?> MAARIFA STANDARD FOUR EXAMS SERIES
MAARIFA STANDARD FOUR EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA KWA SHULE ZA MSINGI,

NUSU MUHULA WA KWANZA – MACHI-2024

MUDA: ..........

SUBJECT: SAYANSI     DARASA LA: 4

JINA: …………………………………………………..  TAREHE: ......................

 

Chagua herufi ya jibu sahihi

1. Kipimajoto kina mrija ambao una kimiminika ndani, kinachoitwa

(A)Sentigrade (B) Rekoda (C) usindikaji (D) zebaki

2. _______ ni hali ya hewa inayotuzunguka kwa muda mfupi.

(A) hali ya hewa (B) mwanga wa jua (C) kipima joto (D) joto

3. Ni ipi kati ya zifuatazo sio njia ya kuharibu mazingira?

(A) kukata miti (B) kuchoma msitu(C) kupanda miti (D) kufuga kupita kiasi

4. Mwelekeo wa upepo hupimwa kwa kutumia chombo kinachoitwa _____

(A) kipimo cha mvua(B) Vane ya upepo (C) mwelekeo wa dira (D) uchunguzi

5. Utumiaji wa kemikali zenye sumu katika uchafuzi wa uvuvi

(A) maji (B) hewa (C) nchi kavu (D) samaki

6. Kiasi cha maji katika hewa ambayo ni katika mfumo wa mvuke inaitwa

(A) unyevu (B) mawingu (C) mvua (D)upepo

7. Joto hupimwa ndani

(A) milimita za zebaki (B) digrii za sentigredi (C) kilogramu za sentigredi (D) milimita za sentigredi

8. Mwanga na joto linalotokana na jua wakati hakuna mawingu ni

(A) unyevu (B) mvua (C) mawingu juu ya (D) mwanga wa jua

9. Ni aina gani ya hali ya hewa ambayo huwalazimisha watu kuvaa jaketi, gumbooti na kubeba miavuli?

(A) upepo (B) mawingu (C) Jua (D) mvua

10. Kitengo cha kipimo kwa kasi ya upepo ni

(A) milimita (B) mwelekeo wa dira (C) digrii sentigredi (D)kilomita /saa(km/saa).                                                        

 

Oanisha maneno katika safu A na maelezo katika safu B hili kupata jibu sahihi.

SAFU  A

SAFU B

  1. Mazingira
  2.  Njia ya kutunza kumbukumbu za kihistoria
  3. Uchimbaji madini
  4.  Unyevu
  5. Pima joto
  6. Jumla ya njia ya maisha
  7. Sherehe za harusi
  8. Umuhimu wa taarifa za kihistoria
  9. Upepo
  10. Barometer

A. Utamaduni

B. Mwendo wa hewa karibu nasi

C. Chochote kinachotuzunguka

D. Pima shinikizo la anga

E. Kujenga ushirikiano

F. Ni mchakato wa kuchimba madini kutoka ardhini.

G. Tovuti ya kihistoria

H. Kipima joto

I. Inatumika kwa kizazi kijacho

J. Hygrometer

 

 

 

3.Chagua neno sahihi hapa chini ili kujaza nafasi iliyotolewa kinasa mwanga wa jua, kituo cha hali ya hewa, mtaalamu wa hali ya hewa, harusi, kilimo.

1. ___________ Sherehe wakati mwanamume na mwanamke wanapooana

2. Mtu anayesoma hali ya hewa anaitwa _______________

3. Jina la mahali ambapo hali ya hewa inarekodiwa ni nini? _______________

4. Kilimo na ufugaji hurejelewa kuwa _________ shughuli

5. ______________________________ ni chombo kinachotumiwa kupima mwanga wa jua.

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 98

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI

NUSU MUHULA WA PILI

AGOSTI – 2023 

SOMO: MAARIFA YA JAMII

JINA: __________________________________________________TAREHE___________DRS: 4

MUDA: SAA 1:30

MAELEKEZO

  1.                                                                                                 Mtihani huu una jumla ya maswali arobaini na Tano (45)
  2.                                                                                                 Jibu maswali yote katika kila sehemu
  3.                                                                                                 Soma maelekezo kabla ya kujibu maswali
  4.                                                                                                 Swali la 1 – 40 chagua jibu sahihi na swali la 41 – 45, jibu maswali katika nafasi uliopewa.
  5.                                                                                                 Tumia kalamu ya bluu na nyeusi
  6.                                                                                                 Simu za mkononi, vikokotozi, na vitu visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mtihani.

