?> HISABATI STANDARD THREE EXAMS SERIES
HISABATI STANDARD THREE EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA NUSU MUHULA WA KWANZA 2024

SOMO: HISABATI DARASA: III

Na

SWALI

NAFASI YA KAZI 

JIBU 

 1.      i.

Andika 1572 kwa maneno 

ii. 

Andika "elfu nne mia saba sitini na tatu" kwa nambari

iii. 

Tafuta dhamana ya namba 4 katika 4567 

Iv

Taja ikiwa nambari zifuatazo zinapanda au kushuka 305, 11, 89,72,32

v.

Tumia >, <au = kujaza nafasi iliyoachwa wazi 100_____90

 1. I

Panga kwa mpangilio wa kupanda 22,42,13,27,6

ii.

Panga nambari zifuatazo kwa mpangilio wa kushuka 32,40,8,16,24

iii.

Jaza nambari zinazokosekana 30,32,___36,38

iv.

Jaza nambari zinazokosekana 990,960,930,___870

v.

Nini dhamana ya 7 katika 67302 

 1.  I

Nambari gani inakuja baada ya 3149?

Ii

Nambari gani inakuja kabla ya 1000??

Iii

Nambari gani inakuja kati ya 2349 na 2351?

Iv

Nambari gani inaonyeshwa na abacus hapa chini

V

Umbo hili linaitwaje?

 1. I

9762  +  136= 

Ii

  2315

+3114

  5435

Iii

5237  -  2024= 

Iv

 5432

-3014

v.

Andika 6000  +  100  +  50 +  3 kwa kifupi 

 1. I

Mtoto aliambiwa ahesabu na kuandika idadi ya masanduku kwa maneno. Jibu sahihi lilikuwa lipi

ii.

Katika shamba kuna miembe 980 na michungwa 456. Tafuta jumla ya idadi ya miti shambani

iii.

Mkulima alikusanya mayai 9529 kwa wiki. Ikiwa mayai 2779 yalivunjika, alibaki na mayai mangapi

Iv

Ni sehemu gani iliyotiwa kivuli kwenye takwimu hii

V

Andika tatu juu ya saba katika takwimu

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 90

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA DARASA LA TATU

HISABATI-MACHI 2024

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO:

 1. Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
 2. Kumbuka kuandika majina yako.
 3. Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
 4.  

NO

Swali

Nafasi ya kufanyia kazi

Jibu

 1.  

Andika kwa maneno  4009

 1.  

Andika kwa tarakimu, Elfu moja na kumi na moja

 1.  

Andika thamani ya namba iliyopigiwa mstari 8982

 1.  

Andika kwa kifupi  900 +500 +70+0

 1.  

Andika kwa kirefu  7485

 1.  

Andika namba inayokosekana 4, 8 _16

 1.  

Panga namba kutoka ndogo kwenda kubwa 65, 112, 2, 20, 0

 1.  

Andika thuluthi moja

 1.  

Nini jibu la  2/3 ya 12

 1.  

Panga namba kutoka kubwa hadi ndogo, 4,90,25,15,85

 1.  

Kuna dakika ngapi katika lisaa limoja?

 1.  

Andika  ¾ kwa maneno

 1.  

  8456

+2310

 1.  

8595 - 6348

 1.  

72 x 3=

 1.  

1436

-248

 1.  

8220 + 1534=

 1.  

7/14 – 2/14

 1.  

5/10 +2/10=

 1.  

112

 X 4

 1.  

Andika jina la umbo hili

 1.  

Andika sehemu ya nzima iliyotiwa kivuli

 1.  

Tafuta tofauti kati ya 4992 na 1479

 1.  

Sauda alikusanya mayai 4686 , Juma alikusanya mayai  2112. Tafuta kiasi cha mayai waliokusanya wote

 1.  

Shs 8015 + shs 1243=

1

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 79

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA

MITIHANI WA KUJIPIMA

MWISHO WA MWAKA- NOVEMBA 2023

HISABATI DARASA III

JINA: __________________________________________________________ TAREHE________________ DRS: 3

NO.

