STD VII HISABATI ONLINE SELF NECTA TEST FOR YEAR 2017

40. Dawati moja katika chumba cha Darasa la sita hukaliwa na wanafunzi 3. Ikiwa chumba cha Darasa hilo kina wanafunzi 60, je,kina madawati mangapi?

 1. 25 
 2. 50
 3.  500  
 4.  1000
 5.  1500.
Chagua Jibu


2. 8 + 73 + 109 = 

 1. 189
 2. 192
 3. 173
 4. 190
 5. 187
Chagua Jibu


2. 8 + 73 + 109 = 

 1. 189
 2. 192
 3. 173
 4. 190
 5. 187
Chagua Jibu


4. 4. 472 + 8,939 = 

 1. 8,301
 2. 8,311
 3. 9,311
 4. 9.301
 5. 9,411
Chagua Jibu


5.

 1. 3 1/2
 2. 3 1/4
 3. 4
 4. 3 4/16
 5. 7/8
Chagua Jibu


6.

 1. 1 1/15
 2. 1 2/15
 3. 1 2/5
 4. 1 2/3
 5. 1 4/5
Chagua Jibu


7.  -19 + (-3+{11) =

 1.   -9
 2.  -10
 3.  -11
 4.  +11
 5.  +10
Chagua Jibu


8.   -13 -(7 -8] = 

 1.  -13
 2.    14
 3.   -2
 4.   +2
 5.   -12
Chagua Jibu


9.

 1. 1 7/25
 2. 1 17/25
 3. 1 3/20
 4. 1 3/5
 5. 1 3/4
Chagua Jibu


10. 7,416 ÷ 24 = 

 1.  219
 2. 309
 3. 319
 4. 39
 5. 209
Chagua Jibu


11.   0.2 x 9.8 =

 1. 1.86
 2. 3.4
 3.  2.4
 4. 0.96
 5.  1.96
Chagua Jibu


12..  Tafuta  thamani ya  x  katika  x-3(12+10)=5

 1. 46
 2. 24
 3. 25
 4. 71
 5. 70
Chagua Jibu


13.  Kuna  1/4 ngapi katika 36?

 1.  9     
 2. 40
 3. 32 
 4. 124
 5. 144
Chagua Jibu


14. lwapo 107 - M = 18. thamani ya M ni:

 1.  89 
 2.  88
 3.  98 
 4.  99
 5.  86
Chagua Jibu


15. Kipeuo cha pili cha 4/9 ni. . . . .

 1. 2/3
 2. 2/9
 3. 1/3
 4. 3/2
 5. 1/9
Chagua Jibu


16. Kigawo kikubwa cha shirika(KKS) cha 12,  18, 24 ni . . . . . 

 1. 2
 2. 3
 3. 4
 4. 6
 5. 8
Chagua Jibu


17. Badili 4 1/2% kuwa sehemu

 1. 2/20
 2. 9/200
 3. 45/100
 4. 4.5/10
 5. 4.5/100
Chagua Jibu


18. Iwapo 6x=-2, tafuta thamani ya 6/x

 1. -3
 2. -9
 3. -18
 4. -12
 5. -24
Chagua Jibu


19. Rahisisha (6x)2 ÷ 3x =

 1.  2x        
 2.  3x
 3.  4x 
 4. 6x
 5. 12x
Chagua Jibu


20.  Badili 1/8 kuwa asilimia: 

 1.  8%   
 2. 12.5%
 3. 24.5%     
 4.  25%
 5.  50%
Chagua Jibu


20.  Badili 1/8 kuwa asilimia: 

 1.  8%   
 2. 12.5%
 3. 24.5%     
 4.  25%
 5.  50%
Chagua Jibu


22. Je m 24 kati ya m 36 ni sawa na sehemu gani?

 1. 2/3
 2. 2/9
 3. 1/3
 4. 3/2
 5.  1/9
Chagua Jibu


23.  Je kuna namba tasa ngapi kati ya 13 na 19?

 1.  1      
 2.  2
 3.  3     
 4.  4
 5. 5
Chagua Jibu


24.  Badili 12-% kuwa desimali.

 1.  0.25
 2.  0.125
 3.  0.025
 4.  1.25
 5.  12.5
Chagua Jibu


25.  Zidisha meta 7 na sm 30 kwa 5. Andika jibu katika sentimeta.

 1.  sm 3,635 
 2.  sm 3,530
 3.  sm 3,630  
 4.  sm 3,550
 5.  sm 3,650
Chagua Jibu


