OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SEREKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MUHULA HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
KIDATO CHA KWANZA
MUDA: 2:30 MEI 2026
Maelekezo;
SEHEMU A. (Alama 15)
1. Kutoka kipengele i- x chagua herufi ya jibu sahihi. Kisha andika jibu kwenye sehemu ya kujibia.
i. Somo la Historia ya Tanzania na Maadili limeundwa na dhana kuu mbili, dhana hizo ni pamoja na
ii. Historia kuhusu mambo au matukio yaliyopita yenye athari kiuchumi,kisiasa,na kiutamaduni katika jamii imesababishwa na matukio kadhaa yakiwemo;
iii. Lengo la somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni pamoja na
iv. Kwanini ni muhimu kujua historia yetu
v. Ungepewa nafasi ya kusimamia maadili shuleni, je ungependa ujadili kuhusu ni niini?
vi. Wanazuoni na wanafalsafa mbalimbali wametoa fasili tofautitofauti juu za dhana ya jamii kati ya hizi zifuatazo ni ipi fasili ya dhana ya jamii kwa mujibu wa mtaalam Margaret Thatcher?
vii. Makundi makuu yanayounda jamii ya watanzania ni pamoja na
viii. . . . . . hawa shughuli zao ni uwindaji na ukusanyaji wa matunda ya porini.
ix. Asili ya kabila la kibantu ni ..
x. Kwanini inasemekana taifa la Tanzania ni taifa la kipekee, hii ni kwa sababu ?
Majibu
| i | ii | iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
| . |
2. Oanisha maana ya dhana za kisarufi zilizo katika Orodha A na dhana zilizopo katika Orodha B kisha andika herufi ya jibu sahihi katika kisanduku ulichopewa.
| ORODHA A | ORODHA B |
|
|
Majibu
| i | ii | iii | iv | v |
SEHEMU B (ALAMA 70)
JIBU KWA UFUPI
3. Maadili ya jamii za Kitanzania yamejengwa kupitia mila na desturi mbalimbali katika vipindi tofauti maadili hayo ni; (hoja 5)
4. Eleza umuhimu wa kujifunza historia yetu kama watanzania (hoja 5)
5. “Rushwa ni adui wa haki.” Kwa kutumia hoja 5 thibitisha kauli hii;
6. Kwa kutumia hoja tano bainisha ni kwanamna gani unaweza kutofautisha baina ya kabila moja na makabila mengine.
7. Taja sababu 5 za jamii ya asili ya Tanzania kuhama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine
8. Jamii mbalimbali za kitanzania zilikuwa zinajihusisha na shughuli mbalimbali kabla ya ujio wa wakoloni.Taja shughuli kuu tano (5) zilizofanywa na makundi ya jamii za Kitanzania kabla ya uhuru.
9. Tanzania ina urithi wa asili ambao ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Ukiwa kama mwanafunzi wa kidato cha kwanza taja utajiri wa rasilimali za asili tulizonazo.
SEHEMU C (Alama 15)
Jibu swali hili kwa umakini, hakikisha unafuata kanuni zote za uandishi wa insha
10. Urithi wa kihistoria wa jamii za Kitanzania unajumuisha lugha, mila, desturi,muziki na ngoma za asili. Ukiwa kama mwananchi wa Tanzania eleza umuhimu wa urithi wa kihistoria. {hoja 6}.
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 270
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 270
JINA LA MWANAFUNZI: _______________________________
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MUHULA KIDATO CHA KWANZA
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
MUDA: 2:30 MASAA MEI, 2026
MAELEKEZO.
| KWA MATUMIZI YA MTAHINI | ||
| Namba ya swali | Alama | Saini ya Mtahini |
| 1 | ||
| 2 | ||
| 3 | ||
| 4 | ||
| 5 | ||
| 6 | ||
| 7 | ||
| 8 | ||
| 9 | ||
| 10 | ||
| Jumla | ||
| Mhakiki | ||
SEHEMU A [Alama 15]
1. Katika vipengele[i] hadi [x] chagua herufi ya jibu sahihi kisha andika herufi ya jibu hilo katika visanduku ulivyopewa.
i. Mvalingundi ni kiongozi wa taasisi binafsi anayetumi mali za taasisi na ofisi kwa maslahi binafsi kitendo hiki anachofanya mvulingundi kinaweza kutafsiriwa kama?
ii. Katika hotuba yake juu ya ustawi wa maadili na maliasili za taifa waziri mkuu alizungumzia majukumu yanayohusiana na uhifadhi na ulinzi wa urithi wa taifa na maadili unadhani ni nani haswa anayehusika na ulinzi huo kwa maendeleo ya taifa letu?
iii. Wakati wa ufundishaji wa moja ya mada darasani, mwalimu sochora alisema ‘’ ni kikundi cha watu wenye uhusiano wa kidamu, ndoa au kuasili ‘’ maana hii inaendana na lipi kati ya vipengele vifuatavyo?
