?> SAYANSI STANDARD THREE EXAMS SERIES
SAYANSI STANDARD THREE EXAMS SERIES

OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMI

MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA TATU SAYANSI 

MUDA: SAA 1: 30

JINA LA MWANAFUNZI: _________________________________________ 

JINA LA SHULE________________________________________________ 

Maelekezo 

  1. Mtihani huu una sehemu mbili A na B zenye jumla ya maswali tano (5).
  2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo uliyopewa kwa kila kipengele
  3. Zingatia usafi wa kazi.
  4. Majibu yote yaandikwe kwa kalamu ya bluu au nyeusi

SEHEMU A 

Jibu maswali yote katika sehemu hii.

1. Jibu kipengele cha (i) hadi (v) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika katika kisanduku. (i) Maada ni kitu chochote chenye _______ na huchukua nafasi:

(A) Thamani (B) Ujazo (C) Hewa D) uzito [    ]

(ii) Chanzo kikuu cha nishati ya mwanga na joto ni _________

(A) jua (B) umeme (C) moto (D )taa [    ] 

(iii) Rasuli alivyotoka nje ya nyumba aliona ukungu mzito, Pia akawa anahisi baridi. Je Rasuli alitumia milango ipi ya fahamu?

  1. Ngozi na masikio 
  2. ulimi na ngozi, 
  3. Ngozi na macho 
  4. macho, masikio na ngozi [    ]

(iii) Kiumbe mmojawapo aliyepo katika kundi la reptilia miongoni mwa hawa ni _______

(A) Kobe (B)chura (C) Mbuni (D) Kiboko [    ]

(iv) Wanyama wenye uti wa mgongo wamegawanyika katika makundi makuu _____

(A) matano (B)matatu (C) manne (D) sita [    ]

(v) ) Moja za sifa ya viumbehai ni kujongea. Chura hujongea kwa namna gani? 

A. Kutambaa (B). Kutembea (C). Kuruka (D). Kurukaruka [    ]

2. Jibu kipengele cha (i) hadi (v) kwa kuoanisha maelezo katika orodha A na orodha B, kasha uandike herufi ya jibu sahihi kwenye mabano uliyopewa.

ORODHA (A)

MAJIBU

ORODHA (B)

i. Sifa mojawapo ya viumbehai.


A.Mhandisi

B.Mfamasia

C.Daktari wa nyama

D. Kucheka E. Umami

F. Kuitikia vichocheo.

G. Hadubini

ii.Hutumika kuchunguza viumbehai wadogo wasioonekana kwa macho


iii.Mwanasayansi anayeshughulika na kutengeneza, kutoa na kusimamia matumizi ya madawa.


iv. Ladha ya chakula yenye viono mchanganyiko.


v.Mwanasayansi anayebuni na kutengeneza miundo mbinu kama majengo


3. Jibu kipengele cha (i) hadi (vi) kwa kujaza nafasi ukitumia maneno uliyopewa katika kiboksi

Matamvua , hawataongezeka idadi, Pua, matatu, wasio na uti wa mgongo, amfibia, Reptilia, watakufa, manne

(i) Konokono na Panzi ni viumbe hai waliopo kwenye kundi gani la viumbehai?_______________ (ii) __________________________ Ogani gani inahusika na kutambua harufu ya vitu mbalimbali (iii) ________________ ni kundi la wanyama wenye uti wa mgongo, mfano chura.

(iv)Samaki wanatumia ____________kwa ajili ya kupumua.

(v) Nini kitatokea endapo viumbehai hawatazaliana? _______________________

SEHEMU B.

4. Chunguza picha ifuatayo kishajibu maswali kwa usahihi.

MASWALI 

Taja majina ya sehemu zilizooneshwa kwa herufi

(i) Herufi M inaonyesha sehemu inayoitwa _________________

(ii) Herufi N inaonesha sehemu inayoitwa __________________

(iii) ________________ ni sehemu iliyoonyeshwa kwa herufi O. ________________ 

(iv) Picha hiyo inaonesha kiungo cha mwili kinachoitwa _______________?

(v) Kazi ya kiungo cha mwili kinachoonekana katika picha hiyo ni ______________ 

5. Panga sentensi zifuatazo ili zilete maana kuhusu mtiririko sahihi wa utunzaji wa ngozi ya binadamu.Mtiririko sahihi upe herufi A - E

(i) Kula vyakula bora na kunywa maji ya kutosha ili kuendelea kutunza ngozi yako.

(ii) Paka mafuta ya ngozi mara baada ya kuoga.

(iii) Safisha ngozi yako kwa kuoga.

(iv). Tumia maji safi, dodoki na sabuni wakati wa kuoga.

(v) Kausha mwili wako kwa kutumia taulo safi baada ya kuoga.

i

ii

iii

iv

v





.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 157

OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMI

MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA TATU SAYANSI 

MUDA: SAA 1: 30

JINA LA MWANAFUNZI: _________________________________________ 

JINA LA SHULE________________________________________________ 

Maelekezo 

  1. Mtihani huu una sehemu mbili A na B zenye jumla ya maswali sita (6)
  2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo uliyopewa kwa kila kipengele 
  3. Zingatia usafi wa kazi. 
  4. Majibu yote yaandikwe kwa kalamu ya bluu au nyeusi

SEHEMU A (Alama 22)

1. Chagua herufi ya jibu kisha uandike kwenye kiboma ulichopewa.  

(i) Ni lipi kati ya ya masomo yafuatayo linahusika na uchunguzi wa majaribio ya vitu katika ulimwengu halisi?_______

  1. Hisabati
  2. Sayansi
  3. Jiographia
  4. Kiingereza

(ii) Stecy anapendelea ladha chachu Anapaswa kula

  1. Nyama
  2. Chumvi
  3. Tunda la chungwa
  4. Limao

(iii) Viumbe hai ni vitu vyenye uhai. Ni kitu gani kati ya vifuatavyo sio kiumbe hai?

  1. Ng”ombe
  2. Mmea wa muhindi
  3. Inzi
  4. Gari

(iv) Kuna hali ngapi za mada?

  1. Tatu
  2. Tano
  3. Nne
  4. Mbili

(v) Ni tawi gani la sayansi kati ya hizi inahusika na uhusiano kati ya mada na nguvu: 

  1. Kemia
  2. Fizikia
  3.  Biologia
  4. Famasia

2.  Oanisha milango ya fahamu kutoka orodha A na kazi zake katika orodha B Kwa kuandika herufi ya jibu sahihi katika sehemu ya jibu iiliyopo

Orodha A

 Jawabu

Orodha B

i) Jicho


A) Hutumika katika kuonja

B) Hutumika katika kunusa

C) Hutumika katika kulia

D) Hutumika katika kusikia

E) Hutumika katika kuona

F) Hutumika katika kula

G) Hutumika katika kuhisi

ii) Ngozi


iii) Ulimi


iv) Pua


v) Sikio


3.  Chagua jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku kisha jaza nafasi iliyoachwa wazi.

Hewa, Daktari wa binadamu, lishe, jua, mazingira, Daktari wa mifugo

(i) Mwanasayansi anayegundua ugonjwa na kutibu watu hospitalini __________________________

(ii) Kitu chochote kinachomzunguka mwanadamu ____________________

(iii) Mchanganyiko wa gesi mbalimbali _____________________________

(iv) Chanzo kikuu cha nishati duniani ______________________________

(v) Sifa ya viumbe kuhitaji chakula ________________________________

(vi) Sayansi inayohusiana na uchunguzi na matibabu kwa Wanyama____________________________________

SEHEMU B (Alama 28)

4.  Pangilia sehemu zifuatazo za mwili wa binadamu kwa mfuatano sahihi kulingana na jinsi zinavyohusika katika kusikia kwa kuzipa herufi B, C, D, E, F na G katika nafasi uliyopewa.Hatua ya (vii) imetumika kama mfano

i.

