?> HISABATI STANDARD FOUR EXAMS SERIES
HISABATI STANDARD FOUR EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA KWA SHULE ZA MSINGI,

NUSU MUHULA WA KWANZA – MACHI-2024

MUDA: ..........

SUBJECT: HISABATI       DARASA LA: 4

JINA: …………………………………………………..  TAREHE: ......................

 

NO

SWALI

NAFASI YA KUFANYIA KAZI

JIBU

  1.  

(a)  Andika  12659 kwa maneno 

 

 

 

 

 

(b)  Andika “ Elfu kumi na mia tisa na saba, kwa tarakimu. 

 

 

 

 

(c)   Andika tatu kwa nne katika sehemu.

 

 

 

 

(d)  Andika sehemu iliyotiwa kivuli katika mchoro huu

 

 

 

(e)  Musa ana miaka arobaini, andika umri wake kwa kirumi.

 

 

  1.  

(a)  Panga tarakimu zifuatazo kutoka kubwa kwenda ndogo 78, 111, 89,305,32 

 

 

 

 

(b)  Andika namba inayokosekana 30,32,______, 36, 38

 

 

 

(c)   Andika namba inayofuata katika namba hizi  X,XV,XX,XXV__________ 

 

 

 

 

(d)  Miti mine inatofautiana kwa urefu kama ifuatavyo:5m, 8m, 11m, 14m.  Tafuta urefu wa mti wa tano. 

 

 

 

(e)  Agnes aliesabu namba kwa kupunguza 10 ili kupata namba ifuatayo.Ikiwa number ya kwanza ilikuwa 80.Tafuta namba ya tatu.

 

 

  1.  

(a)  Andiak 70417 kwa kufafanua

 

 

 

 

(b)  Andika dhamani ya nne katika namba hizi: 54236 

 

 

 

 

(c)   Mwalimu alituambia tufungue kitabu katika ukurasa wa XLIVAndika ukurasa huo katika tarakimu.

 

 

 

(d)  Ikiwa tarakimu 4,2,9 na 3 zimetumika mara moja.  Andika namba kubwa Zaidi inayoweza kuundwa

 

 

 

 

(e)  Andika kwa kifupi

8000  +  400  +  0  +  50  +  

 

 

  1.  
  1.   Kokotoa 91437  +  6562

 

 

 

 

 

  1.   Rahisisha :- 23671

                    + 47149

 

 

 

 

  1.    Ondoa  94529  -  81204

 

 

 

 

 

  1.   Rahisisha : 90531

                                  -72698

 

 

 

 

  1.   Zidisha 416  x 23

 

 

 

 

  1.  

(a)  Shule yetu ina wavulana 4392 na wasichana 5469 .Je kuna wanafunzi wangapi kwenye shule yetu? 

 

 

 

 

(b)  Mkulima alikuwa na mbuzi 319.  Aliuza mbuzi 128.  Alibaki na mbuzi wangapi? 

 

 

 

(c)   Ngo’mbe tisa wana miguu mingapi? 

 

 

 

 

 

(d)  Weka kivuli kuonesha theluthi mbili

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 95

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI

NUSU MUHULA WA PILI

AGOSTI – 2023 

SOMO: HISABATI

JINA: __________________________________________________TAREHE___________DRS: 4

MUDA: SAA 1:30

MAELEKEZO

  1.                Mtihani huu una jumla ya maswali arobaini na Tano (45)
  2.                                                                                                 Jibu maswali yote katika kila sehemu
  3.                                                                                                 Soma maelekezo kabla ya kujibu maswali
  4.                    Swali la 1 – 40 chagua jibu sahihi na swali la 41 – 45, jibu maswali katika nafasi uliopewa.
  5.                                                                                                 Tumia kalamu ya bluu na nyeusi
  6.                                                                                                 Simu za mkononi, vikokotozi, na vitu visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mtihani.

 


 

  1.     70605

+  19369

 

  1.     94085

 -  77352

 

  1.      908

x   35

 

  1. 850 x 6 =
  2. 81  972
  3. Andika 84703 kwa maneno
  4. Andika 49 kwa namba za kirumi.
  5. Tafuta tofauti liyopo kati ya 4798 na 2455
  6. Andika LXIX kwa tarakimu za kiarabu.
  7. Tafuta 285 ÷ 19 =
  8. 15/25 + 8/25 =
  9. 32/2527/83 =
  10. Andika “kumi na nne elfu na nne” kwa tarakimu.
  11. Andika jawabu la “L-IX” kwa tarakimu za kiarabu.
  12. Tumia mstari wa namba kutafuta 4/6 + 1/6 =
  13. Tafuta sehemu iliyotiwa kivuli

 

 

  1. Tumia michoro kutafuta 2/3 + 1/3 =
  2. Barnaba alinunua samaki 2860 kwa ajili ya kuuza ilia pate faida. Kwa Bahati mbaya samaki 1007 walioza. Je, alibakiwa na samaki wangapi baada ya wengine kuoza?
  3. Watoto 12 walinunua mbuzi 1440. Baada ya siku tano waliamua kuwagawana hao mbuzi. Kila mmoja alipata mbuzi wangapi?
  4. Chunguza mchoro nakisha andika namba hii kwa tarakimu
  5. Fafanua namba 98735 kwa kuzingatia nafasi ya kila tarakimu.
  6. 324 +      = 403. Andika namba ilikosekana kwenye kiboma.
  7. Tafuta namba zinazokosekana katika mpangilio ufuatao:-

_____, _____, XXV, ____ XXIII, XXII, _____

  1. Katika sehemu 3/5

3 huitwa ______________

5 huitwa ______________

  1. Mchoro ufuatao unaonesha kuwa ni saa ngapi?

Mwisho!

