?> SAYANSI STANDARD FOUR EXAMS SERIES
SAYANSI STANDARD FOUR EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA KWA SHULE ZA MSINGI,

NUSU MUHULA WA KWANZA – MACHI-2024

MUDA: ..........

SUBJECT: SAYANSI     DARASA LA: 4

JINA: …………………………………………………..  TAREHE: ......................

 

Chagua herufi ya jibu sahihi

  1. Mazingira yanaweza kufafanuliwa kama

(A) kila kitu kinachotuzunguka (B) mimea na wanyama (C) mchakato wa kusonga (D) mimea na miili yote ya maji

  1. Mchakato wa kiumbe hai kuzalisha kiumbe kingine cha aina yake unaitwa

(A) harakati (B) uzazi C) mazingira (D) viumbe hai

  1. Nishati inaweza kufafanuliwa kama uwezo wa

(A) kutoa kazi (B kufanya kazi (C) kuanza kazi (D) kumaliza kazi  

  1. Moja ya umuhimu wa kupiga pasi nguo ni

(A) onekana nadhifu (B) kuua vijidudu (C) fanya watu wang'ae (D) kuwa safi

  1. Sehemu ya redio inayotoa sauti inaitwa

(A) mpini (B) antena (C) spika (D) mkanda wa mita

  1. Zifuatazo ni hatua za asili zinazoweza kuchafua mazingira

(A) mmomonyoko wa udongo, malisho kupita kiasi na uchimbaji madini (B) mafuriko, dhoruba na matetemeko ya ardhi (C) mafuriko, malisho na kilimo (D) dhoruba, uchimbaji madini na matetemeko ya ardhi.

  

LINGANISHA YAFUATAYO KATIKA SAFUFU (A) NA SAFU (B)

 

SAFU A 

SAFU B

  1.                 Kiini kavu
  2.                 Antena
  3.                 Waya
  4.                 Spika
  5.                 Pembe
  6.                 Kubadili
  7.                 balbu

 

A. Hutumika kutoa sauti

B. Njia za jadi za mawasiliano

C. Hukamilisha au kuvunja mzunguko

D. Chanzo cha umeme

E. Kifaa cha umeme

F. Hutumika kushika wimbi

G. Kuendesha umeme

  1.  

 

3. Jibu maswali yafuatayo kwa kuchagua neno linalofaa kutoka kwa kisanduku

Jua, Ulimi, Mwenge, Hewa na mwanga, Chakula na maji, Hewa, Chakula.

 

 

  1.                 ______________ ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali
  2.                 _______________ ni chanzo asili cha nuru duniani
  3.                 _____________ ni chanzo bandia cha mwanga duniani
  4.                  ______________ni hitaji muhimu la mimea
  5.                  ______________ ni mahitaji muhimu ya wanyama
  6.                 Mojawapo ya viungo vya hisi vilivyozoea kuonja huitwa-------------
  1. Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yaliyo hapa chini

Jua ndio chanzo kikuu cha mwanga ni nyota na mwezi wakati wa usiku .Baadhi ya wadudu wadogo hutoa mwanga kutoka kwa miili yao usiku. Lakini nuru yao haiwezi kutusaidia kuona vizuri.

Nuru hutufikia kwa namna ya mawimbi na kuingiliana na macho yetu ili kuona vizuri. Hatuwezi kuona mambo vizuri bila mwanga. Umeme ni chanzo kingine cha asili cha mwanga. Moto ni chanzo cha mwanga. Mishumaa, taa, balbu na tochi hizi ni chanzo bandia cha mwanga.

Maswali

i. Chanzo cha asili cha nuru hakitengenezwi na mwanadamu, taja mbili

(i) _______________

(ii) _______________

ii.Nuru kutoka kwa _______________ ndiyo chanzo kikuu cha nuru duniani.