Neva ya auditori


ii.

Mifupa mitatu milaini


iii.

Ubongo


iv.

Koklea


v.

Ngoma ya sikio


vi.

Mfereji wa sikio


vii.

Pinna

A

5.  Soma picha ifuatayo hapa chini kisha ujibu maswali yanayofuata.

image

(i)  Picha hii inaonesha nini? _______________________________________

(ii)  Taja makundi mawili ya viumbe hai vilivyo oneshwa hapo juu

  1. _____________________________
  2. _____________________________

(iii)  Taja tawi la Sayansi linalohusika na vitu hivyo hapo juu _______________

(iv)  Ni kiumbe gani kimeoneshwa hapo juu hujitengenezea chenyewe chakula?

________________________________________

(v)  Ni sehemu gani ya mmea hutumika kutengeneza chakula?

___________________________________________________________

(vi)  Toa faida moja ya mimea katika Maisha ya kila siku __________________________________________________

6.  (a) Taja makundi makuu mawili ya Wanyama

  1.  __________________________
  2. __________________________

(b) Taja sehemu inayotumiwa na Samaki katika upumuaji__________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 156

OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA TATU

SOMO: SAYANSI

MUDA: SAA 1:30

Jibu maswali yote 1. Chagua jibu sahihi kisha weka herufi sahihi panapohusika

i).Somo linalohusika na kufanya majaribio na uchunguzi ili kupata majibu sahihi_______

  1. lugha 
  2. jigrafia 
  3. historia 
  4. sayansi [ ]

ii).Mariamu alimuuliza Aneth kuwa mtu anayefanya shughuli za kisayansi huitwaje?_____

  1. mwanasayansi 
  2. mwanamaji 
  3. mwanasiasa 
  4. mwanamiundo [ ] 

iii).Mwalimu Kamanzi aliuliza wanafunze wake kwamba kuna matawi mangapi ya sayansi?____ 

  1.  manne 
  2.  matano 
  3.  matatu 
  4.  saba [ ] 

iv). Kenedy ana ndoto za kuwa mhandisi wa barabara.Je mwalimu wake atamshauri asome tawi gani la sayansi?______ 

  1.  kemia 
  2.  fizikia 
  3.  baiolojia 
  4.  historia

v). Wewe kama mwanafunzi unatumia ogani gani kumsikia mwalimu wako? __[ ]

  1.  pua 
  2.  sikio 
  3.  ulimi 
  4.  jicho

 2. OANISHA FUNGU A NA FUNGU B KULETA MAANA KAMILI

Na

Fungu A 

Majibu

Fungu B

i.

Sikio


A. Ladha ya utamu

ii.

Ulimi


B. Kusikia sauti

iii.

Maada


C. Tawi la Sayansi

iv.

Botania


D. Malaria

v.

Mbu


E. Vitu vigumu

3.Soma habari hii kisha jibu maswali yafuatayo

Siku moja mwalimu wa sayansi aliingia darasani akiwa na chati inayoonesha taaluma zinazohusiana na Sayansi. Udaktari wa binadamu, ualimu, ufamasia, uhandisi, utaalamu wa kemia, utaalamu wa mimea na udaktari wa wanyama. Baada ya kutaja taaluma hizi tulipenda sana somo la sayansi na kuanza kusoma kwa bidi

MASWALI:

i. Taaluma inayohusu ubunifu wa kutengeneza miundo mbinu. Mtaalamu huitwaje? _____________

ii. Taaluma inayohusu kutengeneza na kusimamia dawa.Mtaalamu huitwaje?________________________________________

iii. Taaluma inayohusu kufundisha sayansi. Mtaalamu huitwaje?______________________________________

iv. Taaluma inayohusu kutibu binadamu. Mtaalamu huitwaje? _______________

v. Taaluma inayohusu tiba kwa wanyama. Mtaalamu huitwaje? ______________

vi. Taaluma inayohusu utaalamu wa kikemia. Mtaalamu huitwaje? ____________

 4.Tazama picha hizi kisha jibu maswali yanayofuata 

Maswali

i. Taja jina la kifaa katika picha A hapo juu _________________________

ii. Bainisha kazi moja ya kifaa katika picha A _________________________

iii. Taja majina ya vifaa vyote katika picha B

a). __________________________

b).__________________________

c) ___________________________

d).__________________________

5. Jaza nafasi zilizoachwa wazi

i. Sikujua alipokuwa anaumwa walimshauri afike hospitalini,kabla hajapewa dawa walimshauri atembelee chumba maaluma kwa ajili ya uchunguzi unafikiri chumba hicho kinaitwaje? __________________

ii. Ni sehemu gani ya jicho huruhusu mwanga kuingia kwenye jicho?___________________________

iii. Mlango upi wa fahamu unaweza kutambua rangi ya kijani ya spinachi? ____________

iv. Seli katika ulimi zenye neva zinakusanya taarifa ya ladha huitwaje? ________________

v. Taja mifano miwili ya viumbe hai wanaojongea kwa kutambaa.

a)._____________________________

b)._____________________________

6. i) Makundi makuu mawili ya viumbe hai nayo ni ___________na ________

 ii) Kundi la wanyama limegawanyika katika makundi 2 ambayo ni _____________________________ na_____________________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 155

JAMIHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA

MTIHANI WA MUHULA WA MWEZI MEI 2026

SAYANSI

DARASA LA III

1. Andika herufi ya jibu sahihi kwenye mabano

i.Utabiri wa matokeo ya kubuni kuhusu tatizo fulani huitwaje?

  1. jaribio
  2. hitimisho
  3. Dhanio 
  4. tatizo

ii.Binadamu ana milango ya fahamu mitano. Je, ni mlango upi wa fahamu huhusika na kuhisi hali mbalimbali kama vile joto, baridi na mguso? 

  1. macho 
  2. masikio 
  3. ulimi 
  4. ngozi

iii.Ni kundi lipi la viumbe ambao huzaa watoto na kunyonyesha?

  1. amfibia 
  2. reptilia 
  3. ndege 
  4. mamalia

iv.Kuna mimea inayozaliana kwa kutoa maua na isiyotoa maua. Je, ni mmea upi kati ya ifuatayo hautoi maua? 

  1. maharage 
  2. mahindi 
  3. kunde 
  4. mvinje

v.Teknolojia ya habari na mawasiliano hutuwezesha kupata habari na elimu mbalimbali. Je, ni kifaa kipi kati ya vifuatavyo si kifaa chaTEHAMA? 