 


Chagua jibu sahihi na weka alama kwenye kisanduku cha herufi uliyochagua.

 

  1. Rangi ya bluu katika bendera ya Taifa humanisha nini? A) mito, maziwa, bahari     B) uoto na mimea  C) madini              D) watu wa Tanzania kuwa weusi                                                        [              ]
  2. Wimbo wa Taifa una beti? A) nne   B) tatu     C) tano      D) mbili   [ ]
  3. Sikukuu ambayo hufanyika tarehe 26 Aprili kila mwaka ni ipi?   A) Mapinduzi ya Zanzibar  B) Mei mosi              C) kuzaliwa kwa TANU                     D) Muungano wa Tanganyika na Zanzibar[              ]
  4. Wanaotakiwa kulinda mipaka ya nchi ni? _______  A) jeshi la wananchi wa Tanzania tu B) jeshi la polisi      C) jeshi la uhamiaji                         D) majeshi pamoja na raia                                          [              ]
  5. Chimbuko la ukoo ni _____ A) baba    B) babu na bibi   C) bibi  D) mama [ ]
  6. Msukumo wa hewa katika uso wa dunia hupimwa na kifaa gani? A) haigrometa B) barometa         C) windvane              D) kipimajoto                            [              ]
  7. Kuna aina ngapi za familia? ________________   A) moja       B) tano    C) sita D) mbili [ ]
  8. Dada wa baba huitwa _______ A) mpwa     B) bibi    C) shangazi D) binadamu [ ]
  9. Motto asiyejua kudai haki yake _______________   A) hupata msaada wapi      B) hupendwa na wenzake      C) huonewa na kudharauliwa                 D) hubembelezwa na wengine                            [              ]
  10. Msitu, nyasi na vichaka ni _______A) bonde la ufa   B) uoto wa asili    C) tabaka la gesi    D) uoto wa kisasa                                                        [              ]

 

Jibu swali la 11 – 15 kwa kuchagua jibu sahihi katika mabano na kujaza sehemu iliyoachwa wazi.

  1. Hewa iendayo kwa kasi huita

(unyevu,  upepo,    mvua) __________________

  1. Mambo yanayoonesha dalili ya mvua ni ________

(mawingu meusi,  mawingu ya bluu, mawingu tu)

  1. Hali ya hewa ni ____________________

(hali ya kubadilika kwa vipengele vya hali ya hewa, baridi, joto)

  1. Mambo yanayotambulisha utamaduni wetu

(Lugha na mavazi, harusi na misiba,  kulina kukimbia) _____________________

 

  1. Faida za kutunza mazingira ________________

(kujikinga na magonjwa, kunenepa, kufurahi)

 

Sentensi zifuatazo andika KWELI au SIKWELI

  1. Shughuli nyingi za bindamu zinaboresha mazingira ___________________
  2. Babu ni baba wa mama yako ________________
  3. Sweta, koti, mwamvuli ni vifaa vinavyotumika kujikinga na mvua _____________________
  4. Bendera ya Taifa ina rangi tano ______________
  5. Nembo ya Taifa ina pembe za ndovu __________

 

Andika jibu sahihi katika sentensi zifuatazo

 

  1. Vitu vyote vinavyomzunguka kiumbe katika m aisha yake huitwa ______________________
  2. Pande kuu za dunia ziko ngapi ______________
  3. Mazingira ni nini? _________________________

_______________________________________

  1. Taja mambo matatu yanayo sababisha uharibifu wa mazingira.
  1. ________________________________
  2. ________________________________
  3. ________________________________
  1. Taja njia mbili utakazo zitumia kuzia mmomonyoko wa ardhi.
  1. _________________________________
  2. _________________________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 81

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO DARASA LA NNE

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO

  1.                Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2.                Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
  3.                Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4.                Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A. ALAMA 30

JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII

  1.                Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku.
  1.               Bibi na bwana Juma wana mtoto aitwae Amina ambaye aliolewa na kuzaa mtoto aitwaeYusufu. Bwana Juma ni nani kwa Yufusu? (a) baba (b) babu (c) mjomba (d) mpwa
  2.             Bwana na Bi Juma waliowana mwaka 2014 na walichelewa kupata mtoto mpaka sasa. Hii familia inaitwaje? (a) ya awali (b) ya watoto yatima (c) ya mke na mme (d) ya makubaliano
  3.           Kipi kati ya vifuatavyo ni kipaumbele cha serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania? (a) ubinafsishaji wa viwanda (b) Ujenzi wa viwanda (c) Elimu bure kwa watanzania wote (d) Uansishaji wa vyama vingi vya siasa.
  4.           Ni kiongozi yupi katika Tanzania upigiwa kura kila baada ya miaka mitano? (a) jaji mkuu (b) rais (c) spika wa bunge (d) waziri mkuu.
  5.             Bwana Juma anamashamba makubwa ambayo  huyakodisha kwa watu. Hii ni aina gani ya Ukabaila? (a) Ubugabire (b) Ntemi (c) Nyarubanja (d) Ujima
  6.           Jumla ya vitu vyote vinavyomzunguka binadamu huitwa? (a) mazingira (b) madhari (c) mvua (d) viumbe.
  7.         Jotoridi hupimwa na kifaa maalum kiitwacho? (a) hygromita (b) kipima hewa (c) kipimajoto (d) moto
  8.      Waziri mkuu wa serikali ya awamu ya Tatu alikuwa.......................(a) Frederick sumaye (b) mizengo Pinda (c) Jakaya kikwete (d) Edward Sokoine
  1.                Jibu kipengele cha (i)-(vi) kwa kuoanisha maeneo yenye madini mbalimbali katika fungu A NA AINA za madini  zinazopaikana katika fungu B. Andika herufi ya jibu sahihi katika nafasi uliyopewa.

Fungu A

Fungu B

  1.               Geita mkoa wa Geita
  2.             Uvinza mkoa wa kigoma
  3.           Liganga, mkoa wa njombe
  4.           Mererani Mkoa wa Arusha
  5.             Karagwe mkoa wa kagera
  6.           Mwandui, mkoa wa shinyanga.
  1.               Almasi
  2.                Bati
  3.                Chumvi
  4.               Chuma
  5.                Dhahabu
  6.                Chokaa
  7.                Makaa ya mawe
  8.               Tanzanaiti.

 

SEHEMU B. ALAMA 22

  1.               Jibu maswali yote katika sehemu hii.

Mfumo wa jua ni utaratibu wa sayari kulizunguka jua. Sayari ni gimba linaloumbwa na miamba ambalo huzunguka jua kupitia njia maalumu.

Mfumo wa jua umezungukwa na sayari nane. Sayari hizi ni Zebaki, Zuhura, Dunia, Mirihi, Sumbula, Sarateni, Zohali na Kausi. Vile vile, kwenye mfumo wa jua kuna vitu kama asteroid, kometi na meteroidi. Jua ni muhimu katika maisha ya kila siku. Jua hutupatia mwanga mchana.Pia, hukausha mazao na nguo. Vilevile, jua husababisha mazao kukua.Hakika mfumo wa jua hutupatia faida nyingi.

  1.               Taja faida tatu za jua.................., ...............................,na.............................
  2.             Taja vitu vingine vinavyopatikana katika mfumo wa jua?
  3.           Taja sayari ya tatu katika mfumo wa jua.............................
  4.           Nini maana ya sayari?........................................................
  1.                Soma mchoro wa pembe kuu nne za dunia kisha jibu maswali yafuatayo;

  1.               Kikombe kipo upande gani wa dira ya Dunia?.....................................................
  2.             Taja upande wa dunia wenye penseli..................................................................
  3.           Kiti Kipo upande gani wa Dira ya dunia?...............................................................
  4.           Upande wa Dunia ambao jua uchomoza umewakilishwa na kitu gani?

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 58

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA DARASA LA NNE

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO:

  1. Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
  2. Kumbuka kuandika majina yako.
  3. Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.

