?> KISWAHILI STANDARD THREE EXAMS SERIES
KISWAHILI STANDARD THREE EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA- MACHI -2024

KISWAHILI DARASA LA TATU

JINA……………SHULE…………………………..MUDA…………………………..

SEHEMU A: IMLA

Sikiliza kwa makini sentensi zitakazosomwa kisha uandike kwa usahihi.

  1. ………..
  2. ………..
  3. ………..
  4. ……….
  5. …………

 

SEHEMU B

Chagua herufi ya jibu sahihi kisha jaza kwenye mabano.

  1. Kahawa ni………….. la biashara.
  1. Kilimo
  2. Zao
  3. Fungu
  4. Dhao
  1. Mimea ikipata mvua ya kutosha……………
  1. Huthitawi
  2. Hustawi
  3. Huthitawi
  4. Huzitawi
  1. Amina ni mtoto mwenye………….
  1. Nidhamu
  2. Mizamu
  3. Niramu
  4. Nithamu
  1. Neno “kyala” limeundwa kwa silabi…………
  1. 6
  2. 5
  3. 2
  4. 4
  1. John alikwenda kuwatembelea…………wake.
  1. Wazazi
  2. Wadhazi
  3. Wasasi
  4. Baba

 

SEHEMU C

Methali, nahau na vitendawili.

  1. Mzungu mweupe katupwa jalalani ni………….
  2. Usipoziba ufa…………….
  3. Kitinda mimba………….
  4. Nyumba yangu ina mlango juu………..
  5. Tajiri wa rangi ni…………..

 

SEHEMU D

Mazoezi ya lugha.

  1. Embe, nanasi, chungwa, kwa pamoja huitwa……………
  2. Mtu anayeendesha ndege huitwa…………….
  3. Mtu anayefanya kazi ya kufua na kupiga nguo pasi huitwa…………
  4. Wingi wa neno ukuta ni………….
  5. Kinyume cha neno rafiki ni………….

 

SEHEMU E: Ufahamu

Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali.

Ali ni kijana mwenye nguvu sana.alimaliza elimu ya msingi mwaka 2000 katika shule iitwayo Msufini iliyoko wilayani Handeni. Baada ya kumaliza darasa la saba alifanya biashara ya kuuza karanga pale pale kijijini. Baada ya mwaka mmoja aliamua kuacha biashara hiyo. Alinunua zana za kilimo jembe, panga na shoka. Kwa hivi sasa Ali ni mkulima Hodari anayelima mpunga na maharagwe. Anasifika sana pale kijijini kutoka na uhodari wake katika kilimo.

MASWALI

  1. Ali alimaliza shule mwaka gani………..
  2. Mara baada ya kumaliza darasa la saba Ali alifanya kazi gani…………..
  3. Ali alinunua zana zipi za kilimo……………….
  4. Kwa nini Ali alisifiwa sana pale kijijini?
  5. Ili mtu afanikiwe anatakiwa awe na sifa gani?

 

 

MAELEKEZO KWA MSIMAMIZI.

  1. Soma hadithi kwa sauti na kwa umakini
  2. Waeleze watahiniwa kuwa utasoma hadithi mara mbili, hivyo kila mmoja asikilize kwa makini
  3. Waeleze watahiniwa kuwa ukisoma hadithi mara ya kwanza wasikilize bila kusoma kujibu maswali, na ukisoma mara ya pili wajibu swali la 1-5 katika karatasi maalum, kisha waendelee kujibu maswali mengine.
  4. Soma hadithi taratibu kwa mara ya kwanza huku ukizingatia alama zote za uandishi zilizopo katika hadithi hiyo. Unaposoma kwa mara ya pili, ongeza kidogo kasi ya usomaji
  5. Muda utaotumika kwa msimamizi kusoma hadithi ni dakika tano, pia muda utakaotumika kwa watahiniwa kujibu maswali ni dakika tano. Sehemu hii itafanyika kwa dakika kumi.

 

IMLA

 

  1. SISI TUNASOMA NA KUANDIKA
  2. MAMA AMENG’ATWA NA NYUKI
  3. MWANAFUNZI HODARI AMEPONGEZWA SANA
  4. JANA NILIKUNYWA KAHAWA NZURI
  5. MBWA HUYU NI MKALI SANA

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 80

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI WA KUJIPIMA

MWISHO WA MWAKA- NOVEMBA 2023

KISWAHILI

JINA ______________________________ TAREHE_________ DRS III

SEHEMU A: IMLA.

1. Sikiliza kwa makini sentensi unazosomewa kisha uziandike katika kipengele cha i had v

i) __________________________________________________________

ii) __________________________________________________________

iii) _________________________________________________________

iv) _________________________________________________________

v) __________________________________________________________

SEHEMU B: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

2. Chagua herufi yenye jibu sahihi kisha andika Kwenye nafasi iliyoachwa wazi

i. Yeye amesema hawezi kulima lakini akijaliwa ______________ mwakani.

