OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TANO
SAYANSI NA TECHNOLOJIA
MUDA:1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
CHAGUA JIBU SAHIHI
- Wakati unatoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto hairuhusiwi kupaka…………..kwenye jeraha.
- Maji
- Mafuta
- Asali
- Dawa
- Kipi kati ya vimiminika vifuatavyo kianaweza kusababisha ajali ya kuungua moto?
- Uji wa moto
- Juisi
- Asali
- Soda
- Mtu aliyeungua moto hupewa huduma ya kwanza kabla ya kupelekwa……………
- Nyumbani
- Shule
- Kulala
- Hospitalini
- Ipi sio faida ya huduma ya kwanza
- Kupunguza maumivu
- Kuponya mgonjwa
- Kuokoa Maisha
- Kumpa mgonjwa matumaini
- Kipi akipaswi kufanyiwa mtu aliyeungua moto?
- Kumwagilia maji
- Kumtoa kwenye chanzo cha moto
- Kumfunika na blanketi kama nguo zimeshika moto
- Kumpatia huduma ya kwanza
- Mtu mwenye majeraha madogo madogo ya moto anapaswa
- Kuweka barafu juu ya jeraha
- Kupasua malengelenge yanayotokea
- Kupaka mafuta
- Kuhakikisha eneo lipo lisafi na salama
- Tunapaswa kuchukua tahadhari hii tunaposaidia mtu aliyengua na moto isipokuwa;
- Kutokuondoa kipande chochote cha Ngozi kinacho ng’ang’ania
- Kumpatia vyakula vya maji
- Ondoa kitu chochote kilichoshikana na kugandana na Ngozi
- Usitoboe malengelenge
- Kani za mvutano kati ya molekyuli za maada huwa ni ndogo sana katika:
- Chumaa
- Maji
- Hewa
- jiwe
- Kitu kipi kati ya hivi vifuatavyo kina umbo maalumu?
- Soda
- Karatasi
- Gesi
- maji
10. Maada huundwa na chembechembe ndogo zinazojulikana kama
- kizio
- ambatani
- elementi
- atomu
- molekuli
11. Maji huganda katika nyuzijoto
- 100 oC
- 36 oC
- 0 oC
- 36.9 oC
12. Joto husambaa katika kimiminika kwa njia ya . . . . . .
- msafara
- mpitisho
- mnururusho
- mgandamizo
13. Badiliko la maada lisilokuwa na tofauti katika uzito linaitwaje?
- Kikemikali
- Kiugumu
- Kiumbo
- Kiurefu
14. Maada inapatikana katika hail zifuatazo:
- Vimiminika, maji na gesi
- Yabisi, vimiminika na hewa
- Yabisi, vimiminika na gesi
- Mawe, yabisi na gesi
- Yabisi, hewa na gesi.
15. Maji magumu aushi yanaweza kubadilishwa kuwa maji laini kwa
- kuyachemsha
- kuyachuja
- kuyatonesha
- kuyagandisha
- kuyapasha joto
16. Nini kitatokea iwapo idadi ya wanyama wanaokula nyama katika eneo ni kubwa kuliko idadi ya wanaokula majani?
- Majani yatapungua
- Majani yatabakia kama yalivyokuwa awali
- Majani yatanyauka
- Majani yataongezeka
- Majani yataliwa
17 .Kitendo cha bakteria kuozesha kinyesi cha wanyama kwenye shimo pasipokuwa na hewa ya oksijeni husababisha:
- joto kali
- gesivunde/biogesi
- asidi kali
- alkali kali
- haidrojeni
18. Kinyonga hujibadili rangi yake ili:
- kutafuta chakula
- kupumua
- kuzaliana
- kutafuta maadui
- kujilinda dhidi ya maadui
- Mwewe
Nyasi
Chui
mbuzi - Nyasi
Mwewe
chui
mbuzi - Chui
Mwewe
Nyasi
mbuzi - Nyasi
mbuzi
chui
mwewe - Mwewe
chui
mbuzi
nyasi
20. Endapo mito na mabwawa yatakauka, ni viumbe hai Vipi kati ya vifuatavyo vitaathirika zaidi?
- Vyura
- Samaki
- Mamba
- Mbu
- Nyoka
21.
Uhusiano uliopo kati ya viumbe hai na visivyo hai katika mazingira unaitwa
- kutegemeana
- wando chakula
- ikolojia
- mlishano
- mizania asili.
22. Ingawa wanyama huvuta hewa ya oksijeni na kutoa hewa ya kabondayoksaidi, hewa hizi hazipungui wala kuongezeka kwenye mizazi kwa kuwa.
- oksijeni ipo kwa wingi kwenye mizazi
- kabondayoksaidi hubadilika kuwa oksijeni
- mimea hutumia kabondayoksaidi na kutoa oksijeni
- kabondayoksaidi huathiri tabaka la ozoni
- oksijeni na kabondayoksaidi hurekebishwa na ozoni
23. Ni lipi kati ya matendo yafuatayo siyo sababu ya uharibifu wa mazingira?
- Uchomaji wa karatasi
- Maendeleo ya viwanda
- Kuoga ziwani
- Kutumia mbolea ya samadi
- Kuoshea magari mtoni.
24. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...
- joto na unyevu
- unyevu na mwanga
- upepo na mwanga wa jua
- mawingu na upepo
- unyevu na upepo
25. Kinyonga hujibadili rangi yake ili:
- kutafuta chakula
- kupumua
- kuzaliana
- kutafuta maadui
- kujilinda dhidi ya maadui
26. Fototropizimu ni kitendo cha mmea kuota kuelekea kwenye:
- mwanga
- kani ya mvutano
- maji
- giza
- kemikali.
- Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na………………..
- Bakteria
- Virusi
- Viroboto wa nyani
- Ukosefu wa maji mwilini
- Dalili za ugonjwa wa ebola huanza kuonekana kwa mgonjwa ndani ya siku ……………baada ya maambukizi
- Nne hadi saba
- Tano
- Mbili hadi ishirini na moja
- Mbili hadi tano
- Zifuatazo ni njia ambazo ugonjwa wa ebola unaweza kuenezwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, isipokuwa………………
- Kugusana na mgonjwa wa ebola
- Kushika damu ya mtu mwenye virusi vya ebola
- Kugusa taka ngumu au maji taka yaliyotokana na kuhudumia mgonjwa wa ebola
- Kukaa mbali na mgonjwa wa ebola
- Zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa ebola, isipokuwa……………
- Kuvuja damu puani na sehemu zingine za mwili
- Maumivu ya tumbo na misuli
- Kutokwa na malengelenge ambayo hupasuka na kuisababishia Ngozi michubuko
- Maumivu ya koo
- Sehemu ipi katika nyenzo daraja la kwanza huwa katikati?
- Mzigo
- Jitihada
- Egemeo
- wembe
- Sehemu ipi katika nyenzo daraja la kwanza huwa katikati?