  1. simu 
  2. gari 
  3. redio 
  4. kompyuta

2. Oanisha maelezo kutoka kifungu A na hatua kutoka kifungu B. 

KIFUNGU A

KIFUNGU B

  1.  Hatua ya kwanza ya uchunguzi wa kisayansi
  2.  Utabiri wa matokeo ya jaribio la kisayansi
  3.  Kuzipanga data, kuzichambua na kuziweka katika iu arat mzu i
  4. Hatua ambayo huthibitisha au kukanusha dhanio
  5.  Hatua ya mwisho ya uchunguzi wa kisayansi
  1. Kuchambua data
  2. Hi imisho
  3.  Kubaini a i o
  4.  Kuandika taarifa
  5.  Dhania

3. Chagua kundi la wanyama katika sanduku kujaza nafasi zilizoachwa wazi.

i.Binadamu, ng’ombe, mbuzi na popo ni wanyama katika kundi la ……………………………………………

ii.Kenge, mamba, mjusi na kobe ni baadhi ya wanyama katika kundi la …………………………………

iii.Chura ni wanyama katika kundi la ………………………………………………………………………………………………

iv.Kuku, kanga na tausi ni wanyama katika kundi la …………………………………………………………………….

v.Perege na Kambale ni wanyama katika kundi la ……………………………………………………………………….

4. Soma habari kisha jibu maswali yanayofuata.

Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya uchunguzi na majaribio. Uchunguzi na majaribio hufanyika ili kubaini ukweli wa mambo. Sayansi ina matawi makuu matatu ambapo kila tawi linahusika na aina fulani ya maarifa. Matawi hayo ni Fizikia na Kemia na Baiolojia. Fizikia ni tawi la sayansi linalohusu uhusiano wa maada na nishati, Kemia ni tawi la sayansi linalohusu muundo na tabia za maada na mabadiliko yanayotokea katika maada na Baiolojia ni tawi la sayansi linalohusu viumbehai.

Maswali

i.Kwanini tunafanya uchunguzi na majaribio ya kisayansi? …………………………………………………...

ii.Ni tawi lipi la sayansi linalohusu uhusiano wa maada na nishati? ……………………………………….

iii.Ni tawi lipi la sayansi linalohusu muundo, tabia na mabadiliko ya maada? ……………………….

iv.Maarifa yanayopatikana kwa kufanya uchunguzi na majaribio yanaitwaje? ……………………

v.Fabian anataka kuwa daktari wa binadamu. Je, ni tawi gani la Sayansi itabidi kulisomea zaidi? …………………………………………………………………………………………..

5. Chunguza picha kisha jibu maswali.


i. Taja jina la ogani iliyooneshwa kwa namba 1. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

ii. Taja jina la ogani iliyooneshwa kwa namba 2. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

iii. Taja jina la ogani iliyooneshwa kwa namba 3. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

iv. Taja kazi ya ogani iliyooneshwa kwa namba 1. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

v. Taja kazi ya ogani iliyooneshwa kwa namba 2. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 153

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MUHULA WA PILI

SOMO: SAYANSI NA TEKNOLOJIA DARASA: TATU 

MUDA: SAA 1:00

1. Chagua herufi ya jibu sahihi kasha iandike katika kisanduku

(i) Mtoto alipokula ndizi alisema ni tamu. Je ni sehemu gani ya ulimi ilitambua ladha ya utamu? [     ] 

  1. sehemu ya pembeni
  2.  sehemu ya kati
  3.  sehemu ya pembeni na kati 
  4.  sehemu ya ncha

(ii) Binadamu ana milango mingapi ya fahamu? [     ] 

  1.  mitatu 
  2. sita 
  3. mitano 
  4. minne.

(iii) Mlango upi wa fahamu unaweza kutambua rangi ya kijani ya mchicha? [     ] 

  1. macho 
  2. pua 
  3. ngozi
  4. sikio ( )

(iv) jibu lipi ni sahihi kuhusu mlango wa fahamu? [     ] 

  1.  masikio hutumika kusiki
  2.  macho hutumika kunusa
  3.  pua hutumika kuonja 
  4. ulimi hutumika kuhisi. 

(v) Siku moja wakati wa masika, Juma aliona mvua inanyesha na mawingu yametanda kisha likaingia giza, pia akahisi baridi sana, Juma alitumia milango gani ya fahamu? [     ] 

  1.  pua na masikio 
  2. masikio na macho
  3.  Ngozi na pua
  4. Macho na Ngoz

2. Oanisha maneno ya kifungu A na kifungu B ili kuleta maana sahihi ya maneno.

NA

Fungu A

 JIBU

Fungu B

(i)

Ngozi yake kavu na imefunukwa na magamba

[     ] 
  1. ndege
  2. mamalia
  3. samaki
  4. amfibia
  5. reptilia
  6. mtu na chura

(ii)

Wana Ngozi laini na yenye unyevunyevu

[     ] 

(iii)

Mdomo wake ni mgumu na umechongoka

[     ] 

(iv)

Ni poikilothemiki ambae ana msitari wa neva unaomwezesha kuhisi miguso

[     ] 

(v)

Huzaa watoto na kunyonyesha

[     ] 

3. Chunguza kwa uangalifu mchoro ufuatao kisha jibu maswali yafuatayo:

image

Maswali:

(i) Taja vitu viwili vilivyopo ndani ya kopo A.

a) ____________________________ 

b)______________________________ 

ii. Ni kitu gani muhimu kimesababisha kiumbehai aliyopo kwenye kopo B kufa?

_______________________________________________________ 

iii) Je, kwa nini kiumbehai aliyopo kwenye chupa A hakufa?

a) ____________________________________________________

b) ____________________________________________________

4. Jaza nafasi zilizowazi kwa kuchagua jibu sahihi kutoka katika kisanduku.

 kemia, sayansi, fizikia, maabara, baiolojia

(i) Ni tawi la sayansi linalohusu viumbehai _____

(ii) Ni chumba au jingo linalotumika kufanya uchunguzi na majaribio ya kisayansi_____________________

(iii) Ni tawi la sayansi linalohusu uhusiano wa maada na nishati_____________________

(iv) Ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya uchunguzi na majaribio_______________________

(v) Ni tawi la sayansi linalohusu muundo na tabia za maada_________________

5. Jaza nafasi zilizo wazi.

(i) Kiungo cha mwili kinacho tumika kutambua harufu katika mazingira huitwa_______________________________

(ii) Kiungo cha mwili kinachotumia kuhisi halijoto katika mazingira ni ___________

(iii) Ni mlango wa fahamu unaotumika kutambua uwepo wa giza au mwanga_______________________

(iv) Ni ogani inayotumika kutambua uchungu dawa_____________________________

(v) Ogani inayotumika kupata taarifa ya maongezi ya watu __________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 112

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA

MTIHANI WA NUSU MUHULA AGOSTI 2025

MTIHANI WA  DARASA LA III 

SAYANSI NA TEKNOLOJIA

1. Andika herufi ya jibu sahihi kwenye mabano

(i) Maarifa yanayopatikana kwa kufanya matendo ya uchunguzi na majaribio huitwaje?

