OFFICE OF THE PRESIDENT, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY
TERMINAL EXAMINATION-MAY- STD 3
MATHEMATICS
TIME: 1:30
NAME_____________________________________SCHOOL_________________________
INSTRUCTIONS
- This paper consists of 25 questions
- Answer all questions
- Show your working
- The exam carries a total of 50 marks
-
QUESTION | WORK | ANSWER |
- Find place value of 9 in 3729
- Write in short form, 9000+800+80+1
- Write in numbers three thousand, five hundred and thirty seven.
- Write in long form, 8076
- Write in words, 7638
- Write the number we obtain from these values, eight thousands ,eight hundreds, six tens and three ones
- Fill the missing numbers, 1120, 1121,......, ........, .......
- Add horizontally, 4111 +341
- Add vertically,
4320 + 1203 - Asha collected 6980 bottle tops and bakari collected 2118 bottle tops ,how many bottle tops did they collect altogether?
- 887-499
- Jane carried 75 eggs to the market. On her way he met John and sold for him 37 eggs. How many eggs did Jane take to the market?
- 4526-3112
- 9723+1788
- 9854
-3465 - Holili primary school has five thousand six hundred and 90 pupils, if the number of boys is two thousand seven hundred, how many girls are there?
- Maria’s shop has both mobile phones and landline telephones totaling 2972. If 1235 are mobile phones, how many landline phones are there?
- 16 x 4 =
- 84 x 6 =
- Teacher bought 8 boxes of chalk. If each box has 30 pieces of chalk, how many chalks are there?
- A car carries 55 passengers at once. How many passengers will six cars of the same type carry?
- A ward has 6328 residents, another one has 2590 residents. How many people are there in the two wards?
- Write in words 5/8
- How many 1/8 are there in a whole?
- How many legs do four goats have?
| | |
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE MATHEMATICS EXAM SERIES 35
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA DARASA LA NNE
HISABATI
MUDA: 1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEZO
MAELEZO
- Mtihani huu una maswali 25
- Jibu maswali yote
- Onyesha kazi yako
- Mtihani wote una alama 50
SWALI | KAZI | JIBU |
- Bainisha thamana ya 9 katika namba 3729
- Andika namba hii kwa kifupi, 9000+800+80+1
- Andika kwa tarakimu, Elfu tatu mia tano themanini na saba
- Andika namba kwa kirefu, 8076
- Andika namba kwa maneno, 7638
- Andika namba inayotokana na dhamani hii, maefu nane,mamia nane, makumi sita na mamoja tatu
- Jaza namba inayokosekana katika mpangilio huu, 1120, 1121,......, ........, .......
- Jumlisha kwa ulalo, 4111 +341
- Jumlisha kwa wima,
4320 + 1203 - Asha alikusanya vizibo 6980 na bakari vizibo 2118,jumla walikusanya vizibo vingapi?
- 887-499
- Jane alibeba mayai sabini na tano kuelekea sokoni. Njiani alimuuzia John mayai thelathini na saba. Jane alifika dukani na mayai mangapi?
- 4526-3112
- 9723+1788
- 9854
-3465 - Shule ya msingi ya Holili ina wanafunzi elfu tano mia sita na tisini. Ikiwa wavulana ni elfu mbili mia saba, wasichana ni wangapi?
- Duka la Maria lina simu ya mkononi na mezani 2972. Ikiwa simu za mkononi ni 1235, simu za mezani ni ngapi?
- 16 x 4 =
- 84 x 6 =
- Mwalimu alinunua makasha 8 ya chaki. Kila kasha lilikuwa na chaki 30. Makasha yote yalikuwa na chaki ngapi?
- Gari moja linauwezo wa kubeba abiria 55 kwa mara moja. Magari 6 ya ina hiyo hiyo yatabeba jumla ya abiria wangapi?
- Kata moja ina wakazi 6328 na kata nyingine ina wakazi 2590. Je kata zote mbili zina jumla ya wakazi wangapi?
- Andika kwa maneno 5/8
- Kuna 1/8 ngapi katika nzima?