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 80

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA UMAHIRI KWA NGAZI YA MSINGI

HISABATI LA NNE

SEPT 2022

Jibu Maswali yote katika nafasi uliyopewa

 

N/S

SWALI

KAZI

JIBU

  1.  
  1. Andika “arobaini na nne elfu, mia nne arobaini na nne” kwa tarakimu

 

 

  1. Katika namba ifuatayo, Je ni tarakimu ipi ipo katika makumi elfu? 97,654

 

 

  1. Namba ipi ipo katika mamia katika namba 67, 654

 

 

  1. Andika 80, 8 na 80000 na 800 kwa namba moja nzima

 

 

  1. Andika “8,708” kwa maneno

 

 

  1.  
  1. Panga 9090,999,9999, na 8999 kutoka namba kubwa hadi ndogo

 

 

  1. Namba ya siri ya simu ya mwalimu kanza ni 976, ikiwa tarakimu hizo zitapangwa kwa mtindo wa tarakimu ya namba ndogo itakuwa namba ngapi?

 

 

  1. Andika namba inayokosekana 1000, ______, 1011, 1012,1013

 

 

 

  1. Andika namba zinazokosekana

21, 18, 15, ______, _______.

 

 

 

  1. Ni tendo gani limetumika katika mtiririko wa namba zifuatazo? 1, 3, 9, 27, _________.

 

 

 

  1.  

 

 

  1. 30  3 = (Andika jibu kwa namba za kirumi)

 

 

  1. 432 + ________ = 375

 

 

  1. 34 x 14=

 

 

  1. Gawanya maembe 96 kwa wanafunzi wanne

 

 

  1.  
  1. Tafuta mzigo wa umbo lifuatalo;

 

 

  1. Umbo lifuatalo huitwaje?

 

 

  1. Mzigo wa mstatili n ism 64. Ikiwa upana ni sm 12. Tafuta urefu.

 

 

  1. Kuna pembe ngapi katika umbo lifuatalo

 

 

  1. Taja jina la aina ya mstari ufuatao,

 

 

  1.  

Tumia taarifa zilizowasilishwa katika jedwali lifuatalo ambalo limeonyesha alama za somo la hisabati kwa wanafunzi wane, kisaha jibu maswali yatakayofuata;

 

Jina la Mwanafunzi

Alama

Ali 

80

Janet

90

Chris 

98

Amina

98

Maswali

 

 

 

  1. Je Amina alipata alama ngapi?

 

 

  1. Je nini Juma ya alama zote ambazo wanafunzi wane walizipata?

 

 

  1. Je ni nani ana alama ndogo Zaidi?

 

 

  1. Tafuta jumla ya alama za Amina na Janet?

 

 

  1. Je ni nini tofauti ya idadi ya alama za Chris na Ali

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 67

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA NNE

HISABATI

MUDA: 1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEZO

MAELEZO

  1.                Mtihani huu una maswali 25
  2.                Jibu maswali yote
  3.                Onyesha kazi yako
  4.                Mtihani wote una alama 50

SWALI

KAZI

JIBU

  1. 5462+5362
  2. 64532+6524
  3.   25,631

+13131

  1. Andika kwa taraimu ; 45,876
  2. Andika kwa taraimu 10,980
  3. 55761-26714
  4.  5969

-2120

Andika namba hizi za kirumi kwa maneno

  1. XXII
  2. LXIV
  3. XXXV
  4. L
  5. Orodhesha ukianza na namba ndogo; 125, 115,375,270,585,465
  6. Andika namba inayokosekana; 25, 30, ....,......., 45, 50
  7. 7761-3872
  8. Kata ina wapiga kura elfu sita mia nane na sabini na nne. Ikiwa wapiga kura elfu tatu na themanini na saba walipiga kura, ni wangapi hawakupiga kura?
  9. 123 x 43
  10.    524

x  12

  1. Seremala utengeneza meza 12 kwa siku. Kwa siku 31 atatengeneza meza ngapi?
  2. Juma alinunua mayai 30 kwa siku moja. Je atanunua mayai mangapi kwa siku 30?
  3. Andika sehemu ya nzima iliyotiwa kivuli

C:UsersKYAMBODocumentsSTD 4 NECTAcircle0858rgb_p.png

  1. Neema alitembea kutoka darasani kwenda kwa ofisi ya mwalimu mkuu na kutumia sekunde 180. Je alitembea kwa dakika ngapi?
  2. Jumlisha;

Sh.600 + sh. 1200

  1.      Sh.     300

+   sh.     120

 

  1.  Amina alienda dukani na shilling elfu kumi kununua kilo ya sukari. Ikiwa kilo moja ni sh. 3250, alirudi na shilling ngapi?
  2. Mwaka mmoja una wiki ngapi?