iv. Sababu ya kujifunza historia ya Tanzania na maadili ni
v. Katika jamii za kibantu, elimu ilikuwa inatolewa kwa njia kuu mbili nazo ni
vi. Ni kitendo cha wageni kukaribishwa kwa furaha na kupewa heshima kubwa
vii. Nchi ya Tanzania imebarikiwa kuwa na makundi yote ya makabila yanayopatikana barani Africa kati ya makundi hayo kundi moja linachukua asilimia kubwa zaidi ya makabila ya watanzania wa leo lipi kati ya makundi hayo linathibitiwa ukweli huu wa kihostoria.
viii. Amani anajivunia kuwa miongoni mwa wanafunzi wanaosoma somo la historia ya Tanzania na maadili kwa kuwa limuwezesha kuwa na mapenzi na nchi yake kitendo hiki cha amani kuipenda nchi yake kinajulikana kuwa ni.
ix. Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka 1961. Je ni nani alikuwa waziri mkuu wa kwanza wa Tanganyika.
x. Mwanafunzi anaposwa kufanya matendo yanayoendana na taratibu kanuni na sheria za shule kwani ni wajibu wake kati ya matendo yafuatayo lipi si wajibu wa mwanafunzi
MAJIBU
| i | ii | iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
2. Oanisha vinavyohusu jamii ya wamasai vilivyopo katika Orodha A na kundi husika kutoka Orodha B kisha andika herufu ya jibu sahihi katika kuzanduku ulichopewa;
| Orodha A | Orodha B |
|
|
MAJIBU
| Orodha A | i | ii | iii | iv | v |
| Orodha B |
SEHEMU B [Alama 10 ]
Jibu maswali yote katika sehemu hii
3. Wanafunzi wa mkondo wa biashara wa shule ya secondari mikengo walitakiwa kufanya utafiti kwa njia ya mtandao ili kubaini shughuli mbalimbali zilizofanywa na makundi ya jamii ya asili ya kitanzania unadhani ni shughuli zipi walizibaini na kuzinukuu katika madaftari yao [taja nukta 5]
4. Arianna na lan wamekuwa wakichanganya dhana ya matendo yasiyofaa katika jamii waeleweshe arrianna na alan matendo yasiyofaa katika jamii kwa kuwapa mifano mitano ya matendo yasiyofaa katika jamii kwa kuwapa mifano mitano ya matendo hayo yasiofaa
5. Kuanzishwa kwa somo la histori ya Tanzania na maadili kumeibua mijadala mbalimbali miongoni mwa watu wapo baadhi yao wanaona kuwa hakukuwa na tija ya kuanzishwa kwa somo hili ukiwa kama mwanafunzi wa somo hili wape sababu tano zitakazofanya wabadili mtazamo walionao juu ya somo hii
6. Mashamu ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya secondari mazebe ameshindwa kuelewa baadhi ya vipengele vya mada ya pili katika somo la historia ya Tz na maadili msaidie aelewe kwa kumueleza maana ya vipengele
7. Jamii yoyote isiyo na maadili inakuwa ni jamii mfuu . Maaadili katika jamii zetu yanachangia sehemu kubwa ya maendeleo ya watu na taifa zetu [taja nukta tano]
8. Taja sababu tano [5] za jamii ya asili ya Tanzania kuhama kutoka sehemu moja kwenda sehemu myingine
9. Bainisha matendo matano [5] ya kimaadili unayotenda au kutendewa na wenzako shuleni.
SEHEMU C [alama 15]
Jibu swali la kumi[10]
10. Eleza kwa hoja tano matarajio yako ya kujifunza somo la historia ya Tanzania na maadili
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 262
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 262
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MUHULA KIDATO CHA KWANZA
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
MUDA SAA 2:30 MEI,2026
MAELEKEZO
SEHEMU A ( Alama 20)
Jibu maswali yote katika sehemu hii.
1. Chagua jibu sahihi kutoka kwenye majibu yaliyotolewa na andika herufi yake katika nafasi uliyopewa.
(i) Historia ya Tanzania inahusu nini?
(ii) Jamii za kwanza za Watanzania zilihamia toka wapi?
(iii) Lugha inayotumiwa naWabantu wengi wa Tanzania ni ipi?
(iv) Kundi lipi la jamii lilikuwa mahiri katika uwindaji?
(v) Miongoni mwa hizi ni ipi njia moja ya kutunza historia ya Tanzania?.
(vi) Historia ya Tanzania inaweza kuhifadhiwa kwanjia gani?
(vii) Moja ya sifa ya jamii za asili za kibantu ni ipi?
(viii) Nini maana ya urithi wa Taifa?
(ix) Moja ya tamaduni za asili zinazotumiwa kulinda maadili katika jamii ni?.
