STANDARD FOUR MIDTERM SERIES

PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT

STANDARD FOUR MID TERM EXAMINATIONS- APRIL 202O

TIME : 1:30 HOURS

SOCIAL STUDIES

INSTRUCTIONS

 1. This Examinations Consists Of 25 Questios
 2. Answer All Questions
 3. Write Your Answers In Capital Letters
 4. Make Your Work Legible

SECTION A.

Choose the correct answer from the Alternatives given

 1. Who is responsible for protecting the environment?
 1. Teachers
 2. Villagers
 3. government
 4. all citizens
 1. Which activity below contributes to environmental pollution?
 1. Farming
 2. Cutting of trees
 3. Planting of flowers
 4. Bee keeping
 1. Which of these is a modern way of keeping records
 1. Cupboard
 2. Library
 3. Desk
 4. Computer
 1. Atmospheric pressure is measured by use of;
 1. Hygrometer
 2. Anemometer
 3. Thermometer
 4. Barometer
 1. Which of these is not a sign of rain?
 1. Heavy clouds
 2. Strong wind
 3. Thurnder and lighting
 4. Hot sun

2. SECTION B.

Fill the spaces with the correct answer

 1. Human body temperature is measured by use of… … … … … … … … … … ..
 2. One of the effects of heavy rains is… … … … … … … … … … … … … .
 3. Four elements of weather are… … … … … … … … … … … … … … … … ..
 4. Weather of a place changes from… … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … ..
 5. What do we call a place where things are made such as furniture… … … … …

3.SECTION C.

Write True for a True Statement and False for a false statement

 1. Keeping large number of livestock in small area prevent environmental degradation… … … … .
 2. The environment should be taken care by students only … … … … …
 3. You can takes notes for an event using a pen and a book
 4. One way of preventing rainfall hazards is by cutting all trees
 5. Property destruction and death of living things is one effects of floods… … … … .

4. SECTION D.

Match items in list A with items in List B

List A

List B

 1. Clouds that cause rain
 2. Main source of rivers, ocean and lakes
 3. Atmospheric pressure
 4. Farming done throughout the year
 5. Signs of rainfall
 1. Hygrometer
 2. Red clouds
 3. Anemometer
 4. Heavy clouds, lighting
 5. Dark clouds
 6. Heavy rains distributed throughout the year
 7. Availability of water for irrigation

5. SECTION E.

 1. What do you understand by the term weather?.......................
 2. Name five signs of rainfall… … … … … … …

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SOCIAL EXAM SERIES 7

PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT

STANDARD FOUR MID TERM EXAMINATIONS- APRIL 202O

TIME : 1:30 HOURS

SCIENCE

INSTRUCTIONS

 1. This Examinations Consists Of 25 Questions
 2. Answer All Questions
 3. Write Your Answers In Capital Letters
 4. Make Your Work Legible

SECTION A. Choose the correct answer from the Alternatives given

 1. Which of the following is not a living organism?
 1. Virus
 2. Animals
 3. Plants
 4. Insects
 1. Which of the following does not constitute an environment of living Things
 1. Soil
 2. Rivers
 3. Lakes
 4. Atmosphere
 1. Which among the following diseases is not caused by dirty water?
 1. Malaria
 2. bilharzia
 3. Typhoid fever
 4. Cholera
 1. Mtera water falls are found in which region?
 1. Morogoro
 2. Iringa
 3. Mbeya
 4. Kilimanjaro
 1. Which of these objects is not opaque?
 1. mirror
 2. wood
 3. wall
 4. book

2. SECTION B

Fill the empty spaces with the correct answer

 1. A dark region found on the other side of the opaque object when light is projected is called…………… ………………
 2. Charged particles are called……………… 
 3. The ability  of light rays to bounce back on a shinny object is called…………
 4. Objects which allow light to pass are called……………… 
 5.  Combustible substance that is burnt to produce energy to run machines is called…………….

3.SECTION C.Write True for a true statement and False for a false statement 

 1. Rays of light bend when they pass through one medium to another………………………………………..
 2. Light travels in a straight line………………………………………………………………
 3. Electricity cannot pass through a circuit if the circuit is closed or wire is broken…………………… …………………………… 
 4. Waste like metals can be recycled………………… ……………… 
 5. Water has no colour or smell…………… …………………… 

4.SECTION D.Match items in list A by choosing the correct response from list B

List A

List B

 1. Shadow
 2. radiation
 3. Straight line
 4. Opaque
 5. Two transparent medium
 1. Property of light
 2. Bouncing back of rays upon landing on shine surface
 3. Dark image formed when light is blocked
 4. The ways sun’s rays travels
 5. Makes light to bend
 6. Effects of reflection of light