MASWALI

Nafasi ya kazi

Majibu

i

Bahati alikuwa na maembe  mia saba na sabini na tano, aliongeza maembe mia moja na saba. Andika kwa tarakimu idadi ya maembe aliyokuwanayo bahati ?

ii

Andika Katika namba, theluthi moja.

iii

Tafuta thamani ya jumla ya 5 kati ya 4580? Jibu andika kwa maneno

iv

Andika namba kwa kifupi 0 + 800 + 90 + 5

Andika namba kwa kirefu 6704.

2) i

Nini thamani ya 8 katika namba hii 3782?

ii

Tafuta jumla  ya machungwa mia tisa na nazi 200?

iii

Tafuta namba inayofuata  3, 6, 12 _____

iv

Wageni walileta idadi ifuatayo ya sikukuu, 98 Jumatatu, 5 Jumanne, 67 Jumatano, 32 Alhamisi, na 10 Ijumaa. Panga namba hizi kutoka ndogo kwenda kubwa 

V

 Muuza duka alipoteza mizigo yake 444 . Ikiwa alikuwa na mizigo  600, je muuza duka alibakiwa na mizigo kiasi gani ?

3.)i

Tafuta jumla kati  4568   na 3456

Ii

Ondoa 400 kutoka elfu moja na mia mbili.

iii

 Kupata jumla ya 28 na sabini

iv

Tafuta thamani ya C, P, na N

             6C9N

            -P199

 3693

v

 Sarafu ngapi za shilingi 200 ziko katika 2000 ?

4) i

Namba ipi kubwa kati ya    1/3   Au    1/6?

ii

 Kg                            g

20                          250

+ 5                         820

iii

Andika sehemu ambayo haijatiwa kivuli katika umbo hili

iv

Andika jumla ya fedha zilizopo hapo chini ?

C:UsersuserDesktopdownload (1).jpegC:UsersuserDesktopdownload (1).jpegC:UsersuserDesktopdownload (1).jpeg 

v

Taja jina la umbo hili

5.

Daraja la tatu lilikusanya matunda yafuatayo kutoka Jumatatu hadi Ijumaa. Ikiwa apple              = 13

Fanya maswali yafuatayo?

Siku

M

T

W

Th

Fr

Matunda

C:UsersuserDesktopsalamadownload (41) - Copy - Copy - Copy.jpgC:UsersuserDesktopsalamadownload (41) - Copy - Copy - Copy.jpg

i

Tafuta  jumla ya apple  zilizokusanywa Jumatatu na Ijumaa

Ii

Siku ambayo wanafunzi walikusanya idadi ndogo?

Iii

 Ni apples ngapi zilizokusanywa Jumatano?

Iv

Siku gani idadi ya makusanyo ya apple yalikuwa sawa ?

v

 Tafuta idadi ya Apple iliyokusanywa wiki nzima.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 71

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUJIPIMA SHULE ZA MSINGI

NUSU MUHULA WA PILI

AGOSTI – 2023 

SOMO: HISABATI

JINA: _____________________________________________TAREHE___________DRS: 3

MUDA: SAA 1:30

MAELEKEZO

 1. Mtihani huu una jumla ya maswali arobaini na Tano (45)
 2. Jibu maswali yote katika kila sehemu
 3. Soma maelekezo kabla ya kujibu maswali
 4. Swali la 1 – 40 chagua jibu sahihi na swali la 41 – 45, jibu maswali katika nafasi uliopewa.
 5. Tumia kalamu ya bluu na nyeusi
 6. Simu za mkononi, vikokotozi, na vitu visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mtihani.

NO.

MASWALI

Nafasi ya kazi

Majibu

1 ) i

Bahati alikuwa na maembe  mia saba na sabini na tano, aliongeza maembe mia moja na saba. Andika kwa tarakimu idadi ya maembe aliyokuwanayo bahati ?

ii

AndikaKatika namba, theluthi moja.

iii

Tafuta thamani ya jumla ya 5 kati ya 4580? Jibu andika kwa maneno

iv

Andika namba kwa kifupi 0 + 800 + 90 + 5

Andika namba kwa kirefu 6704.