A. alilima B. Atalima C. Angelima D. Analima

ii. Salumu ni mtoto wa dada yangu, hivyo salumu ni________________ wangu

A. binamu B. Mpwa C. Mtoto wa dada D. Shangazi

iii. Wingi wa neno paka ni_____________

A. mipaka B. Paka C. Mijipaka D. Mapaka

iv. Baba alimtua mzigo wa kuni. Kinyume cha neno lililopigiwa mstari ni_____________

A. alimtwika B. Alimtua C. Alimpakia D. Alimshusha

v. Hapa kuna ________________ mbaya sana.

A. Halufu B. Harufu C. Alufu D. Arufu

SEHEMU C: LUGHA YA KIFASIHI.

3. Jaza nafasi zilizo wazi kwa kuandika jibu sahihi.

i. Andika methali kutokana na maelezo haya. Juma alifanya haraka mitihani yake akaishia kupata sifuri masomo yote. __________________________________________________________________________________________

ii. Tegua kitendawili, Popo mbili zavuka mto ______________________________________________________

iii. Andika maana ya nahau “kata shauri” _________________________________________________________

iv. Kamilisha methali hii, Mpenda chongo _________________________________________________________

v. Nini maana ya nahau ‘ana mkono mrefu? _______________________________________________________

SEHEMU D: UTUNGAJI

4. Zifuatazo ni sentensi tano (5) zilizoandikwa bila kufuata mpangilio maalum. Zipange sentensi hizi ili ziweze kuleta mtiririko mzuri wa mawazo kwa kuzipa herufi A, B, C, D na E.

i. Walifunga mlango na kukaa kimya

ii. Nyuki waliwavamia na kuanza kuwashambulia baada ya makelele yao kuzidi sana.

iii. Ugomvi ukawa mkubwa, wakapaza sauti zenye makelele.

iv. Pembeni ya nyumba ile kulikuwa na mzinga wa nyuki

v. Nyuki waliyasikia makelele yale.

Namba ya swali






Jibu






SEHEMU E: UFAHAMU

5. Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali.

Amiri na Anna ni Wanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Lake iliyopo mkoani mwanza. Watoto hawa wana sifa zenye upekee darasani. Amiri ni mwanafunzi mtanashati. Hupenda kuonekana nadhifu kila muda. Hapendi kuzecha hovyo hovyo na anapenda sana kujisomea kila anapopata nafasi ya kufanya hivyo. Kwa upande mwingine, Anna ni Machachari wa kupiga wenzake. Wanafunzi wenzake humkwepa kucheza naye kwa sababu ya ubabe wake. Hata hivyo huwafanyia fujo na kujikuta wanambembeleza ili asilete varangati.

Maswali.

i. Nini maana ya neno ‘mtanashati’ _____________________________________

ii. Tabia ya Anna ni ya namna gani? _____________________________________

iii. Ni yupi hapendi kucheza hovyo? _____________________________________

iv. maana ya neno lililopigiwa mstari ni __________________________________

v. Ni yupi kati ya watoto hao ana nidhamu nzuri? ________________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 74

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

MTIHANI WA KUJIPIMA KWA MSINGI

MUHULA WA PILI

KISWAHILI DARASA LA TATU NOVEMBA, 2023

SEHEMU A

IMLA

  1. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  2. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  3. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  4. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
  5. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

SEHEMU B

Chagua jibu sahihi

  1. Mtu anaye fanya kazi ya kulima huitwa . (A)Mchukuzi (B)Mkulima (C)Fundi seremala (D)Mwalimu
  2. Wingi wa neno ukuta ni _______(A)Kuta (B)Ukuta (C)Makuta (D)Mikuta
  3. Meza, milango, kabati, na viti kwa pamoja huitwa ____ (A)Samani (B)thamani (C) Zamani (D)Vifaa
  4. Wingi wa neno “nguo” ni _____ (A)manguo (B)viungo (C)ngu (D)linguo
  5. Dada wa baba yako anaitwa? (A) Dada mkubwa (B)binamu (C) Mama mkubwa (D)Shangazi

Andika wingi wa maneno yafuatayo

Umoja Wingi

  1. Gari ____________________
  2. Maji ____________________
  3. Jicho ____________________
  4. Tunda ____________________
  5. Kitanda ____________________

Badilisha sentensi zifuatazo ziwe katika wakati uliopita

Mfano: Nitakupigia simu asubuhi

Nilikupigia simu asubuhi

  1. Watoto wanacheza mdako _____________________________
  2. Mbuzi wetu anakula majani ____________________________
  3. Sahani yangu imevunjika ______________________________
  4. Mvua inanyesha kwa nguvu ____________________________
  5. Kunguru wanaruka Juu ________________________________

SEHEMU C: Lugha ya kifasihi

Kamilisha methali zifuatazo

  1. Mtoto umleavyo
  2. Mwenda pole
  3. Samaki Mkunje
  4. Akiba __________
  5. Kikulacho ki ______________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 70


OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA MAJARIBIO KWA SHULE ZA MSINGI

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA-2023

KISWAHILI DRS LA III

 

SEHEMU A

IMLA

  1.         
  2.         
  3.         
  4.         
  5.         