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 59

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA

HISABATI

MUDA:1:30          

JINA_____________________________________SHULE_________________________

 

QUESTION

WORK

ANSWER

 

i

 

91 + 6982 + 217 =

 

 

 

ii

 

58160 -9999 =

 

 

iii

 3 7 8

 X 1 9

 

 

iv

 

 3   351

 

 

 

v

 

896 ÷ 14 = 

 

 

2i

Andika kwa tarakimu kumi na tisa elfu na tisini

 

 

ii

Andika kwa maneno 25375

 

 

Iii

Andika kwa kifupi

400 + 60 + 70000 + 1

 

 

iv

Tafuta thamani ya tarakimu 7  katika 92729

 

 

v

Panga namba kuanzia ndogo kwenda kubwa 890, 940, 650, 730, 570 

 

 

3i

Andika XLIX kwa namba za kiarabu

 

 

ii

Andika37 kwa namba zakirumi

 

 

iii

       =

 

 

iv

Nini sehemu isiyo nakivuli?

 

 

v

Andika namba inayokosekana                                            V, XIII, ………….. XXIX, XXXVII

 

 

4i

Kuna vipande vingapi vyamstari?

 

          A     B       C     D

 

 

ii

Tafuta mzingo wa mstatili

 

 5cm

 

12cm

 

 

iii

Chora uso wa saa naonesha saa 4:25

 

 

 

 

 

 

 

 

iv

Tafuta eneo la mraba

 

 

9cm

 

 

v

Saa                   dk

 5                     24

-3                     39

 

 

 

Jedwali lifuatalo linaonesha mahudhurio yawanafunzi kwa wiki ikiwa inawakilisha wanafunzi30

 

 

Jumatatu

 

Jumanne

 

Jumatano

 

Alhamisi

 

Ijumaa

 

i

Wanafunzi wangapi walihudhuria siku ya alhamisi?

 

 

ii

Jumatano imezidi Jumatatu kwa wanafunzi wangapi?

 

 

iii

Ni wanafunzi wangapi hawakuhudhuria ijumaa? Ikiwa wanafunzi wote walihudhuria alhamisi?

 

 

iv

Ni siku zipi wanafunzi walihudhuria idadi sawa.

 

 

v

Ni siku gani wanafunzi walihudhuria wengi Zaidi?

 

 

 

 

Page 1 of 3

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 40

OFISI YA RAIS

WIZARA YA ELIMU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA

HISABATI- DARASA LA NNE

FOMATI MPYA

MUDA SAA1:30 MACHI 2021

JINA…………………………...SHULE………………………...

MAELEKEZO

  1. Mtihani huu una maswali 25
  2. Jibu Maswali yote katika nafasi ulizopewa
  3. Mtihani huu una alama 50
  4. Tumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi

Kokotoa maswali yafuatayo kisha andika jibu katika nafasi zilizo wazi

Na.

SWALI

SEHEMU YA KUFANYIA

JIBU

1.

i. Andika 505 kwa maneno.



ii. Andika makumi 3, mamia 7 and na mamoja 3 kwa ufupi.



iii. Halima ana miaka XXX na Rajabu ana miaka XL. Nani mkubwa Zaidi ya mwingine?



iv. Andika mia mbili na Hamsini kwa tarakimu.



v. Nini dhamana ya 6 katika 3463?



2.

3.

i. _____, 400, 500, _____700.



ii.104, 108, 112, ______,______



iii. Panga namba zifuatazo kutoka ndogo kwenda kubwa 440,550,310,660,120.



iv. Panga namba zifuatazo kutoka kubwa kwenda ndogo.

4346,3333,4456,5347.



v. Panga namba za kirumi kuanzia ndogo hadi kubwa XL, XX, X, III.

i. 6739Andika kwa maneno.



ii. 455+45=



iii. 4570-3346=



iv.553 x 32=



v.1344 ÷ 12 =



4.

i. Walimu 612 wako kwenye shule 12 za kibinafsi. Ikiwa shule hizi zina idadi sawa ya walimu, kila shule ina walimu wangapi?



ii. Mstatili una pande ngapi?



iii. Chora duara.



iv. Tafuta ukingo wa mraba ukiwa una enea la sm2 18.



v. Umbo lifuatalo lina pembe tatu ngapi?



5.

Shule ya msingi Muganyizi ina watoto 200. Mwalimu wa zamu aliorodhesha mahudhurio yao kama ifuatavyo.

  1. Siku ipi wanafunzi wachache walihudhuria?


  1. Ni wanafunzi wangapi hawakudhuria shule siku ya jumanne?


  1. Ni siku ipi ambapo wanafunzi wote wahihudhuria shule?


  1. Andika idadi ya wanafunzi ambao walikuwepo siku ya Jumanne na Jumatatu.


  1. Shule ya msingi Muganyizi ina wanafunzi wangapi?






LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FOUR EXAM SERIES 36

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256