  1. Hisabati 
  2. lugha 
  3. Sayansi 
  4. udaktari [    ]

(ii) Kaka Paulo amesomea taaluma ya kutibu wagonjwa. Je, taaluma hiyo inaitwaje?

  1. Fizikia 
  2. kemia 
  3. ualimu 
  4. udaktari [    ]

(iii) Ili kujua ukweli wa mambo tunapaswa kufanya nini?

  1. uchunguzi na majaribio 
  2. kucheza 
  3. kuongea uongo 
  4. kuimba muziki [    ]

(iv) Ni tawi lipi la Sayansi linalohusu viumbe hai?

  1. Fizikia 
  2. Baiolojia 
  3. Kemia 
  4. Lugha ya Kiswahili [    ]

(v) Ipi kati ya vitu vifuatavyo si maada? 

  1. jiwe 
  2. hewa 
  3. mwanga 
  4. chuma [    ]

2. Oanisha fungu A na B ili kupata sentensi sahihi

FUNGU A

JIBU

FUNGU B

(i) Macho

[    ]

A. Kusikia sauti za vitu mbalimbali

(ii) Pua

[    ]

B. Kuonja ladha kama utamu na chachu

(iii) Ulimi

[    ]

C. Kuhisi joto, baridi na miguso

(iv) Masikio

[    ]

D. Kuhisi harufu

(v).Ngozi

[    ]

E. Kuona vitu mbalimbali katika mazingira

3. Chagua jibu kutoka kwenye kisanduku kujaza nafasi iliyo wazi.

Kemia , Fizikia , Baiolojia , Maabara , Taaluma za kisayansi

 (i) Tawi la Sayansi linalohusu uhusiano wa maada na nishati.  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(ii) Tawi la Sayansi linalohusu muundo na tabia za maada.  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(iii)  Tawi la Sayansi linalohusu viumbehai. .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(iv) Chumba au jengo maalumu linalotumika kufanyia majaribio ya kisayansi .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

(v) Udaktari, ualimu na uhandisi. .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

4. Soma habari kisha jibu swali la 16 hadi 20.

Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya uchunguzi na majaribio. Ili kupata ukweli wa mambo mbalimbali yanayotutatiza tunapaswa kufanya uchunguzi na majaribio. Sayansi imegawanyika katika matawi makuu matatu ambayo ni Baiolojia inayohusu viumbe hai, Fizikia inayohusu uhusiano wa maada na nishati na Kemia inayohusu muundo na tabia za maada.

(i). .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya uchunguzi na majaribio.

(ii) Tawi la Sayansi linalohusu uhusiano wa maada na nishati. .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(iii) Tawi la Sayansi linalohusu muundo na tabia za maada. .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(iv) Tawi la Sayansi linalohusu viumbehai. .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(v) Sayansi imegawanyika katika matawi mangapi? .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

5. Chunguza picha kisha jibu maswali yafuatayo

image

(i). Picha zinazoonesha viumbehai zimeoneshwa kwa herufi zipi? .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(ii). Picha inayoonesha kitu ambacho si kiumbehai imeoneshwa kwa herufi ipi? .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

(iii). Taja jina la kiumbe aliyeoneshwa kwa herufi C. .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

(iv). Kiumbe aliyeoneshwa kwa herufi C anafanya nini? .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

(v). Taja kazi ya kifaa B. .  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 105

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MSURURU WA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI

FOMATI MPYA-MTIHANI WA DARASA LA TATU 

SOMO: SAYANSI

SEHEMU A:

  1.  Chagua jibu sahihi
  1. Je, binadamu ana viungo vingapi vya hisia?

(A) tatu  (B) sita   (C) tano  (D) nne 

  1. Kiungo cha hisia kinachoweza kutumika kutambua rangi ya kijani ya mchicha ni

(A) jicho (B) pua (C) ngozi (D) sikio 

  1. Ni ipi kati ya zifuatazo inawakilisha kundi la viungo vya hisia

(A) pua, miguu, masikio, ngozi na ulimi (B) ulimi, masikio, pua na mdomo (C) masikio, ngozi, mikono, pua na ulimi (D) macho, masikio, ngozi, pua na ulimi 

  1. Kipi kati ya yafuatayo ni sahihi kuhusu viungo vya hisi

(A) sikio hutumika kusikia (B)macho hutumika kunusa (C) pua hutumika kuonja (D) ulimi hutumika kuhisi 

  1. Rama alipoamka asubuhi, alikuta kuna giza na baridi. Alitumia viungo gani vya hisia? (A) jicho na ngozi               (B) masikio na macho               (C) ngozi na pua               (D) pua na masikio
  2.  _____ hutoa mafuta ambayo hulainisha na kulinda ngozi

(A) nywele papillae  (B) jasho hufurahi  (D) epidermis  (D) tezi ya mafuta 

  1.  Kiini kikubwa cha sikio kinaitwa

(A) fupa la paja  (B) malleus  (C) msukumo  (D) incus 

  1.  Ladha inayogunduliwa na sehemu ya kati ya ulimi

(A) uchungu  (B) utamu  (C) umami  (D)usikivu

  1.  Kuna ________hatua zinazohusika katika kufanya uchunguzi wa kisayansi

(A) saba  (B) pale  (C) nane  (D) sita 

  1.                                 LINGANISHA MATAWI YA SAYANSI

TAWI

MAANA YA TAWI

1. Fizikia

A. Utafiti wa viumbe hai

B. Utafiti wa visukuku

C. Jambo la utafiti katika mahusiano na nishati

D. Utafiti wa hali ya hewa

E. Utafiti wa utungaji na mali ya jambo

F. Utafiti wa mimea

2. Biolojia

3. Paleontolojia

4. Kemia

5. Botania

 

          

  1.               Andika Kweli au Si kweli
  1.       Hummer hupatikana katika sikio ____________________
  2.      Ngozi ina mishipa ya fahamu na mishipa ya damu ______________
  3.       Ulimi unaweza kutambua aina tano za ladha ___________
  4.      Ulimi hutumika kunusa tu ___________
  5.       Kasoro za masikio husababisha mtu kupoteza uwezo wa kuona ___________
  1.                     Jaza nafasi zilizo wazi

1. _________________kugundua harufu ya nyenzo inayowaka.

2. ____________________ kusikia wimbo kuhusu ulinzi wa mazingira. 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 93

OFISI YA RAIS

WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021

SAYANSI  – DARASA LA TATU

FOMATI MPYA

MUDA  1:30 MASAA       MACHI 2024

JINA …………………………...                                 SHULE ………………………...

