STD VII HISABATI ONLINE SELF NECTA TEST FOR YEAR 2015

             SEHEMU A

Katika kila swali 1 - 25, kokotoa jibu na kisha andika herufi ya jibu lililo sahihi .

1. 225 + 59 + 3,772 =

 1.  4,046            
 2.  3,956
 3.  4,056
 4.  4,057             
 5.  3,946
Chagua Jibu


2. 80,709 - 5,987 =

 1.  75,882           
 2.  74,722
 3. 75,922
 4. 74,812
 5. 75,722
Chagua Jibu


3. 170.2 ÷ 74 =

 1. 2.30 
 2. 2.40
 3. 2.03
 4. 3.02
 5. 3.20 
Chagua Jibu


4. 94 × 765 =

 1.  71,910
 2. 71,470
 3. 61,470
 4. 71,610
 5. 71,510
Chagua Jibu


5. 3 + 1  =

 1. 4
 2.  4  5/8
 3. 5
 4.  5
 5.  
Chagua Jibu


6. 5 2/3 - 2 1/4  =

 1. A 3 2/12  
 2.  3 4/12
 3.  3 11/12
 4. 3  5/12
 5. 3 7/12 
Chagua Jibu


7.  -14×(-19 + 16) =

 1. -48  
 2. 48
 3. 42
 4.  -42  
 5. 49
Chagua Jibu


8. (+ 17) + (- 35) =

 1.  -52  
 2.  -18
 3. 18
 4. 42  
 5. 52
Chagua Jibu


9. 16 ÷ 6 =

 1. 16/6
 2. 19/3
 3. 33/2
 4. 99/38
 5. 99/19
Chagua Jibu


10.  7,590 ÷ 15 =

 1.  516
 2. 56
 3. 506
 4. 65  
 5. 605
Chagua Jibu


11.  30.24 ÷ 12 =

 1. 2,520 
 2. 25.20
 3. 252
 4. 2.52 
 5. 0.252
Chagua Jibu


12. 19.62 + 6.35 + 21.1 =

 1. 47.70 
 2. 47.98
 3. 46.07
 4. 46.98
 5. 47.07
Chagua Jibu


13. Ikiwa m = -7 na n = -5, tafuta thamani ya

 1.  -12
 2.  2
 3.  1
 4.  6
 5.  -6
Chagua Jibu


14. Kokotoa thamani ya 12 - (- 24) + (- 9) × 4.

 1.  0
 2. 48
 3. -48
 4. 72
 5. 108
Chagua Jibu


15. Tafuta zao la namba tasa zilizopo kati ya 1 na 10.

 1. 384
 2. 210
 3. 945
 4. 1,890
 5. 3,840
Chagua Jibu


 16. Tafuta kigawo kikubwa cha shirika (K.K.S) 12, 24 na 36.

 1. 6
 2. 12
 3. 24
 4. 36
 5. 72
Chagua Jibu


17. Andika 4 % kuwa sehemu 1. 20/500
Chagua Jibu


18. Rahisisha 3(m - n) + 5n - 7m .

 1.  4m - 2n
 2.  -4m - 2n
 3. 2n - 4m
 4. 3m - 3n
 5. -4m - 8n
Chagua Jibu


19. Tafuta thamani ya y ikiwa + y = 5

 1. 2
 2. 6
 3. 4
 4. 8
 5. 5
Chagua Jibu


20. Kuna ngapi katika ?

 1. 4 5/9
 2. 13 2/3
 3. 9/41
 4. 9
 5. 41
Chagua Jibu


  BOFYA HAPA KUPAKUA APP YA LEANING HUB
ILI KUFUNGUA MTIHANI MZIMA  
Try Another Test | 
Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256