?> EXAM SERIES EXAM
STANDARD FOUR TERMINAL SERIES

OFFICE OF THE PRESIDENT, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT

MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY

TERMINAL EXAMINATION-MAY- STD 4

MATHEMATICS

TIME: 1:30                                                             

NAME_____________________________________SCHOOL_________________________

INSTRUCTIONS

 1.                This paper consists of 25 questions
 2.                Answer all questions
 3.                Show your working
 4.                The exam carries a total of 50 marks
 5.                 

QUESTION

WORK

ANSWER

 1. Find place value of 9 in  3729
 2. Write in short form, 9000+800+80+1
 3. Write in numbers three thousand, five hundred and thirty seven.
 4. Write in long form, 8076
 5. Write in words, 7638
 6. Write the number we obtain from these values, eight thousands ,eight hundreds, six tens and three ones
 7. Fill the missing numbers, 1120, 1121,......, ........, .......
 8. Add horizontally, 4111 +341
 9. Add vertically,

    4320

+ 1203

 

 1. Asha collected 6980 bottle tops and  bakari collected 2118 bottle tops ,how many bottle tops did they collect altogether?
 2. 887-499
 3. Jane carried 75 eggs to the market. On her way he met John and sold for him 37 eggs. How many eggs did Jane take to the market?
 4. 4526-3112
 5. 9723+1788
 6.   9854

-3465

 1. Holili primary school has five thousand six hundred and 90 pupils, if the number of boys is two thousand seven hundred, how many girls are there?
 2. Maria’s shop has both mobile phones and landline telephones totaling 2972. If 1235 are mobile phones, how many landline phones are there?
 3. 16 x 4 =
 4. 84 x 6 =
 5. Teacher bought 8 boxes of chalk. If each box has 30 pieces of chalk, how many chalks are there?
 6. A car carries 55 passengers at once. How many passengers will six cars  of the same type carry?
 7. A ward has 6328 residents, another one has 2590 residents. How many people are there in the two wards?
 8. Write in words  5/8
 9. How many  1/8 are there in a whole?
 10. How many legs do four goats have?

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR MATHEMATICS EXAM SERIES 60

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA NNE

HISABATI

MUDA: 1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEZO

MAELEZO

 1.                Mtihani huu una maswali 25
 2.                Jibu maswali yote
 3.                Onyesha kazi yako
 4.                Mtihani wote una alama 50

SWALI

KAZI

JIBU

 1. 5462+5362
 2. 64532+6524
 3.   25,631

+13131

 1. Andika kwa taraimu ; 45,876
 2. Andika kwa taraimu 10,980
 3. 55761-26714
 4.  5969

-2120

Andika namba hizi za kirumi kwa maneno

 1. XXII
 2. LXIV
 3. XXXV
 4. L
 5. Orodhesha ukianza na namba ndogo; 125, 115,375,270,585,465
 6. Andika namba inayokosekana; 25, 30, ....,......., 45, 50
 7. 7761-3872
 8. Kata ina wapiga kura elfu sita mia nane na sabini na nne. Ikiwa wapiga kura elfu tatu na themanini na saba walipiga kura, ni wangapi hawakupiga kura?
 9. 123 x 43
 10.    524

x  12

 1. Seremala utengeneza meza 12 kwa siku. Kwa siku 31 atatengeneza meza ngapi?
 2. Juma alinunua mayai 30 kwa siku moja. Je atanunua mayai mangapi kwa siku 30?
 3. Andika sehemu ya nzima iliyotiwa kivuli

C:UsersKYAMBODocumentsSTD 4 NECTAcircle0858rgb_p.png

 1. Neema alitembea kutoka darasani kwenda kwa ofisi ya mwalimu mkuu na kutumia sekunde 180. Je alitembea kwa dakika ngapi?
 2. Jumlisha;

Sh.600 + sh. 1200

 1.      Sh.     300

+   sh.     120

 

 1.  Amina alienda dukani na shilling elfu kumi kununua kilo ya sukari. Ikiwa kilo moja ni sh. 3250, alirudi na shilling ngapi?
 2. Mwaka mmoja una wiki ngapi?

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR HESABU EXAM SERIES 59

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO DARASA LA NNE

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO

 1.                Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
 2.                Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
 3.                Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
 4.                Mtihani wote una alama 50