SEHEMU B 


MAUMBO

26. Tafuta eneo la mstatili ABCD, iwapo mzingo wake ni sm 50

 1.  sm2 136 
 2. sm2 126
 3. sm2 146 
 4. sm2 156
 5. sm2 225
Chagua Jibu


27. Tafuta mzingo wa msambamba ufuatao 

 1.  sm 54 
 2.  sm 64
 3.  sm 72  
 4.  sm 78
 5.  sm 84
Chagua Jibu


28. Ben na Tina waligawana sawasawa kipande cha sabuni kilichokuwa na ujazo wa 252. Iwapo kipande hucho cha sabuni kilikuwa na urefu wa sm 42 na kimo cha sm 2 kama kinavyoonekana kwenye mchoro hapo chini, tafuta upana wa kipande cha sabuni ambacho Ben alipata

 1.  sm 1
 2.  sm 2
 3.  sm 3 
 4.  sm 4
 5.  sm 5
Chagua Jibu


29. Tafuta thamani ya x katika umbo lifuatalo:

 1. 10 0
 2. 15 0
 3. 20 0
 4. 30 0
 5. 45 0
Chagua Jibu


30. le, jina la umbo lifuatalo ni  

 1. mstatili 
 2.  mraba
 3. pembe tatu 
 4.  duara 
 5.  pande nne
Chagua Jibu


31. Tafuta thamani ya pembe x katika umbe lifuatalo:

 1. 10°  
 2.  20°
 3.  22°   
 4.  24°
 5.  60°
Chagua Jibu


32. Tafuta majira ya nukta W katika mchoro ufuatao:

 1. (0, 4)  
 2. (-2, 4)
 3. (-2, 0)  
 4.  (4, -2)
 5.  (-2, -3)
Chagua Jibu


33. Tafuta mzingo wa duara lifuatalo iwapo kipenyo chake AB kina urefu wa sm 200. (Tumia pai = 3.14)

 1.  sm 3.14 
 2.  sm 31.4
 3.  sm 314
 4.  sm 414
 5.  sm 628
Chagua Jibu


  34. Eneo la pembetatu ABC ni sm2 36. Je pembetatu BCD ni sehemu gani ya pembetatu ABC?

 1. 1/2
 2. 1/3
 3. 2/3
 4. 1/4
 5. 1/6
Chagua Jibu


35. Grafu ifuatayo inaonesha alama Juma alizopata katika somo la Hisabati katika miezi minne ya muula wa kwanza. Tafuta wastani wa alama za juma.

 1. 67 
 2. 67.2
 3. 67.5  
 4. 68
 5. 68.5
Chagua Jibu


36. Tafuta ujazo wa umbo lifuatalo (Tumia pai= 22/7)

 1. sm3 660
 2. sm31,320
 3. sm3 3,520
 4. sin 4,620
 5. sm3 4,720
Chagua Jibu


37. Tafuta jumla ya eneo la pande za mche mstatili ABCDEFGH iwapo uso ABCD upo wazi.

 1. sm2 3,200
 2. sm2 3,000
 3. sm2 1,200
 4. sm2 2,200
 5. sm2 10,200
Chagua Jibu


38. Chati duara ifuatayo inaonesha michezo ambayo wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwenge wanapenda kucheza. Iwapo shule ina wanafunzi 400, je ni wanafunzi wangapi wanapenda kucheza mpira wa miguu?

 1. 80
 2. 90
 3. 100
 4. 162
 5. 180
Chagua Jibu


SEHEMU C

MAFUMBO

Katika swali la 39 - 50, kuchagua jibu sahihi kisha weka kivuli katika herufi ya jibu sahihi katika karatasi ya kujibia.

