JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAISI, TAWALA ZA MIKOA NA SEREKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KISWAHILI KIDATO CHA TATU.
MAELELKEZO
SEHEMU A.
ORODHA A | ORODHA B |
(i) Neno pamoja na taarifa zake zote zilizo ndani ya kamusi |
|
(ii) Hali ya neno au senensi kuwa na maana zaidi ya moja | |
(iii) Ni maneno yasiyo sanifu yaliyoanzishwa na kikundi cha watu wenye utamaduni mmoja | |
(iv) Ni neno linaloingizwa katika kamusi ili lifafsanuliwe | |
(v) Ni matumizi ya lugha kulingana na muktadha maalumu | |
(vi) Ni sehemu ya sentensi inayokaliwa na mtenda au mtendwa wa jambo |
SEHEMU B
b) Taja ngeli husika kutokana na sifa zifuatazo:
SEHEMU C
Jibu maswali mawili kutika sehemu hii
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 167
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 167
JAMHURI YA MUNGANO WA TANZANIA
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
MTIHANI WA UPIMAJI – KISWAHILI
KIDATO CHA TATU- MARCHI 2024
Muda : Saa 3
Maelekezo
SEHEMU A (ALAMA 16)
ORODHA A | ORODHA B |
(i) Mwanafunzi aliyepewa zawadi jana asimame |
|
(ii) Huundwa na vitenzi vyenye O-rejeshi | |
(iii) Sehemu ya kiarifu ilyokaliwa na nomino | |
(iv) Neno au mpangilio wa neno wenye neno kuu moja | |
(v) “Mwenye duka” ni muundo wa | |
(vi) Sehemu ya kiarifu inayokaliwa na kienzi |
SEHEMU B
ALAMA 54
(b) Nominisha vitenzi vifuatavyo
(b) Taja misimu minne iliyozuka kipindi cha serikalli ya awamu ya tano
Ili kuondoa utat wa maneno sanaa na fasihi, inafaa kuyaeleza maneno hayo kwa uwazi zaidi. Sanaa imeelezwa kuwa ni uzuri ulio katika umbo lililosanifiwa. Fasihi ni sehemu ya uzuri huo. Katika fasihi kuna uzuri wa kifasihi, huitwa fani na jambo lisemwalo huitwa maudhui. Fasihi lazima iwe na sehemu hizi mbili. Ikikosekana moja wapo, kazi haiwi ya kifasihi.
Mtunzi wa kazi ya fasihi huwa na jambo kusema na namna ya kulisema. Kwa hiyo,ana dhamira na anatumia ufundi wa maneno mbalimbali kufikisha dhamira yake.
Kazi ya fasihi inaweza kuwa na upungufu kutokana na upotofu wa fani au maudhui. Maudhui yanajengwa na dhamira, ujumbe, maadili, falsafa, na maranyingine suluhisho. Dhamira ya mtunzi ikiwa potofu au haikubaliki katika jamii, inapunguza uzuri wa kazi yake.
Maswali
SEHEMU E
ALAMA 30
Jibu maswali mawili kutoka sehemu hii
(b) Kwa kutumia mifano kuntu, fafanua vipengele saba vya kuzingatia wakati wa kutunga shairi la kimapokeo.
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 164
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 164
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
MTIHANI WA MWISHO MWAKA
KIDATO CHA TATU
KISWAHILI NOVEMBA 2023
Muda 2:30
MAELEKEZO
SEHEMU A (16)
ORODHA A | ORODHA B |
|
|
SEHEMU B (ALAMA 54)
(b) Onesha vyanzo viwili vya Msimu
(c) Misimu huweza kuundwa kwa njia tofauti tofauti
ix. Imla, mali, mila, lami
8. Soma kifungu habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata:
"Ndugu wazazi, kumbe safari yenu inahusu harusi ya Maria ?".Mkuu wa shule aliwauliza wazazi."Ndiyo," wazazi walijibu kwa Pamoja bila aibu."inategemewa kufugwa lini ."Mkuu aliendelea kuhoji. Harusi hii ilikuwa ifanyike wakati Maria anapofika kidato cha nne, Lakini Maria huyu ametufanyia uhuni na vituko visivyoelezeka. Nasi sasa tunachukiwa kijiji kizima na kudharauliwa na kila mtu.Hii imetuudhi sana, tumetungiwa nyimbo na kufanyiwa kila shutuma. Hatuna raha ;hivyo tumeonelea bora tuje kukuomba umfukuze shule ili kiburi kimwishie .Nasi tupo tayari kukulipa kiasi chochote cha fedha ukitimiza haja yetu hii,"Mzee Abdallah alieleza." Muda wote mkuu wa shule alikuwa akimtazama Mzee kwa chati sana .Kisha akauliza swali la kuchochea zaidi: Maria ana kiburi kumbe?"
Mama Maria hakutaka hilo limpite ,hima hima akatoa maelezo yake ."Mama wewe ,Maria usimuone hivi. Maria mwanangu hataki kufuata utamaduni wetu wa kuolewa. Maria ati achague mchumba mwenyewe, ati mahari haiyoni kama ni kitu cha msingi. Kiburi hicho kinatokana na elimu mliyompa.