- Mzigo
- Jitihada
- Egemeo
- toroli
- Jozi ifuatayo ni mfano wa nyenzo daraja la pili
- Opena na toroli
- Sepeto na toroli
- Mizani na mlango
- Mlango na sepeto
- Mojawapo ya vifaa vifuatavyo ni mfano wa kabari:
- Mtange
- Toroli
- Patasi
- opena
- Ipi sio kazi kuu za tarakilishi
- Kuingiza data
- Kupokea data
- Kuchakata data
- Kufundisha
- Kifaa cha kuhifadhi na kulinda vifaa vyote vya kieletroniki huitwa?
- Kibodi
- Kichakato
- Monita
- Vitumi ingiza
- Sehemu za tarakilishi zisizoshikika huitwa;
- Maunzi
- Programu
- Vitumi toleo
- Program endeshi
- Seti ya maelekezo ambayo hutumika katika tarakilishi ili kufanya shughuli mbalimbali huitwa
- Program
- Progamu endeshi
- Program tumizi
- Tarakilishi
- Ipi sio tahadhari ya kufuata unapotumia tarakilishi
- Dhibiti umeme hili kulinda tarakilishi
- Fuata taratibu wakati wa kuzima tarakilishi
- Kufungua program nyingi kwa wakati mmoja
- Kufuta vumbi kwa kitambaa kikavu
- Program ambayo hutumika kwa ajili ya uchapaji wa nyaraka za aina mbalimbali kama barua, ripoti na majarida huitwa?
- Program jedwali
- Program tendaji
- Program andishi
- Program teule
- Tarakilishi utumika katika maeneo haya isipokuwa
- Vyuoni
- Benki
- Ofisini
- Yote hapo juu
- Sehemu ambayo husaidia kuona ukurasa wa waraka na kufanya marekebisho katika mtindo au fonti huitwa;
- Faili
- Nyumbani
- Menu
- Sanifu
- Kioo bapa kinatumika katika saluni kwa sababu
- Hutoa picha kubwa
- Hutoa taswira pacha
- Huzalisha taswira nyingi
- Hutoa taswira safi
- Kifaa kinachotumika kuangalia vitu kwenye vizuizi huitwa?
- Periskopu
- Dira
- Teleskopu
- Makroskopu
- Ipi sio sifa ya taswira ya kioo mbinuko?
- Taswira ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
- Hutokea ikiwa wima
- Hutokea nyuma ya kioo mbinuko
- Ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
- Moja ya hasara ya taswira ya kioo mbinuko ni;
- Taswira huwa kubwa
- Kinafaa kutumika katika kunyolea watu
- Taswira inakosa umbo lililo halisi
- Taswira yake huwa wima
- Kioo kinachofaa katika shughuli za ulinzi madukani na majengo makubwa ni
- Kioo mbonyeo
- Kioo bapa
- Kioo mbinuko
- Lenzi
- Lenzi inayokusanya miale ya mwanga huitwa;
- Lenzi bapa
- Lenzi mbinuko
- Lenzi mbonyeo
- Lenzi wima
- Yapi ni matumizi ya lenzi mbonyeo?
- Kutengeneza vioo vya gari
- Kutengeneza taa
- Kutengeneza miwani ya watu wasioona mbali
- Kutengeneza kamera
50. Sumaku zinawekwa katika milango ya majokofu na baadhi ya makabati ili…………..
- Kufukuza joto
- Kufanya eneo la ndani liwe na joto
- Kufanya milango ibane vizuri
- Kuondoa asili ya chumu
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE SAYANSI EXAM SERIES 44
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TANO
MAARIFA YA JAMII
MUDA:1: 30
JINA_____________________________________SHULE__________________
Chagua Jibu Sahihi
- Lugha inayowaunganisha Watanzania wote ni:
- Kihehe
- Kiswahili
- Kiingereza
- Kisukuma
- Ufundi wa kuwasilisha hisia na mawazo yaliyomo katika fikra huitwa:
- Mila
- Desturi
- Sanaa
- Utamaduni
- Mambo yanayofanywa na jamii fulani kulingana na asili, mazingira na mienendo ya jamii hiyo huitwa:
- Mila
- Desturi
- Utamaduni
- Sanaa
- ............ni asili, mila, jadi, imani na desturi za jamii fulani:
- Utamaduni
- Desturi
- Sanaa
- Mila
- Jambo la kawaida linalotendwa kila siku na jamii fulani huitwa:
- Lugha
- Sanaa
- Desturi
- Mila
6. Mkataba wa 1890 uliogawanya Afrika Mashiriki kwa Wajerumani na Waingereli.ulijulikana kama:
- Mkataba wa Hamerton
- Mkataba wa Haligoland
- Mkataba wa Moresby
- Mkataba wa Afrika Mashariki
- Mkataba wa Frere
7. Makoloni ya Kifaransa Afrika yalikuwa pamoja na:
- Togo na Morocco
- Senegal na Ghana
- Nigeria na Tunisia
- Senegal na Morocco
- Angola na Tunisia
8. Ulinzi katika jamii ya Kimasai ulikuwa ni jukumu la:
- laiboni
- morani
- layoni
- mtemi
- kabaka
9. Nchi ya kwanza kupata Uhuru katika Afrika Mashariki ilikuwa:
- Tanganyika
- Kenya
- Uganda
- Zanzibar
- Burundi
10. Makoloni ya Ureno Kusini mwa Afrika yalikuwa yapi?
- Namibia na Angala
- Angola na Botswana
- Msumbuji
- Namibia na Zimbabwe
- Angola na Msumbiji
- Muhammad Ahmad alikuwa ni kiongozi wa nchi ya:
- Rwanda
- Burundi
- Sudan
- Niger
- Sababu ya wakoloni kuvamia ukanda wa pwani katika Afrika ilikuwa ni:
- Urahisi wa kufanya biashara
- Urahisi wa kuwasaidia watu
- Urahisi wa kuendesha shughuli za kilimo
- Kurahisisha uchimbaji wa madini
- Miongoni mwa mashujaa wa Afrika waliopinga uvamizi ni:
- Agostino Neto, Kwame Nkurumah na Otto Von Bismack
- Kwame Nkurumah, Isike, Seyyid Said
- Otto Von Bismack, Isike na Agostino Neto
- Mfalme Menelik wa II, Msiri na Mkwawa.
- Mkutano wa kuigawa Afrika ulifanyika katika nchi ya:
- Uingereza
- Marekani
- Ujerumani
- ufaransa
- .............ni lengo la waarabu wa Omani kuja Pwani ya Afrika Mashariki.