SEHEMU B

Chagua jibu sahihi

  1.        Mtu anaye fanya kazi ya kulima huitwa .  (A)Mchukuzi (B)Mkulima (C)Fundi seremala (D)Mwalimu
  2.        Wingi wa neno ukuta ni _______(A)Kuta  (B)Ukuta (C)Makuta (D)Mikuta
  3.        Meza, milango, kabati, na viti kwa pamoja huitwa ____ (A)Samani  (B)thamani (C) Zamani               (D)Vifaa
  4.        Wingi wa neno “nguo” ni _____ (A)manguo (B)viungo    (C)ngu (D)linguo
  5.   Dada wa baba yako anaitwa? (A) Dada mkubwa  (B)binamu  (C) Mama mkubwa (D)Shangazi

Andika wingi wa maneno yafuatayo

Umoja     Wingi 

  1.   Gari     ____________________
  2.   Maji     ____________________
  3.   Jicho     ____________________
  4.   Tunda     ____________________
  5.   Kitanda    ____________________

 

Badilisha sentensi zifuatazo ziwe katika wakati uliopita 

Mfano: Nitakupigia simu asubuhi

Nilikupigia simu asubuhi 

  1.   Watoto wanacheza mdako _____________________________
  2.   Mbuzi wetu anakula majani ____________________________
  3.   Sahani yangu imevunjika ______________________________
  4.   Mvua inanyesha kwa nguvu ____________________________
  5.   Kunguru wanaruka Juu ________________________________

 

SEHEMU C: Lugha ya kifasihi

Kamilisha methali zifuatazo 

  1.   Mtoto umleavyo
  2.   Mwenda pole
  3.   Samaki Mkunje
  4.   Akiba __________
  5.   Kikulacho ki ______________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 64

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI

NUSU MUHULA WA PILI

AGOSTI – 2023 

SOMO: KISWAHILI

JINA ____________________________________TAREHE_________________ DRS 3

 

MUDA: SAA 1:30

MAELEKEZO

  1. Mtihani huu una jumla ya maswali arobaini na Tano (45)
  2. Jibu maswali yote katika kila sehemu
  3. Soma maelekezo kabla ya kujibu maswali
  4. Swali la 1 – 40 chagua jibu sahihi na swali la 41 – 45, jibu maswali katika nafasi uliopewa.
  5. Tumia kalamu ya bluu na nyeusi
  6. Simu za mkononi, vikokotozi, na vitu visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mtihani.

SEHEMU A: IMLA.

1. Sikiliza kwa makini sentensi unazosomewa kisha uziandike katika kipengele cha i had v 

  1. _______________________________________________________
  2. _______________________________________________________
  3. _______________________________________________________
  4. _______________________________________________________
  5. _______________________________________________________

SEHEMU B: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

2. Chagua herufi yenye jibu sahihi kisha andika Kwenye nafasi iliyoachwa wazi

  1. Yeye amesema hawezi kulima lakini akijaliwa ______________ mwakani.
  1. A. alilima    B. Atalima     C. Angelima    D. Analima
  1. Salumu ni mtoto wa dada yangu, hivyo salumu ni________________ wangu
  1. A. binamu   B. Mpwa   C. Mtoto wa dada   D. Shangazi
  1. Wingi wa neno paka ni_____________
  1. A. mipaka    B. Paka    C. Mijipaka    D. Mapaka
  1. Baba alimtua mzigo wa kuni. Kinyume cha neno lililopigiwa mstari ni__________
  1. A. alimtwika    B. Alimtua    C. Alimpakia   D. Alimshusha

  1. Hapa kuna ________________ mbaya sana.
  1. A. Halufu    B. Harufu    C. Alufu    D. Arufu

 

SEHEMU C: LUGHA YA KIFASIHI.

3. Jaza nafasi zilizo wazi kwa kuandika jibu sahihi.

Andika methali kutokana na maelezo haya. 

  1. Juma alifanya haraka mitihani yake akaishia kupata sifuri masomo yote. ____________
  2. Tegua kitendawili, Popo mbili zavuka mto _______________________________
  3. Andika maana ya nahau “kata shauri” __________________________________
  4. Kamilisha methali hii, Mpenda chongo _________________________________
  5. Nini maana ya nahau ‘ana mkono mrefu? ________________________________

 

SEHEMU D: UTUNGAJI

4. Zifuatazo ni sentensi tano (5) zilizoandikwa bila kufuata mpangilio maalum. Zipange sentensi hizi ili ziweze kuleta mtiririko mzuri wa mawazo kwa kuzipa herufi  A,  B,  C,  D na  E.

i. Walifunga mlango na kukaa kimya

ii. Nyuki waliwavamia na kuanza kuwashambulia baada ya makelele yao kuzidi sana.

iii. Ugomvi ukawa mkubwa, wakapaza sauti zenye makelele. 

iv. Pembeni ya nyumba ile kulikuwa na mzinga wa nyuki

v. Nyuki waliyasikia makelele yale. 