 

SEHEMU A:

1. Jibu maswali yote katika sehemu hii

Chagua jibu sahii kisha liandike kwenye kisanduku ulichopewa

  1. Vitu kama gari, misitu, nyumba, ardhi, maji huitwa……… (a) rasilimali (b) mali asili (c) miundombinu (d) samani
  2. Zifuatazo ni sababu za uharibifu wa mazingira isipokuwa? (a) shughuli za kibinadamu (b) majanga ya asili (c) kufuga wanyama wengi katika eneo ndogo (d) kupanda miti katika sehemu wazi.
  3. Sayari ya tano katika mfumo wa jua ni ( a) zuhura (b) zebaki (c) mirihi (d) sumbula
  4. Jangwa linaweza kusababishwa na, (a) mafuriko (b) ukataji miti (c) ukame (d) upandaji miti
  5. Yafuatayo ni madhara ya mafuriko, isipokuwa; (a) vifo (b)  kustawi kwa mimea (c) kuharibika kwa miundombinu (d) mmomonyoko wa udongo
  6. Muungano wa familia nyingi zenye asili moja huitwa? (a) jamii (b) familia pana (c) ukoo (d) kabila
  7. Kifaa kinachopima mgandamizo wa hewa huitwa……(a) baromita, (b) kipima joto (c) okitasi (d) haigromita
  8. Wakati wa jua kali tunapaswa kuvaa? (a) koti (b) nguo nyepesi (c) fulana (d) viatu vya raba
  9. Kipi sio kipengele cha hali ya hewa? (a) mvua (b) Upepo (c) jotoridi (d) mawingu
  10. Mambo ya mazoea yanayotendwa kila siku na jamii huitwa…….(a) jando (b) Mila (c) unyago (d) desturi.

2. Oanisha maneno yaliyo katika safu A na yaliyo kwenye safu B. Kisha andika jibu lake hapo chini.

SAFU A

SAFU B

  1. Utunza kazi za mazoezi darasani
  2. Utunza kazi zako za vitendo vya shuleni na nvyumbani
  3. Kifaa ambacho hutunza taarifa zilizochapwa
  4. Utunza daftari, vitabu, majadala, makabrasha na chaki
  5. Utunza vitabu, ramani za ukutani, tufe, vipeperushi na majarida
  1. Kabati
  2. Dawati
  3. Mfuko wa shule
  4. Komputa
  5. Shajara
  6. Mfuko wa shule
  7. Mkoba wa kazi

 

 

3. Andika NDIYO kama sentensi ni sahii na HAPANA kama sentensi sio sahii

  1. Unaweza kuchukua nukuu za matukio kwa kutumia daftari na kalamu…………….
  2. Makumbusho ni sehemu ambayo kumbukumbu mbalimbali za kihistoria huhifadhiwa………..
  3. Wakati unafanya kazi kwenye mvua unapaswa kuvaa koti la mvua na kutumia mwamvuli……..
  4. Uharibifu wa mali na vifo kwa viumbe ni matokeo ya athari za mvua kubwa…………….
  5. Kuzungumza lugha ya asili hukuza utamaduni wetu……………………………..

4. Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali.

Watu katika jamii nyingi za Tanzania hupenda kuvamia maeneo yenye kuwaletea faida. Hivyo, uvamizi wa maeneo baina ya jamii na jamii huleta migogoro. Migogoro hiyo huweza kuleta mapigano yenye kuhusisha silaha. Hata leo, ipo migogoro ya kivamizi inayojitokeza katika jamii zetu. Ipo migogoro baina ya mtu na mtu au familia na familia. Wakati mwingine baina ya kabila moja na jingine.

Watu wa jamii ya wakulima wamekuwa na migogoro na jamii za wafugaji. Migogoro katika jamii hizi hutokana na kugombania ardhi kwa ajili ya kilimo na ufugaji. Katika jamii zetu ipo pia migogoro kati ya wananchi wa eneo fulani na wawekezaji au serikali. Migogoro hii hutokana na uvamizi wa wawekezaji kwenye ardhi halali ya wananchi. Upo uvamizi unaohusisha wawekezaji kuchukua ardhi bila kibali cha serikali. Wakati mwingine wananchi huvamia maeneo ya wawekezaji au ya serikali bila ruhusa. Mara zote maeneo muhimu ndiyo huvamiwa.

MASWALI

  1. Watu wengi hupenda kuvamia maeneo gani?..............................................
  2. Taja vitu vinavyosababisha migogoro………………………………………………………….
  3. Wakulima wanakuwa na migogoro na nani?....................................................
  4. Migogoro inaweza kuwa kati ya wananchi na ……………………………………….
  5. Nini maana ya neno mgogoro…………………………………………………………………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 46