MAELEZO

  1. Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2. Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
  3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4. Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A

JIBU MASWALI YOTE

  1. Chagua jibu sahihi kati ya chaguzi ulizopewa
  1. Kipi kati ya hivi sio kiumbe hai?
  1. Miti
  2. Ng’ombe
  3. Mbuzi
  4. Meza
  1. Sehemu ya mwili inayotumika kuhisi joto au baridi huitwa?
  1. Ulimi
  2. Ngozi
  3. Nywele
  4. Vimelea
  1. Kiungo cha mwili kinachotumika kutambua harufu katika mazingira huitwa?
  1. Ulimi
  2. Pua
  3. Ngozi
  4. Macho
  1. Kati ya viumbe hai hawa, yupi ambaye si hatari?
  1. Nyoka
  2. Inge
  3. Panzi
  4. Nyuki
  1. Chanzo kikubwa cha nishati ya wanga ni
  1. Jua
  2. Mwezi
  3. Tochi
  4. Moto
  1. Linganisha maneno ya fungu A na B Kisha andika herufi ya jibu sahihi kwenye nafasi uliyopewa.

Kundi A

Kundi B

  1. Sauti
  2. jua
  3. Ngoma, kengele na baragumu
  4. Mwangwi
  5. Moto.
  1. Chanzo kikuu cha nishati ya mwanga na joto
  2. Kitendo cha miale yam wanga kurudi baada ya kugonga kwenye uso unaong’aa au laini.
  3. Sauti iliyorejeshwa baada ya kukutana na kitu kigumu
  4. Mitetemeko ya vitu mbalimbali
  5. Vyanzo vya nishati ya sauti
  6. Vitu vigumu, vimiminika na gesi
  7. Hutoa mwanga na joto

 

  1. Tumia maneno yaliyo kwenye kisanduku kujaza nafasi zilizoachwa wazi

 

 

  1. Chombo cha baharini au mtoni kilichotengenezwa kutokana na gogo ambacho kinaweza kuelea.
  2. Kitu chochote chenye uzito na ambacho huchukua nafasi
  3. Kiwango cha joto au baridi katika mwili
  4. Uzuiaji wa mtiririko au mwendo wa kitu
  5. Hali yenye kukakamaa na kuwa ngumu kwa ukavu

SECTION B

  1. Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali

Mawasiliano ni kitendo cha kupashana Habari au kutoa taarifa kwa njia mbalimbali.

Njia za mawasiliano zimegawanyika katika aina kuu mbili. Njia hizi ni za asili na za kisasa. Baadhi ya vifaa vya asili ni baragumu na ngoma. Vifaa vya kisasa ni runinga, radio, simu na kompyuta. Kuna faida mbalimbali za kutumia njia za kisasa za mawasiliano. Mfano, kutoa taarifa kwa watu wengi kwa muda mfupi. Pia, zinatumika kuhifadhi picha za matukio mbalimbali. Simu hurahisisha huduma mbalimbali. Huduma hizo ni Pamoja na kutuma na kupokea taarifa au fedha, pia kupiga picha.

  1. Kulingana na kifungu, nini maana ya mawasiliano?
  2. Taja njia za asili mbili za mawasiliano
  3. Taja njia mbili za kisasa za mawasiliano
  4. Taja matumizi mawili ya simu
  5. Ni njia gani mbili ambazo zinafikisha ujumbe kwa haraka Zaidi?
  1. Angalia picha zifuatazo kisha jibu maswali yanayofuata

B

 

  1. Taja majina ya Wanyama walioonyeshwa hapo juu
  2. Kati ya Wanyama hao wawili ni yupi hatari?
  3. Toa faida mbili za mnyama A
  4. Ni hasara gani inaweza kutokana na mnyama B?
  5. Mnyama A huishi wapi?
  6. Mnyama B utampata wapi?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 81

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI WA KUJIPIMA

MWISHO WA MWAKA- NOVEMBA 2023

SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Jina: ____________________________________________ 

TAREHE: ________________ DRS 3

SEHEMU  A:

1. Chagua jibu sahihi na uandike barua yake katika sanduku lililotolewa

i. Ni yupi kati ya wanyama wafuatao si mnyama mwenye sumu?

A. Uyoga B. Scorpion C. Tarantula D. nyoka

ii.Ni mdudu gani kati ya wafuatao husababisha kuenea kwa malaria ?__________________________

A. Virusi  B. Nyumba ya Mlezi C. Mbu dume D. Mbu jike 

iii.Kiumbe yupi kati ya viumbe wafuatao hujonge kwa kuruka ?___________________________

A. Nyoka na nyuki B. nyuki na konokono C. Juma na kuku D. kipepeo  na kuku

iv.Upi ni mfano wa njia ya mawasiliano ya jadi ?__________________________

A. Pembe, ngoma  B. Redio, Simu C.Televisheni D.Simu ya mkononi

v.Ipi kati ya vitu vifuatavyo husababisha kuundwa kwa kimvuli

A. Maji  B. glasi C. jiwe D. Hewa 

2. Linganisha vitu katika kikundi A na sambamba yao katika kikundi B

 ORODHA  A

JIBU

 ORODHA B

i

Sauti, joto na mwanga

A. Hutengeneza nguo na kuonekana smart 

ii.

Nishati ya Kinetic

F. ina kinetic na nishati.

iii

Nishati ya Sauti

I. Nishati hutokana na mwendo wake wa kitu

Iv

Nishati ya joto

J. Nishati kutokana na mtetemo  wa kitu

v

Nishati ya Mitambo

K. Nishati kutokana na kuchoma.

3.Tumia maneno katika sanduku ili kujibu swali linalofuata.

Kubadilishana kwa gesi,Jongoo,Makazi, Mazingira, tarumbeta ya malaika,nyuki,Imara, harufu, kifo

i. _______________________ ni jozi ya mimea yenye sumu

ii. Mahali ambapo viumbe  hai huish huitwa ________________________________________________________

iii. _____________________________Kitu chochote kilichotuzunguka .

iv. Tunapaswa kuhifadhi maji ili kuzuia ______________________________cha wanyama

v. Yupi ni mdudu wa sumu _______________________________________________________________

4.  jibu maswali kwa usahihi 

i. mawasiliano ni nini ? ______________________________________________________________________

ii. Chakula kilichoshamili aina zote za chakula kinaitwaje? ___________________________________________

iii. Andika viumbe vitatu vya sumu __________________________________________________________

iv. ___________________________________ni mfano wa wanyama wa majini .

v. Nini maana ya maada i? ______________________________________________________________________________

5. Tumia picha inayofuata ili kujibu maswali yaliyo hapo chini.

C:UsersTeacherDownloadsHUMAN DIGESTION.png 

Maswali

i. Taja jina ya sehemu iliyoandikwa na herufi "S"_______________________________________________

ii. Katika mchoro hapo juu kuna sehemu ambayo uhusika na kufyonza maji na madini katika chakula ? 

_______________________________________________________________________________________________

iii. Ni herufi ipi katika mchoro hapo juu uhusika na kufyonza wanga katika chakula ? __________________________

iv. Eleza kazi ya herufi "R "katika  Mfumo wa mmeng`enyo wa chakula?_____________________________

________________________________________________________________________________________________

v.Katika mchoro huu ni sehemu gani hupatikana aside ya haidrokloliki ambayo uhusika na kuua vimelea na vijidudu katika chakula ?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 72

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI

NUSU MUHULA WA PILI

AGOSTI – 2023 

SOMO: SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Jina: ____________________________________ TAREHE: _____________ DRS 3

MUDA: SAA 1:30

MAELEKEZO

  1. Mtihani huu una jumla ya maswali arobaini na Tano (45)
  2. Jibu maswali yote katika kila sehemu
  3. Soma maelekezo kabla ya kujibu maswali
  4. Swali la 1 – 40 chagua jibu sahihi na swali la 41 – 45, jibu maswali katika nafasi uliopewa.
  5. Tumia kalamu ya bluu na nyeusi
  6. Simu za mkononi, vikokotozi, na vitu visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mtihani.

