HISABATI STANDARD FOUR REGIONAL EXAMS (MOCK, PRE-NATIONAL, etc.)

Jina la mwanafunzi ________________________
Namba ya upimaji____________________

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI

MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA NNE

 M08   HISABATI 

 Muda: Saa 1 Mwaka: 2025 

 Maelekezo kwa mtahiniwa 

  1. Mtihani huu una sehemu A na B zenye jumla ya maswali sita(6)
  2. Jibu maswali yote kama ulivyoelekezwa katika kila sehemu.
  3. Majibu yote yaandikwe kwenye nafasi ulizopewa katika mtihani.
  4. Epuka kufuta kufuta.
  5. Simu za mkononi, karatasi zisizohusika na vitabu haviruhusiwi kaika chumba cha mtihani.
  6. Kumbuka kuandika jina lako, namba ya upimaji, mkoa na halmashauri kila ukurasa kwenye sehemu uliyopewa upende wa juu kulia.
 KWA MATUMIZI YA MTAHINI TU 
 NAMBA YA SWALI   ALAMA   SAHIHI YA MTAHINI 
 1.  
 
 2.  

 3.  

 4.  

 5.  

 6.  

 JUMLA 

 SEHEMU A: (ALAMA 36)

Jibu maswali yote katika sehemu hii.

 SWALI 

 KAZI NA JIBU 

1. (a) Andika 23456 kwa maneno.


(b) Andika elfu saba moja ishirini na mbili kwa numerali.


(c) Darasa la nne lina wanafunzi arobaini na moja. Andika idadi hiyo kwa namba za kirumi.


(d) Kuku walitaga jumla ya mayai 456, mayai 123 yakavunjika. Je yamebaki mayai mangapi?


(e) 123+678


(f) 570÷10=


2. (a) Isa alitoa ½ ya chungwa akampatia Khalidi. Je ni sehemu gani ya chungwa alibaki nayo Isa?


(b) Andika sehemu iliyotiwa kivuli katika umbo lifuatalo.

image


(c) image-image  =


(d) image × image  =


(e) image + image   =

 

3. (a) Fedha ya Tanzania inaitwaje?

 

(b) Ikiwa baba yako atakupatia shilingi 15,000 na mama yako akakupatia Shilingi 5,500 jumla utakuwa na shilingi ngapi?

 

(c) Japhet alipewa shilingi 7,500 kwa bahati mbaya akapoteza shilingi 2,500. Je alibakiwa na shilingi ngapi?

 

4. (a) Joseph huamka saa 12:00 asubuhi kila siku. Andika muda huo kwa mtindo wa masaa ishirini na nne.

 

(b) Ikiwa Sarah aliondoka nyumbani saa 2:00 asubuhi. Akafika sokoni baada ya nusu saa, je alifika sokoni saa ngapi?

 

(c) 

 

(d) Wakati wa kufanya kazi, wafanya kazi walitumia masaa matatu. Badili muda huo kuwa dakika.

 

SEHEMU B: (ALAMA 14) 

Jibu maswali yote kutoka sehemu hii.

5. (a) Juma alitembea umbali wa Mita 5,000. Je umbali huo ni sawa na Kilomita ngapi?

 

(b) Uzito wa gunia ni gramu 3,000. Badili uzito huo kuwa Kilogramu.

 

(c) Ipi nzito zaidi kubwa kati Kilogramu 5,000 za mchanga na tani 5 za kokoto?

 

6. (a) Tafuta eneo la mraba lenye upana wa sentimita 4.

 

(b) Umbo la mstatili lina urefu wa sentimita 24 na upana wa sentimeta 15. Tafuta mzingo wa umbo hili.

 

(c) Kuna pembe tatu ngapi katika umbo hili?

