?> EXAM SERIES EXAM
STANDARD FOUR ANNUAL SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

SAYANSI NA TECHNOLOJIA

MUDA:1:30                                                             

JINA_____________________________________SHULE_________________________

CHAGUA JIBU SAHIHI

 1. Usagaji wa chakula unaanza?
 1. Tumboni
 2. Mdomoni
 3. Utumbo mdogo
 4. Kwenye kongosho
 1. Chakula ambacho hakijameng’enywa huishia wapi?
 1. Tumboni
 2. Utumbo mwembamba
 3. Utumbo mpana
 4. Kongosho

3. VVU ni kifupi cha . . . . . .

 1. Virusi Vinavyozaliana
 2. Virusi Vya Ukimwi
 3. Via Vya Uzazi
 4. Viungo Vya UKIMWI

4. Mwathirika wa VVU/UKIMWI anaweza kuthibitishwa kwa njia ipi? 

 1. Kupima damu yake hospitali ni
 2. Kumtazama uso wake
 3. Kuangalia tabia yake
 4. Kupima uzito wake

5. Maji yaliochafuliwa yanaweza kusababisha 

 1. Kichocho
 2. Kipindupindu
 3. Saratani
 4. Vyote hapo juu

6.  Shughuli zifuatazo zinachangia uchafuzi wa maji isipokuwa:

 1. Kulima kando ya mito
 2. Kuoga na kufua kando ya mto
 3. Kujisaidia karibu na vyanzo vya maji
 4. Kuchota maji mtoni

SEHEMU YA B

Oanisha maneno ya kifungu A na kifungu B ili kuunda sentensi yenye maana sahihi.

Kifungu A

Kifungu B

 1. Surua
 2. Malaria
 3. Tetekuwanga
 4. Pepopunda
 5. Kichocho
 6. Pumu
 7. Kifua kikuu
 8. Kisukari
 9. Saratani
 10. kipindupindu
 1. maumivu wakati wa kukojoa na mkojo kuwa damu.
 2. Husababisha kukohoa kwa muda wa wiki mbili au Zaidi.
 3. Hutoa vipele vidogovidogo usoni na mwilini na macho kuwa mekundu.
 4. Viungo kukakamaa na shingo kupinda.
 5. Hutoa vipele ambavyo hubadilika kuwa malengelenge
 6. Uvimbe katika chembe hai za mwili.
 7. Kukojoa mara kwa mara.
 8. Kuharisha na kutapika mfululizo.
 9. Mgonjwa hutoa sauti kama filimbi au mluzi wakati wa kupumua.
 10. Joto kali na maumivu ya viungo.
 11. Husababisha upungufu wa kinga mwilini.
 12. Huponywa kwa njia ya upasuaji.

 

SEHEMU C.

Andika NDIYO kwa sentensi sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi.

 1. Mtu yeyote anaweza kupata tatizo kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula asipofuata kanuni za ulaji wa chakula……………
 2. Kuvimbiwa husababishwa na kula vyakula vyenye mafuta kwa……………….
 3. Mlo kamili hauwezi kulata madhara katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula……………
 4. Sababu pekee ya vidonda vya tumbo ni kula vyakula vyenye asidi……………

SEHEMU D.

Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 2020images (1).jpg

21. Kifaa kichoonekana hapo juu kinaitwa?.......................................

22. Kifaa kifuatacho ni muhimu wakati una.................................mgonjwa

23. Taja vitu vitatu inavyopatikana katika kifaa hicho hapo juu........ ..........

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 45

PRESIDENT'S OFFICE 
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT 
ANNUAL EXAMINATIONS, NOVEMBER 2021
STANDARD FOUR

ENGLISH

TIME: 1:30 HRS                                                           

NAME__________________________SCHOOL_________________________

SECTION A. DICTITATION

1. Listen careful and write the following sentences

 1. .....................................................................................
 2. ........................................................................................
 3. ..........................................................................................
 4. ..........................................................................................
 5. ..............................................................................................

 

SECTION B. VOCABULARY

2. Choose the correct word from the box and fill in the spaces provided.

 

 

 

 1. A person who makes shoes is called....................................
 2. A young one of a cat is called..........................................
 3. This is.........................house. It is ours
 4. There are sixty minutes in one..........................
 5. James has  lost............................bag

 

SECTION C.  GRAMMAR.

Write the correct past tense Form of the following words.

 1.  Go --------------------
 1. Gone
 2. Went
 3. Goes.
 1.  take--------------------
 1. took
 2. taken
 3. token
 1.  cook------------------
 1. cooks
 2. cooked
 3. cook
 1.  care-------------------
 1. cares
 2. cared
 3. carred
 1.  trust------------------
 1. trustee
 2. trusted
 3. trustworth

 

 

SECTION D. COMPOSITION

Arrange the following sentences to make meaningful story

 1. I take my breakfast
 2. I get out of bed
 3. I put on my school uniform
 4. I go to school
 5. I wake up early in the morning
 6. I brush my teeth and wash my face

SECTION E. COMPREHENSION

 Read the passage and answer the questions.

Becky was visiting Aunt Agatha at her house at the beach. It was a beautiful summer day. Becky had built a giant sand castle that morning. Aunt Agatha took pictures of the castle to send to Becky's parents. It was a great big sand castle. Later that morning, Becky and Aunt Agatha went swimming in the ocean. It was fun to jump with the waves. Then, they went in the house and ate sandwiches and strawberries for lunch.

Becky wanted to play on the beach that afternoon. Aunt Agatha told her it was too hot to go outside without a hat on. Becky didn't have a hat. Aunt Agatha told her not to worry, she could wear one of hers. Becky tried on four hats. The pink one was really pretty, but it had a big bow in the back that was too long for Becky. The green hat was too fancy for Becky. She did not like that hat at all. The blue hat was nice, but it had an ugly bird on it. Then, Becky saw a big brown hat with a yellow ribbon on it. That hat was made of straw. It was a perfect hat for the beach. It was too big for Becky's head but she didn't care. It was a great hat. 