SEHEMU A:

1. Chagua jibu sahihi na uandike barua yake katika sanduku lililotolewa

i. Ni yupi kati ya wanyama wafuatao si mnyama mwenye sumu?

A. Uyoga B. Scorpion C. Tarantula D. nyoka

 

ii.Ni mdudu gani kati ya wafuatao husababisha kuenea kwa malaria ?__________________________

A. Virusi  B. Nyumba ya Mlezi C. Mbu dume D. Mbu jike 

 

iii.Kiumbe yupi kati ya viumbe wafuatao hujonge kwa kuruka ?___________________________

A. Nyoka na nyuki B. nyuki na konokono C. Juma na kuku D. kipepeo  na kuku

 

iv.Upi ni mfano wa njia ya mawasiliano ya jadi ?__________________________

A. Pembe, ngoma  B. Redio, Simu C.Televisheni D.Simu ya mkononi

 


v.Ipi kati ya vitu vifuatavyo husababisha kuundwa kwa kimvuli

A. Maji  B. glasi C. jiwe D. Hewa 

2. Linganisha vitu katika kikundi A na sambamba yao katika kikundi B

 

 

 ORODHA  A

JIBU

 ORODHA B

i

Sauti, joto na mwanga

 

A. Hutengeneza nguo na kuonekana smart 

ii.

Nishati ya Kinetic

 

F. ina kinetic na nishati.

iii

Nishati ya Sauti

 

I. Nishati hutokana na mwendo wake wa kitu

Iv

Nishati ya joto

 

J. Nishati kutokana na mtetemo  wa kitu

v

Nishati ya Mitambo

 

K. Nishati kutokana na kuchoma.

3.Tumia maneno katika sanduku ili kujibu swali linalofuata.

Kubadilishana kwa gesi,Jongoo,Makazi, Mazingira, tarumbeta ya malaika,nyuki,Imara, harufu, kifo

 

i. ____________________________________________________ ni jozi ya mimea yenye sumu

ii.mahali ambapo viumbe  haihuish huitwa ___________________________________

iii. _______________________________________Kitu chochote kilichotuzunguka .

iv. Tunapaswa kuhifadhi maji ili kuzuia __________________________________cha wanyama

v. Yupi ni mdudu wa sumu ____________________________________________________

 

4.  jibu maswali kwa usahihi 

i. mawasiliano ni nini ? ______________________________________________________________________

ii. Chakula kilichoshamili aina zote za chakula kinaitwaje? ___________________________________________

iii. Andika viumbe vitatu vya sumu __________________________________________________________

iv. _______________________________________________ ni mfano wa wanyama wa majini .

v. Nini maana ya maada i? _________________________________________________________________

5.Tumia picha inayofuata ili kujibu maswali yaliyo hapo chini.

C:UsersTeacherDownloadsHUMAN DIGESTION.png 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Maswali

  1. Taja jina ya sehemu iliyoandikwa na herufi "S" _________________________________
  2. katika mchoro hapo juu kuna sehemu ambayo uhusika na kufyonza maji na madini katika chakula ? ______________________________________________________________
  3. Ni herufi ipi katika mchoro hapo juu uhusika na kufyonza wanga katika chakula ? __________________________
  4. Eleza kazi ya herufi "R "katika  Mfumo wa mmeng`enyo wa chakula? ________________________________________________________________________________________________________________________________________________
  5. Katika mchoro huu ni sehemu gani hupatikana aside ya haidrokloliki ambayo uhusika na kuua vimelea na vijidudu katika chakula ?

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 56

WIZARA YA ELIMU

MTIHANI WAKUMALIZIA MUHULA WA 1 JULY 2022

DARASA LA TATU

                                                  “SOMO LA SAYANSI

SEHEMU A; CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI

1. Chanzo cha asili cha nishati ya joto ni

      A: umeme   B:jua    C:tochi

2. Tunaota moto ili kujihifadhi dhidi ya

     A: joto   B: mwanga   C: baridi

3. Kuna aina…………………………za maada.

     A: 2   B: 3   C: 4

4. Kitendo cha kubadilishana habari/taarifa au ujumbe baina ya watu kwa kutumia njia mbalimbali huitwa.

     A: usafilishaji B: mawasiliano   C: redio

5. Sauti hutokana na……………………..

    A: mawimbi B: mitetemo ya vitu C: koromeo

6. Namna ya kudadisi jambo lisilojulikana kwa kutumia njia mbalimbali ni………………………………

    A: uchunguzi    B: hatari    C: vitu

7. Ipi kati ya hizi ni aina ya maada?

    A: kimiminika    B: kinywa    C: mwanga

8. Mdudu anayeeneza ugonjwa wa maralia huitwa…………………………………

    A: mbu   B: inzi      C: viroboto

9. Viumbehai huongezeka kwa njia ya……………………………

    A: kujongea        B: Kuzaliana   C: kulia

10. Sifa mojawapo ya viumbehai ni……………………….

     A: kucheza   B: kukua   C: kujificha

SEHEMU B:

OANISHA KUNDI A NA KUNDI B. KISHA ANDIKA HERUFI YA JIBU SAHIHI

 

KUNDI   A

KUNDI   B

11

Mwangwi

A: baadhi ya wadudu wenye sumu

12

Nyuki na tandu

B:chanzo kikuu cha asili cha nishati ya mwanga na joto

13

Sauti

C:mitetemo ya vitu mbalimbali

14

Jua

D:vifaa vya kisasa vya njia ya mawasiliano

15

Simu na luninga

E:sauti iliyorejeshwa baada ya kukutana na kitu kigumu

 

SEHEMU C: ANDIKA NDIO AU HAPANA

16. Jua siyo chanzo cha asili cha nishati ya joto…………………………...........

17. Yabisi,kimiminika,na gesi ni aina kuu tatu za maada………………………………….

18. Tandu,nyuki na nyigu si wadudu hatari……………………….

19. Mbua hueneza ugonjwa wa maralia…………………………………..

20. Kuna aina kuu mbili za nishati………………………….

 

SEHEMU D: JAZA NAFASI WAZI

21. Picha ya kitu huitwa…………………………………….

22………………………………Ni jumla ya vitu vyote vinavyo tuzunguka

23. Kiungo kinachotumika kunusa ni……………………………..

24. Chanzo cha asili cha nishati ya mwanga ni…………………………..

25. Kitendo cha kiumbe kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine huitwa……………………..

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 38

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

SAYANSI NA TECHNOLOJIA

MUDA: 1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEZO

MAELEZO

  1.                Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2.                Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
  3.                Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4.                Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A. ALAMA 28

JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII

  1.                Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku.
  1.               Ipi kati ya hizi ni aina ya maada? (a) kimiminika (b) kinywa (c) umbali (d) joto
  2.             Kuna aina.......................za maada (a) mbili (b) tatu (c) tano (d) nne
  3.           Ni yupi mdudu hatari kati ya hawa wafuatao? (a) nyuki (b) panzi (c) kumbikumbi (d) mbayuwayu
  4.           Chanzo cha vitamin ni pamoja na..(a) chapatti (b) embe (c) nyama (d) ugali
  5.             Nini kazi ya mate katika mmeng’enyo wa chakula? (a) kulainisha chakula (b)kulainisha mdomo (c) kulainisha meno (d)kulainisha ulimi
  6.           Faida ya matumizi ya simu ni pamoja na....(a) Kunyoosha nguo (b) kurahisisha mawasiliano (c) kutibu magonjwa (d) kuvunja ndoa
  7.         Mdudu anayeeneza ugonjwa wa malaria huitwa? (a) mbu (b) inzi (c) viroboto (d) kupe
  8.      Viumbehai wakikosa hewa, (a) huishi (b) hufa (c) hutembea (d) hunawiri
  1.                Jibu Vipengele (i)-(vi) kwa kuoanisha maelezo katika Orodha A na hali za maada katika orodha B. ANDIKA herufi ya jibu katika nafasi uliopewa.

Orodha A

ORODHA B

  1.               Hali ya maada nyepesi zaidi
  2.             Hali ya maada yenye umbo maalum
  3.           Mfano wa maada katika hali yabisi
  4.           Maada inayochukua umbo la chombo
  5.             Mfano wa maada katika hali ya gesi.
  1.               Gesi
  2.                Soda
  3.                Mvuke
  4.               Kimiminika
  5.                Chembechembe
  6.                Chaki
  7.                Yabisi.

 

  1.                Jibu vipengele (i)-(v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika kwenye nafasi uliopewa.

Baragumu, faili, yowe, ukinzani, jotoridi, yabisi

  1.               Kiwango cha joto au baridi katika mwili..................
  2.             Uzuiaji wa mtiririko au mwendo wa kitu
  3.           Hali yenye kukakamaa na kuwa ngumu kwa ukavu.
  4.           Pembe kubwa iliyotobolewa inayopulizwa na kutoa sauti
  5.             Taarifa iliyohifadhiwa katika jalada au kwenye compyuta

SEHEMU YA B.(ALAMA 20)

  1.               Soma habari ifuatayo kisha jibu vipengele (i)-(v)

Njia za mawasiliano zimegawanyika ,katika aina kuu mbili. Njia hizi ni za asili na kisasa. Baadhi ya vifaa vya asili ni baragumu na ngoma.

Vifaa vya kisasa ni runinga, radio, simu na kompyuta. Kuna faida mbalimbali za kutumia njia za kisasa za mawasiliano.

Mfano, kutoa taarifa kwa watu wengi kwa muda mfupi. Pia, zinatumika kuhifadhi picha za matukio mbalimbali. Simu hurahisisha huduma mbalimbali.

Huduma hizo ni pamoja na kutuma na kupokea taarifa au fedha, pia kupiga picha.

  1.               Taja njia mbili kuu za mawasiliano...........................................................................
  2.             Taja vifaa viwili vya kisasa vya mawasiliano..............................................................
  3.           Ni njia ipi bora ya kutoa taarifa kwa haraka kwa watu wengi?.................................
  4.           Taja matumizi matatu ya simu...................................................................................
  5.             Taja njia mbili za jadi za mawasiliano........................................................................
  1.               Chunguza picha uliopewa kisha jibu kipengele (i)-(v)

  1.               Kifaa kinachoonyeshwa kwenye picha kinaitwaje?............................................
  2.             Onyesha sehemu inayonasa mawimbi kwa kutumia herufi A................................................
  3.           Onesha sehemu inayoonyesha picha kwa kutumia herufi B......................................
  4.           Kifaa hiki hutumia nishati gani?.................................................................................
  5.             Taja faida ya kifaa hiki katika maisha yetu............................................................................

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 32

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA 

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

SAYANSI

MUDA:1: 30

JINA_____________________________________SHULE__________________

Chagua Jibu Sahihi

  1. Sifa mojawapo ya kiumbe hai ni...............................
  1. Kujificha
  2. Kukua
  3. Kucheza
  1. Kati ya wadudu wafuatao ni yupi ana sumu kali?
  1. Kipepeo
  2. Mende
  3. Nge
  1. Sifa mojawapo ya mwanga ni.......
  1. Kuzimika
  2. Kumulika
  3. Kusafiri katika mstari mnyoofu
  1. Kuna aina ......................za maada
  1. Mbili
  2. Tatu
  3. Nne
  1. Kipi ni chakula cha wanga kati ya hivi?
  1. Ugali
  2. Mtindi
  3. Mayai

SEHEMU B.

Linganisha kifungu A na Kifungu B ili kupata maana

Kifungu A

Kifungu B

  1. HUDUMA YA KWANZA
  2. Baadhi ya wadudu wenye sumu
  3. Vifaa vya huduma ya kwanza kwa aliyeumwa na mdudu mwenye sumu
  4. Baada ya kutoa huduma ya kwanza
  5. Huduma ya kwanza hutolewa ili
  1. Nge na kipepeo
  2. Mpeleke aliyejeruhiwa hospitalini au kwenye zahanati
  3. Kupunguza maumivu na kuokoa maisha
  4. Nyuki na tandu
  5. Mtu yeyote
  6. Wembe, pamba, spiriti na glovu
  7. Maji ya kitunguu saumu na jivu
  8. Ni msaada unaotolewa kwa majeruhi kabla ya kwenda hospitalini
  9. Mpeleke aliyejeruhiwa nyumbani

 SEHEMU C.

Chagua neno sahihi ili kujaza nafasi wazi

Jotoridi, ukinzani, yabisi, meng’enya, sumu,spiriti

  1. Kemikali yenye uwezo wa kudhuru au kuuwa
  2. Fanya kitu kiwe laini
  3. Mfuko ulio katika mwili wa kiumbe ambao husaga chakula
  4. Kiwango cha joto au baridi katika mwili
  5. Uzuiaji wa mtiririko au mwendo wa kitu
  6. Hali yenye kukakamaa na kuwa ngumu kwa ukavu

SEHEMU D.

Jaza Nafasi  zilizoachwa wazi

  1. Utumbo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu......................
  2. Viumbe hai hatari ni kama............................... na....................................
  3. Vitu hatari ni kama........................... na .........................................
  4. Kuna aina kuu...........................za simu
  5. Chora na onesha sehemu zinazounda mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

SEHEMU E. 

Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 2020human-digestive-system-front (1).jpg

Taja sehemu zenye Herufi A- L

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 20

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021

SAYANSI NA TECHNOLOJIA – DARASA LA TATU

FOMATI MPYA

MUDA1:30 MASAA MACHI 2021

JINA …………………………...SHULE ………………………...

