?>
OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMI
MTIHANI WA NUSU-MUHULA DARASA LA SITA
HISABATI
MUDA: SAA 2:00 MWAKA 2026
JINA LA MWANAFUNZI: ___________________________________________
JINA LA SHULE ____________________________________________
MAELEKEZO
SEHEMU A (ALAMA 10)
Katika kila kipengele, jibu maswali yote katika sehemu hii.
Kokotoa maswali yafuatayo ukionesha wazi njia iliyotumika katika jibu sahihi katika nafasi iliyotengwa.
| Na. | Swali | Sehemu ya kazi na jibu |
| 1. (i) | 6 364 274 + 2 023 110= | |
| ii) | 1005-889= | |
| iii) | 972 x 23= | |
| iv) | 3/5 – 1/6 = | |
| v) | 694 500÷1 852 = | |
| vi) | 23.4×3.2 = | |
| vii) | 10 x 3/4= | |
| viii) | 34/8 – 13/4 = | |
| ix) | +10 + (-8) = | |
| x) | 346.224 – 247.44= | |
| SEHEMU B (ALAMA 30) | ||
| 2. (i) | Andika thamani ya tarakimu iliyopigiwa mstari 3816941 | |
| ii. | Andika nafasi ya thamani ya tarakimu 9 katika namba 5496475 | |
| iii. | Elimringi alitumia tofali 1748 kadiria tofali hizo katika mamia yaliyo karibu | |
| iv. | Andika namba inayofuata katika mfulilizo wa namba hizi 2, 3, 5, ___ | |
| v. | Wanafunzi katika shule ya msingi Shimbwe juu ni 630. Kati ya hao 1/3 ni wavulana wasichana ni wangapi? | |
| vi. | Jumlisha 45% na 1/4 jibu liwe katika asilimia | |
| 3. i. | Panga namba zifuatazo kuanzia ndogo hadi kubwa 1/2 , 75% na 0.25 | |
| ii. | Andika kwa numerali namba ifuatayo iliyoandkikwa kwamaneno “milioni mbili kumi elfu na mbili” | |
| iii. | Namadengwa alimtaka rafiki yake Mbeteni amworodheshee vigawo vyote vya 13. Alimworodheshea vigawo gani? | |
| 4.(i). | Tafuta zao la KKS na KDS cha namba 3,5 na 7 | |
| ii. | Mwanariadha alianza kukimbia saa 12:30 asubuhi na akakamilisha mbio baada ya dakika 40. Alimaliza saa ngapi? | |
| iii. | Calisti alikuwa na mbuzi 1027 na alimgawia mwanae kiasi cha mbuzi 493 ya mbuzi wote. Je alibakiwa na mbuzi wangapi? Jibu katika namba za kirumi | |
| 5.(i) | Kilogramu 3½ ni sawa na gramu ngapi? | |
| ii. | Fatuma alipewa kadi yenye namba shufwa na alipochukua namba tasa na kutoa namba shufwa alipata jawabu sifuri. Je namba hiyo ni namba gani? | |
| iii. | Wanachama 24 waligawana shilingi 193,200. Je kila mwanachama alipata kiasi gani cha fedha? | |
| 6.(i) | Shule ilinunua sukari yenye uzani wa kilogramu 1225.5, kilogramu 88.25 na kilogramu 227.175. tafuta jumla ya kilogramu za sukari iliyonunuliwa. | |
| ii. | Wavulana 12 darasani waliwakilisha alama “n”. iwapo waliandikwa kati ya wavulana 12n alama iliyowakilisha kipi ni kigeu? | |
| iii. | Dereva wa gari la shule huweka shilingi 127002 katika benki kila mwezi. Je ataweka kiasi gani kwa miuda wa mwaka mzima? | |
| SEHEMU C (ALAMA 10) Jibu maswali yote katika sehemu hii. | ||
| 7. | Chunguza kwa makini grafu ifuatayo ya idadi ya kuku waliouzwa kisha jibu maswa.
| |
| i. | Siku zipi waliuza kuku kwa idadi sawa? | |
| ii. | Siku ya Jumanne waliuzwa kuku wangapi zaidi ya kuku waliouzwa siku ya Jumatano? | |
| 8(i). | ![]() | |
| ii. | Tafuta eneo wa umbo hili.
| |
| iii. | Mraba una upande wenye urefu wa m 23. Tafuta mzingo wake. | |
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 137
OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMI
MTIHANI WA NUSU MUHULA –MACHI 2026
DARASA LA SITA
HISABATI
MUDA: SAA 2:00
JINA LA MWANAFUNZI: ___________________________________________
JINA LA SHULE ____________________________________________
MAELEKEZO
1. Mtihani huu unasehemu tatu A, B, na C yenye jumla ya maswali nane (8)
2. Soma maelekezo na kisha jibu maswali yote kila sehemu.
3. kumbukakuandikajinalakonajina la shuleyako.
4. Simuzamkononihaziruhusiwindani ya churnbachamtihani.
| NA | SWALI | JIBU | ||||||||||||
| 1. | SEHEMU A: (ALAMA 10) Jibu maswali yote |
| ||||||||||||
| i. | 5279 + 4482 = |
| ||||||||||||
| ii. | 6000 – 2897 = |
| ||||||||||||
| iii. | 407 x 42 = |
| ||||||||||||
| iv. |
|
| ||||||||||||
| v. |
|
| ||||||||||||
| vi. |
|
| ||||||||||||
| vii. |
|
| ||||||||||||
| viii. |
|
| ||||||||||||
| ix. |
|
| ||||||||||||
| x | Sh. 450 + sh 7300 + sh 1100 = |
| ||||||||||||
| 2. | SEHEMU B: (ALAMA 30) |
| ||||||||||||
| i | Andika maneno 311008 |
| ||||||||||||
| ii. | Andika kwa tarakimu miamoja na saba elfu miatano na tano________________ |