Answer the following questions

20. Where was Becky?

 1.   at the store
 2.  at the beach
 3.   at school
 4.  at home

21. Who was Becky visiting?

 1.   her Grandparents
 2.  her friends
 3.   her sister
 4.  her Aunt Agatha

22. Why didn't Becky like the blue hat?

 1.   it was too fancy
 2.  it was new
 3.   it had an ugly bird on it
 4.  it was old

23. Why didn't Becky want to wear the pink hat?

 1.   the bow was too long
 2.  it had a flower
 3.   it had a bird on it
 4.  it was dirty

24. Why did Aunt Agatha want Becky to wear a hat?

 a it was raining

 1.       it was too hot
 2.        it was cold
 3.       it was snowing

25. Why did Becky like the brown hat?

 1.        it was ugly
 2.       it was perfect
 3.        it was too big
 4.       it was cold

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR ENGLISH EXAM SERIES 44

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

KISWAHILI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

SEHEMU A.

1. Sikiliza  kwa makini kisha andika Sentensi Kwa Usahihi

 1. .....................................................................................
 2. .......................................................................................
 3. ......................................................................................
 4. .......................................................................................
 5. .........................................................................................

SEHEMU B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

2. Chagua jibu lililosahihi na uandike herufi yake katika kisanduku

i. Kuku, bata, njiwa, kunguru na mwewe kwa jina moja huitwaje?____________

 1.            Wanaotaga
 2.            Ndege
 3.            Vikembe
 4.            Wenye mabawa

ii.  Ugonjwa ulienea kwa kasi. Badili sentensi hii katika wingi.

 1.            Ugonjwa yalienea kwa kasi
 2.            Wagonjwa walienea kwa kasi
 3.            Magonjwa yalienea kwa kasi
 4.            Wagonjwa wameenea kwa kas

iii.     Wanakijiji wengi.................. mkutano ule.

 1.            Walihuzulia
 2.            Walihudhuria
 3.            Waliudhuria
 4.            Walihudhulia

iv. Amosi si mwanafunzi mtiifu. Yakinisha sentensi hii.

 1.            Amosi hakuwa mwanafunzi mtiifu
 2.            Amosi anaye mwanafunzi mtiifu
 3.            Amosi hatakuwa mwanafunzi mtiifu
 4.            Amosi ni mwanafunzi mtiifu.

v. Neno lipi ukidondosha Herufi moja linabakiza neno UJUZI?

 1. Juzi
 2. Uzi
 3. Uuzi
 4. juu

SEHEMU C. METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI

Tumia  maneno yaliyo kwenye kisanduku kujibu maswali haya.

 

 

 

 

 1. Tatu tatu mpaka Tanga. Jibu la kitendawili hiki ni................................
 2. Malizia methali hii. Mwenda pole..........................................................
 3. Kata shauri maana yake ni....................................................................
 4. Popoo mbili zavuka mto. Jibu la kitendawili hiki ni..............................
 5. Malizia methali hii. Mchumia Juani.....................................................

 

SEHEMU D. UTUNGAJI. 

Weka alama za uandishi katika sentensi hizi

 1. Juma Halima na Sikitu wanacheza
 2. Yule ni mwanafunzi wa wapi
 3. Loo amefukuzwa
 4. Nyamaza kimya..............
 5. Elimu ni funguo wa maisha

 

SEHEMU E. UFAHAMU

5. Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali kwa usahihi.

Amina na Ali ni pacha. Wanaishi katika kgiji cha Kamachumu. Wote ni wanafunzi katika shule ya Msingi Izigo. Kila siku huamka mapema na kujiandaa kwenda shuleni. Kabla ya kwenda shuleni, huwasalimia wazazi wao. Baada ya hapo, huagana nao na kuelekea shuleni. Wafikapo shuleni, huungana na wenzao kufanya usafi. Kisha huingia darasani na kuanza masomo. Watoto hawa wanapendwa na walimu wao kwa sababu ni watiifu.

 

Maswali

 1.          Amina na Ali wanasoma shule gani? _____________
 2.         Amina na Ali wanapendwa na walimu wao kwa sababu 
 3.       Pacha waliotajwa kwenye habari hii ni __________
 4.       Amina na Ali wafikapo shuleni huungana na wenzao kufanya nini?  
 5.        Amina na Ali wanaishi katika kijiji gani?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 43

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

Chagua Jibu Sahihi

 1. Tanganyika ilitawaliwa na wajerumani tangu mwaka…………..
 1. 1886 hadi 1961
 2. 1885 hadi 1907
 3. 1919 hadi 1945
 4. 1886 hadi 1918
 1. Ni njia gani unaweza kuzitumia ili kupata taarifa za mashujaa katika jamii?.........
 1. Kwa kusoma na kuhadithiwa Habari zao
 2. Kwa kuangalia nyuso zao
 3. Kwa kuangalia miili yao kama ina nguvu
 4. Kwa kuota ndoto
 1. Kinjeketile Ngwale aliongoza mapambano ya kupinga uvamizi wa wajerumani katika mikoa ipi?
 1. Mwanza na Shinyanga
 2. Tabora na Pwani
 3. Mtwara na Lindi
 4. Pwani na Tanga

4. Upi sio umuhimu wa kutunza kumbukumbu?

 1.        Inasaidia kujea yaliyopita
 2.         Ina hifadhi hazina
 3.         Inatunza heshima
 4.        Inatukumbusha yajayo