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

Chagua Jibu Sahihi

  1. Tanganyika ilitawaliwa na wajerumani tangu mwaka…………..
  1. 1886 hadi 1961
  2. 1885 hadi 1907
  3. 1919 hadi 1945
  4. 1886 hadi 1918
  1. Ni njia gani unaweza kuzitumia ili kupata taarifa za mashujaa katika jamii?.........
  1. Kwa kusoma na kuhadithiwa Habari zao
  2. Kwa kuangalia nyuso zao
  3. Kwa kuangalia miili yao kama ina nguvu
  4. Kwa kuota ndoto
  1. Kinjeketile Ngwale aliongoza mapambano ya kupinga uvamizi wa wajerumani katika mikoa ipi?
  1. Mwanza na Shinyanga
  2. Tabora na Pwani
  3. Mtwara na Lindi
  4. Pwani na Tanga

4. Upi sio umuhimu wa kutunza kumbukumbu?

  1.        Inasaidia kujea yaliyopita
  2.         Ina hifadhi hazina
  3.         Inatunza heshima
  4.        Inatukumbusha yajayo

5. Njia ya kutunza kumbukumbu kwa kuadisia matukio ya zamani kutoka kizazi kimoja hadi kingine huitwa?

  1.        Hamasa
  2.         Kurekodi
  3.         Simulizi
  4.        Kunena

6. Sehemu ambapo kumbukumbu mbalimbali za historia huifadhiwa huitwa?

  1.        Maktaba
  2.         Makumbusho
  3.         Kabati
  4.        Historia
  1. Ni kipi hupatikana katikati ya mfumo wa jua?
  1. Asteroid
  2. Obiti
  3. Jua
  4. Nyota
  1. Kila sayari huzunguka jua katika njia yake huitwa?
  1. Asteroid
  2. Zohali
  3. Obiti
  4. Kometi
  1. Sayari ya nne kutoka kwenye jua ni?
  1. Zebaki
  2. Mirihi
  3. Sumbula
  4. Kausi
  1.            Uhusiano ni………………….
  1.                 Hali ya watu wawili na Zaidi wenye malengo ya Pamoja
  2.                Hali ya kugombana baina ya mtu na mtu
  3.                 Hali ya kufanya kazi peke yako

 

  1.            Toa maana ya maneno yafuatayo:
  1.                 Ukoo
  2.                Uhusiano
  3.                 Makabaila
  4.                Watwana

 

Oanisha sentensi kutoka safu B na maneno sahihi kutoka safu A ili yalete maana sahihi.

             SAFU A

                      SAFU B

  1. Dira………….
  2. Mpaka…………..
  3. Ufunguo…………….
  4. Fremu…………..
  5. Alama za ramani…………….
  1. Mipaka ya mraba au mstatili
  2. Chombo kitumikacho kuonesha uelekeo wa mahali
  3. Michoro au alama zinazotambulisha kitu katika ramani
  4. Orodha ya alama za ramani na maana zake
  5. Mahali ambapo ni kikomo cha eneo au kitu dhidi ya kingine
  6. Pande kuu nne za Dunia

 

Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi si sahihi.

  1. Watu hushirikiana katika matendo ya misiba, harusi, sherehe za mavuno na ngoma……….
  2. Kuzungumza lugha ya asili hukuza utamaduni wetu……………
  3. Ni lazima ushirikiane na kila mtu katika jamii……………
  4. Uhusiano ni matokeo ya ushirikiano……………
  5. Siyo lazima watu washirikiane kwa kila tukio linalotokea katika jamii……………..

SEHEMU D.

CHUNGUZA PICHA IFUATAYO KISHA JIBU MASWALI

 

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 2020download.jpg

 

  1. Ni shuguli gani ya uzalishaji mali inayoonekana katika picha?
  2. Taja faida moja ya shughuli hii kwa Taifa
  3. Taja madhara ya shughuli hii katika mazingira
  4. Taja mkoa mmoja Tanzania shughuli hii inaweza kufanyika
  5. Tunawezaje kutumia rasilimali hii katika hali endelevu?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 42

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021

MAARIFA YA JAMII – DARASA LA NNE

FOMATI MPYA

MUDA 1:30 MACHI 2021

JINA …………………………... SHULE ………………………...

MAELEZO

  1. Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2. Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
  3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4. Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A

JIBU MASWALI YOTE

1. Chagua jibu sahihi kisha andika jibu lake katika nafasi uliyopewa.

i. Sehemu gani ya mazingira kati ya hizi sio ya asili?

  1. Mito
  2. Mabonde
  3. Nyumba
  4. Mito

ii. Kipi kati ya hivi huwezi kukipata katika mazingira ya kijijini?