Namba ya swali

  1.  
  1.  
  1.  
  1.  
  1.  

Jibu

 

 

 

 

 

SEHEMU E: UFAHAMU

5. Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali.

Amiri na Anna ni Wanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Lake iliyopo mkoani mwanza. Watoto hawa wana sifa zenye upekee darasani. Amiri ni mwanafunzi mtanashati. Hupenda kuonekana nadhifu kila muda. Hapendi kuzecha hovyo hovyo na anapenda sana kujisomea kila anapopata nafasi ya kufanya hivyo. Kwa upande mwingine, Anna ni Machachari wa kupiga wenzake. Wanafunzi wenzake humkwepa kucheza naye kwa sababu ya ubabe wake. Hata hivyo huwafanyia fujo na kujikuta wanambembeleza ili asilete varangati.

 

Maswali. 

  1. Nini maana ya neno ‘mtanashati’ _____________________________________
  2. Tabia ya Anna ni ya namna gani? _____________________________________
  3. Ni yupi hapendi kucheza hovyo? _____________________________________
  4. maana ya neno lililopigiwa mstari ni __________________________________
  5. Ni yupi kati ya watoto hao ana nidhamu nzuri? __________________________

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 59

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA MAJARIBIO KWA SHULE ZA MSINGI

MTIHANI WA KISWAHILI DRS LA III 

JINA LA MWANAFUNZI ............................................

SEHEMU A: IMLA

  1. Sikiliza kwa makini sentensi zitakazosomwa kisha uandike kwa usahihi.
  1. .....................................
  2. .....................................
  3. .....................................
  4. .....................................
  5. .....................................

SEHEMU B

  1. Chagua herufi ya jibu sahihi kisha jaza kwenye kisanduku
  1. Shangazi atapika chakula. Sentensi hii ipo katika wakati gani.

(a) Uliopo  (b)Uliopita  (c)Ujao (d)Uliopita mtimilifu

  1. Mtu aliyefiwa na wazazi wake wote wawili huitwa

(a)Mgane (b)Mjane (c)Mfiwa (d)Yatima

  1. Wingi wa neno Ukuta ni

(a)Nyufa (b)Kuta (c)Ukuta (d)Maukuta

  1. Neno anastahili lina silabi ngapi

(a)Nne  (b)Tano (c)Sita  (d)Saba

  1. Kinyume cha neno msafi ni ................

(a)Mchafu (b)Uchafu (c)chafu (d)Mbaya

 

SEHEMU C:

METHALI, NAHAU, NA VITENDAWILI

  1.  
  1. Hesabu yake haina faida ni ...........................
  2. Vunjika moyo ...........................
  3. ....................................... hulia kivulini
  4. Bomu la machozi baridi ni ................
  5. Fuata mkia ni .....................

 

SEHEMU D: Mazoezi ya lugha.

  1.  
  1. Neno lenye maana sawa na neno TEMBO ni ...............
  2. Mende, kunguni, panzi, inzi, kwa pamoja huitwa ..................
  3. Mtu anayetibu wagonjwa huitwa ...............
  4. Wingi wa neno kaa ni ..................
  5. Kinyume cha neno ADUI ni .............

 

SEHEMU E: Ufahamu. Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali.

  1.  

Juma na Alli ni watoto mapacha, asubuhi huenda shuleni na wanaporejea nyumbani jioni huwasaidia wazazi wao kufanya shughuli mbalimbali. Juma ni fundi katika mapishi, hivyo humsaidia mama kupika. Alli hupenda mifugo, hivyo humsaidia baba kuchunga na kukamua maziwa. Hufanya kazi kwa bidii. Walimu wao huwapenda sana kwa kuwa hufanya vizuri katika masomo yao ya darasa la tatu.

MASWALI

  1. Juma na Alli ni wanafunzi wa darasa la ngapi? ...........
  2. Watoto hawa huwasaidia wazazi wao kazi ya kuchunga, kukamua maziwa na .......
  3. Unafikiri kwa nini walimu wao huwapenda? ....................
  4. Familia hii ina jumla ya watu wangapi? ..............................
  5. Juma ni fundi wa nini akiwa nyumbani? ...................