5. Njia ya kutunza kumbukumbu kwa kuadisia matukio ya zamani kutoka kizazi kimoja hadi kingine huitwa?

 1.        Hamasa
 2.         Kurekodi
 3.         Simulizi
 4.        Kunena

6. Sehemu ambapo kumbukumbu mbalimbali za historia huifadhiwa huitwa?

 1.        Maktaba
 2.         Makumbusho
 3.         Kabati
 4.        Historia
 1. Ni kipi hupatikana katikati ya mfumo wa jua?
 1. Asteroid
 2. Obiti
 3. Jua
 4. Nyota
 1. Kila sayari huzunguka jua katika njia yake huitwa?
 1. Asteroid
 2. Zohali
 3. Obiti
 4. Kometi
 1. Sayari ya nne kutoka kwenye jua ni?
 1. Zebaki
 2. Mirihi
 3. Sumbula
 4. Kausi
 1.            Uhusiano ni………………….
 1.                 Hali ya watu wawili na Zaidi wenye malengo ya Pamoja
 2.                Hali ya kugombana baina ya mtu na mtu
 3.                 Hali ya kufanya kazi peke yako

 

 1.            Toa maana ya maneno yafuatayo:
 1.                 Ukoo
 2.                Uhusiano
 3.                 Makabaila
 4.                Watwana

 

Oanisha sentensi kutoka safu B na maneno sahihi kutoka safu A ili yalete maana sahihi.

             SAFU A

                      SAFU B

 1. Dira………….
 2. Mpaka…………..
 3. Ufunguo…………….
 4. Fremu…………..
 5. Alama za ramani…………….
 1. Mipaka ya mraba au mstatili
 2. Chombo kitumikacho kuonesha uelekeo wa mahali
 3. Michoro au alama zinazotambulisha kitu katika ramani
 4. Orodha ya alama za ramani na maana zake
 5. Mahali ambapo ni kikomo cha eneo au kitu dhidi ya kingine
 6. Pande kuu nne za Dunia

 

Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi si sahihi.

 1. Watu hushirikiana katika matendo ya misiba, harusi, sherehe za mavuno na ngoma……….
 2. Kuzungumza lugha ya asili hukuza utamaduni wetu……………
 3. Ni lazima ushirikiane na kila mtu katika jamii……………
 4. Uhusiano ni matokeo ya ushirikiano……………
 5. Siyo lazima watu washirikiane kwa kila tukio linalotokea katika jamii……………..

SEHEMU D.

CHUNGUZA PICHA IFUATAYO KISHA JIBU MASWALI

 

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 2020download.jpg

 

 1. Ni shuguli gani ya uzalishaji mali inayoonekana katika picha?
 2. Taja faida moja ya shughuli hii kwa Taifa
 3. Taja madhara ya shughuli hii katika mazingira
 4. Taja mkoa mmoja Tanzania shughuli hii inaweza kufanyika
 5. Tunawezaje kutumia rasilimali hii katika hali endelevu?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR MAARIFA EXAM SERIES 42

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

URAIA NA MAADILI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

Chagua herufi yenye jibu sahihi.

 1. …………, ………….na………….ni baadhi ya makabila yaliyotajwa kwenye sura hii.
 1. Wangoni, Waha na Wagogo
 2. Wahehe, Wasambaa na Wagogo
 3. Wahaya, Wangoni na Wanyamwezi
 4. Wamwela, Wasangu na Wahehe
 1. Kuheshimu utamaduni wa watu wengine huleta……….
 1. Upendo na mshikamano
 2. Ujasiri na upendo
 3. Mshikamano na upole
 4. Kelele na utulivu
 1. Shughuli mbili za asili zilizotajwa katika sura hii ni…………
 1. Uchongaji na kilimo cha pamba
 2. Ufinyanzi wa vyungu na uchongaji
 3. Uvuvi wa Samaki na kurina asali
 4. Kurina asali na uchongaji
 1. Faida za kuhusiana vyema na wenzako shuleni ni Pamoja na …………
 1. Kuleta chuki
 2. Kuondoa upendo
 3. Kufaulu vizuri katika mtihani
 4. Kutokushirikiana
 1. Matendo ya uwajibikaji katika familia ni Pamoja na:
 1. Kulala mapema
 2. Kushiriki kufanya kazi ndogondogo za familia
 3. Kucheza mpira
 4. Kuwatibu wagonjwa
 1. Shughuli za usafi nyumbani zinapaswa kufanywa na:
 1. Baba
 2. Mama
 3. Msaidizi wa nyumbani
 4. Wanafamilia wote
 1. Baadhi ya shughuli za kujitolea katika jamii ni pamoja na:
 1. Kumwagilia bustani ya familia
 2. Kufanya usafi katika zahanati ya Kijiji au mtaa
 3. Kudeki chumba chako cha kulala
 4. Kulisha mifugo ya familia
 1. Ni matendo yapip kati ya haya yanaonesha kuthamini rasilimali za jamii?
 1. Kutoboa bomba la maji ili kuchota maji ya kumwagilia bustani
 2. Kupanda miti kandokando ya vyanzo vya maji
 3. Kulisha mifugo katika misitu ya hifadhi
 4. Kuchoma moto msitu ili kurina asali

9. Kipi kazi ya zifuatazo kinaonyesha upendo kwa wengine?

 1. Kuwapiga
 2. Kuwatusi
 3. Kuwa na huruma kwa wengine
 4. Kuwaibia wengine

10. Ardhi ya Tanzania inatumika sana kwenye shughuli zipi?

 1. Kuchimba madini
 2. Ukulima
 3. Usafirishaji
 4. mawasiliano

Oanisha maneno ya sehemu A na yale yaliyoko sehemu B ili kupata maana sahihi.