  1. Shamba
  2. Mimea
  3. Magari
  4. Wanyama

iii.Moja wapo ya kurekebisha mazingira yalioharibika ni Pamoja na;

  1. Kufuga Wanyama wengi
  2. Kupanda miti
  3. Kulima kwenye mabonde
  4. Umwagiliaji maji

iv. Yafuatao ni madhara ya kuharibu mazingira isipokuwa:

  1. Kubadilika kwa hali ya hewa
  2. Nchi kuwa na ukame
  3. Ukosefu wa chakula
  4. Kuongezeka kwa viumbe hai.

v. Kati ya hizi ni ipi njia ya kisasa ya kutunza kumbukumbu?

  1. Maktaba
  2. Compyuta
  3. Shajara
  4. Kabati

vi. Kifaa kinachotumika kupimia mgandamizo wa hewa huitwa?

  1. Haigromita
  2. Jotoridi
  3. Baromita
  4. Anemomita.

vii. Mojawapo ya hasara ya mvua ni:

  1. Kustawisha mimea
  2. Kutupatia maji ya kunywa
  3. Kusababisha mafuriko
  4. Kukuza mimea

viii. Tunaweza kujikinga na mvua kwa kufanya ya fuatayo

  1. Kuvaa nguo nyepesi
  2. Kucheza kwenye mvua
  3. Kukusanya maji ya mvua
  4. Kuvaa nguo nzito za kujikinga na baridi.

2. Oanisha maneno yaliyo katika safu A na yale ya safu B ILI yalete maana sahihi.

Safu A

Safu B

  1. Faida ya mvua kwa mime ana binadamu.
  2. Dalili za mvua
  3. Mawingu yenye kuleta mvua
  4. Mgandamizo wa hewa
  5. Kilimo cha wakati wote
  6. Chanzo kikuu cha mito, maziwa na bahari.
  1. Haigromita
  2. Mvua za mara nyingi
  3. Mawingu meusi, mwanga hafifu, ngurumo na radi
  4. Mvua
  5. Kupata maji na kukuza mimea
  6. Mawingu meusi na kijivu
  7. Ngurumo za radi na mawingu mekundu
  8. anemomita

3. Tumia maneno yaliyo kwenye kisanduku kujaza nafasi zilizo wazi

MAFURIKO, BAROMITA, JOTORIDI, KIPIMAUPEPO, KIPIMAMVUA, HAIGROMITA

  1. Kifaa kinachotumika kupimia mvua . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  2. Kifaa kinachotumika kupimia mgandamizo wa hewa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  3. Kifaa kinapima kasi ya upepo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  4. Kifaa kinapima mwelekeo wa upepo… . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  5. Kinatumika kupima unyevuanga… . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  6. Hupimwa na kifaa kinaitwa jotoridi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

4.Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali

  1. Picha hapo juu inaonyesha tukio gani?
  2. Ni kitendo gani ambacho kinaweza kuchangia hali hii?
  3. Taja madhara wawili yatokanayo na tukio hilo
  4. Unapaswa kufanya nini wakati tukio kama hilo limetokea?
  5. Taja magonjwa yanayoweza kutokea wakati wa tukio hilo.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 32

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA NNE

MUDA: 1.30 

MAELEZO KWA MTAHINIWA

  1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
  2. JIBU MASWALI YOTE
  3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
  4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. A. SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHII

(i) Mgawanyo wa kazi katika familia…………….

  1. Hupunguza uvivu
  2. Hupunguza uadui
  3. Hurahisisha kazi
  4. Hupunguza marafiki

(ii) Ni kitendo kipi kinachangia kuharibu mazingira?

  1. Kulima
  2. Kukata miti
  3. Kupanda maua
  4. Ufugaji wa nyuki

(iii) Umwinyi ni mfumo wa kiuchumi uliokuwa umeenea sana maeneo gani?