Mtoto sasa ameharibika .Anafanya apendavyo elimu gani isiyojali adabu.wala utii?" Mama Maria alimaliza huku jasho na machozi yanamtoka".
Hapa mkuu wa shule aliona kwanza awaelimishe kabla hajawatolea kauli ya mwisho.Alikwishatambua kwamba wazazi wa Maria walikuwa wameachwa nyuma na wakati .Kila upya wa mawazo waliuita kiburi.
Maswali
(i)Bainisha dhima nne (04) zilizotokana na habari uliyosoma.
Fupisha habari hiyo kwa maneno yasiyopungua 70 na kuzidi 80.
SEHEMU C: (ALAMA 30)
Jibu maswali mawili katika sehemu hii swali la 11 ni lazima
ORODHA YA VITABU
ORODHA YA VITABU.
USHAIRI.
RIWAYA.
TAMTHILIYA
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 152
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 152
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MITIHANI YA KUJIPIMA KWA SEKONDARI
MTIHANI WA NUSU MUHULA WA PILI
KISWAHILI KIDATO CHA TATU
MUDA: MASAA 3 AUG 2023
MAELEKEZO
1. Karatasi hii ina sehemu A, B na C
2. Jibu maswali yote sehemu A na B na maswali 2 sehemu C
3. Zingatia maelekezo ya kila swali
SEHEMU A (ALAMA 16) JIBU MASWALI YOTE.
1. Chagua jibu sahihi katika vipengele (i-x) kisha andika herufi ya jibu sahihi katika karatasi ya kujibia.
i. Huyu ni mwanafunzi hodari sana. Je “ni” ni aina gani ya neon.
a) Kitenzi shirikishi
b) Kiunganisha
c) Kitenzi kisaidizi
d) Kielezi cha wakati
ii. Njia ipi ni ya uhifadhi wa fasihi simulizi inayoweza kupokea mabadiliko kwa haraka kati ya hizi
a) Maandishi
b) Vinasa sauti
c) Kichwa (d)Kanda za video
iii. Tofauti ndogondogo zinazojitokeza katika lugha moja huitwa
a) Kimtang’ata
b) Lugha za kikanda
c) Lahaja
d) Kiimbo
iv. Wazo kuu la mtunzi katika kazi ya fasihi huitwa
a) Ujumbe
b) Dhamira
c) Falsafa
d) Mtazamo
v. -------------- ni maneno yasiyo sanifu yayozuka na kutoweka
a) Misimu
b) Rejesta
c) Msamiati
d) Kishazi tegemezi
vi. Kisawe cha neno umaskini
a) Ukwasi
b) Ubahili
c) Ujima
d) Ukata vii. Ni neno pamoja na taarifa zake kwenye kamusi huitwa
a) Kidahizo
b) Kitomeo
c) Msamiati
d) Muundo
viii. Utofauti wa kazi za kifasihi toka muandishi mmoja dhidi ya mwingine husababishwa na
a) Mtindo wa kazi
b) Dhamira za kazi za fasihi
c) Migogoro ya kazi husika
d) Muundo wa kazi ya fasihi
ix. Moja ya sifa kuu ya kirai ni
a) Kukaa sehemu yeyote katika sentensi
b) Hakina muundo wa kiima na kiarifu
c) Hutoa maana kamili
d) Huwa na muundo wa kiima na kiarifu
x. Neon lipi kati ya maneno haya linaweza kudokeza mtenda au mtendwa wa jambo
a) Kiunganishi
b) Kihisishi
c) Kielezi
d) Kivumishi
2. (a) Oanisha dhana katika orodha A kwa kuchagua herufi ya dhana husika kutoka orodha B kisha andika herufi ya jibu sahihi katika karatasi ya kujibia.
ORODHA A | ORODHA B |
I. Tungo shurutia II. Kosa la mpangilio mbaya wa viambishi III. Maneno yasiyo sanifu yanayozungumzwa na kikundi kidogo cha watu IV. Viambajengo vya sentensi V. Sehemu ya nchi kavu iliyochongoka na kuingia baharini VI. siataimba | A. Ghubu B. Mpegani C. Ukanushi D. Anampigia pasi E. Rasi F. Ukimwonw ndani ya gari utamlipia nauli G. Kiima na kiarifu H. Simo I. Misemo J. jakabu |
SEHEMU B (ALAMA 54)
3. Wewe ni mwanafunzi wa shule ya sekondari Mazinyungu iliyopo Morogoro.
Umepokea barua kutoka kaka yako aitwaye Amani Furaha anayeishi Tabora S.L.P 300 pamoja na kukujulia hali amekueleza vipi wanavyoendelea huko kwenu Tabora. Pia ametaka uwajulishe ni lini utakwenda huko Tabora. Kutokanaa na ratiba ya shule kukubana unatarajia kwenda utakapofunga shule mwezi Septemba mjulishe kwa kutumia simu ya maandishi jina lako liwe Tusekele Amani.