- Kilimo
- Uvuvi
- Biashara
- Upagazi
- Wareno walifika Pwani ya Afrika Mashariki mwaka:
- 1540
- 1498
- 1497
- 1690
- Wareno walifika katika mji wa Kilwa mnamo karne ya:
- 15
- 16
- 18
- 19
- Mreno wa kwanza kufika Pwani ya Afrika Mashariki alijulikana kwa jina la:
- William Mackinnon
- Charles Stokes
- Vasco da Gama
- Karl Peters
- Wafaransa walipanua wigo wa biashara zao katika Pwani ya Afrika Mashariki karne ya:
- 19
- 17
- 18
- 16
20. Makabila matatu katika Tanzania yaliyoshiriki katika biashara ya watumwa ni:
- Wahehe, Wabena na Wanyama
- Wazaramo, Wazigua na Waluguru
- Wachaga, Wapare na Wasambaa
- Wahangaza, Wahaya na Wakurya
- Wanyamwezi, Wahaya na Wasumbwa
21. Makoloni ya Ujerumani katika Afrika yalikuwa ..
- Naijeria, Namibia na Togo.
- Gambia, Togo na Namibia.
- Kameruni, Togo na Namibia.
- Namibia, Tanganyika na Naijeria.
- Kameruni, Tanganyika na Senegal.
22. Wajerumani walitawala Tanganyika baada ya .....
- Vita Kuu ya Kwanza.
- Vita Kuuya Pili.
- Mkutano wa Berlin.
- Kuundwa kwa UNO.
- Kushindwa kwa Wareno.
23. Moja ya malengo ya elimu ya kikoloni ilikuwa:
- kupambana na ujinga na umaskini
- kupunguza uzalishaji wa mazao ya biashara
- kupata watumishi wa ngazi za chini
- kuongeza ajira kwa vijana
- kupambana dhidi ya ubaguzi wa rangi
24. Mojawapo ya athari ya utawala wa Wareno katika Afrika Mashariki ilikuwa:
- kuanzishwa kwa uislamu
- kukomeshwa kwa biashara ya utumwa
- kuharibiwa kwa miji ya pwani
- kusaini mikataba ya ulaghai
- kuanzisha mashamba ya katani
25 Ramani inayoonesha sura ya asili ya nchi huitwa
- Ramani hai
- Ramani ya topografia
- Ramani ya dunia
- Ramani takwimu
26. Kati ya watu hawa nani hatumii ramani?
- Watalii
- Rubani
- Wajenzi
- Wakulima
- Kielelezo kinachofafanua alama au rangi zilizotumika katika ramani huitwa
- Kichwa
- Dira
- Ufunguo
- Kipimio
- Huonyesha mwisho au mpaka wa ramani
- Huonyesha mwanzo wa ramani
- Huonyesha mipaka ya ramani
- Huonyesha ukubwa wa ramani
- Huonyesha mwelekeo wa ramani
- Yafuatao ni matumizi ya ramani isipokuwa
- Kuonyesha mahali vitu vilivyo
- Kuongoza meli au aeropleni
- Kuelezea maeneo ya tabianchi
- Kucheza mpira wa miguu
- Ramani inayoonesha idadi ya watu au vitu katika eneo fulani huitwa?
- Ramani dufu
- Ramani takwimu
- Ramani topografia
- Ramani kipimo
- Dunia hulizunguka jua kwa muda wa:
- Saa 24
- Siku 3651/4 au 366
- Usiku na mchana
- Siku 300
- Dunia hutumia muda wa dakika..............kujizungusha kati ya longitude moja hadi nyingine:
- 15
- 24
- 4
- 60
- Mabadiliko ya maji kupwa na kujaa hutokea mara mbili.
- Kila siku
- Kwa wiki
- Kwa mwaka
- Baada ya mwezi mmoja
- Sayari yenye viumbe hai ni:
- Sumbura
- Mihiri
- Zuhura
- Dunia
35. Zao kuu la biashara linalolimwa wilaya ya mbinga mkoani Ruvuma ni
- Korosho
- Karafuu
- Chai
- Kahawa
- Pamba
36. Moja ya matatizo yanayovikabili viwanda na biashara Tanzania ni
- uhaba wa wateja wa bidhaa zinazozalishwa
- upungufu wa gharama kubwa ya nishati
- uhaba wa wafanyabiashara
- hall mbaya ya hewa
- uhaba wa wafanyakazi.
37. Ardhi, misitu, mito, bahari na madini kwa ujumla tunaviita
- bidhaa muhimu
- Dunia
- uoto wa asili
- maliasili
- mahitaji muhimu
38. Gesi asilia hupatikana katika eneo lipi kati ya yafuatayo?
- Kilwa.
- Madaba.
- Songosongo.
- Mchinga.
- Somanga
- Ipi kati ya fursa hizi za kibiashara haipatikani mijini?
- Ufugaji
- Kushona nguo
- Usafirishaji
- Kuuza vyakula
40. Faida ya ubunifu ni hizi isipokuwa;
- Kuvutia wateja
- Kukabiliana na ushindani
- Kuiga kazi za wengine
- Kuongeza faida
- Ipi sio aina ya wajasiriamali?
- Wajasiriamali wabunifu
- Wajasiriamali wafanyabiashara
- Wajasiriamali watumishi
- Wajasiriamali jamii
- Tabia hizi zinaweza kukwamisha biashara yako isipokuwa
- Kujituma
- Uvivu
- Kuwa na visingizio
- Kupoteza muda
- Ipi sio tabia ya mjasiriamali?
- Uthubutu
- Uaminifu na uadilifu
- Kukata tama
- Ubunifu
Jibu maswali yafuatayo:
- Taja jina la Gavana wa Wajerumani aliyesimamia utawala wa kikoloni Afrika Mashariki ya Wajerumani.
- Taja mazao yaliyolimwa katika mikoa ifuatayo katika kipindi cha ukoloni wa Wajerumani:
- Morogoro.............
- Kagera na Kilimanjaro............
- Mwanza...........
- Bagamoyo...............
- Reli ya Tanga hadi Moshi ilianza kujengwa mwaka gani?
- Unafikiri ni kwa nini Wajerumani walitoza kodi?
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE MAARIFA EXAM SERIES 43
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TANO
URAIA NA MAADILI
MUDA:1: 30
JINA_____________________________________SHULE__________________
Chagua Jibu Sahihi
- Msaidizi mkuu wa mkoa katika shughuli zake za utendaji ni nani?
- Ofisa elimu mkoa
- Katibu tawala wa mkoa
- Mkuu wa idara ya utawala na utumishi mkoa
- Ofisa afya wa mkoa
- Mwenyekiti wa halmashauri ngazi ya wilaya huongoza akina nani?
- Wenyeviti wa mtaa
- Makatibu tawala
- Madiwani wa halmashauri
- Mtendaji wa kata
- Katika ofisi ya kata, nani ni mtendaji mkuu?
- Diwani
- Ofisa mtendaji wa kata
- Ofisa mazingira wa kata
- Ofisa maendeleo wa kata
- Mkurugenzi wa halmashauri anapatikanaje?
- Kwa kupigiwa kura na madiwani
- Kwa kuajiriwa na menejimenti ya utumishi wa umma
- Kwa kuteuliwa na rais
- Kwa kupigiwa kura na wananchi kattika halmashauri inayohusika
- Katibu wa vikao vya baraza la madiwani ni nani?
