STD IV SAYANSI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2013

SAYANSI 2013

SEHEMU A

Jibu swali namba 1 hadi 10 kwa kuchagua jibu sahihi na kisha kuandika herufiyake pembeniya namba ya swali.

1.  Mimea haiwezi kuendelea kukua bila hewa, maji na ........... .

 1. mwanga wa jua 
 2. upepo
 3. baridi 
 4. barafu
Chagua Jibu


2.  Jasho hutoka mwilini kwa kupitia ..  . . . . . vilivyoko kwenye ngozi.

 1. mashine
 2. sehemu za mwili
 3. vinyweleo
 4. kupandikiza
Chagua Jibu


3.  Chumvi katika maji inaweza kutenganishwa na maji kwa ......... 

 1. kuchuja 
 2. kupika
 3. kuvukiza 
 4. kugandisha
Chagua Jibu


4.  Fagio na sepetu ni mifano ya nyenzo daraja la . . . . . .

 1. Tatu 
 2. Nne
 3. Pili 
 4. Kwanza
Chagua Jibu


5.  Jotoridi la kuganda kwa maji (maji kuwa barafu) ni . 

 1. 100
 2. 360C
 3. 0 0
 4. 36,90C
Chagua Jibu


6.  Kutembea, kusimama na kukimbia kwa muda mrefu husababisha ............ kukaza.

 1. mifupa 
 2. misuli
 3. viungo 
 4. viungo
Chagua Jibu


7.  Mzunguko kamili wa .......... huitwa sakiti.

 1. waya 
 2. betri
 3. soketi 
 4. umeme
Chagua Jibu


8.Vitu vilivyoundwa kwa image image image imagehuweza kuvutwa na sumaku.

 1. chuma 
 2. vumbi
 3. mbao 
 4. kiooimage
Chagua Jibu


9. Joto husambaa katika kimiminika kwa njia ya . . . . . . .

 1. msafara
 2. mpitisho
 3. mnururisho
 4. mgandamizo
Chagua Jibu


10. Mwanga husafiri katika mstari ... ... ... 

 1. mnyoofu 
 2. uliopinda
 3. zigizaga
 4. mwembamba
Chagua Jibu


SEHEMU C

Jibu swali la 11 hadi la 17 kwa kujaza nafasi zilizoachwa wazi.

11.  . . . . . . . . ni kifaa kinachotumika kuangalia vitu vidogo ambavyo haviwezi kuonekana kwa macho yetu.

Fungua Jibu


12.  Maji katika hali yabisi huitwa . . . . . . . . . .

Fungua Jibu


13.  . . . . . . . .ni kifaa kinachotumika kunyoosha nguo na kuzifanya zionekane nadhifu..

Fungua Jibu


14 Katika sakiti ya umeme alama image huwakilisha . . . . . . . . .

Fungua Jibu


15.  . . . . . . . . . husababishwa na kukojoa na kujisaidia haja kubwa katika maji na huenezwa na konokono wa majini.

Fungua Jibu


16.  Sauti iliyoakisiwa huitwa . . . . . . . . .

Fungua Jibu


17.  Maji yakichemshwa hubadilika na kuwa . . . . . . . . .

Fungua Jibu


SEHEMU C

Jibu swali la 18 hadi la 20 kwa kuandika "Ndio' au "Hapana"

18.  Selihai nyeupe za damu hulinda miili yetu dhidi ya magonjwa . . . . . . . . .

Fungua Jibu


19.  Inafaa kumtenga mgonjwa wa UKIMWI na watu wengine . . . . . . . . .

Fungua Jibu


20.  Nyenzo daraja la tatu, jitihadi huwa kati ya egemeo na mzigo . . . . . . . .

Fungua Jibu


SEHEMU D

imageJibu swali la 21 hadi la 25 kwa kuoanisha maneno toka Fungu A na sentensi zinazoendana nayo kutokaFungu "B"

FUNGU A

FUNGU B

21. Kipimajoto [   ]

22. Mwangwi [   ]

23. Kwashakoo [   ]

24. Sepali [   ]

25. Ufagio [   ]

 1. Nyenzo daraja la tatu
 2. Sehemu yenye rangi katika ua
 3. Madini yanayoimarisha mifupa na meno
 4. Sauti iliyoakisiwa
 5. Aina ya mbolea ya samadi
 6. Ugonjwa unaotokana na ukosefu wa protini
 7. Hutumika kupimia jotoridi
 8. Sehemu ya kijani ya ua ambayo hulinda ua


Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256