4. Kw kutoa hoja nne na mifano eleze jinsi matumizi ya picha na michoro yanavyosaidia matumizi ya kamusi.
5. (a) toa dhana ya sentensi
(b) sentensi za Kiswahili hujipambaua kwa sifa zake (taja 3).
(c) changanua sentensi zifuatazo kwa mkabala wa kimuundo na kimapokeo
(i) watu wote walimsikilza Rais (kwa njia ya matawi)
(ii) wao wanaimba lakini sis tuanacheza ngoma (kwa njia ya jedwali)
6. (a) nini maana ya mzizi wa neon
(b) Onesha mizizi ya maneno yafatayo
(i) Salisha
(ii) Onesha
(iii) Onyana
(iv) Mpiganaji
(c) Eleza maana ya istilahi zifuatazo
(i) Sarufi
(ii) Kitomeo
(iii) Lugha
(iv) Kielezi
7. Kwa kutumia mifano toshelezi toa uthibitisho wa kiisimu wa Kiswahili ni kibantu.
8. Kwa kuzingatia maumbo ya umoja na wingi tunga sentensi mbili kwa kila ngeli zifuatazo
(a) YU-A-WA
(b) KI-VI
(c) U-ZI
(d) I-ZI
(e)LI-YA.
SEHEMU C (ALAMA 30)
JIBU MASWALI MAWILI KUTOKA SEHEMU HII
9. Ujio wa waarabu ulisaidia sana kukuza lugha ya Kiswahili. Thibitisha kauli hii kwa hoja zisizopungua nne (4).
10. Wanaisimu huona kuwa fasihi simulizi ni bora kuliko fasihi andishi. Kwa kutumia hoja tano (5) thibitisha ukweli huu.
11. Methali zinafunza na zinaweza kupotosha jamii zisipotumika kwa ukamilifu kwwa kutumia methali tano (5) thibitisha kila moja inayoweza kufunza na kupotosha.
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 148
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 148
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA
NA SERIKALI ZA MITAA
JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
MTIHANI WA MWISHO MUHULA
KIDATO CHA TATU
KISWAHILI 2023
Muda 2:30
MAELEKEZO
SEHEMU A (15)
Kifungu A | Kifungu B |
|
|
SEHEMU B (ALAMA 55)
(b)Changanua sentensi zifuatazo kwa njia ya ngoe kwa
SEHEMU C (30)
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 133
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 133
WIZARA YA ELIMU SAYASI NA TEKNOLOJIA
SHULE YA SEKONDARI KIZUKA
MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA
KISWAHILI - KIDATO CHA TATU
Muda: Saa 2:30
MAELEKEZO
SEHEMU A (Alama 15)
Jibu maswali yote kutoka sehemu hii
ORODHA A | ORODHA B |
|
|
SEHEMU B (Alama 40)
SARUFI, UTUMIZI WA LUGHA, MAENDELEO YA KISWAHILI
Jibu maswali yote katika sehemu hii
Huwezi kuwazuaia, waliokubaliana
Mimi wananitumia, wapate kuelewana,
Kanuni wazingatia, ili kuwasiliana,
Sauti zangu nasibu, hakuna wa kukanusha
Mfumo wangu makini, Sauiti kupangilia,
Maneno kuyatumia, yenye mpangilio sawa,
Sentensi kuzitumia, mawazo kupangilia,
Sauti zangu nasibu, hakuna wa kukanusha
MASWALI
SEHEMU C (Alama 45)
Jibu maswali matatu (3) tu katika sehemu hii, swali la kumi (10) ni la lazima
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 131
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 131
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI KIDATO CHA TATU
MUDA: SAA 3:00 MAY 2022
MAELEKEZO
SEHEMU A
Jibu maswali yote katika sehemu hii
ORODHA A | ORODHA B |
|
|
SEHEMU B (Alama 40)
Jibu maswali yote ya sehemu hii kwa kuzingatia maelekezo ya kila swali.
SEHEMU C (Alama 45)
Jibu maswali matatu (3) kutoka sehemu hii
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 90
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 90
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KIDATO CHA TATU 2021
MSIMBO: 021 KISWAHILI
MUDA: SAA 3:00 AUG 2021
MAELEKEZO
SEHEMU A {Alama 15 }
Jibu maswali yote
ORODHA A | ORODHA B |
|
|
SEHEMU B (Alama 40)
Chanjo haipatikani Ulaya hakukaliki,
Tiba haijulikani, Dunia haifurukutu,
Korona ni maafa kujikinga lazima,
Mafua, homa kupanda utaona uki”gugo”,
China mpaka mpanda, korona haina vigo,
Korona ina maafa kujikinga lazima
Karantini kwa wotee, makapera wameoa,
Mabinti wasiopenzini, huu msimu wa ndoa
Korona ina maafa kujinginga lazima
Wanandoa walishane penzi bila taabu,
Nao wapenzi wachanga, wasubiri janga lipite
Korona ina maafa kujikinga lazima
Elimu tazingatia Wizara wanakumbushia,
Tunawe yetu mikono, epuka msongamano
Koroana ina maafa kujikinga lazima
MASWALI
SEHEMU C (Alama 45)
Jibu maswali matatu (3) kutoka katika sehemu hii
ORODHA YA VITABU
USHAURI
Wasakatonge - M.s Khatibu (DUP)
Malenga wapya - Takiluki (DUP)
Mashairi ya chekacheka - T. A Mvungi (EP & D. LTD)
RIWAYA
Takadini - Benj. Hanson (MBS)
Watoto wa mama ntiliye - E. Mbogo (H.P)
Joka la mdimu - A.J Safari (H.P)
TAMTHILIYA
Orodha Steven Reynolds (MA)
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe -E. semzaba
Kilio chetu -Medical Aid foundation
Page 1 of 4
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 65
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 65
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA
KIDATO CHA TATU
021KISWAHILI
(Kwa watahiniwa Walioko na Wasiokuwa Shuleni)
