?>
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA KWA SHULE ZA MSINGI,
NUSU MUHULA WA KWANZA – MACHI-2024
MUDA: ..........
SUBJECT: HISABATI DARASA LA: 4
JINA: ………………………………………………….. TAREHE: ......................
NO | SWALI | NAFASI YA KUFANYIA KAZI | JIBU |
| (a) Andika 12659 kwa maneno
|
|
|
| (b) Andika “ Elfu kumi na mia tisa na saba, kwa tarakimu.
|
|
|
| (c) Andika tatu kwa nne katika sehemu.
|
|
|
| (d) Andika sehemu iliyotiwa kivuli katika mchoro huu |
|
|
| (e) Musa ana miaka arobaini, andika umri wake kwa kirumi. |
|
|
| (a) Panga tarakimu zifuatazo kutoka kubwa kwenda ndogo 78, 111, 89,305,32
|
|
|
| (b) Andika namba inayokosekana 30,32,______, 36, 38 |
|
|
| (c) Andika namba inayofuata katika namba hizi X,XV,XX,XXV__________
|
|
|
| (d) Miti mine inatofautiana kwa urefu kama ifuatavyo:5m, 8m, 11m, 14m. Tafuta urefu wa mti wa tano. |
|
|
| (e) Agnes aliesabu namba kwa kupunguza 10 ili kupata namba ifuatayo.Ikiwa number ya kwanza ilikuwa 80.Tafuta namba ya tatu. |
|
|
| (a) Andiak 70417 kwa kufafanua
|
|
|
| (b) Andika dhamani ya nne katika namba hizi: 54236
|
|
|
| (c) Mwalimu alituambia tufungue kitabu katika ukurasa wa XLIVAndika ukurasa huo katika tarakimu. |
|
|
| (d) Ikiwa tarakimu 4,2,9 na 3 zimetumika mara moja. Andika namba kubwa Zaidi inayoweza kuundwa
|
|
|
| (e) Andika kwa kifupi 8000 + 400 + 0 + 50 + 7 |
|
|
|
|
|
|
|
+ 47149
|
|
|
|
|
|
|
|
-72698
|
|
|
|
|
|
|
| (a) Shule yetu ina wavulana 4392 na wasichana 5469 .Je kuna wanafunzi wangapi kwenye shule yetu?
|
|
|
| (b) Mkulima alikuwa na mbuzi 319. Aliuza mbuzi 128. Alibaki na mbuzi wangapi? |
|
|
| (c) Ngo’mbe tisa wana miguu mingapi?
|
|
|
| (d) Weka kivuli kuonesha theluthi mbili
|
|
|
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 95
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI
NUSU MUHULA WA PILI
AGOSTI – 2023
SOMO: HISABATI
JINA: __________________________________________________TAREHE___________DRS: 4
MUDA: SAA 1:30
MAELEKEZO
+ 19369
- 77352
x 35
_____, _____, XXV, ____ XXIII, XXII, _____
3 huitwa ______________
5 huitwa ______________
Mwisho!
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 80
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA UMAHIRI KWA NGAZI YA MSINGI
HISABATI LA NNE
SEPT 2022
Jibu Maswali yote katika nafasi uliyopewa
N/S | SWALI | KAZI | JIBU | ||||||||||
|
|
|
| ||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
|
| ||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
21, 18, 15, ______, _______.
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
| |
|
| ||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
|
| ||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
| Tumia taarifa zilizowasilishwa katika jedwali lifuatalo ambalo limeonyesha alama za somo la hisabati kwa wanafunzi wane, kisaha jibu maswali yatakayofuata;
Maswali
|
|
| ||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
| |||||||||||
|
|
|
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 67
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA NNE
HISABATI
MUDA: 1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEZO
MAELEZO
SWALI | KAZI | JIBU |
+13131
-2120 Andika namba hizi za kirumi kwa maneno
x 12
Sh.600 + sh. 1200
+ sh. 120
|
|
|
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 59
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA
HISABATI
MUDA:1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
| QUESTION | WORK | ANSWER | |
i |
91 + 6982 + 217 = |
|
| |
ii |
58160 -9999 = |
|
| |
iii | 3 7 8 X 1 9 |
|
| |
iv |
3 351 |
|
| |
v |
896 ÷ 14 = |
|
| |
2i | Andika kwa tarakimu kumi na tisa elfu na tisini |
|
| |
ii | Andika kwa maneno 25375 |
|
| |
Iii | Andika kwa kifupi 400 + 60 + 70000 + 1 |
|
| |
iv | Tafuta thamani ya tarakimu 7 katika 92729 |
|
| |
v | Panga namba kuanzia ndogo kwenda kubwa 890, 940, 650, 730, 570 |
|
| |
3i | Andika XLIX kwa namba za kiarabu |
|
| |
ii | Andika37 kwa namba zakirumi |
|
| |
iii | + = |
|
| |
iv | Nini sehemu isiyo nakivuli? |
|
| |
v | Andika namba inayokosekana V, XIII, ………….. XXIX, XXXVII |
|
| |
4i | Kuna vipande vingapi vyamstari?