| ||||||||||||
| iii. | Ipi ni thamani ya kiwangocha 9 katika namba hii 89670 |
| ||||||||||||
| iv. | Andika namba 900,000 + 30,000 + 1,000 + 300 + 50 + 4 kwakifupi |
| ||||||||||||
| v. | Fafanua 763631 kwa kutumia thamani ya tarakimu_______ |
| ||||||||||||
| vi. | Andika nafasi ya thamani ya 7 katikanambahii 236374 |
| ||||||||||||
| 3. |
|
| ||||||||||||
| i. | Andika namba inayokosekana katika mfulizo ufuatao 18,16,14,12,___,___, |
| ||||||||||||
| ii. | Jaza namba zinazo fuata katika mpangilio huu 11,22,33,44.___,_____, |
| ||||||||||||
| iii. | Jaza namba zinazokosekana katika mpangilio wa namba zifuatazo 3,9,27,___,_____ |
| ||||||||||||
| 4. |
|
| ||||||||||||
| i. | Kwakutumiatarakimu 4,2,9,7,8 na 1, andika namba zifutazo iwaponkila tarakimu itatumiaka mara moja tu nambakubwakabisakwakutumiatarakimu zote sita ________ |
| ||||||||||||
| ii. | Namba ndogo kabisa kwa kutumia tarakimu zote sita__________ |
| ||||||||||||
| iii. | Kati namba hizi ipi namba ndogo zaidi? 661,256,663666,666166,616,666 |
| ||||||||||||
| 5. |
|
| ||||||||||||
| i. | Kampuni ilinunua magari 491235 kwa fedha tasilimu na kukopeshwa magari 508761. Je kampuni ilipata jumla ya magari mangapi? |
| ||||||||||||
| ii. | Wanafunzi 635740 walifanya mitihani wa kumaliza darasa la saba Kati ya hao wavulana walikuwa 312520 Je, wasichana wangapi walifanya mitihani huo?___________ |
| ||||||||||||
| iii. | Tafuta zao la namba 117 na 33 |
| ||||||||||||
| 6. |
|
| ||||||||||||
| i. | Ateba anaumri wa miaka 47 Andika umri wa Ateba kwa namba za kirumi |
| ||||||||||||
| ii. | Fausta alitembe km 8 na m 700 kutoka sokoni hadi kazi kwake . Tasha na ye alitembea m 6928 kutoka sokoni hadi nyumba kwake Nani alitembea umbali mrefu zaidi?___________- |
| ||||||||||||
| iii. | Mkate moja una uzita wa nusu kilogramu Tafuta uzito wa mikate mitano katika gramu? |
| ||||||||||||
| 7. | SEHEMU C: (ALAMA 10) |
| ||||||||||||
| i. | Kokotoa mzingo wa umbo la mstatili ufuatao
|
| ||||||||||||
| ii. | Tafuta mzingo wa mraba ufuatao
|
| ||||||||||||
| iii. | Tafuta mzingo wa umbo hili
|
| ||||||||||||
| 8. |
|
| ||||||||||||
| i. | Angalia mahudhurio ya wanafunzi wa dalasa la nne katika shule ya msingi Mashujaa kisha jibu maswali yafuatayo
Tafuta jumla ya mahudhurio ya wanafunzi kwa siku zote tano?_______________ |
| ||||||||||||
| ii. | Ninitofauti ya wanafunzi waliohudhuria siku ya ijumaa na siku ya alhamisi?____________ |
|
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 135
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUJIPIMA NUSU MUHULA WA KWANZA 2024
SOMO: HISABATI DARASA: VI
2 (i) Umepewa namba 2, 4, 9, 6, na 0. Andika namba ndogo kutokana na tarakimu ulizopewa.
(ii) Nino wastani wa namba tasa zilizipo kati ya 6 na 24?
(iii) Shule ina jumla ya wanafunzi 720, ikiwa 12.5% ya wanafunzi wote ni wasichana. Tafuta idadi ya wavulana.
(iv) Fikiri namba, kisha toa tisa katika namba hiyo. Jibu lake ni sawa na robo ya namba hiyo. Je namba hiyo ni ipi?
(v) Umri wa mtoto ni 0.25 ya umri wa baba. Ikiwa umri wa baba ni miaka 40. Tafuta umri wa mtoto.
(vi) Mwalimu aliwapatia wasichana vitabu CMXCVIII na wavulana vitabu MCCVIII, kwa pamoja walipata vitabu vingapi?
3 (i) Kilogramu 25010 za mchele ziligawiwa kwa wazee 305 kwa idadi sawa. Je kila mzee alipata kilogramu ngapi?
(ii) Shamba la Musa lina jumla ya idadi ya miti 2847693 andika thamani ya nafasi ya tarakimu iliopigiwa mstari
(iii) Andika namba 6280050 kwa maneno.
4 (i) Namba ya siri ya kufungua tarakilishi ya Mwalimu ni 24162. Tumia tarakimu hizi kiinda namba ndogo zaidi.
(ii) Panga namba zifuatazo ili ziwe katika mpangilio sahihi kuanzia kubwa hadi ndogo. 7/10, 0.5, 60%, 0.01, 1/4,
(iii) Namba ya kiarabu inayotokana na namba ya kirumi CMXCIX ni ipi?
5 (i) Andika namba inayokosekana katika mfululizo huu. 1, 5, 10, ........., 23
(ii) Bei ya gauni ni Sh 80,000. Jane alipewa punguzo la 25%. Je atalipia kiasi gani cha fedha kwa gauni?
(iii) Neema alikula 2/7 ya muwa na dada yake Queen alikula 1/9 ya muwa. Tafuta sehemu ya Muwa iliyobaki.
6 (i) Tafuta KKS cha 6, 10, na 15.
(ii) Kadiria namba hii katika mamia yaliyo karibu 8769806
(iii) Kama 1/3 : 8 = 24: K. Tafuta thamani ya K.
7 SEHEMU C: TAKWIMU NA MAUMBO

