STD IV SAYANSI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2015

SAYANSI DARASA LA IV 2015

SEHEMU A

Jibu swali la 1 -10 kwa kuchagua herufiya jibu sahihi na kuandika katika kiratasi ya kujibia.

1. Ni muhimu kusafisha mazingira iii ........

  1. kuzuia mmomonyoko wa udongo
  2. kuruhusu mimea iongezeke
  3. kulinda afya na hewa safi
  4. kuleta magonjwa na harufu mbaya
Chagua Jibu


2. Nyama, vyenye samaki na mayai ni vyakula

  1. wanga 
  2. vitamini
  3. protini 
  4. madini
Chagua Jibu


3. Sehemu ya mwili inayohusika na kuhisi ni

  1. ulimi 
  2. ngozi
  3. macho 
  4. pua
Chagua Jibu


4. Kipimajoto ni kifaa kinachotumika kupima

  1. ujazo wa maada
  2. hewa angani
  3. uzito wa maada
  4. jotoridi la mwili
Chagua Jibu


5. Viumbe hai vyote hupumua, hula, hukua na

  1. kucheza 
  2.  kuimba
  3.  kufa 
  4.  kulia
Chagua Jibu


6. Mwathirika wa VVU/UKIMWI anaweza kuthibitishwa kwa njia ipi? 

  1. Kupima damu yake hospitali ni
  2. Kumtazama use wake
  3. Kuangalia tabia yake
  4. Kupima uzito wake
Chagua Jibu


7. Chuma kikipata joto ......

  1. . husinyaa
  2. hutanuka
  3.  huungua
  4.  hupata kutu
Chagua Jibu


8. Sehemu kuu za mmea ni ..... 

  1.  majani, shina na maua
  2. shina, matawi na mizizi
  3. majani, shina na mizizi
  4. mizizi, shina na maua
Chagua Jibu


9. Kipi kati ya vifuatavyo hutumika kutambua sauti ya kengele?

  1.  Macho 
  2.  Ngozi
  3.  Ulimi 
  4.  Masikio
Chagua Jibu


10. Kipitisho kizuri cha umeme kati ya vitu vifuatanyo ni:

  1. Plastiki 
  2.  shaba
  3.  mti mkavu 
  4.  Binadamu
Chagua Jibu


SEHEMU B

Jibu swali 11 15 kwa kuoanisha maneno yallyo katika "Fungu A" na yallyo katika "Fungu B":

FUNGU A

  1. Gesi itokanayo na taka za wanyama
  2. Hewa itolewayo wakati wa upumuaji
  3. Gesi ambayo ni muhimu kwa uhai wa viumbe na moto kuwaka
  4. Hewa iliyo kwenye mwendo
  5. Mvuke unaoganda na kusababisha mvua.

FUNGU B

  1. Hewa
  2. Upepo
  3. Mawingu
  4. Kabonidayoksaidi
  5. Oksijeni
  6. Gesi vunde
  7. Haidrojeni
Fungua Jibu


SEHEMU C
Jaza nafasi iliyoachwa wazi

16. Kifaa kinachotumika kukuza vitu vidogo sana visivyoonekana kwa macho huitwa . . . . .

Fungua Jibu


17. Mchakato wa kugomboa chumvi kwenye husababisha  myeyuko wa chumvi huitwa.....

Fungua Jibu


18. Kabohaidreti imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni sukari na . . . . . .

Fungua Jibu


19. Kutapika na kuhara husababisha mwili wa binadamu kupoteza . . . . . . .

Fungua Jibu


20. Vitu vyenye asili ya chuma huweza kuvutwa kwa kutumia . . . . . . . . .

Fungua Jibu


21. VVU vinapoingia kwenye mwili wa binadamu hushambulia . . . . . . . .

Fungua Jibu


22. Gesi inayohitajika na mmea katika utengenezaji wa chakula huitwa .........

Fungua Jibu


SEHEMU D: 

Andika Kweli ama Si Kweli

23. "Kifua kikuu huambukizwa kwa kunywa maji yasiyo salama"  . . . .

Fungua Jibu


24. "Kutunza mazingira wakati wote husababisha magonjwa mbali mbali . . . . . . .

Fungua Jibu


25. "Huduma ya kwanza hutolewa kutegemea aina ya tatizo" ........

Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256