?> MICHEZO STANDARD THREE EXAMS SERIES
MICHEZO STANDARD THREE EXAMS SERIES

JAMIHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA

MTIHANI WA MUHULA WA MWEZI MEI 2026

SANAA NA MICHEZO -  DARASA LA III

MUDA SAA 1:30

1. SEHEMU A CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI KISHA UIANDIKE KATIKA KISANDUKU

1.  Chagua herufi ya jibu sahihi na kisha andika katika kisanduku

i.  Kundi la waigizaji walifanya maonyesho, wanafunzi walikwenda kuangalia, je, Kundi la watu wanaotazama hujulikana kama?

  1. Hadhira
  2. Waigizaji
  3. Watazamaji

 ii. Darasa la tatu wamefundishwa kitendo cha kufuatisha kitu au jambo la wengine, je, Kitendo hiki huitwa nini?

  1. Kuimba
  2. Kuigiza
  3. Kucheza

 iii. Je, Ni kundi ganii kati ya yafuatayo linawakilisha ala za muziki za kupuliza?

  1. Ngoma, marimba na filimbi
  2. Kayamba, manyanga na ngoma
  3. Tarumbeta, filimbi na baragumu

 iv. Sanaa ya kutengeneza vitu kwa kutumia udongo wa mfinyanzi huitwa ____ 

  1. Kuigiza
  2. Ufinyanzi
  3. Kuimba

v.  Zifuatazo ni faida za kufanya mazoezi ya mwili ISIPOKUWA __________ 

  1. Kuapata magonjwa
  2. Kuzuia magonjwa
  3. Kulinda afya

2.  Oanisha kifungu A na B ili kupata maana kamili

KIFUNGU A

MAJIBU

KIFUNGU B

i.  Ngoma

 

A: Nguo wanazovaa waigizaji

B: Watu wanaoangalia maonyesho

C: Kifaa cha kuchorea

D: Ala za muziki za kugonga

E: Ala za muziki za nyuzi

F: Mtu anayeigiza

G: Mahali pa kuigizia

ii.  Mavazi ya kuigizia

 

iii.  Muigizaji

 

iv.  Hadhira

 

v.  Penseli

 

3.  Chagua jibu sahihi katka mabano

i.  Viumbe hai hutumia _______________________ kuwasiliana (sauti, mawingu, hewa)

ii.  Sauti ya ng’ombe ni __________________ ( moooo, nyauuu, meeeee)

iii.  _________________ni mfano wa viumbe visivyo hai ambavyo hutoa sauti. (pikipiki. Miti, binadamu)

iv.  _______________________ni mfano wa viumbe hai ambavyo hutoa sauti. (maji, upepo, jogoo)

v.  Mbwa hutoa sauti kwa kufanya nini?______________________________ (kulia, kubweka, kucheka)

4.  jaza nafasi zilizoachwa wazi

i.  Taja aina ya udongo unaohitajika wakati wa kufinyanga vitu ___________________________ 

ii. Kifaa kinachotumika kuondoa vipande vya mawe na uchafu wakati wa kuandaa udongo wa mfinyanzi huitwa? _____________________

iii.  Mimi ni mahali ambapo kazi ya Sanaa hufanyika, je, Mimi ni nani? _____________________________ 

iv. Wanafunzi wa darasa la nne waliimba wimbo wa taifa kwa sauti ya kwanza pekee, aina ya uimbaji huu huitwa ________________________________ 

v. Hamisi anafanya kazi ya kutengeneza vyungu, je, Utaitaje shughuli ya kutengeneza vitu kwa kutumia udongo? ___________________________

5.  Angalia picha ifuatayo kisha jibu maswali uliyoulizwa

i.  Wanafunzi wanafanya nini katika picha hapo juu? ____________________________________ 

ii.  Kundi la waimbaji huitwaje? ______________________________

iii.  Kuzalisha sauti za muziki kwa kutumia sauti huitwa __________________________________ 

iv.  Ala gani ya muziki ya kupuliza imeonekana katika picha hiyo? _______________________________________

v.  Taja ala moja ya muziki ya kuvuta nyuzi inayoonekana katika picha __________________________________________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMICHEZO STANDARD THREE EXAM SERIES 152

JAMIHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA

MTIHANI WA MUHULA WA MWEZI MEI 2026

SANAA NA MICHEZO DARASA LA III

MAELEKEZO:

  1. Jibu maswali yote
  2. Jibu maswali kulingana na maelekezo uliyopewa

SEHEMU A:

1. Kuchagua herufi ya jibu sahihi

i. ______________ ni mchezo unaochezwa kwa kutumia mikono

  1. Mpira wa miguu
  2. Rede
  3. Kuruka 

ii. Rede,kukimbia na chupa kichwani,bao,kukimbia na yai kwenye kijiko , zote kwa pamoja huitwa?_________

  1. Michezo ya asili
  2. Michezo ya kufurahisha
  3. Michezo ya kutujengea uadui 

iii. Baadhi ya jamii watu hutumia sanaa kuzalisha vitu kwa kutumia udongo wa mfinyanzi. Hii hujulikana kama?