8 (i) Umri wa Paulo ni miaka 11, umri wa Juma ni miaka 9, na umri wa Aisha ni miaka 7. Tafuta wastani wa umri wao.
(ii) Saumu alinunua trai tatu za mayai kwa shs.400 kila moja. Wakati akirudi nyumbani, 1/3 ya mayai katika trai moja yalipasuka. Aliuza mayai yaliyobaki kwa shilingi 400 kila moja. Tafuta faida au hasara aliyopata.
(iii). Shamba la maua lenye umbo la duara lina radius ya meta 28. Tafuta mzingo wa shamba hili.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 108
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MITIHANI YA MAZOEZI DARASA LA SITA
HISABATI
ANNUAL FOR 2022
JIBU MASWALI YOTE












Gauni jozi 2 @ shilingi 3,600/=;
Kanga doti 4@ shilingi 2,400/=;
Viatu jozi 2 @ shilingi 5,200/=;
Kofia ya shilingi 1,250 na miwani ya shilingi 5,250. Je alihitaji shilingi ngapi Zaidi ili aweze kulipia vitu hivyo?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 63
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA DARASA LA SITA
HISABATI
MUDA:1 :30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEZO
1. Jaza taarifa zako muhimu katika karatasi ya kujibia uliyopewa
2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo ya kila sehemu
3. Zingatia unadhifu wa kazi yako
4. Katika swali la 1-40 andika herufi ya jibu sahihi
5. Kwa swali la 41-45 andika majibu katika nafasi iliyoachwa wazi
Chagua jibu sahihi kutoka yale uliopewa


