?> EXAM SERIES EXAM
STANDARD THREE ANNUAL SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

KISWAHILI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

SEHEMU A.

1. Sikiliza  kwa makini kisha andika Sentensi Kwa Usahihi

 1. ......................................................................................................
 2. ...........................................................................................................
 3. .........................................................................................................
 4. .........................................................................................................
 5. .........................................................................................................

 

SEHEMU B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

2. Chagua jibu sahihi na uandike jibu lake kwenye kisanduku

Kamilisha sentensi hizi kwa kutumia neno sahihi

 1. Sahani, kikombe, bakulim na kijiko i............................
 1. Samani
 2. Mimea
 3. Jikoni
 4. Vyombo
 1. Kanga, kasuku, kunguru na njiwa...................
 1. Wanyama
 2. Ndege
 3. Vifaa
 4. Viumbe
 1. Shangazi ni................
 1. Kaka yake mama
 2. Dada yake baba
 3. Mdogo wake dada
 4. Mdogo wake kaka
 1. Wingi wa neno sufuria ni
 1. Masufuria
 2. Sufuria
 3. Mabakuli
 4. Sufurias
 1. Nini umoja wa neno macho?
 1. Majicho
 2. Macho
 3. Jicho
 4. Jino

 

SEHEMU C. METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI

3. Tumia maneno yaliyokwenye kisanduku kujibu maswali.

 

 

 

 

Tumia  maneno yaliyo kwenye kisanduku kujibu maswali haya.

 1. Asiyesikia la mkuu.............................
 2. Jibu la kitendawili hiki ni, anajua kuchora ingawa hajui anachokichora...........
 3. Ahadi ni.............................
 4. Kamilisha kitendawili, popoo mbili zinavuka mto.....................................
 5. ........................................hujaza kibaba

 

SEHEMU D. UTUNGAJI. 

 1. Sebo anaishi mkoa wa morogoro
 2. Wanafunzi walitembelea mbuga za wanyama za mikumi Serengeti na ngorongoro
 3. lo mtoto amenguka
 4. Shambani kwenu kuna mazao gani
 5. bibi alisema karibu mjukuu wangu

 

SEHEMU E. UFAHAMU

5. Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali kwa usahihi.

Amani anaishi na bibi yake katika kijiji cha Kilole Anamsaidia bibi yake shughuli za nyumbani. Anamsaidia kusafisha nyumba kupika, kuosha vyombo na kufua.

Juzi Amani alimuuliza bibi yake, “bibi  unajua kusoma?” Bibi akajibu , Ninajua kusoma na kuandika. Amani akasema, “sawa bibi, kesho nitaleta kitabu changuili tusome pamoja”

 1. Amani anaishi na nani?
 2. Kijiicho wanachoishi amani kinaitwaje?
 3. Taja shughuli ambazo Amani anamsaidia bibi yake
 4. Je bibi yake Amani anajua kusoma?
 5. Taja vitu viwili bibi yake Amani anajua

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE KISWAHILI EXAM SERIES 22

PRESIDENT'S OFFICE 
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT 
ANNUAL EXAMINATIONS, NOVEMBER 2021
STANDARD THREE

ENGLISH

TIME: 1:30 HRS                                                           

NAME__________________________SCHOOL_________________________

SECTION A. DICTITATION

1. Listen careful and write the following sentences

 1. .....................................................................................
 2. ........................................................................................
 3. ..........................................................................................
 4. ..........................................................................................
 5. ..............................................................................................

SECTION B. VOCABULARY

2. What is the color of the following?

 1. The leaves of a tree
 2. A carrot........................
 3. The color of blood........................
 4. Ripe tomatoes.................................
 5. The ocean..........................................

SECTION C. GRAMMAR

3. Fill in the blanks using the correct word in the box

 

 

 1. I like eating .............................every morning
 2. The teacher asked John to open the........................
 3. My mother is sick, she is in.........................................
 4. Uncle Manase broke the ......................when he was sitting.
 5. .........................Is the capital city of Tanzania
 6. John went to the ......................to buy sweets
 7. I like drinking......................................
 8. She goes to the ................................on Saturdays
 9. He likes to go ...........................on Fridays
 10. Our .......................................has seven classes

SECTION D. COMPOSITION

4.Arrange the following sentences in a good order to make meaningful composition

 1. The parents are taking him to the hospital
 2. He is crying because of stomach pain
 3. He is eating a mango without washing it
 4. He is admitted at the hospital
 5. Hamisi is picking a mango

SECTION E. COMPREHENSION

Read the story and answer the questions

Sharing food

Nafula and Wafula are good friends. They play in the bush near their home. They have carried their food. They put the food on a piece of wood. They play hide and seek. Then they sit to eat. Wafula has fish and Nafula has chips. Wafula does not like his fish.

He wants to throw it away. Nafula says, “Be nice do not throw food away”. Wafula puts the fish and chips on a plate. They sit and share food.