Sehemu A

Sehemu B

 1. Kukosoa
 1. Kukubali kos ana kuomba radhi
 1. Kushauri
 1. Kueleza mapungufu au makosa ya mtu mwingine

 

 1. Kustahimili hali ngumu
 1. Kusikiliza mawazo ya wengine
 1. Kutoa maelekezo jinsi ya kutatua tatizo
 1. Kuomba msamaha
 1. Kuwatoroka watu wanaokupinga

 

 1. Kujitahidi kuelewa mawazo ya wengine na kuyafuata

15. Kuvumilia

 1. Kupiga kelele watu wanaokupinga

 

SEHEMU C. 

Chagua Jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku hili kujaza nafasi wazi

 

 

 

 

 1. Uhuru wa Tanganyika..................................
 2. Haki ya kuabudu, haki ya uhai, na uhuru wa habari na mwingiliano....................................
 3. Anasimamia usafi wa darasa, mazingira ya shule, kutunza nidhamu na kuwa kiungo kati ya walimu na wanafunzi.
 4. Sio salama kwa watoto.........
 5. Kunazuia mmonyonyoko wa udongo...............................

 

SEHEMU D.

Chunguza picha hizi kisha jibu Maswali

A

B

 1. Picha A Inaonyesha..................................................
 2. Picha B inaonyesha...................................................
 3. Rangi ya manjano katika picha A inawakilisha.......................................
 4. Rangi nyeusi katika picha A inawakilisha.....................................................
 5. Rangi ya kijani katika picha A inawakilisha......................................................

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR URAIA EXAM SERIES 41

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA

HISABATI

MUDA:1:30          

JINA_____________________________________SHULE_________________________

 

QUESTION

WORK

ANSWER

 

i

 

91 + 6982 + 217 =

 

 

 

ii

 

58160 -9999 =

 

 

iii

 3 7 8

 X 1 9

 

 

iv

 

 3   351

 

 

 

v

 

896 ÷ 14 = 

 

 

2i

Andika kwa tarakimu kumi na tisa elfu na tisini

 

 

ii

Andika kwa maneno 25375

 

 

Iii

Andika kwa kifupi

400 + 60 + 70000 + 1

 

 

iv

Tafuta thamani ya tarakimu 7  katika 92729

 

 

v

Panga namba kuanzia ndogo kwenda kubwa 890, 940, 650, 730, 570 

 

 

3i

Andika XLIX kwa namba za kiarabu

 

 

ii

Andika37 kwa namba zakirumi

 

 

iii

       =

 

 

iv

Nini sehemu isiyo nakivuli?

 

 

v

Andika namba inayokosekana                                            V, XIII, ………….. XXIX, XXXVII

 

 

4i

Kuna vipande vingapi vyamstari?

 

          A     B       C     D

 

 

ii

Tafuta mzingo wa mstatili

 

 5cm

 

12cm

 

 

iii

Chora uso wa saa naonesha saa 4:25

 

 

 

 

 

 

 

 

iv

Tafuta eneo la mraba

 

 

9cm

 

 

v

Saa                   dk

 5                     24

-3                     39

 

 

 

Jedwali lifuatalo linaonesha mahudhurio yawanafunzi kwa wiki ikiwa inawakilisha wanafunzi30

 

 

Jumatatu

 

Jumanne

 

Jumatano

 

Alhamisi

 

Ijumaa

 

i

Wanafunzi wangapi walihudhuria siku ya alhamisi?

 

 

ii

Jumatano imezidi Jumatatu kwa wanafunzi wangapi?

 

 

iii

Ni wanafunzi wangapi hawakuhudhuria ijumaa? Ikiwa wanafunzi wote walihudhuria alhamisi?

 

 

iv

Ni siku zipi wanafunzi walihudhuria idadi sawa.

 

 

v

Ni siku gani wanafunzi walihudhuria wengi Zaidi?

 

 

 

 

Page 1 of 3

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR HESABU EXAM SERIES 40

PRESIDENT'S OFFICE
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
 ANNUAL EXAMINATION
 STANDARD FOUR

CIVICS AND MORALS

TIME: 1:30 HRS

NAME_____________________________________SCHOOL_________________________

INSTRUCTIONS

 • THIS paper consists of 50 questions with three sections
 • Answer all questions in the spaces provided
 • Write full name on the blank space above together with the name of the school
 • Ensure your work is neat and legible.

SECTION A: MULTIPLE CHOICE QUESTIONS

SECTION: A 

Choose the correct answer and write its letter in the box provided.

 1. Bad communication destroys good relationship such as:

A. Honest

B. Speaking angrily 

C. Speaking impolite

D. Fighting with others

 1. The way of expressing feeling, ideas or information to another person or group is called:
 1. Communication 
 2. B. Speaking
 3. Talking
 4. Whispering
 1. The following are groups of needy people in the society, except;

