| Competence | Objective | Month | Week | Main Topic | Sub Topic | Periods | Teaching Activities | Learning Activities | Learning Aids | Assessment | References | Remarks |
| The student should have ability to: aweze kuunda maneno | Mwanafunzi aweze: 1. Kueleza mazingira yanayosababisha kuhitaji maneno mapya. | Januari | Wiki Ya 3 | KUONGEZA MSAMIATI WA KISWAHILI | Uundaji wa maneno | 4 | 1. Tumia maswali na
m aj i b u na majadiliano kuibua
miktadha inayodai maneno
mapya. 2. Mwalimu awaongoze wanafunzi kwa kutumia maswali na majibu kueleza njia za kuunda maneno. | 1. Wanafunzi wafanye
in ajadiliano ya vikundi na kueleza mazingira yanayodai maneno mapya. 2. Wanafunzi wataje njia hizo kwa mdomo na kwa kuandika. | Matini yenye maneno yaliyoundwa kwa njia tofauti tofauti. | Je, mwanafunzi ameweza kueleza
mazingira
yanayosababisha mahitaji ya mazingira yanayosababisha. mahitaji ya maneno mapya? | Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: aeleze ukuaji wa kiswahili tanzania | Mwanafunzi aweze: 1. Kueleza kukua kwa Kiswahili katika enzi ya Waingereza nchini Tanzania. | Februari | Wiki Ya 2 | WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU | 1 Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Katika Enzi ya Waingereza | 4 | 1. Kwa kutumia njia ya bungua bongo na majadiliano mwalimu awaongoze wanafunzi kubaini namna Kiswahili kilivyokua katika enzi ya Waingereza kimsamiati. 2. Kwa kutumia maswali na majibu na majadiliano na kuchunguza ramani ya Tanzania, mwalimu awaongoze wanafunzi kubaini kuenea kwa Kiswahili katika enzi ya Waingereza nchini Tanzania. | 1. Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini ukuaji wa Kiswahili kimsamiati katika enzi ya Waingereza nchini Tanzania. 2. Wanafunzi wajadili na kujibu maswali ya kubaini kuenea kwa Kiswahili katika enzi ya Waingereza nchini Tanzania. | Ramani ya Tanzania kuonesha vituo vya kupokea na kueneza Kiswahili: Zanzibar, Tanga Tabora, Mzizima (DSM), Ujiji. | Je, mwanafunzi ameweza kueleza kukua kwa Kiswahili katika enzi ya
Waingereza
nchini Tanzania? | Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: aweze kueneza kiswahili | Mwanafunzi aweze: 1. Kueleza shughuli mbalimbali zinazowezesha kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini. 2. Kueleza &lima za kila asasiinayokuza Kiswahili | Februari | Wiki Ya 4 | WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU | Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Baada ya Uhuru | 4 | 1) kuchunguza chati za asasi mwalimu awangoze wanafunzi kutaja asasi mbalimbali zinazokuza na lcueneza
Kiswahili nchini Tanzania, kama vile BAKITA, TUKI, UKUTA, TAKILUKI Taasisi ya Elimu Tanzania. 2. waongoze wanafunzi katika vikundi vya majadiliano na maswali na majibu kubaini dhima ya kila asasi ya kukuza na kueneza Kiswahili nchini Tanzania. | 1. Wanafunzi wajadili na kubaini asasi hizo. 2. Wanafunzi wajadili na kubaini dhima za kila asasi za Kiswahili kwa mdomo na kwa kuandika | Chati ya asasi zinazokuzadhima za kila mojawapo ya asasi za Kiswahili? | Je, mwanafunzi ameweza kufafanua
shughuli zinazowezesha ukuaji na ueneaji wa Kiswahili nchini? Je, mwanafunzi ameweza kueleza | Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: hakiki kazi za fasihi | Mwanafunzi aweze: 1. Kubaini taarifa muhimu za mwandishi wa kila kitabu. | Machi | Wiki Ya 1 | UHAKIKI WA KAZI ZA FAME-I ANDISHI | Uhakiki wa ushairi, tamthiliya na riwaya | 4 | 1. waongoze
wanafunzi, kwa kutumia
majadiliano, maswali na
majibu, waeleze taarifa muhimu za maisha ya mwadishi wa kila kitabu. | 1. Wanafunzi watafute taarifa hizo kwa njia ya kazi mradi. 2. Wanafunzi wahakiki maudhui katika riwaya, ushairi na tamthiliya teule. | Vitabu mbalimbali vya fasihi. Vitabu teule vya riwaya, tamthiliya na ushairi. Kanda za video za riwaya na | Je, mwanafunzi ameweza kueleza taarifa muhimu za waandishi wa vitabu vya
fasihi? | Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: aweze kutunga mashairi | Mwanafunzi aweze: 1. Kueleza kanuni za utungaji wa mashairi . | Machi | Wiki Ya 3-4 | KUTUNGA KAZI ZA FASIHI | Utungaji wa mashairi. | 8 | 1. Kwa kutumia mifano ya mashairi mbalimbli ya kimapokeo waongoze wanafunzi kubaini taratibu za uandishi katika mashairi hayo. 2. husisha vipengele hivyo na kanuni za utungaji wa mashairi. | 1. Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini vipengele vinavyofanana an kutofautiana katika mashairi hayo. 2. Wanafunzi wakiongozwa na mwalimu kubaini maana za istilahi zinazohusiana na kanuni za utungaji wa mashairi yakimapokeo. | Matini mbalirnbali za mashairi, tenzi na ngonjera. Kanda za sauti zenye mashairi, tenzi na ngonjera zilizoimbwa na kuigizwa. | je, mwanafunzi ameweza kueleza kanuni za
utungaji wa
mashairi ya
kimapokeo? | Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |