JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MKOA WA RUVUMA
MTIHANI WA UTIMILIFU KIDATO CHA NNE
015 ELIMU YA DINI YA KISLAMU
MUDA: MASAA 3 Ijumaa, 19 Aprili, 2024 Mchana
MAELEKEZO:
SEHEMU A:(Alama 16)
Jibu maswali yote katika sehemu hii
1. Katika kipengele cha (i-x) Chagua jibu sahihi kisha andika herufi yake kwenye karatasi ya kujibia
(i) Swala ya maiti ina takbira nne, ni kisomo gani kinachofuata baada ya takbira ya tatu?
(ii) "ewe baba yangu hakika mimi nimeona katika ndoto nyota kumi na moja, jua na mwezi vikinisujudia (12:10) kwa mujibu wa aya hii unadhani ni njia ipi Allah (s.w) aliturnia kuwasiliana na nabii Yusufu (a.s)?
(iii) Ismaili ni mtaalamu katika masuala ya kilimo na ufugaji katika kijiji chao cha Mtazamo wa uislamu unadhani Ismaili amebobea katika elimu ipi?
(iv) Mzee Nuuni alikuwa anawaelekeza wajukuu zake aina kuu za dini kwa mujibu wa Qur-an. Dini hizo ni zipi alizowaelekeza wajukuu zake?
(v) "Na shari ya giza la usiku liingiapo". Aya hii inapatikana katika sura gani?
(vi) Jazira alikua akisafiri na ulipofika muda wa swala akaamua kuzikusanya swala mbili katika wakati wa swala ya Kitendo hiki kinajulikana kama
(vii) Ni maandalizi gani yalifanyika kwa mtume (s.a.w) ambayo yeye na jamii yake hawakujua kuwa anaandaliwa na mola wake?
(viii) Ni misingi gani ya elimu ya kiislamu inayohusiana na ufahamu juu ya maamrisho na makatazo ya ya kibinafsi na kijamii?
(ix) Ni njia ipi kati ya zifuatazo inamuwezesha mwanadamu kumtambua mola wake kwa usahihi?
(x) Ni aina gani ya Hija ambayo ni bora na nafuu kwa wanaotoka mbali wasio na Wanyama wa kuchinja?
2. Oanisha aina za mali zilizopo katika Orodha A na viwango vya wajibu vya utoaji wa zakat (Nisaab) katika Orodha B kisha andika herufi ya jibu sahihi katika sehemu ya kuandikia majibu uliyopewa
ORODHA A | ORODHA B |
(i) Mazao ya shambani (ii) Dhahabu ya vito (iii) Ng’ombe (iv) Mali ya kuokota (v) Ngamia (vi) Kondoo | A. Gramu 80 B. Ishirini C. Thelathini D. Arobaini E. Toa 7.5 F. Watano G. Kilo 666 H. Thamani yoyote |
SEHEMU B (Alama 54)
Jibu maswali yote katika sehemu hii kwa ufupi.
3. "Dini ya Uislamu ndiyo pekee inayoweza kuleta amani na furaha ya kweli katika jamii" Jadili ukweli wa kauli hii kwa hoja
4. (a) Fafanua kwa ufupi kwa nini mwanamke wa kiislamu haruhusiwi kuolewa na mume Zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? Toa hoja tatu
(b) Katika sheria ya mirathi Watoto wanaume wanapata mara mbili Zaidi ya Watoto wanawake. Onesha hekima tatu za Allah (s.w) zitokanazo na sheria hii.
5. (a) Nini maana ya neno "Riba" kwa mujibu wa uislamu?
(b) "Amana benki ni benki ya kiislamu" ukiwa kama mwanafunzi wa kidato cha nne, eleza njia tano zinazotumiwa na benki ya kiislamu katika kufanya biashara za kibenki bila kutoza riba.
6. Mzee Nuun aliwaambiwa watoto wake kuwa "wanawake wanahaki nyingi katika uislamu". Kwa kutumia hoja sita onyesha ukweli wa kauli
7. (a) Bainisha tofauti tatu kati ya funga ya Ramadhani na funga ya Sunnah.
(b) Eleza kwa ufupi namna funga inavyomuandaa mja kuwa mchamungu. Kwa kutumia hoja tatu.
8. (a) Taja masharti mawili ya kuthibiti kosa la zinaa katika sheria ya
(b) Kwa kurejea suratun-nashrah, bainisha neema tatu alizotunukiwa mtume (s.a.w) na mola wake
SEHEMU C (ALAMA 30)
Jibu maswali mawili (2) tu katika sehemu hii.
9. Makafiri wa zamani na wa zama hizi wakiwemo Charles Darwin, Fredrich Engles, n. k wanadai kuwa imani ya uwepo wa Mungu Muumba dhana tu haina dalili yeyote. Kwa kutumia hoja tano bainisha hoja wanazotumia na udhaifu
10. Mwalimu Matata aliwasilisha mada ya ufufuo kutokana na historia katika Qur-ani ambapo kuna matukio ya kihistoria yanayothibitisha kuwepo uhai baada ya Kwa kutumia hoja sita onesha hoja alizotumia katika kuwasilisha mada yake.
11. Umepewa nafasi ya kuwasilisha mada ya zaka katika kijiji cha Mtyangimbole kuwa "Pamoja na zakat na sadaka kutolewa na baadhi ya waislamu lakini malengo yake hayafikiwi". Kwa kutumia hoja tano onyesha namna utakavyowasilisha mada
WABILLAH TAWFIQ
FORM FOUR EDK EXAM SERIES 194
FORM FOUR EDK EXAM SERIES 194
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MKOA WA LINDI
MTIHANI WA KABLA YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE
ELIMU YA DINI YA KIISLAMU
CODE:015.
MUDA:- SAA 3.00 SEPTEMBA, 2023
Maelekezo
1. Mtihani huu una sehemu tatu A, B na C zenyejumlayamaswalikuminamoja (11).
2. Jibumaswali yote katikasehemu A na B namaswalimawili (2) kutokasehemu C.
3. Hakikishaunasomamaelekezoyakilaswalikwaumakini.
4. Simu zamkononinavituvyotevisivyoruhusiwahavitakiwikatikachumba cha mtihani.
5. HakikishaunaandikaNambayakoyaMtihanikatikakilaukurasawakijitabuchako cha majibu.
SEHEMU A (Alama 16)
Jibumaswali yote katikasehemuhii
1. Chaguaherufiyajibusahihikatikavipengele (i) hadi (x) kishaandikaherufiyajibu
kwenyekijitabuchako cha kujibia.
(i). Umetakiwakuelezaainambilizaelimuzinazokubalikakwamujibuwauislamu. Ni
ainazipimbilizaelimuutakazozitumiakuwasilishamadauliyotakiwakueleza?
A. Elimu dunia naElimuakhera B. ElimuyamuongozonaElimuyamazingira
C. Elimuya Dini naelimu dunia D. Elimuyafaradhinaelimuya sunnah
E. ElimuyaibadamaalumnaElimuyaibadambalimbali.
(ii). Firaunikatika Maisha yakealikanushakuwepokwaMwenyeziMungulakinisikuile
Allah (s.w) anamzamishabaharinialikirikumjuaMwenyeziMungu. Ni jambogani
lililomfanyakumtabua Allah (s.w) wakatihuo?
A. Malaika wakutoarohoalimpamawaidha B. Muda ulealionaalamazakuwepo Allah (sw)
C. Fitra -hisiazakumjua Allah alizopandikizwanaAllah(s.w)
D.Ilehaliyasakaratulmautialiyokuwanayo
E. Ile haliyamatesoaliyoipatawakatianaangamia.
(iii). WatuwakaumuyaNabiiLutwaliangamizwakwaudongowamotonikutokanana
maovuyao. Ni madhambiganiutakayoyalengakuwaonyawatuwakoiliwasijepataadhabu kali kamailivyokuwakwawatuwaLut?
A.Zinaanakujihusishanakamari B. Mauajinakupunjavipimo
C. Kuingilianakinyume cha maumbilenaujambazi D. Kupunjavipimonakuzikawatotowa kike wakiwahai
E. Kunyonyawanyongenakumshirikisha Allah (s.w).
(iv). Jumanikijanaambayeamejitenganajamiikwaajiliyakufanyaibadanaamesemahataoanamudamwingiatafunganaanajitengana mambo hayayamaendeleoya dunia iliapate pepo. Kwa mujibuwauislamuyeyetunamuwekakatikakundigani?
A. Kundi la Wapagani B. Kundi la Makafiri
C. Kundi la washirikina D. Kundi la watawa.
E. Kundi la wachaMungu
(v). Babuyakonimgonjwanaimefikazamuyakokukaanaye, ghaflaamekataroho. Ni
mambo ganikatiyahayautakayomfanyiamarabaadayakutokeahalihiyo?