39. Gari lisafiri kwa mwendo wa kilometa 80 kwa saa kwa dakika 45. Tafuta umbali wa safari.

 1. km 15
 2. km 30
 3. km 45
 4. km 60
 5. km 80
Chagua Jibu


40. Teti alinunua bidhaa zifuatazo sokoni: Mchele kg 20 @ sh. 1,200; Mayai 15 Cash 250; Unga wa ngano kg 5 @ sh. 1,100; Nyama kg 3 @ sh 6,500 na viungo mbalimbali kwa sh. 2,800. Je alilipa shilingi ngapi?

 1. sh. 54,550
 2. sh. 54,650
 3. sh. 55,450
 4. sh. 55,550
 5. sh. 55,650
Chagua Jibu


41. Tupa alinunua radio kwa sh. 450,00C kisha akaiuza kwa sh. 354,000. Je Tup.;. alipata hasara ya kiasi gani?

 1. sh. 95,000
 2. sh. 96,000
 3. sh. 104,000
 4. sh. 154,000
 5. sh. 354,000
Chagua Jibu


42.  Katungo alisafiri umbali wa km 3 kutoka Moshona kuelekea magharibu hadi kufika mji wa Katepo kisha akasafiri umbali wa km 4 kuelekea kusini hadi kufika mji wa Kahenga. Je, Iwapo Katungo angesafiri moja kwa moja kutoka Moshona had; Kahenga bila kupitia Katepo, angesafiri umbali gani?

 1.  km 3 
 2. . km 4
 3.  km 5     
 4.  km 7
 5. km 12
Chagua Jibu


43. Mfanyabiashara alinunua mipira 20 ill aiuze kenye duka lake. Iwapo mipira 18 ilikuwa na ubora uliokuwa unatakiwa na wateja, ni asilimia ngapi ya mipira haikuwa na ubora?

 1.  2%  
 2. 20%
 3. 18%  
 4. 38%
 5. 10%
Chagua Jibu


44. Shule ya Msingi Majengo Ina wanafunzi 690. Iwapo  2/3 ya wanafunzi walifaulu vyema katika Jaribio la Hisabati, ni  wanafunzi wangapi ambao hawakufaulu?

 1.  230 
 2. 330
 3. 450 
 4. 460
 5.  660
Chagua Jibu


45. Gharama ya kununua maembe mawili ya aina moja katika soko la Tegeta ni shilingi 2,000. Iwapo Msafiri alinunua maembe 5 ya namna hiyo alilipa shilingi ngapi?

 1. sh. 4, 000
 2.  sh. 5,000
 3.  sh. 5,400  
 4. sh. 5,500
 5.  sh 10,000
Chagua Jibu


46. Watoto wawili, Natt na Pett waligawana shilingi 18,000 kwa uwiano wa 2:3. Je Pett alipata kiasi gani?

 1. sh 3,600
 2. sh 7,000
 3. sh 7,200
 4. sh 10,500
 5. sh 10,800
Chagua Jibu


47. Shule ya Msingi Maendeleo iliotesha  miche 104 ya miti katika shamba la  shule. Iwapo _ya miche ilikauka, je ni 4 miche mingapi ilikufa?

 1.  21 
 2.  24
 3.  26 
 4.  52
 5.  78
Chagua Jibu


48. Mashine ya kutoa nakala inatoa nakala 20 za karatasi kwa sekunde 40. Je, itatoa nakala ngapi kwa saa?

 1.  60 
 2. 90
 3. 800 
 4. 1,200
 5. 1,800
Chagua Jibu


49. Mokiwa alikula 3/10 ya mkate na Jenita akala mkate uleule ila mara mbili ya kiasi alichokula Mokiwa, je kwa pamoja walikula kiasi gani cha mkate?

 1. 5/10
 2. 9/10
 3. 6/10
 4. 2/10
 5. 1/10
Chagua Jibu


50. Wastani wa mapato ya muuza matunda kwa siku nne za juma ni shilingi 20,000. Iwapo mapato katika siku ya kwanza shilingi 22,000, siku ya pill shilingi 18,000 "na siku ya tatu shilingi 16,000. Je alipata shilingi ngapi katika siku ya nne?

 1. sh. 12,000
 2. sh. 15,000
 3. sh. 20,000
 4. sh. 22,000
 5. sh. 24,000.
Chagua Jibu


Try Another Test | 
Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256

GO TO NECTA EXAMS