?> MAARIFA STANDARD THREE EXAMS SERIES
MAARIFA STANDARD THREE EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO DARASA LA TATU

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO

 1.                Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano (5)
 2.                Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
 3.                Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
 4.                Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A. ALAMA 30

JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII

 1.                Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku.
 1.               Chanzo cha asili cha joto ni..................(a) mvua (b) mawingu (c) jua (d) mwanga
 2.             Jambo mojawapo la kudumisha utamaduni wa Kitanzania ni kama vile.........(a)  kuimba nyimbo (b) kuvuta bangi (c) kuiba mifugo (d) vita
 3.           Ipi ni faida ya kiafyia waipatayo wanafunzi kwa kucheza ngoma za kitamaduni? (a) kuendeleza utamaduni (b) kupata hamasa ya kufanya kazi (c)kupata zawadi mbalimbali (d) kufanya mwili uwe imara na afya.
 4.           Mtoto wa mjomba anaitwaje? (a) shangazi (b) binamu (c) mama mdogo (d) ami
 5.             Tanganyika ilipata Uhuru wake mwaka? (a) 1964 (b) 1962 (c) 1961 (d) 1963
 6.           Baba wa Taifa wa Tanzania anaitwa?..............(a) John Pombe Magufuli (b) Julius Kambarage Nyerere (c) Edward Sokoine (d) Al Hassan Mwinyi
 7.         Familia yenye watu wengi huitwa? (a) familia ya awali (b) familia pana (c) familia kubwa (d) familia ya mume na mke.
 8.      Uharibifu wa mazingira unaweza kusababisha.........(a) ushindi kwa jamii (b) kuenea kwa magonjwa (c) kupatikana kwa hewa safi (d) kupata mvua.
 1.                Oanisha sentensi za safu A  na safu B ili kuleta maana

Safu A

SAFU B

 1.               Eneo linalopandwa miti, maua, matunda na mboga.
 2.             Eneo kubwa na kame ambalo huwa mchanga na isilo na nyasi wala miti.
 3.           Vitu vyote vinavyomzunguka kiumbe katika maisha yake
 4.           Kiwango cha Joto au baridi kilichopo katika hewa
 5.             Mtindo wa jumla wa maisha ya jamii fulani
 1.               Maficho
 2.                Ukame
 3.                Jangwa
 4.               Mazingira
 5.                Jotoridi
 6.                utamaduni

 

SHEMU B. 

 1.               Jibu maswali yote

Tanzania imeongozwa na viongozi wakuu mbalimbali katika awamu tano zilizopita. Viongozi hawa wamekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya Taifa letu. Katika awamu za uongozi wao, waliweza kulinda amani ya nchi. Vile vile, umoja na mshikamano katika jamii zetu za Tanzania umeimarishwa na viongozi.

Tunajivunia pia ulinzi na usalama unaosimamiwa na viongozi wetu. Aidha, maendeleo katika sekta za afya na Elimu yamesimamiwa na viongozi wetu. Viongozi hao wametuongoza vyema, hivyo  tuwaheshimu na kuwapenda

 1.               taja rais wa awamu ya pili wa Tanzania......................................................................................
 2.             taja michango ya viongozi wakuu katika taifa letu......................................................................
 3.           taja rais aliyeoongoza Tanzania kwa muda mrefu zaidi............................................................
 4.           Je tunapaswa kuwafanyia nini viongozi wetu?........................................................................
 5.             Tangu Tanzania ipate Uhuru, kuna awamu ngapi?...................................................................
 1.               Chunguza kifaa kifuatacho kisha jibu maswali

 1.               Taja jina la kifaa kinachoonyeshwa hapo juu...................................
 2.             Taja kazi ya kifaa kinachooneshwa hapo juu............................
 3.           Ni wapi unaweza kulipata kifaa hiki?.............................................
 4.           Ni nini chanzo cha joto?................................................................
 5.             Taja adhari moja ya joto kali kwa mimea............................................