A. Kufumbamdomo, macho nakumnyooshaviungovyamwili. B. Kumpamajiyakunywanakumuogesha C.Kumtamkisha shahada nakumtawadhisha D. Kumpakamanukato, kuvukizaubaninakumpamajiyakunywa E. Kumlazaubavukuelekea qibla nakumtamkishaLaillahailallah.
(vi). Kaku alidaikuwaanawezakuishiakiwamuislamukamilikwakufuata Qur’an tubilasunnah yaMtume (s.a.w). Je, nikwaninidaihili la Kaku siosahihi?
A. Mtume (s.a.w) ndiyealiyeitafsiri Qur’an kivitendo. B. Hakuna tofautikatiya Sunnah na Qur’an
C. Qur’an nasunnavyoteniwahyi. D. TabiayaMtume (s.a.w) ilikuwa Qur’an.
E. Qura’nndiouislamuwenyewe
(vii) Ni ipifaidaunayoipatakatika Maisha yakoyakilasikuunapotekelezanguzotanoza
Uislamukikamilfu?
A. Ndioutekelezajikamiliwauislamukatikamaishayakilasiku B.Nguzotanonikifutio cha madhambiyakilasiku
C. Nguzotanozauislamuhutusaidiakufikialengo la kuumbwakwetukirahisi. D. Nguzotanozauislamundiouislamuwenyewe.
E. Nguzotanozauislamuhumfanyamtukupata thawab nakuingiapeponi.
(viii) “Bali hiini Qur’an tukufuiliyotolewakatikaLawhiMmahfuudh (huoubao
uliohifadhiwa)…” (85:21-22). Baadayahatuahiinihatuaganiilifuatakatikaushukajiwa Qur’an?
A. IlishukakidogokidogokwaMtume (s.a.w). B. Ilishuka yote mpakauwinguwa kwanza.
C. Ilishukakwa Jibril (a.s) kablayaMtume (s.a.w) D.IlihifadhiwanamaswahabawaMtume (s.a.w)
E. Iliandikwakatikakaratasi, magome, mawenangozi.
(ix). Mzee Said alimuusiamwanaekutoasadakakwasiri. Kwa niniMzee Said alimuusiamwanaehivyo?
A. Ili makafiriwasijue. B. Ili aepukanena ria.
C. Ili pasitokeeunyang’anyi . D. Allah (s w) ndivyoanavyopenda.
E. Ili watuwasimjuekuwayeyenitajiri
(x) Kablayakuzaliwamtume (s.a.w) haliyamaadilikatika bara Arabuilikuwasioya
kutamanika.Nitabiazipikwasasazinawezakutumikakuelezeahalihizo?
A.Kukithirikwakamari,ulevinauzinifuB.Uvaajimodonakunyoakiduku
C.LiwatinausagajiD.Kusuka Rasta nakuzikawatotowa kike hai .
E.Kuvutabanginamadawayakulevya.
2. Oanishaainazamazaokutokaorodha A nanisaabzamazaohayokutokaorodha B kishauandikeherufiyajibusahihikatikakijitabuchako cha kujibia.
ORODHA A. ORODHA B
(i) MazaoyaShambani | A .Tola 7.5 |
(ii) Dhahabunavito | B. Kilo 666 |
(iiiMaliyakuokotwa | C.Thamaniyoyote |
(iv) Ng'ombe | D.Kilogram 66.6 |
(v) Ngamia | E.Arobaini |
(vi) Kondoo | F.Thelathini |
| G.Watano |
SEHEMU B (Alama 54)
Jibumaswali yote katikasehemuhii.
3. Baadayandoakufungishwawaliiamekupajukumu la kumuelimishamuoajijuuyawajibuwake kwamkealiyemuoa. Bainishamajukumu matatu utakayotumiakatikakufafanuajukumuulilopewa.
4. MakadianiwameitishamhadharamtaanikwenunawanahubirikuwabaadayaMtume
(s.a.w) yupomtumemwingineatakayekuja. Ni hojazipitatuutakazozijengakufutadhanahiyopotofu?
5. KatikakuadhimishasikuyaWatotoduniani sheikh JarufialialikwakuelezahakizaWatoto
kwamujibuwauislamu. AinishahakizipitatuambazoungemshauriJarufikuzitumia
katikakuwasilishamadayake?
6. Umewakutawatuwasiowaislamwakidaikuwakatikadinisheriahazinaumuhimuwalakaziyoyote. Tumiadondootatukuwaoneshakuwakatikadiniyauislamuhilosiosahihi.
7. SuratulTakaathur Ina mafunzombalimbalikatikajamiiyawaislamuwaLeo,elezakwaufupimafunzo matatu yahusuyo Mali nawatotoyanayopatikanakatikasurahiyoiliwaislamuwachukuetahadharikablayakifo
.8. "...............Na anayemshirikishaMweyeziMungukwahakikaamezuadhambikubwa"(4:48). Kwa kutumiaAyahiielezakwaufupiainatatu (03) za shirk.
SEHEMU C (Alama 30)
Jibumaswalimawili (02) tukatikasehemuhii
9. UtafitiuliofanyikakatikaMkoawaLindiumebainikuwawapowaislamuwanaoswaliswalatanolakinibadowanashirikikatikakufanyamaovumbalimbali. Toa sababunnezinazowezakuwasababuzahalihiyokutokea.
10.Qur'an ilishushwakwaMtume (s.a.w) akiwa Makkah nabaadaeMadina,Haliambayoilisababishautofautiwasurazilizoshushwakatikamaeneohayo.Oneshatofautinne (04).
11. Uandishiwa hadith zaMtume (s.a.w) ulipitiwanavipindivinnelakinikatikakipindi cha Mtume( s.a.w) uandishiulikuwamdogosana au haukuwepo. Toa ufafanuziuliopelekeahalihiyokutokea (dondoonne).
FORM FOUR EDK EXAM SERIES 191
FORM FOUR EDK EXAM SERIES 191
Bismillah Rahman Rahiim
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA UTAMILIFU MKOA WA DODOMA 2020
0015 ELIMU YA DINI YA KIISLAMU
(Kwa watahiniwaWaliokonaWasiokuwaShuleni)
MUDA: Masaa3 Jumanne, 11 Agosti 2020mchana
Maelekezo
1.Karatasi hiii na sehemu A,B na C zenye jumla ya maswali kumi na tatu (13).
2.Jibu maswali yote sehemu A,B na matatu toka sehemu C.
3.Majibu yaandikwe katika karatasi ya kujibia uliyopewa.
4.Andika kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au nyeusi.
5.Simu za mkononi haziruhusiwi katika chumba cha mtihani.
6.Andika namba yako ya mtihani katika kila karatasi yako ya kujibia.
SEHEMU A.(ALAMA 20)
Jibu mawaliyotekatikasehemuhii
1. Chagua jibu sahihi katika kipengele (i) – (x) kisha andika herufi yake katika karatasi yako ya kujibia.
i. Maswahaba mashuhuri waliopokea Hadithi nyingi za dini;
A. AbuuBakari (r.a) na Bi Aysha (r.a) B. Abdallah bin Umar na Abdallah bin Abbas
C. AbuuHurayrah (r.a) Bi Aysha (r.a) D. Abas na Ally bin Abiitwalibi (r.a).
E. Abdul-Rahman bin Auf na Zaid Harith (r.a).
ii. Miongoni mwa sababu zilizoongeza msukumo wa mahitaji ya kukusanya hadithini;
A. Kuzuka kwa Mitume wa uongo B. Kufuata rai za maswahaba na makhalifa
C. Kuwepokwauaduidhidiyauislamu D. Kufuata sunna ya Mtume (s.a.w)
E. Kuwepo na mashindano ya kuhifadhi hadithi
iii. Hadithi zilizosimuliwa na watu zaidi ya watatu kwa nyakati mbalimbali huitwa hadithi
A. Mudhui B. Nabawiyyi C. Mutawatir D. Sahihi E. Ahad
iv. Kauli inayodhihirisha mtazamo potofu kuhusu Sunnah ni pamoja na kuonekana kuwa sunnah;
v. Hadithi za Mtume (s.a.w) zinafahamika hadihi vileo kwa sababu;
vi. Kitabu kilichoandikwa katika kipindi cha wafuasi wa maswwahabani:
A. Sahihul-Bukhar B. Al-qataday C. Jamiu al-Tirmidh
D. AL-Muwattwa-a E. Sunanya An-Nisai
vii. Tukio lilitokea katika kipindi cha maswahaba na kufanya uandishi wa hadithi kuwa muhimu ni:
A. Kutoweka kwa maswahaba w aMtume (s.a.w) B. KutawafukwaMtume (s.a.w)
C. Kuzukakwa vita D. Kuzuka kwa hadithi za uongo
E. Kupanukakwadolayakiislamu
viii. Vitabu sita mashuhuri vya hadithi vimeitwa sahihi sita kwa sababu vimeandikwa na waandishi;
ix. Ilyasa bin Salama amesimulia kutoka kwa baba yake kuwa Mtumewa Allah amesema: “Yule ashikae upanga (silaha) dhidi yetu si pamoja na sisi”. (Muslim). Ni ipimatiniyahadithihii?