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 50

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA MAZOEZI DARASA LA TATU

KISWAHILI 

ANNUAL FOR 2022

JIBU MASWALI YOTE

 

SEHEMU A

IMLA

  1. Sikiliza kwa makini sentensi zitakazosomwa, kisha ziandike kwa usahihi.
  1. ……………………………
  2. …………………………….
  3. …………………………….
  4. ……………………………
  5. ……………………………

SEHEMU B

MSAMIATI NA SARUFI

  1. Chagua jibu sahihi na uandike herufi yake kwenye nafasi iliyo wazi.
  1. Wingi wa neno kisu ni …………..
  1. Mavisu
  2. Kisu
  3. Vifaa
  4. Visu
  1. Mbuzi kondoo, ngombe kwa jina moja huitwa ……
  1. Wanyama
  2. Wafugwao
  3. Nyama
  4. Wanyonyeshao
  1. Ghala ni mahali pa kuhifadhia ……
  1. Maji
  2. Mifugo
  3. Nafaka
  4. Wanafunzi
  1. Neno lipi halifanani na mengine kati ya haya yafuatayo? …………….
  1. Tafrija
  2. Karamu
  3. Vifijo
  4. Msiba
  1. Mnyama aliyekufa hitwa ……………
  1. Mzoga
  2. Uozo
  3. Maiti
  4. Marehemu.

SEHEMU C ‘

LUGHA YA KIFASIHI

Methali, Nahau na Vitendawili

  1. Chagua jibu sahihi ili kukamilisha methali nahau na vitendawili vifuatavyo:
  1. Ana miguu ya bata. Maana ya nahau hii ni ………….

(mtu mwenye miguu mipana, mtu mtembezi, mtu mwenye kiherehere, mtu mwenye kupenda kutembea peku)

  1. Chanda chema …………….

(huvaa pete, hununuliwa, huvikwa pete, hung’aa gizani)

  1. Maliza methali hii “Baada ya dhiki ………..”

(furaha, hongera, sherehe, faraja)

  1. Nyundo zangu zimetengenezwa kwa mfupa. Jibu la kitendawili hiki ni ………….

(kucha, meno, ubongo, vidole)

  1. Wana wa mfalme ni wepesi sana kujificha. Jibu la kitendawili hiki ni ……..

(uso, kope, ulimu, macho)

SEHEMU D

UTUNGAJI

  1. Panga siku zifuatazo kwa mtiririko unaofaa kwa kuzipa herufi A, B, C, D na E.
  1. Mtondogoo (…………)
  2. Leo (…………)
  3. Kesho (………….)
  4. Keshokutwa (………….)
  5. Mtondo (…………..)

SEHEMU E

UFAHAMU

  1. Soma shairi lifuatalo kwa makini kisha jibu maswali yanayofuata.

 

Baba mama sikiliza, nawapa yangu kauli,

Wino nimeumaliza, ujumbe wangu wa kweli,

Akili niliumiza, kupata huu ukweli

Elimu kweli ni bahari, kwani haina ukomo

 

Shule mlinipeleka, elimu yangu kupata,

Walimu wakanipika, kwa chumvi nayo mafuta,

Nikaipata Baraka, ujinga nikaufuta,

Elimu kweli bahari, kwani haina ukomo.

 

Maswali:

  1. Shairi hili lina beti ……………..
  2. Kila ubeti wa shairi hili una mishororo ……………..
  3. Taja kina cha mwisho katika ubeti wa pili ……………
  4. Kicha cha shairi hili kingefaa kuwa ………………..
  5. Mtunzi anamaanisha nini anaposema “Walimu walinipika kwa chumvi na mafuta”?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 43

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA- MACHI -2022

JINA………………………………………………SHULE…………………………………………..MUDA…………………………..

SEHEMU A: IMLA

Sikiliza kwa makini sentensi zitakazosomwa kisha uandike kwa usahihi.

  1. ………..
  2. ………..
  3. ………..
  4. ……….
  5. …………

 

SEHEMU B

Chagua herufi ya jibu sahihi kisha jaza kwenye mabano.

  1. Kahawa ni………….. la biashara.
  1. Kilimo
  2. Zao
  3. Fungu
  4. Dhao
  1. Mimea ikipata mvua ya kutosha……………
  1. Huthitawi
  2. Hustawi
  3. Huthitawi
  4. Huzitawi
  1. Amina ni mtoto mwenye………….
  1. Nidhamu
  2. Mizamu
  3. Niramu
  4. Nithamu
  1. Neno “kyala” limeundwa kwa silabi…………
  1. 6
  2. 5
  3. 2
  4. 4
  1. John alikwenda kuwatembelea…………wake.
  1. Wazazi
  2. Wadhazi
  3. Wasasi
  4. Baba

 

SEHEMU C

Methali, nahau na vitendawili.

  1. Mzungu mweupe katupwa jalalani ni………….
  2. Usipoziba ufa…………….
  3. Kitinda mimba………….
  4. Nyumba yangu ina mlango juu………..
  5. Tajiri wa rangi ni…………..

 

SEHEMU D

Mazoezi ya lugha.

