyuta.
(ix). Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulifanyika……………… (a) 26 April 1964 (b)24 April 1964 (c)9 Desemba 1961 (d)12 Desemba 1961
(x). Ni watu gani wanawajibu wa kutunza rasilimali za shule………...................... (a) wanafunzi (b) wazazi (c) walimu (d) kila mwanajamii.
SEHEMU B
2. OANISHA FUNGU “A” NA FUNGU “B” ILI KUPATA MAANA KAMILI
FUNGA “A” | JIBU | FUNGU “B” |
- Rangi nyeusi katika bendera ya Tanzania
- Lugha, mavazi, chakula
- Kutunga sheria
- Mwanaume na mwanamke katika nembo ya taifa
- Maliasili
| ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) | (A)ardhi, maji na misitu (B) usawa wa kijinsia (C) Utamaduni (D) watu wa Tanzania (E) Bunge (F) Baba na mama |
SEHEMU C
3. ANDIKA KWELI KWA SENTENSI ILIYOSAHIHI NA SIKWELI KWA SENTENSI ISIYOSAHIHI
(i) Mazao ya chakula ni pamoja na mahindi,mtama, pamba na maharage………………
(ii) Mtandao (intanenti) sio chanzo cha habari……………………
(iii)kunywa pombe na kufanya mapenzi katika umri mdogo ni tabia hatarishi…………………
(iv) Tabia nzuri za wanafunzi ni moja ya vitu vinavyoipa shule sifa nzuri………….
(v)Moja ya alama za taifa letu ni wimbo wa taifa, bendera ya Taifa, na ngao ya Taifa………………………..
SEHEMU D
4. JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI
(i) Rais wa awamu ya pili wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania aliitwa………………………………………….
(ii) Tanganyika ilipata uhuru mnamo tarehe……mwezi…….mwaka…………
(iii) Jumla ya vitu vyote vinavyomzunguka binadamu huitwa…………………….
(iv) Bendera ya rais ina rangi ngapi? Zitaje…………………………
(v)Mtu mwenye ulemavu wa ngozi huitwa…………………..
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 66
WIZARA YA ELIMU
MTIHANI WA KUMALIZIA MUHULA WA KWANZA JULAI 2022
SOMO LA URAIA NA MAADILI.
DARASA LA NNE (IV)
SEHEMU A
1. Chagua herufi ya jibu sahihi
(i). Bendera ya taifa ina rangi ngapi? (a) 6 (b) 10 (c) 2 (d) 4
(ii). Taratibu na kanuni zinazotumika katka nchi Fulani huitwa ………………….
(a)sheria (b)malengo (c)mswaaada (d)kanuni
(iii).Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania aliitwa……………..
(a)mwalimu J.K. Nyerere (b)John pombe magufuli (c)Benjamin W. Mkapa (d)Ally Hassani Mwinyi
(iv).wimbo wa taifa unapoimbwa tunatakiwa…………………. (a)tulale chini (b)tupige magoti (c)tusimame wima (d)tutembee
(v). Mnyama ambaye hutumika kama kama alama ya taifa la Tanzania ni…………… (a) tembo (b)twiga (c)kifaru (d) samba
(vi). Fedha ya Tanzania inaitwa…………….. (a)sarafu (b)shilingi (c)noti (d)faranga
(vii). Moja ya maadili yasiyofaa katika jamii ni ……………… (a)kuheshimu kila mmoja (b)kuwahi shuleni (c)kuwa nadhifu (d)kutumia madawa ya kulevya
(viii). Utandawazi ni mfumo wa……………. Unaoziwezesha nchi nyingi duniani kuwasiliana na kushirikiana. (a) mtandao (b)mawasiliano (c)simu (d)kompyuta.
(ix). Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulifanyika……………… (a) 26 April 1964 (b)24 April 1964 (c)9 Desemba 1961 (d)12 Desemba 1961
(x). Ni watu gani wanawajibu wa kutunza rasilimali za shule………...................... (a) wanafunzi (b) wazazi (c) walimu (d) kila mwanajamii.