2) i

Nini thamani ya 8 katika namba hii 3782?

ii

Tafuta jumla  ya machungwa mia tisa na nazi 200?

iii

Tafuta namba inayofuata  3, 6, 12 _____

iv

Wageni walileta idadi ifuatayo ya sikukuu, 98 Jumatatu, 5 Jumanne, 67 Jumatano, 32 Alhamisi, na 10 Ijumaa. Panga namba hizi kutoka ndogo kwenda kubwa 

V

Muuza duka alipoteza mizigo yake 444 . Ikiwa alikuwa na mizigo  600, je muuza duka alibakiwa na mizigo kiasi gani ?

3.)i

Tafuta jumla kati4568na 3456

Ii

Ondoa 400 kutoka elfu moja na mia mbili.

iii

 Kupata jumla ya 28 na sabini

iv

Tafuta thamani ya C, P, na N

6C9N

-P199

3693

v

 Sarafu ngapi za shilingi 200 ziko katika 2000 ?

4) i

Namba ipi kubwa kati ya    1/3Au1/6?

ii

Kg g

20 250

+ 5 820

iii

Andika sehemu ambayo haijatiwa kivuli katika umbo hili

iv

Andika jumla ya fedha zilizopo hapo chini ?

C:UsersuserDesktopdownload (1).jpegC:UsersuserDesktopdownload (1).jpegC:UsersuserDesktopdownload (1).jpeg 

v

Taja jina la umbo hili

5.

Daraja la tatu lilikusanya matunda yafuatayo kutoka Jumatatu hadi Ijumaa. Ikiwa apple   moja     = 13 

Fanya maswali yafuatayo?

Siku

M

T

W

Th

Fr

Matunda

C:UsersuserDesktopsalamadownload (41) - Copy - Copy - Copy.jpgC:UsersuserDesktopsalamadownload (41) - Copy - Copy - Copy.jpg

i

Tafuta  jumla ya apple  zilizokusanywa Jumatatu na Ijumaa

Ii

Siku ambayo wanafunzi walikusanya idadi ndogo?

Iii

 Ni apples ngapi zilizokusanywa Jumatano?

Iv

Siku gani idadi ya makusanyo ya apple yalikuwa sawa ?

v

 Tafuta idadi ya Apple iliyokusanywa wiki nzima.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 57

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA

HISABATI – DARASA LA TATU

 1.                 
 1. 865 + 7438 =
 2. 9052 – 909 =
 3. 43 X 13 =
 4. 642  12 =

ANDIKA SEHEMU ILIYOTIWA KIVULI.

 1.  

 1.  

 1.  

 1.                Rahisisha
 1. Juma aliuza mayai kwa shilingi 4600 na kuku kwa shilling 7000. Juma alipata kiasi gani cha hela?
 2. Badilisha kilo tano na nusu kuwa kilogram
 3. Tafuta Number yenye thamani ya juu Zaidi 28645
 4. Andika namba inayokosekana 5012, 5011, 5010 ……..
 5. Mwanaheri alinunua viatu kwa shilingi 3000, na suruali kwa shilingi 4000. Alitumia kiasi gani cha hela?
 6. Andika 47 kwa kirumi
 1.                .

 1. Andika muda ulioonyeshwa na mshale wa saa
 2. Kuna vipande vingapi vya mstari hapa chini?

 1. Jibu kwa kutia kivuli.

 1.                Jibu maswali kulingana na swali
 1. Kuna wanafunzi wangapi katika madarasa matano ikiwa kila darasa lina wanafunzi 40?
 2. Seremala anatengeneza meza nne kwa siku, Je atatengeneza meza ngapi kwa siku 31?
 3. Mwalimu alinunua box 8 za chaki ikiwa kila box lina chaki 30, idadi ya chaki ilikuwa ngapi?
 4. Mery hufuga kuku 4569, na Ashura hufuga kuku 5200. Je wote wawili hufuga kuku wangapi.
 1.                 
 1. Jumlisha, Masaa 3 Dak 24 + Masaa 2 Dak 57
 2. Kuna pembe ngapi katika pembe tatu?
 3. Taja jina la umbo lifuatalo.

C:UsersKYAMBODocumentsstd-4 nectaJUDITHTriangle.jpg

 1. Andika namba inayokosekana 67, 80, 93, 106.
 2. Tumia jedwali lifuatalo kujibu maswali yanayofuata

Je ni kuku wangapi waliuzwa katika miezi mitano?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 49

WIZARA YA ELIMU

 MTIHANI WA NUSU MUHULA WA PILI 2022

SOMO LA HISABATI 

DARASA LA TATU. MUDA SAA 1.