  1. Unyamwezi
  2. Pwani 
  3. Uchagani
  4. iringa

(iv) Zifuatazo ni bahari zilizolizunguka bara la africa

  1. Shamu,pasifiki,kusi na hindi
  2. Hindi, antaktiki, shamu na kati
  3. Pasifiki, kati, shamu, antaktiki
  4. Hindi, atlantik, shamu na kati

(v) Ramani huchorwakwenye;

  1. Barabara, mji, kijiji
  2. Kitambaa, ubao ardhini
  3. Nyumba, shule au njia
  4. Daftari, uwanja au chombo

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

  1. Joto la binadamu upimwa kwa kifaa kinaitwa…………………………..
  2. Mojawapoya madhara ya mvua nyingi ni………………………………….
  3. Vipengele vine vya hali ya hewa ni…………………………………………..
  4. Hali ya hewa inabadilika………………………………………………………..
  5. Sehemu panapotengenezwa na kuundia vitu panaitwa……………

3.  SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

  1. Vumbi na moshi huchafua hewa………………..
  2. Chanzo chamvua ni mvuke upaao angani
  3. Tufuge mifugo mingi ili tuepuke uharibifu wa mazingira……………
  4. Bila uoto, binadamu hawezi kupata mahitaji yake ya msingi ya maisha………….
  5. Ukeketaji ni mojawapo wa mila zinazofaa………….

4. SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

  1. Kipindi cha miaka 100
  2. Siku ya nyerere
  3. Ni mkusanyiko wa familia
  4. Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
  5. Mpunga, nazi na chumvi
  1. 14 octoba
  2. Mazao kutoka pwani
  3. karne
  4. mwaka 1994
  5. ukoo
  6. 19 0ctoba
  7. nafaka

 5. Sehemu E. 

Jaza nafasi zilizoachwa wazi.

  1. Fuvu la mtu wa kale zaidi liligunduliwa na……………………… 
  2. Zama za ……………………..zimegawanyika katika sehemu tatu kuu.
  3. Wahunzi walijitokeza wakati wa zama za…………………………………
  4. Binadamu alianza kutembea kwa miguu miwili katika zama za mawe za…………… …………..
  5. Binadamu alianza kuishi katika makazi ya kudumu katika zama za mawe za………… …………….

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 12

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NNE

APRILI-2020     MUDA:SAA 1:30

MAARIFA YA JAMII

MAELEZO KWA MTAHINIWA

  1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
  2. JIBU MASWALI YOTE
  3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
  4. KAZI YAKO IWE SAFI.

A. SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHII

  1. Jukumu la kutunza  mazingira ni la;
  1. Waalimu
  2. Wanakijiji
  3. Serikali
  4.  Raia wote
  1. Ni kitendo kipi kinachangia kuharibu mazingira?
  1. Kulima
  2. Kukata miti
  3. Kupanda maua
  4. Ufugaji wa nyuki
  1. Ni njia ipi ya kisasa ya kutunza kumbukumbu  za matukio shuleni?
  1. Kabati
  2. Maktaba
  3. Dawati
  4. Computa
  1. Mgandamizo wa hewa unapimwa kwa kutumia;
  1. Haigromita
  2. Anemomita
  3. Thamomita
  4.  Baromita
  1. Ipi ambayo sio dalili za mvua?
  1. Mawingu mazito
  2. Upepo mkali
  3. Ngurumo na radi
  4. Jua kali

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

  1. Joto la binadamu upimwa kwa kifaa kinaitwa…………………………..
  2. Mojawapoya madhara ya mvua nyingi ni……… …………….
  3. Vipengele vine vya hali ya hewa ni………… ………………..
  4. Hali ya hewa inabadilika…………… …… ..
  5. Sehemu panapotengenezwa na kuundia vitu panaitwa……………

3.SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

  1. Mifugo mingi katika eneo moja uzuia uharibifu wa mazingira………….
  2. Mazingira hutunzwa na wanafunzi tu… …………… ………
  3. Unaweza kuchukua nukuu za  matukio kwa kutumia daftari na kalamu… ……
  4. Namna moja wapo ya kujikinga na madhara ya mvua ni kukata miti yote… …….
  5. Uharibu wa mali na vifo kwa viumbe ni matokeo ya adhari za mvua nyingi… ….

4. SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

  1. Mawingu yenye kuleta mvua
  2. Chanzo kikuu cha miti, maziwa na bahari
  3. Mgandamizo wa hewa
  4. Kilimo cha wakati wote
  5. Dalili ya mvua
  1. Haigromita
  2. Mawingu mekundu
  3. Anemomita
  4. Mawingu mazito, radi
  5. Mawingu meusi
  6. Mvua za mara nyingi
  7. Kupata maji ya kukuza mimea.

5. Sehemu E. 

  1. Nini maana ya hali ya hewa?.... ......
  2. Taja dalili tano za mvua unazozifahamu

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD FOUR EXAM SERIES 3

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256