(a) sm2 154 (b) sm2 42(c) sm2 32 (d) sm2196

(a) 3 (b) 8 (c) 11 (d) 12

(a) sm2 144 (b) sm2 124 (c) sm2 120 (d) sm2 64

(a) sm3 192 (b) sm3 224 (c) sm3 128 (d) sm3 256 (e) sm3 64.
(a) 10 0 (b) 15 0 (c) 20 0 (c) 30 0
(a) 10° (b) 20° (c) 22° (d) 24°

(a) sm3 660 (b) sm31,320 (c) sm3 3,520 (b) sin 4,620

(a) mstatili (b) mraba (c) pembe tatu (d)duara
(a) 230 (b) 330 (c) 450 (d) 460
Katika swali la 41-45 tafuta jibu sahihi
Je alibakiwa na kiasi gani baada ya kununua vitu vyote hivyo?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 55
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA
HISABATI
| NO | SWALI | KAZI | JIBU |
| | Jumulisha, 5698+ 1968 |
|
|
| | Toa, 9875 kwa 12432 |
|
|
| | Zidisha, 158 x 27 |
|
|
| | Ikiwa machungwa 4832 yatagawanywa kwa watoto 24, kila mmoja atapata mangapi? |
|
|
| | 35/6 + 21/2 |
|
|
| | 81/3 – 21/2 |
|
|
| | 3/5 x 33/10 |
|
|
| | 33/5x10/27 |
|
|
| | 102.14 + 11.76 = |
|
|
| | 8.78 -12.5 = |
|
|
| | 5.84 x 2.4 |
|
|
| | badilisha 0.8 kuwa sehemu |
|
|
| | Badilisha 4/25 kuwa asilimia |
|
|
| | Andika 14/5 katika desimali |
|
|
| | Tafuta K.D.S ya 36, 48, 60 |
|
|
| | Tafuta K.K.S cha 24, 32, 48 |
|
|
| | Rahisisha, +8+-3 kwa kutumia mstari nambari |
|
|
| | Tafuta eneo
|
|
|
| | Tafuta y, 2y-7=5y-16 |
|
|
| | Tafuta jumla ya namba tasa kati ya 81 na 98 |
|
|
| | Andika 356 kwa kirumi |
|
|
| | Tafuta jumla ya namba shufi kati ya 11 na 19 |
|
|
| | Andika namba inayofuata 3,9,15,21,...... |
|
|
| | Rahisisha, 6(2+a)+4(3+5a) |
|
|
| | Jumlisha saa dakika sekunde 4 37 41 3 59 18 |
|
|
| | 64x2y÷8x3y |
|
|
| | +52+-21= |
|
|
| | 10x + 28 = 48, tafuta dhamani ya x |
|
|
| | Andika kwa maneno, 85,537 |
|
|
| | 2y-7=5y-16 |
|
|
| | 21/2p +3 =2 |
|
|
| | Rahisisha, 3x-4 =11 |
|
|
| | Tafuta mzingo wa umbo hili
|
|
|
| | Tafuta dhamana ya b
|
|
|
| | Tafuta mzingo wa umbo hili
|
|
|
| | Tafuta mzingo
|
|
|
| | Tafuta eneo
|
|
|
| | Tafuta eneo la mraba
|
|
|
| | Andika saa tano na dakika arobaini asubuhi katika mfumo wa saa ishirini na nne |
|
|
| | Tafuta eneo la umbo lifuatalo
|
|
|
| | Tafuta eneo
|
|
|
| | Tafuta eneo, pai ni 22/7
|
|
|
| | Tafuta kipeuo cha 25 |
|
|
| | Tafuta eneo la umbo hili
|
|
|
| | Juma alinunua vitu vifuatavyo; Vifutio 72 @15/= Mita 3 za kitambaa kwa @600/= Pea sita za soksi kwa @175/= Suruari moja @3750/= Kama alikuwa na shilingi 8000/= je alibaki na kiasi gani? |
|
|
LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD SIX EXAM SERIES 35