- Mwenyekiti wa halmashauri
- Diwani wa viti maalumu
- Katibu tawala
- Mkurugenzi wa halmashauri
- Kanuni zinazowekwa shuleni na nyumbani husaidia nini?
- Kufuata utaratibu na kudhibiti nidhamu
- Ukiukaji wa haki za mtoto
- Ubabe wa wazazi au walezi
- Kuleta fujo
- Lipi kati ya haya yaliyoorodheshwa ni tendo la kutetea haki zako na za Watoto wenzako:
- Kukosekana utawala bora
- Kutii sheria na kutozitumia
- Kusaidia kutoa taarifa kwenye mamlaka zinazohusika
- Kulia kwa uchungu
- Ipi kati ya tabia zilizoorodheshwa inaonesha uvunjifu wa sheria za shule?
- Kuwahi sana shuleni
- Kusoma kwa bidi
- Utoro na kupigana
- Kujisomea nyumbani baada ya masomo
- Lipi kati ya haya ni matendo ya uvumulivu?
- Kulalamika
- Kuheshimu itikadi na mila za watu
- Kuwasema wengine
- Kujiona bora
- Ni kitendo kipi sio sahihi?
- Kuheshimu sala za wakristo
- Kudharau mavazi ya kiislamu
- Kutopiga kelele darasani
- Kutumia lugha ya taifa
- Tunapopata changamoto katika maisha tunapaswa?
- Kulia
- Kukata tama
- Kuwa mvumilivu na kutafuta suluhisho
- Kudai haki
- Lengo la uvumilivu ni
- Kuvumilia mateso
- Kukata tama
- Kutafuta njia sahihi za kutatua shida
- Kufikia malengo
- Kunapo tokea mabadiliko katika jamii tunapaswa
- Kukata tama
- Kujiamini
- Kuyapinga
- Kulia
- Mtu kuwa na utayari wa kupokea majukumu hufuatana na:
- Kujitambua na kuwa na utayari wa kupokea ushauri
- Kushindana na wenzako
- Kukataa ushauri kutoka kwa mtu yeyote
- Kukubali bila pingamizi
- Usimamizi wa majukumu shuleni hufanywa na;
- Walimu peke yao
- Wanafunzi wenyewe tu
- Walimu wakishirikiana na viongozi wa serikali ya wanafunzi
- Wazazi
- Viongozi wote wanapaswa kuzingatia:
- Maendeleo yao tu
- Misingi ya utawala bora
- Utawala wa kiimla
- Upendeleo
- Utii wa sheria:
- Haubagui kiongozi au mwananchi
- Bila shuruti hauwezekani
- Unasababisha ucheleweshaji wa majukumu
- Ni wa kiimla
- Ipi sio manufaa ya ushirikiano wa Tanzania na Mataifa Mengine?
- Kupata masoko ya bidhaa
- Kuboresha usalama na amani
- Kupata mikopo
- Kupoteza utamaduni wake
- Sera ya Tanzania ya Uhusiano wa kimataifa ilitungwa mwaka
- 1995
- 1977
- 2015
- 2005
- Kipi hakipo kwenye sera ya Tanzania ya uhusiano wa kimataifa?
- Kulinda uhuru na usalama wa nchi
- Kuimarisha umoja wa mataifa na ushirikiano
- Kumaliza upinzani
- Kupigania uboreshaji wa umoja wa mataifa
- Mojawapo ya changamoto za ushirikiano wa umoja wa mataifa ni;
- Mikopo yenye riba kubwa
- Migogoro ya mipaka
- Ujirani mwema
- Kukuza biashara
- Ipi kati ya hizi ni miongoni mwa rasilimali zilizopo Tanzania?
- Misitu
- Mbao
- Mkaa
- Nyasi
- Ipi kati ya hizi ni faida ya misitu?
- Kutupatia madini
- Kutupatia mbao
- Kutupatia nafaka
- Kuikata
- Tunawezaje kuhifadhi misitu?
- Kwa kukata miti
- Kwa kuchoma misitu
- Kwa kupanda miti
- Kulima ndani ya misitu
- Ni kitendo gani kati ya hivi huchangia kuharibu rasilimali maji?
- Kukata miti kwenye vyanzo vya maji
- Kutochoma moto misitu
- Kutotiririsha maji machafu
- Kutunza miti
- Kujijali na kuwajali wenzako kunasaidia mwanafunzi:
- Kufanya mambo yanayokubalika katika jamii
- Kuogopwa
- Kutenda uovu
- Kuwa mkorofi
- Kugombana na wenzako mara kwa mara unapokuwa shuleni au nyumbani ni tabia:
- Isiyokubalika
- Inayoonesha kujali wenzako
- Ya upendo
- Ya unyenyekevu au kishujaa
- Matendo yafuatayo yanakuza uhusiano na watu wengine:
- Kushirikiana, kuwasaidia watu wenye mahitaji maalumu, kuheshimiana na kujiunga katika vikundi vya kusaidiana
- Kuonesha upendo, kuheshimiana, ugomvi na unafiki
- Kuwasaidia watu wenye mahitaji, kusema uongo, kushirikiana na kuheshimiana
- Kuwasaidia watu wote na kuwafanyia unafiki
- Moja ya faida za kujiunga na klabu za masomo shuleni ni:
- Kukuza uelewa na uongo
- Kukuza uelewa na kujiamini
- Kushindana kwa majibizano ya ujeuri
- Kuwa maarufu na kuvunja haki za binadamu
- Ni njia mojawapo ya kutomsaidia mwanafunzi mwenye matatizo:
- Kumshika mkono
- Kumkumbatia
- Kumshauri namna ya kutatua tatizo
- Kumtenga
- Namna bora ya kushirikiana na majirani zako unapokuwa nyumbani:
- Kuwakimbia wanapokuwa na shida
- Kutowapokea mizigo
- Kujumuika nao katika matukio ya shida na raha
- Kuwakwepa pale wanapoomba msaada
- Unapo shiriki katika shughuli za maendeleo ya jamii unaleta;
- Mshikamano na uzalendo
- Shida kwa wananchi
- Mtandao wa ombaomba
- umasikini
- Shughuli za kibinadamu ambazo huchangia uchafuzi wa vyanzo vya maji ni kama vile:
- Kufua nguo, kupanda miti kuzunguka eneo la vyanzo vya maji
- Kulima na kufua nguo kando kando ya mto
- Kutunza mazingira ya asili na kunywesha mifugo
- Kupanda miti
- Mamlaka inayohusika na usimamizi na utunzaji mazingira nchini huitwa:
- Mamlaka ya mapato ya Tanzania
- Wizara ya afya
- Baraza la usimamizi wa mazingira la taifa
- Tume ya taifa ya mazingira
- Ni vyema tuka boresha njia za uchimbaji wa madini ilikusaidia:
- Uchimbaji wa madini kuwa endelevu na wenye ufanisi
- Kutopata fedha za kutosha
- Kukosa ajira kwa wingi
- Kutofuta umaskini
- Hali inayopunguza ukamilifu wa kitu inaitwa?