- Mbuzi wawili ni sehemu gani ya mbuzi sita?
| | |
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE HESABU EXAM SERIES 34
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO DARASA LA TATU
MAARIFA YA JAMII
MUDA:1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEKEZO
- Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano (5)
- Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
- Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
- Mtihani wote una alama 50
SEHEMU A. ALAMA 30
JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII
- Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku.
- Chanzo cha asili cha joto ni..................(a) mvua (b) mawingu (c) jua (d) mwanga
- Jambo mojawapo la kudumisha utamaduni wa Kitanzania ni kama vile.........(a) kuimba nyimbo (b) kuvuta bangi (c) kuiba mifugo (d) vita
- Ipi ni faida ya kiafyia waipatayo wanafunzi kwa kucheza ngoma za kitamaduni? (a) kuendeleza utamaduni (b) kupata hamasa ya kufanya kazi (c)kupata zawadi mbalimbali (d) kufanya mwili uwe imara na afya.
- Mtoto wa mjomba anaitwaje? (a) shangazi (b) binamu (c) mama mdogo (d) ami
- Tanganyika ilipata Uhuru wake mwaka? (a) 1964 (b) 1962 (c) 1961 (d) 1963
- Baba wa Taifa wa Tanzania anaitwa?..............(a) John Pombe Magufuli (b) Julius Kambarage Nyerere (c) Edward Sokoine (d) Al Hassan Mwinyi
- Familia yenye watu wengi huitwa? (a) familia ya awali (b) familia pana (c) familia kubwa (d) familia ya mume na mke.
- Uharibifu wa mazingira unaweza kusababisha.........(a) ushindi kwa jamii (b) kuenea kwa magonjwa (c) kupatikana kwa hewa safi (d) kupata mvua.
- Oanisha sentensi za safu A na safu B ili kuleta maana
Safu A | SAFU B |
- Eneo linalopandwa miti, maua, matunda na mboga.
- Eneo kubwa na kame ambalo huwa mchanga na isilo na nyasi wala miti.
- Vitu vyote vinavyomzunguka kiumbe katika maisha yake
- Kiwango cha Joto au baridi kilichopo katika hewa
- Mtindo wa jumla wa maisha ya jamii fulani
| - Maficho
- Ukame
- Jangwa
- Mazingira
- Jotoridi
- utamaduni
|
SHEMU B.
- Jibu maswali yote
Tanzania imeongozwa na viongozi wakuu mbalimbali katika awamu tano zilizopita. Viongozi hawa wamekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya Taifa letu. Katika awamu za uongozi wao, waliweza kulinda amani ya nchi. Vile vile, umoja na mshikamano katika jamii zetu za Tanzania umeimarishwa na viongozi.
Tunajivunia pia ulinzi na usalama unaosimamiwa na viongozi wetu. Aidha, maendeleo katika sekta za afya na Elimu yamesimamiwa na viongozi wetu. Viongozi hao wametuongoza vyema, hivyo tuwaheshimu na kuwapenda
- taja rais wa awamu ya pili wa Tanzania......................................................................................
- taja michango ya viongozi wakuu katika taifa letu......................................................................
- taja rais aliyeoongoza Tanzania kwa muda mrefu zaidi............................................................
- Je tunapaswa kuwafanyia nini viongozi wetu?........................................................................
- Tangu Tanzania ipate Uhuru, kuna awamu ngapi?...................................................................
- Chunguza kifaa kifuatacho kisha jibu maswali

- Taja jina la kifaa kinachoonyeshwa hapo juu...................................
- Taja kazi ya kifaa kinachooneshwa hapo juu............................
- Ni wapi unaweza kulipata kifaa hiki?.............................................
- Ni nini chanzo cha joto?................................................................
- Taja adhari moja ya joto kali kwa mimea............................................
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE MAARIFA EXAM SERIES 33
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU
SAYANSI NA TECHNOLOJIA
MUDA: 1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEZO
MAELEZO
- Mtihani huu una sehemu Mbili A na B na jumla ya maswali matano
- Sehemu ya A ina alama 26 na sehemu B ina alama 24
- Jibu maswali yote kulingana na maelezo ya kila swali
- Mtihani wote una alama 50
SEHEMU A. ALAMA 28
JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII
- Jibu Kipengele cha (i)-(viii) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuandika kwenye kisanduku.