5. SECTION EWrite down fives uses of electricity

 1. ……………………… ………………………… 
 2. ……………………… …………………………… 
 3. …………………… ……………………… 
 4. ………………………… …………………………… 
 5. ………………………………… …………………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SCIENCE EXAM SERIES 6

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NINE

APRILI-2020   MUDA:SAA 1:30

URAIA NA MAADILI

MAELEZO KWA MTAHINIWA

 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHII

 1. Kiongozi mkuu wa familia ni?
 1. Mama
 2. Baba
 3. Kaka
 4. Dada.
 1. Maneno UHURU na UMOJA hupatikana katika?
 1. Mwengu wa uhuru
 2. Bendera ya taifa
 3. Ngao ya taifa
 4. Mlimakilimanjaro
 1. Wimbo wa taifa una beti ngapi?
 1. Mbili
 2. Tatu
 3. Nne
 4. Tano
 1. Mnyama wa taifa ni….
 1. Tembo
 2. Twiga
 3. Kifaru
 4. Samba
 1. Bendera ya Taifa ina rangi ngapi?
 1. Tatu
 2. Tano
 3. Nne
 4. Sita

2. SEHEMU B. JAZA JIBU SAHII

 1. Viranja wa shule huchaguliwa na……… ………….
 2. Ikulu ni …………… …………….ya rais
 3. Katibu katika kikao cha kamati ya shule ni…………… ………………
 4. Bendera ya taifa inaweza kupandishwa nusu mlingoti wakati gani………..
 5. Vitu vya dhamani alivyonavyo mtu au nchi…………… ……………… 

3. SEHEMU C. Andika ndio au hapana

 1. Jukumu la ulinzi na usalama ni jeshi la Tanzania…………… 
 2. Bendera ya rais ina rangi ya bluu…………… 
 3. Utoro wa wanafunzi shuleni uchangia kufeli mtihani…………… 
 4. Jukumu la kuiletea shule sifa nzuri siyo la wanafunzi bali ni la walimu tu………… ……..
 5. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya alama za taifa………… 

4. SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

 1. Demokrasia
 2. Utawala bora katika familia
 3. Kazi mojawapo ya serikali ya kijiji
 4. Inawakilisha uhuru na nuru
 5. Maandishi yenye kauli mbiu Uhuru na Umoja yanapatikana hapo.
 1. Kuhakikisha wanakijiji wanapata huduma za jamiii
 2. Eneo lililopo mjini
 3. Wazazi kuwashirikisha watoto wao kufanya maamuzi katika familia
 4. Kiongozi uchaguliwa kwa kupigiwa kura
 5. Nembo ya taifa
 6. Mwenge wa taifa

5. SEHEMU E. Andika ubeti wa pili katika wimbo wa taifa.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 5

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NNE

APRILI-2020   MUDA:SAA 1:30

SAYANSI

MAELEZO KWA MTAHINIWA

 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. SEHEMU A.CHAGUA JIBU SAHII

1. Kipi kati ya hizi sio mfano wa kiumbe hai?

 1. Virusi
 2. Wanyama
 3. Mimea
 4. Wadudu

2. Yafuatayo ni mazingira ya viumbe hai, isipokua,

 1. Udongo
 2. Maji  ya mito
 3. Maziwa
 4. Anga.

3. Ni ugonjwa upi ambao hausababishwi na maji machafu?

 1. Malaria
 2. Kichocho
 3. Homa ya matumbo
 4. Kipindupindu

4. Maporomoko ya mtera yanapatikana mkoa gani?

 1. Morogoro
 2. Iringa
 3. Mbeya
 4. Kilimanjaro

5. Kipi kati ya hizi ni kinza nuru?

 1. Kioo
 2. Mbao
 3. Ukuta
 4. Kitabu.

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

 1. Sehemu yenye giza inayopatikana upande wa pili wa kitu kisichopitisha mwanga huitwa……………….
 2. Chembechembe zenye chaji hasi huitwa…………
 3. Tabia ya kurudisha miale ya mwanga kutoka kwenye kitu chenye sira nyororo na inayong’aa…………
 4. Vitu vinavyoruhusu manga kupita huitwa……………………………………………………..
 5. Maada inayounguza kwa kutoa nishati inayotumika kuendesha mitambo huitwa…………….

