?>
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
JARIBIO LA NUSU MUHULA-MACHI 2025 DARASA LA NNE
SOMO: HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
DARASA LA NNE
SEHEMU A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI
1. Chagua herufi ya jibu sahihi kisha iandike kisanduku cha kujibia
i. Zifuatazo ni haki za mtoto isipokuwa
(A) kupata elimu bora
(B) kutomsikiliza anapohitaji msaada
(C) kupata nafasi ya kucheza
ii. Kwa majibu wa sheria ya mtoto ni mtu mwenye umri wa miaka rningapi?
(A) chini ya miaka 10
(B) chini ya miaka 18
(C) chini ya miaka 21
(D) chini ya miaka 15
iii. Mfumo wa uongozi wa usultani ulitumika katika maneno gani?
(A) visiwa vya zanzibari
(B) kaskazini mwa Tanzania
(C) kusini magharibi mwa Tanzania
(D) maeneo ya ziwa Tanganyika
iv. Familia ya mzee lazier na ile ya mzee moleli zina uhusiano wa damu, kipi ni ukweli kuhusu familia.hizi?
(A) asili yake ni ukoo mmoja
(B) zinapatikana kutoka jamu ya kisultani
(C) kiongozi wake ni mtemi
(D) zinatokana na makabila tofauti
v. Mtemi alikwa na majukumu yafuatayo isipokuwa
(A) kusimamia ibada za jamii
(B) kutengeneza zana za chuma
(C) kuhusisha migogoro katika jamii
(D) kusimamia biashara katika himaya yake
2. Oanisha kufungu cha maneno ya kifungu A dhidi ya kifungu cha maneno ya sehemu B kisha uandike herufi ya jibu sahihi katika mabano.
KIFUNGU A | KIFUNGU B |
i. Wahehe ii. Wamasai iii. Wanyamwezi iv. Wahaya v. Wachaga | A. Mtemi B. Mtwa C. Mangi D. Omukama E. laiboni |
3. Jaza nafasi zilizo wazi kwa kuchagua jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku cha majibu.
Akiologia | Kusimulia | 2009 | 2019 | Usultani | Ustawi wa jamii | Ukoo | Kitemi |
i. Kundi la watu wenye nasaba moja, wakijumlisha familia zenye uhusiano wa damu huitwaje?
ii. Mfumo wa uongozi wa jadi ulioshamiri zaidi katika visiwa vya unguja na pemba uliitwaje ........................................................
iii. Sheria ya mtoto ilitungwa mwaka ........................................................
iv. Mtoto ambaye Haki zake zimekiukwa anaweza kwenda kutoa taarifa kwenye ofisi ya ........................................................
v. Je, ni nini maana ya kuelezea jambo au habari kulingana na mlolongo wa matukio?
SEHEMU B: MAJIBU MAFUPI
4. Kamilisha jedwali lifuatalo kwa kuandika mkoa ambao eneo Ia kihistoria linapatikana.
Eneo la kihistoria | Eneo na mkoa ilipo |
i. Magofu_ya husuni kubwa |
|
ii. Gofu la ngome ya gereza |
|
iii. Jumba la caravan serai |
|
iv. Gofu la msitiki mkuu |
|
5. Chunguza picha kisha jibu maswali yanayofuata
(a) Watu wanaonekana katika picha wametoka kufanya shughuli gani?
(b) Jaza zana mbili za chuma waliotumia watu wa jamii hii kufanyja shughuli hizo
(i) ........................................................
(ii) ........................................................
(iii) ........................................................
(c) Taja malighafi iliyotumika kutengeneza nguo walizovaa watu wanaonekana katika picha ........................................................
(d) Unafikiri hawa ni wa kabila gani hapa Tanzania?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISTORIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 112