OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII - MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SABA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
SEHEMU A.
1. Ni madini yapi yanayopatikana Tanzania pekee?
2. Uvuvi usio endelevu hufanyika kwa kutumia:
3. Kuna makundi mangapi ya uoto wa asili?
4. Lengo kuu la mabadiliko ya katiba ya Tanzania mwaka 1962 yalikuwa
5. Umoja wa Afrika ulianzishwa rasmi mwaka gani?
6. Ubugabire ni mfumo wa Umwinyi uliajengwa juu ya umiliki wa:
7. Mfumo wa kwanza ambapo jamii ilimiliki njia zote za uzalishaji kijamaa huitwa :.............
8. Ipi ni athari ya ongezeko kubwa la watu?.................
9. Tatizo kubwa linalowakabili wakulima wengi wa Afrika Mashariki ni pamoja na ................
10. Milima mikunjo hutokea katika maeneo yenye...............
11. Janga la kimazingira linalosababishwa na nguvu za asili pekee linaitwa
12. Wakati wa mvua kubwa inayoambatana na radi, watu hawaruhusiwi
13. Rais Julius Kambarage Nyerere na Kwame Nkurumah walikuwa
14. Kwa nini vita vya Maji Maji vilitokea?..............
15. Binti wa shangazi yako huitwa................
16. Ni lini binadamu alianza kuchoma misitu iii kuwafukuza wanyama wakali?.................
17. Mwanzilishi wa mfumo wa utawala wa mlango wa nyuma katika Afrika alikuwa ...
18. Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884-1885 uliitishwa na ..
19. Familia hujumuisha
20. Moja ya athari mbaya ya utandawazi kwa Tanzania ni ...
21. Utawala wa sheria maana yake ni ...
22. Kuzingatia sheria, haki za bianadamu, ukweli na uwazi, na uhuru wa vyombo vya habari ni misingi ya
23. Mwenyekiti wa kikao cha maendeleo katika kata ni .
24. Mto uliooneshwa kwa herufi E unaitwa:
25. Mlima maarufu unaopatikana katika eneo lenye herufi C huitwa:
26. Nchi inayooneshwa kwa herufi B ni maarufu kwa uzalishaji wa madini yanayoitwa:
27. Ongezeko Ia joto duniani, ukame, mafuriko na vimbunga ni matokeo ya athari zitokanazona
28. Faida ya ushirikiano kati ya shule na jumuiya inayozunguka shule ni pamoja na:
29. Ni hatua zipi wanafunzi wanatakiwa kuchukua wanapoona katika eneo la shule wageni wanaowatilia shaka?
30. Uchumi wa soko huria, ushindani wa kidemokrasia katika siasa na kukua kwa teknolojia ya habari na mawasiliano ni viashiria vya
31. Rangi nyeusi katika bendera yetu huwakilisha:
32. Sababu kubwa ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi Tanzania ni:
33. Haki ya kumiliki mali iko katika kipengele kipi cha haki za binadamu?
34. Ulinzi na usalama wa taifa letu ni jukumu la:
35. Utandawazi ni mfumo unao hamasisha:
36. .Mojawapo ya udhaifu wa Umoja wa Mataifa ni:
37. Mkutano wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika:
38. Katika zama za mawe za mwisho ugawanyaji majukumu katika jamii ulifanyika kwa misingi ya:
39.Utawala waWaingereza nchini Tanganyika uliisha mnamo .....
40. Watangulizi wa kwanza wa ukoloni kuwasili Zanzibar na Tanganyika walikuwa:
41. Mataifa ya Ulaya yaliyokuwa yakipigania Mto Nile yalikuwa:
42. Tunapataje idadi ya watu katika sehemu fulani?
43. Mojawapo ya sababu za kuongezeka kwa idadi ya watu na kuzaliana ni:
44. Ni yapi kati ya madini yafuatayo ambayo ni chimbuko Ia nishati ya kinyuklia?
45. Mikoko ni aina ya uoto upatikanao pembezoni mwa:
SEHEMU B
Jibu maswali yafuatayo kwa kuandika jibu lililo sahihi.
46. Nini maana ya ujasiriamali?
47. Taja tabia mbili za wajasiriamali
48.Taja changamoto mbili zinazowakumba wajasiriamali Tanzania.
