?> HISABATI STANDARD FIVE EXAMS SERIES
HISABATI STANDARD FIVE EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZAMIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA PILI

DARASA LA TANO

SOMO: HISABATI

JINA:__________________________________ TAREHE:________________ DRD 5

NO

SWALI

NO

SWALI

1.

Andika  namba hii kwa upana 46578 

16.

Tafuta jumlaa ya namba zifuatazo 

  3/8  and   1/2 

2.

Andika thamani ya nambari iliyopigiwa mstari 56786

3.

Pata jumla ya nambari mbili zinazofuata katika safu hapa chini   120, 114, 108, 102, 96, ________

17.

   1/32  zipo ngapi katika kitu kizima ?

4.

Andika CMXCIX kwa namba  za kawaida

18.

Tafuta zao kati ya namba hizi  

 1516 na 2021

5.

Andika nambari inayokosekana katika mlolongo   

 Ufuatao 25, 20, 15,______, 5

19.

Mwaka      mwezi 

     1      45

X 9

6.

Tafuta namba  mraba ya 676

20.

Andika namba hii kwa upama 900

7.

 Kuna namba shufwa ngapi kati ya 10 na 2

21.

 Zidisha 3km kwa 4.Toa jibu lako kwa sm

8.

 Tafuta kigawo kikubwa  (K.K.S)  cha 12 na 36

22.

 Jumla ya nambari hizi mbili ni 100001.

 Ikiwa miongoni mwa namba hizo ni 9999, Tafuta namba ya pili

9.

 Kuna 1/3  ngapi katika kitu kizima 

23.

 Tafuta thamani ya jumla ya namba hizi 

  42.92  na 31.57

10.

 Tafuta tofauti ya namba mraba za namba hizi 324 na 256

24.

 Tafuta wastani wa namba hizi 

 105, 125,145  na   135

11.

 Andika katika takwimu "Laki moja, mia na tisa nukta tatu tano"

25.

 Kokotoa miezi 11  siku 12 kwa  

12.

 Tafuta urefu wa       

 

26.

 Tafuta zao la  25m na 1.46 m , kisha andika      

 jibu katika sentimita

13.

 Umri wa pita ni miaka 6 zaidi ya umri wa George .Miaka  2 iliyopita jumla ya umri wao ulikuwa miaka 48.Tafuta umri wa sasa wa George  

27.

 Tafuta upana wa mraba n ism 56 .Tafuta mzingo wake 

14.

 Pipa la maji lilijazwa ndani ya masaa 4 wakati pipa dogo lilijaa maji kwa masaa 5 , Ikiwa mapipa yote yatafuniliwa na kujazwa maji kwa pamoja , Je muda gani mapipa hayo yatajaa ?

28.

 Shule ya Maendeleo walipanda miti  104  katika shamba la shule. Ikiwa 14  ya miti hiyo ilikauka   Tafuta mimea iliyopona ?

15.

 Tafuta mzingo

29.

 Tupa alinunua redio kwa Tsh 540,000/=  na kuuza   

 kwa Tsh  345,000/= 

 Je, kiasi gani cha fedha Tupa alipoteza ?. 

.30

kokotoa,

Kg g mg

21 168 73

5 721 21

+ 43 32 3

36.

 Sakafu katika ofisi ya mkuu wa shule ni mstatili kama iliyoonyeshwa hapa chini ikiwa mzingo wake ni sm 124 .Tafuta thamani ya X  

 

 

 

 

31.

Tafuta thamani ya  “t”

 

37.

Nini mzingo wa umbo hili?

 

 

 

32.

Tafuta sehemu ambayo haijatiwa kimvuli?

38.

Jedwali hapa chini uonyesha idadi ya wanafunzi katika darasa la 5B.Ambao walifaulu somo la sayansi katika wiki nne . ikiwa wastani kwa wanafunzi hao waliofaulu mtuhani huo ni 70.Wangapi walifaulu katika wiki ya  3rd 

wiki

i

ii

iii

iv

wnfnz

76

64

…..

72


33.

 Tafuta mstari tuli hapo (saimentari)?

 

 

 

 

39.

Katika darasa la tano kila dawati limekaliwa na watoto watatu, ikiwa darasani kuna madawati 60. Je darasa la tano linawafunzi wangapi?

34.

Tafuta upana wa mraba ikiwa mzingo wake ni  144 sm.

40.

 Shule ya mapinduzi inawanafunzi 860 . Ikiwa wavulana ni 432 .Tafuta idadi ya wasichana waliopo katika shule hiyo ?

35

Kapilima alinunua vitu vifuatavyo kwa mahemezi ya nyumbani 

Vikombe 6  @ sh. 2,500

Vipikio 3  @ sh. 4,500

Sahani 12 @ sh 7,500

Jozi mbili ya vijiko sh 800 kwa kijiko.