  1. Mdudu mdogo ambaye hutoa mwanga kutoka kwa miili yao usiku huitwa ____________________

iv.Vifuatavyo ni vyanzo vya asili vya mwanga isipokuwa moja ni nini moto, nyota, taa, jua na moto nzi

v.Taja vyanzo vitatu vya bandia vya mwanga

  1.           ___________________________________
  2.          ___________________________________
  3.            ___________________________________
  4.          ___________________________________

vi.Je, ni mambo gani mawili muhimu ya nuru kwa mwanadamu

  1.                         ___________________________________
  2.                        __________________________________

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FOUR EXAM SERIES 99

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

MTIHANI WA KUJIPIMA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA PILI AUG-2023

SOMO: SAYANSI & TEKNOLOJIA, DRS IV

         SEHEMU A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI

  1. Kama ukiogelea au kucheza katika maji yenye konokono unaweza kupata ugonjwa wa _______   A) kipindupindu                  B) kuharisha                    C) kutapika      D) kichocho                                                
  2. Maji yaliyoganda hujulikana kama ___  A) mvuke    B) barafu C) ugiligili     D) gesi
  3. Kati ya vifuatavyo si sehemu ya nyenzo     A) jitihada   B) nguvu C) egemeo   D) mzigo
  4. Unajimu ni elimu inayo husu ________     A) dunia     B) nyota C) uchawi     D) dini
  5. Sehemu kubw aya mwili wa binadamu ni    A) mifupa   B) misuli C) maji        D) damu
  6. Kati ya vifuatavyo havisababishi maambukizi ya UKIMWI / VVU.  A) kutumia mswaki pamoja na muathirika   B) kuwekewa damu ya muathirika              C) kutumia bafu na choo na muathirika              D) kuchangia sindano isiyo chemshwa                                                       
  7. Sumaku huvuta vitu vyenye asili ya _    A) plastiki     B) mbao C) chuma D) ngozi
  8. Endapo kipande cha chuma kinapata joto nini hutokea?     A) huvunjika B) hutanuka   C) huvutia   D) husinyaa                            
  9. Mojawapo ya faida ya maji mwilini ni _________   A) kurekebisha joto la mwili B) kufnaya mwili uwe mnene              C) kuongeza damu           
  10. Mtu asiyekula matunda na mboga mboga anaweza kupata tatizo gani?              A) kuwa mwembamba B) homa za mara kwa mara         C) kufeli mtihani    D) kuwa mnene        

 

SEHEMU B: JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI

  1. Sayari tunayoishi inaitwaje _________________
  2. Maji yaliyoganda yana nyuzi _______________
  3. _____________ ni chanzo cha asili cha mwanga
  4. Wakati mbegu inaota hupata chakula chake kwenye _______________________________
  5. Sauti inayo akisiwa huitwa ________________

SEHEMU C: Oanisha maneno ya Orodha A nay ale ya Orodha B ili kuleta maana sahihi.

ORODHA “A”

ORODHA “B”

  1. Kuharisha kinyesi cha damu.
  2. Kutokwa na ute na usaha sehemu za siri.
  3. Kuumwa kichwa.
  4. Kuvimba tumbo na miguu.
  5. Kuwashwa macho na kutokwa machozi
  1. Trakoma
  2. Minyoo
  3. Malaria
  4. Magonjwa ya ngono.
  5. Kuhara damu
  6. Kutokwa na damu puani.
  7. Kichocho
  8. Kuhara.

 

SEHEMU D: ANDIKA KWELI AU HAPANA

  1. Ni vizuri kulala na kuamka mapema __________
  2. Mboga za majani na matunda huongeza virutubisho vya vitamin mwilini ______________
  3. Korodani hutengeneza gamete za kike _______
  4. Friza ni sehemu inayogandisha vitu katika jokofu _______________________
  5. Sauti si mojawapo ya nishati _______________

 

 

 

 

Mwisho!!

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FOUR EXAM SERIES 82

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA  WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

SAYANSI NA TECHNOLOJIA

MUDA: 1:30

JINA_____________________________SHULE_________________________

MAELEZO

  1. Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2. Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
  3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4. Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A. ALAMA 28

JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII

  1. Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku.
  1. Kipi kati ya hizi hakisabaishi vidonda vya tumbo?
  1. Kula chakula chenye aside
  2. Kula chakula kingi
  3. Mawazo mengi
  4. Kukaa njaa kwa muda mrefu
  1. Ipi sio njia ya kuzuia kiungulia?
  1. Kula chakula taratibu
  2. Kunywa maji mengi
  3. Kuepuka vyakula vinasababisha kiungulia
  4. Pumzika kwa masaa kadhaa kabla ya kwenda kulala
  1. Usagaji wa chakula unaanza?
  1. Tumboni
  2. Mdomoni
  3. Utumbo mdogo
  4. Kwenye kongosho
  1. Tunaweza kutunza mazingira kwa kufanya yafuatayo?
  1. Kutupa taka ovyo
  2. Kupanda miti na bustani
  3. Kufuga wanyama wengi
  4. Kulima kando ya vyanzo vya maji
  1. Shughuli zifuatazo zinachangia uchafuzi wa maji isipokuwa:
  1. Kulima kando ya mito
  2. Kuoga na kufua kando ya mto
  3. Kujisaidia karibu na vyanzo vya maji
  4. Kuchota maji mtoni
  1. Ni ugonjwa upi hausababishwi na uchafuzi wa mazingira?
  1. Kipindipindu
  2. Malaria
  3. Homa ya tumbo
  4. Kifua kikuu
  1. Zifuatazo ni njia za kujikinga dhidi ya magonjwa isipokuwa;
  1. Kufunika mdomo wakati wa kukohoa
  2. Kulala mahali safi na salama
  3. Kunywa maji safi na salama
  4. Kunawa mikono kabla ya kwenda chooni
  1. Chakula salama ni kile ambacho;
  1. Kimepuliziwa dawa ya kuua wadudu
  2. Kimeifadhiwa katika chombo safi
  3. Kimeifadhiwa kwa muda mfupi
  4. Kimehifadhiwa mahali penye mwanga.
  1. Jibu Vipengele (i)-(vi) kwa kuoanisha maelezo katika Orodha A na Neno lililo katika orodha B. ANDIKA herufi ya jibu katika nafasi uliopewa.

Orodha A

Orodha B

  1. Gesi itokanayo na taka za wanyama
  2. Hewa itolewayo wakati wa upumuaji
  3. Gesi ambayo ni muhimu kwa uhai wa viumbe na moto kuwaka
  4. Hewa iliyo kwenye mwendo
  5. Mvuke unaoganda na kusababisha mvua.


  1. Hewa
  2. Upepo
  3. Mawingu
  4. Kabonidayoksaidi
  5. Oksijeni
  6. Gesi vunde
  7. Haidrojeni


  1. Jibu vipengele (i)-(v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika kwenye nafasi uliopewa

Kiungulia, kuvimbiwa, unyafuzi, kukosa choo, menu kuuma, vidonda vya tumbo, mwozo wa meno


  1. Hali ya kupata kinyesi kigumu na chenye mkauko huitwa?...............................................
  2. Hali inayosababishwa na kujaa kwa gesi nyingi kwenye tumbo huitwa?..........................
  3. Hali ya kusikia maumivu ya kuungua katika umio na kifua huitwa....................................
  4. Katika mfumo wa chakula, michubuko ndani ya kuta za tumbo huitwa?..........................
  5. Ni madhara gani yatatokea kwenye meno kutokana na kula vyakula vyenye sukari nyingi?....
  1. Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali hapo chini

Kuna makundi makuu mawili ya vipimo, ambayo ni vipimo visivyo rasmi na vipimo rasmi. Vifaa vinavyotumiwa kupimia uzito ni mzani wa mawe, mzani wa analojia au mzani wa digitali. Matokeo ya vipimo hivi hayatobadilika hata kama watapima kwa kutumia mizani tofati. Kipimo rasmi cha uzito ni kilo na kipimo kingine ni gramu. Tunatumia vipimo hivi kupima bidhaa mbalimbali kama unga, nyama na mchele.

  1. Taja makundi wawili ya vipimo
  2. Kupima ukubwa wa shamba kwa kutumia hatua ni aina gani ya vipimo?
  3. Taja vifaa viwili vinavyotumika kupima uzito
  4. Ni nini kipimo rasmi cha uzito?
  5. Ukienda buchani kununua nyama, mzaa nyama atakupimia kwa kutumia kifaa gani?
  1. Chunguza mchoro hufuatao kisha jibu maswali


  1. Picha hii inaonyesha mfumo gani katika mwili?.......................................

Andika majina ya sehemu zenye herufi;

  1. A..................................................................
  2. B..................................................................
  3. C..................................................................
  4. D..................................................................
  5. E...................................................................