SEHEMU A. ALAMA 30

JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII

 1.                Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku.
 1.               Bibi na bwana Juma wana mtoto aitwae Amina ambaye aliolewa na kuzaa mtoto aitwaeYusufu. Bwana Juma ni nani kwa Yufusu? (a) baba (b) babu (c) mjomba (d) mpwa
 2.             Bwana na Bi Juma waliowana mwaka 2014 na walichelewa kupata mtoto mpaka sasa. Hii familia inaitwaje? (a) ya awali (b) ya watoto yatima (c) ya mke na mme (d) ya makubaliano
 3.           Kipi kati ya vifuatavyo ni kipaumbele cha serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania? (a) ubinafsishaji wa viwanda (b) Ujenzi wa viwanda (c) Elimu bure kwa watanzania wote (d) Uansishaji wa vyama vingi vya siasa.
 4.           Ni kiongozi yupi katika Tanzania upigiwa kura kila baada ya miaka mitano? (a) jaji mkuu (b) rais (c) spika wa bunge (d) waziri mkuu.
 5.             Bwana Juma anamashamba makubwa ambayo  huyakodisha kwa watu. Hii ni aina gani ya Ukabaila? (a) Ubugabire (b) Ntemi (c) Nyarubanja (d) Ujima
 6.           Jumla ya vitu vyote vinavyomzunguka binadamu huitwa? (a) mazingira (b) madhari (c) mvua (d) viumbe.
 7.         Jotoridi hupimwa na kifaa maalum kiitwacho? (a) hygromita (b) kipima hewa (c) kipimajoto (d) moto
 8.      Waziri mkuu wa serikali ya awamu ya Tatu alikuwa.......................(a) Frederick sumaye (b) mizengo Pinda (c) Jakaya kikwete (d) Edward Sokoine
 1.                Jibu kipengele cha (i)-(vi) kwa kuoanisha maeneo yenye madini mbalimbali katika fungu A NA AINA za madini  zinazopaikana katika fungu B. Andika herufi ya jibu sahihi katika nafasi uliyopewa.

Fungu A

Fungu B

 1.               Geita mkoa wa Geita
 2.             Uvinza mkoa wa kigoma
 3.           Liganga, mkoa wa njombe
 4.           Mererani Mkoa wa Arusha
 5.             Karagwe mkoa wa kagera
 6.           Mwandui, mkoa wa shinyanga.
 1.               Almasi
 2.                Bati
 3.                Chumvi
 4.               Chuma
 5.                Dhahabu
 6.                Chokaa
 7.                Makaa ya mawe
 8.               Tanzanaiti.

 

SEHEMU B. ALAMA 22

 1.               Jibu maswali yote katika sehemu hii.

Mfumo wa jua ni utaratibu wa sayari kulizunguka jua. Sayari ni gimba linaloumbwa na miamba ambalo huzunguka jua kupitia njia maalumu.

Mfumo wa jua umezungukwa na sayari nane. Sayari hizi ni Zebaki, Zuhura, Dunia, Mirihi, Sumbula, Sarateni, Zohali na Kausi. Vile vile, kwenye mfumo wa jua kuna vitu kama asteroid, kometi na meteroidi. Jua ni muhimu katika maisha ya kila siku. Jua hutupatia mwanga mchana.Pia, hukausha mazao na nguo. Vilevile, jua husababisha mazao kukua.Hakika mfumo wa jua hutupatia faida nyingi.

 1.               Taja faida tatu za jua.................., ...............................,na.............................
 2.             Taja vitu vingine vinavyopatikana katika mfumo wa jua?
 3.           Taja sayari ya tatu katika mfumo wa jua.............................
 4.           Nini maana ya sayari?........................................................
 1.                Soma mchoro wa pembe kuu nne za dunia kisha jibu maswali yafuatayo;

 1.               Kikombe kipo upande gani wa dira ya Dunia?.....................................................
 2.             Taja upande wa dunia wenye penseli..................................................................
 3.           Kiti Kipo upande gani wa Dira ya dunia?...............................................................
 4.           Upande wa Dunia ambao jua uchomoza umewakilishwa na kitu gani?

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR MAARIFA EXAM SERIES 58

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE SAYANSI NA TECHNOLOJIA MUDA: 1:30 JINA_____________________________________SHULE_________________________ MAELEZO MAELEZO Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24 Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali Mtihani wote una alama 50 SEHEMU A. ALAMA 28 JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku. Kipi kati ya hizi hakisabaishi vidonda vya tumbo? Kula chakula chenye aside Kula chakula kingi Mawazo mengi Kukaa njaa kwa muda mrefu Ipi sio njia ya kuzuia kiungulia? Kula chakula taratibu Kunywa maji mengi Kuepuka vyakula vinasababisha kiungulia Pumzika kwa masaa kadhaa kabla ya kwenda kulala Usagaji wa chakula unaanza? Tumboni Mdomoni Utumbo mdogo Kwenye kongosho Tunaweza kutunza mazingira kwa kufanya yafuatayo? Kutupa taka ovyo Kupanda miti na bustani Kufuga wanyama wengi Kulima kando ya vyanzo vya maji Shughuli zifuatazo zinachangia uchafuzi wa maji isipokuwa: Kulima kando ya mito Kuoga na kufua kando ya mto Kujisaidia karibu na vyanzo vya maji Kuchota maji mtoni Ni ugonjwa upi hausababishwi na uchafuzi wa mazingira? Kipindipindu Malaria Homa ya tumbo Kifua kikuu Zifuatazo ni njia za kujikinga dhidi ya magonjwa isipokuwa; Kufunika mdomo wakati wa kukohoa Kulala mahali safi na salama Kunywa maji safi na salama Kunawa mikono kabla ya kwenda chooni Chakula salama ni kile ambacho; Kimepuliziwa dawa ya kuua wadudu Kimeifadhiwa katika chombo safi Kimeifadhiwa kwa muda mfupi Kimehifadhiwa mahali penye mwanga. Jibu Vipengele (i)-(vi) kwa kuoanisha maelezo katika Orodha A na Neno lililo katika orodha B. ANDIKA herufi ya jibu katika nafasi uliopewa. Orodha A Orodha B Gesi itokanayo na taka za wanyama Hewa itolewayo wakati wa upumuaji Gesi ambayo ni muhimu kwa uhai wa viumbe na moto kuwaka Hewa iliyo kwenye mwendo Mvuke unaoganda na kusababisha mvua. Hewa Upepo Mawingu Kabonidayoksaidi Oksijeni Gesi vunde Haidrojeni Jibu vipengele (i)-(v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika kwenye nafasi uliopewa Kiungulia, kuvimbiwa, unyafuzi, kukosa choo, menu kuuma, vidonda vya tumbo, mwozo wa meno Hali ya kupata kinyesi kigumu na chenye mkauko huitwa?............................................... Hali inayosababishwa na kujaa kwa gesi nyingi kwenye tumbo huitwa?.......................... Hali ya kusikia maumivu ya kuungua katika umio na kifua huitwa.................................... Katika mfumo wa chakula, michubuko ndani ya kuta za tumbo huitwa?.......................... Ni madhara gani yatatokea kwenye meno kutokana na kula vyakula vyenye sukari nyingi?.... Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali hapo chini Kuna makundi makuu mawili ya vipimo, ambayo ni vipimo visivyo rasmi na vipimo rasmi. Vifaa vinavyotumiwa kupimia uzito ni mzani wa mawe, mzani wa analojia au mzani wa digitali. Matokeo ya vipimo hivi hayatobadilika hata kama watapima kwa kutumia mizani tofati. Kipimo rasmi cha uzito ni kilo na kipimo kingine ni gramu. Tunatumia vipimo hivi kupima bidhaa mbalimbali kama unga, nyama na mchele. Taja makundi wawili ya vipimo Kupima ukubwa wa shamba kwa kutumia hatua ni aina gani ya vipimo? Taja vifaa viwili vinavyotumika kupima uzito Ni nini kipimo rasmi cha uzito? Ukienda buchani kununua nyama, mzaa nyama atakupimia kwa kutumia kifaa gani? Chunguza mchoro hufuatao kisha jibu maswali Picha hii inaonyesha mfumo gani katika mwili?....................................... Andika majina ya sehemu zenye herufi; A.................................................................. B.................................................................. C.................................................................. D.................................................................. E...................................................................