- Ipi kati ya hizi ni aina ya maada? (a) kimiminika (b) kinywa (c) umbali (d) joto
- Kuna aina.......................za maada (a) mbili (b) tatu (c) tano (d) nne
- Ni yupi mdudu hatari kati ya hawa wafuatao? (a) nyuki (b) panzi (c) kumbikumbi (d) mbayuwayu
- Chanzo cha vitamin ni pamoja na..(a) chapatti (b) embe (c) nyama (d) ugali
- Nini kazi ya mate katika mmeng’enyo wa chakula? (a) kulainisha chakula (b)kulainisha mdomo (c) kulainisha meno (d)kulainisha ulimi
- Faida ya matumizi ya simu ni pamoja na....(a) Kunyoosha nguo (b) kurahisisha mawasiliano (c) kutibu magonjwa (d) kuvunja ndoa
- Mdudu anayeeneza ugonjwa wa malaria huitwa? (a) mbu (b) inzi (c) viroboto (d) kupe
- Viumbehai wakikosa hewa, (a) huishi (b) hufa (c) hutembea (d) hunawiri
- Jibu Vipengele (i)-(vi) kwa kuoanisha maelezo katika Orodha A na hali za maada katika orodha B. ANDIKA herufi ya jibu katika nafasi uliopewa.
Orodha A | ORODHA B |
- Hali ya maada nyepesi zaidi
- Hali ya maada yenye umbo maalum
- Mfano wa maada katika hali yabisi
- Maada inayochukua umbo la chombo
- Mfano wa maada katika hali ya gesi.
| - Gesi
- Soda
- Mvuke
- Kimiminika
- Chembechembe
- Chaki
- Yabisi.
|
- Jibu vipengele (i)-(v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika kwenye nafasi uliopewa.
Baragumu, faili, yowe, ukinzani, jotoridi, yabisi |
- Kiwango cha joto au baridi katika mwili..................
- Uzuiaji wa mtiririko au mwendo wa kitu
- Hali yenye kukakamaa na kuwa ngumu kwa ukavu.
- Pembe kubwa iliyotobolewa inayopulizwa na kutoa sauti
- Taarifa iliyohifadhiwa katika jalada au kwenye compyuta
SEHEMU YA B.(ALAMA 20)
- Soma habari ifuatayo kisha jibu vipengele (i)-(v)
Njia za mawasiliano zimegawanyika ,katika aina kuu mbili. Njia hizi ni za asili na kisasa. Baadhi ya vifaa vya asili ni baragumu na ngoma.
Vifaa vya kisasa ni runinga, radio, simu na kompyuta. Kuna faida mbalimbali za kutumia njia za kisasa za mawasiliano.
Mfano, kutoa taarifa kwa watu wengi kwa muda mfupi. Pia, zinatumika kuhifadhi picha za matukio mbalimbali. Simu hurahisisha huduma mbalimbali.
Huduma hizo ni pamoja na kutuma na kupokea taarifa au fedha, pia kupiga picha.
- Taja njia mbili kuu za mawasiliano...........................................................................
- Taja vifaa viwili vya kisasa vya mawasiliano..............................................................
- Ni njia ipi bora ya kutoa taarifa kwa haraka kwa watu wengi?.................................
- Taja matumizi matatu ya simu...................................................................................
- Taja njia mbili za jadi za mawasiliano........................................................................
- Chunguza picha uliopewa kisha jibu kipengele (i)-(v)

- Kifaa kinachoonyeshwa kwenye picha kinaitwaje?............................................
- Onyesha sehemu inayonasa mawimbi kwa kutumia herufi A................................................
- Onesha sehemu inayoonyesha picha kwa kutumia herufi B......................................
- Kifaa hiki hutumia nishati gani?.................................................................................
- Taja faida ya kifaa hiki katika maisha yetu............................................................................
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE SAYANSI EXAM SERIES 32
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA DARASA LA TATU
KISWAHILI
MUDA:1: 30
JINA_____________________________________SHULE__________________
SEHEMU A.
1. Sikiliza kwa makini kisha andika Sentensi Kwa Usahihi
- ....................................................................................................................
- ....................................................................................................................
- .....................................................................................................................
- .....................................................................................................................
- .....................................................................................................................