 1. Who are good friends?_________________
 1. Nafula and sister
 2. Nafula and wafula
 3. Wafula and brother
 1. Where were they playing from?____________
 1. Home
 2. Bush
 3. field
 1. Which game did they play?________________
 1. Football
 2. Hide and seek
 3. netball
 1. “Do not throw food away” _____________ said.
 1. Nafula
 2. Wafula
 3. The mother
 1. Which food did they share?______________
 1. Chips
 2. Fish
 3. Chips and fish
 1. What is the title of the story? _________________

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE ENGLISH EXAM SERIES 21

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA NNE

SAYANSI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

Chagua Jibu Sahihi

 1. Sifa mojawapo ya kiumbe hai ni...............................
 1. Kujificha
 2. Kukua
 3. Kucheza
 1. Kati ya wadudu wafuatao ni yupi ana sumu kali?
 1. Kipepeo
 2. Mende
 3. Nge
 1. Sifa mojawapo ya mwanga ni.......
 1. Kuzimika
 2. Kumulika
 3. Kusafiri katika mstari mnyoofu
 1. Kuna aina ......................za maada
 1. Mbili
 2. Tatu
 3. Nne
 1. Kipi ni chakula cha wanga kati ya hivi?
 1. Ugali
 2. Mtindi
 3. Mayai

SEHEMU B.

Linganisha kifungu A na Kifungu B ili kupata maana

Kifungu A

Kifungu B

 1. HUDUMA YA KWANZA
 2. Baadhi ya wadudu wenye sumu
 3. Vifaa vya huduma ya kwanza kwa aliyeumwa na mdudu mwenye sumu
 4. Baada ya kutoa huduma ya kwanza
 5. Huduma ya kwanza hutolewa ili
 1. Nge na kipepeo
 2. Mpeleke aliyejeruhiwa hospitalini au kwenye zahanati
 3. Kupunguza maumivu na kuokoa maisha
 4. Nyuki na tandu
 5. Mtu yeyote
 6. Wembe, pamba, spiriti na glovu
 7. Maji ya kitunguu saumu na jivu
 8. Ni msaada unaotolewa kwa majeruhi kabla ya kwenda hospitalini
 9. Mpeleke aliyejeruhiwa nyumbani

 

SEHEMU C.

Chagua neno sahihi ili kujaza nafasi wazi

Jotoridi, ukinzani, yabisi, meng’enya, sumu,spiriti

 1. Kemikali yenye uwezo wa kudhuru au kuuwa
 2. Fanya kitu kiwe laini
 3. Mfuko ulio katika mwili wa kiumbe ambao husaga chakula
 4. Kiwango cha joto au baridi katika mwili
 5. Uzuiaji wa mtiririko au mwendo wa kitu
 6. Hali yenye kukakamaa na kuwa ngumu kwa ukavu

 

SEHEMU D.

Jaza Nafasi  zilizoachwa wazi

 1. Utumbo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu......................
 2. Viumbe hai hatari ni kama............................... na....................................
 3. Vitu hatari ni kama........................... na .........................................
 4. Kuna aina kuu...........................za simu
 5. Chora na onesha sehemu zinazounda mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

SEHEMU E. 

Chunguza picha ifuatayo kisha jibu maswali

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 2020human-digestive-system-front (1).jpg

Taja sehemu zenye Herufi A- L

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE SAYANSI EXAM SERIES 20

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

MAARIFA YA JAMII

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

Chagua Jibu Sahihi

 1. Waziri Mkuu wa serikali ya Awamu ya tatu alikuwa………….
 1. Fredrick Sumaye
 2. Jakaya Kikwete
 3. Mizengo Kayanza Pinda
 1. Baba wa taifa la Tanzania anaitwa………….
 1. Julius Kambarage Nyerere
 2. John Magufuli
 3. Edward Sokoine
 1. Ni vyema kuwaheshimu viongozi wetu wakuu kwa sababu………
 1. Wametuletea amani na umoja
 2. Wametuhesabu idadi yetu
 3. Wametukumbusha kazi za kufanya
 1. Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka…………
 1. 1964
 2. 2017
 3. 1961
 1. Familia nikikundi cha watu walio na…………..
 1. Chuki
 2. Uhusiano
 3. Majigambo
 1. Kuna aina………….za familia.
 1. Tatu
 2. Nne
 3. Sita
 1. Familia yenye watu wengi huitwa………….
 1. Familia ya awali
 2. Familia pana
 3. Familia ya mume na mke
 1. ……………..ndiye kiongozi mkuu katika familia.
 1. Baba
 2. Kaka
 3. Mjomba
 1. Familia inapaswa kuishi kwa upendo na …………….
 1. Kupigana
 2. Kuheshimiana
 3. Kuombaomba
 1. Mazingira ni………….
 1. Magari yaliyo shuleni
 2. Vitu vinavyomzunguka mwanadamu
 3. Wanyama
 1. Vitu vinavyopatikana katika mazingira vimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni……..
 1. Barabara na nyumba
 2. Vitu vilivyo hai na visivyo hai
 3. Vinavyoruka na visivyoruka

 

 

Oanisha sentensi za safu A na safu B ili kuleta maana.