3.SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

 1. Miale ya jua upinda inapotoka midia moja kwenda midia nyingine angavu………… ……………… …………..
 2. Mwanga usafiri katika mstari uliopinda…… ……………………
 3. Umeme hautiririki kwenye sakiti endapo waya umekatika au swichi imezimwa………… ………………
 4. Taka kama vyuma zinafaa kwa urejerezi……… …… ………...
 5. Maji katika hali yabisi hayana ladha wala harufu… … …………… …………..

4.SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

 1. Kivuli
 2. Panda
 3. Mstari mnyoofu
 4. Akisi
 5. Midia angavu mbili tofauti
 1. Sifa ya mwanga
 2. Miale ya mwanga kurudishwa baada ya kutua kwenye uso unaong’aa
 3. Umbo lenye giza linalotokea baada ya mwanga kuzuiwa na kitu
 4. Namna ambayo miale ya jua usafiri
 5. Husababisha mwanga kupinda
 6. Ni matokeo ya kuakisiwa kwa mwanga.

5. Sehemu E.

Orodhesha matumizi matano ya nishati ya umeme.

 1. ……… ……… …………… …… …………
 2. ………………… ……………… ……………
 3. ……… ………………………… ………....
 4. …………………… …………… ………
 5. …………… ……… ……… ……………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 4

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NNE

APRILI-2020     MUDA:SAA 1:30

MAARIFA YA JAMII

MAELEZO KWA MTAHINIWA

 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.

A. SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHII

 1. Jukumu la kutunza  mazingira ni la;
 1. Waalimu
 2. Wanakijiji
 3. Serikali
 4.  Raia wote
 1. Ni kitendo kipi kinachangia kuharibu mazingira?
 1. Kulima
 2. Kukata miti
 3. Kupanda maua
 4. Ufugaji wa nyuki
 1. Ni njia ipi ya kisasa ya kutunza kumbukumbu  za matukio shuleni?
 1. Kabati
 2. Maktaba
 3. Dawati
 4. Computa
 1. Mgandamizo wa hewa unapimwa kwa kutumia;
 1. Haigromita
 2. Anemomita
 3. Thamomita
 4.  Baromita
 1. Ipi ambayo sio dalili za mvua?
 1. Mawingu mazito
 2. Upepo mkali
 3. Ngurumo na radi
 4. Jua kali

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

 1. Joto la binadamu upimwa kwa kifaa kinaitwa…………………………..
 2. Mojawapoya madhara ya mvua nyingi ni……… …………….
 3. Vipengele vine vya hali ya hewa ni………… ………………..
 4. Hali ya hewa inabadilika…………… …… ..
 5. Sehemu panapotengenezwa na kuundia vitu panaitwa……………

3.SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

 1. Mifugo mingi katika eneo moja uzuia uharibifu wa mazingira………….
 2. Mazingira hutunzwa na wanafunzi tu… …………… ………
 3. Unaweza kuchukua nukuu za  matukio kwa kutumia daftari na kalamu… ……
 4. Namna moja wapo ya kujikinga na madhara ya mvua ni kukata miti yote… …….
 5. Uharibu wa mali na vifo kwa viumbe ni matokeo ya adhari za mvua nyingi… ….

4. SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

 1. Mawingu yenye kuleta mvua
 2. Chanzo kikuu cha miti, maziwa na bahari
 3. Mgandamizo wa hewa
 4. Kilimo cha wakati wote
 5. Dalili ya mvua
 1. Haigromita
 2. Mawingu mekundu
 3. Anemomita
 4. Mawingu mazito, radi
 5. Mawingu meusi
 6. Mvua za mara nyingi
 7. Kupata maji ya kukuza mimea.

5. Sehemu E. 

 1. Nini maana ya hali ya hewa?.... ......
 2. Taja dalili tano za mvua unazozifahamu

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR MAARIFA EXAM SERIES 3

OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NINE

APRILI-2020  MUDA:SAA 1:30

KISWAHILI

MAELEZO KWA MTAHINIWA

 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.

SOMA HABARI IFUATAYO KISHA UJIBU MASWALI.

 Hapo zamani palikuwa na watu waishio katika kijiji kimoja kiitwacho shukajeni. Siku  moja  kijiji hicho kilipatwa na kipindi cha njaa  ambapo hawakuwa na  chakula cha kula ilikupata  nguvu ya kuwinda wanyama. Ikatokea mvulana mmoja ambaye alikuwa shujaa katika kijiji kingine ambacho kilikuwa jirani na Shukajeni . Alipo ingia katika shukajeni alisali na kuomba dua hadi kijiji hicho kikapata chakula  cha kula na kupata nguvu.

Kisha mvulana huyo shujaa akafanywa kuwa kiongozi  wa kijiji hicho.

JIBU MASWALI YAFUATAYO.