  1. Ufinyanzi
  2. Uigizaji
  3. Uandishi 

iv. Uigizaji unajumuisha vipengele vine muhimu. Ipi kati ya vifuatavyo sipo moja wapo ya vipengele hivyo?

  1. Mwigizaji
  2. Hadhira
  3. Mpishi

v. Kama Watoto watano wanacheza mchezo wa kugombania kiti. Je ni viti vingapi vinatakiwa viwepo?

  1. Kiti kimoja
  2. Viti vitano
  3. Viti vinne

2. Oanisha sentensi za kifung A na jibu sahihi kutoka kifungu B kisha Andika jibu katika nafasi Uliyopewa

KIFUNGU A

MAJIBU

KIFUNGU B

i. Ala za kupuliza


  1. Kayamba
  2. Fidla
  3. Lipenenga
  4. Ngoma
  5. Sahani
  6. Bao
  7. Picha
ii. Ala za kugonga
iii. Ala za nyuzi
iv. Ala za kutikisa

v. Kitu halisi

3. Andika KWELI au SI KWELI

i. Picha ni kitu halisi kinachoweza kuchorwa_______________ 

ii. Ni vigumu kuigiza sauti ya viumbe visivyo hai_______________ 

iii. Uimbaji ni utoaji wa sauti ya kimuziki kwa kutumia sauti___________ 

iv. Wakati tunaimba wimbo wa Taifa hatusimami wima_______________ 

v. Kila ala ya muziki ina sauti yake______________

4. Jaza nafasi zilizoachwa wazi

i. Kifaa kinachotumika kutoa sauti na kufanya muziki uvutie kinaitwa?________________

ii. Tunachora picha kwa kutumia kifaa kinachoitwa?_______________

iii. Rede huchezwa na wachezaji wangapi?_______________________ 

iv. Udongo unaotumika kutengeneza vitu mbalimbali huitwa?______________ 

v. __________________ ni kitendo cha kufuatisha jambo la mtu mwingine

5. Panga hatua zifuatazo za uchoraji picha kwa kutumia penseli katika mpangilio sahihi kwa kuzipa herufi A,B,C,D, na E

i. Koleza mistari ya picha kwa usahihi wa ujumbe na mwonekano wa maumbo _________

ii. Anza kuchora picha ya vitu unavyotaka kuvichora kwa kutumia mistari miepesi _________

iii. Rekebisha sehemu ambayo umekosea kwa kutumia kifutio _________

iv. Andaa karatasi na penseli ya kuchorea _________

v. Chagua vitu unavyotaka kuvichora _________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMICHEZO STANDARD THREE EXAM SERIES 151

JAMIHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA

MTIHANI WA MUHULA WA MWEZI MEI 2026

SANAA NA MICHEZO DARASA LA III

MUDA: SAA 1: 30

MAELEKEZO:

  1. Jibu maswali yote
  2. Jibu maswali kulingana na maelekezo uliyopewa

SEHEMU A:

1. Kuchagua herufi ya jibu sahihi

i. ______________ ni mchezo unaochezwa kwa kutumia mikono

  1. Mpira wa miguu
  2. Rede
  3. Kuruka 

ii. Rede,kukimbia na chupa kichwani,bao,kukimbia na yai kwenye kijiko , zote kwa pamoja huitwa?_________

  1. Michezo ya asili
  2. Michezo ya kufurahisha
  3. Michezo ya kutujengea uadui 

iii. Baadhi ya jamii watu hutumia sanaa kuzalisha vitu kwa kutumia udongo wa mfinyanzi. Hii hujulikana kama?

  1. Ufinyanzi
  2. Uigizaji
  3. Uandishi 

iv. Uigizaji unajumuisha vipengele vine muhimu. Ipi kati ya vifuatavyo sipo moja wapo ya vipengele hivyo?

  1. Mwigizaji
  2. Hadhira
  3. Mpishi

v. Kama Watoto watano wanacheza mchezo wa kugombania kiti. Je ni viti vingapi vinatakiwa viwepo?