Na 

safu A

Na.

safu B

 1.  

Bao huchezwa na……..

 1.  

Hujenga ukakamavu

 1.  

Kurusha mkuki, kulenga shabaha………….

 1.  

Hudumisha utamaduni

 1.  

Michezo……………..

 1.  

Jamii ya pwani

 1.  

Michezo ya asili………….

 1.  

Michezo ya kiutamaduni

 

 

 1.  

Kulenga shabaha

 

Jaza maswali yafuatayo kwa ufupi

 1. Taja sayari tatu unazoziona katika picha
 2. Dunia ni sayari ya ngapi katika mfumo wa jua?
 3. Kausi ni sayari ya ngapi kwenye mfumo wa jua?
 4. Taja faida tatu za jua.
 5. Vitu gani vingine vinapatikana kwenye mfumo wa jua?

Chunguza picha ifuatayo kisha Jibu maswali

 

C:UsersKYAMBODocumentsKCPE 20206b8b54322f9f2f83103993b9f6006b1e.jpg

 

 1. Taja shughuli ya uzalishaji mali inayoonekana hapo juu
 2. Taja mikoa miwili Tanzania ambayo shughuli hii hufanyika
 3. Taja faida mbili ya mifugo wanaonekana hapo
 4. Taja matatizo yanayowakumba wakulima wa mifugo hawa
 5. Unafikiri ni tatizo gani litajitokeza kama wanyama wengi kupita kiasi watafugwa?

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE MAARIFA EXAM SERIES 19

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

HISABATI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

 

question

Working space

Answer

 1. 8490 +1907 =
 2. 9777+1111=
 3.   5165

+4748

 1.   4320

+4370

 1. 7230-3838=
 2. 8125-2359=
 3. Andika  9042 kwa maneno
 4. Andika elfu nne, mia mbili na sita kwa maneno.
 5. Nini dhamani ya namba 2 katika 3219?
 6. Andika 8301 kwa kirefu
 7. Andika kwa kifupi 9000+200+00+3=
 8. Andika 3/4 kwa maneno
 9. Chura duara na uoneshe 1/4  yake
 10. Nusu ya nusu ni ngapi?
 11. Panga  23, 86, 10, 0, 100 kuanzia ndogo kwenda kubwa.
 12. Panga  89, 136, 54, 100, 29 kuanzia kubwa
 13. Andika namba inayokosekana

550, 660……..880, 990

 1. 4, 8, 12, …….20……..
 2. 29 x 5=
 3. 32 x 16=
 4. Ali ana sh425 na kaka yake ana sh200. Wote wana shilingi ngapi?
 5. Mwezi mmoja una siku thelasini, kuna siku ngapi katika miezi minane?
 6. Mbuzi mmoja ana miguu minne, je mbuzi kumi na wawili watakua na miguu mingapi?
 7. Mkulima ana mbuzi 965. Ikiwa aliuza mbuzi 245, je alibaki na mbuzi wangapi?
 8. Umbo hili linaitwaje?

 

 

 

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE HESABU EXAM SERIES 18

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA TATU

HISABATI

MUDA:1: 30                                                             

JINA_____________________________________SHULE__________________

 

question

Working space

Answer

 1. 8490 +1907 =
 2. 9777+1111=
 3.   5165

+4748

 1.   4320

+4370

 1. 7230-3838=
 2. 8125-2359=
 3. Andika  9042 kwa maneno
 4. Andika elfu nne, mia mbili na sita kwa maneno.
 5. Nini dhamani ya namba 2 katika 3219?
 6. Andika 8301 kwa kirefu
 7. Andika kwa kifupi 9000+200+00+3=
 8. Andika 3/4 kwa maneno
 9. Chura duara na uoneshe 1/4  yake
 10. Nusu ya nusu ni ngapi?
 11. Panga  23, 86, 10, 0, 100 kuanzia ndogo kwenda kubwa.
 12. Panga  89, 136, 54, 100, 29 kuanzia kubwa
 13. Andika namba inayokosekana

550, 660……..880, 990

 1. 4, 8, 12, …….20……..
 2. 29 x 5=
 3. 32 x 16=
 4. Ali ana sh425 na kaka yake ana sh200. Wote wana shilingi ngapi?
 5. Mwezi mmoja una siku thelasini, kuna siku ngapi katika miezi minane?
 6. Mbuzi mmoja ana miguu minne, je mbuzi kumi na wawili watakua na miguu mingapi?
 7. Mkulima ana mbuzi 965. Ikiwa aliuza mbuzi 245, je alibaki na mbuzi wangapi?
 8. Umbo hili linaitwaje?

 

 

 

 

 

 

LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD THREE HESABU EXAM SERIES 17

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256

GO TO NECTA EXAMS