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD THREE EXAM SERIES 33

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

Chagua Jibu Sahihi

 1. Waziri Mkuu wa serikali ya Awamu ya tatu alikuwa………….
 1. Fredrick Sumaye
 2. Jakaya Kikwete
 3. Mizengo Kayanza Pinda
 1. Baba wa taifa la Tanzania anaitwa………….
 1. Julius Kambarage Nyerere
 2. John Magufuli
 3. Edward Sokoine
 1. Ni vyema kuwaheshimu viongozi wetu wakuu kwa sababu………
 1. Wametuletea amani na umoja
 2. Wametuhesabu idadi yetu
 3. Wametukumbusha kazi za kufanya
 1. Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka…………
 1. 1964
 2. 2017
 3. 1961
 1. Familia nikikundi cha watu walio na…………..
 1. Chuki
 2. Uhusiano
 3. Majigambo
 1. Kuna aina………….za familia.
 1. Tatu
 2. Nne
 3. Sita
 1. Familia yenye watu wengi huitwa………….
 1. Familia ya awali
 2. Familia pana
 3. Familia ya mume na mke
 1. ……………..ndiye kiongozi mkuu katika familia.
 1. Baba
 2. Kaka
 3. Mjomba
 1. Familia inapaswa kuishi kwa upendo na …………….
 1. Kupigana
 2. Kuheshimiana
 3. Kuombaomba
 1. Mazingira ni………….
 1. Magari yaliyo shuleni
 2. Vitu vinavyomzunguka mwanadamu
 3. Wanyama
 1. Vitu vinavyopatikana katika mazingira vimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni……..
 1. Barabara na nyumba
 2. Vitu vilivyo hai na visivyo hai
 3. Vinavyoruka na visivyoruka

 

 

Oanisha sentensi za safu A na safu B ili kuleta maana.

Na 

safu A

Na.

safu B

 1.  

Bao huchezwa na……..

 1.  

Hujenga ukakamavu

 1.  

Kurusha mkuki, kulenga shabaha………….

 1.  

Hudumisha utamaduni

 1.  

Michezo……………..

 1.  

Jamii ya pwani

 1.  

Michezo ya asili………….

 1.  

Michezo ya kiutamaduni

 

 

 1.  

Kulenga shabaha

 

Jaza maswali yafuatayo kwa ufupi

 1. Taja sayari tatu unazoziona katika picha
 2. Dunia ni sayari ya ngapi katika mfumo wa jua?
 3. Kausi ni sayari ya ngapi kwenye mfumo wa jua?
 4. Taja faida tatu za jua.
 5. Vitu gani vingine vinapatikana kwenye mfumo wa jua?

Chunguza picha ifuatayo kisha Jibu maswali

 

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 20206b8b54322f9f2f83103993b9f6006b1e.jpg

 

 1. Taja shughuli ya uzalishaji mali inayoonekana hapo juu
 2. Taja mikoa miwili Tanzania ambayo shughuli hii hufanyika
 3. Taja faida mbili ya mifugo wanaonekana hapo
 4. Taja matatizo yanayowakumba wakulima wa mifugo hawa
 5. Unafikiri ni tatizo gani litajitokeza kama wanyama wengi kupita kiasi watafugwa?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD THREE EXAM SERIES 19

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021

MAARIFA YA JAMII – DARASA LA TATU

FOMATI MPYA

MUDA 1:30 MACHI 2021

JINA …………………………... SHULE ………………………...

MAELEZO

 1. Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
 2. Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
 3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
 4. Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A

JIBU MASWALI YOTE

Chagua jibu sahihi kati ya chaguzi ulizopewa

1. Mazingira yanaundwa na vitu viwili ambavyo ni

 1. Viumbe hai na viumbe visivyo hai
 2. Wanyama na milima
 3. Watu na uoto asili
 4. Ndege na miti

2. Kipi kati ya hizi hakipatikani mazingira ya shuleni? 

 1. Bendera ya taifa
 2. Gari la shule
 3. Gari moshi
 4. Madawati

3. Ni mnyama gani kati ya hawa hapatikani nyumbani? 

 1. Paka
 2. Pundamlia
 3. Mbwa
 4. Kuku

4. Tunapata nyama na maziwa kutoka? 

 1. Kuku
 2. Mbwa
 3. Ng’ombe
 4. Sungura

5. Ujumla wa hali ya Maisha ya watu Fulani huitwa? 

 1. Kasumba
 2. Tabia
 3. Mila
 4. Tamaduni.

6. Tanganyika ilipata Uhuru wake mnamo mwaka? 

 1. 1997
 2. 1963
 3. 1961
 4. 1964

8. Utunzaji wa mali ya familia ni kazi ya? 

 1. Baba
 2. Mama
 3. Watoto
 4. Watu wote

9. Sayari ya tatu kutoka kwa jua ni 

 1. Dunia
 2. Venasi
 3. Makhuri
 4. Satarn

2.  Chagua jibu sahii kutoka jedwali B ambalo linaendana na maelezo katika Jedwali A.

Jedwali A

Jedwali B

 1. Rais wa kwanza wa Tanzania
 2. Kiongozi wa familia
 3. Anayeongoza shule
 4. Sehemu ambapo vifaa vya kihistoria huifadhiwa.
 5. Ukosefu wa mvua
 6. Kiongozi wa zamani wa Hehe
 1. Mangi
 2. Nyerere
 3. Mama
 4. Baba
 5. Mwalimu mkuu
 6. Makavazi
 7. Jumba la kumbukumbu
 8. Ukame
 9. Mafuriko

SEHEMU B.