(x) Kundi lipi kati ya haya lilihusika zaidi katika ufugaji wa asili?
MAJIBU
| i | ii | iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
| . |
2. Oanisha maudhui ya Kundi A na yale ya Kundi B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi.
| Kundi A | Kundi B |
| (i) Wabantu walihamiaTanzaia kutoka. (ii) Lugha inayozungumzwa zaidi naWabantu. (iii) Wakushito wanapatikana zaidi. (iv) Moja ya shughuli za Wanito. (v) Moja ya nia ya kuhifadhi historia. |
|
Majibu
| i | ii | iii | iv | v |
| . |
SEHEMU B (Alama 80)
Jibu maswali yote katika sehemu hii
3. (a) Eleza maana ya Historia ya Tanzani. (alama 4)
(b) Taja matukio sita(06) kihistoria unayo yafahamu. (alama 6)
4. a) Taja jamii kuu nne (04) za asili za Kitanzania.(alama 4)
b) Eleza asili ya jamii za wabantu na shughuli zao za kiuchumi (alama 6)
5. a) Jamii ni nini?( alama 4)
b) Kuna umuhimu gani watu kuishi katika jamii? (alama 6)
6.(a) Maadili ni nini? (alama 4)
(b) Umuhimu wa maadili kwa taifa unaweza kutazamwa katika mambo mbalimbali .Taja mambo manne (alama 6)
7. (a) Unadhani ni vitu gani vina changia tabia njema? Eleza vinne(4) (alama 4)
(b) Bainisha matendo manne ya kimaadili unayotenda au kutendewa na wenzako shuleni (alama 6)
8. (a) Eleza maana ya urithi ( alama 04)
(b) Taja matendo manne yanayokuza na kulinda maadili na urithi wa Tanzania (alama 6)
SEHEMU C(Alama 15)
Jibu swali moja(1) tu.
9.Eleza umuhimu wa somo la historia ya Tanzania na maadili kwa kutumia hoja tano (05)
10.Fafanua sababu tano za kuhama hama kwa Watanzania
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 258
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 258
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI NUSU MUHULA KIDATO CHA KWANZA MACHI 2026
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
MUDA : MASAA 2: 00
MAELEZO
SEHEMU A ( Maksi 15)
1. Chagua jibu lililo sahihi zaidi kwa kipengele cha (i)- (x).
i. Somo la historia ya Tanzania na maadili hufundisha kuhusu mwenendo wa shughuli za kiuchumi kama kilimo, utalii, uvuvi na ufugaji. Hii inaonyesha uhusiano wake na somo gani?
ii. Wabantu ni jamii yenye idadi kubwa zaidi ya watu hapa Tanzania tofauti na jamii nyingine. Asili ya jamii ni wapi?
iii. Kama wewe ni mgeni katika jamii mojawapo ya kitanzania, utajuaje kama jamii unayoishi nayo ni jamii ya wakushito?
iv. Jengo la ngome kongwe linalopatikana chake chake katika kisiwa cha pemba lilijengwa na waarabu wa Omani katika karne ya ?
v. Bonde la olduvai lina umuhimu gani katika urithi wa kihistoria ya jamii ya Tanzania?
vi. Wahadimu ni neno lenye Asili ya ..............
vii. Utafti wa kihistoria unaonesha kuwa chimbuko la wamasai ni wapi?
viii . Mojawapo ya matokeo ya kuhamia kwa wabantu katika maeneo ya afrika mashariki na hasa Tanzania ni mabadiliko katika utamaduni wa jamii za asili. Jambo gani ni uthibitisho wa mabadiliko haya?
ix.ISMAT ni mtoto mwenye maadili mazuri awapo nyumbani na shuleni.Ni tabia gani hatutegemei kuona kwa ISMAT
x. kiongoz wa jadi wa jamii ya watumbatu alijukana kwa jina la......
2 .Oanisha maelezo ya jamii katika orodha A na jamii husika katika orodha B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi
| KUNDI A | KUNDI B |
| I . Jamii ya watu waliosambaa afrika kabla ya mtawanyiko wa wabantu wanaotumia lugha ya kugongagonga ulimi II. Jamii kubwa inayowa husisha waadimu wanaopatikana katika eneo la kati na kusini mwa kisiwa cha unguja III.Jamii kubwa yenye mchanganyiko wa waafrika na waasia waliohamia Tanzania kutokea Somalia miaka1000 Iliyopita IV. Kundi la watanzania ambalo ni jamii ya wafugaji waliohamia kutokea kusini mwa Sudani V. Mfano wa jamii ya kitanzania inayoishi katika mkoa wa manyara na mkoa wa Arusha, kusini mwa Ngorongoro |
|
SEHEMU B (55 MAKSI)
JIBU MASWALI YOTE KATIKA SEHEMU HII
3(a). Eleza maana ya Jamii
(b).Historia inaonesha kuwa kutoka enzi,watu wameishi pamoja na kudumisha upendo ,amani , na mshikamano katika jamii. Kwa mujibu wanafalsafa na wanazuoni ulio wasoma ,eleza namna walivotoa fasili tofauti tofauti za dhana ya jamii
4.(a).Jamii huishi katika vijiji , miji , nchi na mataifa kupitia shughuli kama vile uwindaji,kilimo,u vuvi na biashara .Bainisha na fafanua makundi yanayo unda jamii
(b).Fafanua sababu (tano) zilizo Fanya jamii za kitanzania kuishi pamoja toka zama za kale.
