STD IV HISABATI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2014

HISABATI 2014

1. 9 + 117 +1018 = 

Fungua Jibu


3.   314

    x  14

Fungua Jibu


3.   314

Fungua Jibu


4. 


Fungua Jibu


5. Jumlisha: 27 + 18 = (Andika jawabu kwa namba za kirumi)

Fungua Jibu


6. Badili XVII kuwa namba za kawaida

Fungua Jibu


7. 

 


Fungua Jibu


8.

 

Fungua Jibu


9. Andika sehemu iliyotiwa kivuli


Fungua Jibu


10. Kuna mistari minyoofu mingapi katika mchoro ufuatao?

 

Fungua Jibu


11. Urefu wa mstatili ni mita 50 na upana wake mita ni 40. Tafuta eneo lake. 

Fungua Jibu


12. Tafuta eneo la mraba ambao urefu wake mmoja ni mita 30.


Fungua Jibu


13. Tafuta mzingo wa mraba huu

Fungua Jibu


14. m 30 + m 45 =

Fungua Jibu


15. Badili mm 20 kuwa sentimeta.

Fungua Jibu


16. Badili kilogramu 4 kuwa gramu

Fungua Jibu


17. Mama anaitaji lita 2 za maziwa. Je atanunua paketi ngapi za maziwa ya 1/2 lita?

Fungua Jibu


18.   Saa     Dakika

         6          45

  +     2          59


Fungua Jibu


19.    Saa         Dakika

           8                00

 -         4                50


Fungua Jibu


20.  Andika muda ufuatao kwa tarakimu saa kumi na mbili kasoro robo

Fungua Jibu


21. Idadi ya wakazi katika vijiji vitatu imeonyeshwa kwenye grafu ya muhimili ufuatao. Tafuta jumla ya wakazi wa vijiji vyote vitatu.


Fungua Jibu


22.   Sh.            St.

       2680          30

+       130          60


Fungua Jibu


23.   Sh.            St.

          1850             00

 -           99             25

Fungua Jibu


24.     Sh.           St.

        120            30

          x                4


Fungua Jibu


25. Caroline alinunua bidhaa zifuatazo: 

machungwa 3 @ shs. 100/=

embe 7 @ shs. 350/=

mapapai 9 @ shs. 10007=

pakiti 10 za maziwa @ shs. 650

kiasi gani cha fedha kwa bidhaa zote?

Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256