SEHEMU B
2. OANISHA FUNGU “A” NA FUNGU “B” ILI KUPATA MAANA KAMILI
FUNGA “A” | JIBU | FUNGU “B” |
- Rangi nyeusi katika bendera ya Tanzania
- Lugha, mavazi, chakula
- Kutunga sheria
- Mwanaume na mwanamke katika nembo ya taifa
- Maliasili
| ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) | (A)ardhi, maji na misitu (B) usawa wa kijinsia (C) Utamaduni (D) watu wa Tanzania (E) Bunge (F) Baba na mama |
SEHEMU C
3. ANDIKA KWELI KWA SENTENSI ILIYOSAHIHI NA SIKWELI KWA SENTENSI ISIYOSAHIHI
(i) Mazao ya chakula ni pamoja na mahindi,mtama, pamba na maharage………………
(ii) Mtandao (intanenti) sio chanzo cha habari……………………
(iii)kunywa pombe na kufanya mapenzi katika umri mdogo ni tabia hatarishi…………………
(iv) Tabia nzuri za wanafunzi ni moja ya vitu vinavyoipa shule sifa nzuri………….
(v)Moja ya alama za taifa letu ni wimbo wa taifa, bendera ya Taifa, na ngao ya Taifa………………………..
SEHEMU D
4. JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI
(i) Rais wa awamu ya pili wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania aliitwa………………………………………….
(ii) Tanganyika ilipata uhuru mnamo tarehe……mwezi…….mwaka…………
(iii) Jumla ya vitu vyote vinavyomzunguka binadamu huitwa…………………….
(iv) Bendera ya rais ina rangi ngapi? Zitaje…………………………
(v)Mtu mwenye ulemavu wa ngozi huitwa…………………..
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 63
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA NNE
URAIA NA MAADILI
MUDA:1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEKEZO
- Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
- Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
- Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
- Mtihani wote una alama 50
Katika swali la 1-8 chagua jibu sahihi
- Familia ya mzazi mmoja inajumuisha...... (a) baba au mama na watoto (b) babu na watoto (c) bibi na watoto (d) mjomba na watoto
- Katika nembo ya Taifa, mwenge unawakilisha (a)uhuru wa taifa (b) shule na vyuo (c) wakulima (d) wafanyakazi
- Kumbukumbu ya kifo cha raisi wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hufanyika kila mwaka siku ya tarehe (a)12 Disemba(b)9 Disemba (c) 14 Octoba (d)7 Aprili
- Moja kati ya mambo yanayochangia katika ukiukwaji wa haki za watoto ni (a) adhabu kali nyumbani na shuleni (b) kupewa nafasi ya kucheza (c) kushirikishwa katika kufanya maamuzi (d) kupata elimu isiyo ya kubaguzi
- Mojawapo ya mila na desturi mbaya za Watanzania hapo zamani ni pamoja na (a) jando na unyago (b) utii wa sheria (c) kuolewa na kuoa katika umri mdogo (d) ulipaji wa mahari
- Bendera ya Taifa ina rangi ngapi?... (a)Moja (b) Mbili (c) Tatu (d) Nne
- Mali ya familia inatakiwa kulindwa na; (a) watoto peke yao (b) baba na mama (c) kila mwanafamilia (d) babu na bibi
- Nasaba ni hali ya kuwa na........... (a) uhusiano wa karibu sana (b) watoto wa karibu sana (c) uhusiano baina ya watu katika familia (d) urafiki mzuri baina ya watu
Jibu kipengele cha (i)-(vi) kwa kuoanisha nembo ya taifa katika fungu A na umuhimu wake zinazopaikana katika fungu B. Andika herufi ya jibu sahihi katika nafasi uliyopewa.
Fungu A | Fungu B |
- Alama zote za Taifa hupatikana hapa
- Uwakilisha uhuru na Nuru inayoongoza Taifa.
- Mimi ni mnyama wa taifa
- Hupepea kwenye mlingoti na nina rangi za kupendeza
- Rangi ya bluu
- Mlima mrefu zaidi unaopatikana kwenye nembo
| - Mlima meru
- Ndovu
- Mlima Kilimanjaro
- Bendera ya taifa
- Huonyesha mito, bahari na maziwa yaliyopo Tanzania
- Twiga
- Mwenge.
|
Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali hapo chini.