A. Sick people

B. Orphans

C. Elderly

D. Strong and physically fit people

 1. The leaders of the pupil's government are

A. Head teacher and discipline teacher

B. Parents and prefects

C. Head prefects,

D.assistance head prefects and prefects

 1. Which of the following shows responsibility in a family
 1. Sleeping earlier
 2. Doing minor activities at home
 3. Playing football
 4. Treating sick people
 1. Cleaning duties at home are supposed to be done by
 1. Father
 2. Mother
 3. House help
 4. All family members
 1. Example of volunteering activities in community includes
 1. Watering garden
 2. Cleaning community dispensary
 3. Mopping your sleeping room
 4. Feeding animals in the family
 1. Which of these actions shows caring of community resources?
 1. Cutting open water pipe to get water for irrigation
 2. Planting trees in river banks
 3. Herding animals in national parks
 4. Burning forest to harvest honey.
 1. The national symbols includes
 1. National flag, giraffe, national torch
 2. Axe, matchet, Jembe
 3. National torch, school song, and giraffe
 4. Lion, emblem, national flag.
 1. The following actions shows disrespect to national symbols
 1. Ensure proper use of national symbols
 2. Standing upright when raising and lowering national flag
 3. Respecting national currency
 4. Singing national anthem every time
 1. ………….is total of all activities that creates unity in a country
 1. Culture
 2. Patriotism
 3. Sports
 4. Tribe.
 1. Which of the following actions shows disrespect to national currency
 1. Not folding notes
 2. Drawing and playing with currency
 3. Handling notes with dry hands
 4. Keeping notes in a porch.
 1. We are supposed to love,
 1. Our friends
 2. Our enemies
 3. All people
 4. Our parents.
 1. Which of the following is not a special group
 1. Disabled
 2. Albino
 3. Children
 4. Mad people.
 1. The head of the family is
 1. Father
 2. Mother
 3. Teacher
 4. Priest.
 1. The largest rank in school management is
 1. School baraza
 2. School committee
 3. Head teacher
 4. Deputy head teacher
 1. We are supposed to wash our hands with
 1. Soap
 2. Water
 3. Soap and water
 4. Oil.
 1. A statement that shows the aspiration of the school is called
 1. School motto
 2. School mission
 3. School vision
 4. School target
 1. Being reliable and always saying the truth can be termed as
 1. Honest
 2. Integrity
 3. Trustworthy
 4. Dependable.
 1. Which of the following is the fastest means of getting information
 1. Radio
 2. Newspaper
 3. Television
 4. Internet.

2. Match the questions in List A with answer in List B then write the letter of the correct answer in the grid provided;

LIST A

LIST B

(i)Patriotic song

(ii)Constitution

(iii)National emblem

(iv)BOT

(v)Democracy.

(vi)Good leadership in family

(vii)One function of village government

(viii)Advising.

(ix)Trustful.

(x)Patriotism.

 1. British organization in Tanganyika
 2. Ensure villagers get social services like water and electricity
 3. Appointing village political leaders
 4. Means bank of Tanzania
 5. A leader being selected
 6. A leader being elected
 7. The love of the nation
 8. Always saying the truth
 9. Love for ones country.
 10. Tanzania Tanzania and tazama ramani
 11. Also called court of arms
 12. Giving instruction on how to solve issues
 13. Children not allowed to participate in making decision
 14. All family members participate in decision making.
 15. A book with rules laws and regulation governing a country.

IN EACH OF THE FOLLOWING WRITE TRUE OR FALSE

 1. It is good to do unto others actions that you don’t want to be done to you
 2. Students are supposed to follow teachers instructions
 3. Family members are supposed to help each other in case of problems
 4. We should wash hands after visiting toilets only
 5. We should only respect those who respects us.

FILL THE BLANKS IN THE FOLLOWING QUESTIONS

 1. The national anthem is sing during………………………………………..
 2. The national flag has ……………………colours
 3. Mention one occasion in which the nation flag is flown half mask
 4. The love of one’s country is called……………………
 5. A symbol that shows Tanzania is an independent country is………..

READ THE FOLLOWING PARAGRAPH AND ANSWER QUESTIONS THAT FOLLOWS

A family is headed by father, mother or guardian. Family can consist of father, mother and children, this is called a nuclear family. When other family members like uncles, aunts, grandparents are included, we call this an extended family. Family members are supposed to help each other, listen to each other, and discuss issues together. These are elements of good leadership in family. For development of the country, good leadership should start from the family level.

 1. Name two types of families
 2. A family made of father, mother and children is called
 3. Mention two qualities of a good family
 4. Who should make decisions in a family
 5. The head of a family is

STUDY THE FIGURE BELOW AND ANSWER QUESTIONS THAT FOLLOWS

 1. What are the children doing
 2. Name the resource being used above
 3. Mention one way we can minimize the use of the above resource
 4. Do you think the children should be doing the above work?
 5. Who should do cleaning activities at home?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR CIVICS EXAM SERIES 26

PRESIDENT'S OFFICE 
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT 
ANNUAL EXAMINATION 
STANDARD FOUR

MATHEMATICS

TIME: 1:30 HRS

NAME_____________________________________SCHOOL_________________________

INSTRUCTIONS

 • THIS paper consists of 25 questions
 • Answer all questions from spaces provided
 • Write full name on the blank space above together with the name of the school
 • Ensure your work is neat and legible.

NO.

QUESTION

i

91 + 6982 + 217 =

ii

58160 -9999 =

iii

iv

v

896 ÷ 14 = 

2i

Write in numbers nineteen thousand and ninety

ii

Write in words 25375

Iii

Write in short form

400 + 60 + 70000 + 1

iv

Find the value of seven in 92729

v

Arrange from the smallest to the largest.890, 940, 650, 730, 570 

3i

WriteXLIX in arabic

ii

Write 37 in romans

iii

=

iv

v

4i

ii

iii

Draw a clock to show4:25

iv

v

The table below shows attendance of students at school.if

Represents 30 students

Monday.

Tuesday.

Wednesday.

Thursday.

Friday.

i

How many students attended on Thursday?

ii

How many more students attended on thursday compared to those attended on Monday.

iii

If all students attended on Thursday, how many did not attend on Friday?

iv

Which days was there equall number of students attending?

v

Which day did the students attend the most?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR MATHEMATICS EXAM SERIES 25

PRESIDENT'S OFFICE 
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT 
ANNUAL EXAMINATION 
STANDARD FOUR

SCIENCE AND TECHNOLOGY

INSTRUCTIONS: 

 1. This paper has 2 sections A and B with 5 questions.
 2. Answer all the questions
 3. All answers should be written in capital letters
 4. Write your three names, school, District and Region
 5. Your work should be neat.

SECTION: A [80 Marks

Choose the correct answer and write its letter in the box provided.