- Shida
- Kudorora
- Kupooza
- Kipato
- Kuangalia kitu kwa undani kisha kukadiria thamani yake au ubora wake huitwa
- Kuchunguza
- Mpangokazi
- Tathmini
- Morali
- Utaratibu wa kufanya kazi kwa hatua ili kufikia lengo lililokusudiwa ni;
- Ratiba
- Bajeti
- Mpangokazi
- Kipaumbele
- Faida ya kutathmini kwa mtoto ni;
- Kujiamini
- Kuacha uvivu
- Kudekezwa
- Kutofanya kazi
- Tathmini shuleni inapaswa kuwa;
- Kazi za darasani tu
- Kazi za darasani na nje ya darasa
- Kazi za viwanjani
- Katika mitihani tu
Katika swali la 41-45, andika jibu sahihi.
41. Taja madhara manne ya kutohifadhi taka kwa usahihi
42. Orodhesha dalili tatu za balehe kwa mvulana na kwa msichana
43. Andika sababu tatu za kufanya usafi wa sare za shule
44. Taja mambo matatu ya kuzingatia wakati wa kufua sare za shule.
45. Taja aina kuu mbili za taka
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE URAIA EXAM SERIES 42
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA
HISABATI
MUDA:1: 30
JINA_____________________________________SHULE__________________
NO | SWALI | KAZI | JIBU |
| ANDIKA KWA MANENO | | |
-
| 144,443 | | |
-
| 44,444 | | |
-
| 959,595 | | |
-
| 723,456 | | |
-
| 82,345 | | |
| ANDIKA KWA TARAKIMU | | |
-
| Laki mbili na elfu arobaini na moja, mia tatu sitini na moja | | |
-
| Laki tatu na elfu sita, mia tatu na moja | | |
-
| Laki mbili na moja | | |
-
| Laki nne na kumi na sita | | |
-
| Laki tano na sita, mia sita na sita | | |
| Ni sehemu ipi kubwa | | |
-
| 6/11 and 5/11 | | |
-
| 4/5 and 3/5 | | |
-
| 1/5 and 1/4 | | |
-
| 4/7 and 4/9 | | |
-
| 3/8 and 5/8 | | |
| Badilisha kuwa sehemu nusu | | |
-
| 11/2 | | |
-
| 72/5 | | |
-
| 101/4 | | |
-
| 23/7 | | |
-
| 31/3 | | |
| Badilisha kuwa sehemu kamili | | |
-
| 10/3 | | |
-
| 17/7 | | |
-
| 11/4 | | |
-
| 25/3 | | |
-
| 41/4 | | |
| Badilisha saa kuwa dakika | | |
-
| Masaa 7 | | |
-
| Masaa 13 | | |
-
| Masaa 6 | | |
-
| Masaa 9 | | |
-
| Masaa 3 | | |
| Badilisha dakita kuwa masaa | | |
-
| Dakika 849 | | |
-
| Dakika 1149 | | |
-
| Dakika 686 | | |
-
| Dakika 4593 | | |
-
| Dakika 328 | | |
| Tafuta K.D.S YA NAMBA HIZI | | |
-
| 45 and 38 | | |
-
| 28 and 44 | | |
| Tafuta kigawo kikubwa cha shirika(KKS) | | |
-
| 68 and 38 | | |
-
| 92 and 100 | | |
-
| 69 and 39 | | |
| Tafuta kipeuo na pili cha namba | | |
-
| 8100 | | |
-
| 7225 | | |
-
| 6400 | | |
-
| 5625 | | |
-
| 4900 | | |
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE HESABU EXAM SERIES 41
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE ENGLISH EXAM SERIES 40
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE KISWAHILI EXAM SERIES 39
PRESIDENT'S OFFICE
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ANNUAL EXAMINATION
STANDARD FIVE
ENGLISH
SECTION A. GRAMAR
Choose the correct alternative to complete the sentences.
Write the plural of underlined WORD
- A class was painted.
- Class
- Classes
- Clases
- School.
- His family is wealthy.
- Families
- Famillies
- Familys
- family
- A fox ran into the bush.
- Foxes
- Foxen
- Fox
- hare
- My pocket is torn.
- Pockets
- Pocket
- Pocketes
- Packet.
- One deer was killed.
- Deers
- Deer
- Deeres
- Geese.
- Her foot is small for that shoe.
- Foots
- Feet
- Foot.
- Leg.
- He has a strong belief.
- Beliefs
- Beliefs
- Believes
- Faith.
- The potato was rotten.
- Potatos
- Potatoes
- Potato
- potatoeses
- The loaf was eaten by a. dog.
- Loafs
- Loaves
- Loaf
- Leaves.
- A boy bought an avocado.
- Avocados
- Avocadoes
- Avocado.
- avocad
- The woman has a painful tooth.
- Teeths
- Tooths
- Teeth
- Mouth.
- A leaf fell on the floor.
- Leaves
- Leaf
- Leave
- loaves
- Give me an apple.
- Apple
- Apples
- appleses
- He is a hero.
- Heros
- Heroes
- Heroines.
- Heroine.
- The thief was caught with a knife.
- Knifes
- Knives
- Knive
- knife
USE STILL, YET OR ALREADY TO COMPLETE THE SENTENSES.
- The man is …………….waiting for the chief to arrive
- Yet
- Already
- Still
- Yet ,still
- We had …………..finished the task but the teacher had not …….come
- Yet, still
- Still,yet
- Already, yet
- Yet, already
- Do you …………..remember your promise?
- Still
- Yet
- Already
- Yet still
- Hurry up, the train is……………..to leave
- Already
- Yet
- Still
- Already yet
- He complained of headache. He complained of cold…………
- Still
- Yet
- Already.
- Yet already
SECTION C. VOCABULARY
SUPPLY THE RIGHT ANSWER TO THE FOLLOWING QUESTIONS.
- A dog is to kennel as a king is to……………….
- Home
- Puppy
- Palace
- Statehouse.
- Man is to house as lion is to…………..
- Palace
- Kennel
- Home
- Den.
- Soldier is to barrack as scout is to…………..
- School
- Camp
- Field
- Tent.
- Bird is to nest as bee is to………………
- Sty
- Byre
- Hive
- Stable.
- Horse is to stable as prisoner is to
- Cell
- Jail
- Court
- Prison.
NAME THE SOUNDS MADE BY THE FOLLOWING ANIMALS.
- A pig……….
- Byre
- Moos
- Brays
- Neighs
- A bird……..
- Nest
- Twitters
- Roars
- Hums
- A goat……….
- Barks
- Moos
- Neighs
- Bleats
- A snakes………….
- Snifes
- Sleathes
- Hisses.
- Hums.
- A horse………….