49. Taja fursa za kibiashara zinazopatikana katika ufuo wa bahari
50. Mfanyabiashara sio mjasiriamali, eleza.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SEVEN MAARIFA EXAM SERIES 10
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI - MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SABA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHIHI KUTOKA YALE ULIOPEWA.
1. Usafirishaji wa chakula mwilini hufanywa na:
2. Tazama kwa makini kielelezo namba 2 kisha jibu maswali yanayofuata:
Alama Y inawakilisha sehemu iitwayo:
3. Lipi kati ya magonjwa yafuatayo huambukizwa kwa njia ya kujamiiana?
4. Lipi kati ya mafungu yafuatayo ya vyakula hulinda mwili?
5. Umuhimu wa asidi ya haidrokloric katika tumbo ni:
6. Kipi kati ya vifuatavyo vinapaswa kudumishwa?
7. Mbungo husababisha ugonjwa uitwao ....
8. Tunaweza kujikinga na magonjwa ya moyo kwa kufanya yafuatayo: .......
9. Ili kujikinga dhidi ya malaria ni muhimu .........
10. Mojawapo ya kazi za misuli katika mwili ni:
11. Lipi kati ya mambo yafuatayo si sahihi kumfanyia mtu aliyebanwa misuli?
12. Huduma ya kwanza anayopewa mtu aliyezimia ni:
13. Mtandao wa watu wenye virusi vya UKIMWI unatanuka kwa kuwa
14. Mwanga hupinda unapopita kutoka
15. Hewa ya kabonidaiyoksidi hutumika kuzima moto kwasababu:
16. Mifupa imeundwa kwa madini ya:
17. Sumaku inaweza kuvuta vitu vyenye asili ya:
18.Katika kurunzi, nishati ya umeme inayotoka kwenye betri hubadilishwa na kuwa:
19.Mojawapo ya hatua za kufuata unapoandaa jaribio la kisayansi ni:
20. Lipi kati ya magonjwa yafuatayo husambazwa na inzi na mende?
21. Lipi kati ya yafuatayo linapaswa kuzingatiwa kabla ya kumhudumia mgonjwa wa UKIMWI?
22. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...
23. Tunaweza kusababisha mmomonyoko wa ardhi kwa kufanya mojawapo ya mambo yafuatayo:
24. Tazama mchoro ufuatao unaoonesha sehemu za ndani za mbegu ya haragwe....
Ni sehemu ipi inayohusika na kuilinda mbegu isiharibiwe na wadudu waharibifu mabadiliko ya jotoridi?
25. Hatua ya kwanza ya utafiti wa kisayansi ni
26. Bahati aliweka karatasi nyekundu ya litmus kwenye myeyuko asioutambua. Rangi ya karatasi ya litmas ilibadilika na kuwa bluu.Hii inaonesha kuwa myeyuko ule ulikuwa .........
27.Nini kitatokea iwapo ncha mbili za KASKAZINI za sumaku zitaletwa pamoja?
28. Dhana ya kuakisiwa kwa mwanga inadhihirika katika moja ya vifaa vifuatavyo:
29. Ipi kati ya vifuatavyo huzunguka dunia toka magharibi kwenda mashariki?
30. Mojawapo ya kazi za mifupa ni kutengeneza:
31. Uhuru ana tatizo la meno yanayovunjika na miguu dhaifu. Ni virutubisho gani utamshaufi atumie ili kutatua tatizo lake hili?
32. Kazi ya uta mgongo katika mfumo wa fahamu wa mwanadamu ni
33. Katika hali ya kawaida, kutu ni matokeo ya mjibizo wa athari za kikemikali kati ya:
34. Njia zifuatazo huweza kutumiwa kuhifadhi vyakula na mazao ili visiharibike ISIPOKUWA:
35. Yafuatayo ni makundi ya vyakula isipokuwa:
36. Mlishano sahihi ni:
37. Sehemu tatu kuu zinazounda mfumo wa damu ni:
38. Matatizo katika mfumo wa uzazi wa wanawake hutokana na upungufu wa hol zifuatazo
39. Lipi kati ya makundi yafuatayo ni sifa zinazotumika kutambua wanyama wa kundi la reptilia?
40. Kukosekana kwa chanikiwiti katika mmea huweza kusababisha:
41. Sehemu ya chembe hai inayohusika na kutawala shughuli zote za chembe hai huitwa:
42. Sehemu ya kike ya ua inayohusika na uzazi ni:
43. Tofauti kati ya tunda na mbegu ni:
44. Vyakula vyenye kabohaidreti huwezesha mwili:
45. Mapumziko baada ya kazi ni muhimu kwa sababu gani?
SEHEMU B. Jaza nafasi zilizowazi kwa kutoa majibu mafupi.