 1. Andika tarakimu “mia tisa na sabini na mbili”       ……………………
 2. Andika “9700” kwa maneno……………………………………………………..…………………………..
 3.  Andika thamani ya “4” katika namba 6049                …………….………
 4. Andika jina la sehemu ifuatayo:-  ᷾⅟2   ……………………
 5. Andika kwa kifupi 200 na 60 na 4, …………………………………………………….
 6. Tafuta namba inayofuata   10, 15, 20, 25,  ……….
 7. Panga namba zifuatazo kwa mpangilio unaoanza na namba ndogo hadi kubwa zaidi katika namba zifuatazo 7, 3, 4, 1, 6, 8, 5.
 8. Andika namba iliyokosekana katika nafasi ya wazi 300, 350, ………, 450.
 9. Andika namba inayotangulia namba 100 ikiwa utahesabu moja moja.     ……..
 10.          Andika namba kubwa kuliko zote katika namba zifuatazo; 60, 99, 66, 50. …….
 11.          114 + 320 =     …………
 12.            618

        + 132

 1.          100 – 12 =     …………
 2.          21 X 0 =       …………
 3.          909 – 100 =  ………..
 4.          Sehemu gani ya umbo imetiwa kivuli

 1.          Andika jina la umbo lifuatalo

 1.          Chora umbo la mstatili

 1.          Nusu ya chungwa ukiongeza nusu nyingine utapata sehemu gani ya chungwa ........
 2.          Umbo lipi ni bapa kati ya umbo A na umbo B?   ...........
 3.          Kuku mmoja ana miguu miwili; Je kuku watano watakuwa na jumla ya miguu mingapi ?    ...................
 4.          Shilingi 500 ukipunguza shilingi 250 itabaki shilingi ngapi?  .............
 5.          Shule ya msingi masimango inawanafunzi kama ifuatavyo;- wavulana 150, wasichana 200, Je shule ina jumla ya wanafunzi wangapi?................
 6.          Shilingi 550 + 450 = ……………..
 7.          375 + 25 + 100 = ………………………. 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 41

WIZARA YA ELIMU

 MTIHANI WAKUMALIZIA MUHULA WA 1 JULY 2022

MAJIBU

 1. 972
 2. Elfu tisa na mia saba
 3. Makumi
 4. Nusu
 5. 264
 6. 30
 7. 1,3,4,5,6,7,8.
 8. 400
 9. 99
 10.                      99
 11.                      434
 12.                      750
 13.                      88
 14.                       
 15.                      809
 16.                      Robo
 17.                      Pembe tatu

18

 1. Chungwa
 2. A
 3. 10
 4. 250
 5. 350
 6. 1000
 7. 500

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 39

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA NNE

HISABATI

MUDA: 1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEZO

MAELEZO

 1.                Mtihani huu una maswali 25
 2.                Jibu maswali yote
 3.                Onyesha kazi yako
 4.                Mtihani wote una alama 50

SWALI

KAZI

JIBU

 1. Bainisha thamana ya 9 katika namba 3729
 2. Andika namba hii kwa kifupi, 9000+800+80+1
 3. Andika kwa tarakimu, Elfu tatu mia tano themanini na saba
 4. Andika namba kwa kirefu, 8076
 5. Andika namba kwa maneno, 7638
 6. Andika namba inayotokana na dhamani hii, maefu nane,mamia nane, makumi sita na mamoja tatu
 7. Jaza namba inayokosekana katika mpangilio huu, 1120, 1121,......, ........, .......
 8. Jumlisha kwa ulalo, 4111 +341
 9. Jumlisha kwa wima,

    4320

+ 1203

 1. Asha alikusanya vizibo 6980 na bakari vizibo 2118,jumla walikusanya vizibo vingapi?
 2. 887-499
 3. Jane alibeba mayai sabini na tano kuelekea sokoni. Njiani alimuuzia John mayai thelathini na saba. Jane alifika dukani na mayai mangapi?
 4. 4526-3112
 5. 9723+1788
 6.   9854