A B C D |
|
| |
ii | Tafuta mzingo wa mstatili
5cm
12cm |
|
| |
iii | Chora uso wa saa naonesha saa 4:25 |
|
| |
iv | Tafuta eneo la mraba
9cm |
|
| |
v | Saa dk 5 24 -3 39 |
|
| |
| Jedwali lifuatalo linaonesha mahudhurio yawanafunzi kwa wiki ikiwa inawakilisha wanafunzi30 |
|
| |
Jumatatu |
| |||
Jumanne |
| |||
Jumatano |
| |||
Alhamisi |
| |||
Ijumaa |
| |||
i | Wanafunzi wangapi walihudhuria siku ya alhamisi? |
|
| |
ii | Jumatano imezidi Jumatatu kwa wanafunzi wangapi? |
|
| |
iii | Ni wanafunzi wangapi hawakuhudhuria ijumaa? Ikiwa wanafunzi wote walihudhuria alhamisi? |
|
| |
iv | Ni siku zipi wanafunzi walihudhuria idadi sawa. |
|
| |
v | Ni siku gani wanafunzi walihudhuria wengi Zaidi? |
|
|
Page 1 of 3
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 40
OFISI YA RAIS
WIZARA YA ELIMU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA
HISABATI- DARASA LA NNE
FOMATI MPYA
MUDA SAA1:30 MACHI 2021
JINA…………………………...SHULE………………………...
MAELEKEZO
Kokotoa maswali yafuatayo kisha andika jibu katika nafasi zilizo wazi
Na. |
SWALI |
SEHEMU YA KUFANYIA |
JIBU |
1. |
i. Andika 505 kwa maneno. |
||
ii. Andika makumi 3, mamia 7 and na mamoja 3 kwa ufupi. |
|||
iii. Halima ana miaka XXX na Rajabu ana miaka XL. Nani mkubwa Zaidi ya mwingine? |
|||
iv. Andika mia mbili na Hamsini kwa tarakimu. |
|||
v. Nini dhamana ya 6 katika 3463? |
|||
2. 3. |
i. _____, 400, 500, _____700. |
||
ii.104, 108, 112, ______,______ |
|||
iii. Panga namba zifuatazo kutoka ndogo kwenda kubwa 440,550,310,660,120. |
|||
iv. Panga namba zifuatazo kutoka kubwa kwenda ndogo. 4346,3333,4456,5347. |
|||
v. Panga namba za kirumi kuanzia ndogo hadi kubwa XL, XX, X, III. i. 6739Andika kwa maneno. |
|||
ii. 455+45= |
|||
iii. 4570-3346= |
|||
iv.553 x 32= |
|||
v.1344 ÷ 12 = |
|||
4. |
i. Walimu 612 wako kwenye shule 12 za kibinafsi. Ikiwa shule hizi zina idadi sawa ya walimu, kila shule ina walimu wangapi? |
||
ii. Mstatili una pande ngapi? |
|||
iii. Chora duara. |
|||
iv. Tafuta ukingo wa mraba ukiwa una enea la sm2 18. |
|||
v. Umbo lifuatalo lina pembe tatu ngapi? |
|||
5. |
Shule ya msingi Muganyizi ina watoto 200. Mwalimu wa zamu aliorodhesha mahudhurio yao kama ifuatavyo.
|
||
|
|||
|
|||
|
|||
|
|||
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 36