SEHEMU B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA
- Chagua herufi ya jibu sahihi kisha andika katika kisanduku ulichopewa.
- Juma alikuwa ................ ya mti akichuma maembe. (a) ndani ya (b) juu ya (c) kando ya (d) chini ya.
- Lulu na Kiba walitia maembe...........................ndoo (a) kando ya (b) chini ya (c) juu ya (d) ndani ya.
- Shangazi ni..........(a) kaka yake baba (b) kaka yake mama (c) mdogo wake dada (d) mdogo wake kaka.
- Kutoa msaada maana yake ni (a) kumpa mtu zawadi (b) kumpongeza (c) kumaidia mtu kuondoa tatizo au shida (d) kumpa mtu pesa ili asirudie kuomba tena.
- Kinyume cha neno chomoza ni...(a) giza (b) mwanga (c) zama (d) usiku
SEHEMU C. LUGHA YA KIFASIHI
- Kamilisha methali, nahau, na vitendawili kwa kujaza nafasi zilizo achwa wazi.
- Kuuliza...................(a) haina baraka (b) ni ujanja (c) si ujinga (d) ni uzembe
- Akiba.................(a) ni hazina (b) haiozi (c) ni thamani (d) ni faida
- Kafa huku akining’inia.............(a) mende (b) nyuki (c) buibui (d) inge
- Mwanangu hunipa kitu kitamu lakini akichokozwa hutawanya watu...(a) asali (b) nzi (c) nyuki (d) inge.
- Maana sahihi ya nahau “unga mkono ni” (a) shiriki (b) saidia (c) kubaliana (d) kataa
SEHEMU D. UTUNGAJI
4. Panga sentensi zifuatazo katika mtiririko unaofaa ili kupata habari iliyokamilika kisha uzipe herufi A,B,C, D na E.
- Jamali, Hamisi na Rehema wanasoma darasa la tatu
- Hunywa chain a kuelekea shuleni
- Huamuka asubuhi kila siku
- Hutandika vitanda vyao, huoga na kuvaa sare za shule
- Hufagia darasa lao na uwanja wa shule
SEHEMU E. UFAHAMU
5. Soma kifungu kifuatacho kisha jibu maswali
Amani anaishi na bibi yake katika kijiji cha Kilole. Anamsaidia bibi yake shughuli za nyumbani. Humsaidia kusafisha nyumba, kupika, kuosha nyombo na kufua.Juzi amani alimuuliza bibi yake, “bibi unajua kusoma?” bibi akajibu, “ Ninajua kusoma na kuandika. Amani akasema, sawa bibi kesho nitaleta kitabu change ili tusome pamoja.
- Amani anaishi na nani?................................
- Je Amani anajua kusoma?....................................
- Taja shughuli tatu Amani humsaidia bibi yake..................
- Je Bibi yake Amani anajua kusoma?
- Taja kijiji ambacho Amani huishi..................
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE STADI EXAM SERIES 31
PRESIDENT'S OFFICE
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
TERMINAL EXAMINATION MAY
STANDARD THREE
ENGLISH
TIME: 1:30 HRS
NAME_____________________________________SCHOOL_________________________
INSTRUCTIONS
- THIS paper consists of SECTIONS A, B, C and D
- Answer all questions from each section as per instruction given
- Write full name on the blank space above together with the name of the school
- Ensure your work is neat and legible.
SECTION A. DICTATION
- Listen careful to the sentences being ready and write them down
- ................................................................................................................
- ................................................................................................................
- ................................................................................................................
- ................................................................................................................
- .................................................................................................................
- SECTION B. VOCABULARY
Write the correct answer from (i) to (v) in the spaces provided
- The brother of your father is called...(a) aunt (b) uncle (c) brother (d) grandfather
- The fifth month of the year is; (a) march (b) june (c) may (d) april
- A ripe orange has ....................color.(a) blue (b) yellow (c) orange (d) green
- The opposite of the word fat is......(a) thin (b) short (c) small (d) huge
- Which is not a domestic animal? (a) sheep (b) cow (c) dog (d) zebra
SECTION C. GRAMMAR
- Fill in the blanks with the correct word provided in the brackets
- Mother went to the market and bought..........(egg, an egg, the egg, )
- An insect that bites people and causes malaria...(bee, wasp, butterfly, mosquito)
- The mother of your mother is...........(aunt, grandmother, step mother)
- A person who takes care of sick people...(doctor, nurse, dentist)
- The month we celebrate Christmas is...( January, November, December)
SECTION D. COMPOSITION
- Use words provided in the box to complete the composition below.