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FOUR EXAM SERIES 57

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

SAYANSI NA TECHNOLOJIA

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

CHAGUA JIBU SAHIHI

  1. Usagaji wa chakula unaanza?
  1. Tumboni
  2. Mdomoni
  3. Utumbo mdogo
  4. Kwenye kongosho
  1. Chakula ambacho hakijameng’enywa huishia wapi?
  1. Tumboni
  2. Utumbo mwembamba
  3. Utumbo mpana
  4. Kongosho

3. VVU ni kifupi cha . . . . . .

  1. Virusi Vinavyozaliana
  2. Virusi Vya Ukimwi
  3. Via Vya Uzazi
  4. Viungo Vya UKIMWI

4. Mwathirika wa VVU/UKIMWI anaweza kuthibitishwa kwa njia ipi? 

  1. Kupima damu yake hospitali ni
  2. Kumtazama uso wake
  3. Kuangalia tabia yake
  4. Kupima uzito wake

5. Maji yaliochafuliwa yanaweza kusababisha 

  1. Kichocho
  2. Kipindupindu
  3. Saratani
  4. Vyote hapo juu

6.  Shughuli zifuatazo zinachangia uchafuzi wa maji isipokuwa:

  1. Kulima kando ya mito
  2. Kuoga na kufua kando ya mto
  3. Kujisaidia karibu na vyanzo vya maji
  4. Kuchota maji mtoni

SEHEMU YA B

Oanisha maneno ya kifungu A na kifungu B ili kuunda sentensi yenye maana sahihi.

Kifungu A

Kifungu B

  1. Surua
  2. Malaria
  3. Tetekuwanga
  4. Pepopunda
  5. Kichocho
  6. Pumu
  7. Kifua kikuu
  8. Kisukari
  9. Saratani
  10. kipindupindu
  1. maumivu wakati wa kukojoa na mkojo kuwa damu.
  2. Husababisha kukohoa kwa muda wa wiki mbili au Zaidi.
  3. Hutoa vipele vidogovidogo usoni na mwilini na macho kuwa mekundu.
  4. Viungo kukakamaa na shingo kupinda.
  5. Hutoa vipele ambavyo hubadilika kuwa malengelenge
  6. Uvimbe katika chembe hai za mwili.
  7. Kukojoa mara kwa mara.
  8. Kuharisha na kutapika mfululizo.
  9. Mgonjwa hutoa sauti kama filimbi au mluzi wakati wa kupumua.
  10. Joto kali na maumivu ya viungo.
  11. Husababisha upungufu wa kinga mwilini.
  12. Huponywa kwa njia ya upasuaji.

 

SEHEMU C.

Andika NDIYO kwa sentensi sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Mtu yeyote anaweza kupata tatizo kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula asipofuata kanuni za ulaji wa chakula……………
  2. Kuvimbiwa husababishwa na kula vyakula vyenye mafuta kwa……………….
  3. Mlo kamili hauwezi kulata madhara katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula……………
  4. Sababu pekee ya vidonda vya tumbo ni kula vyakula vyenye asidi……………

SEHEMU D.

Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 2020images (1).jpg

21. Kifaa kichoonekana hapo juu kinaitwa?.......................................

22. Kifaa kifuatacho ni muhimu wakati una.................................mgonjwa

23. Taja vitu vitatu inavyopatikana katika kifaa hicho hapo juu........ ..........

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FOUR EXAM SERIES 45

OFISI YA RAIS

WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021

SAYANSI NA TECHNOLOGIA – DARASA LA TATU

FOMATI MPYA

MUDA  1:30 MASAA       MACHI 2021

JINA …………………………...                                 SHULE ………………………...

MAELEZO

  1. Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2. Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
  3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4. Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A

JIBU MASWALI YOTE


  1. Chagua Jibu Sahihi kutoka chaguzi ulizopewa
  1.             Sauti ambayo inarudi baada ya kugonga kitu kigumu huitwa? ____________                              [      ]
  1.          Maada       B. mpindo      C. mwango     D  kelele
  1.          Ipi kati ya hizi ni njia ya kisasa ya mawasiliano?_______
  1.         Pikipiki posta    B. pembe      C. Redio    D Mwanga           [      ]
  1.        Uwezo wa mwili kupigana na magonjwa unaitwa? ____   _[     ]
  1.     Ukosefu  B. Kinga       C. Chanjo        D. Maradhi
  1.        Ipi kati ya zifuatazo haichukui nafasi ___________              [      ]
  1.         Hewa  B.        mvuke       C. mwanga            D.penseli
  1.           Ni kipi kati ya hivi hutumia intaneti kutuma na kupokea barua pepe?                                                                       [      ]
  1. Runinga     B. majarida     C. Simu za rununu     D. redio
  1.           Oanisha safu A na safu B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi katika nafasi zilizo wazi?