MUDA: SAA 3 MEI 2021
Maelekezo
1. Karatasi hii ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali kumi na mbili (12).
2. Jibu maswali yote kutoka sehemu A, Bna chagua maswali matatu (03)kutoka sehemu C.
3. Zingatia maagizo ya kila sehemu na kila swali.
4.Andika kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au nyeusi
5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa haziruhusiwikatika chumba cha mtihani.
6. Andika namba yako ya mtihani katika kila karatasi yako ya kujibia.
A: Kitenzi B: Kielezi C: Kivumishi
D: Kiwakilishi E: Kiunganishi
(ii) Katika lugha ya Kiswahili kuna aina ngapi za Vitenzi.
A: Mbili B: Tano C: Sita
D: Tatu E: Nne
(iii) Maneno yapi kati ya haya yafuatayo yametokana na lugha ya Kibantu.
A: Kitindamimba ba bendera B: Hela za mtoto
C: Kitivo na ngeli D: Godoro na sharubati
E: Bunge na Shule
(iv) Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia katika kuteua maneno na miundo
ya tungo wakati wa mazungumzo.
A: Mada, muktadhia wa mazungumzo ya aina kwa nia
B: Mada, mazungumzo na uhusiano wa wazungumzaji
C: Mada, mzungumzaji na muktadha wa mazungumzo
D: Mada, mzungumzaji na uhusiano wa wazungumzaji
E: Mada, muktadha na uhusiano wa wazungumzaji.
(v) Bainisha kauli unayoonyesha dhima muhimu za vitendawili katika jamii za
vitendawili katika jamii.
A. Kuhimiza umoja na mshikamano.
B. Kupanga watu katika marika yao.
C. Kuchochea udadisi wa mambo
D. Kuchochea uwongo wa mambo.
E. Kukosoa wadadisi wa mambo.
(vi) Njia mojawapo ya kuzuia utata katika lugha ya mazungumzo ni ipi kati ya zifuatazo?
A. Kuepuka makosa ya kisarufi na kimantiki
B. Kutumia neno lenye maana zaidi ya moja
C. Kutumia kiwakilishi kiambata katika neno
D. Kuweka msisitizo au ufafanuzi zaidi
E. Kutumia misimu sahihi za wakati.
(vii) ‘’Wanafasihi hutumia wahusika wenye mienendo hiyo’’ katika tamthiliya ulizosoma, ni wahusika wapi kati ya wafuatao wana mienendo isiyokubalika?
A. Joti, Ngoswe na Mama Furaha
B. Padri James, Ngoswe na Baba Anna.
C. Mazoea, Mama Furaha na Joti
D. Ngoswe, Baba Anna na Suzi
E. Ngoswe, Joti na Padri Jamaes
(viii) Kati ya sababu zifuatazo ni ipi si sahihi kuhusu matumizi ya Kamusi?
A. Kujifunza Lugha ya Kigeni
B. Kusanifisha maneno mapya
C. Kubaini kategoria ya neno
D. Kujua maana za maneno
E. Kujua tahajia za maneno.
(ix) Ni methali ipi inayokinzana na methali ‘’Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.’’
A. Manahodha wengi, chombo huenda mrama.
B. Palipo na wengi, hapaharibiki neno
C. Haba na haba, hujaza kibaba.
D. Kidole kimoja, hakivunji chawa
E. Fimbo ya mnyonge, ni umoja
(x) Upachikaji wa Viambishi katika mzizi wa neno huitwaje?
A. Mnyambuliko B. Utohoaji C. Uambishaji
D. Viambishi E. Kukopa maneno
Orodha B na uandike herufi ya jibu sahihi pembeni na swali.
ORODHAA | ORODHAB |
(i) Tungo shurutia ukwasi | A. Rejesta ya Tanga |
(ii) Kimtang’ata | B. Angeliniita ningeitika |
(iii) Malaika, Shetani, Mzimu | C. Lahaja ya Kiswahili |
(iv) Juzi asubuhi | D. Nomino za mguso |
E. Njeo ya ya wakati wa mazoea | |
F. Nomino za dhahania | |
G. Kirai kielezi | |
H. Utajiri |
SEHEMU B: (ALAMA 40)
Jibu maswali yote kutoka sehemu hii
(a) Anawaandikisha
(b) Mkimbizi
(c) Mlaji
(d) Muumbaji
(e) Nisingelipenda
(f) Kuburudika
(g) Sadifu
(h) Aliokota
(i) Walichopoka
(j) Kipambanuliwe.