5.Taja na ufafanue hatua mbalimbali za mabadiliko ya kimaendeleo ambazo jamii za kitanzania zimeishi na kupitia
6.(a).Eleza maana ya historia ya Tanzania na maadili
(b).Taja vyanzo vitatu vya historia ya Tanzania na maadili
(c).Bainisha changamoto (nne) za kukuza Maadili katika Jamii unamoishi.
7.Fafanua malengo ya ujenzi wa Maadili katika Jamii za asili za kitanzani .
8.(a).Eleza maana ya wabantu ni nini....?
(b).Taja sababu zilizo wafanya wabantu kutawanyika na kuingia Afrika mashariki
SEHEMU C ( 30 MAKSI)
9.Andika insha isiyozidi maneno mia Moja (100).Eleza umuhimu wa somo la historia ya Tanzania na Maadili .
10.Eleza uhusiano uliopo kati ya somo la historia ya Tanzania na maadili na masomo yafuatayo
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 246
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 246
MTIHANI WA ROBO MUHULA WA KIDATO CHA KWANZA
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
MUDA: SAA 2:30 MWAKA: 2026
MAELEKEZO
SEHEMU A (Alama 15)
Jibu maswali yote katika sehemu hii
1. Chagua herufi ya jibu sahihi katika kipengele (i) mpaka cha (x) kisha andika herufi ya jibu sahihi katika sehemu ya karatasi ya mtihani uliyopewa
i. Somo la Historia ya Tanzania na Maadili linajumuisha dhana kuu ngapi?
ii. Historia inahusu mambo gani?
iii. Ni kwa nini ni muhimu kujua historia yetu?
iv. Mabadiliko gani yamekuwa yakizingatiwa katika historia ya Tanzania?
v. Maadili ni nini?
vi. Maadili yana umuhimu gani kwa taifa?
vii. Somo la Historia ya Tanzania na Maadili linatusaidiaje?
viii. Ni nini umuhimu wa somo la Historia ya Tanzania na Maadili?
ix. Somo la Historia ya Tanzania na Maadili linahusiana na masomo gani mengine?
x. Ni kwa nini maadili ni muhimu katika jamii?
MAJIBU
| i | ii | Iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
2. Oanisha SAFU A kwa kutoa jibu sahihi kutoka katika SAFU B kisha andika herufi ya jibu sahihi katika visanduku chini yake.
| SAFU A | SAFU B |
|
|
MAJIBU
| I | ii | iii | iv | v |
SEHEMU B (Alama 70)
Jibu maswali yote katika sehemu hii
3. Eleza ni kwa jinsi gani uhamiaji umechangia katika mabadiliko ya kijamii na kiuchumi katika jamii za Kitanzania?
i. ______________________________________________________________________
ii. ________________________________________________________________________
iii. ________________________________________________________________________
iv. ________________________________________________________________________
v. ________________________________________________________________________
4. Tanzania ina takribani makabila mia moja na ishirini na kila kabila lina utamaduni wake wa asili pamoja na mila na desturi zake . Taja makabila manne makuu yanayopatikana Tanzania, na utaje asili ya kila kabila.
i. ________________________________________________________________________
ii. ________________________________________________________________________
iii. ________________________________________________________________________
iv. ________________________________________________________________________
v. ________________________________________________________________________
5. Watanzania wengi katika jamii ya leo tumetokana na wabantu kwani lugha nyingi za makabila nchini Tanzania hufanana matamshi pia hata maana. Eleza kwa kutoa mifano mitano (05) shughuli za kiuchumi na kijamii za jamii za Kibantu.
i. ________________________________________________________________________
ii. ________________________________________________________________________
iii. ________________________________________________________________________
iv. ________________________________________________________________________
v. ________________________________________________________________________
6. Kwa kutoa mifano dhabiti eleza uhusiano kati ya somo la Historia ya Tanzania na Maadili na masomo mengine kama vile
i) Jiografia ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
ii)Hisabati. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
7. Taja baadhi ya mambo yanayozingatiwa katika historia ya Tanzania.
i. __________________________________________________________________
ii. __________________________________________________________________
iii. __________________________________________________________________
iv. __________________________________________________________________
v. __________________________________________________________________
8. Jamii huusisha watu wa sehemu tofauti tofauti kwakulijua hilo, wewe ukiwa kama mwanafunzi wa kidato cha kwanza fafanua dhana ya jamii na vipengele vyake.
