Main Topic | Sub Topic | Content Covered | Date Started | Date Ended | Teacher's Comment | H.O.D Comment | H/M Comment |
---|---|---|---|---|---|---|---|
UUNDAJI WA MANENO | Kutumia 1 uarnbishaji |
1. Kubainisha mofimu katika maneno. 2. Kufafanua dhima za mofimu | |||||
UUNDAJI WA MANENO | Kutumia mnyumbuliko - | 1. Kueleza mazingira yanayosababisha mahitaji ya maneno mapya. 2. Mwanafunzi aweze kufafanua dhima ya uambishaji na mnyumbuliko wa maneno. 3. Kuunda maneno mbalimbali kwa kutumia mnyumbuliko 4. Mwanafunzi aweze kutumia maneno ya mnyumbuliko katika miktadha mbalimbali | |||||
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Rejesta | 1. Kuwasiliana kwa kutumia rejesta 2. Kuwasiliana kwa kutumia misimu. | |||||
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Misimu | 1. Kueleza miktadha ya mawasiliano yanayotumia misimu | |||||
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Lugha ya kimazunguinz o na ya kimaandishi |
1. Kubainisha sifa za lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi. 2. Kueleza dhima ya lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi. 3. Kutumia lugha ya kimazungumzo na kimaandishi katika miktadha sahihi. | |||||
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Matamshi na lafudhi ya Kiswahili | kutumia matamshi na lafudhi sahihi ya Kiswahili katika kuwasiliana. |