- Meews
- Grunts
- Roars
- Neighs.
- A lion……
- Barks
- Roars
- Hums
- Grunts
- A dog
- Hums
- Bleats
- Brays
- Barks
- A bee……..
- Hums
- Bleats
- Buzzes
- Lows
- A cow…
- Lows
- Blows
- Bleats
- Mows
- A crow..
- Cums
- Caws
- Slithers
- Crows
Read the passage below and answer the question that follows:
The first day my cousin Tabitha taught me how to ride a bicycle, I was too excited to listen to what she was telling me. Tabitha held the bike and I sat on the saddle, but it was impossible for me to reach the pedals.Tabitha lowered the saddle and I got on again. Hold the handlebars and here are the brakes, sakila said Tabitha. She started to push me, but we did not move. ‘No, you only put on the brakes when you want to stop. Just hold onto the handlebars.Tabitha ran beside the bicycle. I fell off. I got on again. I wobbled around and crushed into a hedge. But I was a fast leaner. In only three days, I could ride on my own.One afternoon I took the bicycle and started riding near our house. My parents and Tabitha were not at home. The other children came to cheer me on. It was thrilling to ride the bicycle.
- My cousin Tabitha taught me how to
- Ride a bicycle
- Ride a boat
- Ride a horse
- Ride a motorcycle
- The word excited has been underlined, it means
- Sad
- Scared
- Thrilling
- angry
- A saddle is the part of the bicycle where one_______________-
- stands
- sits
- sleeps
- holds
- What is the work of brakes on a bicycle?
- To move the bicycle forward
- To help the rider reach the pedals
- To make the bicycle move fast
- To stop the bicycle
- The following are parts of a bicycle . which one is not
- Boot
- Saddle
- Pedals
- handlebars
- Who was learning how to ride?
- Tabitha
- Parents
- Sakila
- children
- Why did she fall off the bicycle?
- She liked falling
- Tabitha pushed her
- She was still learning
- The bicycle broke down
- What is the past participle of the word ride
- Riden
- Rode
- Ridden
- rided
- How long did it take for the writer to learn how to ride?
- One day
- Five days
- Two days
- Three days
- The writer was a fast leaner. The word fast is ____________
- An adverb
- An adjective
- Conjuction
- preposition
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE ENGLISH EXAM SERIES 23
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE SOCIAL EXAM SERIES 22
PRESIDENT'S OFFICE
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ANNUAL EXAMINATION
STANDARD FIVE
MATHEMATICS.
TIME :1:30HRS
NAME_____________________________________SCHOOL_________________________
INSTRUCTIONS
- THIS paper consists of 45 questions
- Select the best alternative in question 1-40
- For question 41-45 provide the best answer
- Write full name on the blank space above together with the name of the school
- Ensure your work is neat and legible.
- 2157 + 6843 =
- 8000
- 8990
- 8900
- 9000
- 8800
- 2.056 + 0.975
- 3.021
- 3.031
- 2.921
- 2.021
- 2.931
- 29313-4119
- 25204
- 25494
- 25294
- 25194
- 26194
- 1.22 X 0.6 =
- 0.632
- 0.622
- 0.722
- 0.732
- 11192 X 7=
- 78444
- 78334
- 77744
- 77734
- 78344
- 10200÷ 25 =
- 418
- 484
- 480
- 408
- 440
- 22/3 + 35/6=
- 62/3
- 77/10
- 61/2
- 54/9
- 55/7
- Write 62.5% as a simple fraction
- 5/6
- ¾
- 5/8
- 2/3
- 5/2
- Write 0.035 as a percentage
- 35%
- 0.35%
- 0.035%
- 0.0035%
- 3.5%
- Write 0.0125 as a simple fraction
- 5/400
- 1/8
- 1/8000
- 1/80
- 1/400
- Write the roman numerals MMDXC IN Arabic
- 1590
- 2590
- 2050
- 259
- 2950
- The prime numbers between 30 and 40 are
- 35,37
- 31,39
- 31,37
- 33,37
- 33,39
- When the lowest common multiple of 12,18, and 36 is divided by its highest common factor the answer is
- 36
- 18
- 9
- 6
- 12
- Write the time 1815 in 12 hours system
- 6.15 p.m
- 2.15 a.m
- 12.15 p.m
- 6.15 a.m
- 12.15 a.m
- Divide 41 kilograms 360 grams by 8
- 5kg 100gm
- 5kg 170gm
- 5kg 17gm
- 51kg 70gm
- 5kg 171gm
- Determine the square root of 2601
- 41
- 51
- 59
- (2601)2
- 49
- 3750÷15=
- 205
- 250
- 25
- 2.50
- 2,050
- 8.113 x 1.92
- 15.64509
- 15.68709
- 15.65809
- 15.57696
- 15.65609
- (-2)-(-17) =
- 16
- -19
- +15
- -15
- +19
- 0.427 ÷0.07 =
- 6.10
- 61.0
- 0.61
- 0.061
- 610
- 19,728- 10,839=
- 8,889
- 9,889
- 9,899
- 9,989
- 9,999
- 13789-(6097+7906)=
- -214
- -213
- -204
- 213
- 214
- 287 X 35 =
- 7,415
- 9,945
- 10,045
- 9,045
- 10015
- 6,879 +96 +68 +9 =
- 7,882
- 6,782
- 6,852
- 7,782
- 7,852
- Compute 22 x64 and then write the answer in roman numerals
- MMDCLXIV
- MCDVIII
- MMCDLXIV
- MCDVIII
- MMDLIXV
- How many prime numbers are there between 10 and 20?
- 3
- 5
- 9
- 4
- 7
- The common multiple of 42,45 and 150 is
- 2x3x5x7
- 22x3x52x7
- 2x32x5x7
- 2x32x5x72
- 2x3x3x25x7
- Change 0.6/0.96 into percentage
- 625%
- 62.5%
- 0.0625%
- 0.00625%
- 0.625%
- Approximate 85,996 to the nearest hundreds
- 85,900
- 85,990
- 85,000
- 86,000
- 80,000
- The largest medicine bottle has a volume of 425 litres 600 millilitres. If the medicine is filled in 70 small equal bottles, each will have?
- 1,860
- 4,680
- 5,806
- 6,080
- 6,608
- Juma and rosa shared shs. 15,000 in the ratio of 11:4, how much did roza get?
- 9,000
- 10,000
- 5,000
- 11,000
- 4,000
- Arusha is found a distance of 12km north of Karanga hospital and sakina is found at 9km east of the hospital, find the distance between them
- 15km
- 19km
- 25km
- 3km
- 21km
- Multiply 3km 250m by 4. Give your answer in centimeters
- 12,800cm
- 13,000cm
- 1,200,000cm
- 1,300,000cm
- 1,280,000cm
34. A business man sold sugar for three months as follows: In January 1,500 kilograms,February 2,500 kilograms and in March 1,250 kilograms. How many tons of sugar were sold in three months? (1 Ton = 1,000 kilograms)
- 4.25
- 425
- 5.25
- 6.25
- 5,250.