i. __________________________________________________________________
ii. __________________________________________________________________
iii. __________________________________________________________________
iv. __________________________________________________________________
v. __________________________________________________________________
9. a) Nini maana ya maadili
________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
b) Toa faida (04) nne za maadili katika taifa la Tanzania
i. __________________________________________________________________
ii. __________________________________________________________________
iii. __________________________________________________________________
iv. __________________________________________________________________
SEHEMU C (Alama 15)
Jibu swali namba 10
10. Shule ya Sekondari ‘’KATWE’’ kulikua na mgongano baina ya wanafunzi wa kidato cha kwanza ‘’a’’ wakidai kwamba somo la historia ya Tanzania na maadili halina faida kwao huku kidato cha kwanza ‘’b’’ hawajui somo linahusu nini kabisa. Wewe ukiwa kama mtaalamu wa historia na maswala ya utamaduni wasaidie wanafunzi wa kidato cha kwanza ‘’a’’ na ‘’b’’ katika shule ya ‘’KATWE’’ kujua umuhimu wa somo hilo.
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 240
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 240
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MITIHANI YA KUJIPIMA KWA SHULE ZA SEKONDARI
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA-NOVEMBER-2025
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
MUDA: Saa 2:30
MAELEKEZO
SEHEMU A (15 Alama)
SWALI LA 1: Chagua Jibu Sahihi (i – x)
Chagua jibu sahihi na andika herufi yake katika kijisanduku kilichotolewa.
(i) Jamii kubwa ya Wabantu inasadikika ilitoka katika eneo la:
A. Bonde la Naili B. Afrika Magharibi C. Afrika Kaskazini D. Kongo
(ii) Kundi la watu waliokuwa na lugha za Kisudani na walihamia Tanzania ni:
A. Wabantu B. Wanilo C. Wakushito D. Wakichembe
(iii) Kazi kuu ya jamii za asili za Kitanzania ilikuwa:
A. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi B. Biashara ya Kitalii C. Ufugaji pekee D. Uchimbaji wa madini
(iv) Tabia ya kushirikiana chakula, kazi na mali ni sehemu ya:
A. Teknolojia B. Utamaduni C. Maadili D. Siasa
(v) Miongoni mwa matendo ya msingi yanayolinda maadili ya jamii ni:
A. Ufisadi B. Heshima na uaminifu C. Wizi D. Dharau
(vi) Urithi wa jamii za Kitanzania unajumuisha:
A. Mila na desturi B. Lugha C. Sanaa na muziki D. Yote yaliyotajwa
(vii) Mfumo wa kijamii kabla ya ukoloni ulijengwa juu ya:
A. Ubepari B. Ujamaa wa kijadi C. Utumwa wa viwandani D. Ukoloni
(viii) Jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni zilitumia teknolojia rahisi kama:
A. Mitambo ya kisasa B. Vyuma na zana za mawe C. Kompyuta D. Ndege
(ix) Shughuli za kiuchumi kabla ya ukoloni zilijumuisha:
A. Kilimo cha biashara B. Kilimo cha kujikimu na ufugaji C. Uchimbaji wa mafuta D. Viwanda vikubwa
(x) Kichocheo kikubwa cha mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni kilikuwa:
A. Mahitaji ya maisha B. Ukoloni C. Elimu ya kisasa D. Ukombozi wa taifa
SWALI LA 2: Oanisha vipengele vya Orodha A na maana zake katika Orodha B kwa kuandika herufi sahihi.
| Orodha A | Orodha B |
|
SEHEMU B (40 Alama)
Jibu maswali yote 3 – 9
3. (a) Eleza maana ya jamii za asili za Kitanzania. (b) Taja makundi makuu manne ya jamii hizo. (c) Kwa mfano wa Wabantu, eleza tabia kuu mbili. (d) Kwa nini jamii hizi ni muhimu katika historia ya Tanzania?
4. (a) Eleza shughuli za kiuchumi za Wanilo. (b) Bainisha shughuli mbili za Wakushito. (c) Kwa mfano wa Wabantu, eleza mchango wao katika kilimo. (d) Taja faida moja ya biashara ya kubadilishana bidhaa (barter trade).
5. (a) Eleza maana ya maadili katika jamii. (b) Taja mambo mawili yanayodhihirisha maadili ya kijamii. (c) Eleza kwa kifupi umuhimu wa urithi wa jamii. (d) Taja njia moja ya kulinda urithi wa jamii.
6. (a) Taja mifumo miwili ya kijamii kabla ya ukoloni. (b) Eleza namna mifumo hiyo ilivyokuza mshikamano wa kijamii. (c) Taja mfumo mmoja wa kisiasa uliokuwapo kabla ya ukoloni. (d) Eleza faida yake kwa jamii.