(a) Amejificha kwa kuwa hapendi anione
(b) Kukataa kwa Mwajuma kumesababisha matatizo mengi.
(c) Amelima shamba kwa jembe
(d) Ameenda kwa Mwalimu
(e) Amesafiri kwa ndege
(a) Pili alimwandikia barua Asha
(b) Wizi wa Silaha umeongezeka
(c) Mwalimu ameijia fedha yake
(d) Mtoto amelalia uji
(e) Mama amenuena Mbuzi
SEHEMU C: (ALAMA 45)
Jibu maswali matatu tu toka sehemu hii
1
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 55
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 55
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA 2020
021KISWAHILI
(Kwa watahiniwa Walioko na Wasiokuwa Shuleni)
MUDA: SAA 3 DECEMBER 2020
Maelekezo
1. Karatasi hii ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali kumi na mbili (12).
2. Jibu maswali yote kutoka sehemu A, B na chagua maswali matatu (03) kutoka sehemu C.
3. Zingatia maagizo ya kila sehemu na kila swali.
4. Andika kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au nyeusi
5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa haziruhusiwi katika chumba cha mtihani.
6. Andika namba yako ya mtihani katika kila karatasi yako ya kujibia.
SEHEMU A, (Alama 15)
Jibu maswali yote katika sehemu hii.
1. Chagua herufi ya jibu sahihi katika vipengele (i) hadi (x), kisha andika herufi ya jibu hilo katika karatasi yako ya kujibia.
(i) Ni kanuni, sheria na taratibu zipi zinazozingatiwa na wazungumzaji wa lugha fulani?
A Mofimu, Neno, Kirai, Kishazi na Sentensi
B Herufi, Sauti, Mofimu,Silabi na neno.
C Sarufi Maana, Sarufi Miundo, Sarufi Maumbo na Sarufi Matamshi.
D Sarufi maana, Mofimu, Neno na Kirai
E Silabi, Neno, Kirai na Sentensi.
(ii)………………. Ni sauti zinazotamkwa mara moja na kwa pamoja kama fungu moja la sauti.
A Sauti B Herufi
C irabu D Silabi
E Konsonanti
(iii) Zipi ni nyenzo za lugha yoyote duniani?
A Sarufi na Fasihi B Irabu na Konsonanti
C Sarufi, Irabu na KonsonantiD Fasihi, Irabu na Konsonanti
E Sarufi, Fasihi, Irabu na Konsonanti
(iv) Mpangilio sahihi wa ngeli za kisintaksia ni upi?
A YU/A-WA, I-ZI,LI-YA,U-I,KI-VI,U-ZI,U-YA, KU,PA-MU-KU
B U-ZI, I-ZI,LI-YA,U-I, KU, YU/A-WA,U-YA, KI-VI, PA-MU-KU
C YU/A-WA, I-ZI, LI-YA,U-YA, KI-VI,U-ZI,U-I, KU,PA-MU-KU
D YU/A-WA,I-ZI, LI-YA,U-I,KI-VI, U-ZI,U-YA, PA-MU-KU, KU
E YU/A-WA, I-ZI,LI-YA, U-I, KI-VI,U-ZI, U-YA,KU, PA-MU-KU
(v) Ni upi mpangilio sahihi wa mjengo wa Tungo?
A Kirai, Neno, Sentensi na Kishazi
B Neno, Kirai, Kishazi na Sentensi
C Kishazi, Kirai, Sentensi na Neno
E Sentensi, Neno. Kishazi na Kirai
(vi) Ni lugha mseto ya muda inayozuka pindi makundi mawili yenye lugha mbili tofauti yakutanapo.
A Lugha ya vizalia B Pijini
C Kibantu D Kiswahili
E Kiunguja
(vii)Mambo muhimu yanayopatikana katika maana ya lugha ni kama yafuatayo, isipokuwa;
A Ni sauti za nasibu B Ni mfumo
C Lugha hufurahisha na kufundisha D Lugha inamuhusu binadamu
E Lugha ni chombo cha mawasiliano
(viii) Ni sentensi ipi sio sentensi huru?
A Juma anacheza mpira B Anaimba vizuri
C Mtoto aliyepotea jana amepatikana. D Asha ni mtoto mzuri
EYule alikuwa anataka kucheza mpira.
(ix) ……………. Ni kipashio kidogo kabisa cha lugha chenye maana. Maana hiyo yaweza kuwa ya kisarufi au kileksika;
A Isimu B Shina
C Mzizi D Kiimbo
E Mofimu
(x) Ni seti ipi inawakilisha kikamilifu wahusika wa fasihi simulizi?
A Vitu, mahali, wanyama, binadamu, fanani na maleba.
B Hadhira, wanyama, maleba, binadamu na fanani.
C Fanani, vitu, mahali, binadamu, maleba na wanyama.
D Wanyama, manju, binadamu, vitu, mahali na maleba
E Hadhira, binadamu, wanyama, vitu, mahali na fanani.