Mazingira hujumuisha maeneo tunayoishi na vitu vinavyo tuzunguka. Uharibifu wa mazingira husababishwa na tabia na mienendo isiyofaa. Tunapaswa kutunza mazingira hili yatutunze. Mazingira uchafuliwa kwa kuendekeza tabia kama; kutupa taka hovyo, kutotumia choo, kutiririsha maji machafu kwenda kwenye mto, uzoaji ovyo wa taka nakadhalika.Tunaweza kutunza mazingira kwa kuhakikisha tunafanya usafi wa mazingira mara kwa mara, kuteketeza taka ipasavyo, kutunza vyanzo vya maji, na kufuata kanuni za usafi.
- Nini maana ya Mazingira?........................................................................................................
- Taja tabia mbili zinazochangia uchafuzi wa mazingira............................................................
- Kunafaida gani ya kutunza mazingira?....................................................................................
- Tunawezaje kuhakikisha maji yetu kwenye miti hayachafuliwi?............................................
- Taja njia mbili za kutunza mazingira....................................................
- Ni nini kinasababisha uharibifu wa mazingira?.....................................................................
Chunguza Picha ifuatayo kisha jibu maswali hapo chini
- Ni nini kinachotokea kwenye picha hii?
- Taja hatari inayojitokeza katika picha hii
- Je utawashauri nini watoto hawa?
- Taja faida moja ya kutii sheria
- Toa njia moja serikali inaweza kutumia kutoa elimu kwa wanafunzi juu ya usalama barabarani.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 55
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA- MACHI-2022
URAIA NA MAADILI DARASA LA SABA.
SEHEMU A:
1. Chagua swali sahii kutoka majibu uliopewa. Kisha andika katika kisanduku.
- Nembo za kitaifa zinajumuisha
- Bendera za kitaifa, mwenge wa uhuru, twiga
- Pamba, mahindi, mwanamke, mwanmume, nyundo
- Mwenge wa uhuru, wimbo wa shule, bendera ya taifa
- Hoe, wimbo wa taifa, fedha za taifa, mlima
- Dalili moja wapo ya ukosefu wa uongozi katika familia ni Pamoja na………
- Kuhusisha Watoto katika maamuzi ya familia
- Kuwapa Watoto mahitaji muhimu kama chakula, mavazi, nyumba
- Kuwafungulia Watoto biashara wafanye hili kuongeza kipato cha familia
- Kuwapenda na kuwalinda Watoto
- Nchi zipi ambazo sio wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki?
- Rwanda na Burundi
- Malawi na Mozambique
- Kenya na Uganda
- Tanzania na sudan ya kusini
- Njia mojawapo ya kulinda mazingira ni Pamoja na;
- Kutupa tata barabarani
- Kutoa uchafu kwenye vyoo baada ya kunyesha
- Kukuchoma taka nyumbani
- Kuacha vyanzo vya maji, ardhi na miti jinsi zilivyo
- Mtu ambaye yupo tayari kulinda na kupigania nchi yake huitwa?
- Raia mwema
- Jasiri
- Shujaa
- Msaliti
2. Chagua jibu sahihi kutoka safu B kwa kuandika herufi katika sehemu zilizo wazi safu A
SAFU A | SAFU B |
- Katiba
- Ajira kwa Watoto
- Amani
- Ideology
- uzalendo
| - kupenda nchi yako
- matendo yanayoonyesha kukiuka haki za Watoto
- sheria ambazo zinaonyesha jinsi nchi inavyotawaliwa
- hali ya utulivu bila migogoro
- sheria inayopitishwa na bunge la nchi Fulani ili kusimamia misingi fulani
|
3. Tumia maneno yaliyo katika kijisanduku kujibu maswali yafuatayo
- Nchi yetu inaitwa………………………………………………………
- Wachaga na wapare wako katika kundi la………………………………………….
- Jina la picha ya kiongozi anayepatikana katika sehemu ya mbele ya sarufu ya shilling mia tano ni………………………………………
- Anayesimamia shughuli zote za Kijiji huitwa………………………………
- Lugha ya Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha mbili ambazo ni …………………………na……………………..