Sehemu hii ina maswali mawili, jibu yote

3. Zifuatazo ni sayari za dunia

 • Dunia
 • Zuhura.
 • Mirihi.
 • Sarateni.
 • Zohali
 • Zebaki
 • Kausi
 • Sumbula.

Panga sayari hizi kutoka iliyo karibu na jua hadi iliyo mbali kabisa

4. Iangalie picha ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo

 1. Taja kitendo cha uharibifu wa mazingira kinachoonyeshwa hapo juu
 2. Taja vitu viwili vinavyoweza kuchangia hali kama hiyo.
 3. Taya madhara yanayoweza kutokana na hali iliyo katika picha
 4. Taja mbinu mbili tunazoweza kutumia kukabiliana na hali hiyo.

5. Iangalie picha ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo

 1. Taja kitendo cha uharibifu wa mazingira kinachoonyeshwa hapo juu
 2. Taja vitu viwili vinavyoweza kuchangia hali kama hiyo.
 3. Taya madhara yanayoweza kutokana na hali iliyo katika picha
 4. Taja mbinu mbili tunazoweza kutumia kukabiliana na hali hiyo.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD THREE EXAM SERIES 13

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA TATU

MUDA: 1.30      

MAELEKEZO

SEHEMU A: (56 %) 

1. Jibu maswali (i)-(viii) kwakuchagua herufi yajibu sahihi kasha andika katika nafasi uliyopewa.

 1. Vitu vyote vinanyotuzunguka tunaviita?
 1. Anga
 2. Hewa
 3. Maji
 4. Mazingira
 1. Kipi kati ya hivi hakipatikani mazingira ya shule?
 1. Darasa
 2. Kituo cha police
 3. Bendera ya taifa
 4. Uwanja wa mpira
 1. Kati ya hizi ni gani ambayo ni sehemu ya mazingira isiyo na uhai?
 1. Jiwe
 2. mimea
 3. wanyama
 4. ndege.
 1. Moja ya madhara ya uharibifu wa mazingira ni?
 1. Kufuga wanyama wengi
 2. Mlipuko wa magonjwa
 3. Upatikanaji wa chakula
 4. Ukuaji wa mimea
 1. Wakati wa joto kali tunapaswa kuvaanguozipi?
 1. Kaptula na vesti
 2. Malapa na T-shati
 3. Sweta na Jaketi
 4. Sketi fupi
 1. Mojawapo ya njia za kujikinga na joto kali ni?
 1. Kucheza juani
 2. Kuepuka kuoga
 3. Kunywa maji mengi
 4. Kunywa chai moto
 1. Dalili za hali ya joto kuwa juu ni?
 1. Kutetemeka na kuumwa na tumbo
 2. Kutetemeka na vidole kupauka
 3. Kutoa jasho na kiu
 4. Kutoa jasho na kutetemeka
 1. Tunasema kuna baridi wakati hali ya joto ni?
 1. Iko juu sana
 2. Ya kawaida
 3. Ya chini sana
 4. Ya wastani.

2. Andika ndiyo kwa sentensi iliyo sahihi, au hapana kwa sentensi isiyo sahihi.

 1. Mvua husaidia kukuza mimea
 2. Fagio na jembe ni vifaa vinavyotumika katika utunzaji wa mazingira
 3. Sweta na jaketi ni mavazi yanayovaliwa wakati wa baridi
 4. Mifugo na ardhi ni rasilimali……
 5. Nyota na mwezi huonekanawakati wa mchana.

SEHEMU B. ALAMA 44.

3. Jaza nafasi zilizo wazi kwa kutumia jibu sahihi.

 1. Mabadiliko ya kila siku yamazingira huitwa……………………………….
 2. Hali ya kitu kuwa joto au baridi hutwa…………………………………….
 3.  Kifaa kinachotumika kupima joto huitwa…………………………………
 4. Taja aina mbili ya vifaa vinavyotumika kupima joto
 5. Kukta miti bila kupanda kuna weza kusababisha…………….
 6. Hali ya kukosekana mvua kwa muda mrefu huitwa…………………..
 7. Mojawapo ya faida ya mazingira masafi ni………………………………

4. Jibu maswali yafuatayo kwa kujaza nafasi wazi.

 1. Taja faida tatu za jua
 2. Vitu gani vingine vinapatikana katika mfumo wa jua
 3. Taja sayari zinazozunguka jua
 4. Taja mambo matatu yanayoweza kufanywa wakati wa jua.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMAARIFA STANDARD THREE EXAM SERIES 3

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256