?> HISABATI STANDARD SEVEN EXAMS SERIES
HISABATI STANDARD SEVEN EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZAMIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA PILI

DARASA LA SABA

HISABATI

 

SEHEMU A: MATENDO MCHANGANYIKO

 

 1. 201.11 – 14.713 =
 2. (+ 32) + ( - 43)=
 3. 4.123 + 3.13 =
 4. 3.142 x 10.5=
 5. −6705 =
 6. Badilisha 0.925 kuwa sehemu rahisi.
 7. Badilisha
 8. Gawanya Tani 6 kg 305 kwa 5
 9. Tafuta kipeuo cha pili cha
 10. Tafuta kigawo kikubwa cha shirika cha 13, 38 na 78.
 11. Tafuta wastani wa namba zinazogawanyika kwa 3 zilizo kati ya 80 na 93
 12. Rahisisha fungu hili.

 

 1. Tafuta namba tasa zote kati ya 128 na 136
 2. Ikiwa x=3, y=4 na z=6. Tafuta thamani ya x2 – 2yx + z2
 3. Tafuta namba inayofuata katika mfululizo ufuatao:

3, -6, 12 -24, _________

 1. Ikiwa U:V= 2:3 na U=. Tafuta thamani ya V
 2. Tafuta thamani ya pembe f katika umbo lifuatalo.

 1. Tafuta eneo la sehemu iliyowekewa kivuli ikiwa mzigo wa mstatili ni sm 52

 1. Tafuta ukubwa wa pembe ‘Y’ katika nyunzi

 1. Tafuta eneo la umbo lifuatalo:

 1. Tafuta thamani ya x

 

 

 

 

 1. Tafuta urefu wa BD, ikiwa umbo lifuatalo ni mstatili wenye mzigo was m 34.

 1. Ukubwa wa tangi hili la mafuta ni lita 0.7065. Tafuta thamani ya r.

Tumia (= 3.14, lita 1= sm3 1000)

 

 1. Jumla ya wanyama katika mbuga Mikumi ni 360,000. Tafuta idadi ya nyumbu.

 1. Tafuta tofauti ya mzingo wa duara na mzingo wa mraba katika umbo lifuatalo.

 

 1. Eneo la pembetatu moja ni sm2 32c. Iwapo kitako chake n ism 8bc. Tafuta kimo chake.
 2. Tafuta eneo la kipende cha bati kitakachohitajika kutengeneza kopo la maziwa lisilofunikwa la mche duara wenye kimo cha sm 14 na kipenyo cha sm 14.
 3. Andika jina la umbo bapa litakalopatikana kwa kuunganisha majira ya nukta zifuatazo: A(-2, -3), B(1, -3), C(1,0), D(-2, 0)
 4. Bei ya mahindi ni theluthi ya bei ya mchele. Ikiwa bei ya kg 8 za mchele ni shilingi 4,800/=. Tafuta bei ya kg 16 za mahindi
 5. Baba alikuwa na madaftari 120, aliwagawia watoto wake watu Issa, Rajabu na Asha. Issa alipata  madaftari, Rajabu alipata  ya madaftari na Asha alipata  ya madaftari yote. Je, baada ya kuwagawia Baba alibakiwa na idadi ya madaftari?
 6. Minza aliweka sh.12,000/= katika Benki itoayo riba ya  kwa mwaka. Iwapo alipata faida ya shilingi 4,950/=. Fedha yake ilikaa Benki kwa muda gani.
 7. Tafuta mzingo wa duara ikiwa eneo lake ni sm2 1386
 8. Kaijange anaweza kutembea meta 180 kwa dakika 2. Tafuta mwendokasi wake katika kilomita kwa saa.
 9. Katika uwiano wa 4:9:6:7, hisa kubwa ni 3600. Kokotoa jumla ya his azote

SEHEMU B:

MATENDO YA KIHISABATI, MAUMBO NA MAFUMBO

 1. Tafuta thamani ya ‘Y’ katika mlinganyo ufuatao

 

 1. Eneo la mche mramba ni sm2 2166. Tafuta ukubwa wa mche mraba huo.
 2. Tafuta ukubwa wa pembe ‘W’

 1. Umri wa Kihambi utakuwa mara 2 ya umri wa Masanja baada ya miaka 4. Ikiwa jumla ya umri wao wa sasa ni miaka 40. Tafuta umri wa Masanja kabla ya miaka minne.
 2. Tafuta ukubwa wa umbo lifuatalo:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SEVEN EXAM SERIES 80

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256