7. (a) Eleza hali ya sayansi na teknolojia za jadi katika jamii za Kitanzania. (b) Taja angalau zana mbili za kilimo zilizotumika. (c) Taja kichocheo kimoja cha mabadiliko ya teknolojia kabla ya ukoloni. (d) Eleza faida ya mabadiliko hayo kwa jamii.
8. (a) Eleza maana ya urithi wa jamii. (b) Taja fursa mbili zilizopo katika urithi wa jamii. (c) Eleza namna urithi huo unavyoweza kukuza uchumi wa taifa. (d) Taja njia moja ya kuutunza urithi wa jamii.
9. (a) Taja shughuli mbili zinazojenga mshikamano wa kijamii. (b) Eleza namna shughuli hizo zinavyokuza uchumi wa taifa. (c) Toa mfano wa shughuli moja ya kitamaduni inayokuza mshikamano. (d) Eleza faida yake kwa jamii ya Kitanzania.
SEHEMU C (15 Alama)
Jibu swali moja (1) la insha
10. Andika insha yenye kichwa: “Mchango wa mifumo ya kisiasa na kiuchumi katika kukuza maadili na mshikamano wa jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni.”
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 235
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 235
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA ROBO MUHULA AGOSTI
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
KIDATO CHA KWANZA
MUDA: SAA 2:30
MAAELEKEZO 1
SEHEMU A (Alama 16)
1. Katika kipengele (i) hadi (x), chagua herufi ya jibu saahihi kisha andika herufi ya jibu sahihi.
i. Jamii za asili ya Kitanzania zilihama kutoka eneo moja na kwenda eneo jingine kwa sababu:
ii. Somo la historia a maadili limeundwa na dhana kuu mbili:
iii. Uhusiano kati ya somo la historia na maadili na chakula na lishe ni:
iv) jamii za wakushito zinahusisha makabila kama:
v) “Rushwa ni adui mkubwa wa haki.Tusipoidhibiti itaangamiza taifa”Baadhi ya madhara ya rushwa ni:
vi) kulikuwa na sifa maaalumu zilizozingatiwa ili mtu ateuliwe kuwa kiongozi wa ukoo.Miongoni mwa sifa hizo ni:
vii) Mafunzo katika kujenga tabia njema yalisisitiza mambo yafuatayo:
viii) Nini maana ya “Urithi wa jamii?”
ix) Maadili ya msingi katika jamii ni Pamoja na:
x) Mojawapo ya vyanzo vya Historia visivyoandikwaa ni:
| i | ii | iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
| . |
2. Oanisha maelezo ya maneno kutoka kifungu A na maneno kutoka kifungu B kisha andika herufi ya jibu sahihi
| KIFUNGU A | KIFUNGU B |
|
|
| i | ii | iii | iv | v | vi |
| . |
SEHEMU B (ALAMA 54)
Jibu maswali yote katika seehemu hii.
3. a) bainisha urithi wa asili uliopo maeneo unamoishi na taja manufaa ya urithi huo kwa jamii yako (hoja nne).
b) Urithi waa kihistoria ni eneo pana linalotoa na kazi kumnufaiisha mtu binafsi,jamii na taifa.Taja matumizi ya fursa hizo. (Hoja tano)
4. a) kabla kuingia ukoloni,jaamii za kitanzaniaa zilikuwa zinatumia mifumo maalumu kuelimisha watu. wake.bainisha malengo ya elimu kabla ya ukoloni (hoja nne)
b) Taja tofauti kati ya jando na unyago. (Hoja tano)
5.a) Ni mambo gani mazuri yaliyopo katika mila ana desturi ya jamii za asili ambayo hayatiliwi mkazo kwa sasa?
b) utamaduni wa jamii za asili uliwandaa vijana kujitegemea kwa sababu ulitilia mkazo i. ii. iii.
6. Jamii za Wabantu,Wakushito,Wakichembe na Wanilo zilikuwa na desturi zilizolenga kukuza maadili katika Nyanja mbalimbali za Maisha yao.Taja malengo yaliojikita katika ujenzi wa maadili katika jamii.(hoja tano)
7. Tunapaswa kufahamu kuwa wajibu wa kulinda na kuifadhi maadili na urithi wa jamii ni jukumu la kila Mtanzania.thibitisha dai hili kwa kutaja matendo yanayokuza na kulinda maadili na urithi wa Tanzania.
8.Elezea maana ya istilahi zifuatazo:
SEHEMU C (ALAMA 30)
Jibu maswali mawili (2) kutoka sehemu hii,swali la tisa (9) ni la lazima na kila swali lina alama 15.