2. Oanisha maelezo yaliyo katika orodha ‘’A’’ ambayo ni aina ya tungo na orodha ‘’B’’ ambazo ni aina za maneno yanayounda tungo hizo kwa kuandika herufi ya jibu sahihi katika karatasi yako ya kujibia.
ORODHA “A” | ORODHA “B” |
i.Wale waliamini maneno yangu ii. Salama alikuwa mwanafunzi wangu iii. Walikuwa wanataka kwenda kulima iv.Alikuwa anajisomea darasani polepole v. Loo! Yule anapenda ugomvi | A. N + t +N +V B. H + w +T + N C. W + T + N + V D. Ts + T + E +E E. Ts + Ts + Ts + T F. N + V + t +E G. N + U+ N+ T |
SEHEMU B (Alama 40)
Jibu maswaliyote katika sehemu hii
3.Tunga sentensi moja kwa kila alama kuonesha matumizi ya alama zifuatazo.F4
i. Mkato
ii. Mabano
iii. Alama za mtajo
iv. Nukta pacha
4.Andika maana ya methali zifuatazo;
5.(a) Tenga kiima na kiarifu katika sentensi zifuatazo. Tumia alama ya mkwaju (/) na kuweka herufi “K” juu ya kiima na herufi “A” juu ya kiarifu.
i. Mdogo wangu anaongea sana
ii. Yule kijana aliyekuja hapa juzi amefariki dunia
iii. Frank ni kijana mpole sana
iv. Mama amelala sakafuni
(b) Changanua sentensi zifuatazo kwa njia yamatawi kwa kutumia mkabala wa kimapokeo
i. Fisi mkubwa ameuawa kichakani jana alfajiri.
ii. Mtoto aliyekuwa anacheza uwanjani amevunjika mguu.
6.(a) Kwa kutumia mifano miwili kwa kila kipengele, fafanua kwa ufupi jinsi vipengele vifuatavyo vinavyoonesha kuwa vitenzi vya Kiswahili na lugha za kibantu vina asili moja.
b) Eleza kwa ufupi juu ya nadharia zifuatazo kwa jinsi zinavyoelezea asili ya Kiswahili
a)Kiswahili ni pijini au krioli
b)Kiswahili ni kiarabu
7. Kwa kutumia mifano, fafanua dhana zifuatazo kama zinavyotumika katika fasihi
a)Tashibiha
b)Takriri
c)Sitiari
d)Tashihisi
e)Mubaalagha
8. Soma kifungu cha habari kifuatacho, kisha jibu maswali yanayofuata;
Wanangu, toka zamani bara letu la Afrika lilikuwa na mambo yaliyohitilafiana na haya tunayoyaona sasa. Hadithi, vitimbi, na visa vilivyotokea zamani katika bara letu vinatofautiana sana na mabara yoyote mengine. Vyetu ni vitamu na bora kuliko vyote vile vilivyotokea katika mabara hayo.
Miujiza ya mambo yaliyotokea ina mizizi ambayo viini vyake hubenua waziwazi mila na desturi za asili tangu zamani, hivyo, hadithi hizo zina tija ya makumbusho ya daima milele. Kwa hiyo, katika hali yoyote yatupasa kuhifadhi hazina za mila zetu. Mila zetu zidumishwe; kwa mfano watu kuzunguka moto huku kizee kikongwe au ajuza akisimulia hadithi za mambo ya kale liwe ni jambo la kawaida kabisa. Katika dunia ya leo simulizi hizo za ujasirina uzalendo zimeenea kutoka vizazi hadi vizazi. Mambo mengi yamebadilika kutoka mitindo aina aina, hivyo mabadiliko hayo yasitufanye sisi kusahau simulizi zetu katika mitindo yetu. Ni wajibu utupasao kuendeleza tabia hizi ili tubenue mbinu za masimulizi hata kwa vitabu.
Maswali
Jibu maswali matatu(3) kutoka katika sehemu hii.
9.Wewe kama afisa Manunuzi wa kiwanda cha mbao cha Mshikamao S. L. P 100 Chamwino, andika barua kwa mfanyabiashara yeyote mashuhuri wilayani kwenu kuhusu agizo la vifaa vifuatavyo; Misumeno 5, gundi ya mbao lita 20, misumari ya nchi sita Kg 25, na kofia ngumu 40. Jina lako liwe Shukrani Kazamoyo.
10. Kwa kutumia diwani mbili ulizosoma, eleza jinsi taswira tatu kutoka kila diwani zilivyotumiwa na msanii kuwasilisha ujumbe kwa jamii.
11. “Kazi ya fasihi ina radha kwa sababu inamzungumzia pia mwanamke kwa namna tofautitofauti” Thibitisha kauli hii kwa kutoa hoja tatu kwa kila kitabu katika riwaya mbili ulizosoma.
12. Chagua wahusika wawili katika tamthiliya teule mbili ulizosoma na uoneshe ujumbe unaowasilishwa na waandishi kupitia matendo yao.