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 57

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA  DARASA LA NNE

KISWAHILI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

SEHEMU A.

1. Sikiliza  kwa makini kisha andika Sentensi Kwa Usahihi

 1.               ....................................................................................................................
 2.             ....................................................................................................................
 3.           .....................................................................................................................
 4.           .....................................................................................................................
 5.             .....................................................................................................................

SEHEMU B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

 1.                Chagua herufi ya jibu sahihi kisha andika katika kisanduku ulichopewa.
 1.               Neno “waliandika” upo katika wakati upi?. (a) uliopo (b) uliopita (c) Ujao (d) Mazoea.
 2.             Dada wa baba yako utamwitaje? (a) bibi (b) shangazi (c) binamu (d) Wifi
 3.           Wageni wanaotembelea mbuga za wanyama huitwa? (a) Majangiri (b) wapelelezi  (c) watalii (d) Magaidi
 4.           Kinyume cha neno msafi ni...  (a) mchafu (b) uchafu (c) mbaya (d) mbaya
 5.             Neno anastahili lina silabi ngapi? .(a) mchafu (b) uchafu (c) chafu (d) mbaya

SEHEMU C. LUGHA YA KIFASIHI

 1.                Kamilisha methali, nahau, na vitendawili kwa  kujaza nafasi zilizo achwa wazi.
 1.               Kamilisha methali mwenda pole..................................................
 2.             Akiba.......................................................................................
 3.           Tegua Kitendawili Anajua kuchora ingawa hajui anachokichora................................
 4.           Mwanangu hunipa kitu kitamu lakini akichokozwa hutawanya watu.......................
 5.             Maana sahihi ya nahau “mkono wa birika” ni.......

 

SEHEMU D. UTUNGAJI

4. Panga sentensi zifuatazo katika mtiririko unaofaa ili kupata habari iliyokamilika kisha uzipe herufi A,B,C, D na E.

 1.               Alisomea shule ya upili Azania
 2.             Alizaliwa mwaka 1986
 3.           Alipata kazi ya ualimu
 4.           Alimaliza shule ya upili 2004
 5.             Aliowa mwaka 2010

SEHEMU E. UFAHAMU

5. Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali

Madini ni maliasili inayotupatia fedha nyingi. Tunayo machimbo ya dhahabu na almasi. Pia kuna ulanga na bati. Dhahabu hutumika kutengeneza mapambo kama vile bangili, hereni, mikufu na pete. Ni vizuri kila mtu aelewe faida ya kutunza kila maliasili tuliyo nayo. Wanyama wakitunzwa huzaliana vizuri. Miti ikitunzwa vizuri hukua haraka. Tukitunza misitu nayo itatutunza. Itatupatia mvua ya kutosha, hewa safi na miti ya mbao na ya kujengea. Tunatakiwa tusubiri muda mrefu vitu vizaliane. Mvumilivu hula mbivu. Tukazane kupanda miti karibu na nyumba zetu ili kuzuia upepo usiharibu mapaa ya nyumba.Amani anaishi na nani?................................