  1. Embe, nanasi, chungwa, kwa pamoja huitwa……………
  2. Mtu anayeendesha ndege huitwa…………….
  3. Mtu anayefanya kazi ya kufua na kupiga nguo pasi huitwa…………
  4. Wingi wa neno ukuta ni………….
  5. Kinyume cha neno rafiki ni………….

 

SEHEMU E: Ufahamu

Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali.

Ali ni kijana mwenye nguvu sana.alimaliza elimu ya msingi mwaka 2000 katika shule iitwayo Msufini iliyoko wilayani Handeni. Baada ya kumaliza darasa la saba alifanya biashara ya kuuza karanga pale pale kijijini. Baada ya mwaka mmoja aliamua kuacha biashara hiyo. Alinunua zana za kilimo jembe, panga na shoka. Kwa hivi sasa Ali ni mkulima Hodari anayelima mpunga na maharagwe. Anasifika sana pale kijijini kutoka na uhodari wake katika kilimo.

MASWALI

  1. Ali alimaliza shule mwaka gani………..
  2. Mara baada ya kumaliza darasa la saba Ali alifanya kazi gani…………..
  3. Ali alinunua zana zipi za kilimo……………….
  4. Kwa nini Ali alisifiwa sana pale kijijini?
  5. Ili mtu afanikiwe anatakiwa awe na sifa gani?

 

 

MAELEKEZO KWA MSIMAMIZI.

  1. Soma hadithi kwa sauti na kwa umakini
  2. Waeleze watahiniwa kuwa utasoma hadithi mara mbili, hivyo kila mmoja asikilize kwa makini
  3. Waeleze watahiniwa kuwa ukisoma hadithi mara ya kwanza wasikilize bila kusoma kujibu maswali, na ukisoma mara ya pili wajibu swali la 1-5 katika karatasi maalum, kisha waendelee kujibu maswali mengine.
  4. Soma hadithi taratibu kwa mara ya kwanza huku ukizingatia alama zote za uandishi zilizopo katika hadithi hiyo. Unaposoma kwa mara ya pili, ongeza kidogo kasi ya usomaji
  5. Muda utaotumika kwa msimamizi kusoma hadithi ni dakika tano, pia muda utakaotumika kwa watahiniwa kujibu maswali ni dakika tano. Sehemu hii itafanyika kwa dakika kumi.

 

IMLA

 

  1. SISI TUNASOMA NA KUANDIKA
  2. MAMA AMENG’ATWA NA NYUKI
  3. MWANAFUNZI HODARI AMEPONGEZWA SANA
  4. JANA NILIKUNYWA KAHAWA NZURI
  5. MBWA HUYU NI MKALI SANA

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 24

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

KISWAHILI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

SEHEMU A.

1. Sikiliza  kwa makini kisha andika Sentensi Kwa Usahihi

  1. ......................................................................................................
  2. ...........................................................................................................
  3. .........................................................................................................
  4. .........................................................................................................
  5. .........................................................................................................

 

SEHEMU B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

2. Chagua jibu sahihi na uandike jibu lake kwenye kisanduku

Kamilisha sentensi hizi kwa kutumia neno sahihi

  1. Sahani, kikombe, bakulim na kijiko i............................
  1. Samani
  2. Mimea
  3. Jikoni
  4. Vyombo
  1. Kanga, kasuku, kunguru na njiwa...................
  1. Wanyama
  2. Ndege
  3. Vifaa
  4. Viumbe
  1. Shangazi ni................
  1. Kaka yake mama
  2. Dada yake baba
  3. Mdogo wake dada
  4. Mdogo wake kaka
  1. Wingi wa neno sufuria ni
  1. Masufuria
  2. Sufuria
  3. Mabakuli
  4. Sufurias
  1. Nini umoja wa neno macho?
  1. Majicho
  2. Macho
  3. Jicho
  4. Jino

 

SEHEMU C. METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI

3. Tumia maneno yaliyokwenye kisanduku kujibu maswali.

 

 

 

 

Tumia  maneno yaliyo kwenye kisanduku kujibu maswali haya.

  1. Asiyesikia la mkuu.............................
  2. Jibu la kitendawili hiki ni, anajua kuchora ingawa hajui anachokichora...........
  3. Ahadi ni.............................
  4. Kamilisha kitendawili, popoo mbili zinavuka mto.....................................
  5. ........................................hujaza kibaba

 

SEHEMU D. UTUNGAJI. 

  1. Sebo anaishi mkoa wa morogoro
  2. Wanafunzi walitembelea mbuga za wanyama za mikumi Serengeti na ngorongoro
  3. lo mtoto amenguka
  4. Shambani kwenu kuna mazao gani
  5. bibi alisema karibu mjukuu wangu

 

SEHEMU E. UFAHAMU

5. Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali kwa usahihi.

Amani anaishi na bibi yake katika kijiji cha Kilole Anamsaidia bibi yake shughuli za nyumbani. Anamsaidia kusafisha nyumba kupika, kuosha vyombo na kufua.