      SAFU A

  1.             Jiko la gesi________
  2.          Jiko la mkaa_____
  3.        Jiko la Umeme_______
  4.        Jokovu__________
  5.           Jiko la mafuta taa_______

     SAFU B

  1.   Nishati ya jiko la mafuta taa
  2.   Utumia mafuta taa kama nishati
  3.   Huifadhi vitu visioze.
  4.   Utumia vitu visivyotumia viptisha joto
  5.    Utumia mkaa kama nishati
  6.    Nishati unayotumika katika jiko la umeme
  7.   Utumia gesi asilia kama nishati
  8.   Utumia umeme katika kupika
  1. Soma kifungu cha Habari kifuatacho kisha jibu maswali yafuatayo.

Carlton uamka asubuhi na mapema sana. Anapiga meno mswaki kwa kutumia mswaki wake mpya. Baadaye anaenda bafuni nan doo ya maji masafi, sabuni, na taulo. Baada ya kuoga, anajipangusa kwa taulo kukausha mwili wake. Anajipaka mafuta mwili wote, na kuchana nywele zake na kichana. Kisha anapiga viatu rangi kwa  brashi. Mwisho anavaa nguo za shule na kuelekea shuleni. 

Questions

  1. Carlton hutumia kifaa gani kung’arisha viatu? ___________
  2. Carlton anatumia nini kukausha mwili wake?
  3. Anatumia nini kuosha meno? ______________
  4. Kwanini kuoga ni muhimu? ___________________
  5. Carlton hutumia………………….kupaka mwili baada ya kuoga
  1. Angalia picha ifuatayo kisha jibu maswali yafuatayo.

                    C:UsersKYOMAAppDataLocalMicrosoftWindowsTemporary Internet FilesContent.Wordwoman-charcoal-cooking.jpg

Maswali

  1. Mama huyu anafanya nini? ____________________
  2. Joto linamfikia mama huyu kwa kupitia njia ipi? _____________
  3. Taja kitu kinachopitisha joto unachokiona____________
  4. Je kwenye picha kuna nishati ya mwanga? ________________
  5. Taja madhara kwa mazingira yanayotokana na nishati hapo juu?______________

  

 

 

  1.                                               Jaza nafasi zilizowazi
  1. Huduma inayotolewa kwa mtu aliyepata ajali kabla ya kwenda hospitalini huitwa _____________________________

 

  1. Jotoridi hupimwa na kifaa kinaitwa _________________________

 

  1. Mbung’o husababisha ugonjwa unaitwa _________________________

 

  1. Taja kifaa kinachotumika kupima uzito  ____________

 

  1. Ni madini gani ambayo yanatumika kuimarisha mifupa na meno?

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FOUR EXAM SERIES 35

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA NNE

MUDA: 1.30

MAELEZO KWA MTAHINIWA

  1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
  2. JIBU MASWALI YOTE
  3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
  4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHIHI

(i) Rangi ya kijani katika mimea huitwa

  1. usasini
  2. umbijani
  3. usasini nuru
  4. majani

(ii) Vifuatavyo ni vyanzo vya umeme isipokuwa

  1. Jenereta.
  2. Jua.
  3. Sufuria 
  4. Betri.

(iii) Ni ugonjwa upi ambao hausababishwi na maji machafu?

  1. Malaria
  2. Kichocho
  3. Homa ya matumbo
  4. Kipindupindu

(iv) Mojawapo kati ya makundi yafuatayo ya wanyama hutaga mayai..

  1. Kuku, popo, mamba
  2. Bata, chura, mbwa.
  3. Kuku, bata, mbu
  4. Popo, kinyonga na kuku

(v) Mtu anayeota moto hupata joto kwa njia ya.

  1. Mnunurisho na msafara
  2. Mpitisho na msafara
  3. Myuko na mpitisho
  4. Mgandamizo wa hewa

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

  1. Jua ni chanzo kuku cha……….duniana
  2. Mwanga husafiri katika mstari……………………………
  3. Kifaa kinachotumika kunyoosha nguo na kuzifanya zionekane nadhifu huitwa…… …………..
  4. Sauti iliyoakisiwa huitwa………………………
  5. Maji yakichemshwa hubadilikana kuwa………………….