 1.               Kichwa cha habari uliyoisoma ni …………………………………...…………………….
 2.              Kutokana na habari uliyoisoma ni madini mangapi yametajwa? ………………………………
 3.           Bangili, hereni, mikufu na pete hutengenezwa kwa madini gani? ………………………
 4.           Taja faida moja tunayopata kutokana na misitu. …………………………………………
 5.             Madini ni maliasili inayotupatia …………………………………………………………….

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 56

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MUHULA  WA KWANZA DARASA LA NNE

URAIA NA MAADILI

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

MAELEKEZO

 1.     Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
 2.     Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
 3.     Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
 4.     Mtihani wote una alama 50

Katika swali la 1-8 chagua jibu sahihi

 1. Familia ya mzazi mmoja inajumuisha...... (a) baba au mama na watoto (b) babu na watoto (c) bibi na watoto (d) mjomba na watoto
 2.  Katika nembo ya Taifa, mwenge unawakilisha (a)uhuru wa taifa (b) shule na vyuo (c) wakulima (d) wafanyakazi
 3. Kumbukumbu ya kifo cha raisi wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hufanyika kila mwaka siku ya tarehe (a)12 Disemba(b)9 Disemba (c) 14 Octoba (d)7 Aprili
 4. Moja kati ya mambo yanayochangia katika ukiukwaji wa haki za watoto ni (a) adhabu kali nyumbani na shuleni (b) kupewa nafasi ya kucheza (c) kushirikishwa katika kufanya maamuzi (d) kupata elimu isiyo ya kubaguzi
 5. Mojawapo ya mila na desturi mbaya za Watanzania hapo zamani ni pamoja na (a) jando na unyago (b) utii wa sheria (c) kuolewa na kuoa katika umri mdogo (d) ulipaji wa mahari
 6. Bendera ya Taifa ina rangi ngapi?... (a)Moja (b) Mbili (c) Tatu (d) Nne
 7. Mali ya familia inatakiwa kulindwa na; (a) watoto peke yao (b) baba na mama (c) kila mwanafamilia (d) babu na bibi
 8. Nasaba ni hali ya kuwa na........... (a) uhusiano wa karibu sana (b) watoto wa karibu sana (c) uhusiano baina ya watu katika familia (d) urafiki mzuri baina ya watu

 

 

 

 

Jibu kipengele cha (i)-(vi) kwa kuoanisha nembo ya taifa  katika fungu A na umuhimu wake  zinazopaikana katika fungu B. Andika herufi ya jibu sahihi katika nafasi uliyopewa.

Fungu A

Fungu B

 1. Alama zote za Taifa hupatikana hapa
 2. Uwakilisha uhuru na Nuru inayoongoza Taifa.
 3. Mimi ni mnyama wa taifa
 4. Hupepea kwenye mlingoti na nina rangi za kupendeza
 5. Rangi ya bluu
 6. Mlima mrefu zaidi unaopatikana kwenye nembo
 1. Mlima meru
 2. Ndovu
 3. Mlima Kilimanjaro
 4. Bendera ya taifa
 5. Huonyesha mito, bahari na maziwa yaliyopo Tanzania
 6. Twiga
 7. Mwenge.

 

Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali  hapo chini.

Mazingira hujumuisha maeneo tunayoishi na vitu vinavyo tuzunguka. Uharibifu wa mazingira husababishwa na tabia na mienendo isiyofaa. Tunapaswa kutunza mazingira hili yatutunze. Mazingira uchafuliwa kwa kuendekeza tabia kama; kutupa taka hovyo, kutotumia choo, kutiririsha maji machafu kwenda kwenye mto, uzoaji ovyo wa taka nakadhalika.Tunaweza kutunza mazingira kwa kuhakikisha tunafanya usafi wa mazingira mara kwa mara, kuteketeza taka ipasavyo, kutunza vyanzo vya maji, na kufuata kanuni za usafi.

 1. Nini maana ya Mazingira?........................................................................................................
 2. Taja tabia mbili zinazochangia uchafuzi wa mazingira............................................................
 3. Kunafaida gani ya kutunza mazingira?....................................................................................
 4. Tunawezaje kuhakikisha maji yetu kwenye miti hayachafuliwi?............................................
 5. Taja njia mbili za kutunza mazingira....................................................
 6. Ni nini kinasababisha uharibifu wa mazingira?.....................................................................

Chunguza Picha ifuatayo kisha jibu maswali hapo chini

 1. Ni nini kinachotokea kwenye picha hii?
 2. Taja hatari inayojitokeza katika picha hii
 3. Je utawashauri nini watoto hawa?
 4. Taja faida moja ya kutii sheria
 5. Toa njia moja serikali inaweza kutumia kutoa elimu kwa wanafunzi juu ya usalama barabarani.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 55

PRESIDENT'S OFFICE 
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT 
 TERMINAL EXAMINATION MAY
STANDARD FOUR

ENGLISH

TIME: 1:30 HRS                                                           

NAME_____________________________________SCHOOL_________________________

INSTRUCTIONS

 • THIS paper consists of  SECTIONS A, B, C and D
 • Answer all questions from each section as per instruction given
 • Write full name on the blank space above together with the name of the school
 • Ensure your work is neat and legible.

