STD IV HISABATI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2010

HISABATI 2010

1.  9146
+     853

Fungua Jibu


2. 1874
-     735

Fungua Jibu


3. 155
x    90

Fungua Jibu


4. Andika kwa tarakimu: Elfu saba na mia tatu na nne.

Fungua Jibu


5. Andika XXIV kwa tarakimu za kawaida.

Fungua Jibu


6. Andika namba inayokosekana katika mfululizo ufuatao:

XLVII, XLVIII ,        ,    L.

Fungua Jibu


7. Ni sehemu gani ya kitu kizima imetiwa kivuli katika umbo lifuatalo? 

Fungua Jibu


8.


Fungua Jibu


8.


Fungua Jibu


10. Tafuta mzingo wa mraba ufuatao:


Fungua Jibu


11. Tafuta eneo la umbo lifuatalo:

Fungua Jibu


12. Katika mchoro ufuatao kuna mistari mingapi?


Fungua Jibu


13. Mraba una mita za eneo 121. Tafuta urefu wa upande mmoja.

Fungua Jibu


14. sm25 + sm 32 + sm 28image

Fungua Jibu


15. Bakari ana kipande cha ubao chenye urefu wa sm 40. Je, kipande hicho kina urefu wa milimeta ngapi?

Fungua Jibu


16. Koba hutembea meta 2500 kwenda shuleni. lwapo atakwenda na kurudi je, atakuwa ametembea jumla ya kilometa ngapi?

Fungua Jibu


17. Badili gramu 2000 kuwa kilogramu

Fungua Jibu


18. Kipi ni kizito zaidi, kilogramu moja ya sukari au kilogramu moja ya manyoya ya kuku?

Fungua Jibu


19. Doris alikuwa na lita 10 za maji na alitaka kuzijaza katika chupa za nusu lita. Je, alijaza chupa ngapi za nusu lita?

Fungua Jibu


20.   Saa           dk

         3            46

 +      2            25

418Fungua Jibu


 21. Andika majira ya saa yanayoneshwa 23. katika uso wa saa ufuatao:

Fungua Jibu


22. Grafu kwa mihimili ifuatayo inaonesha michezo inayochezwa na wanafunzi wa shule ya msingi ya Gezaulole. Ni mchezo imagegani ambao haupendwi na wanafunzi wengi?

Fungua Jibu


23.

Fungua Jibu


24.

Fungua Jibu


25. Amina alipata shilingi ngapi kwa kuuza maembe 20@ sh. 100, machungwa 50@ Sh. 100 na mapera 60 @ sh. 50?

Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256