  1. Kiti kimoja
  2. Viti vitano
  3. Viti vinne

2. Oanisha sentensi za kifung A na jibu sahihi kutoka kifungu B kisha Andika jibu katika nafasi Uliyopewa

KIFUNGU A

MAJIBU

KIFUNGU B

i. Ala za kupuliza
  1. Kayamba
  2. Fidla
  3. Lipenenga
  4. Ngoma
  5. Sahani
  6. Bao
  7. Picha
ii. Ala za kugonga
iii. Ala za nyuzi
iv. Ala za kutikisa
v. Kitu halisi

3. Andika KWELI au SI KWELI

i. Picha ni kitu halisi kinachoweza kuchorwa_______________ 

ii. Ni vigumu kuigiza sauti ya viumbe visivyo hai_______________ 

iii. Uimbaji ni utoaji wa sauti ya kimuziki kwa kutumia sauti___________ 

iv. Wakati tunaimba wimbo wa Taifa hatusimami wima_______________ 

v. Kila ala ya muziki ina sauti yake______________

4. Jaza nafasi zilizoachwa wazi

i. Kifaa kinachotumika kutoa sauti na kufanya muziki uvutie kinaitwa?________________

ii. Tunachora picha kwa kutumia kifaa kinachoitwa?_______________

iii. Rede huchezwa na wachezaji wangapi?_______________________ 

iv. Udongo unaotumika kutengeneza vitu mbalimbali huitwa?______________ 

v. __________________ ni kitendo cha kufuatisha jambo la mtu mwingine

5. Panga hatua zifuatazo za uchoraji picha kwa kutumia penseli katika mpangilio sahihi kwa kuzipa herufi A,B,C,D, na E

i. Koleza mistari ya picha kwa usahihi wa ujumbe na mwonekano wa maumbo _________

ii. Anza kuchora picha ya vitu unavyotaka kuvichora kwa kutumia mistari miepesi _________

iii. Rekebisha sehemu ambayo umekosea kwa kutumia kifutio _________

iv. Andaa karatasi na penseli ya kuchorea _________

v. Chagua vitu unavyotaka kuvichora _________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMICHEZO STANDARD THREE EXAM SERIES 150

 OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MUHULA WA PILI 

SOMO: SANAA NA MICHEZO DARASA: TATU 

MUDA: SAA 1:30

JINA: ____________________________________ TAREHE: ______________ 

SEHEMU A: Chagua herufi ya jibu sahihi

1.(i)Kitendo cha kufuatishakitu au jambo la mtumwingineni___________ [     ]

(a)kucheza (b)kuigiza (c)kupika

(ii)Uigizaji una sifakuu ngapi?  [     ]

(a) Moja (b) mbili (c) nne

(iii) _______________ni mtu mwenye ustadi wakazi ya sanaa [     ]

(a) Msanii [b] Mfinyanzi [c] Mwalimu

(iv)Tarumbeta ni mfano wa alaya____________ [     ]

(a) Kupuliza (b) Kuvuta (c) Kubonyeza

(v) Ujumbe uliokusudiwa katika kazi ya sanahujulikanakama ________ [     ]

(a)Ngonjera(b) kichekesho(c) dhamira

2. SEHEMU : Chagua maneno kutoka kwenye kisandu kumalizia sentensi hapa chini

Gitaa, Kuburudisha, Jiwe, Ngombe,Tarumbeta, Fanani,Ala za mziki

  1. Vifaa vinavyotumika kuzalisha sauti mbalimbali________________
  2. Mfano wa ala yanyuzi _____________
  3. Umuhimu wa uigizaji ni___________
  4. Kitu kisicho na uhai ______________
  5. Muigizaji huitwa_____________

3. SEHEMU C: Oanisha fungu A nafungu B iliupate maana sahihi

 FUNGU A 

JIBU

FUNGU B

(i)Sanaa Inayofikisha ujumbe kwakujisifia [     ]
  1. Mazoezi ya pumzi
  2. Ala za muziki
  3. Majigambo
  4. Jukwaa
  5. Uimbaji
  6. Mkaosawawakatiwakuimba
(ii)Mahali pa kuigizia [     ]
(iii) Kutamka maneno katika hali ya kuimba [     ]
(iv) Gitaa, kinubi; litungu, zeze [     ]
(v) kuvuta hewa na kutunza kwa kisha kuitoa [     ]

4:SEHEMU D: jaza nafasi zilizo wazi

  1. Kwaya muziki wadansi na singeli ni mfano wa_______________
  2. Onesho linalooneshwa wakati wakuigiza huitwa_____________
  3. Kielelezo cha kitu halisi huitwa__________
  4. Kukimbia, kusimama kwa mguu mmoja na kurukani _________ ya viungo.
  5. _______________ ni kutengeneza maumbo kwa kutumia udongo wa mfinyanzi.