SEHEMU B
Soma kifungu kifuatacho, kisha jibu maswali yanayofuata
Kijiji cha Itaga kipo mkoani Tabora. Miaka ya nyuma Kijiji hiki
kilikuwa na miti mingi. Ilikuwepo mito ya maji iliyotiririka kutokea milimani kwenda mabondeni. Pia, kulikuwepo na vyanzo vya maji vilivyofunikwa na misitu minene. Wakazi wake walipenda kukaa chini ya vivuli vya miti wakijipumzisha. Mvua za kutosha zilikuwa zinanyesha kila msimu. Walilima mashamba yao na kuvuna mazao ya kutosha. Walifuga na kulisha mifugo bila shida. Hata hivyo, baada ya miaka mingi kupita watu waliongezeka sana. Je, unajua nini kilitokea? Watu walikata miti ili kujenga nyumba zao. Walitengeneza samani na kujenga nyumba kwa kutumia mbao. Pia, wakachoma misitu ili kupata mkaa. Loh! Kijiji kilibadilika sana na maisha yalibadilika pia. Wakazi wa kijiji cha Itaga walikata miti sehemu za vyanzo vya maji. Hivyo, misitu ilipungua sana. Watu wanajisaidia kwenye mito na kutupa takataka kila mahali. Hall hii ilisababisha kuwepo kwa magonjwa kijijini hapo.
MASWALI
- Taja mambo ambayo yanaoonyesha uharibifu wa mazingira katika kisa hiki…………….
- Taja vitendo vingine vya uharibifu wa mazingira vinanyofanyika katika maeneo yako….
- Taja magonjwa yatokanayo na uchafuzi wa mazingira
- Taja adhari za uharibifu wa mazingira katika uvuvi na ufugaji……………………
- Taja njia mbili ambazo unaweza kutumia kuhifadhi mazingira…………
5. Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali
- Nembo hii ya Taifa huitwa?....................................................
- Nembo hii iliwekwa kileleni mwa mlima kilimanjaro mwaka gani?
- Taja umuhimu wa nembo hapo juu………………….
- Nembo hii ilitumika mara ya kwanza katika nchi gani?........................
- Taja jina na mtu aliyeweka nembo hiii katika kilele cha mlima kilimanjaro…………..
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 49
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE
URAIA NA MAADILI
MUDA:1: 30
JINA_____________________________________SHULE__________________
Chagua herufi yenye jibu sahihi.
- …………, ………….na………….ni baadhi ya makabila yaliyotajwa kwenye sura hii.
- Wangoni, Waha na Wagogo
- Wahehe, Wasambaa na Wagogo
- Wahaya, Wangoni na Wanyamwezi
- Wamwela, Wasangu na Wahehe
- Kuheshimu utamaduni wa watu wengine huleta……….
- Upendo na mshikamano
- Ujasiri na upendo
- Mshikamano na upole
- Kelele na utulivu
- Shughuli mbili za asili zilizotajwa katika sura hii ni…………
- Uchongaji na kilimo cha pamba
- Ufinyanzi wa vyungu na uchongaji
- Uvuvi wa Samaki na kurina asali
- Kurina asali na uchongaji
- Faida za kuhusiana vyema na wenzako shuleni ni Pamoja na …………
- Kuleta chuki
- Kuondoa upendo
- Kufaulu vizuri katika mtihani
- Kutokushirikiana
- Matendo ya uwajibikaji katika familia ni Pamoja na:
- Kulala mapema
- Kushiriki kufanya kazi ndogondogo za familia
- Kucheza mpira
- Kuwatibu wagonjwa
- Shughuli za usafi nyumbani zinapaswa kufanywa na:
- Baba
- Mama
- Msaidizi wa nyumbani
- Wanafamilia wote
- Baadhi ya shughuli za kujitolea katika jamii ni pamoja na:
- Kumwagilia bustani ya familia
- Kufanya usafi katika zahanati ya Kijiji au mtaa
- Kudeki chumba chako cha kulala
- Kulisha mifugo ya familia
- Ni matendo yapip kati ya haya yanaonesha kuthamini rasilimali za jamii?