Alimpa muuza duka noti  15 za Tsh10000/=  arudishiwa chenchi kiasi gani?

SEHEMU B: (ALAMA10)

41. Tafuta namba inayofuata katika mfululizo unaofuata 

XVII, XXVII, XXXVII,          . Andika jibu  katika namba za kawaida (kiarabu)

3

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 76

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA

MTIHANI WA HISABATI DARASA LA V – 2022

Jibu namba hii kama ilivyotekelezwa

 1. Andika namba hii kwa maneno 19967
 2. 297950 andika katika abakasi
 3. CVI kwa kawaida
 4. Andika thamani ya 7 katika namba hii 987001
 5. Fananua namba hii 200049
 6. 237 + 112451 =

 

 1. 8704 – 7537 =

 

 1. Tafuta zao la 329 na 3

 

 1. 14496  3 =
 2. 96  3 =
 3. 50 + 4= Jibu liwe kwa kirumi
 4. Badili  kuwa desimali
 5. Tafuta K.K.S cha 30 na 40
 6. Tafuta K.D.S cha 3 na 12
 7. Andika vigawo tasa vya 15
 8. Andika namba shufwaa zote zilizopo kati ya 29 na 45
 9. =
 10. Andika vigawo vyote vya 7
 11. Jaza vigawo vinavyokosekana katika ngoe hii.

 

 

 

 

 

 

 1. Tafuta vigawo shirika vya 6 na 8
 2. =
 3. Ipi kubwa
 4. Namba ipi kati ya hizi ni namba shufwa 18, 33, 36, 37, 40, 58
 5. Andika namba ya desimali kwa maneno 68.31
 6. Badili  kuwa desimali

 

 

 1. Kilometa 1 ni sawa na mita ngapi?
 2. 31.1 x 4 =
 3. Chora uso was aa kuonyesha saa 8:30 mchana
 4. Siku moja ina saa ngapi?

 

KUANZIA SWALI LA 41 – 45 ONYESHA NJIA KWA KILA SWALI NA JIBU LAKE

 

 1. Namba tasa nini?
 2. Tafuta KDS cha 8 na 36 kwa njia ya pamoja
 3. Tafuta mzigo wa mstatili huu.

 

 1. Tafuta K.K.S cha 8 na 12 kwa njia ya ngoe

 1. Tafuta vigawe vya shirika vya 3 na 6

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 67

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA

HISABATI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

 

   NO 

  SWALI

 KAZI

   JIBU

 

ANDIKA KWA MANENO

 

 

 1.  

144,443

 

 

 1.  

44,444

 

 

 1.  

959,595

 

 

 1.  

723,456

 

 

 1.  

82,345

 

 

 

ANDIKA KWA TARAKIMU

 

 

 1.  

Laki mbili na elfu arobaini na moja, mia tatu sitini na moja

 

 

 1.  

Laki tatu na elfu sita, mia tatu na moja

 

 

 1.  

Laki mbili na moja

 

 

 1.  

Laki nne na kumi na sita

 

 

 1.  

Laki tano na sita, mia sita na sita

 

 

 

Ni sehemu ipi kubwa

 

 

 1.  

6/11 and 5/11

 

 

 1.  

4/5 and 3/5

 

 

 1.  

1/5 and 1/4

 

 

 1.  

4/7 and 4/9

 

 

 1.  

3/8 and 5/8

 

 

 

Badilisha kuwa sehemu nusu

 

 

 1.  

11/2

 

 

 1.  

72/5

 

 

 1.  

101/4

 

 

 1.  

23/7

 

 

 1.  

31/3

 

 

 

Badilisha kuwa sehemu kamili

 

 

 1.  

10/3

 

 

 1.  

17/7

 

 

 1.  

11/4

 

 

 1.  

25/3

 

 

 1.  

41/4

 

 

 

Badilisha saa kuwa dakika

 

 

 1.  

Masaa 7

 

 

 1.  

Masaa 13

 

 

 1.  

Masaa 6

 

 

 1.  

Masaa 9

 

 

 1.  

Masaa 3

 

 

 

Badilisha dakita kuwa masaa

 

 

 1.  

Dakika 849

 

 

 1.  

Dakika 1149

 

 

 1.  

Dakika 686

 

 

 1.  

Dakika 4593

 

 

 1.  

Dakika 328

 

 

 

Tafuta K.D.S YA NAMBA HIZI

 

 

 1.  

45 and 38

 

 

 1.  

28 and 44

 

 

 

Tafuta kigawo kikubwa cha shirika(KKS)

 

 

 1.  

68 and 38

 

 

 1.  

92 and 100

 

 

 1.  

69 and 39

 

 

 

Tafuta kipeuo na pili cha namba

 

 

 1.  

8100

 

 

 1.  

7225

 

 

 1.  

6400

 

 

 1.  

5625

 

 

 1.  

4900

 

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD FIVE EXAM SERIES 41

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256