Brushes, breakfast, school, face, wakes, uniform |
Grace .....................up in the morning. She washes her............... and then ..........................her teeth. The mother prepares breakfast for her. After wearing her .....................she sits on the dinning to take........ and runs to................
SECTION E. COMPREHENSION
- READ the passage below and answer questions that follows
Tunu lives with her parents. On a school day, Tunu wakes up early in the morning. She brushes her teeth. She puts on her school uniform. She eats breakfast and goes to school. After school, she returns home. She does her homework in the evening. She eats dinner and goes to bed.
- Tunu wakes up ................in the morning
- She lives with her.......................................
- She does her................in the evening
- She.......................................dinner
- After dinner she .........................to bed
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE ENGLISH EXAM SERIES 30
OFFICE OF THE PRESIDENT MINISTRY OF EDUCATION, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SOCIAL STUDIES- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STANDARD THREE
TIME: 1:00 HOUR
INSTRUCTIONS
- This paper consists of FIVE questions in two sections A and B
- Answer all questions as per instructions given in each questions
SECTION A: (56 MARKS)
1. Answer items (i) – (viii) by choosing the letter of the correct answer and write it in the box provided
- All the things that surround us are termed as:
- Atmosphere
- Air
- Water
- Environment
- Which of the following things is NOT found in school environment?
- Classrooms
- Police station
- National flag
- Playground
- Which of the following is a non- living component of environment?
- Stone
- Animals
- Plant
- Bird
iv. One of the effects of destroying our environment is:
- Overgrazing
- Outbreak of diseases
- Availability of food
- Growth of plants
v. Which of the following clothes are worn during the hot weather?
- Vest and shorts
- Sandals and T-shirts
- Sweaters and jackets
- Mini skirts
vi. Which of the following is a way of protecting ourselves from hot weather?
- Playing on sun
- Avoiding taking bath
- Drinking too much water
- Drinking hot tea
vii. Which of the following are the signs of hot weather?
- Shivering and stomach ache
- Shivering and having pale fingers
- Sweating and thirsty
- Sweating and shivering
viii. We say it is cold when the temperature is:
- Very High
- Constant
- Very low
- Average
2. Match the cleanliness tools in LIST A with their uses in LIST B by writing the their correct answers in the brackets
LIST A | LIST B |
(i) Dustpan (ii) Hoe (iv) Slasher (v) Dustbin (vi) Broom (vii) Mop | - Is used for cutting tall grass
- Is used for mopping the floor
- Is used for collecting rubbish
- Is used for burning papers
- Is used for collecting rubbish
- Is used for keeping wastes
- Is used for digging the ground
- Is used for washing hands
|
SECTION B: (44 MARKS)
3. Fill in the blanks by supplying the correct answers
- The daily condition of the atmosphere observed at a particular place is known as
- The degree of hotness or coldness of an object or a place is called_____
- What is the name of an instrument used to measure temperature?_____
- What is the standard unit of temperature__________________
- The process of cutting down trees without replanting others is called__
- The condition of having no rain for a long period of time is known as___
- Write one advantage of a clean environment____________________
4. Observe the picture below then answer the questions that follow

a. What are the pupils shown on the above picture doing?______________
b. What type of environment is shown by the picture above?____________
c. Identify two tools that are used by the pupils on the picture above
d. Write down two things that are found in the environment shown by the picture above
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE SOCIAL EXAM SERIES 6
OFFICE OF THE PRESIDENT MINISTRY OF EDUCATION, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STANDARD THREE
TIME: 1:00 HOUR
INSTRUCTIONS
- This paper consists of FIVE questions in two sections A and B
- Answer all questions as per instructions given in each questions
SECTION A: (60 Marks)
1. Choose the most correct answer from the alternatives given and write its letter in the box provided
(i) Which among the following is a living thing?