9.Ukiwa kama mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule yako na mbobezi wa somo la Historia ya Tanzania na maadili Elezea tofaauti wa mfumo wa elimu ya jadi na mfumo wa elimu ya sasa.(hoja tano)
10. kumekuwepo na mmomomyoko wa maadili kwa jamii ya sasa kwa kiasi kikubwa hususani kwa vijana,Ungepewa nafasi ya kutoa maoni kuhusu maadili shuleni mambo gani ungependa yazingatiwe katika ujenzi wa maadili kwa vijana.elezea hoja tano(5) 11.elezea sababu za kujifunza somo la Historia ya Tanzania na maadili
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 225
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 225
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, OFISI YA RAIS – TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
KIDATO CHA KWANZA
MUDA: SAA 2:30 2025
MAELEKEZO
SEHEMU A (Alama 15)
Jibu maswali yote katika sehemu hii
1. Katika vipengele (i) – (x), chagua herufi ya jibu sahihi kisha andika herufi ya jibu hilo katika visanduku ulivyopewa.
(i) Bibi Halima alishuhudia baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha madongo wakitupa taka katika vyanzo vya maji. Katika kutimiza wajibu wake aliwaeleza kuwa wanaharibu urithi wa taifa. Urithi uliokusudiwa na bibi Halima unaingia katika kipengele kipi kati ya vifuatavyo?
(ii) Ulinzi wa Historia ya Tanzania ni jukumu la kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa hili la Tanzania. Ipi ni njia bora na sahihi ya kulinda historia ya Tanzania?
(iii) Nyimbo na ngoma za jadi huimbwa na kupigwa kwa makusudi makubwa kabisa. Ni kipi kati ya yafuatayo huimarishwa pale ngoma na nyimbo zinapohusishwa?
(iv) Michoro inayochorwa maeneo mbalimbali ya kuhistoria ina makusudi makubwa katika nchi yetu ya Tanzania. Nini nia kubwa ya kuchora picha maeneo ya kihistoria?
(v) Nyimbo za jadi huimbwa na makabila mbalimbali hapa nchini Tanzania. Je! Ni wakati gani unaofaa kuimba nyimbo hizi za jadi?
(vi) Katika hotuba yake juuya ustawi wa maadili na maliasili za taifa, waziri mkuu alizungumzia majukumu yanayohusiana na uhifadhi na ulinzi wa urithi wa taifa na maadili. Unadhani ni nani hasa anahusika na ulinzi huo wa maendeleo ya taifa letu?
(vii) Mabadiliko gani yamekuwa yakizingatiwa katika historia ya Tanzania?
(viii) Makundi katika jamii za Kitanzania hujishughulisha na shughuli mbalimbali ambazo huwapatia kipato. Ipi si shughuli ya wanilo kati ya hizi zifuatazo?
(ix) “Kupokea au kutoa mali isiyo halali au kutumia mali ya umma isivyo halali kwa manufaa binafsi.” Maelezo haya yanahitimishwa na neno lipi kati ya haya yafuatayo?
(x) Watanzania wote bila kujali kabila, imani, rangi na dini hatunabudi kuzingatia miongozo, kanuni na sheria zinazoongoza mienendo ya mtu mmoja mmoja katika nchi yetu. Lipi ni jina moja linalojumuisha miongozo hiyo?
MAJIBU
| i | ii | iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
2. Oanisha sentensi kutoka kundi A na zile za kundi B, kisha andika herufi ya jibu sahihi katika kisanduku ulichopewa hapo chini.
| KUNDI A | KUNDI B | ||||
| (i) Njia ya kuhifadhi historia ya jamii (ii) Mfano wa maadili ya kitanzania (iii) Michezo ya jadi (iv) Namna ya kuhifadhi urithi wa taifa (v) Umuhimu wa kulinda na kutunza historia ya taifa |
| ||||
| KUNDI A | i | ii | iii | iv | v |
| KUNDI B | |||||
SEHEMU B (Alama 70)
Jibu maswali yote katika sehemu hii
3. Taja shughuli tano (5) za kijamii na kiuchumi zinazofanywa na jamii ya wakichembe katika maisha yao ya kila siku.
4. (a) Eleza maana ya urithi wa Taifa
________________________________________________________________________________________________________________________________________________
(b) Taja njia nne (4) zinazotumika kuhifadhi urithi wa taifa:-
i) ______________________________________________________________________
ii) ______________________________________________________________________
iii) _____________________________________________________________________
iv) _____________________________________________________________________
5. (a) Taja michezo miwili ya jadi inayotumika kuendeleza maadili
(b) Eleza namna michezo hiyo inavyosaidia watoto kujifunza maadili.
i) ______________________________________________________________________
ii) ______________________________________________________________________
iii)______________________________________________________________________
6. Bainisha mifano mitano ya maadili mbalimbali katika jamii za Kitanzania ambayo ingefaa kuigwa na kudumishwa kwa vizazi vijavyo.