5.SEHEMU E: Soma kifungu cha habari kisha jibu maswali

Mazoezi yaviungo ni muhimu katika makuzi na maendeleo ya mtoto. Mazoezi yaviungo humarisha afya ya mwili na kuboresha stadi za uchezaji. Yapo mazoezi ya wepesi na kujisawazisha. Mazoezi ya viungo hufanyika kwa mitindo mbalimbali. Mfano: kukimbia, kuruka na kusimama kwamguu mmoja. Mazoezi huweza kufanywa na mtu mmoja au katika vikundi.

  1. Mazoezi ya viungo ni muhimu katika makuzi ya___________
  2. Mazoezi ya viungo huimarisha_______ya mwili.
  3. ___________hufanyika kwa mitindo mbali mbali.
  4. Mfano wa mazoezi hayo ni kukimbia, kuruka na___________
  5. Mazoezi huweza kufanywa na________ mmoja au katika vikundi.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMICHEZO STANDARD THREE EXAM SERIES 136

 OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MUHULA WA PILI

SOMO: SANAA NA MICHEZO DARASA: TATU 

MUDA: SAA 1:00 SEHEMU 

1. Chagua herufi ya jibu sahihi kasha iandike katika kisanduku

i. Ni kifaa kipi hutumika kwenye mchezo wa rede? 

  1. chupa
  2. kiti 
  3. simu 
  4. karatasi

 ii. Nini faida ya uigizaji katika jamii yetu? 

  1. kuburudisha 
  2. kuharibu tamaduni
  3. kupunguza ajira
  4. kufundisha tabia mbaya 

iii. Kitendo cha kufuatisha kitu au jambo la mwingine huitwa ____. 

  1. kuigiza
  2. ufinyanzi
  3. uchoraji 
  4. sanaa 

iv. ___ ni ujumbe unaokusudiwa katika kazi ya sanaa. 

  1. wimbo 
  2. dhamira 
  3. maonesho
  4. muziki

v. Mtu mwenye ustadi wa kazi ya sanaa huitwa____. 

  1. sanaa 
  2. msanii 
  3. wimbo
  4. burudani

SEHEMU B:

2. Oanisha Sehemu A na Sehemu B ili kuleta maana sahihi.

NA.

SEHEMU A

MAJIBU

SEHEMU B

i.

Watazamaji wa sanaa za maonesho

[    ]

A. Nyimbo

ii.

Kwaya ya muziki ya bongo fleva

[    ]

B. Igizo

iii.

Mtu mwenye ustadi wa kazi ya sanaa

[    ]

C. Maleba

iv.

Onesho linalofanyika wakati wa kuigiza

[    ]

D. Hadhira

v.

Mavazi yanayovaliwa wakati wa kuigiza

[    ]

E. Msanii

SEHEMU C:

3. Chagua neno sahihi kutoka katika jedwali kisha jaza nafasi wazi.

Ala, wawili, penseli, watatu, kugonga, chungu, kupuliza.

i. Mchezo wa bao huchezwa na watu wangapi? _______________________.

ii. Kifaa kinachotumika katika muziki huitwa ______________________.

iii. Tarumbeta ni ala ya muziki ya _____________________. 

iv. Kifaa kinachotumika katika sanaa ya uchoraji ni __________________.

v. Kifaa kinachotokana na sanaa ya ufinyanzi ni ___________________.

SEHEMU C:

4. Tumia sanaa ya uchoraji kuchora vitu vifuatavyo kwa usahihi.

NA.

JINA LA PICHA

UMBO LA PICHA

i.


Ngoma




ii.

Kiti





iii.

Nyumba





iv.

Meza





V.

Kikombe



SEHEMU D.

5. Chunguza picha kwa makini kisha jibu maswali yanayofuata;

image

Maswali

i. Kifaa kinachooneshwa kwa herufi A huitwa ____________________.

 ii. Kikombe kimeoneshwa kwa herufi gani _______________________. 

iii. Udongo gani hutumika katika ufinyanzi? ________________________.

iv. Shughuli ipi hupelekea uzalishaji wa vifaa vinavyoonekana katika picha? __________________________.

v. Herufi B inaonesha kifaa gani kilichotengenezwa? ___________________.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZMICHEZO STANDARD THREE EXAM SERIES 113

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256