STD IV SAYANSI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2019

Jina la Mwanafunzi_____________________

Namba ya Upimaji___________________

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA MIT1HANI LA TANZANIA 
UPIMAJI WA KITA1FA WA DARASA LA NNE

05 SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Muda: Saa 1:30 Alhamisi, 21 Novemba 2019 asubuhi

Maclekezo

 1. Karatasi hii ina sehemu A na 13 zenye jumla ya maswali matano (5).
 2. Jibu maswali vote katika kila sehemu.
 3. Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizotolewa katika kila swali.
 4. Andika majibu yote kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi.
 5. Simu za nikononi na vitu vingine visivyoruhusiwa havitakiwi katika rhumba cha upimaji.
 6. Andika Jina na Namba yako ya Upimaji katika nafasi iliyo kwenye sehemu ya juu kulia ya kila ukurasa.

KWA MATUMIZI YA MTAHINI TU

Namba ya 
Swali

Alama

Saini ya 
Mtahini

Saini ya 
Mhakiki

1
2
3
4.

5
Jumla
SEHEMU A(Alania 30)

Jibu maswali yote katika sehernu hii.

1. Jibe kipengele (i) - (v) kwa kuchagua herull ya jibu saliihi na kuiandika katika kisanduku_

(i) Chakula salama ni kile ambacho

 1. kimepuliziwa dawa ya kutia wadudu.
 2. kimehifadhiwa katika chombo
 3. kimehifadhiwa kwa muda 
 4. kimehifadhiwa mahali pcnye mwanga.
Chagua Jibu


(ii) Zifuatazo ni njia za kujikinga dhidi ya magonjwa isipokuwa

 1. kufunika mdomo wakati wa kukohoa,
 2. kulala mahali safi na salama.
 3. kunywa maji safi na salama.
 4. kunawa mikono kabla ya kwenda chooni.
Chagua Jibu


(iii) Magonjwa yapi hutokana na uchafuzi wa vyanzo vya maji? 

 1. A Kifaduro na surua
 2. Ukimwi na kipindupindu 
 3. Malaria na trakoma
 4. Kipindupindu na kichocho.
Chagua Jibu


(iv) Nini kazi ya mate katika mmeng'enyo wa ehakula? 

 1. Kulainisha chakula
 2. Kulainisha mdomo
 3. Kulainisha meno
 4. Kulainisha ulimi
Chagua Jibu


(v) Mmeng'enyo wa chakula huanza katika sehemu ipi katika mfumo?

 1. Tumboni
 2. Kwenye umdomo
 3. Kinywani
 4. Katika kongosho.
Chagua Jibu


2. Jibu vipengele (i) - (iv), kwa kuoanisha maelezo katika Orodha A na hali za maada katika Orodha B. Andika herufi ya jibu katika mabano uliyopewa.

Orodha A

Herufi

Orodha B

(i) Hali ya maada nyepesi zaidi.

(  . . . . .)

 1. Gesi
 2. Soda
 3. Mvuke
 4. Kimiminika
 5. Chembechembe
 6. Chaki
 7. Yabisi

(ii) Hali ya maada yenye umbo maalumu.

(  . . . . .)

(iii)Mfano wa maada katika hali yabisi.

(  . . . . .)

(iv) Maada inayochukua umbo la chombo.

(  . . . . .)

(v) Mfano wa maada katika hali ya gesi.

(  . . . . .)


Fungua Jibu


3. Jibu vipengele (i) - (v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika kwenye nafasi uliyopewa.

kiungulia, kuvimbiwa, unyafuzi, kukosa choo, meno kuuma, vidonda vya tumbo, mwozo wa meno.

(i) Hali ya kupata kinyesi kigumu na chcnye mkauko huitwa . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


(ii) Hali inayosababishwa na kujaa kwa gesi nyingi katika tumbo huitwa  . . . . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


(iii) Hali ya kuhisi maumivu ya kuungua katika umio na kifua inaitwaje?  . . . . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


(iv) Katika mfumo wa chakula, michubuko ndani ya kuta za tumbo huitwa  . . . . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


(v) Ni madhara gani yatatokea katika meno kutokana na ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi?  . . . . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


4. Soma habari ifuatayo kisha jibu vipengele (i) - (v).

Aina nyingi za vyakula tunavyotumia katika maisha yetu ya kila siku huwa vimepikwa. Chakula hupikwa kwa kutumia nishati ya joto. Vifaa vinavyotumika kuwezesha upikaji wa vyakula vyetu huitwa majiko. Nchini Tanzania, aina ya majiko yanayotumiwa zaidi ni ya kuni na mkaa. Kwa miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko la watumiaji wa majiko ya gesi katika maeneo ya mijini na vijijini. Uchaguzi wa aina ya jiko hutofiutiana kulingana na upatikanaji, gharama na usalama wa aina ya fueli inayotumika. Hayo ni baadhi ya mambo ya kuzingatia wakati wa uchaguzi wa aina ya jiko la kutumia.

(i) Taja aina mbili za majiko yanayotumiwa na watu wengi Tanzania.

 •  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
 • . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu


(ii) Ni aina gani ya nishati hutumika kupikia?  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


(iii) Je ni kitu gani kinatumika kutolautisha aina za majiko? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


(iv) Unafikiri ni kwanini watu wengi hutumia majiko ya kuni? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


(v) Taja aina nyingine mbili za majiko tofauti na yaliyotajwa katika habari uliyosoma. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


5. Chunguza picha uliyopewa kisha jihu vipengele (i) - (v).

(i) Kifaa kilichooneshwa kwenye picha kinaitwaje? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


(ii) Onesha sehemu inayosafirisha nishati kutoka kwenye soketi kwa kutumia herufi A . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

(iii) Onesha sehemu inayoonesha picha kwa kutumia herufi B. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

(iv) Onesha sehemu inayodaka mawimbi kwa kutumia heruit C.  . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


(iv) Kwanini kifaa kilichooneshwa kwenye picha ni muhimu kwetu? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256