ORODHA YA VITABU
USHAIRI
Wasakatonge ---------------------------- M. S Khatibu (DUP)
Malenga wapya-------------------------- TAKILUKI (DUPU)
Mashairi ya Chekacheka---------------- T. A. Mvungi (EPdD.LTD)
RIWAYA
Takadini ----------------------------------- Ben J. Hanson (MBS)
Watoto wa Mama Ntilie ----------------- E. Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu ---------------------------- A. J. Safari ( H.P)
TAMTHILIYA
Orodha ------------------------------------ Steve Reynolds ( M. A)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe ----- E. Semzaba (ESC)
Kilio Chetu --------------------------------- Medical Aid Foundation (TPH)
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 37
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 37
THE PRESIDENT'S OFFICE
MINISTRY OF REGIONAL GOVERNMENT AND LOCAL GOVERNMENT
AUGUST-SEPTEMBER EXAMINATION SERIES
KISWAHILI FORM-3
2020
TIME: 2:30 HRS
Maelekezo
SEHEMU A (Alama 15)
Jibu maswali yote katika sehemu hii.
1. Chagua herufi ya jibu sahihi katika vipengele (i) hadi (x), kisha andika herufi ya jibu hilo katika kijitabu chako cha kujibia.
(i) Neno lipi kati ya maneno haya linaweza kudokeza mtenda au mtendwa?
(ii) Shamba letu li kubwa neno “Li” ni aina gani ya neno?
A fonolojia, mofolojia, semantiki na sintaksia
B maana, matamshi, muundo na maumbo
C maana, matamshi, muundo na mantiki
D kiimbo, shada, mkazo na toni
E. fonolojia, mkazo, shada na semantiki
(iv) Kamati ya lugha ya Afrika ya Mashariki (the interteritorial Swahili language committee) iliteua lahaja moja na kuisanifisha, lahaja hiyo ilikuwa ni
A kimvita
B kiunguja
C kimtang’ata
D kisiu
E kivumba
(v). Watoto hawa wanacheza vizuri neno “Vizuri” ni aina gani ya neno?
(vi) Kiswahili ni kibantu kwa kuwa:-
(vii) Ni jambo gani linalodhihirisha upekee wa kazi fulani ya kifasihi?
(vii) Ipi ni fasili sahihi kuhusu tungo?
(viii) Nini maana ya sentensi sahili.
(ix) Zifuatazo ni sifa za pijini isipokuwa
A. Pijini huwa na maneno kutoka lugha mbili au zaidi
B. Pijini hutokea kurahisisha mawasiliano baina ya watu ambao kila mmoja
ana lugha yake
C. Miundo ya maneno na tungo katika pijini imerahisishwa ili kukidhi
mawasiliano
D. Pijini haina msamiati mwa kutosha, hivyo wazungumzaji hutumia sana
ishara
E. Pijini ina watu ambao kwao hiyo ni lugha yao ya kwanza
2. Katika kila sentensi uliyopewa, orodhesha vishazi huru katika Safu A na vishazi tegemezi katika safu B.
(a) Ngoma hailii vizuri kwa kuwa imepasuka.
(b) Watoto walioandikishwa watakuja kesho.
(c) Kiongozi atakayefunga mkutano amepelekewa taarifa.
(d) Mtawatambua walio wasikivu.
(e) Kitabu ulichopewa kina kurasa nyingi.
3. Taja aina za sentensi zifuatazo kisha eleza muundo ujengao kila sentensi.
4. Andika maneno matano ambayo yameundwa kutokana na kufananisha sauti. Kwa kila neno tunga sentensi moja.
5. Eleza dhima za mofimu "li" kama ilivyotumika katika sentensi zifuatazo:
6. Andika sentensi zifuatazo katika hali ya ukanushi:
7. Bainisha mzizi wa asili kwa kila neno katika maneno yafuatayo:
1. Soma kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata:
Karibu masikio ya watu wa mahali pengi yalijaa habari za Karama na mashtaka yake. Umaarufu wake wa ghafla ulizungumzwa karibu na mbali. Mtu yeyote wa desturi anapozuka katika umaarufu, huyavuta masikio na macho ya watu wengi kwa sababu jambo kama hili hutokea nadra sana kwa watu ambao bahati mbaya imeshughulika kuwaweka nyuma. Kwa hiyo, siku ya tatu ya baraza ilihudhuriwa na mfalme, watu wenye vyeo mbalimbali, pamoja na nusu moja ya umati mkubwa wa Kusadikika. Fikra zilizochanganyika ziliushika umati huu. Baadhi ya watu walimwajabia Karama wakamhesabu kama mtu bora wa karne yao. Hawa walitumaini ataokoka lakini wengine waliwaza kuwa Karama alikuwa kama mjinga aliyekuwa akicheza na hatari kubwa iliyofunua taya mbele yake.
Waliokuwa wakimtazamia kuokoka walikuwa na wasiwasi wao; na wale waliokuwa wakimtazamia kuanguka walikuwa na fadhaa yao. Walakini hapana mtu hata mmoja aliyepata kulisema wazo lake.