35. The weight of fruits that were sold at Mikunda market for four consecutive days were as follows:
Day | Monday | Tuesday | Wednesday | Thursday |
Weight(tons) | 2 | 1 ½ | ½ | 2 ½ |
What is the average of kilograms of fruits that were sold at the market per day?
- 1,625 kg
- 1,375 kg
- 1,250 kg
- 1,500 kg
- 6,500 kg
36. Find the perimeter of the isosceles triangle PQR.

- 6 cm
- 14 cm
- 28 cm
- 22 cm
- 38 cm
37.Find the area of the following rectangle:

- 2 cm2
- 8 cm2
- 36 cm2
- 80 cm2
- 20 cm2
- Write the missing number in the following sequence 1,4………..16, 25
- 5
- 6
- 9
- 10
- 12
- Find the product of prime numbers between 1 and 10
- 384
- 210
- 945
- 1,890
- 3,840
- Zebedayo has 7 cows of milk. Each cow produces five litres of milk daily. How many litres does he get per week?
- 215
- 225
- 235
- 245
- 255
Work out the following questions by clearly showing your working
- Six carpenters make 18 chairs per day. How many chairs will they make in a week?
- 2/5 of peoples in a class are girls, if there are 45 pupils, how many girls are there?
- Share shs.14400 among six people, what will each get?
- A car left Mbagala for mwenge at 7.45 am. If it reached Mwenge at 8.15 am, for how long was it on the way?
- Find the width of a rectangle if it has a length of 15cm and a area of 120cm2
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE MATHEMATICS EXAM SERIES 21
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE SCIENCE EXAM SERIES 20
PRESIDENT'S OFFICE
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ANNUAL EXAMINATION
STANDARD FIVE
CIVICS AND MORALS
TIME :1:30HRS
NAME_____________________________________SCHOOL_________________________
INSTRUCTIONS
- THIS paper consists of 50 questions with four sections
- Answer all questions
- Write full name on the blank space above together with the name of the school
- Ensure your work is neat and legible.
SECTION A:MULTIPLE CHOICE QUESTIONS
Choose the most correct answer from the given alternatives and write its letter in the brackets provided
1. Which of the following actions show love to people with special needs?
- To be rude to them
- To be kind to them
- To ignore them
- To discriminate them
- To isolate them
2. Activities that people do with no pay are called:
- Voluntary activities
- Children rights
- Improper behaviours
- Involuntary activities
- Bad conducts
3. Which of the following actions can build good reputation of a school?
- Disobeying school rules and regulations
- Truancy among the pupils
- Participating in sports and academic competition
- Stealing of school properties
- Failing in examinations
4. One of the advantages of good relationship among the community members is:
- It creates enmity among the people
- It creates chaos and wars
- It causes conflicts and misunderstanding
- It promotes laziness among the people
- It brings peace and harmony
5. The accepted ways of doing things in the society are known as:
-
A. Culture
B. Religion
C. Customs
D. Traditions
E. Initiation
6. Who is the top most political leader at the ward level?
- Chairperson
- Ward Secretary
- Mayor
- Councilor
- Ward Executive Officer
7. Which of the following is NOT an indicator of good governance?
- Accountability
- Rule of Law
- Transparency
- Globalization
- Observing human rights
8. What does the yellow portion on the Tanzania's coat of arms represent?
- Mineral resources
- People of Africa
- Fertile soil
- Wildlife
- Natural vegetation
9. The revolutionary government of Zanzibar was formed on:
- 12th January 1964
- 9th December 1961
- 4th April 1964
- 9th December 1961
- 26th April 1964
10. Who is the secretary of the Ward Development Committee?
- Councilor
- Ward Educational Coordinator
- Mayor
- Ward Executive Director
- District Chairperson
11.Who among the following leaders is NOT a member of Ward Development Committee?
- Ward councilor
- The heads of departments
- Regional commissioners
- Ward Executive Officer
- Chairpersons of villages or streets
12. How many regions are in the United Republic of Tanzania?
-
A. 21
B. 31
C. 35
D. 26
E. 25
13.0n 1st May of every year we commemorate:
- Karume day
- Workers day
- Union day
- Independence day
- Revolution day
14. Who is the head of civil servants in a region is:
- Regional Commissioner
- Mayor
- Regional Accountant
- President
- Regional Administrative Secretary
15.Which of the following is the newest region in Tanzania?
-
A. Katavi
B. Njombe
C. Songwe
D. Geita
E. Dodoma
16. Which of the following actions can be done to combat evil acts against children?
- Employing children
- Denying children with their rights
- Living the children in the streets
- Providing unfair punishments to the children
- Maintaining parental care to children
17. Which action among the following does NOT promote good relationship with others in the community?
- Respecting every one
- Helping others
- Telling the truth
- To forgive one another
- Fighting with others
18. Which one among the following is NOT among the characteristics of a responsible person?
- Protecting resources
- Obeying rules and regulation
- Self-discipline
- Stealing others' properties
- Managing school and household tasks properly
19.Things that can be used or transformed to bring wealth to a person, family or a country are referred to as:
-
A. Minerals
B. Resources
C. Raw materials
D. Economy
E. Money
20.A person who represents his/her country in a foreign country is called:
- A. Citizen
- Refugee
- Patriot
- Migrant
- Ambassador
-
MATCH THE ITEM IN LIST A WITH THAT IN LIST B
LIST A | LIST B |
- International cooperation
- An organization made of former british colonies
- The year African union was started
- The year first east Africa community collapsed
- One indicator of globalization
- vision
- comparison
- efficience
- evaluation
- working with objectives
| - doing work within given time frame
- looking at aspects of two things
- where one or organization wants to be in future
- making judgment depending on performance
- information technology
- working to meet set targets
- relationship among countries
- UN
- League of nations
- Common wealth
- 1980
- 1977
- 2000
|
For each of the sentences below write true of false depending on the answer
- True love is loving oneself………………….
- One of basic needs of an individual is love…………………..
- Children of both gender must respect and be respected……………..
- Some clothes can be worn by both male and female………………
- Men are not supposed to participate in cooking of food………………..
- The chairman of municipal council and committee of finance is municipal executive
- Everybody is responsible for protecting national resources
- Cutting trees is one way of taking care of resources
- Mineral are very important in generating government revenue
- All citizens have a responsibility to protect minerals of the country.
-
FILL THE BLANKS BELOW WITH THE CORRECT ANSWER
- ………….Indicates that a country is mourning………………………
- A symbols used to show ownership of things by government is………………
- The source of all laws in the country is…………………………………….
- Which color in national flag represents resources
- The total way of peoples life is……………………..
- A person who loves his country is called………………………..