 

(d) Umbo hili linaitwaje?

image

 

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 55  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 55  

 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

 HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO 

 04 MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA NNE 

 HISABATI - 2024 

 Maelekezo 

  1. Mtihani huu una maswali sita yenye jumla ya   maswali (25) 
  2. Jibu maswali   yote 
  3. Majibu yote yaandikwe katika nafasi uliyopewa katika kila swali
  4. Majibu yote yajazwe kwa peni ya   bluu  au   nyeusi 
  5. Simu haziruhusiwi katika chumba cha mtihani.
  6. Andika Jina na Namba yako ya Upimaji katika nafasi uliyopewa juu kulia mwa kila kurasa
NA. SWALI KAZI NA JIBU
1. 1. (i) John ana ng’ombe kumi elfu na moja. Andika namba hii kwa namba za kawaida


(ii) Shule ya Msingi Masaka ina jumla ya wanafunzi 1406. Andika idadi hiyo kwa maneno


(iii) Umepewa namba 72914. Andika thamani ya namba iliyopigiwa mstari


(iv) Mzee Tindikali alipanga machungwa katika makundi 50000 + 8000 + 300 + 20 + 1. Andika mafungu hayo kwa kifupi


(v) Ukiwa mtaalamu wa Hisabati andika namba inayofuata 8, 12, 16, ____, 24


2. (i) Baba yangu ana kuku 41 katika shamba lake . Andika namba hii kwa kirumi.


(ii) Halima alipanga machungwa katika mafungu yafuatayo 1120, 1020, 1420, 1220 , 1720, 1620. Panga mafungu hayo kuanzia namba kubwa kwenda ndogo


(iii) Mwalimu wa Hisabati alipanga vitabu kwa mtiririko ufuatao; iii, vi, ix, ___, xv. Andika namba inayokosekana


(iv) Mama alinipa ⅓ ya mkate. Andika sehemu hii kwa maneno


(v) Mwalimu alimpa Asha sarafu 20 za shilingi mia tano. Je, Asha alipewa kiasi gani cha fedha?


3. (i) Peter ana ng’ombe 489 na Mary ana ng’ombe 4511. Je, jumla wote wana ng’ombe wangapi?


(ii) Mwanaidi alifuga mbuzi 27890 mwaka jana. Aliuza mbuzi 18995. Mbuzi wangapi hawakuuzwa?


(iii) Tafuta thamani ya B


(iv) Wanafuzi 3 wamegawana ndizi 57 kwa usawa. Je, kila mwanafunzi amepata ndizi ngapi?


(v) Juma alikula   ya mkate na Adamu alikula     ya mkate. Ni sehemu gani ya mkate huo walikula wote wawili kwa pamoja?

4. (i) Kuna vipande vingapi vya mstari katika mchoro huu?


(ii) Rose alichora mstatili wenye urefu wa sm 27 na upana wa sm 13. Tafuta mzingo wake


(iii) Maria anatakiwa kuripoti shuleni muda uliooneshwa katika saa hii. Je anatakiwa kufika saa ngapi?


(iv) Ipi nzito zaidi g 2000 ya mahindi na kg 20 ya mchele?


(v) Shule ya Msingi Mtakuja ina madarasa 9. Kila darasa lina idadi ya wanafunzi 35. Shule ina idadi ya wanafunzi wangapi?


5. Bwana Paulo alivuna mahindi katika mashamba yake matatu (3)

(i) Shamba lipi alivuna mahindi mengi?

(ii) Bwana Paulo alivuna kilogramu ngapi katika shamba C?


(iii) Shamba lipi alivuna mahindi kidogo?


(iv)Bwana Paulo alivuna mahindi kilogramu ngapi katika mashamba mawili A na B?


(v)Ni kiasi gani cha mahindi alivuna katika mashamba yote matatu?



STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 57  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 57  

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU

MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA IV TAREHE 23 NA 24 AGOST 2023

HISABATI

MUDA: SAA 1:30 AGOST 2023

MAELEKEZO:-

  1. Mtihani huu una jumla ya maswali matano
  2. Jibu maswali yote
  3. Andika majina yako yote kwa usahihi kwenye kila ukurasa.