 1. The act whereby living things produce young ones is called

A. Immunity

B. Excretion

C. Reproduction

D. Growing

 1. The bouncing or reflect of sound is called

A. An echo

B. Ecko

C. reflection

D. refraction

 1. Anything that has mass and occupies space is known as

A. Matter

B. Material

C. object

D. stone

 1. Heat travels through air by the process called

A. Reflection

B. Radiation

C. Conduction

D. Convection

 1. A place where living thing lives naturally and reproduce is called

A. Land

B. Water

C. Habit

D. habitat

 1. ……………cause floods
 1. Lighting
 2. Thunder
 3. Heavy rains
 4. Nose
 1. …………….is used to measure mass of an object
 1. Thermometer
 2. Barometer
 3. Beam balance
 4. Spring balance
 1. The part of the body that detects hotness or coldness is
 1. Eye
 2. Ear
 3. Skin
 4. Nose.
 1. Reflected sound occurs when……………
 1. Sound is absorbed
 2. Sound is bouncing back
 3. Sound is passing through microphone
 4. Sound is travelling through all directions
 1. The abnormal condition of the body caused by infection is called
 1. Fainting
 2. Tiredness
 3. First aid
 4. Disease
 1. We iron clothes in order to…………
 1. Kill germs
 2. To eat
 3. To kill mosquitoes
 4. To make them dirty
 1. Before using a new cosmetic, we should, read
 1. Instructions
 2. Books
 3. Notes
 4. The medicine
 1. For strong bones and teeth we need……………..
 1. Calcium
 2. Iron
 3. Iodine
 4. Potassium.
 1. Dirty hair is a habitat of……………..
 1. Lice
 2. Flies
 3. Bed-bug
 4. Tick
 1. Water comes from its source in form of………….
 1. Liquid
 2. Gas
 3. Ice
 4. Vapour
 1. Which of the following cannot be seen at night?
 1. Moon
 2. Star
 3. Sun
 4. Clouds
 1. All are sources of light except……………….
 1. Magnet
 2. Lanterns
 3. Candles
 4. The sun
 1. How types of teeth do a human being have?
 1. Five
 2. Four
 3. Eight
 4. Three.
 1. A copy of an object that appears in a plane mirror is called
 1. Refector
 2. Image
 3. Shade
 4. Shadow
 1. The green coloring matter in leaves is called……………….
 1. Leaves
 2. Purple
 3. Chlorophyll
 4. Photosynthesis.

2. Match the questions in List "A" with corresponding answer in List "B"

LIST A

LIST B

 1. Light travels
 2. Natural sources of light
 3. Translucent
 4. Opaque
 5. Insulator.
 6. Lever
 7. Image
 8. Standard devices
 9. Oxygen,
 10. A state of matter in liquid form
 1. Material that allow some light to pass
 2. Materials that do not allow any light to pass
 3. Water.
 4. A simple machine
 5. Have units
 6. Supports combustion.
 7. Lamb, torch, electric bulb
 8. Picture seen behind a plane mirror
 9. Prevents or reduces passage of sound, heat and electricity
 10. Sun, stars and lighting
 11. In straight line.

3.Write true or false for each of the following statements

 1. Air has no weight
 2. Heat travels in liquid through conduction
 3. The gas that occupies the largest volume in the atmosphere is carbon dioxide
 4. The sun is the main source of energy on earth
 5. Clean environment causes diseases.

3. Choose the correct word from the box then fill in the blacks

Bad conductor, Reflection, Refraction, Balance diet, Mucus, Saliva, Digestion , Water

 1. Bouncing of light when it strikes on smooth surface is called___________________
 2. ………..occur when light travel from one medium to another.
 3. ……….includes foods from five groups and fulfills all of a person's 
  nutritional needs
 4. The substance that makes food we eat soft in the mouth is_____________________
 5. The breaking down of food of food into soluble substance is called

SECTION: B [20 Marks)

Arrange in order the following concepts related to ironing clothes by using electric iron, use letter A, B, C, D and E

 1. Spread a bedsheet on the table
 2. Plug it in the socket and set the temperature
 3. Set suitable temperature depends on the type of materials of the clothes
 4. Start ironing the clothes from the inner side and at the folds and then iron all the other parts
 5. Hang the clothes if they are to be worn shortly after ironing or fold them properly and keep them.

1st

2nd

3rd

4th

5th.

5. Study the pictures below and then answer the questions that follow:

Questions: 

 1. The diagram above related to_____________________
 2. Name the part whereby the digestion of protein takes place in__________________
 3. Name the part whereby germs are killed_____________________
 4. Which process helps to push food into part "C"?__________________
 5. Bile is digestive fluid which stored in part______________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SCIENCE EXAM SERIES 24

PRESIDENT'S OFFICE 
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT 
ANNUAL EXAMINATION 
STANDARD FOUR

SOCIAL STUDIES

TIME: 1:30 HRS

NAME_____________________________________SCHOOL_________________________

INSTRUCTIONS

 • THIS paper consists of 45 questions
 • Select the best alternative in question 1-40
 • For question 41-45 provide the best answer
 • Write full name on the blank space above together with the name of the school
 • Ensure your work is neat and legible.

SECTION A: (28 MARKS) 

1. Choose the correct answer and write its letter in the box provided

1. Which of the following is the correct meaning of the term environment?

 1. Anything around our school
 2. All the things that surround us
 3. Living things only
 4. D. Non-living things only

2. The following are elements of weather, EXCEPT:

 1. Temperature
 2. Thermometer
 3. Air Pressure
 4. Rainfall

3.The process of collecting and storing information of historical events for future use is

called:

 1. Record keeping
 2. Oral traditions
 3. Social events
 4. Historical sites

4. . Which activity among the following does NOT cause environmental degradation?