-
SECTION B: SHORT ANSWERS QUESTIONS
Answer the following questions by supplying short answers in the spaces provided
46. Which national symbol indicates that Tanzania is a sovereign state?________________________
47. What is the national language of Tanzania?_________________________________________
48. The increased state of interdependence and interconnectedness among people, companies, governments and institutions all over the world is referred to as
49. A group of people who live together in a particular place is known as______________________
50. A wrong or unfair action that is done to someone is referred to as_________________________
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE CIVICS EXAM SERIES 19
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TANO
KISWAHILI
MUDA:1:30
JINA_____________________________________SHULE_________________________
MAELEKEZO:
- Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
- Kumbuka kuandika majina yako.
- Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
SEHEMU A: FASIHI NA MSAMIATI
Chagua jibu sahihi kisha andika herufi yake kwenye mabano
- Neno lenye maana sawa na neno "uhasama" ni
- Uadui
- Uhuru
- Uturo
- Uzembe
- Ni alama ipi ya uandishi kati ya alama zifuatazo huonesha mshangao au mshituko?
- (!)
- (?)
- (:)
- (" " )
- Madini ya yanachibwa mkoani Geita.
- Dhahabu
- Zahabu
- Dhaahabu
- Thahabu
- Ni kauli ipi husema yale yaliyosemwa na mtu mwingine bila kutumia maneno yaleyale ya msemaji?
- Kauli halisi
- Kauli taarifa
- Kauli tata
- Kauli hai
- "Ninapenda wali na samaki", mama alisema. Sentensi hii iko katika kauli gani?
- Taarifa
- Halisi
- Kanushi
- Tata
- Watakaochelewa
- Wataadhibiwa
- Wataazibiwa
- Wanasamehewa
- Wanaadhibiwa
- Wingi wa neno "kiti" ni
- Maviti
- Kiti
- Viti
- Vyeti
- Katika neno "Mtalima" kiambishi cha nafsi ni kipi?
- — m —
- m —
- — ta —
- — ta
- Kiambishi wakati katika neno "Nitafua" ni kipi?
- N —
- — i —
- — t —
- — ita —
- Neno "Mama" lina silabi ngapi?
- 3
- 9
- 2
- 4
- Mimi najifunza lugha ya Kiswahili. Sentensi hii ipi katika nafsi ipi?
- Nafsi ya III umoja
- Nafsi ya II wingi
- Nafsi ya I umoja
- Nafsi ya II wingi
- Mwalimu aliwambia wanafunzi wajisomee. Neno "aliwambia" lina silabi ngapi?
- 3
- 5
- 6
- 8
- Ngisi, mamba, kamongo, kibua kwa neno moja ni
- Wadudu
- Vyura
- Samaki
- Nyoka
- Mziwanda ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?
- Wa kwanza
- wa kati
- wa mwisho
- wa dada
15.tutalima shamba la shule.
- Yeye
- sisi
- wao
- mimi
- Ninyi tacheza mpira. Kiambishi kipatanishi ni
- Wa —
- na —
- m —
- to —
- Wingi wa neno cherehani.
- Macherehani
- Vyerehani
- Mcherehani
- Micherehani
- Samwel hakufika shuleni leo_________anaumwa.
- Ingawa
- lakini
- mpaka
- Kwa kuwa
- Mtu anayefua na kupiga nguo pasi huitwa:
- Mhunzi
- Dobi
- Sonara
- Mwashi
- Tumesafirisha___________mia mbili yenye mahindi
- Miti
- Magunia
- Mawe
- Vitabu
- Nini wingi wa yeyeni
- Wewe
- wao
- Ninyi
- Sisi
SEHEMU B: METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI
- Mama nieleke
- Chupi
- Kitanda
- Taa
- Bakuli
- Anachora ingawa hajui achoracho
- Chaki
- Kalamu
- Konokono
- Nyuki.
- Kila mara yeye hutemeba na nyumba yake
- Kobe
- Konokono
- Mpira
- Uyoga.
- Mgeni asiyependwa
- Moto
- Upepo
- Kifo
- Radi.
- Nzi hatui juu ya damu ya simba
- Maziwa
- Bahari
- Moto
- Ugali moto
- Nikiondoka watu hawaonani
- Mwangaza
- Giza
- Jua
- Mwezi.
- Mimi hula sana lakini sishibi
- Moto
- Maji
- Bahari
- Nzige.
- Popoo mbili za vuka mto
- Popo
- Macho
- Mwanamke mjamzito
- Wingu.
- Daima yeye hunifuata niendapo
- Jua
- Mwezi
- Kivuli
- Mkia.
- Nikitembea watu hulia
- Kivuli
- Maji
- Kifo
- Radi.
- Ikismama maisha ukwama
- Roho
- Moyo
- Mvua
- Hewa.
SEHEMU C: USHAIRI
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali hapo chini.
Kazi zote duniani, namba wani mkulima,
Anapita kila fani, hata kama hakusoma,
Kula haendi sokoni, au kuomba kwa Juma,
Zunguka dunia nzima, kazi bora ni kilimo
Maswali
- Shairi hili lina mistari mingapi?
- 2
- 4
- 16
- 8
- Kichwa cha shairi hili ni __________
- Mkulima
- Biashara
- Mfanyabiashara
- Mfugaji
- Mshororo wa pili wa shairi una mizani_____________
- 4
- 2
- 16
- 8
SEHEMU D: UTUNGAJI
Zipange sentensi zifuatazo kwa mtiririko wa mawazo kwa kuzipa herufi A, B, C, D na C
- kanga hutaga mayai na kuyaatamia kwa siku ishirini na nane______________
- wakianza kuatamia katika siku moja hupishana kutotoa kwa siku saba
- hutaga mayai na kuyaatamia kwa siku ishirini na moja___________________
- kanga naye ni ndege anayefugwa na binadamu siku hizi
- kuku ni ndege anayefugwa na binadamu______________
SEHEMU E: UFAHAMU
Soma kwa makini habari kisha jibu maswali utakayoulizwa.
Ngonjera ni ushairi wa majibizano ambao una pande mbili zinazojibizana kuhusu jambo fulani, upande mmoja huwa sahihi na wa pili huwa umepotoka. Lengo la majibizano ni kuusahihisha upande uliopotoka. Hili linapotokea, ngonjera huwa imefikia kilele chake. Ngonjera zilitumika sana katika uenezaji wa siasa ya ujamaa Tanzania mnamo miaka ya 1970. Ngonjera huwa tofauti kidogo na malumbano kwa sababu katika malumbano, washairi hujibizana, na si lazima wapate suluhisho la majadiliano yao.
MASWALI
- kutokana na habari uliyoisoma hapo juu. Ni nini maana ya ngonjera?
- ni kipindi kipi ngonjera zilikuwa zikitumika zaidi hasa kufikisha ujumbe kwa siasa ya ujamaa kwa watanzania?
- kuna tofauti gani kati ya ngonjera na malumbano?
- kwenye ngonjera huwa kuna pande kuu
- kichwa cha habari hii ni
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FIVE KISWAHILI EXAM SERIES 18