7. (a) Bainisha makabila mawili (2) ambayo yanatokana na jamii za wakichembe.
(b) Taja zana tatu (3) zilizotumika katika uwindaji katika jamii ya Wakichembe.
i) __________________________________________________________________
ii) __________________________________________________________________
iii) __________________________________________________________________
8. Jamii za watu wa visiwa vya Zanzibar walinunua na kuuza bidhaa kupitia biashara walizofanya na waajemi, waarabu na watu wa mashariki ya mbali. Taja bidhaa tano (5) zilizohusika katika biashara hiyo.
9. Kwa nini jamii za asili ya Kitanzania zilihama kutoka eneo moja kwenda eneo lingine? Toa hoja tano (5).
SEHEMU C (Alama 15)
Jibu swali hili kwa insha
10. Eleza hoja sita (6) ukionesha matarajio yako ya kujifunza somo la Historia ya Tanzania na Maadili.
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 203
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 203
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA KUMALIZA NUSU MUHULA KIDATO CHA KWANZA
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI 2025
MUDA 2:30
MAELEKEZO
1. Karatasi hii Ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali kumi 10
2. Jibu maswali yote kwenye nafasi ulizopewa
3. Sehemu A na C Zina alama kumi na Tano (15) Kila na sehemu B Ina alama sabini (70)
4. Zingatia maelezo ya Kila sehemu na ya Kila swali
5. Andika jina lako juu ya karatasi hii.
SEHEMU A. Alama 15
1. Chagua jibu sahihi kutoka machuguzi uliopewa kwa vipengele (i)- (x) kasha andika jibu lake katika nafasi uliopewa.
i) Somo la historia ya Tanzania na maadili linaundwa na dhana kuu mbili nazo ni
ii) Ni miongozo inayotawala tabia na matendo ya mtu mmoja mmoja au jamii kwa ujumla. dhana hii imebebwa na neno
iii) Neno maadili linapotumika huweza pia kuashiria au kuimarisha Tunu za jamii au taifa ni zipi Kati ya zifuatazo
vi) Tunaweza kuwakaribisha wageni kwa furaha na kuwapa heshima kubwa ikiwa pamoja na kukirimiwa kwa
v) Mazingira ya kiliografia yanaweza kuathiri shughuli za binadamu kama vile
vi) Kwa kutumia uchambuzi wa makabila Tanzania ni nchi yenye makundi ya makabila yote yanayopatikana barani Afrika makundi hayo ni
vii) Kihistoria kundi kubwa la tatu la watanzania ambalo ni jamii ya wafugaji walioingia nchini Tanzania wakitokea kusini mwa sudani ni
viii) Jamii za wakushito zinahusisha makabila kama
ix) Kwa hapa Tanzania jamii za Wanilo ni kama
x) Morani ni kundirika katika jamii ya kimasai la vijana wenye umri Kati ya miaka
A) 18 na 35
B)18 na 40
C)18 na 60
D) 18 na 80
2. OANISHA JIBU LA ORODHA 'A' NA JIBU LA ORODHA 'B'
| ORODHA A | ORODHA B |
|
|
SEHEMU B. Alama 70
Jibu maswali yote katika sehemu hii
3. Mkude ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya wavulana buingu . Ameshindwa kuelewa maana ya maneno yafuatayo kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili. Msaidie kumuelezea maana ya maneno hayo.
a) Tunu za taifa
b) maadili
c) Jiografia
d) Jamii
e) wajibu
4. Ukiwa kama mwanafunzi wa kidato cha kwanza mkondo A waelezee wanafunzi wenzako umuhimu wa kuwa na maadili katika jamii na taifa kwa ujumla.
5.Warioba ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza alichaguliwa na jamii yake kuelezea namna ambavyo vijana wanaweza kujengwa kwa kuwa na tabia njema. Msaidie warioba katika kuwaeleza vijana vitu vinavyojenga tabia njema katika jamii zetu nukta Tano.
6. Ukiwa Kama mwanafunzi kutoka shule ya sekondari chekeleni. waelezee wanafunzi wenzio kwanini jamii za Asili ya kitanzania zilihama kutoka eneo Moja kwenda eneo jingine nukta Tano
7. Kwa kutumia nukta Tano tofautisha jamii za Asili za wakichembe na jamii za Asili za kibantu.
8. Kwa kumtumia mtaalamu "EMILE DURKHEIM" (1884) Toa dhana ya neno 'Jamii'
9. Eleza Tofauti iliyopo Kati ya maadili yaliyojengwa katika jamii za Asili na jamii za sasa za kitanzania
SEHEMU C Alama 15
Jibu swali la kumi
Bainisha changamoto za kukuza maadili katika jamii unamoishi na Kisha toa mapendekezo ya jinsi ya kuzitatua.
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 201
FORM ONE HISTORIA EXAM SERIES 201