- Plants
- Air
- Water
- Stone
(ii) The two components of environment are
- Water and air
- Animals and plants
- Land and water
- Living and non-living things
(iii) Which one among the following is NOT a characteristic of living environment?
- Feeding
- Growing
- Breathing
- Flying
(iv) Which of the following is a natural source of light?
- Sun
- Bulb
- Candle
- Torch
(v) Which pair among the following consists of solid objects?
- Ice and stone
- Water vapour and ice
- Pure water and wood
- Kerosine and water
2. Match the items in LIST A with their correct response from LIST B and write the answers in the brackets provided
LIST A | LIST B |
(i) The ability to do work (ii) The reflected sound (iii) The energy that enable us to see (iv) The type of energy formed by vibration (v) The transfer of heat energy through air | - Echo
- Reflection
- Radiation
- Energy
- Sound
- Light
- Convection
|
3. Choose the correct answer from the box and fill in the gaps in each question.
Reproduction, locomotion, excretion, growth, breathing
- The increase in size and weight of an organism is called ________________
- The ability of an organism to form a new organism of its own kind is referred to
as____________________________________________________
- refers to the removal of waste products from the body of a living organism.
- An action of an organism to move from one place to another is called ______
- The process of an organism to take in and take out air is called__________
SECTION B: (40 MARKS)
4. Read the passage below then answer the questions that follow
Matter is anything that has weight and occupies space. All things that we can see, touch or feel are matters. All matters are made up of the smallest particles known as atoms. These particles are invisible with our naked eyes.
There are three states of matter. These are solid, liquid and gas. Solid matters are made up of tightly packed particles. Such things include stones, wood and papers. Solid matters normally have specific shapes. Examples of liquid matters are water, milk and kerosene. Liquid matters have no specific shape rather they occupy the shape of the container which they are placed in. The gaseous matters are those whose atoms are loosely packed. Examples of gaseous matters are water vapour, smoke, Oxygen and Carbon dioxide.
However, some substances can exist in both three states of matter. An example of those substances is water. Pure water is in liquid form. When the pure water is boiled at an average temperature of 100oC it turns in to vapour which is gaseous state. Similarly, when the temperature is exposed to the temperature of 0o C it freezes and becomes and ice which is a solid state.
QUESTIONS
- Anything that has mass and occupies space is called__________________
- All matters are made up of the smallest particles called________________
- Which substance can exist in both three states of matter?_______________
- According to the passage above, the pure water boils at an average temperature of
- What is the freezing point of water according to the above passage?__________
5. Observe the organisms below and use them to answer questions that follows.
A. 
B. 
C. 
D. 
- What is the name of the organism marked number A?_____________
- What is the habitat of the organism marked A?________________
- Which organism can live both in water and on land?______________
- The organism marked C is called_________________________
- The organism shown by the pictures lettered_____________and_________are
poisonous organisms.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE SAYANSI EXAM SERIES 5
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA TATU
MUDA: 1.30 DARASA…………………
MAELEKEZO
- Mtihani huu na maswali matano katika sehemu mbili
- Jibu maswali yote kulingana na maelezo uliopewa katika kila swali.
SEHEMU A: (ALAMA 60)
1. Chagua jibu sahihi kati ya hayo uliopewa nauandike jibu lake katika nafasi iliyoachwa wazi.
(i) Kipi kati ya vifuatavyo ni kiumbe hai?
- Mimea
- Hewa
- Maji
- jiwe
(ii) Kipi kati ya hizi kinaunda mazingira?
- Maji na Hewa
- Wanyama na mimea
- Ardhi na maji
- Viumbe hai, na viumbe visivyo hai
(iii) Kipi sio sifa ya viumbe hai?
- Kula
- Kukua
- Kupumua
- kupaa
(iv) Kipi kati ya hizi sio chanzo asilia chaa mwanga?
- Jua
- Taa ya umeme
- Mshumaa
- Tochi
(v) Kipi kati ya hizi ni yabizi?