 1. Mining
 2. Deforestation
 3. Afforestation
 4. Poor waste disposal

5. Which of the following clothes are normally worn during cold seasons?

 1. Vests and slippers
 2. Sweaters and jackets
 3. Shorts and vests
 4. D. Vests and Khanga

6.What is the advantage of keeping records of historical events?

 1. To forget the past
 2. To remember the future
 3. To remember the past
 4. Wastage of time

7. Which of the following instrument is used for measuring temperature?

 1. Thermometer
 2. Barometer
 3. Anemometer

8.The daily condition of the atmosphere at a particular place is referred to as:

 1. Temperature
 2. Humidity
 3. Weather
 4. Climate
 1. Umwinyi ia an economic system that spread mainly in areas of
 1. Nyamwezi
 2. Coast
 3. Iringa
 4. Chagga.
 1. Division of labour in the family
 1. Decrease laziness
 2. Decrease enemy
 3. Simplifies work
 4. Reduces friends
 1. The technique of presenting feelings or thoughts is called
 1. Culture
 2. Traditions
 3. Art
 4. Custom
 1. Keeping a lot of livestock in a small area can cause
 1. Increases soil fertility
 2. Earthquake
 3. Soil erosion
 4. Land depression.
 1. We use……………to show direction in a map
 1. Key
 2. Symbol
 3. Scale
 4. Frame
 5. Compass.
 1. Ancient man started using fire in………………
 1. Earlier stone age
 2. Earlier iron age
 3. Late iron age
 4. Middle stone age
 1. The following are rights of a child
 1. To do work
 2. To be loved and defended
 3. To sleep and play
 4. To help and respect elders.
 1. One of the qualities of a developed family is to get
 1. Clean water
 2. Health services
 3. Enough food
 4. Basic needs
 1. Thick growth of trees and bushes covering a large area is called………….
 1. An island
 2. A forest
 3. Vegetation
 4. Woodland.
 1. Mountains, valleys, rivers and lakes are…………………..
 1. Deforestation
 2. Coastal plains
 3. Plateaus
 4. Physical features.
 1. A period of 100 years is called
 1. Decade
 2. Century
 3. Millennium
 4. Generation.
 1. …………..is an example of community that follow communal leadership in Tanzania
 1. Maasai
 2. Bena
 3. Haya and Gogo
 4. Sandawe.

Match the items in list A with those in List B

LIST A

LIST B

21) Keeping large number of animals in a small pieceof land

22) Cutting down trees without replanting.

23) Planting trees in an area where there was no trees.

24). Replanting trees after cutting the previous ones

25). The removal of the top soil from one place toanother

26) Absence of rainfall for a long period of time

27) the daily condition of a place

28) crops grown for export

29) an example of element of weather

30) All things that surrounds us

 1. Deforestastion
 2. Overgrazing
 3. Drought
 4. Afforestation
 5. Reforestation
 6. Weather.
 7. Soil erosion.
 8. Wind
 9. Environment.
 10. Cereals
 11. Cash crops

3. The following statements are true or false. Write true for a correctstatement or false for false statement.

 1. The son of your uncle is your nephew…………………………………………
 2. Chief mkwawa was a leader of chagga people…………………………………
 3. Man used stone tools in the past………………………………………………
 4. Some clans were headed by women………………………………………
 5. Communalism was the first mode of production……………………….

Fill in the blanks

 1. People who visit place of interest for pleasure are called………………
 2. Production activities are also called……………………………….
 3. People who do buying and selling goods are called……………………
 4. Exchange of goods for goods is called………………………………….
 5. A person who takes a risk to start  a business is called………………….

SECTION B. 22 MARKS

3. Read the passage below then answer the questions that follow

Rainfall is the water droplets that fall down onto the ground surface from the sky. The amount of rainfall on the earth surface is measured by an instrument known as rain gauge. The standard unit for measuring rainfall is millimeters.

Rain conditions vary from time to time in a year. In some months of the year, the heavy rains are experienced, while in some other months of the year little rains are experienced. For example, in Tanzania the long rainy season is experienced between March and May while the short rainy season is experienced between September and December. Furthermore, Tanzania experiences hot and dry season between January and March.

Rainfall is very important because it supports the growth of plants. It also adds water to the rivers, lakes and dams. On the other side heavy rainfall can lead to floods, which destroy people's property. Too much rainfall also can lead to the spread of diseases like cholera and malaria.

QUESTIONS

 1. The water droplets that fall down on to the ground from the sky is called 
 2. Which instrument is used to measure the amount of rainfall on the earth surface?
 3. What is the standard unit of rainfall?
 4. In which months do Tanzania experiences the long rainy season?
 5. In which months does Tanzania experience the short rainy season?
 6. Tanzania experiences hot and dry season between the
 7. Write down one advantage of rainfall

STUDY THE PICTURE BELOW AND ANSWER QUESTIONS THAT FOLLOWS.

 1. The situation happening above is called……………………………………………………………………
 2. Name one effect of the above phenomenon…………………………………………………………….
 3. How can we help prevent the above phenomenon………………………………………………………………..

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR SOCIAL EXAM SERIES 23

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

KISWAHILI

MUDA:1:30

JINA_____________________________________SHULE_________________________

SEHEMU A: IMLA(ALAMA 10)1.Sikiliza kwa makini sentensi utakazo somewa na mwalimu kisha uandike kwa usahihi

i.______________________________________________

ii. _____________________________________________

iii. ____________________________________________

iv. ____________________________________________

v. _____________________________________________

SEHEMU B: MSAMIATI, SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA10)2.Chagua jibu kwa kuandika heruf iya jibu sahihi katika mabano

i.Tulishuhudia _______ ikimiminika juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro

A. theluji

B. theruji

C. dheluji

D. dheruji

ii. _________ ni vifaa tunavyo tumia majumbani

A. samani

B. thamani

C. zamani

D. dhamani

iii. “Wanafunzi waliosoma“ sentensi hii ipo katika wakati gani?