   1.Katika kijiji hicho kazi yao ilikuwa nini? …

2.Kipindi  gani  kilizuka katika kijiji hicho?   … … … … … … ..

3.Kwa nini mvulana  aliye kuja katika  kijiji cha Shukajeni aliteuliwa  kuwa  kiongozi?   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … .

4.Umejifunza nini  kutokana na habari uliyoisoma?   … … … … … … … … … … … … .....

5.Jiji lao lilikuwa laitwaje?       … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … .              

TUNGA SENTENSI KWA KUTUMI A  MANENO YAFUATAYO.

6. shujaa       … … … … … … … … … … … … … … … … ..

7. kuwinda   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

8.njaa   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

9. kula  … ....................................... ............... ....................... .............. ...... 

10. nguvu   … … .

ANDIKA MANENO MANNE YANAYOWAKILISHWA NA NENO LA JUMLA

11. Vyombo

12. wanyama

13. vinywaji

14. kamusi

15. wachezaji

UTUNGAJI

16. Simulia sherehe  uliyowahi  kuhudhuria.   

        ZINGATIA YAFUATAYO:-  

1.  kichwa cha habari.

2. walioshiriki katika sherehe.

3. kitu kilicho kufurahisha

4. kitu kilicho kuchukiza

KANUSHA MANENO YAFUATAYO.

17. Sisi tunapenda  nyama ya swala.   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

18. Mpoki  alipanda  mabasi  ya  mwendokasi.     … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … .

19. Baba atarina asali yetu  wiki ijayo.   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … .

20. Wote walishangaa kwa  kifo  chake.   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … .

21. Wazazi  watawanunulia  watoto wao  sare  za  shule.   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … .

ANDIKA  VITENDAWILI  VYENYE  MAJIBU  YAFUATAYO.

22. Jogoo … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

23. ugali     … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

24. macho   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

25. mlango   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

26. uyoga   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … .

27. utelezi   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … ....

             OANISHA  SEHEMU  A’’  na   B’’  kwa  kuandika  jibu  sahihi.

28.unga mkono

A] kuwa mwangalifu

29.kuwa macho

B]futwa kazi

30.bega kwa bega

C]kushirikiana

31.pigwa kalamu

D]fariki

32.kata roho

E]kubaliana


Swali

28.

29.

30.

31.

32.


Jibu

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 2

PRESIDENTS OFFICE MINISTRY OF EDUCATION

MIDTERM EXAMINATION

APRILI-2020          TIME 1:30 HOURS

ENGLISH

INSTRUCTIONS

 • THIS PAPER CONSISTS OF 25 QUESTIONS
 • WRITE YOUR ANSWERS IN CAPITAL LETTERS
 • ENSURE YOUR WORK IS NEAT
 • ANSWER ALL QUESTIONS

Read the story below and answer the following questions.

             Once upon a time there was a man who used to work day and night. So when he used to work he worked by himself without an assistance of any one.  One day the Angels of God came to him because they knew that he was suffering and starving with hunger without food to eat or water to drink. So when the Angels came they gave him a ring that when he asks for something it appears. Since that day he became rich.

                                      ANSWER THE FOLLOWING QUESTIONS.

 1. What was the man suffering from?   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …
 2. Was the man helped by anyone?  Why   .
 3. Did the man use to rest?  … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …
 4. When the Angels of God came,  did they bring a goodluck?   … … … … … … … … … … … … .
 5. What have you understand from the story?   … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … … …

                               Re-arrange the sentences  to make a meaningful story.

       6.  I take my breakfast.

        7.  I get out of bed.

       8.  I put on my school uniform.

       9.  I go to school.

      10.  I wake up early in the morning.  

      11.  I brush my teeth and wash my face.

Fill the table correctly.

12.A person who treats sick people

A]  cook

13.A person who takes care of sick people

B]  driver 

14.A person who flies an aeroplane

C]  football

15.A person who receives guests in a hotel

D]  teacher

16.A person who works on a farm

E]  nurse 

17.A person who sells herbs

F]  butcher

18.A person who drives cars

G]  pilot

19.A person who teaches

H]  carpenter

20.Aperson who sells in a shop

I]  receptionist

21.A person whose job is to cook

J]  tailor

22.A person who makes chairs, tables and desks

K]  doctor

23.A person who sells meat

L]  farmer

24.Aperson who gets money from playing football

M]  shopkeeper

25.A person who makes clothes

N]  herbalist


Questions

12.

13.

14.

15.

16.

17.

18.

19.

20.

21.

22.

23.

24.

25.


Answers


LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR ENGLISH EXAM SERIES 1

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256

GO TO NECTA EXAMS