x. Tofauti ya msingi baina ya Qur’an na Hadithi ni:
A. Isnadi B. Matini C. Rawi D. Hassani E. Maudhui
xi. Amesema Mtume (s.a.w) “kila jambo jema analolifanya Muislamu ni sadak” huo ni mfano wa:
A. Matini B. Isnadi C. Rawi D. Maudhui E. Hassani
xii. Usemi au habari aliyoitoa mtume mwenyew ehuitwa
A. Hadith Qudusiy B. Hadith Nabawiyya C. Hadith Hassan
D. Hadith sahih E. Hadith Dhaifu
xiii. Habari aliyoitoa Mtume (s.a.w) kama alivyoipokea kutoka kwa mwenyezi lakini iliyo nje ya Qur’an huitwa
A. Hadith Sahih B. Hadith Nabawiyya C. Hadith Qudusiy
D. Hadith Dhaifu E. Hadith Hassani
xiv. Hadithi ambayo wapokezi wake niwaadilifu isipokuwa hawakufikia sifa za wapokeaji wa hadithi sahihi kwa upungufu wa kuhifadhi huitwa
A. Hadith Hassan B. Hadith Dhaifu C. Hadith Maudhui
D. Hadith sahihi E. Hadith Nabawiyya
2.Oanisha manenokutokaorodha B na sentensi kutoka A. Kisha jaza herufi yake katika jedwali.
ORODHA A. | ORODHA B. |
i.Suraya Qur'an ambayo haijaanza na Bismillah | A.Suratul-kaafirun |
ii.Wahyi wa mwanzo wa Mtume | B.Suratul-Nasi |
iii.Mwanadamu anahitaji mwongozo wa maisha kutoka kwa mola wake. | C.Suratul-fatiha |
iv.Sura ya mwisho kushushwa | D.Suratul-Ikhas |
V. semaenyimakafiri | E.Suratul-Alaq(96:1-5) |
F.Suratul-Tawba | |
G.Suratul-Quraish |
SEHEMU B(ALAMA 35)
Jibu maswali yote katika sehemu hii kwa ufupi.
3.Taja aina za mali tano ambazo muislamu akimiliki analazimika kuzitolea za kat
i........ ii....... ii....... i....... v.......
4. (a) Ainisha masharti matatu ilimaitia swaliwekiislamu.
(b) Toa maanaya neon ibada.
(c)Ainisha mtazamo potofu juu ya ibada (hoja 2)
5.Aina mbili za talaka kwa mujibu wa uislamuni
i........................... ii..........................
6.Taja mambo matano yasiyobatilisha funga
i....... ii....... iii....... iv....... v.......
7.Orodhesha alamakuu tano za kuonesha uwepo wa Allah(S.w)
i..... ii...... iii........iv......... v........
8.Maiti ya muislamu ambaye hakufa shahidinifaradhikuoshwa
i........, ii. ........... nakuzikwa.
9.Taja faida tano za ndoa kwa mtazamo wa uislamu
i....... ii....... iii....... iv......... v..........
SEHEMU C (ALAMA 45)
Jibumaswalimatatutukatikasehemuhii.
10. Tuongoze katika njia iliyonyooka. Njia ya wale uliowaneemeshasio wale waliokasirikiwa wala ya wale waliopotea (1:6-7).
Eleza kwanini mwanadamu anahitaji mwongozo kutoka kwa Allah(S.w). Toa sababu tano.
11. Kwa kuzingatia hali halisi ya maisha ya jamii na Qur'an eleza sababu tano zinazolazimu iwepo siku ya malipo.
12."Na motto mwanamke aliyezikwa hali yakuwa yu hai atakapoulizwa kwa makosa gani aliuliwa? (81:8-9) kwa kuzingatia aya uliyopewa na aya nyingine kutoka kwenye Qur'an na Sunha ainisha haki tano za mwanamke zitolewazo na uislamu.
13. Dola ya Kiislamu Madina ilikumbana na upinzani mzito sana kutoka katika tawala za (maadui) makafiri wakuu watano. Kwa mifano thabiti eleza maadui hao ni akina nani?
FORM FOUR EDK EXAM SERIES 189
FORM FOUR EDK EXAM SERIES 189