A. ujao

B. timilifu

C. uliopo

D. uliopita

iv. Mtoto aliyezaliwa bila pua huitwa _____________

A. toinyo

B. kigego

C. kiziwi

D. bubu

v. Neno“ nadra‘ lina jumla ya konsonati ngapi?

A. tano

B. mbili

C. sifa

D. tatu

SEHEMU C: LUGHA YA KIFASIHI (ALAMA 10)3. Kamilisha methali, vitendawili na nahau zifuatazoi. 

i. Kuku mgeni ___________________________________________________________

ii. Viti vyote nimekalia isipikuwa hicho ________________________________________

iii. Mgaagaa na upwa _____________________________________________________

iv. Nyumba yangu inanguzo moja ___________________________________________

v. John amevaa chupa maneno“amevaachupa“yana maana gani? _________________________________________________________________

SEHMU D: UTUNGAJI (ALAMA 10)4.Panga sentensi zifuatazo katika mtiririrko uliosahihi kwa kuzipa herufi A, B, C, na E.

i. Alizaliwa mjini namtumbo( )

ii.Alijiunga na jeshi la Wananchi mara baada ya kumaliza shule()

iii. Amina ni mtoto pekee wa bwana na bibi Kazimoto ()

iv. Alisoma shule ya msingi kawekamo jijini Mwanza ()

v. Kwasasa ni mwanajeshi wa jamhuri ya muunganowa Tanzania ()

SEHEMU E: UFAHAMU (ALAMA 10)Soma kwa makini shairi lifuatalo kisha jibu maswali yanayofuata

Dunia imesimama,Huzuni imetawala.

Korona nihimahima, Hakuna hata kulala,Sadiki sioukoma, Hakuna hata kulala

Tahadhari chukueni, korona epukeni

MASWALI

i.Taja vina vyakati na mwisho katika shairi ulilosoma _______________

ii. Neno “ Sadiki” kamali livyotumika katika shairi lina maana gani ______________

iii. Shairi lina mizani mingapi ___________________

iv. Andika kituo cha shairi ulilosoma ____________________

v. Shairi lina mishororo mingapi ___________________

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 22

PRESIDENT'S OFFICE 
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT 
ANNUAL EXAMINATION 
STANDARD FOUR

ENGLISH

TIME: 1:30 HRS

NAME_____________________________________SCHOOL_________________________

INSTRUCTIONS

 • THIS paper consists of SECTIONS A, B, C and D
 • Answer all questions from each section as per instruction given
 • Write full name on the blank space above together with the name of the school
 • Ensure your work is neat and legible.

SECTION A: DICTATION

1. Listen carefully the sentences and write them correctly

(i)………………………………………………………………………………………………….

(ii)………………………………………………………………………………………………….

(iii)…………………………………………………………………………………………………….

(iv)………………………………………………………………………………………………………

(v)……………………………………………………………………………………………………….

SECTION B: VOCABULARY

 1. A man whose wife is dead is called
 1. Widow
 2. Widower
 3. Wife.
 4. Death.
 1. A child whose parents are dead is called
 1. Widow
 2. Orphanage
 3. Nephew
 4. orphan
 1. A child of your aunt is called………………………….
 1. Nephew
 2. Niece
 3. Sister in law
 4. Cousin.
 1. Who among the following is not a member of nuclear family
 1. Father
 2. Baby
 3. Grandmother
 4. sister
 1. Grandfather, uncle, aunt, cousins, grandmother forms………….
 1. Nuclear family
 2. Extended family
 3. Compounded.
 4. polygamous

SECTION C: TENSES AND GRAMMAR

3. Choose the most correct answer and write its letter in the space

 1. The party was……………………..more and more exciting
 1. Get
 2. Got
 3. Getting
 4. Got.
 1. The visitors…………………to their satisfaction during my sister’s wedding
 1. Ate
 2. Eat
 3. Eating
 4. Had.
 1. we………………………and decorated the hall with ribbons and balloons.
 1. Sweep
 2. Sweeping
 3. Swept
 4. Swip.
 1. My friends and I were requested to ……………………a poem during the prize giving day
 1. Reciting
 2. Recited
 3. Recite.
 4. Sing.
 1. Anita was praised for…………………..very well at their baby’s baptism event
 1. Sung
 2. Sing
 3. Sang
 4. Singing.

SECTION D: COMPOSITION

4 Arrange the following sentences correctly to form the meaningful paragraph by giving them letter A, B, C, D, and E

 1. He grows maize and beans in his farm
 2. she is a nurse at Kihesa dispensary
 3. Mr. Juma is a farmer
 4. He is a hardworking man
 5. His wife is a hard work lady too

SECTION E: COMPREHENSION

5. Read the letter below and then answer the questions which follow

MAKENYA PRIMARY SCHOOL,

P.O.BOX 114

KILIMANJARO

24th MAY 2019

Dear Sasha,

How are you my friend? How is your new school? Are you now used to the new teachers? Back to my side, everything is fine.

I am writing to you this letter to invite you to my birthday party which will take place on 29thJune 2019 from 6: 00 pm at our place . There will be enough snacks and drinks. I have invited many people

You are most welcome

Yours sincerely

Faith

QUESTIONS

 1. Who wrote the letter? …………wrote the letter
 2. To whom was the letter written? The letter was written to……………
 3. When was the letter written ? The letter was written on…………………..
 4. Where does faith live? Faith lives in………………………….
 5. Sasha and faith are

(Relatives, friends )

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD FOUR ENGLISH EXAM SERIES 21

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256

GO TO NECTA EXAMS