MAELEZO

  1. Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
  2. Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
  3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4. Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A

JIBU MASWALI YOTE

  1. Chagua jibu sahihi kati ya chaguzi ulizopewa
  1. Kipi kati ya hivi sio kiumbe hai?
  1. Miti
  2. Ng’ombe
  3. Mbuzi
  4. Meza
  1. Sehemu ya mwili inayotumika kuhisi joto au baridi huitwa?
  1. Ulimi
  2. Ngozi
  3. Nywele
  4. Vimelea
  1. Kiungo cha mwili kinachotumika kutambua harufu katika mazingira huitwa?
  1. Ulimi
  2. Pua
  3. Ngozi
  4. Macho
  1. Kati ya viumbe hai hawa, yupi ambaye si hatari?
  1. Nyoka
  2. Inge
  3. Panzi
  4. Nyuki
  1. Chanzo kikubwa cha nishati ya wanga ni
  1. Jua
  2. Mwezi
  3. Tochi
  4. Moto
  1. Linganisha maneno ya fungu A na B Kisha andika herufi ya jibu sahihi kwenye nafasi uliyopewa.

Kundi A

Kundi B

  1. Sauti
  2. jua
  3. Ngoma, kengele na baragumu
  4. Mwangwi
  5. Moto.
  1. Chanzo kikuu cha nishati ya mwanga na joto
  2. Kitendo cha miale yam wanga kurudi baada ya kugonga kwenye uso unaong’aa au laini.
  3. Sauti iliyorejeshwa baada ya kukutana na kitu kigumu
  4. Mitetemeko ya vitu mbalimbali
  5. Vyanzo vya nishati ya sauti
  6. Vitu vigumu, vimiminika na gesi
  7. Hutoa mwanga na joto
  1. Tumia maneno yaliyo kwenye kisanduku kujaza nafasi zilizoachwa wazi
JOTORIDI, MTUMBWI, UKINZANI, YABISI, MAADA
  1. Chombo cha baharini au mtoni kilichotengenezwa kutokana na gogo ambacho kinaweza kuelea.
  2. Kitu chochote chenye uzito na ambacho huchukua nafasi
  3. Kiwango cha joto au baridi katika mwili
  4. Uzuiaji wa mtiririko au mwendo wa kitu
  5. Hali yenye kukakamaa na kuwa ngumu kwa ukavu

SEHEMU B

  1. Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali

Mawasiliano ni kitendo cha kupashana Habari au kutoa taarifa kwa njia mbalimbali.

Njia za mawasiliano zimegawanyika katika aina kuu mbili. Njia hizi ni za asili na za kisasa. Baadhi ya vifaa vya asili ni baragumu na ngoma. Vifaa vya kisasa ni runinga, radio, simu na kompyuta. Kuna faida mbalimbali za kutumia njia za kisasa za mawasiliano. Mfano, kutoa taarifa kwa watu wengi kwa muda mfupi. Pia, zinatumika kuhifadhi picha za matukio mbalimbali. Simu hurahisisha huduma mbalimbali. Huduma hizo ni Pamoja na kutuma na kupokea taarifa au fedha, pia kupiga picha.

  1. Kulingana na kifungu, nini maana ya mawasiliano?
  2. Taja njia za asili mbili za mawasiliano
  3. Taja njia mbili za kisasa za mawasiliano
  4. Taja matumizi mawili ya simu
  5. Ni njia gani mbili ambazo zinafikisha ujumbe kwa haraka Zaidi?
  1. Angalia picha zifuatazo kisha jibu maswali yanayofuata
A
B
  1. Taja majina ya Wanyama walioonyeshwa hapo juu
  2. Kati ya Wanyama hao wawili ni yupi hatari?
  3. Toa faida mbili za mnyama A
  4. Ni hasara gani inaweza kutokana na mnyama B?
  5. Mnyama A huishi wapi?
  6. Mnyama B utampata wapi?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 14

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA TATU

MUDA: 1.30      DARASA…………………

MAELEKEZO

  •      Mtihani huu na maswali matano katika sehemu mbili
  •      Jibu maswali yote kulingana na maelezo uliopewa katika kila swali.

SEHEMU A: (ALAMA 60) 

1. Chagua jibu sahihi kati ya hayo uliopewa nauandike jibu lake katika nafasi iliyoachwa wazi.

(i) Kipi kati ya vifuatavyo ni kiumbe hai?

  1. Mimea 
  2. Hewa
  3. Maji 
  4. jiwe

(ii) Kipi kati ya hizi kinaunda mazingira?

  1. Maji na Hewa 
  2. Wanyama na mimea
  3. Ardhi na maji 
  4. Viumbe hai, na viumbe visivyo hai

(iii) Kipi sio sifa ya viumbe hai?

  1. Kula 
  2. Kukua
  3. Kupumua 
  4. kupaa

(iv) Kipi kati ya hizi sio chanzo asilia chaa mwanga?

  1. Jua 
  2. Taa ya umeme
  3. Mshumaa 
  4. Tochi

(v) Kipi kati ya hizi ni yabizi?

  1. Barafu na jiwe 
  2. Mvuke na baridi
  3. Maji na jiwe 
  4. Mafuta taa na maji  

 2. Oanisha majibu katikajedwali lifuatalo hili kuleta maana

S/N

Orodha A

Orodha B

(i) Huduma ya kwanza

(ii) Baadhi ya wadudu wenye sumu

(iii) Baada ya kutoa huduma ya kwanza

(iv) Huduma ya kwanza inaweza kutolewa na

(v) Huduma ya kwanza hutolewa lini?

  1. ngena kipepeo
  2. mpeleke aliyejeruhiwa hospitalini au kwenye zahanati
  3. Kupunguza maumivu na kuokoa maisha
  4. Nyuki na tandu
  5. Mtu yeyote
  6. Wembe, pamba, spiriti na glovu
  7. Maji ya kitunguu saumu na jivu
  8. Msaada unaotolewa kwa majeruhi kabla ya kwenda hospitalini
  9. Mpeleke aliyejeruhiwa nyumbani.

 3. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi zilizo wazo

kuzaa, kusogea, kuondoa taka mwili, kukua, Kupumua

  1. Kuongeeka kwa kimo na uzito wa kiumbe hai ______________________
  2. Uwezo wa viumbe hai kuongezeka 
  3. Kuondoa uchafu mwilini
  4. Uwezo waviumbe hai kutoka sehemu moja hadi nyingine…………
  5. Kuingiza na kutoa hewa mwilini…………………………
     

SEHEMU B: (ALAMA 40) 

4. (a) Taja hatua za kupigasimu kwa kutumiasimu ya mkononi

    (b) Eleza tofauti ya simu ya mkononi na simu ya mezani

    (c ) Jaza sehemu za simu zilizoonyeshwa kwa mistari katika mchoro    huu

 5. Tazama michoro ifuatayo kasha jibu maswali.

A.

 

B. 

 

C. 

 

D.

  1. Taja jina la mnyama mwenye herufi A?_______________________
  2. Je mnyama mwenye herufi A anaishiwapi?___________________
  3. Kiumbe kipi kinaishi nchi kavu na majini?____________________
  4. Kiumbe chenye herufi C ni_____________________________
  5. Viumbe vipi kati ya hizi zilizoonyeshwa hapo zinasumu?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSAYANSI STANDARD THREE EXAM SERIES 4

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256