SECTION A. DICTATION
 

 1. Listen careful to the sentences being ready and write them down
 1. ................................................................................................................
 2. ................................................................................................................
 3. ................................................................................................................
 4. ................................................................................................................
 5. .................................................................................................................
 1. SECTION B. VOCABULARY

Write the correct answer from (i) to (v) in the spaces provided

 1. The daughter of your brother is called...(a) aunt (b) uncle (c) niece (d) cousin
 2. There is .....milk in the thermos; (a) march (b) any (c) some (d) none
 3. The young one of a goat is?.(a) puppy (b) kitten (c) kid (d) calf
 4. She arrived ........bus stop late (a) in (b) on (c) at (d) by
 5. The book was ........the table? (a) on (b) in (c) by (d) at

SECTION C. GRAMMAR

 1. Fill in the blanks with the correct word provided in the brackets
 1. The school is ..........the police station. (at, opposite, under)
 2. A person who sales meat...(butcherman, butchery, butcher, )
 3. The doctor........all patients yesterday.(treat, saw, seen)
 4. A person who takes care of sick people...(doctor, nurse, dentist)
 5. Ann answered the questions.........and got a present( quietly, slowly, sharply)

SECTION D. COMPOSITION

 1. Re-arrange the following sentences to make a meaningful story
 1. I take my breakfast
 2. I get out of bed
 3. I put on my school uniform
 4. I go to school
 5. I wake up early in the morning
 6. I brush my teeth and wash my face.

SECTION E. COMPREHENSION

 1. READ the passage below and answer questions that follows

Mr. Peter is a lawyer. He works in court. His wife, Prisca is a teacher. She works at Mtambani Primary School. Last month, she was transferred to Mapambano Primary school. They have three children. Two of them are employed. The first born works in a bank. His name is victor. The second born is a doctor, his name is Joseph. He treats sick people at afya njema Hospital. The third born is in standard seven at SAMUNGE Primary school. Her name is Sophia. Mr and Mrs Peter know that education is important in life. Therefore, they tell the third born to work hard.

 1. What does Mr. Peter do?..
 2. Where does Prica teach?................
 3. When was Prica transferred?.......
 4. How many children are there in Mr. Peter’s family?
 5. Why does Mr and Mrs Peter tell the third born to study hard?....

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR ENGLISH EXAM SERIES 54

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA NNE

MUDA: 1.30

MAELEZO KWA MTAHINIWA

 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHIHI

(i) Rangi ya kijani katika mimea huitwa

 1. usasini
 2. umbijani
 3. usasini nuru
 4. majani

(ii) Vifuatavyo ni vyanzo vya umeme isipokuwa

 1. Jenereta.
 2. Jua.
 3. Sufuria 
 4. Betri.

(iii) Ni ugonjwa upi ambao hausababishwi na maji machafu?

 1. Malaria
 2. Kichocho
 3. Homa ya matumbo
 4. Kipindupindu

(iv) Mojawapo kati ya makundi yafuatayo ya wanyama hutaga mayai..

 1. Kuku, popo, mamba
 2. Bata, chura, mbwa.
 3. Kuku, bata, mbu
 4. Popo, kinyonga na kuku

(v) Mtu anayeota moto hupata joto kwa njia ya.

 1. Mnunurisho na msafara
 2. Mpitisho na msafara
 3. Myuko na mpitisho
 4. Mgandamizo wa hewa

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

 1. Jua ni chanzo kuku cha……….duniana
 2. Mwanga husafiri katika mstari……………………………
 3. Kifaa kinachotumika kunyoosha nguo na kuzifanya zionekane nadhifu huitwa…… …………..
 4. Sauti iliyoakisiwa huitwa………………………
 5. Maji yakichemshwa hubadilikana kuwa………………….

 3.  SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

 1. Selihai nyeupe za damuhulinda miili yetu dhidi ya magonjwa……
 2. Inafaa kumtenga mtu wa ukimwi na watu wengine…………………
 3. Nyeso daraja la tatu, jitihadi huwa kati ya egemeo na mzigo………..
 4. Kifua kikuu huambukizwa kwa kunywa maji yasio salama…….
 5. Huduma ya kwanza hutolewa kulingana na aina ya tatizo………..

4.  SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

 1. Gesi inayotokana na taka za wanyama
 2. Hewa itolewayo wakati wa upumuaji
 3. Gesi ambayo ni muhimu kwa uhai wa viumbe na moto kuwaka
 4. Hewa iliyokwenye mwendo
 5. Mvuke unaogannda na kusababisha mvua
 1. Hewa 
 2. Upepo 
 3. Mawingu 
 4. kabonidayoksaidi
 5. Oksijeni
 6. Gesi vunde
 7. Haidrojeni

 5. Sehemu E.  Andika vifaa vinne nyumbani ambavyo hutumia nishati ya umeme

 1. ………………………………………………………………………………………………
 2. ………………………………………………………………………………………………
 3. ……………………………………………………………………………………………....
 4. ………………………………………………………………………………………………
 5. ………………………………………………………………………………………………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 13

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

DARASA LA NNE

MUDA: 1.30 

MAELEZO KWA MTAHINIWA

 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.

1. A. SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHII

(i) Mgawanyo wa kazi katika familia…………….

 1. Hupunguza uvivu
 2. Hupunguza uadui
 3. Hurahisisha kazi
 4. Hupunguza marafiki

(ii) Ni kitendo kipi kinachangia kuharibu mazingira?