- Barafu na jiwe
- Mvuke na baridi
- Maji na jiwe
- Mafuta taa na maji
2. Oanisha majibu katikajedwali lifuatalo hili kuleta maana
S/N | Orodha A | Orodha B |
(i) Huduma ya kwanza (ii) Baadhi ya wadudu wenye sumu (iii) Baada ya kutoa huduma ya kwanza (iv) Huduma ya kwanza inaweza kutolewa na (v) Huduma ya kwanza hutolewa lini? | - ngena kipepeo
- mpeleke aliyejeruhiwa hospitalini au kwenye zahanati
- Kupunguza maumivu na kuokoa maisha
- Nyuki na tandu
- Mtu yeyote
- Wembe, pamba, spiriti na glovu
- Maji ya kitunguu saumu na jivu
- Msaada unaotolewa kwa majeruhi kabla ya kwenda hospitalini
- Mpeleke aliyejeruhiwa nyumbani.
|
3. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi zilizo wazo
kuzaa, kusogea, kuondoa taka mwili, kukua, Kupumua
- Kuongeeka kwa kimo na uzito wa kiumbe hai ______________________
- Uwezo wa viumbe hai kuongezeka
- Kuondoa uchafu mwilini
- Uwezo waviumbe hai kutoka sehemu moja hadi nyingine…………
- Kuingiza na kutoa hewa mwilini…………………………
SEHEMU B: (ALAMA 40)
4. (a) Taja hatua za kupigasimu kwa kutumiasimu ya mkononi
(b) Eleza tofauti ya simu ya mkononi na simu ya mezani
(c ) Jaza sehemu za simu zilizoonyeshwa kwa mistari katika mchoro huu

5. Tazama michoro ifuatayo kasha jibu maswali.
A. 
B. 
C. 
D. 
- Taja jina la mnyama mwenye herufi A?_______________________
- Je mnyama mwenye herufi A anaishiwapi?___________________
- Kiumbe kipi kinaishi nchi kavu na majini?____________________
- Kiumbe chenye herufi C ni_____________________________
- Viumbe vipi kati ya hizi zilizoonyeshwa hapo zinasumu?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE SAYANSI EXAM SERIES 4
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA TATU
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
SEHEMU A: (56 %)
1. Jibu maswali (i)-(viii) kwakuchagua herufi yajibu sahihi kasha andika katika nafasi uliyopewa.
- Vitu vyote vinanyotuzunguka tunaviita?
- Anga
- Hewa
- Maji
- Mazingira
- Kipi kati ya hivi hakipatikani mazingira ya shule?
- Darasa
- Kituo cha police
- Bendera ya taifa
- Uwanja wa mpira
- Kati ya hizi ni gani ambayo ni sehemu ya mazingira isiyo na uhai?
- Jiwe
- mimea
- wanyama
- ndege.
- Moja ya madhara ya uharibifu wa mazingira ni?
- Kufuga wanyama wengi
- Mlipuko wa magonjwa
- Upatikanaji wa chakula
- Ukuaji wa mimea
- Wakati wa joto kali tunapaswa kuvaanguozipi?
- Kaptula na vesti
- Malapa na T-shati
- Sweta na Jaketi
- Sketi fupi
- Mojawapo ya njia za kujikinga na joto kali ni?
- Kucheza juani
- Kuepuka kuoga
- Kunywa maji mengi
- Kunywa chai moto
- Dalili za hali ya joto kuwa juu ni?
- Kutetemeka na kuumwa na tumbo
- Kutetemeka na vidole kupauka
- Kutoa jasho na kiu
- Kutoa jasho na kutetemeka
- Tunasema kuna baridi wakati hali ya joto ni?
- Iko juu sana
- Ya kawaida
- Ya chini sana
- Ya wastani.
2. Andika ndiyo kwa sentensi iliyo sahihi, au hapana kwa sentensi isiyo sahihi.
- Mvua husaidia kukuza mimea
- Fagio na jembe ni vifaa vinavyotumika katika utunzaji wa mazingira
- Sweta na jaketi ni mavazi yanayovaliwa wakati wa baridi
- Mifugo na ardhi ni rasilimali……
- Nyota na mwezi huonekanawakati wa mchana.
SEHEMU B. ALAMA 44.
3. Jaza nafasi zilizo wazi kwa kutumia jibu sahihi.
- Mabadiliko ya kila siku yamazingira huitwa……………………………….
- Hali ya kitu kuwa joto au baridi hutwa…………………………………….