NO

MASWALI

KAZI

JIBU

1.

i. Andika namba zifuatazo kwa tarakimu. Maelfu tisa mamia tatu, makumi mbili na mamoja saba



ii. Andika namba ifuatayo kwa tarakimu. Ishirini na tano elfu mia tano hamsini na tisa



iii. Andika namba ifuatayo kwa maneno 72020



iv. Darasa la nne lina idadi ya mwanafunzi wasichana 39 na wavulana 20. Andika idadi ya wasichana kwa namba za kirumi.



v. Andika thamani ya namba liyopigiwa mstari 82904



2.

i. Panga namba zifuatazo kuanzia ndogo kwenda kubwa 667, 707, 870, 977, 677




ii. Andika namba hizi kuanzaia namba kubwa kwenda ndogo 451, 378, 192, 705, 9876.




iii. Andika namba inayokosekana katika mpangilio ufatao 10, 13, image, 19, 22.




iv. 8195 + 1502 =




v. 9595 – 7484 =



3.(i)




(ii)

(iii) 3 7 9 × 27 =

(iv)

(v) Mara ngapi unaweza kupata 9
katika 549?


4.(i) Mary alikula 3/7 ya muwa na Juma alikula 2/7 ya muwa huo. Je walikula sehemu gani ya muwa.

(ii) Sikitu hutembea mita 2000 kutoka nyumbani kwao mpaka shuleni, Je hutembea kilomita ngapi kutoka nyumbani hadi shuleni?

(iii) Uso wa saa ifuatayo unanyesha ni saa ngapi?


(iv) Kokotoa mzunguko wa mraba ufuatao


(v) Masanja aliuza viazi na kupata Tsh.3000 akanunua maandazi mawili kwa sh. 600. Je alibakiwa na shilingi ngapi?

5. Shule ya msingi Nyambilwa hutumia maboksi ya chaki kwa wiki kama inavyoonyesha kwenye grafu. Jibu maswali yafuatayo kwa kutumia grafu hii.



i. Je maboksi mangapi yalitumika siku ya Jumanne?




ii. Tafuta tofauti ya maboksi ya chaki yaliyotumika siku ya Jumatatu na Jumanne




iii. Ni siku zipi zilitumia idadi sawa ya maboksi ya chaki katika wiki?




iv. Ni maboksi mangapi ya chaki yalitumika katika siku tano za wiki?




v. Ni siku ipi katika wiki ambayo ilitumia idadi chache ya maboksi ya chaki?



STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 30  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 30  

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS  TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

UPIMAJI WA UTAMILIFU MKOA DARASA LA NNE

 MKOA WA NJOMBE

04 HISABATI

Muda: Saa 1:30 Mwaka :2023

MAELEKEZO

  1. Karatasi hii ina jumla ya maswali Matano (5).
  2. Jibu maswali yote.
  3. Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizotolewa katika kila swali.
  4. Andika majibu yote kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi.
  5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha upimaji.
  6. Andika Jina na Namba yako ya Upimaji katika sehemu ya juu kulia ya kila ukurasa.
KWA MATUMIZI YA UPIMAJI TU


 NAMBA YA SWALI   ALAMA   SAINI YA MPIMAJI
1

2

3

4

5

JUMLA

SAINI YA MHAKIKI


Katika swali 1-5, kokotoa swali ulilopewa na kisha andika jibu sahihi kwenye nafasi iliyotolewa

NA

SWALI

 KAZI

JIBU


1.

(i) Andika XLII kwa namba za kiarabu






(ii) Katika namba 54276 tarakimu ipi ipo katika makumi elfu






(iii) Fafanua namba 60052 kwa kuzingatia thamani ya namba






(iv) Noti 5 za sh. 1000 zina thamani ya shilingi ngapi?







(v) Andika tendo la kihisabati lililotumika kupata mpangilio huu 1, 3, 9, 27, 81.






2.

(i) 20103 – 48







(ii) Panga namba hizi kuanzia kubwa kwenda ndogo 108, 848, 484, 248.







(iii) Andika namba inayoanza kabla ya 10,000






(iv) Andika namba inayokosekana 109, ____, 111, 112.






(v) Andika kwa maneno ¾





3.

(i) Je, ni namba ipi ikizidishwa kwa 12 jibu ni 144?