 1. Kulima
 2. Kukata miti
 3. Kupanda maua
 4. Ufugaji wa nyuki

(iii) Umwinyi ni mfumo wa kiuchumi uliokuwa umeenea sana maeneo gani?

 1. Unyamwezi
 2. Pwani 
 3. Uchagani
 4. iringa

(iv) Zifuatazo ni bahari zilizolizunguka bara la africa

 1. Shamu,pasifiki,kusi na hindi
 2. Hindi, antaktiki, shamu na kati
 3. Pasifiki, kati, shamu, antaktiki
 4. Hindi, atlantik, shamu na kati

(v) Ramani huchorwakwenye;

 1. Barabara, mji, kijiji
 2. Kitambaa, ubao ardhini
 3. Nyumba, shule au njia
 4. Daftari, uwanja au chombo

2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.

 1. Joto la binadamu upimwa kwa kifaa kinaitwa…………………………..
 2. Mojawapoya madhara ya mvua nyingi ni………………………………….
 3. Vipengele vine vya hali ya hewa ni…………………………………………..
 4. Hali ya hewa inabadilika………………………………………………………..
 5. Sehemu panapotengenezwa na kuundia vitu panaitwa……………

3.  SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.

 1. Vumbi na moshi huchafua hewa………………..
 2. Chanzo chamvua ni mvuke upaao angani
 3. Tufuge mifugo mingi ili tuepuke uharibifu wa mazingira……………
 4. Bila uoto, binadamu hawezi kupata mahitaji yake ya msingi ya maisha………….
 5. Ukeketaji ni mojawapo wa mila zinazofaa………….

4. SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.

Sehemu A

Sehemu B

 1. Kipindi cha miaka 100
 2. Siku ya nyerere
 3. Ni mkusanyiko wa familia
 4. Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 5. Mpunga, nazi na chumvi
 1. 14 octoba
 2. Mazao kutoka pwani
 3. karne
 4. mwaka 1994
 5. ukoo
 6. 19 0ctoba
 7. nafaka

 5. Sehemu E. 

Jaza nafasi zilizoachwa wazi.

 1. Fuvu la mtu wa kale zaidi liligunduliwa na……………………… 
 2. Zama za ……………………..zimegawanyika katika sehemu tatu kuu.
 3. Wahunzi walijitokeza wakati wa zama za…………………………………
 4. Binadamu alianza kutembea kwa miguu miwili katika zama za mawe za…………… …………..
 5. Binadamu alianza kuishi katika makazi ya kudumu katika zama za mawe za………… …………….

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR MAARIFA EXAM SERIES 12

THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT

ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY

STD FOUR

TIME: 1.30 HRS                                                           2020

NAME:____________________________________CLASS:___________

                   INSTRUCTIONS

 1. This examination has 5 sections A, B, C and D with 5 questions
 2. Answer all questions in each section.
 3. All answers should be written in capital letters.
 4. Write your three names, school, District and Region.
 5. Make sure your work is neat.

 SECTION A: MULTIPLE CHOICES

1. Choose the most correct answer and then write its letter in the box given.

1. Abushiri bin Salum, Mtemi Isike and Mtwa Mkwawa were the popular ____ found in Tanganyika.

 1. opposers    
 2.  heroes   
 3.  soldiers  
 4.  priests            [          ]

2. How do we call a person who owned land and cattle during feudalism.

 1. tenants    
 2. bagabire   
 3. land lord        
 4. ruling class    [       ]

3. The degree of hotness and coldness of a place is measured by________ [         ]

 1. temperature 
 2. degree centigrade 
 3. thermometer 
 4. precipitation

4. A group of not less than 250 households in rural areas s known as__________ 

 1. A hamlet 
 2. a street   
 3. a village   
 4.  a city              [          ]

5. Which can help to conserve environment among the following______________ 

 1. overstocking 
 2. bush fires     
 3. uncontrolled sewages from industries
 4.  recycling process                                     [      ]

6. The sun rise and set (day and night) are resulted from the so called _[               ]

 1. Earths revolution 
 2.  lunar eclipse
 3. deforestation
 4.  earth rotation

7. The highest mountain in east Africa is found in  ____________ [          ]

 1. Mount Kilimanjaro 
 2. Kenya 
 3. south Africa 
 4. Tanzania

8. There are two types of disasters.Which are________ 

 1. traditional and modern 
 2. small and big 
 3. natural and man made
 4. topographical and statistical

 SECTION B: MATCHING ITEMS

2. Match the following items correctly

LIST A LIST B
 1. Sebuja
 2. Umwinyi
 3. Communalism
 4. ubugabire
 1. Existed and practiced in western part of Tanzania, Rwanda and Burundi
 2. Western part of lake Victoria among buhaya societies.
 3. The first non-exploitive mode of production where products were equally shared.
 4. Existed and practiced along the coast of Tanzania.
 5. Mode of production whose base was land.
 6. Cattle owners in Ubugabire feudal system
 7. Workers in Unyarubanja feudal system

 SECTION C:

3. Use words in the box to fill the blanks below

Taboos, culture, customs, traditions,                                 religion, language,

dressing, arts

(i) _______  being the totality way of people’s life makes people live in peace

and harmony. There are some things which have been experienced for long period of time called  .These are inherited from one generation to another. Elders help young ones to know the accepted ways of people’s behaviours in their society

known as________ and those habits or things which are not allowed to be

done called_______ . Community members have one means of communication

 but they may decide worshipping in different . Several production activities and creativities may be done with the society. Some may engage themselves in farms and others in creating different artistic tools. Dressing styles are advised to be of good morals.