46. (a) Taja mahitaji mawili muhimu kwa ukuaji wa mimea
(b) Mapacha wanaofanana wanatokana na nini…………………
47. Sumaku ni nini?
48. Eleza matumizi ya sumaku
49. Mkondo waumeme unapimwa na kifaa kinaitwa………………………..
50. Kizio cha mkondo wa umeme ni? ..............................................
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SEVEN SAYANSI EXAM SERIES 9
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SABA
MUDA: 1.30 DARASA LA VII
MAELEKEZO
SEHEMU : A SARUFI
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha uiandike kwenye karatasi ya kujibia uliyopewa
1. Wingi wa neon uteo ni nini?
2. Kitenzi “anapigwa” kipo katika kauli gani?
3. Wingi wa neon “paka” ni ipi?
4. Kisawe cha neon bahati ni kipi kati ya maneno yafuatayo?
5. Ni neon lipi kati ya haya yafuatayo halilandani na mengine?
6. Juma aliondoka hivi punde; maneno “hivi punde” yanamaana gani?
7. Sweta langu limeshonwa na fundi mzoefu, “mzoefu” ni aina gani ya neon?
8. Mlinzi wa mlango huitwaje?
9. Neno lipi tofauti na mengine katika maneno yafuatayo?
10. Nywele zinazoota kuanzia kwenye maskio mpaka kwenye mashavu huitwa?
11. Sehemu ngo’mbe huogeshwa hili kuwaepusha na magonjwa hutwa?
12. Joshua yupo jikoni anapaa samaki. Neno anapaa kama lilivyo tumika katika sentensi lina maana gani?
13. Siku ya nne baada ya leo huitwa?
14. Msemo usemao “kushikwa sikio” una maana ipi?
15. “Bwana mkubwa amelala ndani lakini ndevu zipo nje zapepea” Jibu sahii la kitendawili hiki ni
16. Kisawe cha eupe ni kipi?
17. Kimatu ni motto wa nani?
18. Kitenzi “piga” kikiwa katika hali ya kutendeka kitakua neon lipi?
19. “Sote tunafanya mtihani darasani” Neno darasani limetumika kama aina gani ya neon?
20. Ni sentensi ipo sahii kimuundo katika zifuatazo?
SEHEMU B. LUGHA YA KIFASIHI.
Katika swali la 21-30, andika jibu sahili la kila swali.
21. Watoto wa mfalme ni rahisi kujificha” Jibu la kitendawili hiki ni………..
22. Kamili methali. “Heri kufa macho kuliko…………
23. Anatengeneza mchuzi mtamu sana lakini hapiki jikoni. Lipi jibu la kitendawili hiki?
24. Nimeugua kwa muda mrefu sana, lakini sasa ni…………wa afya. Neno lipi linakamilisha sentensi hii?
25. Wakikua mama yao huwatupa mbali kwa kishindo. Jibu la kitendawili hiki ni lipi?
26. Kamilisha methali hii.Mwamba ng’oma……………
27. Tegua kitendawili kifuatacho. “Nyumbani kwangu kuna jini mnywa maji”
28. Ni methali ipi kati ya hizi inafanana na isemayo, mwenda pole hajikwai?
29. Methali isemayo, “mgaagaa na upwa hali wali mkavu inatoa funzo gani?
30. Methali ipi kati ya hizi haitoi onyo kuhusu tabia ya mtu?
SEHEMU C. UFAHAMU.
Soma kifungu kifuatacho kwa makini kasha jibu maswali 31-40.