Juzi Amani alimuuliza bibi yake, “bibi  unajua kusoma?” Bibi akajibu , Ninajua kusoma na kuandika. Amani akasema, “sawa bibi, kesho nitaleta kitabu changuili tusome pamoja”

  1. Amani anaishi na nani?
  2. Kijiicho wanachoishi amani kinaitwaje?
  3. Taja shughuli ambazo Amani anamsaidia bibi yake
  4. Je bibi yake Amani anajua kusoma?
  5. Taja vitu viwili bibi yake Amani anajua

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 22

MINISTRY OF EDUCATION SCIENCE AND TECHNOLOGY

STANDARD THREE EVALUATION EXAMINATION

KISWAHILI MID TERM SEPTEMBER 2021

INSTRUCTIONS:

  1. Write your name and that of school
  2. Answer all questions in spaces provided
  3. Ensure your work is clean
  4. Time for this exam is 1:30 hrs

 

SEHEMU A: IMLA

Sikiliza kwa makini sentensi zitakazosomwa kisha uandike kwa usahihi.

  1. ………..
  2. ………..
  3. ………..
  4. ……….
  5. …………

 

SEHEMU B

Chagua herufi ya jibu sahihi kisha jaza kwenye mabano.

  1. Kahawa ni………….. la biashara.
  1. Kilimo
  2. Zao
  3. Fungu
  4. Dhao

II. Mimea ikipata mvua ya kutosha……………

  1. Huthitawi
  2. Hustawi
  3. Huthitawi
  4. Huzitawi

III. Amina ni mtoto mwenye………….

  1. Nidhamu
  2. Mizamu
  3. Niramu
  4. Nithamu

IV.Neno “kyala” limeundwa kwa silabi…………

  1. 6
  2. 5
  3. 2
  4. 4
  1. John alikwenda kuwatembelea…………wake.
  1. Wazazi
  2. Wadhazi
  3. Wasasi
  4. Baba

 

SEHEMU C

Methali, nahau na vitendawili.

  1. Mzungu mweupe katupwa jalalani ni………….
  2. Usipoziba ufa…………….
  3. Kitinda mimba………….
  4. Nyumba yangu ina mlango juu………..
  5. Tajiri wa rangi ni…………..

 

SEHEMU D

Mazoezi ya lugha.

  1. Embe, nanasi, chungwa, kwa pamoja huitwa……………
  2. Mtu anayeendesha ndege huitwa…………….
  3. Mtu anayefanya kazi ya kufua na kupiga nguo pasi huitwa…………
  4. Wingi wa neno ukuta ni………….
  5. Kinyume cha neno rafiki ni………….

 

SEHEMU E: Ufahamu

Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali.

Ali ni kijana mwenye nguvu sana.alimaliza elimu ya msingi mwaka 2000 katika shule iitwayo Msufini iliyoko wilayani Handeni. Baada ya kumaliza darasa la saba alifanya biashara ya kuuza karanga pale pale kijijini. Baada ya mwaka mmoja aliamua kuacha biashara hiyo. Alinunua zana za kilimo jembe, panga na shoka. Kwa hivi sasa Ali ni mkulima Hodari anayelima mpunga na maharagwe. Anasifika sana pale kijijini kutoka na uhodari wake katika kilimo.

MASWALI

  1. Ali alimaliza shule mwaka gani………..
  2. Mara baada ya kumaliza darasa la saba Ali alifanya kazi gani…………..
  3. Ali alinunua zana zipi za kilimo……………….
  4. Kwa nini Ali alisifiwa sana pale kijijini?
  5. Ili mtu afanikiwe anatakiwa awe na sifa gani?

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 16

OFISI YA RAIS

WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI YA KUJIPIMA MSINGI

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA -MACHI 2021

KISWAHILI – DARASA LA TATU

FOMATI MPYA

MUDA  1:30 MASAA                                                                                  MACHI 2021

JINA …………………………...                                 SHULE ………………………...

MAELEZO

  1. Mtihani huu una sehemu tano, A, B, C, D, na E
  2. Ina jumla ya maswali matano yenye vipengele vitano
  3. Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
  4. Mtihani wote una alama 50

 

SEHEMU A. IMLA

  1. Sikiliza vizuri sentensi mwalimu akazosoma kisha ziandike katika nafasi uliyopewa
  1. Wanafunzi wanalima shamba letu
  2. Kifaru ameuliwa na wawindaji
  3. Charo ametimuliwa shuleni na wenzake
  4. Sikukuu ya iddi imekaribia
  5. Mvua za vuli huwa sio nyingi

SEHEMU B. MSAMIATI

  1. Chagua jibu sahii kati ya majibu uliyopewa katika kila swali
  1. Mtoto aliyefiwa na wazazi wote huitwa ____________ 
  1. Yatima 
  2.  Mjinga 
  3.  Maskini 
  4.  Mkiwa. 
  1. Mtoto wa ng’ombe huitwa__________________ 
  1. Ng’ombe 
  2. Ndama 
  3.  Kang’ombe 
  4. Mwana wa ng’ombe 
  1. Chumba ______________ni kichafu. 
  1. Hichi 
  2. Hizi 
  3.  Hiki 
  4. Hili. 
  1. Neno KINYWA lina silabi ngapi? 
  1. Nne 
  2. Mbili 
  3.  Tatu 
  4. Tano. 
  1. Kesho _________mpira uwanjani. 
  1. Tutacheza 
  2. Tumecheza 
  3. Tulicheza 
  4.  Tunacheza.