SECTION D

WRITE TRUE OR FALSE IN THE GAPS

4. The son of your uncle is a nephew……………..

5. Chief mkwawa was a leader of chagga people…………

6. A local museum is found in big towns in Tanzania………….

7. Communalism was the first mode of production………………..

8. Some clans were headed by women…………

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SOCIAL EXAM SERIES 11

THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT

SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY

STD FOUR

TIME: 1.30 HRS                            2020

NAME:________________________________CLASS:___________

                         INSTRUCTIONS

 1. This examination has 5 sections A and B with 5 questions
 2. Answer all questions in each section.
 3. All answers should be written in capital letters.
 4. Write your three names, school, District and Region.
 5. Make sure your work is neat.

 SECTION A

1. Answer items (1) –(5) by choosing the correct answer and writing its letter in the boxes provided

1. Sharing sharp objects such as razor blade, needles and   syringes may cause;

 1. Cholera
 2. Tuberculosis
 3. Malaria
 4. HIV/AIDS.

2. Gastric juice is produced in the …………………………

 1. Mouth
 2. Ileum
 3. Stomach
 4. Colon.

3. The state of being free from sickness or injury is called

 1. Hygiene
 2. Health
 3. Patient
 4. Disease

4. Which one of the following is NOT true about light?

 1. Light travels in a straight line
 2. Light can bend
 3. Light can be reflected
 4. Light cannot bend

5. The other name of protective food is known as 

 1. Vegetable
 2. Fruits
 3. Protein
 4. Vitamins.

SECTION B.

Answer the questions items (i) –(ii) by matching the description of parts of the  radio which are in List “A” and the parts of the radio which are in List “B”

LIST A

LIST B

6. Used to search station

7. Used to catch waves

8. Used to carry the radio

9. It outputs sound

10. Used to put on radio

 1. Antenna
 2. Switch
 3. Meter band
 4. Volume button
 5. Speaker
 6. Handle 
 7. Sound equilizer

 SECTION  C.

Refrigerator, cooker, ICT, Firewood, Stove, Remote control

 Answer the questions in items below by choosing the correct word from the box and write it in the blank spaces.

11.  Which instrument helps to select the channels on TV and to turn the TV on?.....................

12.  Which one is a modern method of electronic learning in schools?.........

13.  ……………..is used to keep our food and drinks cold.

14.  A device used for preparing, cooking and drying food is……………..

15. The type of cooker in which three stones are arranged in such a way that a pot or utensil   sit on them is called………………………………….

SECTION D.

Write true for a correct statement and false for incorrect statement..

16. Not all animals needs water to survive…………..

17. Once a plant gets light, it does not need suitable temperature.

18. You can get scientific solution by oral work………..

19. Plants obtain water from the soil………….

20. Development in science and technology depends much on     scientific investigation ………………

SECTION E.

Answer the following questions briefly.

21. Name two communicable diseases

22. What organism causes malaria?

23. Name a disease that affect respiratory system

24. What is a balanced diet

25. Name the food that protects us from diseases.

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SCIENCE EXAM SERIES 10

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA MWISHO MWAKA-KISWAHILI

DARASA LA NNE

MUDA: 1.30                                                  2020

JINA:_______________________________MKONDO:___________

          MAELEKEZO

 1. Mtihani huu una sehemu A, B, C, D na E zenye jumla ya maswali 5
 2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.
 3. Majibu yote yaandikwe kwa herufi kubwa ISIPOKUWA Imla.
 4. Andika majina yako matatu, shule, wilaya na mkoa kwa usahihi.
 5. Hakikisha kazi yako ni safi.

 

SEHEMU A:

IMLA:

 Sikiliza kwa makini sentensi utakazosomewa kisha uziandike kwa usahihi

 1.                                            .
 2.                                             .
 3.                                             .
 4.                                             .
 5.                                             .

SEHEMU B: MATUMIZI YA LUGHA

 Chagua herufi ya jibu sahihi

6. Neno lipi halilandani na mengine                                                       

 1. Mawio
 2. Macheo
 3. Machweo
 4. masika

   7. Ni neno lipi haliwezi kutokana na jina mwanchi?                                  

 1. Nchi
 2. Mwana
 3. Mchi
 4. mwamko

  8.  Yupi kati ya hawa ni lazima awe mwanamke?                                       

 1. Mjomba
 2. Binamu
 3. Mpwa
 4. ajuza

9. Tukitaka kufaulu mtihani yetu_________________ kusoma kwa bidii 

 1. sina budi
 2. hamna budi 
 3. hawana budi
 4. hatuna budi

10. Wamekuja wote_______________ Munira ambaye anaumwa                

 1. ingawa
 2. isipokuwa
 3. pamoja
 4. lakini

SEHEMU C: LUGHA YA KIFASIHI

11.  Malizia methali hii, Ukitaka kuruka _________________ 

12.  Japo kuna maktaba nyumbani kwao lakini Joni hapendi kukaa na kujisomea, mara nyingi Juma huenda kwa akina Joni kuomba muda japo kidogo apate kusoma vitabu. Juma anatamani mno kuwe na maktaba nyumbani kwao lakini wazazi wake hawana uwezo huo. Methali ipi inafaa kwa maelezo haya