Jua lilikuwa linaunguza mithili ya moto. Hapakuwa na nyasi wala miti iliyokuwa na majani ya rangi ya kijani.Kila uoto ulikuwa wa rangi ya kahawia kavu! Aidha kupata tone la maji ya kunywa ilikuwa ndoto kwani mito na visima vyote vilikauka kau.Baada kuhangaika kwa njaa na kiu, ndipo wanyama waliamua waitishe mkutano ili wajadili hatua ya kuchukua. Makundi • ya wanyama wa aina mbalimbali walikutana chini ya mbuyu. Swala, nyani, mbawa na tembo wote walikuwepo.
"Kama mjuavyo mimi ndimi mfalme wa wanyama wote.Niungurumapo hapana achezae kwa hiyo bila shaka mtakubali kuwa mimi ndiye mwenyekiti wa mkutano huu."alitangaza simba.Wanyama wote walitazamana na kutikisa vichwa kwa ishara ya kuafiki. Kisha alisimama na kusema "Mheshimiwa mwenyekiú, jana nilisikia mlindimo toka upande wa magharibi. Hivyo ninashauri sote tuhame na kuelekea upande huo ili tuokoe maisha yetu kwani huko kuna dalili ya mvua."Wanyama wote waliunga mkono hoja hiyo,isipokuwa kobe ambaye alisema, "mheshimiwa mwenyekiti, endapo kweli tumeazimia kuhama, sisi akina kobe tunaomba mtubebe kwani kasi yetu ya kutembea ni ndogo mno."
Baada ya kila mnyama kutoa rai yake ,Mwenyekiti alisimama na kusema, "Nimesikia yote mliyosema, kabla ya kuanza kuhama nakutuma wewe ngombe upeleke ujumbe wetu kwa binadamu ili waache kuharibu mazingira, kwani hicho ndicho kiini cha matatizo yanayotusibu.Wewe ni kiungo baina yetu na binadamu." ngombe alikubali.
Baada ya kufika ujumbe ule, binadamu alijibu kuwa alikwishaelewa tatizo Ia mazingira na tayari alikuwa na mpango kabambe wa kuchinja mifugo yote ili kutekeleza ushauri wa wataalamu wa mazingira wa kuiokoa dunia na janga Ia jangwa. Kusikia hivyo ngombe alichanja mbuga kuelekea kwa wanyama wengine.
31. Kwa mujibu wa habari uliyo soma, mkutano wa wanyama ulifanyika wapi?
32. Mwenyekiti wa mkutano wa wanyama alikuwa nani?
33. Hali ya kukauka kwa mito,visima nyasi na miti kunakutokana na ukosefu wa mvua inaitwaje?
34. Jina lingine Ia mnyama aliye washauri wanyama wote kuhamia upande ambako kulikuwa na dalili ya mvua ni lipi kati ya yafuatayo.
35.Katika habari uliyo soma sababu iliyomfanya kobe kutoafiki moja kwa moja hoja ya kuhama ni ipi?
36. kwa mujibu wa habari hii ,uharibifu mkubwa wa mazingira hufanywa na nani?
37. Neno lipi kati ya yafuatayo lina maana sawa na neno janga?
38. Kifungu cha maneno "alichanjambuga"kinamaana gani?
39. Binadamu alikusudia kuchinja wanyama wa aina gani
40. Kichwa cha somo uliyosoma kingefaa kiwe kipi?
SEHEMU D. USHAIRI
Soma kwa makini shairi lifuatalo kisha jibu maswali 41 - 46 kwa kuweka kivuli katika herufiya jibu.
Nimekwisha peleleza, karibu kila mahali,
Mule wanamotangaza, matangazo lugha mbili, Juu kuwa Kingereza, Chini kuwa Kiswahili, Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
Kitangazwe Kingereza, baada ya Kiswahili
Hivi tutapotimiza, lugha itakuwa ghali,
Hivi mnavyofanyiza, sana mnaidhalili,
Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza
Serikali bembeleza, tafakari tafadhali,
Jambo hili kueleza, kwa zingine serikali Kiswahili kutangaza, kuwa Chini twakidhili Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
Tuache kukipumbaza, kwa andiko au kauli, Kwa nyuma kukisogeza, kukipa kisulisuli,
Lazima kuyafukuza, yawezayo kikatili,
Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza
Na wenyewe kujikaza, kwa bidii za kimwili kiswahili kutukuza, tukivalie bangili,
Ngomani kutumbuiza, waume na wanawali Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