SEHEMU C Alama 10

  1. Kamilisha methali, nahau na vitendawili vifuatavyo;
  1. Mezea mate ina maana…………………………………………………………………………………………………………….
  2. Kuuliza sio…………………………………………………………………………………………………………………………………
  3. Askari mfupi amesimama mlangoni……………………………………………………………………………………….
  4. Popoo mbili za vuka mto…………………………………………………………………………………………………………
  5. Baada ya dhiki………………………………………………………………………………………………………………………..

SEHEMU D. Alama 10

  1. Panga sentensi zifuatazo hili kuleta maana.
  1. Hata hivyo hakushirikiana na wenzake
  2. Kila mtihani walioufanya alikuwa wa kwanza
  3. Juma alikua anasoma darasa la tatu
  4. Wenzake walimwonea gere kwa sababu ya weledi wake.
  5. Alikua kijana mwerevu sana

SEHEMU E. Alama 10

  1. Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali yafuatayo

Watoto wengi wa siku hizi hawapendi kusoma. Hasa kama wazazi wao wana fedha nyingi. Siku moja mwalimu Benson alimwambia Mwakanida aache kuringa. Atafute elimu kwa bidii ili aje awe mtu wa kujitegemea. Asitegemee mali za baba yake. Maneno ya mwalimu yalimvunja moyo kabisa. Mwakanida akazidi kuwa mvivu.

  1. Watoto wasiopenda kusoma ni _______________ A. Watoto wa maskini B. Watoto wa mjini     C. Watoto wa matajiri.
  2. Maana ya nahau vunja moyo ni _______________ A. Kushangaa B. Kutamani C. Kukata tamaa
  3. Mtoto wa tajiri anaitwa __________________ A. Mwalimu B. Mwakanida   C. Benson.
  4. Neno kuringa maana yake ni _______________ A. Kiburi B. Kujiona C. Kudharau.
  5. Kifungu hiki cha hadith kinatufunza nini?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 9

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA TATU

MUDA: 1.30      

MAELEKEZO

SEHEMU A. IMLA

ANDIKA MANENO YAFUATAYO( MZAZI/MLEZI ATAJE MANENO)

  1. ………………………………………………… ………………………… ……… …………………
  2. …………………………………… ……………………… ……… ……… …………… ……………
  3. ………………………… …………………………… ……………… ……………… ………………
  4. ……………………………… ……………………………… ……………… ………… ……………
  5. ……………………… ……………………………… …………………… …………… ……………

SEHEMU B. CHAGUA JIBU SAHIHI.

  1. Ndani ya pochi la mama aliweka nguo…………………………..
  1. Lake
  2. Yake
  3. Zake
  4. Zao
  1. Baraka na anna walipewa…………………….
  1. Adabu
  2. Adhabu
  3. Azabu
  4. Athabu
  1. Viatu……………..ni vyangu
  1. Yote
  2. Yoyote
  3. Vyote
  4. Wingi
  1. Ukipika vyakula………………………………………. Vitaharibika
  1. Kingi
  2. Vingi
  3. Mingi
  4. Kichache
  1. Lipi kati ya mazao haya ni nafaka?
  1. Mahindi
  2. Nazi
  3. Pamba
  4. Kahawa

SEHEMU C. 

Andika neno moja linaloendana na yafuatayo

a)    Pikipiki, ndege, baiskeli, gari

b)   Maembe, fenesi, nanasi, chungwa

c)    Sketi, kaptula, suruali, shati

d)   Ng’ombe, mbuzi, kondoo, paka, 

e)    Kaka, mjomba, bibi, binamu.

SEHEMU D.

Andika sentensi zifuatazo katika hali ya wingi

  1. Mfuko huu ni mkubwa
  2. Meza hii ni safi
  3. Nyumba hii ni nzuri
  4. Kitabu hiki ni kidogo
  5. Jiwe hili ni kubwa

SEHEMU E.

Malizia methali zifuatazo;

  1. Mvumilifu…………………………………………………………………………………
  2. Kuuliza………………………………………………………………………………………
  3. Mwenda pole………………………………………………………………………………
  4. Siku za mwizi………………………………………………………………………………
  5. Akiba……………………………………………………………………………………………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZKISWAHILI STANDARD THREE EXAM SERIES 2

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256