13.  Mwenyekiti ameahirisha kikao baada ya wajumbe kuja wamevaa miwani,
 nahau vaa miwani ina maana gani?          

14.  Andika nahau iliyo kinyume na ile isemayo tia moyo____________ 

SEHEMU D: UTUNGAJI

Weka alama za uandishi katika sentensi zifuatazo kwa kuandika alama sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi

15. Utamaliza kazi yako saa ngapi ______________ 

16. Ebo   amemaliza ugali wote ule………………..

17. Juma  Sharifu na Ayubu wamegombana…………..

18. Shangazi amekwenda kumpokea baba___________ 

19. Watoto wataletwa na nani………….   

SEHEMU E: UFAHAMU

Soma habari ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo

Tulianza safari alfajiri ya saa kumi na moja.Ulikuwa ni umbali wa kilomita

sitini kutoka pwani hadi kwenye mazalia ya samaki. Baada ya kufika mjengi alitushauri tutege nyavu chache tu kwani hali ya hewa haikuridhisha. Baada ya kutega tulianza safari ya kurudi pwani . Ghafla tulipigwa na dhoruba . Jahazi

lilianza kuyumba na tanga letu likararuka. Haraka mimi na Mwekwa tulitweka tanga la akiba na kulifunga chapuchapu. Msengi na Hongoa walichukua buli na kuanza kutoa maji yaliyokuwa yanaingia jahazini. Tulipata shida mno, baada ya siku mbili majini tuliwasili salama pwani. Tuliponea chupuchupu, tulikata tamaa na kusubiri miujiza ya Maulana ili tubaki hai.

MASWALI

20. Msimuliaji wa habari hii na wenzake wanafanya kazi gani? __________ 

21. Kulikuwa na watu wangapi katika jahazi ?__________ 

  22. Kitambaa maalumu kinachofungwa katika jahazi ili kulisaidia kutembea kinaitwaje?_________ 

23. Andika nahau moja iliyotumika katika habari hii _________ 

24. Taja kisawe cha neno Maulana kama lilivyotumika katika habari hii

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 9

THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT

ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY

STD FOUR 

TIME: 1.30 HRS                                                  2020

NAME:_________________________________CLASS:___________

INSTRUCTIONS

 1. This examination has 5 sections A, B, C , D and E with 5 questions
 2. Answer all questions in each section.
 3. All answers should be written in capital letters EXCEPT dictation
 4. Write your three names, school, District and Region.
 5. Make sure your work is neat.

SECTION A: DICTACTION

1. Listen carefully to the teacher then write the words or sentences correctly

 1. …………………………………………………………………………
 2. …………………………………………………………………………
 3. ………………………………………………………………………..
 4. …………………………………………………………………………
 5. …………………………………………………………………………

 

SECTION B: VOCABULARY

2. Use words given in a box below to answer the questions in items (i-v) that follows.

Dozen, nestlings, trumpets, green grocer, adjective, crockery, barber, cutlery, noun, pair, chatters

 1.  She went to the shop and buy a________________ of shoes
 2. When we were at the park we heard elephants’_________ 
 3. Spoons, knives and forks are collectively called ________ 
 4. Slowly is to adverb as death is to____________________ 
 5. We normally go to the_____ to buy fruits, vegetables and other
   items.

SECTION C: GRAMMER & TENSES.

3. Choose the most correct answer and write its letter in the box provided.

(i) The plural form of the word cattle is  ______________________ 

 1. Cattles
 2. Kettles
 3. Cattle
 4. kettle

(ii) Aneth is the girl ______________ exercise book was burnt yesterday 

 1. Whom
 2. Who
 3. What
 4. whose

(iii) James has already____________ her homework                                 

 1. Did
 2. Do
 3. Done
 4. doing

(iv) She________________ my school fees last week                                                      

 1. payed        
 2. pay           
 3. paid              
 4. pays

SECTION D: COMPOSITION

4. Choose the correct word from the brackets provided in each question.

 1. Mount Kilimanjaro is the ………………..mountain in africa. (high, highest, higher)
 2. The shortest month in the year is……………(October, June, February)
 3. He goes to school………………….foot(on,by, with)
 4. Is there……….oil in the bottle?(any, a, an)
 5. A…………..makes and salesbread( shopkeeper,baker)

SECTION E: COMPREHENSION

5. Read the passage bellow carefully then answer all questions that follow

Every Wednesday our teacher takes us to the library. Each pupil chooses a book to read at home. Charity likes to read books about animals. He finds a book about elephants on the book shelf.

Salustia knows how to use the computer. She wants to print a picture of Mount Kilimanjaro for her project. Oh: No! The printer has run out of ink. Our teacher gets ink from the cupboard. Now the printer is working again.

QUESTIONS.

 1. What did Salustia want to print? ______________________________ 
 2. Who takes children to the library? _____________________________ 
 3. Where is the book about elephants? ____________________________ 
 4. On which day of the week does the teacher send pupils to the library?
 5. How did the teacher help Salustia?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR ENGLISH EXAM SERIES 8

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256

GO TO NECTA EXAMS