- Kifaa kinachotumika kupima joto huitwa…………………………………
- Taja aina mbili ya vifaa vinavyotumika kupima joto
- Kukta miti bila kupanda kuna weza kusababisha…………….
- Hali ya kukosekana mvua kwa muda mrefu huitwa…………………..
- Mojawapo ya faida ya mazingira masafi ni………………………………
4. Jibu maswali yafuatayo kwa kujaza nafasi wazi.
- Taja faida tatu za jua
- Vitu gani vingine vinapatikana katika mfumo wa jua
- Taja sayari zinazozunguka jua
- Taja mambo matatu yanayoweza kufanywa wakati wa jua.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE MAARIFA EXAM SERIES 3
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA TATU
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
SEHEMU A. IMLA
ANDIKA MANENO YAFUATAYO( MZAZI/MLEZI ATAJE MANENO)
- ………………………………………………… ………………………… ……… …………………
- …………………………………… ……………………… ……… ……… …………… ……………
- ………………………… …………………………… ……………… ……………… ………………
- ……………………………… ……………………………… ……………… ………… ……………
- ……………………… ……………………………… …………………… …………… ……………
SEHEMU B. CHAGUA JIBU SAHIHI.
- Ndani ya pochi la mama aliweka nguo…………………………..
- Lake
- Yake
- Zake
- Zao
- Baraka na anna walipewa…………………….
- Adabu
- Adhabu
- Azabu
- Athabu
- Viatu……………..ni vyangu
- Yote
- Yoyote
- Vyote
- Wingi
- Ukipika vyakula………………………………………. Vitaharibika
- Kingi
- Vingi
- Mingi
- Kichache
- Lipi kati ya mazao haya ni nafaka?
- Mahindi
- Nazi
- Pamba
- Kahawa
SEHEMU C.
Andika neno moja linaloendana na yafuatayo
a) Pikipiki, ndege, baiskeli, gari
b) Maembe, fenesi, nanasi, chungwa
c) Sketi, kaptula, suruali, shati
d) Ng’ombe, mbuzi, kondoo, paka,
e) Kaka, mjomba, bibi, binamu.
SEHEMU D.
Andika sentensi zifuatazo katika hali ya wingi
- Mfuko huu ni mkubwa
- Meza hii ni safi
- Nyumba hii ni nzuri
- Kitabu hiki ni kidogo
- Jiwe hili ni kubwa
SEHEMU E.
Malizia methali zifuatazo;
- Mvumilifu…………………………………………………………………………………
- Kuuliza………………………………………………………………………………………
- Mwenda pole………………………………………………………………………………
- Siku za mwizi………………………………………………………………………………
- Akiba……………………………………………………………………………………………
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE KISWAHILI EXAM SERIES 2
OFFICE OF THE PRESIDENT MINISTRY OF EDUCATION, REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STANDARD THREE
TIME: 1:00 HOUR
INSTRUCTIONS.
Answer all questions
SECTION A.
Look at the pictures below and write the name of each.
………………………………………………
2.
……………………………
3.
…………………………….
4.
……………………………………..
5.
……………………………………...
SECTION B.
In each of the following, name an insect that is described.
- An insect that makes a sweet liquid called honey……… ……………………………………………
- An insect that has beautifully colors and feeds on nectar from flowers………………………
- An insect that stays in anthill and are very many……………………………………………………..
- An insect is common at homes and spread diseases…………… ……………………………………
- An insect that transmits malaria………… …………………… ………………………………………………..
SECTION C.
Fill in the blanks below with the correct answer.
- My name is……………………………………………………..
- My mothers name is…………………………………………
- My father’s name is…………………………………………
- My sister’s name is…………………………………………..
- My brother’s name is………………… …………… ……………………………
SECTION D.
Fill in the blanks with the correct words
Juma……………………….up ealier in themorning.He brushes his teeth. He ………………………breakfast. He………………………………to school. He……………………football in the evening. He ………… …………….dinner.
SECTION E.
Fill in the blanks using words in the box.
- Please sister, ………………………..I eat a banana?
- Please…………………………………..may I come in?
- Please Juma,……………………borrow your pen?
- Please sir,…………………………….I go out?
- …………………………madam, may I sit with Juma?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE ENGLISH EXAM SERIES 1