- Kutoboa bomba la maji ili kuchota maji ya kumwagilia bustani
- Kupanda miti kandokando ya vyanzo vya maji
- Kulisha mifugo katika misitu ya hifadhi
- Kuchoma moto msitu ili kurina asali
9. Kipi kazi ya zifuatazo kinaonyesha upendo kwa wengine?
- Kuwapiga
- Kuwatusi
- Kuwa na huruma kwa wengine
- Kuwaibia wengine
10. Ardhi ya Tanzania inatumika sana kwenye shughuli zipi?
- Kuchimba madini
- Ukulima
- Usafirishaji
- mawasiliano
Oanisha maneno ya sehemu A na yale yaliyoko sehemu B ili kupata maana sahihi.
Sehemu A | Sehemu B |
- Kukosoa
| - Kukubali kos ana kuomba radhi
|
- Kushauri
| - Kueleza mapungufu au makosa ya mtu mwingine
|
| - Kustahimili hali ngumu
|
- Kusikiliza mawazo ya wengine
| - Kutoa maelekezo jinsi ya kutatua tatizo
|
- Kuomba msamaha
| - Kuwatoroka watu wanaokupinga
|
| - Kujitahidi kuelewa mawazo ya wengine na kuyafuata
|
15. Kuvumilia | - Kupiga kelele watu wanaokupinga
|
SEHEMU C.
Chagua Jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku hili kujaza nafasi wazi
- Uhuru wa Tanganyika..................................
- Haki ya kuabudu, haki ya uhai, na uhuru wa habari na mwingiliano....................................
- Anasimamia usafi wa darasa, mazingira ya shule, kutunza nidhamu na kuwa kiungo kati ya walimu na wanafunzi.
- Sio salama kwa watoto.........
- Kunazuia mmonyonyoko wa udongo...............................
SEHEMU D.
Chunguza picha hizi kisha jibu Maswali
A
B
- Picha A Inaonyesha..................................................
- Picha B inaonyesha...................................................
- Rangi ya manjano katika picha A inawakilisha.......................................
- Rangi nyeusi katika picha A inawakilisha.....................................................
- Rangi ya kijani katika picha A inawakilisha......................................................
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 41
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021
URAIA NA MAADILI – DARASA LA NNE
FOMATI MPYA
MUDA1:30 MASAA MACHI 2021
JINA …………………………...SHULE ………………………...
MAELEZO
- Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
- Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
- Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
- Mtihani wote una alama 50
SEHEMU A
JIBU MASWALI YOTE
1. Chagua jibu sahihi kisha andika jibu lake katika nafasi uliyopewa.
- Rangi nyeusi katika bendera yetu ya Taifa inawakilisha nini?
- Miti
- Bahari
- Watu
- Uoto asili
- Mwenyekiti wa Kijiji anaongoza?
- Tarafa
- Kijiji
- Wadi
- Kitongoji
- Kati ya vitendo vifuatavyo, ni kipi kinaonyesha kuwajali wengine?
- Kusaidia wasioona kuvuka barabara
- Uchoyo
- Ubinafsi
- Kufanya kazi za nyumbani
- Kutuna wenzako ni kiashirio cha;
- Tabia njema
- Ubinafsi
- Kujiamini
- Tabia mbaya
- Tunapaswa kuwapenda
- Watu wote
- Watu wanaotupenda
- Wazazi tu
- Marafiki zetu
2. Chagua jibu sahihi katika jedwali A linaloowana na maelezo katika jedwali B
Jedwali A | Jedwali B |
- Alama kuu za serikali
- Inawakilisha Uhuru
- Rasilimali
- Utamaduni
- Nyumba kumi
| - Mila na vifaa vya kitamaduni
- Nembo ya taifa
- Vitu vya dhamana
- Bendera ya taifa
- Inawakilishwa na balozi.
|
3. Chagua jibu sahihi kutoka kwenye kijisanduku na kujaza nafasi zilizoachwa wazi
SOKO, MAKTABA, MASHARIKI, MAGHARIBI, MBILI, DEMOKRASIA, UONGOZI, NNE, MWALIMU WA NIDHAMU |
- Sehemu watu hununua na kuuza bidhaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
- Unapotembea barabarani, unapaswa kupita upande wa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
- Wimbo wa taifa una beti ngapi? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
- Aina ya uongozi unaozingatia haki za kibinadamu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
- Anayehusika kuhakikisha nidhamu ya wanafunzi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
4. Angalia picha ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo;
- Ni kitendo gani kinachoendelea hapo?