41. Katika shairi hilo mstari wa pili katika ubeti wa pili una mizani mingapi?
42. Katika ubeti wa nne, vina ni vipi?
43. Kituo ni kipi katika shairi hili?
44. Shairi hili linahimiza kuhusu nini?
45. Ujumbe unaopatokana katika shairi hili unafanana na methali ipi?
46. Kutokana na shairi ulilosoma neno "kutukuza” lina maana ipi?
SEHEMU D. UTUNGAJI
Panga sentensi nne (4) zifuatazo hili ziwe kwa mtiririko wenye mantiki kwa kuzipa herufi A, B,C na D.
47. Zizi hilo limegawanywa katika sehemu mbili
48. Baba yangu anafuga mbuzi Ng’ombe na kondoo
49. Nje ya nyumba yetu kuna zizi kubwa
50. Sehemu moja ni ya ngo’ombe na nyingine ni ya mbuzi na kondoo.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SEVEN KISWAHILI EXAM SERIES 8
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SEVEN
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
SECTION A. GRAMMAR.
Choose the words that complete the sentences by shading the letters of the correct answer.
1. He always ………………………………..when he was young
2. The snake………………….by Mrs. Mwenda
3. If you…………….hard you will pass your examinations
4. My brother’s daughter is my………………………..
5. The girl…………….came here yesterday is my daughter
6. Most children go to school…………………….foot
7. Girls like to go out alone at night……………………….
8. Arusha and Dar es salaam are ………………………..business centers
9. The headmaster has been waiting for the watchman ………………one hour
10. My father ………..the car he bought
11. Many people………………….cassava next season
12. Our sister………………….her left leg last year.
13. My car looks dirty but yours looks …………
14. Usually the sun …………in the west..
15. Dan is a slow driver. He …………to drive more carefully.
16. The books…………………….on the shelf
17. The national football team…………….won the match.
18. Many living things are ...............animals or insects
19. The pen on the desk belongs to me, so it is
20. The fire that .................. the whole village started from here.
21.The fire that .................. the whole village started from here.
22.The fire that .................. the whole village started from here.
23.The girl who picked flowers started with the................... beautiful to the least beautiful ones.
24. Chausiku does all the home work ... she wants to be first in class.
25. The lazy pupils _____________ their homework.
26. Every year, Tanzania ___________ a lot of visitors from different countries all over the world.
27. He will not pass his examination _____________ he works hard
28. David and Willy were preparing _____________ to go to school.
29.My sister has bought _____________new dress.
30. The patient had died ……………….lack of water
SECTION B. VOCABULARY.
31. A person who meants shows is called
32. A gun is a ……………………..
33. A person who tests and treats people eyes is called
34. A doctor works in a………………..
35. Gold, diamond and tanzanite are……….
36. A group of birds flying together is called;
37. He cuts and sells meat……………..
SECTION C. COMPOSITION WRITING,
Arrange the following sentences to give a meaningful sentences by giving them letters A-D.
38. While in Dar es salaam, they wrote about what they have seen
39. When they returned home, they told their friends about their enjoyable journey
40. Ali and his friends were excited by their trip to Dar es salaam Trade Fair
41. At the fair, they saw a lot of displays
SECTION D. COMPREHENSION
Read the following passage carefully and then answer the questions that Follow.
Lilato had a dream. He dreamt that someone gave him an egg. He was very happy and started wondering what to do with it. He thought of either eating it or keeping it in his pocket so that it would be warm and finally hatch and become a chick.
He thought of how this chick would grow into a hen and lay more eggs which will also hatch into more chickens. He would then sell some of those chickens and become a rich man. After getting a lot of money, Lilato thought of building an iron roofed house with glass windows. It would be a beautiful and big house.
While dreaming, Lilato walked excitedly. He jumped and the egg fell from his pocket and broke. He cried, saying that he will never be a rich man. Suddenly, he woke up and thanked God that it was only a dream.
42. Lilato decided to……………………the eggs
43. The people usually dream when they are………………….
44. Lilato was happy because he was given;
45. Lilato thought he could get a lot of money by;
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SEVEN ENGLISH EXAM SERIES 7