(ii) 2432 -  = 1050




(iii) Jane hunywa ? ya chupa moja ya maziwa kila siku. Je, atakunywa chupa ngapi kwa siku 12?




(iv) Tafuta mzingo wa chumba cha darasa chenye urefu wa mita 12 na upana wa mita 8.




(v) Saa 4 dk 45 – saa 3 dk 15.





4.

(i) Ng’ombe 102 wana miguu mingapi?






(ii) Badili gramu 5000 kuwa kilogramu






(iii) Baraka alitembea km 3 kwa miguu na km 8 kwa baiskeli. Je, alisafiri umbali gani jumla





(iv) Tafuta thamani ya “P”.




(v) Urefu wa uwanja wa mpira wa pete ni meta 80 na upana meta 40. Tafuta eneo la uwanja huo .




5.

Mchoro huu unaonesha idadi ya kuku wanaofugwa na mitaa mitano. Tumia picha hizi kujibu maswali.

(i) Jumla ya kuku wote ni




(ii) Mitaa ipi ina idadi kubwa ya kuku?






(iii) Mtaa upi una kuku 20?






(iv) Mtaa upi una idadi ndogo ya kuku?






(v) Tafuta tofauti ya kuku wa mtaa 3 na
mtaa wa 4.





STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 20  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 20  

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

MTIHANI WA UPIMAJI WA DARSA LA NNE

SOMO LA HISABATI

1. JAZA JIBU SAHIHI

(i) Andika namba ifuatayo kwa maneno 6301 __________________________________________________________________________________________________________________________________________

(ii) Katika namba ifuatayo thamani ya namba iliyopigiwa mstari ni ngapi..? 9999 

___________________________________________

(iii) Andikanambailiyowakilishwakatikaabakasiifuatayo,.

___________________________________________

(iv) Andika elfu moja mia moja na moja kwa tarakimu

___________________________

(v) Andika XLIX kwa namba za kiarabu ______________________

2. Kokotoahesabuzifuatazo,

  1. Panga namba zifuatazo ukianzia kubwa mpaka ndogo kabisa

403, 203, 304, 302, 101 _____________________________________

  1. Andika namba inayo kosekana katika mfululizo huu,

14, 12, _____8, 6.

  1. Namba 2301 ina, Maelfu __________, mamia ______, makumi _______, namamoja _________
  2. Andikakwakifupinambahii, 9000 + 700+ 40 +4= ____________________
  3. Andika namba ya kirumi inayo fuata katika mfululizo huu X, XX, XX, __________
  1. Kokotoa
  1. Jumlisha sh. 599 na sh. 401, jumla yake ni shilingi ______________________


  1. Anna alikuwa na shilingi 80,800, aliitumia shilingi 20,000 kununulia sare za shule na shilingi 17,500, kununulia daftari. Anna alibakiwa na kiasi cha shilingi ngapi?



  1. Kokotoa
  1. Andika sehemu ya umbo lifuatalo iliyowekwa kivuli


  1. Andika jina la umbo lifuatalo


  1. Badili kg 5250 kuwa gramu____________________
  2. Badili 2000 kuwa meta _____________________
  3. Galoni moja ina lita 10, je galoni kama hizo 3 zitakuwa na ujazo wa lita ngapi? ____________
  1. Soma takwimu zifuatazo kasha jibu maswali yanayofuata

MAUZO YA NAFAKA

MWEZI

MAUZO KATIKA KILOGRAM

JUNI

JULAI

AGOSTI

SEPTEMBA

OKTOBA

UFUNGUO

 = KILOGRAM 1000

  1. Ni mwezi gani uliuza nafaka chache zaidi ? ________________________________
  2. Kilogram ngapi ziliuzwa mwezi Agosti..?_______________________________
  3. Tafuta tofauti ya mauzo yanafaka kwa miezi ya Oktoba na Septemba?______________________
  4. Tafuta mzingo wa umbo hili.


  1. Tafuta mzingo wa mraba huu


STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 7  

STANDARD FOUR HISABATI EXAM SERIES 7  

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256