- Toa sababu moja ya kitendo hiki kinachofanyika kwenye picha
- Unafikiri kuna madhara gani ya kitendo hiki katika mazingira?
- Taja njia moja ya kuzuia tukio ambalo linaoneka hapo juu.
- Tunawezaje kutunza mazingira yaliyokatwa miti?
5. Soma kifungu kilichopo hapo chini kisha jibu maswali yafuatayo.
Mazingira ni ujumla wa vitu vyote ambavyo vinazunguka. Tunapaswa kutunza mazingira yetu hili yatutunze. Kwa bahati mbaya watu wamekua wakiharibu mazingira kwa njia nyingi sana ambao unatokana na shughuli za kibinadamu. Watu hukata miti, kufanya ukulima katika vyanzo vya maji na kufuga Wanyama wengi.Uharibifu wa mazingira pia unahatarisha usalama wa viumbe hai duniani. Tunaweza kutunza mazingira kwa kupanda miti na kuzuia upandaji wa miti.
- Nini maana ya mazingira?
- Taja njia ambazo tunaweza kutumia kutunza mazingira
- Taja vitu ambazo zinachangia uharibifu wa mazingira
- Unafikiri mazingira ya umuhimu gani
- Kuharibu mazingira kunaweza kuleta shida gani?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 34

LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 33
OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NINE
APRILI-2020 MUDA:SAA 1:30
URAIA NA MAADILI
MAELEZO KWA MTAHINIWA
- MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
- JIBU MASWALI YOTE
- ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
- KAZI YAKO IWE SAFI.
1. SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHII
- Kiongozi mkuu wa familia ni?
- Mama
- Baba
- Kaka
- Dada.
- Maneno UHURU na UMOJA hupatikana katika?
- Mwengu wa uhuru
- Bendera ya taifa
- Ngao ya taifa
- Mlimakilimanjaro
- Wimbo wa taifa una beti ngapi?
- Mbili
- Tatu
- Nne
- Tano
- Mnyama wa taifa ni….
- Tembo
- Twiga
- Kifaru
- Samba
- Bendera ya Taifa ina rangi ngapi?
- Tatu
- Tano
- Nne
- Sita
2. SEHEMU B. JAZA JIBU SAHII
- Viranja wa shule huchaguliwa na……… ………….
- Ikulu ni …………… …………….ya rais
- Katibu katika kikao cha kamati ya shule ni…………… ………………
- Bendera ya taifa inaweza kupandishwa nusu mlingoti wakati gani………..
- Vitu vya dhamani alivyonavyo mtu au nchi…………… ………………
3. SEHEMU C. Andika ndio au hapana
- Jukumu la ulinzi na usalama ni jeshi la Tanzania……………
- Bendera ya rais ina rangi ya bluu……………
- Utoro wa wanafunzi shuleni uchangia kufeli mtihani……………
- Jukumu la kuiletea shule sifa nzuri siyo la wanafunzi bali ni la walimu tu………… ……..
- Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya alama za taifa…………
4. SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.
Sehemu A | Sehemu B |
- Demokrasia
- Utawala bora katika familia
- Kazi mojawapo ya serikali ya kijiji
- Inawakilisha uhuru na nuru
- Maandishi yenye kauli mbiu Uhuru na Umoja yanapatikana hapo.
| - Kuhakikisha wanakijiji wanapata huduma za jamiii
- Eneo lililopo mjini
- Wazazi kuwashirikisha watoto wao kufanya maamuzi katika familia
- Kiongozi uchaguliwa kwa kupigiwa kura
- Nembo ya taifa
- Mwenge wa taifa
|
5. SEHEMU E. Andika ubeti wa pili katika wimbo wa taifa.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZURAIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 5