-3465

 1. Shule ya msingi ya Holili ina wanafunzi elfu tano mia sita na tisini. Ikiwa wavulana ni elfu mbili mia saba, wasichana ni wangapi?
 2. Duka la Maria lina simu ya mkononi na mezani 2972. Ikiwa simu za mkononi ni 1235, simu za mezani ni ngapi?
 3. 16 x 4 =
 4. 84 x 6 =
 5. Mwalimu alinunua makasha 8 ya chaki. Kila kasha lilikuwa na chaki 30. Makasha yote yalikuwa na chaki ngapi?
 6. Gari moja linauwezo wa kubeba abiria 55 kwa mara moja. Magari 6 ya ina hiyo hiyo yatabeba jumla ya abiria wangapi?
 7. Kata moja ina wakazi 6328 na kata nyingine ina wakazi 2590. Je kata zote mbili zina jumla ya wakazi wangapi?
 8. Andika kwa maneno 5/8
 9. Kuna 1/8 ngapi katika nzima?
 10. Mbuzi wawili ni sehemu gani ya mbuzi sita?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 34

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA DARASA LA TATU

HISABATI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO:

 1. Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
 2. Kumbuka kuandika majina yako.
 3. Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
 4.  

NO

Swali

Nafasi ya kufanyia kazi

Jibu

 1.  

Andika kwa maneno  4009

 1.  

Andika kwa tarakimu, Elfu moja na kumi na moja

 1.  

Andika thamani ya namba iliyopigiwa mstari 8982

 1.  

Andika kwa kifupi  900 +500 +70+0

 1.  

Andika kwa kirefu  7485

 1.  

Andika namba inayokosekana 4, 8 _16

 1.  

Panga namba kutoka ndogo kwenda kubwa 65, 112, 2, 20, 0

 1.  

Andika thuluthi moja

 1.  

Nini jibu la  2/3 ya 12

 1.  

Panga namba kutoka kubwa hadi ndogo, 4,90,25,15,85

 1.  

Kuna dakika ngapi katika lisaa limoja?

 1.  

Andika  ¾ kwa maneno

 1.  

  8456

+2310

 1.  

8595 - 6348

 1.  

72 x 3=

 1.  

1436

-248

 1.  

8220 + 1534=

 1.  

7/14 – 2/14

 1.  

5/10 +2/10=

 1.  

112

 X 4

 1.  

Andika jina la umbo hili

 1.  

Andika sehemu ya nzima iliyotiwa kivuli

 1.  

Tafuta tofauti kati ya 4992 na 1479

 1.  

Sauda alikusanya mayai 4686 , Juma alikusanya mayai  2112. Tafuta kiasi cha mayai waliokusanya wote

 1.  

Shs 8015 + shs 1243=

1

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 27

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

HISABATI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

question

Working space

Answer

 1. 8490 +1907 =
 2. 9777+1111=
 3.   5165

+4748

 1.   4320

+4370

 1. 7230-3838=
 2. 8125-2359=
 3. Andika  9042 kwa maneno
 4. Andika elfu nne, mia mbili na sita kwa maneno.
 5. Nini dhamani ya namba 2 katika 3219?
 6. Andika 8301 kwa kirefu
 7. Andika kwa kifupi 9000+200+00+3=
 8. Andika 3/4 kwa maneno
 9. Chura duara na uoneshe 1/4  yake
 10. Nusu ya nusu ni ngapi?
 11. Panga  23, 86, 10, 0, 100 kuanzia ndogo kwenda kubwa.
 12. Panga  89, 136, 54, 100, 29 kuanzia kubwa
 13. Andika namba inayokosekana

550, 660……..880, 990

 1. 4, 8, 12, …….20……..
 2. 29 x 5=
 3. 32 x 16=
 4. Ali ana sh425 na kaka yake ana sh200. Wote wana shilingi ngapi?
 5. Mwezi mmoja una siku thelasini, kuna siku ngapi katika miezi minane?
 6. Mbuzi mmoja ana miguu minne, je mbuzi kumi na wawili watakua na miguu mingapi?
 7. Mkulima ana mbuzi 965. Ikiwa aliuza mbuzi 245, je alibaki na mbuzi wangapi?
 8. Umbo hili linaitwaje?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 18

LEARNINGHUBTZ.CO.TZHISABATI STANDARD THREE EXAM SERIES 17

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256