Bila ya kujua alivyoajabiwa Karama aliendelea kusema mbele ya baraza, “Watu wanaoteswa ndio wanaoyajua mateso yao.” Kusadikika ilikuwa chini ya mateso makubwa sana. Maisha yao yalizungukwa na maradhi na mauti, uadui usiokwisha, nchi iliyokaribia kugeuka jangwa na mwamba na madhila mengine mazito yaliyowakabili watu. Wanakusadikika walitaka faraja katika mateso haya. Kila jitihada ilijaribiwa ili kuirekebisha saa ya maendeleo ya nchi, lakini mara kwa mara majira yake yalirudishwa nyuma. Kama hili lilifanywa kwa makosa ama kwa makusudi ni siri iliyo ng’ambo ya fahamu zangu hata sasa. Lakini kama siri njema hufichika, ile iliyo mbaya haifichiki hata kidogo. Uchaguzi wa wajumbe ulikuwako lakini hathibitisho ya matokeo ya ujumbe hayakupatikana.
Kusadikika iliishi kuona mjumbe baada ya mjumbe kuadhiriwa na kuadhibiwa vibaya. Kama washauri hawakudhuriwa na hili lakini watu wengine walidhuriwa sana. Kazi njema za wajumbe wawili zilipotea bure. Manung’uniko ya lawama hii yalikuwa katika hewa yote ya Kusadikika.
Hili lilipotokea serikali iliombwa ima faima kufanya ujumbe mwingine. Basi mjumbe wa tatu alitakikana ajitolee mwenyewe kwa ujumbe wa Kusini. Wito wa mjumbe wa tatu uliitikiwa na Kabuli; mtu mwenye busara, haya na mcheshi. Yeye alipatikana upesi kabisa kuliko ilivyokuwa kwa mara ya pili na ya kwanza. Misiba ya Buruhani na Fadhili ilikuwa mikubwa ya kutosha kuikongoa mioyo ya bidii katika bawaba zake. Kabuli aliyajua haya yote lakini alikuwa mtu wa moyo wa namna nyingine kabisa. Alikuwa na bidii kubwa kama ile ya siafu athubutiye kukivuka kijito kwa daraja iliyofanywa kwa maiti ya siafu wengine walioelea majini huko na huko. Maji yalijulikana kuwa na asili ya rutuba, mvuke na umeme. Nguvu nyingine za namna mbalimbali zipo pia katika maji. Kama siafu mdudu mdogo na kipofu wakati mwingine haogopi kuzikabili nguvu hizo pamoja na hatari zake kwa sababu njema, basi ni dhahiri kuwa viongozi wa wanadamu wanapoteswa bure bidii za wafuasi wao hutanuka ajabu.
Hapana tishio liwezalo kuukomesha mwendo huu. Kwa hakika utafululiza kuwako duniani mpaka mateso yakome kabisa, na labda wakati huo dunia hii itakuwa njema kama itamaniwavyo kuwa.
Buruhani na Fadhili walitoa sadaka zao bora ili kuyahimiza majilio ya wakati uliotakikana sana. Kabuli aliwaona watu wawili hawa kama wafadhili wakubwa wa ulimwengu. Alitaka kuwa mshirika wao kwa thamani yoyote ya maisha yake.
Kama ilijulikanavyo, Kusini na upande wa dunia yatokako matufani makubwa na baridi kali sana. Kabuli aliyakabili mashaka haya bila ya kigeugeu. Naam, alikuwa kama mtu aliyekuwa akinywa uchungu bila ya kigegezi. Mara mbili alikamatwa akafanywa mahabusu.
Maswali
(a) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika kifungu cha habari:
(b) Eleza mchanganyiko wa fikira walizonazo wana wa Kusadikika kuhusu Karama.
(c) Kwanini bidii ya mjumbe wa Kusini imelinganishwa na bidii ya siafu? Toa sababu mbili.
(d) Ujumbe wa mwandishi wa kifungu hiki unahusu nini?
SEHEMU C (Alama 45)
Jibu maswali matatu (3) kutoka katika sehemu hii.
8. Andika insha isiyozidi maneno mia tatu (300) na isiyopungua mia mbili na hamsini (250) kuhusu faida za televisheni kwa jamii.
ORODHA YA VITABU USHAIRI
Wasakatonge - M.S. Khatibu (DUP)
Malenga Wapya - TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya Chekacheka - T.A. Mvungi (EP & D.LTD)
RIWAYA
Takadini - Ben J. Hanson (MBS)
Watoto wa Maman’tilie - E. Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu - A.J. Safari (H.P)
TAMTHILIYA
Orodha - Steve Reynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe - E. Semzaba (ESC)
Kilio Chetu - Medical Aid Foundation (TPH)
10. "Fasihi ya Kiswahili imemweka mwanamke katika hadhi tofauti tofauti." Thibitisha usemi huu kwa kutumia hoja tatu kwa kila riwaya kutoka katika riwaya mbili ulizosoma.
11. (a) Vigano ni nini?
(b) Tunga vigano kwa kutumia methali isemayo "Umdhaniaye siye kumbe ndiye!"
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 28
FORM THREE KISWAHILI EXAM SERIES 28