 3.  SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

  1. Selihai nyeupe za damuhulinda miili yetu dhidi ya magonjwa……
  2. Inafaa kumtenga mtu wa ukimwi na watu wengine…………………
  3. Nyeso daraja la tatu, jitihadi huwa kati ya egemeo na mzigo………..
  4. Kifua kikuu huambukizwa kwa kunywa maji yasio salama…….
  5. Huduma ya kwanza hutolewa kulingana na aina ya tatizo………..

4.  SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

  1. Gesi inayotokana na taka za wanyama
  2. Hewa itolewayo wakati wa upumuaji
  3. Gesi ambayo ni muhimu kwa uhai wa viumbe na moto kuwaka
  4. Hewa iliyokwenye mwendo
  5. Mvuke unaogannda na kusababisha mvua
  1. Hewa 
  2. Upepo 
  3. Mawingu 
  4. kabonidayoksaidi
  5. Oksijeni
  6. Gesi vunde
  7. Haidrojeni

 5. Sehemu E.  Andika vifaa vinne nyumbani ambavyo hutumia nishati ya umeme

  1. ………………………………………………………………………………………………
  2. ………………………………………………………………………………………………
  3. ……………………………………………………………………………………………....
  4. ………………………………………………………………………………………………
  5. ………………………………………………………………………………………………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FOUR EXAM SERIES 13

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NNE

APRILI-2020   MUDA:SAA 1:30

SAYANSI

MAELEZO KWA MTAHINIWA

  1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
  2. JIBU MASWALI YOTE
  3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
  4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. SEHEMU A.CHAGUA JIBU SAHII

1. Kipi kati ya hizi sio mfano wa kiumbe hai?

  1. Virusi
  2. Wanyama
  3. Mimea
  4. Wadudu

2. Yafuatayo ni mazingira ya viumbe hai, isipokua,

  1. Udongo
  2. Maji  ya mito
  3. Maziwa
  4. Anga.

3. Ni ugonjwa upi ambao hausababishwi na maji machafu?

  1. Malaria
  2. Kichocho
  3. Homa ya matumbo
  4. Kipindupindu

4. Maporomoko ya mtera yanapatikana mkoa gani?

  1. Morogoro
  2. Iringa
  3. Mbeya
  4. Kilimanjaro

5. Kipi kati ya hizi ni kinza nuru?

  1. Kioo
  2. Mbao
  3. Ukuta
  4. Kitabu.

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

  1. Sehemu yenye giza inayopatikana upande wa pili wa kitu kisichopitisha mwanga huitwa……………….
  2. Chembechembe zenye chaji hasi huitwa…………
  3. Tabia ya kurudisha miale ya mwanga kutoka kwenye kitu chenye sira nyororo na inayong’aa…………
  4. Vitu vinavyoruhusu manga kupita huitwa……………………………………………………..
  5. Maada inayounguza kwa kutoa nishati inayotumika kuendesha mitambo huitwa…………….

3.SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

  1. Miale ya jua upinda inapotoka midia moja kwenda midia nyingine angavu………… ……………… …………..
  2. Mwanga usafiri katika mstari uliopinda…… ……………………
  3. Umeme hautiririki kwenye sakiti endapo waya umekatika au swichi imezimwa………… ………………
  4. Taka kama vyuma zinafaa kwa urejerezi……… …… ………...
  5. Maji katika hali yabisi hayana ladha wala harufu… … …………… …………..

4.SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

  1. Kivuli
  2. Panda
  3. Mstari mnyoofu
  4. Akisi
  5. Midia angavu mbili tofauti
  1. Sifa ya mwanga
  2. Miale ya mwanga kurudishwa baada ya kutua kwenye uso unaong’aa
  3. Umbo lenye giza linalotokea baada ya mwanga kuzuiwa na kitu
  4. Namna ambayo miale ya jua usafiri
  5. Husababisha mwanga kupinda
  6. Ni matokeo ya kuakisiwa kwa mwanga.

5. Sehemu E.

Orodhesha matumizi matano ya nishati ya umeme.

  1. ……… ……… …………… …… …………
  2. ………………… ……………… ……………
  3. ……… ………………………… ………....
  4. …………………… …………… ………
  5. …………… ……… ……… ……………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD FOUR EXAM SERIES 4

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256